34
Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH) S. L. P. 65350 Dar es Salaam www.tgpsh.or.tz Kitabu hiki kimetolewa katika mfululizo wa vitabu vidogo tisa vikiwa na vichwa vya habari vifuatavyo: Kuingia Utu Uzima Mahusiano kati ya Wasichana na Wavulana Mahusiano ya Kimwili Mimba Usalama katika Mapenzi UKIMWI na Kizazi Kipya Dawa za Kulevya Pombe na Sigara Haki za Uzazi ISBN 978 - 9987 - 449 - 62 - 0 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. Mkuki na Nyota Publishers S. L. P. 4246 Dar es Salaam www.mkukinanyota.com Kitabu hiki kimetayarishwa kwa kushirikisha vijana wa Tanzania na TGPSH-GTZ MASWALI WALIYOULIZA VIJANA KUHUSU NA MAJIBU YAKE Kitabu cha 7

NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

  • Upload
    others

  • View
    25

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH) S. L. P. 65350Dar es Salaamwww.tgpsh.or.tz

Kitabu hiki kimetolewa katika mfululizo wa vitabu vidogo tisa vikiwa na vichwa vya habari vifuatavyo:

Kuingia Utu Uzima

Mahusiano kati ya Wasichana na Wavulana

Mahusiano ya Kimwili

Mimba

Usalama katika Mapenzi

UKIMWI na Kizazi Kipya

Dawa za Kulevya

Pombe na Sigara

Haki za Uzazi

ISBN 978 - 9987 - 449 - 62 - 0

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

Mkuki na Nyota PublishersS. L. P. 4246Dar es Salaamwww.mkukinanyota.com Kitabu hiki kimetayarishwa kwa kushirikisha

vijana wa Tanzania na TGPSH-GTZ

MASWALI WALIYOULIZA VIJANA KUHUSU

NA MAJIBU YAKEKitabu cha 7

Page 2: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

Kimechapishwa na:Mkuki na Nyota Publishers LtdS. L. P. 4246Dar es Salaam

Pepe: [email protected]: www.mkukinanyota.com

Kwa hisani ya Serikali ya Ujerumani

© Tanzanian German Programme to Support Health (TGPSH), 2007

Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)

ISBN 978 - 9987 - 449 - 62 - 0

Haki zote za kunakili zimehifadhiwa.

Shukrani

Tunapenda kuwashukuru vijana wote waliohusika katika kuandaa vijitabu hivi kwa mchango mkubwa walioutoa. Hawa ni vijana balehe kutoka shule za msingi mbalimbali za mikoa ya Lindi, Tanga na Dar es Salaam waliochangia kwa kuibua maswali ya awali, waelimishaji rika wa vikundi kutoka Student Partnership Worlwide (SPW) na wa UMATI ambao walipitia na kuchambua maswali ya awali pamoja na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam kwa mchango wao wakati wa kufanya marekebisho ya pili ya hivi vitabu.

Vilele tunatoa shukrani nyingi kwa watu wote kutoka katika makundi yote ya jamii ndani na nje ya Tanzania amabo walisoma vijitabu hivi, na wakatupa mrejesho, kutupa moyo na kuuliza maswali ambayo yameongeza ubora wa nakala hii.

Shukrani ziwaendee walimu wote wakuu wa shule za msingi ambazo zilihusika kwa msaada wao, na kwa Bwana Walter Mbunda na marehemu Elisha Kapinga (UMATI) na pia kwa Bwana Yassin Ally wa SPW kwa uwezeshaji.

Tunapenda pia kuwashukuru Dkt. Elizabeth Mapella (MoHSW-RCHS), Bi Rehema Mwateba na Bi Akwillina Mlay kwa ushauri wao wa kitaalamu katika masuala ya afya ya uzazi kwa vijana. Dkt. Clemens Roll na Dkt. Suzanne Mouton (CCBRT) kwa ushauri wa uganga. Shukrani kwa Bi Magret Kilembe na Bwana Simon Kilembe kwa kutafsiri, Bwana Benedict Raymond na Bi Dorothea Coppard (wataalamu wa Elimu – Mradi wa PASHA) na Cordula Schuemer (Mshauri wa Afya ya Uzazi-gtz) kwa ushauri wao mzuri na wa kujenga pamoja na Dkt. Zubeida Tumbo-Masaba ( Mtafiti Mwandamizi, Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili) na Kate Forester Kibuga pamoja na Karen Walker kwa kusoma na kuhakiki.

Shukrani za pekee kwa Dkt. Regina Goergen (EvaPlan) siyo tu kwa moyo wake wa ujasiri katika kuchochea maandalizi ya hivi vijitabu bali pia katika kusambaza wazo hili, na kuwezesha vijitabu hivi kukubalika katika nchi 17 ulimwenguni. Vijitabu hivi vimekuwa zana mwafaka kwa maana ya njia bora ya kufikisha habari kuhusu ujinsia na afya ya uzazi kwa vijana.

Tunamshukuru mchoraji wa katuni Nd. David Chikoko kwa mchango wake mkubwa katika kuchora vielelezo vilivyotumika katika mfululizo huu.

Kwa njia ya pekee tunapenda kuwashukuru Meja Jenerali (mstaafu) Herman Lupogo (aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa TACAIDS) na Bi Rustica Tembele (TACAIDS) na Dkt. Catherine Sanga (RCHS) kwa mchango wao endelevu katika kusambaza vijitabu hivi na bila kusahau mashirika yote yaliyosaidia katika machapisho na usambazaji wa vijitabu hivi kwa miaka yote hiyo.

Dkt. Axel Doerken

Mkurugenzi GTZ Tanzania.

Page 3: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

Yaliyomo

Utangul�z�............................................................................................. v

Kuna.a�na.ngap�.za.dawa.za.kulevya?..............................................1

Dawa za kulevya zinatoka wapi na zinafika vipi Tanzania?.......2

Kwa.n�n�.watu.hutum�a.dawa.za.kulevya?......................................3

Je,.n�.v�jana.wa.k�ume.pekee.nd�o.wanaotum�a.dawa.za.kulevya?.Na.wanaanza.kutum�a.kat�ka.umr�.gan�?......................4

Je,.dawa.za.kulevya.z�naath�r�.v�p�.mw�l�.na.ubongo.wa.b�nadamu?............................................................................................5

Je,.kuna.tofaut�.yoyote.ya.athar�.za.dawa.za.kulevya..........kat�.ya.v�jana.na.wazee?...................................................................6

Je,.matum�z�.ya.dawa.za.kulevya.yana.athar�?...........................6

Je,.kuna.madhara.yoyote.pale.utakapojar�bu.kutum�a........dawa.za.kulevya.mara.moja.tu.au.utakapotum�a.kwa.k�as�.k�dogo.sana?........................................................................................7

Je,.unaweza.kufa.uk�tum�a.dawa.za.kulevya?..............................8

Kwa.n�n�.kuna.Watanzan�a.wanaovuta.bang�?...............................8

Dawa.gan�.za.kulevya.n�.hatar�.za�d�?............................................9

Madhara.ya.dawa.za.kulevya.yanadumu.kwa.muda.gan�?.........11

Je,.watu.huchangany�k�wa.baada.ya.matum�z�.ya.dawa.za.kulevya?...............................................................................................11

Je,.�nawezekana.kuwa.n�.hatar�.kutum�a.Val�um.au....Klorokw�n�.au.dawa.ny�ng�ne.ambazo.z�napat�kana.kat�ka.maduka.ya.dawa?...............................................................................11

N�n�.matokeo.ya.unusaj�/uvutaj�.wa.petrol�.kwa.v�jana?......... 12

Page 4: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

��

Mtu.anaweza.kur�th�.uvutaj�.wa.bang�?...................................... 12

Je,.n�.kwel�.kwamba.uvutaj�.wa.bang�.hukufanya.uwe.na.nguvu?................................................................................................. 13

Je,.n�.kwel�.kwamba.uvutaj�.wa.bang�.hupunguza.mawazo?.... 13

Je,.n�.kwel�.kwamba.kuvuta.bang�.kunaongeza.ak�l�.na......uwezo wa kufikiri?............................................................................ 14

