13
SIMULIZI ZA MKA SA WA A JALI YA KILI MANJARO; MPAKA LINI WA HUSIKA WATAENDELEA KUKINGIWA KIFUA? MPAKA LINI ‘MCHEZO’ HUU WAKUENDELEA KUUWANA UTAKOMA !!!  Ajali hii ya Kilimanja ro II ya tarehe 5/1/2014 ni ya tatu kubwa katika kipindi kisichozidi miaka miwili ilio pita ajali amba zo kwa ujumla wa ke zimesababisha !i"o !ya watu na kubakisha mayatima wajane na upweke usiomithilika katika nyoyo za wananchi wa #n$uja na %emba& Ilikuwa majira ya saa 5' 42 nilipopata taari"a ya Ajali ya Kilimanjaro ii kutoka Kwa m"anyakazi mwenzan$u wa (hirika la )ima la *anzibar kwamba meli hiyo imezama ikitokea %emba& +ilipewa taar i"a hii kwa sababu miaka miwili ili yopita Aon ,a nzania -imited kwa kushirikiana na (hirika la )ima la *anzibar na mashirika men$ine tulikuwa tukizikatia baadhi ya )ima za .eli za Kampuni ya Azam .arine& Kama kawaida nilii"anyia kazi taari"a hii kwa kumuuliza mdo$o wan$u amabae naye ni mmoja wa nahodha mzoe"u wa meli& +ilikuwa na uhakika atakuwa ameshapata taari"a hizo& +aam alinijibu kuwa amepata taari"a hizo ila meli haikuwa imezama ilipata hitila"u katika moja ya injin zake na ime"ika salama katika bandari ya #n$uja& ,aari"a hizi yeye alizipata baada ya kuon$ea na +ahodha mwenzake )wana +assor Aboubakar ambae ndie aliekuwa +ahodha wa sa"ari hiyo& (ikuridhika moja kwa moja na jibu hili kwa hi!yo nili mp i$ ia mtu mwen$ ine ili an ip e ta ar i"a zaidi& +ilimpi$ ia )w ana Abdallah amad.a$arawa mkaazi wa mjini *anzibar&  Abdallah wakati huo alikuwa tayari bandarini kwani ndu$u zake wanne walikuw a wanatarajiwa kurudi kutoka %emba na meli hiyo na alishapata habari za meli hiyo tan$u saa nne ya asubuhi& .ajibu ya Abdallah ni kuwa meli ilipata msukosoko na ilimwa$a baadhi ya abiria ambao walikuwa wamekaa sehemu ya mbele& .toto mmoja kati ya wanne alishapatikana akiwa hai ila alieleza kwamba wenzake aliwaona wakichukuliwa na maji& )aba wa watoto hao )w Khamis Issa kwa wakati huo alikuwa ndani ya meli akijaribu kuwasaka ili kupata uhakika wa kilichotokea&

Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 1/13

SIMULIZI ZA MKASA WA AJALI YA KILIMANJARO; MPAKA LINI WAHUSIKA

WATAENDELEA KUKINGIWA KIFUA? MPAKA LINI ‘MCHEZO’ HUU

WAKUENDELEA KUUWANA UTAKOMA !!!

 Ajali hii ya Kilimanjaro II ya tarehe 5/1/2014 ni ya tatu kubwa katika kipindi kisichozidi

miaka miwili iliopita ajali ambazo kwa ujumla wake zimesababisha !i"o !ya watu na

kubakisha mayatima wajane na upweke usiomithilika katika nyoyo za wananchi wa

#n$uja na %emba& Ilikuwa majira ya saa 5' 42 nilipopata taari"a ya Ajali ya Kilimanjaro ii

kutoka Kwa m"anyakazi mwenzan$u wa (hirika la )ima la *anzibar kwamba meli hiyo

imezama ikitokea %emba&

+ilipewa taari"a hii kwa sababu miaka miwili iliyopita Aon ,anzania -imited kwa

kushirikiana na (hirika la )ima la *anzibar na mashirika men$ine tulikuwa tukizikatia

baadhi ya )ima za .eli za Kampuni ya Azam .arine&

Kama kawaida nilii"anyia kazi taari"a hii kwa kumuuliza mdo$o wan$u amabae naye ni

