14
Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti--Mundarara Agosti 2017 Daley, E., Lanz, K., Mhinda, A., Driscoll, Z., Ndakaru, J., Grabham, J. na Kereri, E.

Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

  • Upload
    others

  • View
    16

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

MradiwaWOLTSTanzania

MuhtasariwaRipoti--Mundarara

Agosti2017

Daley,E.,Lanz,K.,Mhinda,A.,Driscoll,Z.,Ndakaru,J.,Grabham,J.naKereri,E.

Page 2: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

MuhtasarihuuunajumuishamatokeoyautafitiwamradiwaWOLTSTanzania–RipotiyakijijichaMundarara,Agosti2017,inapatikanakwenyetovutiambayoniwww.mokoro.co.uk/wolts.

Maandishi©TimuyaWOLTS.Pichazote©TimuyaWOLTS.

Page 3: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

1

UtafitinambinuzaMradiwaWOLTSMradiwautafitiwampangomkakatiwamudamrefuunaofanywanaMokorokwakushirikiananaHakiMadini“kutafitichangamotozausalamawaumilikiwaardhikwawanawakenchiniTanzania”.MokorokwakushirikiananaHakiMadiniTanzania,wamekuwawakitafitihaliyausalamawaumilikiwaardhikwawanawakewajamiizakifugajizinaoathiriwanauwekezajiwauchimbajimadinikupitianjiashirikishizautafitiilikubainichangamoto/vikwazombalimbalivyahakizaardhikwawanawakenamakundimaalumu.Mradi waWOLTS unalenga kutathmini njia sahihi ya kuboresha usawawakijinsiakatikaumilikinausimamiziwahakizaardhiilikulindahakizaumilikiwaardhikwamakundimaalumu dhidi ya vikwazo/changamoto katika jamii husika pamoja na kusaidia jamii kwa ujumlakuhimilichangamotojuuyaardhinamaliasilizao(angaliatovutiyetuwww.mokoro.co.uk/wolts/).

MuhtasarihuuunashirikishamatokeoyautafitiwetukatikaKijijichaMundararauliofanyikakatiyaSeptemba 2016 na Februari 2017, ikiwa ni pamoja na ziara za awali, utafiti wa awali na utafitishirikishi. Tunawashukuruwatuwotewa kijiji chaMundarara kwa ushirki na ukarimuwaowakatiwotewautafitinamsaadamkubwatuliopewanaHalmashauriyaWilayayaLongido.

Utafiti wa awali uliohusisha asilimia kumi (10%) ya nyumba katika vitongoji vyote vya kijiji chaMundararaulifanyikaOktoba2016.Utafiti huoulihusishanyumba71 kati yahizo 57 zilichaguliwabilakuzingatia sifamaalumunanyumba14zilikuwanyumbazinazoongozwanawanawake. Hivyo80% ya jumla ya sampuli ya utafiti ilichaguliwa bila kuzingatia sifa maalumu (ikihusisha kaya 50zinazoongozwa na wanaume na saba zinazoongozwa na wanawake) wakati 20% ilikusudiwa ziwekayazinazoongozwanawanawake(kaya14).Hilililifanyikailikuongezaidadiyakayazinazoongozwana wanawake katika utafiti ili kuibuamasuala muhimu ya kijinsia namakundi maalumu. Taarifakutoka kaya 14 zinazoongozwa na wanawake zimehusishwa ili kulinganisha uchambuzi na kayazinazoongozwanawanaumenasiyouchambuziwajumlawautafiti.

AwamuyautafitishirikishiilikuwaFebruari2017nailihusishamajadilianoyamakundilengwa13namahojiano ya watu binafsi 12 na kufanya jumla ya watu 92. Makundi tofauti ya kijamii na watubinafsi walichaguliwa mahususi kwa majadiliano na mahojiano ili kuakisi tabia na masualayanayodhaniwa kuwamuhimu kuchunguzwa zaidi baada ya uchambuziwa taarifa zamatokeowautafitiwaawali(Mfano:wajane,wachimbaji,waliokwenyendoayamkemmoja,waliokwenyendoayawakewengi,n.k).Majadilianoyamakundilengwayaliundwakwakuzingatiaviwangovyamazoezishirikishi(yakihusishamaliasilinamisimuyakuhamahama,uchambuziwakazizamsimu,uchambuziwawadaunaushirikianobainayataasisimbalimbali).Mahojianoyawasifuyaliongozwanamuundowamaswaliambayoyalifumwakutokananahalizawahojiwabinafsiilikusaidiakufahamumaishayawatunanamnaambavyomahusianoyakijinsianaupatikanajiwarasilimalimbalimbaliulivyobadilikatangu utotoni. Majadiliano ya makundi lengwa yote na mahojiano ya watu binafsi yalihusishamajadilianohurupia.Utafitiwamradi ulihusishamahojianona viongozimbalimbaliwa serikali zamitaapamojanawawakilishikutokabaadhiyakampunizauchimbajinamashirikayanayofanyakaziMundarara.

EneonaidadiyawatuKijiji chaMundarara kipo katika kata yaMundarara wilayani Longido,mkoawa Arusha, kaskazinimwaTanzania.MjiwakaribunimjimdogowaLongidoambaoupoumbaliwakilometa33masharikivikiunganishwanabarabaramojatuyavumbi.Hapandipoyalipomakaomakuuyawilayaambayoyako chini yaMlima Longido kandokando ya barabara kuu itokayo Arusha (takribani kilometa 82kusini)kwendaNamanga(takribanikilometa28kaskazini)mpakanimwaKenyanaTanzania.Hakunataarifa za ukubwawa eneo laMundarara zilizo patikana; eneo la kijiji lilitambulika kutumiwa kwashughuli kuu mbili za kujipatia kipato ambazo ni ufugaji, na kilimo japo kwa kiwango kidogo.Mundarara ipo umbali wa kilometa 100 tu kutoka eneo maarufu ulimwenguni la Uhifadhi waNgorongoroKretanawanyamaporihuonekanadhahirikatikaeneolotelakijijiambalobaadhi lipo

Page 4: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

2

ndani ya Eneo Tengefu laWanyamapori; wilaya pia inahusisha Eneo Tengefu la Uwindaji la ZiwaNatron. Kufuatia taarifa zaOfisi zaMadini Kanda (Arusha)mnamo tarehe 11Octoba 2016, leseninane (8) za uchimbajiwamadini ya vito (Rubi) katika eneo laMundarara zilitolewa ingawa lesenimojatundiyoilikuainafanyashughulizauchimbajiwakatiwautafitihuu.