Je,.kwa.n�n�.watu.wanaoanza.kutum�a.dawa.za.kulevya.....hupenda.kuendelea.kuz�tum�a?..................................................... 14

Je,.mtu.anawezaje.kuacha.kutum�a.dawa.za.kulevya.na.�tamchukua.muda.gan�.kurud�a.hal�.yake.ya.kawa�da?............. 15

Je,.n�.kwel�.matum�z�.ya.dawa.za.kulevya.n�.mojawapo.ya.sababu.z�nazochang�a.maambuk�z�.ya.v�rus�.vya.UKIMWI.(VVU).na.magonjwa.meng�ne.ya.z�naa?........................................ 16

Kwa.n�n�.watu.hutaka.kufanya.mapenz�.baada.ya.kutum�a..dawa.za.kulevya?.............................................................................. 17

Kwa.n�n�.watu.wanaotum�a.dawa.za.kulevya.mara.ny�ng�.hudanganya?...................................................................................... 18

Kwa.n�n�.watu.wanaotum�a.dawa.za.kulevya.hukonda?............. 18

Je,.watum�aj�.wa.dawa.za.kulevya.wanaweza.kupata.....watoto?............................................................................................... 18

Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matat�zo.ya.dawa.za.kulevya?....................................................... 19

Je,.n�n�.k�tatokea.�wapo.mwanamke.atatum�a.dawa.za...kulevya.wakat�.wa.ujauz�to?.......................................................... 19

Ni dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea.pale.mw�ng�zaj�.anapokamatwa?................................... 20

Kwa.n�n�.dawa.hutengenezwa.na.kutum�ka.hosp�tal�n�.......wakat�.z�na.madhara?..................................................................... 20

Page 5: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

���

N�.hatua.z�p�.z�nazochukul�wa.na.Ser�kal�.kuhusu.matum�z�...na.b�ashara.haramu.ya.dawa.za.kulevya?.................................. 20

Je,.kuna.wazaz�.watawapa.watoto.wao.dawa.watash�tak�wa.k�sher�a?............................................................................................. 21

Nani wa kulaumiwa kuhusu dawa za kulevya Tanzania, Ser�kal�.au.wasambazaj�.na.watum�aj�?...................................... 22

Tunawezaje kuzuia matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa.v�jana.kat�ka.jam��.yetu,.hasa.uk�z�ngat�a.kuwa.wanah�taj�wa.kat�ka.ujenz�.wa.ta�fa?......................................... 23

Kama nina rafiki au jamaa wa karibu ambaye ameathirika na.utum�aj�.wa.dawa.za.kulevya,.je,.n�naweza.kumbad�l�?...... 24

N�tafanya.n�n�.kuzu�a.dawa.za.kulevya.na.j�ns�.gan�.nitaepukana na marafiki wabaya?................................................ 25

Page 6: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

�v

Page 7: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

v

Utangulizi

..

Tafiti za karibuni zilizofanyika hapa nchini Tanzania zimebaini kuwa.v�jana.balehe.wanaanza.kutum�a.dawa.za.kulevya.au.v�lev�.kama.s�gara.na.pombe.kat�ka.umr�.mdogo..Na.wakat�.huo.huo.v�jana.wanakuwa.bado.hawana.el�mu.ya.ms�ng�.kuhusu.madhara.na. hatar�. z�tokanazo. na. utum�aj�. wa. v�tu. h�vyo.. Ukosefu. wa.el�mu.h��.huwaweka.v�jana.hatar�n�..na.h�vyo..kwenye.matat�zo.ya.k�afya,.maradh�.pamoja.maambuk�zo.ya.V�rus�.vya.UKIMWI.(VVU).na.UKIMWI..na.ya.k�jam��..

K�j�tabu.h�k�.k�metayar�shwa.�l�..kuz�ba.pengo.h�l�.la.ukosefuwa.el�mu.juu.ya.dawa.za.kulevya..Ik�wa.n�.pamoja.na.kutoa.taar�fa.muh�mu.z�l�zo.sah�h�.juu.ya.dawa.za.kulevya.na.athar�.zake.kwa.v�jana.na.kuwaongoza.waweze.kukwepa.v�shaw�sh�.v�navyochang�a..utum�aj�.wa.dawa.za.kulevya.na.p�a.kuwawezesha.kuwaj�b�ka.na.kufanya.uamuz�.mwafaka.kwa.aj�l�.ya.ma�sha.yao..Watu.weng�.wanafikiri kwamba elimu juu ngono hasa katika umri mdogo �nah�m�za.tab�a.ya.kutowaj�b�ka..Lak�n�.k�nyume.cha.haya.nd�o.ukwel�. hal�s�.. B�la. el�mu. ya. kutosha. v�jana. balehe. hawawez�.kuwaj�b�ka. kufanya. maamuz�. sah�h�.. Uzoefu. umeonyesha.kwamba.v�jana.wak�pewa.taar�fa.wanafanya.uamuz�.salama.

Maswal�. yal�yomo. kwenye. k�j�tabu. h�k�. yal�kusanywa. kat�.ya. mwaka. 2000. –. 2006. kutoka. kwa. . wanafunz�. wa. shule. za.ms�ng�,.sekondar�.na.chuo.k�kuu..V�jana.hawa.wal�tokea.m�koa.tofauti hapa Tanzania na umri wao ni kati ya miaka 11 hadi 24..K�j�tabu.h�k�.k�metayar�shwa.na.jopo.la.wataalamu.wa.fan�.mbal�mbal�.wal�o.kwenye.sayans�.ya.jam��,.afya.na.el�mu..V�jana.wal�hus�shwa.kat�ka.hatua.zote.za.kuk�tayar�sha..Kwa.nj�a.ya.kuchap�sha. k�j�tabu. h�k�,. tunategemea. tumechang�a. ku�nua.uelewa.ambao.utawajengea.v�jana..tab�a.ya.kuwaj�b�ka.kat�ka.

Page 8: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

v�

maswala. ya. athar�. za. utum�aj�. dawa. za. kulevya. na. kuweza.kuwaj�b�ka.na.kufanya.uamuz�.salama.na.kuepukana.na.matat�zo.yanayosab�shwa.na.ukosefu.wa. taar�fa. sah�h�..Kumbuka.haya.n�. juu. ya. mw�l�. wako. na. ma�sha. yako. kwa. h�yo. yadh�b�t�. kwa.kuyasimamia. Kwa vijana wa Tanzania, chukueni hii kama changamoto: Taarifa inawezesha.

Dkt. Fatma Mrisho

Mwenyekiti Mtendaji Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS)

Page 9: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

1

.Dawa za kulevya ni nini?Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya.dawa.na.hasa.pale.yatum�kapo.k�nyume.cha.maelekezo.ya.tab�bu.na.h�vyo.kuleta.madhara.kwa.mtum�aj�..

Kuna aina ngapi za dawa za kulevya?

Tunatofautisha dawa za kulevya katika makundi mawili. Zile zinazokubalika na zile zisizokubalika kisheria. Tanzania, dawa za. .kulevya.z�nazokubal�ka.k�sher�a.n�.pamoja.na.tumbaku.na.pombe,.p�a.dawa..z�l�zoth�b�t�shwa.kwa.maand�sh�.na.daktar�..Dawa..z�nazotolewa.kwa.udh�b�t�sho.wa.madaktar�.n�.z�le.dawa.za. . kut�bu.. Pale. z�napotolewa. kwa. sababu. ny�ng�ne. mbal�. na.mat�babu. au. maelezo. ya. daktar�. z�nakuwa. dawa. za. . kulevya..Miongoni mwa dawa zinazotumika vibaya hapa Tanzania ni val�um,.aspr�n.na.panado..V�m�m�n�ka.kama.petrol�.p�a.hutum�wa.kama.dawa.za..kulevya..V�tu.h�v�.hutum�wa.kwa.nj�a.ya.kuvuta.hewa.yake.kwa.pua.au.mdomo..

