11
Gemeinsam! Kwa pamoja! Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer Land/Deutschland Undugu Kati ya Mabira Tanzania na Nassau Ujerumani

New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

  • Upload
    others

  • View
    1

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Gemeinsam!Kwa pamoja!

Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer Land/DeutschlandUndugu Kati ya Mabira Tanzania na Nassau Ujerumani

Page 2: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Geschichtliche Entwicklung

Am 14. März 1965 hielt der Studenten-Pfarrer Dr. Wolfgang Löwe im Rahmen des Dekanats-kirchentages in der Nassauer Stadthalle einen Vortrag über seine Reise in Ostafrika. Dies motivierte Pfarrer Rolf Rudolf Stahl anlässlich der Kircheneinweihung in Friedrichsegen für den Bau einer Buschkirche in Tansania Geld zu sammeln. Ein folgender Besuch zum Ernte-

dankfest in Frücht und längere Aufenthalte von Jugendpfarrer Samson Mushemba, einem spä-teren Bischof der Evan-gelisch-Lutherischen Kir-che von Tansania, erga- ben Kontakte zu Gebie-ten westlich des Vikto-riasees. Um die Verbin-dungen auf eine breitere Basis zu stellen, haben im September 1981 die Synoden des Ev. Deka-nats Nassau und des

Kirchendistrikts Mabira ihre Partnerschaft beschlossen und in einem Vertrag 2010 bestätigt.

Maendeleo ya kihistoria

Tarehe 14/3/1965, mwanafunzi wa Uchungaji Dk. Wolgang Lowe alitoa andiko kuhusu safari yake Afrika Mashariki kwenye siku ya Mchungaji wa Jimbo kwenye ukumbi wa Jiji la Nassauer. Andiko hilo lilimvutia sana Mchg. Rolf Rudolf Stahl ambaye aliamua kuanza kazi ya kukusanya fedha kwenye matukio mbalimbali ikiwemo siku lilipozinduliwa Kanisa la Friedrichsegen ambapo fedha iliyokusanywa siku hiyo ilipelekwa kujenga makanisa ya vijijini Tanzania. Hii ilikuja kupata nguvu baada ya ziara ya Mchg. Dk. Samson Mushemba ambaye baadae alikuwa Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania ambaye ndiye chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi.

Page 3: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Mabira

Nassauer Land

Lage und Größe

Das Mabira-Gebiet liegt im Nord-Westen von Tansania unweit von den Grenzen Ugandas und Ruandas. In einiger Entfernung befindet sich östlich der Viktoria See. Im hügeligen Hochland leben ungefähr 20.000 evangeli-sche Christen in sechs Pfarreien mit je einem Pfarrer und 51 Gemeinden, die von 50 Evan-gelisten betreut werden.

Der Zusammenschluss der Dekanate Nassau mit Diez und St. Goarshausen ergab in etwa 55.000 evangelische Kirchenmitglieder in 55 Kirchengemeinden. Das Dekanat Nassauer Land grenzt westlich am Rhein von Lahnstein bis Lorch und geht nordöstlich bis Diez an der Lahn und wird von gut 40 Pfarrer/innen betreut.

Mahali na Eneo

Eneo Mabira ilipo; Mabira inapatikana sehemu ya Kaskazini Magharibi mwaka Tanzania ambapo ipo karibu na Mipaka ya Nchi za Rwanda na Uganda, kuna kilometa chache kutoka ziwa Victoria. Katika eneo hili Wakristo Waprotestant ni takribani elfu 20,000, wakiwa katika sharika sita (6) na mitaa 51 ambapo watendaji wakuu katika mitaa ni Wainjilisti.

Aidha muunganiko wa majimbo ya Nassau, Diez pamoja na Goarshausen linafanya Wakristo wa Kiprotestant kufikia elfu 55,000 katika sharika 55 zinahudumiwa na takriban Wachungaji 40. Jimbo la Nassau linapakana na ziwa Rhine kutokea upande wa Lahnstein kuelekea Lorch pia upande wa Kaskazini mashariki inapakana na Diez na mto Lahn.

Mabira

Page 4: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Lebenssituationen

Die Menschen in Mabira leben meist in ein-fachen Häusern ohne Stromversorgung. Sie ernähren sich hauptsächlich von Kochbana-nen aus ihren Gärten. Eine öffentliche Was-serversorgung gibt es nicht. Dies führt zu einer einseitigen Mangelernährung und häu-figen Durchfallerkrankungen. Dennoch be-sitzen die zumeist kinderreichen Familien in Mabira eine große Lebensfreude, die in sehr gut besuchten Gottesdiensten mit wunder-baren Chorgesängen und Tänzen ihren Aus-druck finden.