Mundarara ni kijiji wanachoishi Wamaasai kwa makundi yaliyo tawanyika. Watu katika maeneotofautiwanaishipamojakimilakatikamaboma(maeneoyenyemakazi/nyumbakadhaanamaeneoyakuchungamifugoyaliyozungushiwavichakavyamiba),ambayoyanawezakuwananyumbahadi20amazaidi.Idadiyawatukatikakijijiilikua4,857waliokuawakiishikatikanyumba701hadikufikiatarehe12Octoba2016.

Asilimiakuminambili(12%)yakayazilizochaguliwabilakuzingatiavigezomaalumuwakatiwautafitiwa awali zilikuwa ni kaya zinazoongozwa na wanawake. Kurejea kwenye mapendekezo haya,angalaukaya84zaMundararazilikuwazikiongozwanawanawakewakatiwautafitiwetu.Takwimuzautafitiwetupiazinaonyeshakuwaangalau54%ya idadiyawatuwalikuwawatoto(wenyeumriwamiaka18auchini),angalau4%walikuwawazee(wenyeumriwamiaka65auzaidi),na37%tuwalikuwa kwenye umri wa kufanya kazi (wenye umri wa miaka 19 hadi 64). Angalau 74% yawanakayakutokakwenyesampuliyawaliohojiwabilakuzingatiavigezomaalumuwalikuwachiniyaumriwamiaka35,matokeoambayonisawanawastaniwakitaifa.JamiiyaMundararakwaasilimiakubwainaundwanakabilamojatulaWamasai.Ukristondiyodini inayoongoza,nakunawachachewanaofuataimanizajadi.

MawasilianonimagumuMundararanzima, ingawabaadhi yamaeneoya kijijiwanatumia simu zamkononi. Kutokana na kijiji kutawanyika sana, njia/mapitio ni chache sana, barabara ziko chache,hivyohufanyakusafirindaniyakijijikuwangumunazaidiwakatiwamasika(mvua)ambapobaadhiyamitohaivukikinawanyamawakaliwanakuwawengipia.

HistoriayahivikaribuniyamabadilikoyauchuminaidadiyawatuKijiji chaMundarara kimepanuka sana ndani yamiongomitatu iliyopita tangu kuanzishwa kwakekikiwanaidadindogoyajamiizawafugajiwakimasaiwaliokuwawakiishikuzungukamgodimkuuwaRubikwenyeeneoambalokwasasandiyomakaomakuuyakijiji.Kablayakuanzishwakwavijijivyaujamaamwaka1974,kulikuanamakazimachacheyaliyokuwayametawanyikanawenyejiwamasaiwalifanyaufugajiwakuhamahamakwenyeeneohilo.Wakatiwakuanzishwakwavijiji vyaujamaa,mipakayakijijiiliwekwanakutambuliwanakuhamiarasmikwenyekijijikuliwezekanakwaruhusayauongoziwakijiji.Kamamatokeo, jamiinyingizilijengamakaziyakudumu(maboma)na ufugajiwakuhamahamaukawa niwamsimu tu; familia nyingi ziliacha kuhamahamapamoja na badala yakewanaumewaliendakuchungang’ombewakatiwakiangazinawanawakenawatotowalibakikijijinimwaka mzima. Tabia hii ilichochewa na uanzishwaji wa Elimu ya Awali kwa Walioikosa (UPE)kwanziamwaka1977.

Kupunguakwaufugajiwakuhamahamaulipelekeaongezekolaidadiyawatunakupanukakwaeneolamakazi katika kijiji chaMundarara kwanziamiaka ya1970. TanguuchumiwaTanzaniaufunguemilangokwaubinafsishajikwenyemiakaya1980,uchimbajikatikaeneolaMundararaulianzazaidinakupelekeakuhamiakwawafanyakaziwaliokujakufanyakazikwenyemgodiwakijijj.Ongezekolaidadiyawatunakukuakwauchimbajiwamadininashughulizinazoambatanazimezidikuongezekahadileohii.

MaishanamahusianoyaKijinsia

Ndoanahaliyafamilia

Sehemukubwayaainazandoanizakimilakamailivyoonekanakwenyeutafitiwetuwaawali,ikiwaasilimia 54 (54%) ya ndoa hizo ni zawakewengi, lakiniwaume zaowaliandikishwa kwenye senza

Page 5: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

3

kuwanimkuuwakayayamkemwingine.Tulidhanikuwainawezekana,hatahivyo,baadhiyawakuuwakayawanawakewalitengwanawaumezao,nahivyowakawakwenyemazingiramagumu,lakinihawakusemahivyowazikutokananaunyanyapaakuhusukujitenganakupewatalaka.Haliyandoaimebadilikasanahivikaribunakuwa“ndoazaupendo”ambapovijanawadogowanaamuaninaninaliniwataoana. Hata hivyo, aina ya ‘ndoa ya upendo' ilijikita kwenye dini zaidi (Kikristo)yamke namumemmoja,lakinisualalakulipamaharikwafamiliayamwanamkelilibakipalepale.

Elimu

Kiwangochaelimukilionekanakuwakidogosana, ikiwanaidadindogoyawanaumenawanawakewalioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule yamsingi. Ilionekana kuwawanawakewengiwalishindwakumalizaelimuyashuleyamsingiukilinganishanawanaumenapiawanawakewengiwaliacha shule kutokana na kile kilichoelezwa kuwa ni matokeo ya jamii kutothamini elimu kwamtoto wa kike likihusishwa na suala zima la wasichana wadogo kuozwa na wazazi waomapemakwenye umri wa miaka 13 au 14 ili wasiandikishwe shuleni. Kiwango cha chini cha elimu kwawanaume na wanawake ni kutokana na watu wengi kutosoma (kuacha shule) kwasababuwalilazimikakuhamishamifugokablanabaadayauanzishwajiwavijiji.

Utajirinaumaskini

Makazimengiyalikuwayakiasilinanyumbazilijengwakwanakuezekwakwamatopeaumajani;nibaadhituyawatuwalijenganyumbazakisasakwakutumiamatofalihasaMundararakijijini(mjini),nyumbazilizoezekwakwamabatinavigaezilikuwanichache.Hakunatofautikubwakwenyeuborawamajengo kati ya kaya zinazoongozwa nawanaume na zile zinazoongozwa nawanawake. Kayanyingi hazikuwa na umeme na chache zilizokuwa nao ni kaya zinazoongozwa na wanaume. Kayanyingi zinazoongozwanawanawake zilikuwanaumemewa jua. Kayanyingi zilikuwa zinategemeatochizabetrina/autaazachemlikwaajiliyamwanga.