P�a.kuna.v�leo.v�s�vyoruhus�wa.ambavyo.hutengenezwa.k�enyej�.kama. v�le. gongo.. Dawa. za. kulevya. . ambazo. . hutum�ka. sana.Tanzania ni pamoja na bangi, mirungi, mandrax, hero�n�. na.koka�n�..Koka�n�.ambayo.hupat�kana.kat�ka.hal�.ya.ungaunga.ul�o.mweupe,.hutum�wa.kwa.nj�a.ya.kuvuta.kwa.pua.au.kuchanganywa.na. maj�. na. baadaye. kuj�dunga. mw�l�n�. kwa. kutum�a. s�ndano..Hero�n�. p�a. hupat�kana. kama. unga. mweupe.. Unaweza. kuvuta.hero�n�.kama.s�gara.au.kuvuta.hewa.yake.kwa.ndan�.na.p�a.kwa.kuj�dunga.s�ndano..Kat�ka.hal�.�s�yo.ya.kawa�da.hero�n�.v�lev�le.�naweza. kupat�kana. kat�ka. v�pande. v�dogov�dogo. vya. kahaw�a.v�jul�kanavyo.kama.“sukar�.ya.kahaw�a”..

Nj�a. ny�ng�ne. ya. kuzungumz�a. dawa. za. . kulevya. n�. kutokana.na. madhara. yake.. Yapo. madawa. ambayo. hupagaw�sha. au..yanayozuba�sha.au.kupoozesha..kama.v�le.k�leo,.n�kot�n�,.dawa.za..us�ng�z�,.kwa.mfano.val�um.na.hero�n�..Dawa.h�zo.z�namfanya.

Page 10: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

2

mtum�aj�. kuj�s�k�a. shwar�,. lak�n�. p�a. huhuzun�sha.. Dawa.z�nazochamngamsha.n�..kama.m�rung�,.koka�n�.na.z�le.za.kuvuta,.kwa.mfano.petrol�,.z�na.madhara.ya.kukufanya.uhamas�ke.na.kuj�s�k�a.kuwa.na.nguvu..Dawa.z�nazopagaw�sha.z�naleta.h�s�a,.saut�,. tasw�ra,. harufu. kwa. mtu. japokuwa. vyote. h�vyo. hav�po.kwel�..Bang�.n�.mojawapo.ya.dawa.h�z�..

Dawa za kulevya zinatoka wapi na zinafika vipi Tanzania?

Dawa.za..kulevya.z�natoka.nch�.mbal�mbal�.dun�an�,.na.baadh�.zinatoka hapahapa Tanzania. Mfano kokaini inatoka Amerika ya Kusini, heroini hutoka Bara la Asia, nchi za India, Pakistan na Burma. Dawa zinazotengenezwa viwandani kama mandrax zinatoka nchi nyingi duniani, ikiwemo Tanzania. Bangi na mirungi hulimwa Tanzania. Dawa zilizothibitishwa na madaktari, pamoja na.v�m�m�n�ka.v�navyogeuka.hewa,.kama.petrol�,.z�natengenezwa.hapahapa Tanzania.

Dawa.za.kuchangamsha Dawa.za.

kupagaw�sha

Dawa.za.kupoozesha

Page 11: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

3

Dawa za kulevya ambazo hazitengenezwi Tanzania zinaingizwa nch�n�.k�nyume.cha.sher�a.kwa.kup�t�a.nj�a.ya.barabara,.anga,.au.bahar�..Kuna.mtandao.haramu.kabambe.wa.shughul�.h�zo.za.dawa.za..kulevya..

Wauzaj�.hao.wa.dawa.za..kulevya.hutoa.ahad�.za.pesa.za.haraka.�l�. kuwapata. v�jana. wa. kuwash�r�k�sha. kama. wasambazaj�..Weng�.wa.v�jana.hao.hawatambu�.madhara.ya.kum�l�k�,.kutum�a.na.p�a.kuj�hus�sha.na.shughul�.h�zo.haramu.ambazo.z�naweza.kuwasabab�sh�a. k�fungo. cha. ma�sha.. Kwa. upande. mw�ng�ne.v�jana. hao. wanachang�a. kuhar�bu. ma�sha. ya. wenzao. na. hata.ma�sha.yao.wenyewe..Mara.ny�ng�.dawa.za.kulevya.husambazwa.na watu tunaowafahamu miongoni mwa wanafamilia na marafiki zetu..

Kwa nini watu hutumia dawa za kulevya?Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya,.nazo.n�.kama.z�fuatazo:.

Watu. weng�. hutum�a. dawa. wak�tuma�n�. kusahau. matat�zo.yanayowakab�l�,.weng�ne.hutum�a.kama.v�burud�sho.na.wanataka.kuj�onyesha.kwamba.n�.watu.waz�ma.na.wenye.nguvu..Weng�ne.p�a.huanza.kutum�a.dawa.k�utan�.na.hat�maye.hush�ndwa.kuj�zu�a.kuz�tum�a..Weng�ne.hutum�a.kutokana.na.msukumo.wa.r�ka.au.kutokana.na.kushaw�sh�wa.na.watu.weng�ne.kwamba.dawa.za..kulevya.huwapa.raha..Weng�ne.hutum�a.kutokana.na.ukal�.wa.ma�sha,.uchovu.pamoja.na.upweke..K�ms�ng�,.dawa.za..kulevya.haz�mpat��. mtu. ufumbuz�. wa. matat�zo,. bal�. humwongezea.matat�zo.mtum�aj�..

Page 12: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

4

Je, ni vijana wa kiume pekee ndio wanaotumia dawa za kulevya? Na wanaanza kutumia katika umri gani?

Hapana!. Dawa. za. . kulevya. z�natum�wa. na. watu. wa. r�ka. zote.kat�ka.jam��:.wanawake.na.wanaume,.wazee.na.v�jana,.mas�k�n�.na.mataj�r�!.Wanaume.nd�yo.wanaotum�a.za�d�.dawa.za..kulevya.kuliko wanawake hapa Tanzania. Matumizi ya dawa za kulevya kwa.wanawake.s�.ya.waz�,.na.n�.ya.s�r�.za�d�..Lak�n�.wanawake.na.wasichana, kwa bahati mbaya, wanakaribia kuwafikia wanaume kwa.utum�aj�.wa.dawa.za..kulevya..

Watu.weng�ne.huanza.kutum�a.dawa.za. . kulevya.kat�ka. umr�.mdogo.sana,.hata.kat�ka.umr�.wa.shule.ya.ms�ng�!.

Mara. ny�ng�. v�jana. hawa. huanza. kufany�a. majar�b�o. dawa. za..kulevya.b�la.kujua.chochote.kuhusu.madhara.na.hatar�.zake..Weng�ne. huweza. hata. kudhuru. v�baya. m��l�. yao. na. ak�l�. au.ku�sh�a.kutum�a.dawa.k�la.mara,.na.was�weze.tena.kuz�acha..

Page 13: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

5

Je, dawa za kulevya zinaathiri vipi mwili na ubongo wa binadamu?

Moja.kat�.ya.v�tu.v�navyot�sha.kuhusu.dawa.za..kulevya.n�.kwamba.z�naath�r�. watu. kwa. nj�a. mbal�mbal�. na. huwez�. ukasema. kwa.uhak�ka.j�ns�.z�takavyokuath�r�..Madhara.ya.dawa.za..kulevya.yanategemea. a�na,. k�wango. na. j�ns�. z�takavyotum�ka.. V�lev�le.�nategemea.na.umr�,.afya.ya.mw�l�.na.ukomavu.wa.ak�l�,.na.p�a.mazoea.ya.matum�z�.ya.dawa.h�zo..

Madhara.ya.muda.hutokea.mara.tu.baada.ya.dawa.za..kulevya.kutum�ka,.wakat�.madhara.ya.muda.mrefu.huonekana.baada.ya.muda.kup�ta,.na.mara.ny�ng�.husabab�sha.uhar�b�fu.wa.kudumu.kwenye.mapafu.na.ubongo..

Kwa. mfano,. bang�,. husabab�sha. kuongezeka. kwa. map�go. ya.moyo,. matat�zo. ya. kumbukumbu. ya. muda. mfup�,. pamoja. na.umakini, kujifunza, kufikiri na kutatua matatizo. Pia inaweza �kasabab�sha. kasoro. kwenye. utarat�bu. wa. v�ungo. vya. mw�l�..Mara. kwa. mara. wavuta. bang�. huwa. na. macho. mekundu.. Na.v�jana.weng�ne.hupata.m�hemuko.mbal�mbal�.kama.uoga.na.hofu.baada.ya.matum�z�.ya.bang�..

