Upload
others
View
8
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
©NHK WORLD-JAPAN96 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Somo la
31 一い っ
緒し ょ
に行い
きませんか
マイクMike
: 今こん
度ど
の土ど
曜よう
日び
、海かい
斗と
とKo⎤ndo no do-yo⎤obi, Ka⎤ito to
忍にん
者じゃ
博はく
物ぶつ
館かん
に行い
きます。Ninja-Hakubutsu⎤kan ni ikima⎤su.
Nitaenda na Kaito kwenye Makumbusho ya Ninja Jumamosi hii.
ミーヤーMi Ya
: マイクさんは、本ほん
当とう
にMa⎤iku-san wa, hontoo ni
忍にん
者じゃ
が好す
きですね。ni⎤nja ga suki⎤ de⎤su ne.
Mike-san, unapenda kweli ninja, sivyo?
マイクMike
: はい。Ha⎤i.
Ndiyo.
みんなで一いっ
緒しょ
に行い
きませんか。Minna⎤ de issho ni ikimase⎤n ka.
Kwa nini tusiende sote pamoja?
ミーヤーMi Ya
: ああ、土ど
曜よう
日び
はちょっと・・・。A⎤a, do-yo⎤obi wa cho⎤tto...
Oh, Jumamosi si siku nzuri kwangu...
タムTam
: 私わたし
も授じゅ
業ぎょう
があります。Watashi mo ju⎤gyoo ga arima⎤su.
Mimi pia nina madarasa.
海かい
斗と
Kaito: 残
ざん
念ねん
。Zanne⎤n.
Bahati mbaya sana.
じゃあ、2ふたり
人で行い
こう。Ja⎤a, futari⎤ de iko⎤o.
Basi tutaenda sisi wawili.
Msamiati
今こ ん
度ど
mara hiiko⎤ndo
博は く
物ぶ つ
館か ん
makumbushohakubutsu⎤kan
残ざん
念ねん
(な) bahati mbaya sanazanne⎤n (na)
Mazungumzo ya leo
Issho ni ikimasen kaKwa nini tusiende pamoja?
©NHK WORLD-JAPAN 97https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Usemi wa Msingi
一い っ
緒し ょ
に行い
きませんか。Issho ni ikimase⎤n ka.
Kwa nini tusiende pamoja?Ili kumshawishi mtu afanye kitu pamoja na wewe, badili “-masu” kwenye kitenzi cha umbo la MASU na kuwa “-masen ka” mwishoni, na kisha pandisha kiimbo. “-masen” ni umbo la kukanusha, lakini ikiwa “-masen ka,” inakuwa mwaliko wa kufanya kitu pamoja. Kukubali mwaliko huo, unasema “ii desu ne” yaani “ni vizuri.”
Tumia!
今こん
晩ばん
、一いっ
緒しょ
にごはんを食た
べに行い
きませんか。Ko⎤nban, issho ni go⎤han o ta⎤be ni ikimase⎤n ka.
いいですね。行い
きましょう。I⎤i de⎤su ne. Ikimasho⎤o.
n ka.n ka.
Kwa nini tusiende kula chakula cha jioni nje pamoja leo usiku?Ni vizuri. Twende.
Jaribu!
~ませんか。~mase⎤n ka.
Kwa nini tusi- ~?
① みんなでバーベキューをする(→します)minna⎤ de baabe⎤kyuu o suru (→shima⎤su)
fanye tafrija ya nyama ya kubanikwa na kila mtu
② 一い っ
緒し ょ
に歌う た
う(→歌う た
います)issho ni utau (→utaima⎤su)
imbe pamoja
Usemi wa ziada土
ど
曜よ う
日び
はちょっと・・・。Do-yo⎤obi wa cho⎤tto...Jumamosi si siku nzuri kwangu…
Huu ni usemi wa kukataa mwaliko. “Chotto” ina maana ya “kidogo,” lakini ukiinyoosha mwishoni na kudhoofisha toni yako wakati unalitamka, inaunda tofauti kwamba unakataa mwaliko kwa kusita.