Kwamwakamzima, chanzokikuu chamaji kilikuwani kutokakwenyevisimavyakaribu, ambavyohutumikanajamiinzimakwakushirikianoaukulipia.Baadhiyakayawanapatamajikutokakwenyevisimavyakinakifupiambavyowakatimwinginewanapaswakulipia iliwatumieaukutokakwenyevisimavifupivyamaji.Maranyingikayazinazoongozwanawanaumewanapatamajikutokavisimavinavyotumiwana jamii zaidi kulikokaya zinazoongozwanawanawake.Kuna idadi kubwa zaidi yakaya zinazoongozwa na wanawake ambazo wanapata maji kutoka visima vya kulipia, wakielezeamatatizo ya ugumuwa kupatamaji kwa kaya zinazoongozwanawanawakemasikini. Kaya nyingihazikuwa na vyoo, namara chache katika kaya zinazoongozwa na wanaume wanaweza kuwa nachookimoja.

Punda ndiwo walikua nyenzo kuu ya usafiri. Nyenzo kuu ya usafiri wa kisasa ilikua ni pikipiki yamatairimawili.Kunatofautikubwasanayakijinsiakwenyesualazimalaumilikiwanyenzozotezausafiri, taarifa iliyotokana na utafiti wa awali ilieleza kwamba 20% ya kaya zinazoongozwa nawanaumewaliripoti kuwa na usafiri wa pikipiki wakati ni kayamoja tu kati ya zinazoongozwa nawanawakewaliripotikuwanapikipikiyamatairimawili.Takribantheluthimbiliyakayazasampuliyawahojiwabilakuzingatiasifamaalumukwenyeutafitiwetuwaawaliwalikuwanasimuzamkononi,21%walikuwanarediona7%walikuwanaruninga.Kumekuweponatofautikubwayakijinsiakatiyaumilikiwamalikwenyekayazinazoongozwanawanawakenazilezinazoongozwanawanaume,idadikubwayakayazinazoongozwanawanawakehazikuwanasimu,rediowalaruningaukilinganishanakayazinazoongozwanawanaume.

Kwaujumla, taarifa za utafitiwetuwa awali juu yamakazi na vifaa, upatikanajiwaumeme,maji,usafi wa mazingira na usafiri, na umiliki wa mali fulani ilionyesha dalili za viwango vya juu vyaumasikini kwenye kaya zinazoongozwa na wanawake. Hii ilidhihirishwa na matokeo ya utafitishirikishiambayoyalifafanuamaeneoyenyechangamotokwawanawake.

Page 6: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

4

Vyanzovikuuvyakujipatiakipato

Karibukayazotewanajihusishanaufugajiwajadikamashughuliyaokuuyakuishi/kujipatiakipato.Zaidi ya nusu ya wale tuliohojiwa walikuwa wanategemea chanzo kimoja tu cha mapato katikakipindi cha miezi 12 iliyopita na wengine wote walikuwa wanategemea vyanzo viwili tu. Kayazinazoongozwa na wanaume zina uwezekano wa kuwa na vyanzo viwili vya mapato na kayazinazoongozwanawanawakewalikuwana uwezekanowa kuwana chanzo kimoja tu. Kaya nyingiziliripoti ufugaji kama chanzo kikuu chamapato katika kipindi chamiezi 12 iliyopita, ikifuatiwanabaadhi yawatu kujihusishanamadini, ikiwani pamojanabiashara yamadini (udalali), kukusanyakutokakwenyemabakiyamchanga,pamojanauchimbajiwamadiniyenyewe. Ilionekanakwambakayanyingiwalikuwawakijihusishanamadinilakinihaikuwawaziwakatiwautafitiwaawali.

Ufugaji

Karibukayazotewakatiwautafitiwetuwaliripotikwambawalikuwawakitumiamifugoyaokwaajiliya kukimu maisha yao ya kila siku, ikilinganishwa na 40% tu ambao walisema kuwa walikuwawakiuza mifugo hai. Ufugaji wamifugo una umuhimumkubwa kitamaduni, na mifugo hutumiwakama utajiriwa jadi/kimila katika kulipiamahari.Watuwengi huuzamifugo pale tu inapohitajika,wakati wa ukame au shida, badala ya kufugwa hasa kwa ajili ya kuzalisha fedha. Kinyume chake,ikiwa fedha itapatikana kutoka vyanzo vingine kama vile madini au kilimo, basi hakutakuwa nasababuyakuuzamifugo.

Mgawanyowakazinamajukumukwakuzingatiajinsianaumriulionekanadhahiri.Shughuli/kazizawanawake ni kukamua, kutunza mifugo dhaifu na wagonjwa, na wanaume wanahusika nakuwanywesha majimifugo,kuhamishamifugopamojanakuchinjana kuuzamifugo.Mgawanyikohuuwoteulikuwepopiakatikakayazinazoongozwanawanawake;wavulanawalikuwanawajibuwakuchunga mifugo, na kwenye kaya 12 za ziada zinazoongozwa na wanawake ambapo watotowakiumeaunduguwakaribuwakiumewalihusikakatikakuchinja,kuuzanakununuamifugohai.

Kimila wanawake hawahusiki sana katika ufugaji tofauti ilivyo sasa, wanawake walianza kushirikizaidimiaka30iliyopita,kwakuwawatotowakiumewameandikishwashulenikwakiwangokikubwa(hivyo ilipunguza uwepo wao kwa ajili ya kuchunga mifugo wakati wa shule). Ilionekana kuwawanawake wengi walijihusisha zaidi na ufugaji tokea mwaka 2000, kwa sababu ya watoto wotekuandikishwa shuleni jambo lililowafanyawanaumewawenanjiambadalayamaisha.Hatahivyo,majukumumbalimbaliyaufugaji,ilibakikuwachiniyamaamuziyawanaume.

MabadilikoyaMaisha

Ingawa hakuna kaya iliripoti kilimo chamazao kama chanzo kikuu chamapato katika kipindi chamiezi 12 iliyopita, tulijifunza kupitia majadiliano na makundi na mahojiano ya watu binafsi kuwakilimochamazaokilipewakipaumbelemiaka20iliyopitakamanjiayakukabiliananaupungufuwaardhiyamalishonahivyokukawepohajayakuwananjiambalimbali zakujikimukimaisha.Kilimosasakinachukuliwakamachanzomuhimuchachakulachakayanainachangiakipatochakayaikiwamazaoyatauzwa. Lakini kilimohakitegemewi sanakutokananaukamewahivi karibuni;baadhi yawashirikiwalisemahawakulimamashambayaokwamiakasitailiyopitanabaadhiyawatuwalielezeakunufaika na kilimo/mazao katika kipindi cha miaka mitatu hadi mitano kabla ya utafiti. Ingawahakuna mtu anajihusisha na kilimo, ilionekana wazi kuwepo na utofauti mkubwa wa kijinsiakuhusiana na hilo. Wanaume walionekana wakihusika zaidi kwenye kilimo, kupanda/kuotesha nakupalilia. Iliripotiwa kuwawanavuna pamoja, ingawawanawake wanaonekana kufanya kazi zaidi;wanawake wengi walisema kuwa baada ya mavuno, mazao yote yanamilikiwa na wanaume nawanawakewalikuwawakipewamahindikidogotuyakusagakwaajilichakulachawatoto.