mmoja wa nahodha mzoe"u wa meli& +ilikuwa na uhakika atakuwa ameshapata taari"a

hizo& +aam alinijibu kuwa amepata taari"a hizo ila meli haikuwa imezama ilipata hitila"u

katika moja ya injin zake na ime"ika salama katika bandari ya #n$uja& ,aari"a hizi yeye

alizipata baada ya kuon$ea na +ahodha mwenzake )wana +assor Aboubakar ambaendie aliekuwa +ahodha wa sa"ari hiyo& (ikuridhika moja kwa moja na jibu hili kwa hi!yo

nilimpi$ia mtu mwen$ine ili anipe taari"a zaidi& +ilimpi$ia )wana Abdallah

amad.a$arawa mkaazi wa mjini *anzibar&

 Abdallah wakati huo alikuwa tayari bandarini kwani ndu$u zake wanne walikuwa

wanatarajiwa kurudi kutoka %emba na meli hiyo na alishapata habari za meli hiyo tan$u

saa nne ya asubuhi& .ajibu ya Abdallah ni kuwa meli ilipata msukosoko na ilimwa$a

baadhi ya abiria ambao walikuwa wamekaa sehemu ya mbele& .toto mmoja kati ya

wanne alishapatikana akiwa hai ila alieleza kwamba wenzake aliwaona wakichukuliwa

na maji& )aba wa watoto hao )w Khamis Issa kwa wakati huo alikuwa ndani ya meli

akijaribu kuwasaka ili kupata uhakika wa kilichotokea&

Page 2: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 2/13

akika tatu baadae nilipi$iwa simu nyen$ine kutoka %emba na )wana (ei" Alawi

akinipa taari"a ya mkasa huo& 3eye bila ya ki$u$umizi aliniambia kuwa watoto watatu

kati ya wanne waliokuwa sehemu ya mbele ya abiria wamezama na hakuna dalili za

kuokolewa& +adhani alikuwa anaelewa "ika udhai"u wa taasisi zetu katika kupambana

na maa"a& uwa tuko reacti!e badala ya kuwa proacti!e& Kwa aina hii ya

kupambana na majan$a tute$emea !ilio na maa"a makubwa zaidi ya haya siku chache

zijazo&

)aada ya baba ya watoto hao ku"anya uka$uzi wa abiria hakuweza kuwaona watoto

wake watatu kati ya wanne na hakukuwa na maelezo wako wapi kutoka kwa

wa"anyakazi wa kwenye meli wala o"isi ya mmiliki wa meli&

Page 3: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 3/13

BANDARINI ZANZIBAR:

ABIRIA:

.ara baada ya meli kutia nan$a abiria waliruhusiwa kushuka kama !ile hakuna kitu

chochote kilichotokea& Abiria walio"ika salama waliruhusiwa kwenda makwao kama

utaratibu wa kawaida& Kuna baadhi ya abiria wachache ambao walipata majeraha

Page 4: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 4/13

waliachwa waki$ara$ara kwenye ukumbi wa kupumzikia abiria bila ya huduma ya

kwanza&

6ananchi ambao wen$i wao walipata taari"a hizi kupitia simu zao za mikononi

walikusanyika bandarin bila ya kujua wapi watapata taari"a za jamaa zao walio"ika

salama na wale waliopotea& Ilikuwa ni hamkani& Kulikuwa na zaidi ya "amilia 17 ndani ya

bandari na wen$i zaidi walikuwa nje wakisubiri kupata taari"a za ajali na jamaa zao&

Page 5: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 5/13

KIKAO KIDOGO BANDARINI

)ahati nzuri )wana Abdallah .a$arawa .r .asoud wa .ellenium )eka .a$arawa na

Khamis Issa baba wa watoto wanne waliokuwa wakisa"iri na baadhi ya watu kwa idadi

kama watano ambao nao walikuwa mion$oni mwa waliopotelewa walibahatika kuwa

baadhi ya wananchi walioin$ia ndani ya bandari na kutoa taari"a ya kupotelewa na

ndu$u zao& Kikao hicho hakuruhusiwa mwandishi wa habari wala mpi$a picha yoyote

kuin$ia& izi zilikuwa ni dalili tosha kuwa hakukuwa na uwazi katika kutoa taari"a na

mambo yalikuwa yaki"unikwa "unikwa tu hatujui kwa niaba ya nini serikali mmiliki wa