Für beheizte Wohnungen und Häuser sowie für den Besitz von Autos geben die Menschen im Nassauer Land den überwiegenden Teil ihres Einkommens wieder aus. Der Stress der Arbeit führt häufig zu psychischen Erkran-kungen. Fast Food und mangelnde Bewegung haben häufig Übergewicht zur Folge. Im Gegensatz dazu führen der Genuss eines reichhaltigen Angebots an Lebensmitteln und eine gute medizinische Versorgung zu einem steigenden, hohen Lebensalter der Menschen.

Hali ya Maisha

Watu wengi Mabira huishi katika nyumba za kawaida za tope na maeneo mengi haku- na umeme. Watu hupata chakula kutoka mashamba yao ya migomba na hakuna maji salama, hii husababisha utapiamlo pamoja na magonjwa ya kuharisha mara kwa mara. Hata hivyo maisha ya watu ni ya furaha, watu uhudhuria Ibada kwa wingi na kuimba vizuri Kanisani.

Watu wa Nassauer Land hutumia mapato yao kuwa na mitambo ya umeme na kuwepo mifumo ya joto kwenye nyumba zao pia wengi wao wana magari. Wanafikiri sana habari ya kazi na wengine wamepata mago-njwa yanayosababisha mtindio wa ubongo. Kipo chakula cha haraka na kingi na kutoka-na na watu kutofanya mazoezi wamekuwa wanene sana. Hata hivyo uwepo wa chakula safi na huduma bora za afya imesababisha kuwa na jamii kubwa ya wazee.

Page 5: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Leitgedanke

„Es ist wie bei einem menschlichen Körper. Wie der Leib ein in sich ganzer und lebendiger Organismus ist und doch viele verschiedene Organe hat, und alle Organe des Leibes zusammen trotz Verschiedenheit doch ein einziger Leib sind, so ist es auch mit uns, die wir zu Christus gehören“ 1. Korinther 12, 12 NT von Jörg Zink

Grundsätze

Die Partnerschaft basiert auf christliche Ge-meinschaft, Gleichheit sowie Teilhabe. Pro-jekte sind nie einseitige Leistungen, sondern immer auch gemeinsame Taten.

Ziele

Die Ziele der Partnerschaft sind:• voneinander zu lernen und einander zu

ergänzen• die geistlichen und materiellen Gaben

miteinander zu teilen• persönliche und gemeinschaftliche

Kontakte zu ermöglichen

Mwongozo

„Ni kama mwili wa mtu“ maana kama mwili ulivyo mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote ni vya mwili huo, navyo ni vingi, ni mwili mmoja vivyo hivyo na Kristo” 1 Korintho 12:12

Kanuni

Undugu umeweka msingi wake katika jamii ya Kikristo, inayojali usawa na uwajibikaji. Miradi iliyopo si kwa ajili ya upande mmoja bali wote wananufaika na wanasimama pamoja.

Lengo

Madhumuni ya Undugu ni:• Kujifunza pamoja na

kukamilishana• Kushirikishana vipawa

vya kiroho na mali• Kuendeleza

mawasiliano ya kijamii na binafsi

Page 6: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba
Page 7: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Projekte MiradiDie Projekte verfolgen den Zweck der gegenseitigen Stärkung von Geist und Seele, sowie der gemeinsamen Bekämpfung realer Mängel und deren Ursachen.

Malengo ya Miradi ni kuimarisha imani na roho ikilenga kuleta majawabu ya matatizo yanayokuwa yamejitokeza.

Wasser

Wasser bedeutet Leben. Täglich tragen Kinder und Frauen schwere Wasserkanister über weite Strecken nach Hause. Um die Wege zu verkürzen und Wasser zur Verfügung zu haben, werden unter Mithilfe der Menschen vor Ort Wassertanks an Dächern von Kirchen und Schulen gebaut. Zum Erhalt der Was-sertanks und Zuleitungen dient der einge-sammelte Wasser-Cent. Ein Wasser-Komitee stellt sicher, dass jeder unabhängig von Her-kunft und Religion auch Wasser bekommt.

Landwirtschaft

Zur Bekämpfung einer Bakterienkrankheit in der Kochbanane und zur Reduzierung der Abhängigkeit von dieser Monokultur wurden Beispielsfelder mit alternativen Kulturen wie Maniok, Mais, Bohnen und Süßkartoffeln angelegt und die Kleinbauern geschult. Auf diese Weise wurde die Kochbanane erhalten und der einseitigen Ernährung entgegen-gewirkt. Im Sinne von „Hilfe zur Selbsthilfe“ ist ein Anfang gemacht worden. Nun gilt es, den begonnenen Weg vor Ort selbst weiter zu führen.