Mwenendo/hajayakuwananjiambadalawamaishambalinanjiazakimila(ufugaji)tuulionekanadhahiri. Uchimbaji wa madini ulileta fursa mpya kwa jinsia zote mbili na kwamba wanawake nawanaume wanajihusisha na biashara ndogondogo.Wakati huo huo, ukame wa muda mrefu kwa

Page 7: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

5

miaka ya hivi karibuni ulionesha changamoto ya maisha ya kawaida, na watu wengi sasawanategemeazaidikipatokutokananashughulizinazohusiananamadiniwakatikilimokinapoteanauborawamalishounapoteapiakutokananaukosefuwamvuanakuongezekakwaidadiyawatunamifugo.Hiiinachangiamazingirayamigogorojuuyamadininamalishonapiawanawakekulemewazaidinamajukumukamavilemgawanyowamajukumukijinsiautakavyokuwambayazaidi.

Mahusianoyakijinsia

Kamailivyoonekana,kumekuweponataratibuzakimilanakidesturijuuyamgawanyowamajukumukwa kuzingatia jinsia kwenye kaya za Wamasai, huku wanawake wakionekana kuhusika zaidi namajukumu ya nyumbani ndani na nje ya boma. Maamuzi ndani ya kaya, ikiwa ni pamoja namgawanyo wa shughuli/majukumu ya kila siku kuhusu ufugaji na kilimo chamazao hufanywa nawanaume.Hatahivyo,mabadilikokidogoyanaletwana'ndoazaupendo'(ingawabadonichache)nakwenyendoazamume/mkemmoja,nahiihuendanikwasababuyakuhubiriwamakanisani juuyahakizamwanamke.Wanawakenawanaumewaliokokwenyendoayamke/mumemmojawaliripotikuwaangalaumkeanahusishwanahushaurianakatikamaamuziyakaya.

Mtazamo wa kuongezeka kwa utajiri kutokana na kuwa na mifugo wengi zaidi ulionekana kuwasababumojawapoyawanaumekuoawakewengi,kwanikuwanawakewengiinawasaidiawanaumekuwanawafanyakaziwengi zaidi kutunzamifugoyaonakushirikianakazi/majukumumbalimbali.Hatahivyowanawakewengiwaliokwenyendoayawakewengiwaliripotikuwakiuhalisiamgawanyowa majukumu kati ya wake wenza haulingani kutokana na kile kilichadaiwa kuwa mumeanamppendelea mke mmoja (mara nyingi yule mdogo wa mwisho kuolewa) jambo ambalolimeonekanakusababishamigogorokatiyawakewenzahao.

Majukumuyawanawakeyameendeleakuongezekamaradufukutokananasualazimalakujihusishana njia mbadala ya kujipatia kipato: wanahusika kwenye uchungaji wa mifugo na wakati huowanawajibika na majukumu ya kaya. Wakati ilionekana kuwa wana maamuzi juu ya fedhawanazopata kutokana na kujihusisha na shughuli za kujipatia kipato, kiuhalisia hili liliwezekana tukama fedha iliyopatika ni kiasi kidogo sana cha fedha na kwamba wanawake walipaswa kutumiafedhahiyokwaajili ya familianzimana siyokwaajili yaowenyewe,hasakwaajili yawatoto,adaama mahitaji mengine. Katika kaya nyingi walio kwenye ndoa hapakuwa na wanawake waliodaikupata fedha katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, hii imewafanya wanawake kwenye kayakulazimikakuwategemeawaumezaokwaajiliyamahitajiyaoyakifedhayakilasiku.

Ukosefu wa rasilimali fedha ilionekana kuwa moja ya changamoto kubwa kwa wanawake kwaujumla. Ingawa inaonekanakwambanduguwakiumewawanawake,hasawatotowaowakiume,waliwasaidiamaranyingi sananakuendeleakuwasaidiakatikamaishayaoyote, lakiniukosefuwavitega uchumi na ulinzi wa mgawanyo huru, na utegemezi wao wa kiuchumi kwa wanaume,vimeongeza ugumu kwao kuachana na waume zao pamoja na unyanyapaa juu ya kutengana natalaka; pia hali hiyo ilisaidia kufafanua sababu za wanawake wajane kuwa kwenye kundi la watuwaliokwenyemazingiramagumuzaidi,hasawakiwanawatotowasionarasilimalizakutoshanabilamsaadawakutosha.

Wakati wanawake wengi walilalamikia suala lamajukumumengi waliyonayo, unyanyasaji wa kilasikunaukosefuwavitegauchumi/mali,ushirikifinyukwenyesiasa;niwanaumewachachetundiwowaliokubaliananahaya.

UchimbajiMundararaUwepo wa madini ya rubi Mundarara umetoa fursa muhimu kwa wanajamii wanaojitahidikujihusisha na njiambadala za kipato, na ilionekana kuwa kila kaya kwanamnamoja au nyingineinajihusishanamadini.

Page 8: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

6

Makampuniyauchimbajimadini

Kwamiakayahivikaribu,kampunimbili zamadinizimekuwazikifanyakaziyauchimbajiwaruby.MundararaRubyMiningCompany(MRMC),inahistoriandefu;Wadauwasasakatikakampunihiyoni Serikali ya Tanzania, mmiliki wa leseni ya eneo la MRMC na Mwendeshaji. waendeshajiwamekuwa wakibadilika mara kwa mara; waendeshaji wa sasa wamedumu kwa miaka mitano.Kampuni ya pili, ni Paradiso Minerals, hii ilianzishwa na mkurugenzi wa zamani wa kampuni yaMundararaRubyMining(MRMC)kwatakribanmiakaminnekablayautafitiwetuMundarara.Iliachakufanyakazikwasababuyamigogoronawanakijijinailikuwakatikamchakatowakujenganyumbazawalimuilikurudishauhusianoboranajamii.KampuniyatatuniMundararaVillageRubyMine.Hiiilianzishwanaserikaliyakijijimwaka2009nakuanzakufanyakazimwaka2010kwaushirikianonamwekezajiwaKiarabulakiniilisimamakufanyakazimwaka2015.KampunihiiikochiniyaSTAMICO,chombo kilichoundwa na serikali ili kusaidia wachimbaji wadogo. Kampuni ya kijiji ilikodisha kwawaendeshajibinafsiambaowalipaswakuipaserikaliyakijijiasilimiafulaniyafaidayao,najengolaofisi ya kijiji na vyoovilijengwakwamapatokutokananamadini ya kampuni ya kijiji. Hatahivyo,haikufanyakazimiakamiwiliiliyopitakablayautafitiwetukutokananakukosekanakwawawekezajiwenyemitajiyakutosha.