Can-do! Kumwambia mtu mfanye kitu pamoja -- Sehemu 2
©NHK WORLD-JAPAN98 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Utamaduni wa kisasa na Mike
Ninja walikuwa kama majasusi au vikosi maalum, ambao walikuwa maarufu sana baada ya karne ya 15 wakati wa enzi ya ushindani wa wababe wa kivita. Historia ya ninja kwa kiasi fulani haifahamiki.Ninja walikuwa maarufu kwa mavazi yao, lakini mara nyingi walijificha kwa kujifanya kama wafanyabiashara, makasisi na wanaburudani wanaosafiri ili kuingia katika eneo la adui.
Ninja walitumia vifaa mbalimbali kama vile silaha zenye umbo la nyota za kurusha za shuriken, na kutumia maarifa yao ya silaha za moto na nyakati fulani hata saikolojia ili kukamilisha kazi yao. Wababe wa kivita waliwathamini kama wataalam wenye ujuzi mwingi.
Ninja katika kujificha
Majibu ① みんなでバーベキューをしませんか。 Minna⎤ de baabe⎤kyuu o shimase⎤n ka.② 一
いっ
緒しょ
に歌うた
いませんか。 Issho ni utaimase⎤n ka.
Ninja katika kujificha
Siri za Ninja
©NHK WORLD-JAPAN 99https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Somo la
32 忍に ん
者じ ゃ
博は く
物ぶ つ
館か ん
まで、どう行い
ったらいいですか
海かい
斗と
Kaito: マイク、似
に
合あ
うね。かっこいい。Ma⎤iku, nia⎤u ne. Kakkoi⎤i.
Mike, imekufaa. Umependeza.
マイクMike
: うれしいな。Ureshi⎤i na.
Nafurahi umeipenda.
あのう、すみません。Anoo, sumimase⎤n.
Um, samahani.
忍にん
者じゃ
博はく
物ぶつ
館かん
まで、Ninja-Hakubutsu⎤kan ma⎤de,
どう行い
ったらいいですか。do⎤o itta⎤ra i⎤i de⎤su ka.
Nawezaje kufika Makumbusho ya Ninja?
通つう
行こう
人にん
Mpitanjia: この道
みち
をまっすぐ行い
ってください。Kono michi o massu⎤gu itte kudasa⎤i.
Nenda moja kwa moja kwenye barabara hii.
博はく
物ぶつ
館かん
は、左ひだり
にあります。Hakubutsu⎤kan wa, hidari ni arima⎤su.
Makumbusho yapo upande wa kushoto.
マイクMike
: わかりました。Wakarima⎤shita.
Nimeelewa.
ありがとうございます。Ari⎤gatoo gozaima⎤su.
Asante sana.
海かい
斗と
Kaito: さあ、行
い
こう!Sa⎤a, iko⎤o!
Haya, tuendelee kwenda!
Msamiati
かっこいい pendezakakkoi⎤i
うれしい furahaureshi⎤i
道み ち
barabaramichi
Mazungumzo ya leo
Ninja-Hakubutsukan made, doo ittara ii desu ka Nawezaje kufika Makumbusho ya Ninja?
©NHK WORLD-JAPAN100 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Usemi wa Msingi
忍に ん
者じ ゃ
博は く
物ぶ つ
館か ん
まで、どう行い
ったらいいですか。Ninja-Hakubutsu⎤kan ma⎤de, do⎤o itta⎤ra i⎤i de⎤su ka.
Nawezaje kufika Makumbusho ya Ninja?Kuulizia jinsi ya kufika mahali unapokwenda, sema “[mahali] made, doo ittara ii desu ka.” “Ittara” ni kitenzi kinachotokana na “iku” yaani “kwenda” katika umbo la sharti, lakini hapa, kumbuka tu usemi huo kama swali la jinsi ya kufika mahali.
Tumia!
あのう、すみません。金きん
閣かく
寺じ
まで、どう行い
ったらいいですか。Anoo, sumimase⎤n. Ki⎤nkaku-ji ma⎤de, do⎤o itta⎤ra i⎤i de⎤su ka.
101番ばん
のバスに乗の
ってください。Hyaku-ichi⎤-ban no ba⎤su ni notte kudasa⎤i.
Um, samahani. Nawezaje kufika Hekalu la Kinkakuji?Panda basi namba 101 tafadhali.
Jaribu!
あのう、すみません。~まで、どう行い
ったらいいですか。Anoo, sumimase⎤n. ~ma⎤de, do⎤o itta⎤ra i⎤i de⎤su ka.