meli au wananchi&

+i "edheha kubwa kuelezea kilichotokea ndani ya kikao hicho& 6atu wen$ine

waliokuwa ndani ya Kikao ukiachlilia mbali tuliowataja hapo juu ni pamoja na

.heshimiwa Aboubakar Khamis 6aziri wa Katiba na (heria wa (erikali ya .apinduzi

ya *anzibar akiwa na )wana mmoja mwenye asili ya ,anzania bara ambae jina lake

hatukulitambuwa ndio waliokitawala kikao hicho& Alikuwepo +ahodha 8hie" 9n$ineer

.wakilishi wa mwenye meli )wana Abdulrazak .kuru$enzi wa )andari bwana Abdi

.wakilishi wa:eshi la %olisi :eshi la 6ananchi na watendaji wen$ine washirika la

bandari&

Kikao kili$ubikwa na dharau kebehi bezo na inda kwa wamiliki wa chombo +ahodhana .heshimiwa Aboubakar wote wakiwa na msimamo mmoja tu kuwa meli

haikumwa$a abiria hata mmoja ni mizi$o tu ndio iliyoan$uka baharini& :awabu lao

wakati watu wakilalamika lilikuwa moja tu bado hamjaturidhisha hamjatushawishi na

hatujaawamini huku +ahodha akizidi kushikilia msimamo wake kuwa mizi$o tu ndio

iliomwa$ika& :azba ilitawala kwa upande wa waliopotelewa na ndu$u zao wakitaka

wapewe maelezo ya ziada ya walipo wapendwa wao ikiwa meli haikumwa$a abiria&

6aliwaona wenzao wakilichukulia hili jambo kama mzaha& +i kweli halikupewa na"asi

yake iliyostahili

+i dhahir +ahodha alikuwa ametoa taari"a ya uon$o uku akiwa chini ya mwe!uli wa

.heshimiwa Aboubabakar& +dipo baadae tulipo$unduwa kuwa +ahodha ni mtoto wa

 Aboubakar na alikuwa pale mahsusi kuja kumuhami mwanawe na sio kuwa"anyia

Page 6: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 6/13

uadili"u wananchi& Kulikuwa na m$on$ano wa kimaslahi na mezani ilian$ukia upande

wa pili& amu nzito kuliko maji& ii ilikuwa chan$amoto kubwa kwani kulikuwa na

maelezo ya abiria kuwa watu wamezama ila abiria walio"ika salama waliharakishwa

waondoke sehemu ya bandari& kuna clip ya abiria aliepona shuhuda ya dakika 4'27

)aada ya mabishano ya takriban saa moja waathiriwa waliomba wenye meli basi

an$alau wawasaidie majeruhi kuwapeleka hospital na kama bado msimamo wao ni

kuwa abiria hawakuzama waelekee .kokotoni kujiridhisha& +asema kwa shin$o

upande .heshimiwa Aboubakar +ahodha Kampuni ya Azam marine na serekali

walikubali wazo hili na kila mmoja aliyekuwepo na kwa na"asi yake walielekea

.kokotoni&

TAFSIRI YA WAATHIRIKA NA JAMII ZAO

(erikali kwa upande wake haiku"anya juhudi zozote za uokozi au kuzi"anyia kazi taari"a

hizi hata punje& 6aziri wa .awasiliano kwa kauli yake mwenyewe alipokuja kuwahani

wa"iwa siku ya :umanne tarehe 7/1/2014 alikiri kuwa walipata taari"a juu ya ajali hii

kabla ya saa nne ;';0 < 4'00 jee tumuulize baina ya saa nne hadi saa = jioni

walipookolewa abiria watatu na maiti mbili zilipookolewa '

 

Serikali ilikuwa wapi na ilifanya nini katika juhudi za uokozi na uopoaje wamaiti? 

  Mmiliki wa meli wajibu wake ni nini baada ya ajali? 