Mchangowamadinikwaustawiwa/maishayajamii

Kazi

Wahojiwawamakundi nawatubinafsiwakatiwautafitiwetu, ambaoni pamojanawatu kadhaawanaojihusishamojakwamojakwenyeuchimbajimadinikatikakampuniyaMRMC,walilalamikajuuyamishaharamidogona kuhusuucheleweshajiwamaliponamazingiramagumuya kufanya kazi;kwaujumlawanaonakuwakunahajayakuboreshamazingirayakazinakutakakupewakazizaidi,ikiwanipamojanaajirakatikanafasizajuuzausimamizi.Kulikuwanamalalamikokuhusuuwepowawafanyakaziwengikutokanjeyakijijinahivyokuwangumuzaidikwawatuwandani/jamiikupatakazikwenyekampunihii;waombajiwalipaswakupitiaserikaliyakijiji ilikupendekezwaaukujaribukupata kazimoja kwamoja kwenye kampuni kwa kutoa rushwa. Hata hivyo, wakatiMRMC ilikirikuwaasilimia50yawafanyakaziwakewanatokanje (wenyeujuzinauzoefuwamadini), kampunihiyo imesemakuwahuchukuwawatu40wa jamiiyaMundararawasiojuakusomanakuandikanakuwafundisha kazi, ikiwa ni pamoja na asilimia 50 ya wasimamizi.MRMC haijawaajiri wanawake,mojayasababunikilekinachodaiwakuwahawawezikufanyakazihiyo,nasababuyapilinimadaikwambani ilikuzuiaubakajinaunyanyasajidhidiyawanawakeambaowangewezakupewakazizaofisiauzanyumbani.Wafanyakaziwotewanaoishindaniyaeneolamgodihawaruhusiwikutokanjenawanawakekutokanjehawaruhusiwikuingiandani.

UchambuziwamadinikutokakwenyemabakiyamchanganabiasharayaMadini

Kulikuwanamgawanyowaziwamajukumukijinsiakwenyeuchimbajimadinipamojanashughulizazinazohusiana; wanawake wengi wanaokota madini kutoka kwenye mabaki ya mchanga nawachachewaotundiwowanaohusikakatikabiasharayamadininaudalali.Kilasiku,wanawakenawanaumewanaendakuokotamadinikutokakwenyemabakiyamchangaunaotolewanakampuniyaMRMC; wanachukuwa mawe yanayoonekana kuwa na madini ndani yake na kujaribu kuwauziamadalali wakubwa wa kiume kijijini. Watu wengi wanaojishughulisha na kazi hii hawafahamuthamaniyamadiniwanayopatanahivyohudanganywa.Wanawakewanapatakiasikidogozaidichafedha wanapouza madini waliyookota. Kwa upande mwingine, uchakataji na biashara ya madinivinaonekanakuwana faidakubwa inayowanufaisha zaidimatajirinawotewalionamahusianonamasoko makubwa na hivyo inawaongezea utajiri na mali. Pia kumekuwepo na migogoroinayohusiananautoajiwamadini kutokananakwambawatuwotewanagombania rasilimali finyuinayopatikana na wanawake walikuwa wananyanyaswa na kudhalilishwa. Watu wengine piawanadhanikwambakampuniyaMRMC ilikuwa inawadanganyakwakutoamchangaambaohauna

Page 9: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

7

madinindaniyake,lakinihiiilifafanuliwanawaendeshajiwakampunikuwanikutokananakushukaaukutokuwepokwauzalishajikwenyekampuni.

AtharizaUchimbajiMadini

Palionekana kuwa na hisia kinzani baina ya watu katika kijiji cha Mundarara juu ya madhara yauchimbaji kwao na kwa kijiji. Ingawa wengine walifurahia faida za kifedha, wengine wanaonakwambamigogoroinayohusiananamadiniambayopiailisababishavifovyawatunakupotezaardhiimepelekeahasarakwajamii.Hatahivyo,niwazikwambamadinihayoyamechangiasanakuboreshamaishayawatu,kwamfanowakatiwautafitiwetutulionamajengomengimapyayaliyoongezeka.Watuwengipiawalisemakuwawangependakuonamahusianomazurizaidikatiyamakampuniyauchimbajimadini nawanakijiji kwanjia yamikutano, kuboreshamazingira ya kazi namiradi halisimbalimbaliyakijamii.

Ilikuwa ni vigumu kufahamu kamamaendeleo ya uchimbaji madini yatakuwa tishio kwa ardhi yawatuwaMundararakwamiakaijayokutokananauchimbajimadinikuwawakiwangokidogowakatiwautafitiwetu.Hakunakampuninyingi/wawekezajihawajajitokezakuwekezazaidihukoMundararaili kuendeleza uchimbaji. Ilionekana pia kuwa watu wa Mundarara walitaka kupata faida zaidikutokananamadiniyarubi,hivyowakaamuakuanzishamgodiwakijiji.KitendochaMakampuniyamadinikuchukuamashambanamaeneoyamalisho,naukosefuwavyetivyakimilavyaumilikiwaardhi, pamoja na migogoro ya mara kwa mara na unyanyasaji unaosababishwa na madini, yoteyanapelekea hofu na wasiwasi kwa watu wengi wa eneo hilo. Hata hivyo umuhimu wa madinikwenye kaya nyingi unaonekana pale tu kilimo kinapoathiriwa na ukame pamoja na changamotokatikaufugaji.Imethibitikakuwamchangowamadininimzurinanikipaumbelekwawatuwengi.

Utaratibunampangowaugawajiwaardhi

WanyamaporinaMpangowaMatumiziBorayaArdhi

Kama ilivyoelezwa huko juu,Mundarara ilikuwa sehemu ya Eneo la Usimamizi waWanyama Pori(WMA),naangalaukampunimojayauwindaji ilifanyakazikatikaeneohilowakatiwautafitiwetu;mashambulizi ya wanyamapori yaliripotiwa kuwa ni ya mara chache sana. Mpango waMatumiziBorayaArdhiyaKijiji(VLUP)ulianzishwaMundararamwaka2012,sehemuyampangowamatumizibora ya ardhi ni ili kupunguza migogoro kati ya wafugaji na wanyamapori. Ndani ya mpangomatumizi bora ya ardhi (VLUP), unaonesha kuwa ardhi yote ya kijiji imepangiwa matumizimbalimbali,ikiwanipamojanakilimo,ufugajinamakazi,piaimetengamaeneoyamisitunamadini,ingawa rasilimali kama vile kuni zinaweza kukusanywa na watu bila malipo kwenye eneo lolote.Watuwengiwalielezeawasiwasiwaojuuyaudogowaardhiiliyosaliakwaajiliyakuendelezamakazinakilimo.Hatahivyo,inaonekanawazikwambampangowamatumiziborayaardhi(VLUP)unalengahasa (na muhimu zaidi) kwa wafugaji kwa ajili ya kuweza kulinda na kusimamia ardhi yamalisho/kufugia.

