9
HOTUBA YA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) DKT ADOLF B. RUTAYUGA KUHUSU TAMKO LA BARAZA LA KUVIFUTIA USAJILI BAADHI YA VYUO NA KUVISHUSHA HADHI VINGINE - 24/06/2015 Ndugu waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ninayo furaha kubwa kuwakaribisha katika ofisi za Baraza. Lengo la kuwaita hapa leo ni kuwapa taarifa juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Baraza ikiwa ni katika jitihada za kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini. Ndugu Waandishi wa Habari Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, kwa lengo la kusimamia na kuratibu taaluma zinazotolewa na taasisi na vyuo vva elimu ya ufundi nchini, ambavyo siyo vyuo vikuu au vyuo vikuu vishiriki. Jukumu kubwa la Baraza ni kuendeleza na kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini kwa kusimamia kikamilifu shughuli za kuendesha mafunzo ili tuzo zinazotolewa na taasisi na vyuo ziwe na ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa. Kwa kutumia Sheria na Kanuni za Baraza za Usajili (2001) na zile za Ithibati na Utambuzi (2001), mnamo tarehe 20 Februari 2015, Baraza lilitoa notisi ya siku 30 kwa taasisi na vyuo vilivyokiuka taratibu na vyenye mapungufu makubwa ya Usajili na Ithibati kupitia taarifa yake kwa Umma. Notisi hii ililenga kuzipa taasisi na vyuo nafasi ya kujirekebisha. Baraza linakiri kuwa taasisi na vyuo vingi kama vilivyoorodheshwa kwenye Jedwali Na. 1, Jedwali Na. 3, na baadhi kwenye Jedwali Na. 5 vimechukua hatua mbalimbali za kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza. Hata hivyo, hadi kufikia leo tarehe 24 Juni 2015 yaani siku 124 baada ya Notisi ya Baraza, kuna vyuo ambavyo

NACTE - HOTUBA Press Conference - 24Juni2015 Final

Embed Size (px)

DESCRIPTION

NACTE -PRESS CONFERENCE JUNE 24 2015

Citation preview

HOTUBA YA KAIMU KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) DKT ADOLF B. RUTAYUGA KUHUSU TAMKO LA BARAZA LA KUVIFUTIA USAJILI BAADHI YA VYUO NA KUVISHUSHA HADHI VINGINE - 24/06/2015Ndugu waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ninayo furaha kubwa kuwakaribisha katika ofisi za Baraza. Lengo la kuwaita hapa leo ni kuwapa taarifa juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Baraza ikiwa ni katika jitihada za kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini.

Ndugu Waandishi wa Habari Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura ya 129, kwa lengo la kusimamia na kuratibu taaluma zinazotolewa na taasisi na vyuo vva elimu ya ufundi nchini, ambavyo siyo vyuo vikuu au vyuo vikuu vishiriki. Jukumu kubwa la Baraza ni kuendeleza na kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini kwa kusimamia kikamilifu shughuli za kuendesha mafunzo ili tuzo zinazotolewa na taasisi na vyuo ziwe na ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa.

Kwa kutumia Sheria na Kanuni za Baraza za Usajili (2001) na zile za Ithibati na Utambuzi (2001), mnamo tarehe 20 Februari 2015, Baraza lilitoa notisi ya siku 30 kwa taasisi na vyuo vilivyokiuka taratibu na vyenye mapungufu makubwa ya Usajili na Ithibati kupitia taarifa yake kwa Umma. Notisi hii ililenga kuzipa taasisi na vyuo nafasi ya kujirekebisha.

Baraza linakiri kuwa taasisi na vyuo vingi kama vilivyoorodheshwa kwenye Jedwali Na. 1, Jedwali Na. 3, na baadhi kwenye Jedwali Na. 5 vimechukua hatua mbalimbali za kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza. Hata hivyo, hadi kufikia leo tarehe 24 Juni 2015 yaani siku 124 baada ya Notisi ya Baraza, kuna vyuo ambavyo havijachukua hatua yoyote ya kurekebisha mapungufu yake kama inavyooneshwa kwenye Jedwali Na. 2 na Jedwali Na. 4.

Tamko la BarazaKutokana na mapungufu hayo Baraza limeamua kuchukua hatua kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zake kwa taasisi na vyuo vyote vilivyoorodheshwa katika Jedwali Na. 2 na Jedwali Na. 4 kwa makosa yafuatayo:

a) Ama kumalizika kwa muda wa Usajili wa Awali (Preparatory Registration) na Usajili wa Muda (Provisional Registration); aub) Kutoanza mchakato wa kupata Ithibati baada ya kupata Usajili Kamili; auc) Kumalizika kwa muda wa Ithibati na kutochukua hatua ya kuomba upya Ithibati (re-affirmation); na

d) Taasisi na Vyuo kuamua vyenyewe kusitisha kutoa mafunzo kwa sababu mbalimbali.