SAFARI YA KUELEKEA MKOKOTONI

.ara baada ya mkutano ambao haukuzaa jambo lolote la maana baada ya kuto"autiana

kimsimamo baina ya 6amiliki wa chombo na (erikali kwa upande mmoja na waathirika

kwa upande mwen$ine wamiliki kwa upande wao walishikilia kuwa hakuna abiria

waliozama na waathirika kwa upande wao msimamo wao ulikuwa meli ilimwa$a abiria

sa"ari ya kuelekea .kokotoni ilianza&

Kwenye majira ya saa 10 jioni tulipata taari"a kuwa kuna abiria watatu wameokolewa na

maiti mbili za watoto zimepatikana& Abiria watatu waliokololewa wanaitwa )wana +ahir 

Page 7: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 7/13

 Ali Issa Ali .aulid aji na Ally (alum Alli & awa wote watatu walikuwa na ujuzi

mkubwa wa kuo$elewa na Allah aliamua kuwahi"adhi waje wawe mashahidi kwa

kilichotokea kwa wale tu waliopenda kusikia ukweli wa kisa hichi na wale waliokuwa

wakiikadhibisha kweli kwa maslahi bina"si& 6anasimulia jinsi wali!yojiokoa na

wali!yojitahidi kuwasaidia abiria wen$ine& (imulizi za kusikitisha baharini na !isa ndani

ya meli nita!iacha kwa sasa&

KUTAMBUA MAITI HOSPITALI YA KIVUNGE

,ulipata taari"a moja ya maiti iliyoopolewa ilikuwa ni ile ya mtoto mkubwa wa kiume wa

)wana Khamis Issa wa umri wa miaka 11 Akram Khamis Issa& 3eye alitambuliwa na

kaka yake& ,ukiwa tunaelekea Ki!un$e tulipata taari"a ya kuwa kuna maiti nyen$ine ya

mtoto wa )wana Khamis Issa imepatikana hii ilikuwa ni ile ya mtoto wa kike mwenye

umri wa miaka 10 +ashirah Khamis Issa&

ospitali ya ki!un$e kulikuwa na maiti tano nne kati ya hizo zilitambuliwa na moja

haikuweza kutambuliwa& ,ulichukua maiti zetu mbili ila wenzetu wen$ine walipatwa na

"adhaa nyen$ine hawakuwa na usa"iri wala uwezo wakuchukua maiti zao kwa wakati

huo& 8hakusikitisha zaidi hakukuwa na mtu wa serikali au mmiliki wa chombo wa

kuweza kuokoa jahazi& Kazi ikaachwa kwa uon$ozi wa ospital ku"anya maari"a yakuwasaidia wa"iwa& -azima niupon$eze uon$ozi wa ospital ya Ki!un$e kwa umahiri

wao mkubwa katika kuwahudumia maiti na wale waliokuja kuchukua maiti zao& %amoja

na kuwa hawakuwa na rasilimali resources ila juhudi zao zili"icha udhai"u wao& 6akati

serikali ikishindwa kuwasaidia wananchi an$alau kuchukua maiti zao kulikuwa na watu

wakipita wakikataza taari"a za maa"a zisitoke / zisisambae kwanini juhudi hizi za

kuchuja taari"a zisitumike kwa mambo mazuri resources should ha!e been used in

$ood course instead kama za uokozi na kusaidia wa"iwa an$alau kuchukua maiti zao

kwenda kuzihi"adhi>

MAZISHI BILA YA MWAKILISHI WA SERIKALI AU MMILIKI WA CHOMBO

Kwa bahati mbaya sana nilihamia ,anzania )ara zaidi ya miaka 25 iliyopita ila niliamini

kwenye misiba ya namna hii serikali na mmiliki wa chombo siku zote huwa wako mbele

Page 8: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 8/13

katika kuwa"ariji wa"iwa alau kwa kuja kutoa pole kama si kushiriki mazishi kabisa& uu

ndio ustaarabu wa *anzibar niliouzoea& akukuwa na hata mmoja wapo kwa siku hiyo

na siku iliyo"uata& .aiti zile mbili zilizikwa siku hiyo yatukio usiku saa nne na nusu& (iku

ya pili tulihamia tena +un$wi kwa ajili ya kutambua maiti iliyobaki endapo zitapatikana&