Usimamiziwaardhinamitazamokuhususheria

Kablayauanzishwajiwavijiji,ardhihukoMundararailikuwakubwanailisimamiwakwanjiazakimilazaidi.Hatahivyo,ujiowataasisizakisheriaumekujananguvuzaidikuzidinjiazakimila.Mashambanamaeneoyamakazisasayanasimamiwanakanunizakisherianayeyoteanayetakaainayoyoteyaardhiatatakiwakuombakwakupitiaserikaliyakijiji.Eneolamalisholinasimamiwakwaushirikianokati ya serikali ya kijiji na Ilaigwanak ambayo ni halmashauri ya kimila ya Wamasai pamoja namaelekezoyaliyokokwenyempangowamatumiziborayaardhi.

Uamuzi wa jamii kwa ujumla katika kijiji cha Mundarara unatawaliwa na wanaume na takribanviongoziwotewaserikaliyamtaaambaowakokisherianiwanaume.Wanawakewachachewalioko

Page 10: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

8

kwenye serikali ya Kijiji (kama inavyotakiwa kisheria) kwa ujumla hawatambuliwi na wanawakewenzaokamawenyemsaadakwao.

Uelewa wa jamii kuhusu sheria za Tanzania juu ya umiliki na usimamizi wa ardhi unakanganywasana, ikiwa ni pamoja na uelewamdogowa sheria kwa ujumla namitazamo hasi kuhusu haki zaardhikwawanawakenahakizaumilikiwamadini.

Upatikanajiwaardhiyamakazinamashamba

Kihistoriawatuwalijichukuliatukiasichaardhiyoyotewaliyoitakakwaajiliyamakazinamashamba.Hatahivyo,kutokananakuongezekakwaidadiyawatu,nathamaniyaardhikuendeleakuongezeka,imekuwa vigumu kujichukulia eneo la ardhi bila kufuata utaratibu wa kisheria. Malalamikoyalielekezwakwenyeucheleweshwajiwamchakatowakupewaardhi,kuwepokwahajayakufuatiliamara kwamara, naugumuwawatumasikini kupata ardhi. Kukosaufafanuzi kuhusu hali halisi nakiasichaadakinachohitajikakulipwa ilikupataardhi,wasiwasimkubwanikwambaupatikanajiwaardhi kwa kufuata utaratibu wa kisheria hasa kwa watumasikini na wanawake, wanaweza kuwakwenyehatariyamsukumowakulipa“kwanjiafulani”tofautinafedha.

Kunaukosefuwamaelezosahihi(ufafanuzi)kuhusuhatizinazohusiananaardhi.Hakukuwanakayailiyoripoti na nyaraka yoyote ya umiliki wa ardhi. Hata hivyo, umiliki ulitafsiriwa kwa njia tofauti.Wakati watuwengine katikamahojiano namakundi nawatu binafsi katika utafiti wetuwalisemawanazorisitihalalizaumilikiwaardhikimila,wenginewalisemawanamilikiardhizaotubilanyarakazozotenahatahawaonihajayakuwananyarakahizo.

Baadhiyawahojiwawetukwenyemakundinawatubinafsiwaliripotikununuaamakukodishaeneokwaajiliyakilimochamazao.Ilionekanakuwabaadhiyawatumatajiriwalitoamaeneoyaoyalimwena watu wanaowachungia mifugo; (mtu anafuga mifugo ya tajiri na malipo ni kupewa shambaalime). Hata hivyo, hakuna hata mmoja kati ya wale waliohojiwa kwenye utafiti wetu wa awaliwalioripotikuwanaardhiisiyokuwayamakaziwalioipatakwakukopaaukukodisha.

MigogoroyaArdhi

Ainanyingiyamigogoroyaardhiniyamipakainayosababishwanawatukupanuamashambayaonakuingia eneo la/ardhi ya jirani zao na migogoro ya kuhamahama kwa mifugo. Wanawake nawanaume huenda kutatua migogoro yao ya ardhi kwenye baraza la ardhi la usuluhishi la kijiji;wanawake wajane ambao maeneo/ardhi yao yamechukuliwa na watu wengine ndiwo wengi.Migogoronamakampunizauchimbajimadini inatatuliwanaserikaliyakijijikwanjiayakujadiliananamakampuninasiyokwakupitiabarazalaardhilausuluhishi.Migogorokuhusumatumiziyaeneola malisho na ya kuhamahama kwa mifugo ambayo imekuwa ikiongezeka mara kwa mara katikamiakayahivikaribunikutokananaukame,haikutatuliwanabarazalaardhilausuluhishibadalayakeilitatatuliwanaIlaigwanak(uongoziwakimila).

Upatakanajiwaardhikwawanawakekwamifumoyakisheria

MfumowakisheriawaugawajiwaardhinaukuwajiwasokolaardhivinatoafursasawayakupatanakumilikiardhikwawanawakenawanaumewaMundararakamailivyonchinikote.Hatahivyo,kunachangamoto nyingi za kimuundo ikiwa ni pamoja na kanuni za kimila ambazo zinazuiawanawakekupataardhi.Piailionekanakuwawanawakewengihawatambuihakizaonahawafahamumchakatosahihiwa kuomba ardhi.Wanawakewanalalamikia suala lamaslahi yao kutozingitiwa na kupewakipaumbelenaserikaliyakijijiinayoongozwanawanaume,wenginehawafahamuwaendekwananikudaiulinziwahaki;wenginewalidhaniwatapatakusaidiwanaserikaliyakijiji,auhuendamaslahiyao hayatapewa uzito endapo hawatasaidiwa na wanaume. Zaidi ya hayo, wanawake wengi, nahasa wajane, hawawezi gharama zinazohusishwa na kuomba ardhi, wala kununua au kukodishaardhikwamatumiziyaowenyewe.

Page 11: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

9

Swalilinalojitokezanikwamba,jeutajirinafedhanivyamuhimuzaidikulikousawawakijinsiakatikakuwezesha upatikanajiwa ardhi (namifugo)Mundarara kwawakati huu?. Kama ndivyo, au ikiwamambo yataendelea kama yalivyo sasa, basi kuwawezesha wanawake kiuchumi, kwa mfano kwakuhakikisha kuwawanaweza kufaidika kwa kiwango kikubwa kutokana namadini, itakuwa ni njiaboranasahihiyakuwasaidiawanawakekupatausalamanaumilikiwaardhi,na,kwamudamfupi,kutaongezaushawishindaniyaserikaliyamtaajuuyamasualayausimamiziwaardhi.