Dawa.za. .kulevya.za.v�changamsho,.kama.m�rung�.na.koka�n�,.�nasemekana.kuwa.huwafanya.watum�aj�.kuwa.macho,.kuj�ona.wana. nguvu. na. kuj�am�n�.. V�changamsho. v�k�tum�ka. kwa.w�ng�,. humfanya. mtumaj�. kuj�h�s�. kuwa. na. was�was�. au. hofu..Matum�z�.mabaya.ya.dawa.za..kulevya.kwa.muda.mrefu.huweza.kusabab�sha.matat�zo.ya.ak�l�.au.hata.k�fo. �wapo.yatatum�ka.kwa.k�wango.cha.juu..

Dawa. za. . kulevya. z�nazokufanya. upooze. kama. hero�n�. au.dawa.ny�ng�ne.z�nazoag�zwa.na.daktar�,.husabab�sha.kuj�s�k�a.umetul�a,.una.aman�.na.furaha..Uk�z�d�sha.v�p�mo.husabab�sha.us�ng�z�,.upungufu.wa.umak�n�.na.uwezo.wa.kuona,.k�zunguzungu,.kutap�ka. na. kutokwa. jasho.. V�lev�le. k�p�mo. k�ng�. k�naweza.kusabab�sha. us�ng�z�. wa. muda. mrefu,. kuz�m�a. na. hata. k�fo..

Page 14: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

6

Pombe.za.k�enyej�.kama.gongo.n�.hatar�.kwa.afya.na.z�naweza.kusabab�sha.upofu.na.hata.k�fo..

Matum�z�.ya.dawa.za..kulevya.hupunguza.uwezo.wa.v�jana.kuh�m�l�.na.kutatua.matat�zo.yao..ya.k�jam��.na.k�ak�l�..H��.husabab�sha.v�jana. kuwa. wepes�. kuj�hus�sha. na. ujambaz�. na. mambo. ya.ngono.na.ugomv�,.mabad�l�ko.hayo.ya.tab�a.husabab�sha.ugomv�.katika familia na kuvunjika kwa urafiki. Matumizi ya dawa za kulevya.nd�yo.sababu.kubwa.ya.ajal�.za.barabaran�,.kuj�ua.na.maambuk�zo.mbal�mbal�..

Je, kuna tofauti yoyote ya athari za dawa za kulevya kati ya vijana na wazee?

Athari za dawa za kulevya ni sawa kwa rika zote. Hata hivyo v�jana.nd�yo.wal�o.kat�ka.hatar�.za�d�.ya.kuath�r�ka.na.dawa.za..kulevya,.kwa.sababu.wako.kat�ka.hatua.ambayo.mw�l�.na.ak�l�,.bado. v�naendelea. kukua.. Mara. ny�ng�. v�jana. hupata. maelezo.potofu kuhusu dawa za kulevya. Kama marafiki zao hawatakuwa mfano.mzur�.wa.ku�gwa.wanaweza.wakawashaw�sh�.kutum�a.dawa.za..kulevya..N�.muh�mu.kupata.maelezo.sah�h�.kuhusu.athar�.za.dawa. za. . kulevya. �l�. uwe. na. uwezo. wa. kuj�amul�a. mwenyewe..F�k�r�.kwa.mak�n�!.N�.mw�l�.wako,.n�.ma�sha.yako,.na.n�.uamuz�.wako..

Je, matumizi ya dawa za kulevya yana athari?

Nd�yo.. Utum�aj�. wa. dawa. za. . kulevya. huleta. athar�. kubwa.kat�ka.jam��!.Watu.weng�.watum�ao.dawa.h�z�.hutenda.mambo.kinyume kabisa na marafiki zao. Watu hawa huwa wakali sana, wab�sh�. au.go�go�. (teja)..Watu.hawa.hawajal�. na. n�.wazembe.kat�ka.mambo.wayafanyayo.hasa.kat�ka.kufanya.tendo.la.ndoa.na.husahau.kutum�a. kondomu..Hal�. h��. husabab�sha. ongezeko.kubwa.la.maambuk�z�.ya.UKIMWI.na.magonjwa.meng�neyo.ya.zinaa. Dawa hudhoofisha, huwafanya watu kusahau majukumu yao,.na.kuwapunguz�a.hesh�ma.na.s�fa.mbele.ya.jam��.na.hata.

Page 15: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

7

kat�ka.fam�l�a.zao..

Mabad�l�ko. ya. tab�a. kwa. mtum�aj�. wa. dawa. za. kulevya.z�namsabab�sh�a. mtum�aj�. kufanya. v�baya. kat�ka. masomo. au.kuacha.shule..H�vyo.bas�.husabab�sha.kukosa.nafas�.ya.kupata.kaz�,. kuj�mudu. mwenyewe,. kusa�d�a. fam�l�a. na. jam��.. Mara.nyingi matatizo ya kuvunjika kwa familia na urafiki ni matokeo ya.utum�aj�.wa.dawa.za..kulevya..

Kumbuka. kwamba.dawa. za. . kulevya. hununul�wa. kwa. gharama.kubwa. na. mara. ny�ng�. watum�aj�. wa. dawa. h�zo. hukumbwa. na.m�kasa. ya. w�z�. �l�. kuweza. kuj�pat�a. fedha. za. kununul�a. dawa.matokeo yake huishia jela au kulipa fidia.

Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana?Kutum�a.dawa.za.kulevya.kwa.k�as�.k�dogo.kunaweza.kus�lete.madhara. �la.mpaka. tu. pale. utakapoyazoea..Mara. ny�ng�.watu.huanza. kuh�taj�. dawa. za�d�. pale. wanapoz�zoea. na. kupata.

Page 16: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

8

madhara..H��.�naweza.kusabab�sh�a.mtu.kutawal�wa.na.dawa.za.kulevya..Mtum�aj�.wa.dawa.za.kulevya.anaweza.kuwa.mtegemez�.wa.dawa.h�zo.b�la.ya.kuj�jua..Kujar�bu.dawa.za.kulevya.kunaweza.kukawa.na.madhara.kama.“uta�sh�a.pabaya”...“Ku�sh�a.pabaya”.n�.jambo.la.kut�sha.na.s�.la.kufurah�sha.hata.k�dogo!.Hal�.h�yo.�naweza.kutokea.mara.ya.kwanza.unapoanza.kutum�a.bang�..

Je, unaweza kufa ukitumia dawa za kulevya?

Ndiyo, unaweza. Kifo kinaweza kuwa cha ghafla au.kutokana. na. madhara. ya. muda. mrefu. kat�ka. v�ungo. vya.ndan�.ya.mw�l�.kutokana.na.matum�z�.ya.dawa.za..kulevya..Watu.weng�. hufa. kat�ka. ajal�. pale. wanapokuwa. wana. k�as�. k�kubwa.cha.k�lev�.kat�ka.damu,.kwan�.wanash�ndwa.kutambua.maz�ng�ra.ya.hatar�..

Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza akafa ghafla kwa kile k�nacho�twa. kuz�d�sha.dawa,. pale.mtu. atakapotum�a. dawa. za..kulevya zaidi ya uwezo wa mwili. Kifo cha ghafla kinaweza kutokea.au.kutokana.na.matum�z�.ya.koka�n�.na.v�fuk�sh�.kama.petrol�.b�la.hata.ya.kuz�d�sha.k�wango..Watum�aj�.wa.v�fuk�sh�.kama.petrol�.mara.ny�ng�.hutum�a.m�fuko.ya.plast�k�.�l�.kuongeza.k�wango.cha.mvuke.wanaovuta..Kat�ka.maz�ng�ra.haya.n�.rah�s�.kupoteza. fahamu. kutokana. na. kukoseshwa. hewa. na. m�fuko.h�yo..Kuchanganya.baadh�.ya.dawa.za.kulevya.kama.v�le.hero�n�.na.dawa.z�ng�ne.hasa.dawa.za.kutul�za.maum�vu.(mfano.val�um).au.pombe.p�a.huweza.kusabab�sha.k�fo..