Um, samahani. Nawezaje kufika ~?
① このホテルkono ho⎤teru
hoteli hiiteruteruteru
② 新し ん
幹か ん
線せ ん
のホームshinka⎤nsen no ho⎤omu
sehemu ya kusubiria treni ya Shinkansen
Ongeza maarifa
Maelekezo
kushoto moja kwa moja kulia pindahidari massu⎤gu migi magaru
Can-do! Kuulizia jinsi ya kufika mahali
©NHK WORLD-JAPAN 101https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Kuna njia nyingi za mabasi ya barabara kuu, na nauli zake ni nafuu. Baadhi ya njia maarufu kutoka Tokyo ni pamoja na zile zinazoelekea kwenye majiji makubwa kama Nagoya, Osaka, na Kyoto pamoja na zile zinazoelekea mlima Fuji, Hakone, na chemchemi ya majimoto ya Kusatsu.
Ukipanda basi la usiku, utaokoa muda kwa sababu basi litasafiri ukiwa umelala. Unaweza kuomba uhifadhiwe viti kupitia mtandaoni. Baadhi ya mabasi yanakupa mwanya wa kuchagua viti fulani. Mabasi ya anasa yana gharama zaidi, lakini baadhi yake yana nafasi zaidi ya sehemu ya miguu wakati mengine yanatoa vyumba vya mtu mmoja mmoja.
Basi la usiku la anasa
©Highway Bus Tokyo Station Area Bus Stop Operator ASSOC.
©WILLER©WILLER
Majibu① あのう、すみません。
このホテルまで、どう行い
ったらいいですか。Anoo, sumimase⎤n.Kono ho⎤teru ma⎤de, do⎤o itta⎤ra i⎤i de⎤su ka.
② あのう、すみません。新しん
幹かん
線せん
のホームまで、どう行い
ったらいいですか。Anoo, sumimase⎤n.Shinka⎤nsen no ho⎤omu ma⎤de, do⎤o itta⎤ra i⎤i de⎤su ka.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Mabasi ya barabara kuu
©NHK WORLD-JAPAN102 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Somo la
33 どのくらい待ま
ちますか
マイクMike
: どのくらい待ま
ちますか。Donokurai machima⎤su ka.
Nitasubiri kwa muda gani?
係かかり
員いん
1Mhudumu 1
: 15分ふん
くらいです。Juu-go-fun ku⎤rai de⎤su.
Takribani dakika 15.
マイクMike
: わかりました。Wakarima⎤shita.
Sawa.
海かい
斗と
Kaito: すごい!
Sugo⎤i!Inastaajabisha!
本ほん
物もの
の手しゅ
裏り
剣けん
だ。Honmono no shuriken da.
Silaha halisi ya ninja ya shuriken.
係かかり
員いん
2Mhudumu 2
: あの的まと
に投な
げてください。Ano mato ni na⎤gete kudasa⎤i.
Tafadhali, irushe katika shabaha ile.
マイクMike
: えい!E⎤i!
Haya!
あ、落お
ちちゃった。A, o⎤chichatta.
Oo! Imeanguka.
Msamiati
どのくらい muda ganidonokurai
待ま
つ subirima⎤tsu
~くらい takribani ~~ku⎤rai
本ほ ん
物も の
kitu halisihonmono
手しゅ
裏り
剣けん
silaha ya ninja ya shurikenshuriken
あの ileano
的ま と
shabahamato
投な
げる rushanage⎤ru
落お
ちる angukaochi⎤ru
Mazungumzo ya leo
Donokurai machimasu kaNitasubiri kwa muda gani?
©NHK WORLD-JAPAN 103https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Usemi wa Msingi
どのくらい待ま
ちますか。Donokurai machima⎤su ka
Nitasubiri kwa muda gani?Ili kuulizia kitu fulani kitachukua muda gani, tumia “donokurai,” ambacho ni kiulizi cha kuulizia urefu wa muda, umbali au kiwango. Kinatumika sambamba na “machimasu ka” (“matsu” yaani “kusubiri”) au “kakarimasu ka” (“kakaru” yaani “kuchukua”).
Tumia!
すみません。あと、どのくらいかかりますか。Sumimase⎤n. A⎤to, donokurai kakarima⎤su ka.