Usimamiziwaardhi/eneolamalishoMatokeoyaongezekolakasiyaurasimishajiwaardhikuanzishwakwavijijinamabadilikomenginekama vile ongezeko la idadi ya watu na kuanzishwa kwa elimu ya msingi kwa waliokosa (UPE);Wamasaisasawamepunguzakuhamahamanatuliambiwamifugoinahamatukwanyakatimaalumkwamwaka,nawanaumendiwouhamanayonakuwaachawanawakenawatotonyumbani.

Kamailivyoelezwajuu,usimamiziwaeneolamalishoulifanywakwakuzingatiampangowamatumiziborawaardhiyakijiji chaMundararanasheria zinazohusiananampangohuokwaushirikianowaserikali ya kijiji na Ilaigwanak. Wahojiwa wa makundi na watu binafsi wakati wa utafiti wetuwalisema; “kwa kuondolewa kwa umiliki wa kimila umewafanya viongozi wa mila/ilaigwanakkupotezanguvutofautinawalivyokuwahapomwanzo”.Hatahivyo,wakatiupatikanajiwaeneo lamalisho na utaratibu wa kuhamisha mifugo kuonekana kushika kasi zaidi, Ilaigwanak badowameonekana kuwa na nafasi kubwa ya kutatua migogoro inayohusiana na kuhamisha mifugokutokananamamlakayaokutokuwanamipakahivyouongoziwaobadounaheshimiwa.

Hata Ilaigwanak imetawaliwa na wanaume tu na hakuna wanawake; hivyo basi, maamuzi yotekuhusu kuhamisha mifugo na ufugaji (kuchunga) yanafanywa na wanaume, na mara nyingiwanawakewanapewataarifayamudamfupisanakuhusuwanaumekuhamanamifugo.

Upatikanajiwaeneolamalishonakubadilikakwamifumoyakuhama

Kabla ya uanzishwaji wa vijiji,maeneo yamalisho yalionekana kuwa ya kutosha na yenye uboramzuri. Hata hivyo,mvua zisizotabirika, kuongezeka kwa idadi yawatu na ongezeko la kilimo chamazaokatikakipindi chamiaka20 iliyopita imesababishamigogoromingi juuyamalishondaninakaribu na Mundarara. Kuongezeka kwa idadi ya mashamba na makazi, pamoja na kuwepo kwamakampuniyamadini,imeongezaumbaliwawatukutembeailikufikiamaeneoyamalisho(kufugia).Ardhiyajamiiinatumiwanawatuwotewavijijivyajiranikwaushirikianobainayaserikalizavijijivyajiraninaviongoziwakimila.

Wakatimifugomidogo(mbuzinakondoo)wanawezakushibakwamalishokidogosananavichakavikavu,mifugowakubwakamavileng’ombewanategemeamalishoyakutosha(uwepowamajaniyakutosha)kwaajiliyakuishi.Watuwengiwalikuwawanategemeamaeneomakubwayaardhiyajamiikwa ajili ya maisha. Ni wachache tu wenye idadi ndogo ya mifugo wanaofugia kwenyemashamba/maeneo yao. Inaonekana kuwawatuwengiwanawalipa baadhi yawatu kama vibaruakwaajiliyakuchunganakuhamishamifugonyakatizamisimumirefu,hiinikwasababuwanaumewaliokuwawakichungamifugowamejihusishazaidinabiasharayamadini.

Sehemu kubwa ya eneo la malisho Mundarara linatumika na watu wote wakati wa mvua lakinibaadhiyamaeneoyalitengwailiyatumikenamifugodhaifunamidogoisiyowezakuhamawakatiwaukame. Ilaigwanak na serikali ya kijiji wameweka utaratibu wa kuwajulisha watu wakati maeneoyaliyotengwayatakaporuhusiwakuchungakipindichaukameambapopiawanaruhusukuhamakwamifugomingine.Endapomtuyeyoteatavunjautaratibuuliowekwakwaajiliyamaeneoyaliyotengwakutumikanamifugodhaifunawadogowasiowezakuhama,watalazimikakulipafaini.

Umbaliwakuhamishamifugonamudamrefuwakukaahukonamifugo,hupelekeawaliohamishamifugo kulazimika kukaa huko kwa kipindi kisichopungua miezi mitano. Hapo awali, wafugajiwalihamiamaeneoyakaribuambapowaliwezakuhamanafamialiazaonakuanzishamakazimapya.

Page 12: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

10

Hatahivyo,kuhamahamakulikuwakwamarakwamaranyakatizaukamenanivijanawadogondiwowalihusikazaidi.

Migogorojuuyamaeneoyamalishoimeongezekasanakatiyawanakijijiwenyewenavijijivyajirani.Ukwelinikwambamaeneoyamalishoyanatumiwanamifugonawanyamaporinahivyoimeongezamigogoro zaidi kwenye ardhi; kwamfano, ikiwamaeneo yamadini yanazuia upatikanaji/kufikiwakwa maeneo ya malisho ya hapo awali, watu wanaweza kukabiliwa na hatari katika kujaribukupeleka mifugo maeneo mapya kutokana na uwepo wa wanyamapori wakali/hatari. Njia yakawaida ya kutatuamigogoro ni kupitiamazungumzo kati yawatu binafsi au kupitiamikutano yakijiji. Inaonekana kuwa kutokanana kuongezeka kwamigogoro ya ardhiwatu sasawanaona kunahaja/sababuya msingiyakujaribukupunguzamigogorohiyokwenyemaeneoyamalishoambapokamahaitawezekanabasiwataamuakujiwekeamipangobinafsi.

HitimishoMabadilikoyatabianchipamojanaongezeko la idadiyawatu,vimechangiasanakutotabirikakwaufugajihukoMundararakulikoilivyokuwahapoawali.Kuwepokwakilimo(lichayaukamewamiakamichacheiliyopita)imepelekeaardhikurasimishwazaidinausimamiziumezigatiwapia.UanzishwajiwaMpangowaMatumiziBorayaArdhiumetengamaeneoyamalishonakupunguzaupatikanajiwaardhikwaajiliyaupanuziwamakazinakilimo.Wakatihuohuo,watuwengiwameanzakujaribunjiambalimbaliyakuendeshamaisha,madinitupekeyakeninjiamojawapoingawaupanuziwamaeneoyamadinipiaumesababishaugumukwaupatikanajiwaardhindaniyakijiji.