Kwa nini kuna Watanzania wanaovuta bangi?

Sababu. mojawapo. n�. kuwa. bang�. hul�mwa. hapa. nch�n�. na.h�vyo. hupat�kana. kwa. urah�s�.. Bang�. huuzwa. kwa. be�.nafuu. kul�ko. dawa. ny�ng�ne. za. kulevya.. V�lev�le,. v�jana.weng�.huwaona.wakubwa.wao.wak�tum�a.na.h��.huwafanya.waone.kuvuta.bang�.n�.k�tu.halal�..

Page 17: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

9

Sababu.ny�ng�ne.n�.�man�.potofu.kwamba.uk�vuta.bang�.unaweza.kuwa.jas�r�.wa.kufanya.kaz�.na.kusoma.sana..Lak�n�.yote.haya.n�.uzush�.na.s�.kwel�.kwan�.watu.husahau.madhara.ya.muda.mrefu.yasabab�shwayo.na.uvutaj�.bang�..

Sababu. ny�ng�ne. �nayowafanya. Watanzan�a. watum�e. bang�. n�.utegemez�. wa. k�sa�koloj�a,. kwan�. baada. ya. kuvuta. bang�. kwa.muda,.mtu.huanza.kuj�s�k�a.hawez�..kuh�m�l�.msukumo.wa.kawa�da.wa. ma�sha. na. ku�sh�. b�la. bang�.. Kwa. maana. h�yo. muath�r�ka.huendelea.na.uvutaj�.bang�..

Dawa gani za kulevya ni hatari zaidi?

Kwa.ujumla.dawa.zote.za.kulevya.z�naweza.kuwa.n�.za.hatar�..Kat�.ya.dawa.z�l�zohalal�shwa.k�sher�a.n�kot�n�,.ambayo.�po.kwenye.s�gara,.nd�yo.hasa.ya.hatar�..Inawezekana.kuwa.umeshakuwa.tegemez�. kwa. s�gara.. H��. �na. maana. ubongo. wako. uta�zoea.n�kot�n�.na.utah�taj�.n�kot�n�.za�d�.na.za�d�.�l�.kuendelea.kuwa.na.hal�.nzur�..N�kot�n�.p�a.n�.hatar�.za�d�.kwa.sababu.v�jana.mara.ny�ng�.huanza.kutum�a.s�gara.kabla.ya.kuanza.kutum�a.dawa.kal�.za�d�..

Page 18: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

10

Miongoni mwa dawa zisizoruhusiwa kisheria nchini Tanzania, hero�n�. nd�yo. labda. yenye. kusabab�sha. utegemez�.. V�lev�le.�nahus�shwa.na.makosa.meng�.ya.j�na�..Utum�aj�.wa.hero�n�.n�.hatar�.hasa.kat�ka.maambuk�z�.ya.UKIMWI..Watu.wanaposh�r�k�ana.kat�ka. kutum�a. s�ndano. za. kuj�dung�a. hero�n�. wanaj�weka.kat�ka. hatar�. na. uwezekano. mkubwa. sana. wa. kuambuk�zana.v�rus�.vya.UKIMWI..H�l�.hutokea.p�a.pale.watum�aj�.wa.hero�n�.wanapoj�uza.m��l�.yao.kat�ka.ngono.�l�.wapate.dawa.za.kulevya.au.fedha.za.kununul�a.dawa.h�zo..

Uvutaj�.bang�.husa�d�a.kuondoa.a�bu.na.v�zu�z�..H��.�namaan�sha.kuwa. wavuta. bang�. wanaweza. wakasahau. kufanya. ngono.salama.na.h�vyo.kuwa.kat�ka.hatar�.za�d�.ya.kupata.au.kueneza.UKIMWI..Matum�z�.mabaya.ya.dawa.huweza.kuwa.hatar�.sana.na.peng�ne.kusabab�sha.k�fo.pale.z�takapotum�wa.kup�ta.k�p�mo.ama.z�takapochanganywa.na.dawa.nyng�ne.au.pombe..

Page 19: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

11

Madhara ya dawa za kulevya yanadumu kwa muda gani?

N�.v�gumu.sana.kuj�bu.swal�.h�l�.kwa.sababu.muda.wa.madhara.hutegemea.sababu.mbal�mbal�.kama.v�le.a�na.za.dawa.za.kulevya,.nj�a.za.utum�aj�,.hal�.ya.mtu.na.maz�ng�ra.anapoz�tum�a.dawa.h�zo.za.kulevya..Mtu.anaweza.kuanza.kutum�a.dawa.za.kulevya.mara.kwa.mara. �l�. kuk�dh�.k�le.anachok�h�taj�..Kwa.baadh�.ya.dawa. za. kulevya,. na. baadh�. ya. watu,. matum�z�. ya. mara. kwa.mara.kwa.k�p�nd�. cha.za�d�. ya.w�k�.mb�l�. n�. k�p�mo. tosha.cha.kumfanya.a�sh�.kwa.kutegemea.dawa.za..kulevya..

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?

Kuna. �man�. potofu. kwamba. wote. wenye. matat�zo. ya. ak�l�.wamekuwa.h�vyo.kutokana.na.matum�z�.ya.dawa.za.kulevya..H��.s�yo.kwel�..Lak�n�.dawa.za.kulevya.ny�ng�ne.huleta.ulemavu.wa.ak�l�..H�z�.n�.z�le.z��twazo.v�chagamsho.kama.koka�n�.na.m�rung�..Pale.z�tum�wapo.kwa.v�wango.v�kubwa.mtu.huchangany�k�wa.kwa.muda.wa.s�ku.chache.au.w�k�.nz�ma..H��.hutokea.p�a.kwa.bang�..

Je, inawezekana kuwa ni hatari kutumia Valium au Klorokwini au dawa nyingine ambazo zinapatikana katika maduka ya dawa?

Nd�yo!.Dawa.yoyote. �takayotum�wa.pas�po.mah�taj�. sah�h�. au.kwa.k�p�mo.za�d�.ya.k�nachopendekezwa. �naweza.kuwa.hatar�.na. peng�ne. husabab�sa. k�fo.. Mara. zote. s�k�l�za. kwa. mak�n�.maelekezo. yatolewayo. na. madaktar�. au. wauzaj�. wa. dawa..Us�changanye. dawa. na. pombe. au. dawa. ny�ng�ne. kwan�. kwa.hak�ka.kufanya.h�vyo.n�.hatar�..

Page 20: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

12

Nini matokeo ya unusaji/uvutaji wa petroli kwa vijana?

Kama.k�jana.ak�nusa.au.kuvuta.petrol�.kup�t�a.puan�.au.mdomon�,.petrol�.h�yo.hu�ng�a.kwenye.mapafu.na.sehemu.zote.mw�l�n�..

Madhara. ya. unusaj�. au. uvutaj�. petrol�. n�. sawa. kab�sa. na.pombe..Baada. .ya. .kunusa/kuvuta.petrol�.mtuam�aj�.huj�s�k�a.k�zunguzungu.na.kulewa..Weng�ne.huh�s�.kama.kwamba.wanaota.na. kuj�s�k�a. furaha.. Lak�n�. weng�ne. huj�s�k�a. kuumwa. na.kus�nz�a..

Unusaj�/uvutaj�. wa. petrol�. n�. hatar�. sana. na. hata. huweza.kusabab�sha.v�fo.kwan�.petrol�.humfanya.mtu.apoteze.fahamu,.huhar�bu.mapafu.na.weng�ne.hufa.kwenye.ajal�..H��.hutokana.na. kush�ndwa. kutoa. uamuz�. ufaao. wanapokab�l�wa. na. hal�.z�nazoweza.kusabab�sha.ajal�,.hasa.barabaran�..

Matum�z�. ya. muda. mrefu. ya. petrol�. huweza. kumsabab�sh�a.madhara.mtum�aj�.kama.kutokwa.na.damu.puan�,.kupoteza.hamu.ya.kula,.kuwa.dha�fu,.kupata.matat�zo.ya.mt�nd�o.wa.ubongo,.kupatwa na magonjwa ya figo, moyo, mapafu na kuharibika ma�n�..

