2
MUHTASARI WA KIKAO CHA VIJANA WIRWANA TAR. 18/10/2015. YAFUATAYO NI MAONI YA WAJUMBE WA KIKAO. 1. Vijana waanzishe ajira ndogondogo kwa ajili ya vijana wenzetu huko vijijini 2. Vijana tukautane na kuongelea mambo mbalimbali ikiwemo namna ya ‘appoach’ ya kusaidia jamii yetu nyumbani. Mfano kuunda timu za vijana zinazoshughulika na mambo mbalimbali n.k. 3. Tuanzishe whatsaapp sub group ya vijana na pia tumtumie mzee AHUNGU. 4. Tuanze utaratibu kwa ajili ya ufanisi wa shughuli zetu vijana. 5. Watu watangaze fani zao ili tuzitumie. 6. Lazima tujishape kidogo ili tuendane na taasisi mama ya wirwana/Waendelee. 7. Vijana tuwe chachu kwa taasisi ya waendelee ili tuwasaidie vijana nyumbani. 8. Tuelekeze mawazo kwenye project zilizopo ili tuendane –tuwe compatible na taasisi mama ya WAENDELEE. 9. Hata kama mtu hajui kuandika proposal atoe tu wazo/idea ili ifanyiwe kazi na wanaoweza kuandika proposal. 10. Vijana wataalamu tutengeneze network. Hii ni muhimu sana. 11. Watafutwe vijana kila kijiji na waelimishwe ili tupate watu wa kuwatmia huko nyumbani. 12. Tutumie rasilimali zilizopo huko nyumbani ili kuiendeleza WIRWANA. 13. Tupate kikosi kazi ambacho kitasimamia na kuratibu shughuli tufanyazo.

Muhtasari Wa Kikao Cha Vijana Wirwana Tar

Embed Size (px)

DESCRIPTION

vijana-wirwana

Citation preview

Page 1: Muhtasari Wa Kikao Cha Vijana Wirwana Tar

MUHTASARI WA KIKAO CHA VIJANA WIRWANA TAR. 18/10/2015.

YAFUATAYO NI MAONI YA WAJUMBE WA KIKAO.

1. Vijana waanzishe ajira ndogondogo kwa ajili ya vijana wenzetu huko vijijini

2. Vijana tukautane na kuongelea mambo mbalimbali ikiwemo namna ya ‘appoach’ ya kusaidia jamii yetu nyumbani. Mfano kuunda timu za vijana zinazoshughulika na mambo mbalimbali n.k.

3. Tuanzishe whatsaapp sub group ya vijana na pia tumtumie mzee AHUNGU.

4. Tuanze utaratibu kwa ajili ya ufanisi wa shughuli zetu vijana.

5. Watu watangaze fani zao ili tuzitumie.

6. Lazima tujishape kidogo ili tuendane na taasisi mama ya wirwana/Waendelee.

7. Vijana tuwe chachu kwa taasisi ya waendelee ili tuwasaidie vijana nyumbani.

8. Tuelekeze mawazo kwenye project zilizopo ili tuendane –tuwe compatible na taasisi mama ya WAENDELEE.

9. Hata kama mtu hajui kuandika proposal atoe tu wazo/idea ili ifanyiwe kazi na wanaoweza kuandika proposal.

10. Vijana wataalamu tutengeneze network. Hii ni muhimu sana.

11. Watafutwe vijana kila kijiji na waelimishwe ili tupate watu wa kuwatmia huko nyumbani.

12. Tutumie rasilimali zilizopo huko nyumbani ili kuiendeleza WIRWANA.

13. Tupate kikosi kazi ambacho kitasimamia na kuratibu shughuli tufanyazo.

14. Mbali na whatsapp tujitahidi kukutana ili ili tuangalie vipaumbele vya kutekeleza..

15. Group la whatsapp litusaidie kujadili hoja mbalimbali.

Pamoja na hayo pia kulikuwa na uteuzi wa viongozi ambao ni:

ATHUMANI IKUNGU – M/kiti.

CHRISTOWAJA NTANDU – Katibu.

Imeandaliwa na Rajab A. Mumbee

Katibu wa kikao.