2にじゅっ
0分ぷん
くらいです。Nijuppun ku⎤rai de⎤su.
Samahani. Itachukua muda gani zaidi?Takribani dakika 20.
Jaribu!
どのくらい~ますか。Donokurai ~ma⎤su ka.
-ta- muda gani?
① 歩あ る
く(→歩あ る
きます)aru⎤ku (→arukima⎤su)
tembea
② もつ(→もちます)mo⎤tsu (→mochima⎤su)
dumu tembea dumu
Ongeza maarifa
Urefu wa muda
dakika5 10 15 20 30
go⎤-fun ju⎤ppun juu-go⎤-fun niju⎤ppun sanju⎤ppun
saa1 1.5 4 7 9
ichi-ji⎤kan ichi-jikan-ha⎤n yo-ji⎤kan shichi-ji⎤kan ku-ji⎤kan
Can-do! Kuulizia muda unaohitajika
©NHK WORLD-JAPAN104 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Watalii wanaweza kufurahia kujifanyia shughuli nchini Japani. Vitu maarufu ni pamoja na kuwa ninja au samurai, kujaribu kuvaa kimono, kushiriki kwenye hafla ya chai, kupanga maua au kutengeneza vitamutamu vya Kijapani.
Unaweza pia kujaribu kutengeneza baadhi ya sampuli za chakula za plastiki, ambazo ni mfano halisi wa vyakula vinavyokuwa katika sehemu ya kuoneshea sampuli za vyakula kwenye migahawa.
Na sehemu zingine zinatoa mwanya wa kukupa tajiriba ya matetemeko ya ardhi, mvua kubwa, mioto na tsunami. Utajifunza kuhusu kujiandaa na majanga.
Kuvaa kimono
Kutengeneza sampuli ya chakula
©Shichijyokansyundo©Nagominowa
©DesignPocket
Kutengeneza vitamutamu vya Kijapani
Majibu ① どのくらい歩ある
きますか。 Donokurai arukima⎤su ka.② どのくらいもちますか。 Donokurai mochima⎤su ka.
Utamaduni wa kisasa na Mike
Utalii wa kujaribu kufanya vitu wakati wa kutalii
©NHK WORLD-JAPAN 105https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Somo la
34 読よ
んだことあります
タムTam
: わあ、マンガがたくさん!Waa, manga ga takusan!
Wow, kuna vitabu vingi vya katuni za manga!
マイクMike
: タムさん、このマンガ、知し
ってる?Ta⎤mu-san, kono manga, shitteru?
Tam-san, unakifahamu kitabu hiki cha manga?
タムTam
: はい、読よ
んだことあります。Ha⎤i, yo⎤nda koto⎤ arima⎤su.
Ndiyo, nimewahi kukisoma.
マイクMike
: え? 日に
本ほん
語ご
で読よ
んだの?E? Nihongo de yo⎤nda no?
Mm? Umekisoma katika lugha ya Kijapani?
タムTam
: いえ、ベトナム語ご
です。Ie, Betonamugo de⎤su.
Hapana, nimekisoma katika lugha ya Kivietnamu.
とてもおもしろかったです。Totemo omoshiro⎤katta de⎤su.
Kilifurahisha sana.
Msamiati
マンガ mangamanga
たくさん vingitakusan
知し
って(い)る fahamushitte (i) ru
読よ
む somayo⎤mu
日に
本ほ ん
語ご
lugha ya KijapaniNihongo
いえ hapanaie
ベトナム語ご
lugha ya KivietnamuBetonamugo
とても sanatotemo
おもしろい -a kufurahishaomoshiro⎤i
Mazungumzo ya leo
Yonda koto arimasuNimewahi kukisoma.
©NHK WORLD-JAPAN106 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Usemi wa Msingi
読よ
んだことあります。Yon⎤da koto⎤ arima⎤su.
Nimewahi kukisoma.Ili kuelezea ulichokifanya, tumia “[kitenzi cha umbo la TA] + koto (ga) arimasu.” Umbo la TA la kitenzi ambacho huishia na “ta/da” linaashiria tendo limefanyika wakati uliopita au wakati timilifu. Ili kuunda umbo la TA, badili “te/de” ya kitenzi cha umbo la TE kuwa “ta/da.” (Tazama ukurasa 150-151)
Tumia!