Maji

Maji ni uhai. Watoto na wanawake hubeba madumu makubwa ya maji na kutembea mwendo mrefu kila siku ili kutafuta maji. Ili kufupisha mwendo maji yameletwa karibu katika maeneo machache kwa kujenga visima vya maji katika mashule na makanisa kwa msaada wa watu tofauti tafauti. Fedha inayo-patikana kwa kuuza maji husaidia kukarabati Kisima na kujenga miundombinu ili maji ya-patikane kwa urahisi. Kamati za maji zipo na zinasimamia zoezi la ugawaji maji kwa watu wote bila ubaguzi wa dini wala jinsia.

Kilimo

Katika kupambana na ugonjwa wa migomba na mazao mengine, na kupunguza watu kutegemea aina moja ya chakula; mashamba ya mihogo, mahindi, maharagwe na viazi yalianzishwa. Pia wakulima walipata mafunzo ili kuboresha kilimo. Hii ni kwa sababu watu walitegemea ndizi tu hapo kabla. Kwahiyo mwanzo umewekwa ni jukumu la watu kuendeleza wenyewe. Hii ni kauli mbiu yetu “Saidia watu wajisaidie wenyewe”

Page 8: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Bildung

Das Berufsausbildungsprojekt MAVEC* zielt darauf ab, dass junge Menschen Chancen bekommen, in ihrer Heimat Mabira zu arbei-ten und leben bleiben zu können. Nach er-folgreicher Berufsausbildung werden sie nicht allein gelassen, sondern von geistlichen Paten vor Ort begleitet und mit Werkzeugen zum Berufsbeginn unterstützt. Als Basiscamp zum gemeinsamen Arbeiten, Leben, Teilen und Anbieten ihrer Leistungen dient das MAVEC-Haus in Mabira gegenüber dem Marktplatz.

Elimu

Elimu ya ufundi kwa vijana (MAVEC*) imeto-lewa ili kuwasaidia vijana kufanya kazi na kuendesha maisha yao huko Mabira. Baada ya kumaliza hawakuachwa peke yao bali wame-pewa walezi wa kiroho (Godparents). Aidha wamepewa vifaa vya kufanyia kazi walizoso-mea. Nyumba ya vijana Mabira imewasaidia kuishi, kufanya kazi na kushirikiana pamoja ili kuendesha maisha yao.

* Mabira Vocational Education Cooperation

Page 9: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Frauen

Ziel ist es, Frauen in Mabira zu ermöglichen, einen Beitrag zum Lebensunterhalt zu er-arbeiten, um dadurch unabhängiger und selbstbewusster zu werden. Sie erhalten Mikrokredite, mit denen sie zum Beispiel Materialien für Handarbeit erwerben oder andere kleine Geschäftsideen entwickeln. Die Frauengruppen in den Dörfern sind Orte der Begegnung zum gemeinsamen Singen, Beten und Austausch. Dies gibt den Frauen auch die innere Kraft für die Herausforderungen des Alltags.

Gesundheitswesen

Die Krankenstation und deren Mitarbeiter/innen in Ibamba ermöglichen eine medizi-nische Grundversorgung der ländlichen Be-völkerung. Dies gilt insbesondere für Babys und Kleinkinder. Ferner dient das Fahrzeug des Distrikt-Pfarrers, um im Notfall Kranken-transporte zum weit entfernten Krankenhaus in Nyakahanga durchzuführen. Durch Spen-den wurde eine Solaranlage angeschafft und ein Wassertank gebaut. Ferner finden laufend Medikamentenlieferungen statt.

Wanawake

Lengo la mradi ni kusaidia wanawake katika eneo la Mabira ili waweze kuboresha maisha yao na kuwafanya wajiamini na kujitegemea. Mikopo midogo midogo inatolewa ambayo husaidia kuanzisha biashara ndogo ndogo anu kununua vifaa kwa ajili ya kazi ya mikono. Katika vikundi wanawake hupata nafsi ya kukutana, kuimba, kuomba, kubadilishana uzoefu, kuimarishana kiroho na kutiana moyo katika changamoto za kila siku wanazokutana nazo.

Afya

Kituo cha afya (Zahanati) na wafanyakazi wa Zahanati ya Ibamba hutoa huduma kwa watu wa vijijini hasa waliokaribu na kituo. Wateja wengi ni watoto na mama wajawazito. Aidha Gari la Jimbo pia hufanya kazi ya kusafirisha wagonjwa kwenda Hospitali ya Nyakahanga pale inapotokea. Umeme wa mionzi ya jua umewekwa katika zahanati pamoja na kisima cha maji. Aidha msaada wa madawa kwa familia maskini unaendelea.