Mtu anaweza kurithi uvutaji wa bangi?

Hapana,.huwez�.ukar�th�. uvutaj�.wa.bang�.. Lak�n�.mara.ny�ng�.watoto.hu�ga.tab�a.za.wazaz�.wao..Wak�waona.wazaz�.au.babu.zao wakitumia bangi, wao hufikiri ni halali na wanaweza wakaanza kuvuta.bang�.p�a..

Page 21: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

13

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hukufanya uwe na nguvu?

S�.kwel�.kab�sa!.Baada.ya.kuvuta.bang�.mtu.huj�ona.kama.jas�r�.sana.na.mwenye.nguvu..Lak�n�.madhara.ya.bang�.n�.k�nyume.na.mataraj�o.ya.mtum�aj�.kwan�.m�sh�pa.hus�nyaa.na.ubongo.hush�ndwa.kufanya.kaz�.zake.vyema.na.kutoa.uamuz�.us�o.sah�h�.wa.utendaj�.sah�h�.wa.kaz�.za.mw�l�..

Je, ni kweli kwamba uvutaji wa bangi hupunguza mawazo?

Bang�.hupunguza.mawazo.kwa.muda.mfup�.kwan�.huleta.h�s�a.za.furaha.na.utul�vu..Lak�n�.hata.h�vyo.matat�zo.hubak�a.palepale.na. mara. ny�ng�. huongezeka. hapo. baadaye.. Watu. wanaovuta.bang�.hu�k�mb�a.dun�a.hal�s�.na.hu�ng�a.dun�a.ya.ndoto.kwa.muda.mfup�..Mara.h�s�a.z�l�zoletwa.na.bang�.z�napoondoka,.aghalabu.matat�zo.huwa.mabaya.za�d�.kul�ko.mwanzo..Matum�z�.ya.bang�.huah�r�sha.na.kuchelewesha.tu.utatuz�.wa.matat�zo..

Page 22: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

14

Je, ni kweli kwamba kuvuta bangi kunaongeza akili na uwezo wa kufikiri?

Hapana,. h��. s�. kwel�!. V�jana. wanaoam�n�. kwamba. wana. uwezo.wa kufikiri baada ya kuvuta bangi kwa sababu inawapa hisia ya.kuzoea.m�hemko.ya.kus�k�a.v�zur�.au.kufahamu.kwa.haraka..Lak�n�. n�. kawa�da. kwamba. uvutaj�. wa. bang�. unaath�r�. shule,.

kaz�. na. shughul�. ny�ng�ne.k�nyume. na. mataraj�o. ya.mafan�k�o..S�ku.zote.v�jana.wavutaj�.bang�.wanapoteza.ar�. shulen�. au. mafunzon�..Wanash�ndwa. kuweka.malengo. ya. ma�sha. yao. ya.baadaye..

Je, kwa nini watu waanzao kutumia dawa za kulevya hupenda kuendelea kuzitumia?

H��. nd�o. hasa. sababu. kwa.n�n�. dawa. za. kulevya. n�.hatar�!. Mara. unapoz�zoea.unakuwa. na. ugumu. wa.

Page 23: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

15

kuendesha.ma�sha.yako.b�la.dawa.za.kulevya..Kwa.dawa.ny�ng�.za.kulevya.ubongo.huzoea.kuwepo.kwake.kwenye.damu.na.dawa.za�d�.na.za�d�.huh�taj�ka.�l�.kuendeleza.hal�.h�yo..H��.�na.maana.kadr�.muda.unavyoenda.nd�vyo.unavyoongeza.k�as�.cha.dawa.za.kulevya.unachok�h�taj�..

Pale.utakapojar�bu.kupunguza.k�as�.cha.matum�z�.ya.dawa.za..kulevya.au.kuacha.kab�sa.unaweza.kupata.hal�.ya.k�maumb�le.au.k�ak�l�.�tokeayo.kutokana.na.kuacha.k�tu.ul�chozoea..Hal�.h��.�naweza.�s�we.ya.kufurah�sha,.yenye.kuum�za.na.peng�ne.hatar�.kwa. ma�sha. yako.. Mara. mtu. anapoz�zoea. dawa. za. . kulevya.ha�w�.tu.tab�a.bal�.ugonjwa..Watu.weng�.wanaotegemea.dawa.za.kulevya.hawaz�tum��.kwa.kuj�furah�sha.bal�.kuzu�a.maum�vu.yasabab�shwayo.na.kuacha.k�tu.ul�chozoea..Nj�a.nzur�.ya.kuzu�a.hali hii ni rahisi: kuwa jasiri na sema HAPANA. Usijaribu dawa za.kulevya..

Je, mtu anawezaje kuacha kutumia dawa za kulevya na itamchukua muda gani kurudia hali yake ya kawaida?

K�tu.muh�mu.n�.kwamba,.kwel�.uwe.umedham�r�a.kuacha..Hatua.ya.kwanza.n�.kuj�ul�za.kwa.n�n�.unatum�a.dawa.za..kulevya..Pale.utakapojua.n�.n�n�.ul�kuwa.unah�taj�.kat�ka.dawa.za..kulevya.n�.rah�s�.kut�m�za.malengo.hayo.kwa.nj�a.za.k�afya.za�d�..Jar�bu.kupunguza.tarat�bu.k�as�.na.muda.wa.kutum�a.dawa.za..kulevya..P�a.tum�a.v�tam�n�.na.mad�n�.ku�mar�sha.afya.yako..J�tenge.na.watum�aj�.weng�ne.wa.dawa.za. .kulevya.na.sehemu.ul�zokuwa.uk�enda. kupata. dawa. za. . kulevya.. Kama. hutofan�k�wa. kat�ka.hatua.ya.kwanza.us�kate.tamaa!.Watu.hush�ndwa.kuacha.kat�ka.jar�b�o.la.kwanza!.Jar�bu.tena!.

Page 24: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

16

Kuacha. dawa. za. kulevya. n�. sawasawa. na. kupata. nafuu. ya.ugonjwa,. n�. rah�s�. za�d�. kufan�k�wa. kama. utapata. ush�r�k�ano.zaidi kutoka kwa marafiki au wanafamilia. Unaweza vilevile kuomba.ushaur�.kutoka.kwa.watoa.nasaha.au.madaktar�..Msaada.wa.k�tab�bu.n�.muh�mu.kwa.wale.wal�ozoea.kutum�a.h�ro�n�.na.pombe,.kwan�.mara.ny�ng�.hupata.madhara.yat�sh�ayo.ma�sha.pale.wanapojar�bu.kuacha.dawa.za.kulevya..

N�.v�gumu.kusema.utachukua.muda.gan�.kuacha.kutum�a.dawa.za..kulevya,.kwa.sababu.�natofaut�ana.kat�.ya.mtu.na.mtu..

Je, ni kweli matumizi ya dawa za kulevya ni mojawapo ya sababu zinazochangia maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU) na magonjwa mengine ya zinaa?

Dawa.za.kulevya.zenyewe.haz�sabab�sh�.UKIMWI.na.magonjwa.ya.z�naa..Lak�n�.utum�aj�.wa.dawa.za.kulevya.hurah�s�sha.kupata.na kuenea kwa magonjwa haya. Dawa hizi hudhoofisha mwili na.k�nga.ya.mw�l�..H�vyo.bas�.hurah�s�sha.v�rus�.vya.magonjwa.ku�ng�a.mw�l�n�.mwa.mtum�aj�.k�urah�s�..

Page 25: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

17

Matum�z�. ya. dawa. za. kulevya. huwafanya. watum�aj�. kusahau.hatar�.za.kuwa.na.wapenz�.weng�.pamoja.na.kufanya.ngono.na.watu. us�ofahamu. hal�. za. afya. zao.. Huj�sahau. kufanya. ngono.salama.kwa.kutum�a.kondomu..V�lev�le.husahau.majukumu.yao.kama.v�le.mke,.watoto.na.fam�l�a.nz�ma.kwa.ujumla..