,ulikutana karibu "amilia tano hospital ya Ki!un$e lakini hakuna maiti iliyopatikana siku

hiyo na hakukuwa na mtu yeyote wa serikalini aliyekuja kutoa maelekezo nini

kinacho"uata kwa wale waliokuwa hawakuona jamaa zao& .ambo yaliishia hi!yo hi!yo

kimya kimya&

atuku"anikiwa kupata maiti ya mtoto mmoja wa kiume wa miaka 5&

KUTEMBELEWA NA WAZIRI WA MAWASILIANO NA MAKAMO WA PILI WA RAIS

,unashukuru siku ya tatu tulipata na"asi ya kutembelewa na 6aziri wa .awasiliano

ambae alitoa udhuru kuwa alikuwa m$onjwa ila nayeye alitamani ashiriki kwenye

mazishi& #dhuru wake ulikubaliwa& .akamo wa ?ais .h (ei" (hari" amad yeye

alikuja kuwapa pole wa"iwa siku ya :umamosi&

AJALI IMEACHA MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU

1& ,ulite$emea serikali ichukue hatua mua"aka na za haraka response time marabaada ya kupata taari"a za ajali& ,aari"a zilipatikana mapema kabla ya saa nne

hatua zilianza kuchukuliwa baada ya saa saba na baada ya waathirika

kuan$usha zo$o bandarini hiyo dharura iko wapi hapo> ,unakubali +ahodha

alitoa taari"a za uon$o ila serikali iliwajibika !ipi> Kwa maoni yan$u bina"si na

mtu yeyote mwenye busara za kawaida tu hi!i si!yo serikali iliyo makini

ina!yoshu$hulikia majan$a&

2& +adhani moja ya kazi ya orodha ya abiria wanaopanda meli ni kulin$anisha na

abiria wanaoshuka hasa meli inapokuwa imekumbwa na mikasa ya namna hii&

Kwa sababu kulikuwa na muda wa kutosha kati ya +un$wi na bandari ya #n$uja

tulite$emea mara meli baada ku"un$a nan$a mao"isa wa meli bandari na idara

zinazohusika wachukue orodha ya abiria wote walioshuka& ii kwa kulin$anisha

na orodha ya abiria waliopanda tun$ejua mambo ya"uatayo'

Page 9: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 9/13

   Abiria walio"ika salama

   Abiria waliopanda meli ambao hawamo kwenye orodha ikiwa "ursa nzuri ya

kuwauliza walipandaje kwenye meli ama walitumia majina ya watu wen$ine

au walipandishwa na mabaharia kinyemela/ kienyeji

   Abiria ambao hawaku"ika salama

 Abiria ambao wasin$ehesabika ni wale tu ambao hawamo kwenye orodha na

hawakupanda meli kisheria& +adhani hawa idadi yao itakuwa ni ndo$o&

ili naamini lin$e"anyika lin$etoa mwan$a wa kutosha jinsi ya kuweka takwimu za

abiria& ili haliku"anyika& S"# "#$%&' ()(*+ , -.#)# %/# ,%0 $# $#$#?

;& ,ulite$emea kuona an$alau watu wa huduma ya kwanza pale bandarini

kuwasaidia waliopata mshituko na walioumia& Kilichotokea hakukuwa na hata

mtu mmoja wa huduma ya kwanza& .heshimiwa Aboubakar na wanzake

waliekwa ukumbi wa watu mashuhuri @I% -oun$e wakinywa kahawa na tende

wakati waathirika wakihan$aika jinsi ya kupata maiti zao na taari"a za ndu$u zao&

4& .imi nilite$emea serikali in$eratibu utaratibu wa wale wasiojiweza kuchukua au

kushu$hulikia kuta"uta maiti zao an$alau kwa kuwapatia usa"iri badala ya

kuwatelekeza kila mtu atoke ki!yake !yake& 6aathirika walisononeka sana& .tu

hukuwa na haja ya kuwa na % kujua walisoneneka kwa kiasi $ani ukian$alia

tu nyuso zao zilitosha kuona wana"adhaa ya kiwan$o $ani5& .imi siamini kama ule ustaarabu wa chini ya miaka ya mpaka 1=0Bs wa