Jedwali Na. 1: Taasisi na Vyuo vinavyoruhusiwa kuendelea na taratibu za Usajili baada ya kutimiza masharti

NaJina la Chuo/TaasisiNamba ya Usajili

1Regional Aviation College Dar es SalaamREG/EOS/028P

2Zoom Polytechnic College Dar es Salaam REG/EOS/030P

3Gataraye Research and Training Centre Dar es Salaam REG/EOS/034P

4Modern Commercial Institute (MCI) Dar es SalaamREG/BMG/024P

5Evin School of Management Dar es SalaamREG/BMG/026P

6Agape School of Management Dar es SalaamREG/BMG/027P

Jedwali Na. 2:Taasisi na Vyuo vilivyofutiwa Usajili na kuzuiliwa kudahili wanafunzi wapya baada ya kutotimiza masharti ya Usajili

Na.Jina la Chuo/TaasisiNamba ya Usajili/Maelezo

1Dar es Salaam College of Clinical Medicine KinondoniUsajili wa Awali

2Ndatele School of Medical Laboratory Sciences Dar-es-SalaamUsajili wa Awali

3Institute for Information Technology Dar es Salaam REG/EOS/014

4DARMIKI College of Educational StudiesHakijasajiliwa. Kimezuiliwa kudahili wanafunzi

Jedwali Na. 3: Taasisi na Vyuo vinavyoruhusiwa kuendelea na taratibu za Ithibati baada ya kutimiza mashartiNa.

Jina la Taasisi/ChuoNamba ya

Usajili

Hadhi Kabla ya

NotisiHadhi Baada ya

Notisi

1Mabughai Community Development Technical Training Institute LushotoREG/EOS/040Usajili KamiliUsajili Kamili

2Kizimbani Agricultural Training Institute - ZanzibarREG/ANE/027Usajili KamiliIthibati ya Awali

3Civil Aviation Training Centre Dar es Salaam REG/EOS/006Ithibati ya MudaIthibati ya Muda

4Ardhi Institute TaboraREG/EOS/010Ithibati ya MudaIthibati Kamili

5Bandari College Dar es SalaamREG/EOS/018Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

6Tanzania Institute of Rail Technology TaboraREG/EOS/012Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

7RETCO Business College (RBC) IringaREG/BMG/025Usajili KamiliUsajili Kamili

8Aseki Business School DodomaREG/BMG/030Usajili KamiliUsajili Kamili

9Western Tanganyika College KigomaREG/BMG/032Usajili KamiliUsajili Kamili

10Law School of TanzaniaREG/BMG/040Usajili KamiliUsajili Kamili

11Royal College of Tanzania (RCT) Dar es SalaamREG/PWF/004Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

12Tanzania Regional Immigration Training Academy (TRITA) MoshiREG/PWF/030Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

13Morogoro School of Journalism (MSJ) MorogoroREG/PWF/005Ithibati ya MudaIthibati ya Muda

14Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBa) Bagamoyo (former Bagamoyo College of Arts Bagamoyo)REG/PWF/010 Ithibati KamiliIthibati Kamili

15Newman Institute of Social Work (NISW) KigomaREG/PWF/016Ithibati KamiliIthibati Kamili

16Njuweni Institute of Hotel, Catering & Tourism Management - KibahaREG/ANE/016Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

17Geita School of Nursing Geita REG/HAS/079Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

18St. Gaspar Nursing School ItigiREG/HAS/090Usajili KamiliUsajili Kamili

19Bugando School of Nursing Mwanza REG/HAS/052Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

20COTC Mafinga Iringa REG/HAS/047Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

21Kagemu School of Environmental Health Sciences Bukoba REG/HAS/034Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

22Mvumi Institute of Health Sciences Dodoma REG/HAS/011Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

23Tanzania Training Centre for International Health Ifakara REG/HAS/003Ithibati ya MudaIthibati ya Muda

24Mbeya Polytechnic College (former Ilemi Polytechnic College) MbeyaREG/BMG/031Usajili KamiliUsajili Kamili

25Institute of Sports Development Malya - MwanzaREG/PWF/019Usajili KamiliUsajili Kamili

26Ruaha Community Development Training Institute (CDTI) - IringaREG/PWF/028Usajili KamiliUsajili Kamili

27Uyole Community Development Training Institute (CDTI) - MbeyaREG/PWF/027Usajili KamiliUsajili Kamili

