4

NILIKUJAKwa ajili ya dhambi zako. - Fellowship Tract League"Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya ... cha uzima, aratupwa katika ziwa la moto." (Ufunuo 20:15)

  • Upload
    others

  • View
    1

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

  • NILIKUJA...Kwa ajili ya "dhambi" zako."Kama ilivyoandikwa, hakuna mwenye haki hata mmoja." (Warumi 3:10)"Kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu." (Warumi 3:23)"Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Yesu Kristo alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi." (I Timotheo 1:15a)

    NILIKUFA...ili nilipe dhambi "zako"."Bali alijeruhiwa kwa sababu ya makosa yetu; alichubuliwa kwa maovu yetu, adhabu ya imani yetu ilikuwa juuyake, na kwa kupigwa kwake sisi tumepona." (Isaya 53:5)"Bali Mungu aonyesha pendo lake yeye mwenyewe kwetu sisi, kwa kuwa Kristo alikufa kwa ajili yetu, tulipokuwa tungali wenye dhambi, basi zaidi sana tukiisha kuheshabiwa haki katika damu yake, tutaokolewa na ghadhabu kwa yeye." (Warumi 5:8-9)"Ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi." (Wakolosai 1:14)

    NILIFUFUKA...ili nikuhifadhi ukiwa mwokovu milele."Naye, kwasababu hii, aweza kuwaokoa kabisa wao waaminio Mungu kwa yeye; maana ya hai siku zote ili awaombee." (Waebrania 7:25)"Kondoo wangu waisikia sauti yangu; nami nawajua, nao wanifuata. Nami nawapa uzima wa milele; wala hawatapotea kamwe; wala hakuna mtu atakayewapokonya katika mkono wangu." (Yohana 10:27-28)"Na, huu ndio ushuhuda, ya kwamba Mungu alitupa uzima

  • wa milele; na uzima huu umo katika mwanawe." (Yohana 10:27-28)

    NI LAZIMA UTUBU...ukiri kwamba umekosa, na kwamba huna uwezo wowote wa kujiokoa, ila wokovu

    kutoka kwa Yesu."Nawaambia, sivyo; lakini msipotubu, ninyi nyote mtaangamia vivyo hivyo." (Luka 13:3)"Mtu ambaye anaacha njia yake, na mtu asiye haki aache mawazo yake na amrudie Bwana, naye atamrehemu; na arejee kwa Mungu wetu, naye atamsamehe kabisa. Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana." (Isaya 55:7-8)"Si kwa sababu ya matendo ya haki tuliyotenda sisi bali kwa rehema yake." (Warumi 4:5)

    NI LAZIMA UTEGEMEE...uiweke imani yako "kamilifu" kwake Yesu Kristo akuokoe.

    "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata aka-mtoa mwanawe pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele." (Yoh 3:16) "Lakini akiiona ahadi ya Mungu hakusita kwa kutokuamini, bali alitiwa nguvu kwa imani, akamtukuza Mungu; huku akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi." (Warumi 4:20-21)"Apato kuonyesha haki yake wakati huu, ili awe mwenye haki na mwenye kuheshabiwa haki yeye amwaminiye Yesu." (Warumi 3:26)"Basi, twaona ya kuwa mwanadamu huheshabiwa haki kwa imani pasipo matendo ya sheria." (Warumi 3:28)

  • FELLOWSHIP TRACT LEAGUEP.O. BOX 164 • LEBANON, OH 45036www.fellowshiptractleague.org © Tract 8100 (Swahili)All tracts free as the Lord provides. Not to be sold.

    UMEKATA KAULI GANI?

    Nachagua kumpokea Yesu kama Mwokozi wangu.

    "Amwaniniye yeye hahukumiwi." (Yohana 3:18a)"Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu...Kwa kuwa kila atakayeliita jina la Bwana ataokoka." (Warumi 10:10,13)

    Na chagua kumkataa Yesu niedelee kufuata nafsi yangu.

    "...asiyeamini amekwisha hukumiwa; kwa sababu hakuliamini jina la mwana pekee wa Mungu." (Yohana 3:18b)"Na iwapo mtu yeyote hakuonekana ameandikwa katika kitabu cha uzima, aratupwa katika ziwa la moto." (Ufunuo 20:15)

    Tafadhali tuma karatasi hii kwetu utujulishe ya kwamba baada ya kuisoma, umekata kauli ya kumpokea Yesu awe

    Mwokozi wako.

    JinaAnwaniMji Umri