Dawa. za. kulevya. z�nazo�ng�a. mw�l�n�. kwa. nj�a. ya. s�ndano.husabab�sha. uwezekano. mkubwa. wa. kuenea. kwa. v�rus�. vya.UKIMWI. (VVU). kwa. watum�aj�. p�nd�. wanapochang�a. s�ndano.kuj�dung�a. dawa. h�zo. mw�l�n�.. P�a. dawa. za. kulevya. huchang�a.kuenea.kwa.v�rus�.vya.UKIMWI.kwa.kuwa.watum�aj�.huj��ng�za.kat�ka.b�ashara.ya.ngono.�l�.kuweza.kuj�pat�a.fedha.za.kununul�a.dawa.h�zo..

Kwa nini watu hutaka kufanya mapenzi baada ya kutumia dawa za kulevya?

Dawa. za. kulevya. huath�r�. ubongo. j�ns�. unavyofanya. kaz�..Hubad�l�.h�s�a.na.husa�d�a.kuondoa.a�bu.na.v�zu�z�.v�ng�ne..Mtu.huj�s�k�a.jas�r�.na.mwenye.nguvu.na.h�vyo.n�.rah�s�.za�d�.kwake.kushaw�sh�ka.kufanya.ngono.kul�ko.as�poz�tum�a.dawa.h�zo..

Page 26: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

18

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya mara nyingi hudanganya?

Weng�. wa. waath�r�ka. wa. dawa. za. kulevya. hukataa. matat�zo.yao.. Hudanganya. kwa. sababu. hawatak�. kukubal�. matat�zo.yao. p�a. hutoa. maelezo. kuj�tetea. au. kulaumu. weng�ne.. Mara.nyingi huanza kudanganya au kusaliti marafiki na ndugu pale wanapoh�taj�.fedha.kwa.aj�l�.ya.kununul�a.dawa.za.kulevya..

Kwa nini watu wanaotumia dawa za kulevya hukonda?

Dawa. za. kulevya. huhar�bu. ufanyaj�. kaza. wa. kawa�da. wa.mfumo. wa. mw�l�. hasa. tumbo. na. utumbo. wa. watum�aj�.hush�ndwa. kufyonza. v�rutub�sho. v�dogo. kama. v�le.v�tam�n�,. mad�n�. kutoka. kwenye. chakula. na. kwenda. kwenye.mfumo. wa. damu.. H�k�. nd�cho. k�nachowafanya. wakonde..Is�toshe,.hupunguza.uwezo.wa.mw�l�.kuj�k�nga.na.maradh�.na.h�vyo.huuweka.mw�l�.kat�ka.hatar�.ya.kuambuk�zwa.na.magonjwa.l�k�wemo.gonjwa.hatar�.la.UKIMWI..

Je, watumiaji wa dawa za kulevya wanaweza kupata watoto?

Nd�yo,.h��.�nawezekana..Lak�n�.ujue.kwamba.watu.wanaotum�a.dawa.za..kulevya.huwa.dha�fu.k�sa�koloj�a.na.k�umb�le.kwa.maana.h�yo. wanaweza. was�we. kat�ka. hal�. nzur�. ya. kupata. watoto..Hawajal�. afya. zao.. Wanakosa. h�s�a. na. hutum�a. muda. mw�ng�.kush�r�k�. kat�ka. matum�z�. ya. dawa. za. kulevya;. p�a. hutum�a.fedha.ny�ng�..Haya.s�.maz�ng�ra.mazur�.ya.kulea.watoto..

Page 27: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

19

Je, kuna wataalamu Tanzania wanaowasaidia watu wenye matatizo ya dawa za kulevya?

Ndiyo. Kuna mashirika yasiyo ya kiserikali (AZISE).yanayotoa. ushaur�. nasaha. kwa. watum�aj�. wa. dawa. za..kulevya. Katika AZISE hizi kuna wataalamu wenye.kus�k�l�za. na. kujar�bu. kutafuta. ufumbuz�. wa. matat�zo. yako..Kama.mtu.anategemea.dawa.za.kulevya.au.anah�taj�.msaada.wa.k�taalamu,.bas�.kuna.v�tuo.vya.kuwasa�d�a.kwenye.hosp�tal�.za.serikali, (Anwani zao ziko mwisho wa kitabu kwa mawasiliano za�d�)..

Je, nini kitatokea iwapo mwanamke atatumia dawa za kulevya wakati wa ujauzito?

Kama.mama.mjamz�-to.atatum�a.dawa.za..kulevya.bas�.humua-th�r�. mtoto. moja.kwa. moja.. Mtoto.al�ye. tumbon�. hu-l�shwa.kup�t�a.damu.ya.mama.yake..Kwa.h�yo. mama. mjam-z�to. anapotum�a.dawa. h�zo. za. kule-vya,. dawa. hu�ng�a.mw�l�n�. mwa. mtoto.anayekua..Matum�z�.ya.dawa.za..kulevya.p�a. huongeza. uwe-zekano. wa. m�mba.kuhar�b�ka..

Page 28: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

20

Ni dawa zipi zilizopigwa marufuku Tanzania na nini hutokea pale mwingizaji anapokamatwa?

Hapa Tanzania matumizi, umilikaji, usafirishaji na kuhusika kat�ka. dawa. za. . kulevya. kama. v�le. bang�,. h�ro�n�,. koka�n�. na.m�rung�. yamep�gwa.marufuku..H��. n�. pamoja.na.dawa.ambazo.z�meth�b�t�shwa.na.daktar�.kuwa.z�s�tum�ke.kwa.mat�babu..Kwa.Tanzania “gongo”pia ni haramu.

Pol�s�. ak�mkamata. mtu. anayekwenda. k�nyume. na. sher�a,.humpeleka.mtu.huyo.mbele.ya.vyombo.vya.sher�a.na.atahukum�wa.�k�th�b�t�ka. kuwa. ana. hat�a.. Sher�a. �natoa. adhabu. kal�. kwa.makosa. yanayohus�ana. na. dawa. za. . kulevya.. Fa�n�. ya. sh�l�ng�.m�l�on�. 10.za.K�tanzan�a.au.k�fungo.cha.ma�sha.au.vyote.kwa.pamoja..

Kwa nini dawa hutengenezwa na kutumika hospitalini wakati zina madhara?

Baadh�. ya. dawa. za. . kulevya. pamoja. na. dawa. za. . kut�bu,.hutum�ka.hosp�tal�.kuokoa.ma�sha.na.kupunguza.maum�vu..H��.�namaan�sha. kwamba. wataalamu. kama. madaktar�. na. wauguz�.hudh�b�t�.matum�z�.ya.dawa.h�z�..Kwan�.watahak�k�sha.kwamba.dawa.sah�h�.z�natum�ka,.�tak�wavyo.na.kwa.v�p�mo.sah�h�..

Ni hatua zipi zinazochukuliwa na Serikali kuhusu matumizi na biashara haramu ya dawa za kulevya?

Ser�kal�.�natambua.kukua.kwa.tat�zo.la.dawa.za..kulevya.nch�n�,.kwan�. dawa. za. . kulevya. ny�ng�. z�nazotum�ka. z�nap�t�shwa. na.ku�ng�zwa. kwa. magendo. nch�n�.. Kutokana. na. hal�. h��. ser�kal�.�mep�t�sha. sher�a. kuhusu. tuhuma. za. dawa. za. . kulevya. yaan�.Sher�a.ya.Kuzu�a.Matum�z�.ya.Dawa.za..Kulevya.ya.mwaka.1995..

Page 29: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

21

Sher�a.h��.�natoa.maelekezo.ya.kumshughul�k�a.mtuhum�wa.wa.dawa.za. . kulevya.na.hutoa.adhabu.kal�. kwa.wal�opat�kana.na.hat�a..Kat�ka.kusa�d�a.v�ta.dh�d�.ya.dawa.za..kulevya,.Ser�kal�.ya.Tanzania iliunda tume ya wataalamu mwaka 1996 iitwayo Tume ya Taifa ya Kuzuia na Kuratibu Dawa za Kulevya ili kuendeleza v�ta.h�vyo..