28Institute of Rural Development Planning (IRDP) - MwanzaREG/PWF/043Usajili KamiliUsajili Kamili

29Rungemba Community Development Institute (CDTI) - MufindiREG/PWF/007Ithibati KamiliIthibati Kamili

30Time School of Journalism (TSJ) Dar es SalaamREG/PWF/013Ithibati KamiliIthibati Kamili

31COTC Machame Hai REG/HAS/087Usajili KamiliUsajili Kamili

32Mwambani School of Nursing ChunyaREG/HAS/089Usajili KamiliUsajili Kamili

33Kiomboi School of Nursing IrambaREG/HAS/091Usajili KamiliUsajili Kamili

34College of Health Sciences ZanzibarREG/HAS/095Usajili KamiliUsajili Kamili

35Kabanga School of Nursing Kasulu REG/HAS/023Usajili KamiliIthibati ya Awali

36Kondoa School of Nursing Dodoma REG/HAS/040Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

37Lugarawa School of Nursing Ludewa REG/HAS/036Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

38Tosamaganga School of Nursing Iringa REG/HAS/020Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

39Vector Control training Centre Muheza REG/HAS/031Ithibati ya MudaIthibati ya Muda

40Training Centre for Health Records Technology Moshi REG/HAS/072Ithibati ya MudaIthibati ya Muda

41Dar es Salaam School of Journalism (DSJ) Dar es SalaamREG/PWF/012Ithibati KamiliIthibati Kamili

42Financial Training Centre Dar es SalaamREG/BMG/004Ithibati ya AwaliIthibati ya Awali

Jedwali Na. 4: Taasisi na Vyuo vilivyoshushwa hadhi baada ya kutotimiza masharti ya Ithibati

Na.

Jina la Taasisi/ChuoNamba ya

Usajili

Hadhi Kabla ya

NotisiHadhi Baada ya

Notisi

1Sura Technologies Dar es Salaam REG/EOS/019Usajili KamiliUsajili wa Muda

2Institute of Management and Information Technology Dar es SalaamREG/EOS/016Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

3Techno Brain - Dar es SalaamREG/EOS/021Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

4Ministry of Agriculture Training Institute Igurusi - MbeyaREG/ANE/009Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

5Mbozi School of Nursing MbeyaREG/HAS/062Usajili KamiliUsajili wa Muda

6KCMC AMO Ophthalmology School MoshiREG/HAS/085Usajili KamiliUsajili wa Muda

7KCMC AMO Anaesthesia School MoshiREG/HAS/094Usajili KamiliUsajili wa Muda

8Advanced Pediatrics Nursing KCMC - MoshiREG/HAS/076Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

9AMO Training Centre Tanga Tanga REG/HAS/049Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

10CATC SongeaREG/HAS/054Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

11CATC SumbawangaREG/HAS/055Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

12COTC Maswa Shinyanga REG/HAS/014Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

13COTC MusomaREG/HAS/033Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

14Dental Therapists Training Centre Tanga REG/HAS/057Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

15Ngudu School of Environmental Health Sciences KwimbaREG/HAS/058Ithibati ya AwaliUsajili wa Muda

16KCMC AMO General School Moshi REG/HAS/096Ithibati ya MudaUsajili Kamili

Jedwali Na. 5:Taarifa kuhusu Taasisi na Vyuo vyenye maelezo maalum

Na.

Jina la Taasisi/ChuoNamba ya

Usajili

Hadhi Kabla ya

NotisiHadhi Baada ya

NotisiMaelezo

1Lake Teachers College SingidaREG/TLF/001Usajili wa MudaUsajili KamiliKimeruhusiwa kudahili wanafunzi

2Patricia Metzger Academy of Health and Beauty Dar-es-SalaamREG/PWF/022PUsajili wa MudaUsajili wa MudaKimesitisha kutoa mafunzo

3Institute of Management and Entrepreneurship Development Dar es SalaamREG/BMG/039Usajili KamiliUsajili KamiliKimesitisha kutoa mafunzo

4Tanga School of Nursing Tanga REG/HAS/084Ithibati KamiliIthibati KamiliHaijamaliza muda wa Ithibati

5ESACS School of Journalism and Business Studies Dar es SalaamREG/PWF/044Usajili KamiliUsajili KamiliKimesitisha kutoa mafunzo

6Fire and Rescue Training Centre Dar es Salaam.REG/EOS/032PUsajili wa MudaUsajili wa MudaKimesitisha kutoa kozi za muda mrefu. Sasa kinatoa kozi za muda mfupi ambazo hazipitishwi na Baraza (NACTE).

Asanteni kwa kunisikiliza.

IMETOLEWA NA:

OFISI YA KATIBU MTENDAJI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI

24 JUNI 2015