Ingawa kazi kadhaa zilipatikana, wanaonufaika zaidi kwenye madini ni wanaume wanaouza namadalaliwamadiniambaowengiwaowametajirikakutokananakuuzamadiniyarubi.Uchimbajipiaumewapa wanawake (na hasa wajane) fursa kadhaa za kupata kipato kidogo cha fedha kwakukusanyamabaki yamadini kutokakwenyemchangaunaotolewanakampuniyauchimbaji.Hatahivyo,faidakwawanawakesiyokubwakutokananakutofahamuthamaniyamadiniwanayookota,pamoja na ubaguzi wa kijinsia ambao unawakabili wanawake wakati wanapojaribu kukusanyamabaki ya madini. Ubaguzi huu ni udhalilishaji wa maneno na wa moja kwa moja kamawalivyotutaarifuwakatiwautafitiwetu.

IjapokuwashughulizamadinizimechangiauchumiwawanajamiiwaMundarara,baadhiyamasualamabayapiayalionekana.Iligundulikapiakuwawatuwengihawafurahiswinaushirikianouliopokatiyamakampuni yamadini na kijiji chaMundarara, na kwamba kunahaja ya kuboreshamahusianohayo kwa kushauriana, kulipa fidia na kuhakikisha kuwa jamii inanufaika zaidi. Masuala hayayamechangiakujengachuki,vurugunamaandamano.

Kitendochawanaumewengikujihusishanashughulizamadininamwelekeomzimawamaishakwaujumla vimepelekea wanawake wengi kuwa na majukumu mengi zaidi nje ya kaya. Wakatiwanawake wengi wanahusika na kuchunga na wengine wapo kwenye shughuli mbalimbali zakujipatia kipato, bado wanawakwe wanahusika kukamilisha majukumu yote ya nyumbani nahawaruhusiwikufanyamaamuzijuuyafedhawanazojitafutia.Iligundulikakuwamaamuziyotendaniyajamiiyanafanywanawanaumelichayabaadhiyawanawakekuwanawajumbekwenyeserikalizavijijikamasheriailivyoagiza.Hatahivyo,kunabaadhiyamabadilikoyanayoanzakuonekanakwenyebaadhiyakaya.Kwamfano,ingawandoayawakewengiinaonekanakuongozazaidikulikondoayamume/mke mmoja, ndoa ya mume/mke mmoja zinakuwa kwa kasi na kwamba maamuziyanaonekanakuwashirikishibainayamumenamkekatikangaziyakaya,mfanokuhusubajetinamatumizi.Hatakatikandoazawakewengi,inaonekanakwambabaadhiyawanawakewanayonguvuna mamlaka zaidi kuliko wengine, na tuliambiwa kuwa wake (mke) waliopendwa na waume zaowanashirikikwenyemaamuziyakayanapiawanahakizaidikulikowengine.Tulitambuapiakuwakile watu wanachosema wamekifanya ukilinganisha na ukweli unakuta kwamba kiuhalisia siyokweli/sawa.Baadhiyawanaumewenginewalikuwatayarikubadilikanakuungamkonojitihadazote

Page 13: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana

Mradi wa WOLTS Tanzania – Muhtasari wa Ripoti--Mundarara, Agosti 2017 – Kiswahili E. Daley, K. Lanz, A. Mhinda, Z. Driscoll, J. Ndakaru, J. Grabham na E. Kereri

11

zinazotetea haki za wanawake na kunufaisha familia nzima, wakati huohuo wakiheshimumila nadesturizilizoko.

KuongezekakwaurasimishajinausimamiziwaardhikinadhariaimetoafursasawayawanawakewaMundararakuwananahakisawazakupataardhinakuwanaumilikiwapamojawaardhiyakayanahivyo imewahakikishia usalamawa ardhi zao. Hata hivyo, kiuhalisia, tulitaarifiwamara kwamarakwambawanaumehawaruhusuwanawakekumilikiainayeyoteyaardhinakwambaserikaliyakijijipiailikuwaikiwapaardhiwanawakewajaneambaowanawatotowakiumewenyeumriwazaidiyamiaka18 iliwawezekusimamiahizoardhi.Zaidiyahayo,mifugoyote inamilikiwanawanaumetu.Kwamalihizimbilimuhimuzilizokomikononimwa wanaume, imewafanyawanawakewashindwekujitegemeanakuzalishamaliaukuchangiakipatokwenyeuchumiwakaya.Wajane(nawanawakewachachewalioachika),hasawalewalionawatotowakuwalea,piawanaonekanakuachwanamalindogo sana/isiyotosheleza, ugumu wa kupata rasilimali na kukosa msaada wowote kutoka kwawanaume.Ingawatulikutananawanaumewachacheambaonimaskinisana,badowanawakewakokatikakundilawatuwaliokwenyemazingiramagumuzaidiMundarara.

Mabadilikoyatabianchinahaliyahewa,ukamenauchimbajiwamadinivimesababishamigogorojuuyauhabawamaeneoyamalishonarasilimalimaji.Vitishohivivyanjevimebadilishamaishayawafugaji na mgawanyo wa majukumu kwa kuzingatia jinsia Mundarara, wakati vitisho vya ndaniambavyo vinawakumba wanawake wengi wa jamii hii vilionekana kuwa vigumu sana kuvikabili.Kuelimishawanawakenawanaumekuhusuhakizaardhi,kutoamafunzoyauongozikwawanawake,na kuanzisha vikundi ili kuwasaidia wanawake kurahisiha upatikanaji wa ardhi na mifugo nimapendekezoyaliyopewakipaumbelekamabaadhiyamasuluhishokwamatatizohaya.Majukumumengi yanayotekelezwa nawanawake yanabaki kuwa kikwazo kikubwa kufikiamalengo. Kuwekamazingira ya jamii nzima kuwa na jukwaa la kukutana na kujadili masuala muhimu ya ardhi namaliasilikwanjiayakushirikianaitasaidiakushughulikiamasualambalimbaliambayopiayalijitokezawakatiwauatafitiwetuambayonimasualayaardhi,jinsia,uchimbajiwamadininaufugajinahivyokusaidiakuletamaendeleoendelevuMundarara.Mijadalahiyo ijumuishewanaumenawanawake,vijana na wazee, matajiri na maskini, na msaada maalum kwa makundi ya watu walio katikamazingiramagumu ili kuhakikishakuwamahitaji yaoyanasikika, yanatambulikana kushughulikiwaipasavyo.

Page 14: Mradi wa WOLTS Tanzania Muhtasari wa Ripoti- …mokoro.co.uk/wp-content/uploads/WOLTS_Tanzania_Mundarara...walioanza shule lakini hawakumaliza elimu ya shule ya msingi. Ilionekana