ku"arijiana umekwisha na #n$uja imekuwa kubwa kiasi ambacho kwamba

mwenye meli hadi leo hajapata taari"a kuwa meli yake imeua& +ilite$emea

kumona siku ya pili ya msiba sio lazima yeye najua anawawakilishi wake&

+imeshan$aa kupewa jibu eti hana taari"a anate$emea taari"a zitoke

mbin$uni>

C& Kwa muundo wa meli zote sehemu ya dere!a brid$e huwa juu ili kuona mbele&

(uala linakuja ikiwa abiria waliomwa$ika walikuwa mbele je nahodha alikuwa

anaan$alia wapi>& +a je Kilimanjaro 2 haina ukubwa wa ,I,A+I8 wala DA(I( ni

meli ndo$o :e inain$ia akilini kuwa +ahodha asione mbele ya boti

Kinachotokea> i!i inawezekana dere!a wa $ari asione kinacho mwa$ika :uu ya

kioo au )onet ya $ari yake>& Kwa waliowahi kusa"iri kwa boti hizi naomba

Page 10: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 10/13

tuaan$alie muundo kisha ,uyajibu masuala hayo& +aambiwa kwenye chumba

cha +ahodha kwa kawaida hukaa watu wanne kwa kupokezana ama +ahodha

8hie" 9n$inee A) Able (eaman 9n$ine ?oom Dutlook A"isa wa zamu

nakadhalika& ebu tuambiwe wakati meli inachota maji hadi inamwa$a abiria

nani na nani walikuwa kwenye hicho chumba> apo naweza nikakubali kuwa

hawakuona watu wakimwa$a kwa sababu hakukuwa na mtuE

7& (uala kubwa linakuja hapa& :e .h Abuubakar kwanini ali"ika mapema sana mara

baada ya tukio> Alipata wapi taari"a za tukio> :e alikuja pale kwa maslahi ya nani>

 Au ndio ule msemo wa "unika kombe mwanaharamu apite>&

MWISHO:

+in$ependa kumalizia kwa mambo mawili ya"uatayo'

  ,umeshaona ajali tatu kubwa katika kipindi cha miaka miwili na tutaendelea

kuona nyen$ine nyin$i katika kipindi ki"upi kijacho jee tumeji"unza nini kutokana

na ajali hizi> Au tutaishia kuunda tume tu na kuziweka taari"a kwenye

makabrasha zikiota mwani na shi$iwashi>

  )ado nashindwa kuamini hizi aina za meli zinazotoa huduma za kwenda %emba

kama zina uwezo wa kuhimili pilikapilika za mkondo wa +un$wi& Kumbukumbu

zan$u za .@ A"rika na :amhuri baadae .@ .apindizi na .aendeleo sikupatakusikia au kuona dhahma za namna hii pamoja na meli hizo kuwa zimechakaa

sana& +aamini hizi meli za kisasa ziko kwa ajili ya kipato zaidi au maslahi kwa

wamiliki na serikali kuliko usalama na huduma kwa wananchi& %ia nina wasiwasi

na +ahodha mabaharia na masarahan$e kama huwa wana ujuzi na uzoe"u wa

kutosha wa bahari& aiyumkiniki mara baada ya ajali mabaharia wawe wa

kwanza ku!aa !i"aa !ya uokozi wakiwaacha abiria wakihan$aika& +a hata meli

ilipo"ika lile tishio la +ahodha la kuwa eti hata tia nan$a hadi abiria wa!ue !i"aa

!ya uokozi ni tukio la kuhudhunisha zaidi& (awa hii ilikuwa ni kwa ajili ya

kujihami& i!i lipo kwenye muhtasari somo la maadili ya kazi za ubaharia>

(idhaniE ili sina utaalamu nalo hata kido$o& ,uwaachie wataalamu

walichambue&

Page 11: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 11/13

Page 12: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 12/13

 Kwa kumalizia nisin$ependa kuwa mwizi wa "adhila kwa serikali yan$u ya .apinduzi

naipon$eza kwa kutimiza .iaka amsini sawa na #mri wan$u& +aamini baada ya

sherehe serikali sasa itakuwa imeshika na"asi yake na kuanza kushu$hulikia matatizo

na kero za wananchi nikiamini na hili lipo katika dondoo zake

MAPINDUZI DAIMA

Page 13: Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

8/13/2019 Mkasa Wa Kilimanjaro 2 (1)

http://slidepdf.com/reader/full/mkasa-wa-kilimanjaro-2-1 13/13

Khamis (uleiman

.saidizi wa Kion$ozi wa wa"iwa Khamis Issa F (hari"a Abdallah

Mwandishi ni mzaliwa wa Zanzibar na alipata elimu yake ya msingi na upili Zanzibar 

kabla ya kuhamia Tanzania bara baada ya kumaliza elimu yake ya juu. Ana uzoefu wa

Bima za mali za ajali wa takriban miaka 30 na amejikita zaidi kwenye Bima za Meli na

Mizigo