Page 10: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Begegnungen

Trotz der verbesserten Kommunikation mit-tels neuer Medien wie E-Mails oder WhatsApp ist es unbedingt erforderlich, sich zu besu-chen, um in persönlichen Gesprächen die Beziehungen für eine gedeihliche Partner-schaft zu intensivieren. Die gemeinsamen Gottesdienstbesuche und das Teilen des Bibelwortes im häuslichen Umfeld führen zur geistlichen Stärkung der Partnerschaft.

Jugend

Die Begegnung junger Menschen wurde initiiert, um der Partnerschaft eine Zukunft zu geben. Dabei ist es wichtig, dass sich die jungen Erwachsenen in ihrer jeweiligen all-täglichen Kultur und ihrem Glauben vor Ort kennenlernen, um gegenseitiges Verständnis aufzubauen. Wertschätzungen unabhängig von Rasse, Geschlecht und sozialen Status werden erreicht. Gegenseitige Besuche sind einmalige Erfahrungen, die lebenslang in guter Erinnerung bleiben.

„Bleibt fest in der brüderlichen Liebe. Gastfrei zu sein vergesst nicht; denn dadurch haben einige ohne ihr Wissen Engel beherbergt.“ Hebräer 13, 1+2

Ziara

Hata kama kuna njia bora za mawasiliano kupitia vyombo vya habari, barua pepe na Wasap bado ni muhimu kutembeleana ili kujenga urafiki na undugu wa mtu mmoja mmoja na jamii nzima. Ibada za pamoja na kusoma neno la Mungu pamoja katika mazingira ya Nyumbani husaidia kujengana kiroho na kuimarisha undugu.

Vijana

Mikutano ya vijana lengo lake ni kujenga undugu leo na kesho, pia ni vyema kwamba vijana wanapata nafasi ya kufahamiana katika maisha yao na hasa kushirikishana mambo yanayohusu imani, tamaduni na mila ili kujenga uelewa wa pamoja. Vijana upata nafasi ya kutambua mambo ya wengine kama vile rangi, jinsia na hali ya jamii. Kutembeleana imekuwa alama nzuri isiyoweza kusahaulika kwa vijana.

„Upendano wa ndugu na udumu. Msisahau kuwakaribisha wageni, maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.“ Waebrania 13:1-2

Page 11: New Partnerschaft Mabira/Tansania und Nassauer … · 2020. 7. 27. · chanzo cha Undugu huu. Aidha mwaka 2010 uliandikwa mkataba wa Undugu ili kuupa nguvu kiofisi. Mabira ... mashamba

Evangelisches Dekanat Nassauer Land · Arbeitskreis Mabira im Dekanat Nassauer Land Vorsitzender: Berthold Krebs

Römerstraße 25 · 56130 Bad Ems · GermanyTel. 02603-509920 · [email protected]

ELCT Karagwe Diocese · Mabira DistrictRev. Jerryson Mambo

Ibamba- Mabira · Karagwe-Kagera [email protected]

Spenden helfen ein Stück Verantwortung für die Entwicklung und den Frieden in einer gerechteren Welt wahrzunehmen.

Die Partner haben sich verpflichtet die Mittel zweckgerichtet und ordnungsgemäß einzusetzen.

Misaada husaidia uwajibikaji na uleta maendeleo na usawa katika ulimwenguNi patano la WanaUndugu kwamba fedha yote inayopatikana itumike sawasawa na kwa

malengo yaliyokusudiwa.

Konto: Nassauische SparkasseIBAN: DE58 5105 0015 0563 0067 22

Stichwort: Mabira und ggf. Projektname

Spenden an das Evangelische Dekanat Nassauer Land werden bei der Steuererklärung vom Finanzamt anerkannt.

Bis zu einem Betrag von 200 € reicht bei der Steuererklärung ein Überweisungsbeleg. Auf Wunsch wird aber auch gerne eine Spendenbescheinigung vom Dekanat ausgestellt.

Mehr über die Karagwe-Diözese bzw. die evangelisch-lutherische Kirche

in Tansania (ELCT) erfahren Sie unter: www.karagwe-diocese.org · www.elct.org

Nähere Information: Telefon 02603-509920 E-Mail: [email protected]

www.evangelisch-nassauer-land.de

Text und Fotos: Dietmar Menze, David Metzmacher, Bernd-Christoph MaternGestaltung: www.designwerkstatt-nassau.de

Jede Hilfe zählt!