明あ し た
日、盆ぼん
踊おど
りがありますよ。Ashita, bon-o⎤dori ga arima⎤su yo.
盆ぼん
踊おど
り、ネットで見み
たことあります。でも本ほん
物もの
は見み
たことないです。Bon-o⎤dori, netto de mi⎤ta koto⎤ arima⎤su. De⎤mo honmono wa mi⎤ta koto⎤ na⎤i de⎤su.
Kesho, kutakuwa na dansi ya Bon. Dansi ya Bon, nimewahi kuiona hiyo kwenye Intaneti. Lakini sijawahi kuiona kiuhalisia.
Jaribu!
~ことあります/ないです。~koto⎤ arima⎤su/nai⎤ de⎤su.
Nimewahi/Sijawahi ~.
① ② 沖
お き
縄な わ
Okinawa Okinawa
行い
く(→行い
った)iku (→itta)
kwenda
天て ん
ぷらtenpura
tempura
食た
べる(→食た
べた)tabe⎤ru (→ta⎤beta)
kulakula
Usemi wa ziada知
し
ってる?Shitteru?
Unafahamu?Unautumia miongoni mwa wanafamilia na marafiki. Kuuliza kwa namna ya kiungwana unasema, “Shitte masu ka.”
Can-do! Kusema ambacho umewahi kukifanya
©NHK WORLD-JAPAN 107https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
“Manga Café”
Vitabu vya katuni za manga za Japani vina aina mbalimbali za simulizi: Mapenzi, tajiriba za kijasiri, michezo, historia, fasihi na kadhalika. “Manga café” inaendeshwa kwa misingi ya muda, na ukilipia, unakuwa huru kusoma vitabu vingi vya manga kadiri upendavyo. Vyumba vya mtu mmoja mmoja mara nyingi vinakuwepo. Maeneo mengi yanatoa huduma ya bure ya runinga na intaneti. “Manga café” nyingi hutoa vinywaji bila ukomo kama vile juisi na chai.
Chumba chenye raha
Eneo la kusomea lenye nafasi kubwa
©Kaikatsu CLUB
©Kaikatsu CLUB
Kona ya vinywaji
Majibu ① 沖おき
縄なわ
、行い
ったことあります。 Okinawa, itta koto⎤ arima⎤su.② 天
てん
ぷら、食た
べたことないです。 Tenpura, ta⎤beta koto⎤ na⎤i de⎤su.
Utamaduni wa kisasa na Mike
©NHK WORLD-JAPAN108 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Somo la
35 大お お
涌わ く
谷だ に
に行い
って、黒く ろ
たまごが食た
べたいです
あやかAyaka
: 箱はこ
根ね
には1時じ
に着つ
くよ。Hakone ni⎤ wa ichi⎤-ji ni tsu⎤ku yo.
Tutafika Hakone saa saba kamili.
タムは何なに
がしたい?Ta⎤mu wa na⎤ni ga shitai?
Tam, unataka kufanya nini?
タムTam
: 大おお
涌わく
谷だに
に行い
って、Oowaku-dani ni itte,
黒くろ
たまごが食た
べたいです。kuro-ta⎤mago ga tabeta⎤i de⎤su.
Ninataka kwenda Owakudani na kula mayai meusi.
あやかさん、卵たまご
はA⎤yaka-san, tama⎤go wa
本ほん
当とう
に黒くろ
いんですか。hontoo ni kuro⎤in de⎤su ka.
Ayaka-san, mayai kweli ni meusi?
あやかAyaka
: うん。U⎤n.
Ndiyo.
でもね、黒くろ
いのは外そと
側がわ
だけ。De⎤mo ne, kuro⎤i no wa sotogawa dake⎤.
Lakini ni nje tu.
中なか
は普ふ
通つう
のゆで卵たまご
。Na⎤ka wa futsuu no yude-ta⎤mago.
Ndani ni yai la kawaida la kuchemshwa.
タムTam
: へえ。Hee.
Aah.
Msamiati
卵たまご
yaitama⎤go
黒く ろ
い -eusikuro⎤i
普ふ
通つ う
kawaidafutsuu
Mazungumzo ya leo
Oowaku-dani ni itte, kuro-tamago ga tabetai desu Ninataka kwenda Owakudani na kula mayai meusi.