Tume hii inawasaidia polisi, polisi wa mipakani na forodha ambao wanazu�a. u�n�zaj�. na. usambazaj�.wa.dawa.za. . kulevya.kup�t�a.m�pakan�.na.kuhar�bu.mashamba.ya.bang�.na.m�rung�..Wakala.hawa.kwa.sasa.wanafanya.kaz�.bega.kwa.bega.na.nch�.j�ran�.�l�.kuzu�a.u�ng�zaj�.wa.dawa.za..kulevya.kup�t�a.m�pakan�..V�lev�le.inaandaa wataalamu kwa kutumia ASIZE mbalimbali ambazo kaz�.zao.n�.kuel�m�sha.jam��.kuhusu.athar�.na.hatar�.ya.dawa.za..kulevya.na.kuwasa�d�a.waath�r�ka..

Tume hii ya wataalamu vilevile inafikiria kuhusu kampeni za k�ta�fa. z�nazolenga. kuel�m�sha. kuhusu. athar�. za. dawa. za..kulevya.. Lak�n�. kaz�. ya. tume.h��. n�. ngumu.kutekelezwa.kwan�.v�ta. dh�d�. ya. dawa. za. . kulevya. n�. jukumu. la. k�la. mtu. na. s�o.ser�kal�. peke.yake..Inah�taj�.msaada.kutoka.kwa.k�la.mtu.na.jam��.kwa.ujumla..

Je, kama wazazi watawapa dawa watoto wao watashitakiwa kisheria?

Nd�yo,. watashtak�wa!. Wakat�. mw�ng�ne. wazaz�. huwatuma.watoto. wao. kuchukua. au. kununua. pombe. au. s�gara. na.hata. dawa. za. . kulevya.. Utum�aj�. na. usambazaj�. wa. dawa. za..kulevya ni kinyume cha sheria nchini Tanzania na sio uamuzi b�nafs�.wa.k�fam�l�a..

Page 30: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

22

Nani wa kulaumiwa kuhusu dawa za kulevya Tanzania, Serikali au wasambazaji na watumiaji?

Hakuna. mtu. wa. kulaum�wa,. lak�n�. �nab�d�. k�la. mtu. awaj�b�ke..K�la.mtu.�namb�d�.afanye.lolote.l�le.l�l�lo.kat�ka.uwezo.wake.�l�.kupunguza.dawa.za..kulevya..

Ser�kal�. �nab�d�. �hak�k�she. kwamba. sher�a. z�l�zowekwa.z�natekelezwa..P�a. �natak�wa.kuwasa�d�a.wal�o.na.matat�zo.ya.k�mw�l�. na. k�sa�koloj�a. ya. matum�z�. ya. dawa. za. . kulevya. kwa.kutoa.v�faa.na.huduma.za.k�afya.kwao..

N�. kwel�. kwamba. watu. wanaoj�hus�sha. na. b�ashara. ya. dawa.za. .kulevya.wanawasabab�sh�a.watu.weng�ne.matat�zo.. Lak�n�.kus�ngekuwa.na.usambazaj�.wake.kama.kus�ngekuwa.na.wah�taj�..H�vyo.bas�.mtum�aj�.anatak�wa.awe.na.uamuz�.wa.kujal�.ma�sha.na. afya. yake. b�nafs�.. H��. nd�yo. sababu,. watu. hasa. v�jana.wanatak�wa.kuel�m�shwa.kuhusu.athar�.za.dawa.za..kulevya..

Page 31: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

23

Tunawezaje kuzuia matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana katika jamii yetu, hasa ukizingatia kuwa wanahitajiwa katika ujenzi wa taifa?

Ha�na.maana.kukataza.tu.na.kuwa.wakal�.kat�ka.suala.la.utum�aj�.wa.dawa.za..kulevya,.kwa.sababu.mara.ny�ng�.v�jana.hufurah�a.na.kushaw�sh�ka.kujar�bu.v�tu.ambavyo.wamekatazwa..Nj�a.nzur�.ya.kuzu�a.dawa.za..kulevya.kwa.v�jana.n�.kuwaamb�a.athar�.na.hatar�.za.dawa.za..kulevya.kwa.ma�sha.yao.ya.baadaye..Kutoa.na.kusambaza.maelezo.ya.kwel�.kwa.v�jana.n�.muh�mu.kwa.aj�l�.ya.kuwapa.uwezo.wa.kuj�chagul�a.wenyewe.na.kufuata.ma�sha.yenye.afya.b�la.dawa.za..kulevya..V�jana.tus�danganywe.kup�t�a.vyombo.vya.habar�.na.matangazo.ambayo.huonyesha.tu.upande.wa. kufurah�sha. wa. dawa. za. . kulevya,. pombe. na. s�gara. b�la.kuonyesha.madhara.ya.dawa.h�zo..

Kama.utaj�kuta.kat�ka.hal�.ambayo.unapewa.dawa.za..kulevya.au.unashaw�sh�wa.kuj�unga.na.watum�aj�.wa.dawa.za..kulevya.jar�bu.kuwa.na.ms�mamo.�mara!.Inaweza.kuwa.n�.v�gumu,.lak�n�.jar�bu.

Page 32: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

24

kusema HAPANA. Kama umeamua kuishi bila dawa za kulevya na kutimiza malengo yako katika maisha ongea na rafiki zako na uwaeleze.n�.kwa.n�n�.umekataa.kutum�a.dawa.za..kulevya,.kuwa.jas�r�..

Kama nina rafiki au jamaa wa karibu ambaye ameathirika na utumiaji wa dawa za kulevya je, ninaweza kumbadili?

Endapo rafiki au jamaa anaomba msaada wa kuacha kutumia dawa za..kulevya.unaweza.kumsa�d�a.kwa.kumpat�a.nasaha..J�tah�d�.kumpat�a.taar�fa.zote.muh�mu.kuhusu.dawa.za..kulevya..Muh�mu.za�d�.mweleze.athar�.za.matum�z�.ya.dawa.h�zo..Hata.wazaz�.unaweza.kuwapat�a.ushaur�.endapo.watatambua.umuh�mu.wako.wa.kujal�..

Wakat�.mw�ng�ne.waath�r�ka.wa.dawa.za..kulevya.hawako.tayar�.kus�k�l�za.ushaur�.na.msaada.wako..Inaweza.kutokea.muath�r�ka.akawa na hasira na hata kuvunja urafiki wenu na hata kufa. Us�j�laumu!!!.Kwa.sababu.ul�j�tah�d�.kumsa�d�a.kadr�.ya.uwezo.wako. Wakati mwingine ni vyema kuvunja urafiki kwa usalama wako na kwa faida ya rafiki yako. Rafiki huyo anaweza kugundua kuwa.utum�aj�.wa.dawa.za..kulevya.unamletea.mw�sho.mbaya.na.hat�maye.kuchukua.uamuz�.wa.kueleza.matat�zo.yake..

Kama itatokea rafiki au ndugu yako ambaye ni teja ameathirika sana.k�afya.us�jar�bu.kumsa�d�a.peke.yako..Inaweza.kuwa.muh�mu.kumtafut�a.msaada.wa.k�taalamu.kutoka.kwa.mtaalamu..

Nitafanya nini kuzuia dawa za kulevya na jinsi gani nitaepukana na marafiki wabaya?

Wakat�. mw�ng�ne. n�. v�gumu. kusema. hapana. uk�wa. na.maana. ya. hapana.. Jar�bu. kuwa. mpole. na. us�we. mgomv�..Jaribu kueleza sababu zako kwa upole na uwaeleze rafiki zako

Page 33: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

25

k�le.unachok�jua.na.n�n�. unachofanya..H�vyo.utapata.hesh�ma.kutoka kwa wanarika wenzako na rafiki zako. Kama vijana wenzako.watakushaw�sh�.utum�e.dawa.za..kulevya.wakat�.wewe.hutaki, wanaweza kuwa marafiki wabaya. Kumbuka kwamba rafiki ni mtu ambaye anajali, analinda na kuthamini maisha ya rafiki yake. Kwa maana hiyo, kwa nini mtu anayekushawishi kwa makusud�. kufanya. k�tu. chenye. madhara. kwa. afya. yako. awe.rafiki wa kweli?!

.

Page 34: NA MAJIBU YAKE 2. 3. Mahusiano ya Kimwili 4. Mimba 5

26

.

Anwani maalumu kwa ajili ya ushauri wa dawa za kulevya.na.pombe