©NHK WORLD-JAPAN 109https://www.nhk.or.jp/lesson/sw/
Usemi wa Msingi
大お お
涌わ く
谷だ に
に行い
って、黒く ろ
たまごが食た
べたいです。Oowaku-dani ni itte, kuro-ta⎤mago ga tabeta⎤i de⎤su.
Ninataka kwenda Owakudani na kula mayai meusi.Ili kusema mambo mawili au zaidi kwa mtiririko, yaunganishe mambo hayo kwa kutumia umbo la TE, kama kwenye “[kitenzi 1 katika umbo la TE], [kitenzi 2].” Katika usemi wa msingi, kitenzi “iku” yaani “kwenda” kimebadilishwa kuwa katika umbo la TE “itte” ili kuunganisha sentensi mbili.
Tumia!
今き ょ う
日は、どこに行い
きましたか。Kyo⎤o wa, do⎤ko ni ikima⎤shita ka.
美び
術じゅつ
館かん
に行い
って、ご飯はん
を食た
べて、それから遊ゆう
覧らん
船せん
に乗の
りました。Bijutsu⎤kan ni itte, go⎤han o ta⎤bete, sorekara yuuransen ni norima⎤shita.
Leo ulikwenda wapi?Nilikwenda kwenye makumbusho ya sanaa, nikala mlo, na kisha nikapanda usafiri wa kutalii majini.
Jaribu!
【kitenzi 1】て、(【kitenzi 2】て、) 【kitenzi 3】たいです/ました。[kitenzi 1]te, ([kitenzi 2]te,) [kitenzi 3]ta⎤i de⎤su/ma⎤shita.Ninataka/Nili [kitenzi 1], ([kitenzi 2],) [kitenzi 3].① 高
た か
尾お
山さ ん
に登の ぼ
る(→登の ぼ
って)Takao⎤-san ni noboru (→nobotte)
kupanda mlima Takao
写し ゃ
真し ん
を撮と
る(→撮と
りたいです)shashin o to⎤ru (→torita⎤i de⎤su)
kupiga picha② 渋
し ぶ
谷や
に行い
くShibuya ni iku
(→行い
って)(→itte)
kwenda Shibuya
買か
い物も の
をするkaimono o suru
(→して)(→shite)kufanya manunuzi
ご飯は ん
を食た
べるgo⎤han o tabe⎤ru
(→食た
べました)(→tabema⎤shita)kula mlo
Ongeza maarifa
Saa1:00 1:30 2:00 3:00 4:00 7:00 9:00
ichi⎤-ji ichi-ji-ha⎤n ni⎤-ji sa⎤n-ji yo⎤-ji shichi⎤-ji ku⎤-ji
Can-do! Kuelezea uliyoyafanya na utakayoyafanya kwa mtiririko
©NHK WORLD-JAPAN110 For more, visit NHK WORLD-JAPAN
Hakone ni eneo la kitalii lililopo milimani karibu mwendo wa saa moja na nusu kutoka Tokyo, ni maarufu kwa chemchemi zake za majimoto. Vivutio vingine ni pamoja na Owakudani, ambacho kina mandhari ya kipekee yaliyotokana na mlipuko wa volkano, na Hakone “Checkpoint” cha tangu enzi ya Edo.
Hakone pia ina treni ya mlimani, makumbusho mengi ya sanaa, na ziwa Ashinoko. Na kama hali ya hewa ni nzuri, unaweza kufurahia mandhari mazuri ya mlima Fuji.
Owakudani Hakone “Checkpoint”
Treni ya Hakone Tozan Mandhari ya mlima Fuji kutokea ziwa Ashinoko
Majibu ① 高たか
尾お
山さん
に登のぼ
って、写しゃ
真しん
を撮と
りたいです。 Takao⎤-san ni nobotte, shashin o torita⎤i de⎤su.② 渋
しぶ
谷や
に行い
って、買か
い物もの
をして、ご飯はん
を食た
べました。 Shibuya ni itte, kaimono o shite, go⎤han o tabema⎤shita.
Mwongozo wa safari wa Mi Ya
Hakone, eneo maarufu la kitalii lililpo jirani na Tokyo