2
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: [email protected] Website : www. ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM . Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UTEUZI NA UHAMISHO WA MABALOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joseph B. Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kabla ya uteuzi huo Ndugu Masikitiko alikuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo (TBS). Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi wa Balozi mmoja na kuwabadilishia vituo vya kazi Mabalozi wawili kama ifuatavyo: (i) Lt. Gen. Charles L. Makakala, ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe. Kabla ya uteuzi huo Lt. Gen. Makakala alikuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College). (ii) Balozi Wilson Masilingi aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi amehamishwa kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Liberata Mulamula aliyeteuliwa hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa. Atakuwa pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mexico

Rais - Uteuzi - Tbs Na Mabalozi

Embed Size (px)

DESCRIPTION

RAIS KIKWETE AFANYA - UTEUZI BOSS WA TBS NA MABALOZI

Citation preview

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: [email protected]!e : """. ikulu.go.!# $a%: 255-22-211&425'(E)*+E,T-) .$$*/E,)T0TE 1.2)E, 1 30(0/4 .3050(.0+, 11466 +0( E) )07005.Tan#ania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTEUZI NA UHAMISHO WA MABALOZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya MrishoKikwete amemteua Ndugu Joseph B. Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu waShirika la Viwango Tanzania (TBS). Kabla ya uteuzi huo Ndugu Masikitikoalikuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo (TBS).Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi wa Balozi mmoja na kuwabadilishiavituo vya kazi Mabalozi wawili kama ifuatavyo:(i)Lt. Gen. Charles L. Makakala, ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzanianchini Zimbabwe. Kabla ya uteuzi huo Lt. Gen. Makakala alikuwa Mkuuwa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College).(ii)Balozi Wilson Masilingi aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uholanziamehamishwa kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani kujazanafasi iliyoachwa wazi na Balozi Liberata Mulamula aliyeteuliwa hivikaribuni kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi naUshirikiano wa Kimataifa. Atakuwa pia anaiwakilisha Tanzania nchiniMexico(iii)Balozi Irene Kasyanju aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Sheria,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ameteuliwa kuwaBalozi wa Tanzania nchini Uholanzi kushika nafasi inayoachwa wazi naBalozi Wilson Masilingi.Taarifa iliyotolewa leo, Jumanne, Agosti 11, 2015 na Katibu MkuuKiongozi, Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa Uteuzi nauhamisho huu unaanzia tarehe 07 Agosti, 2015.Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu,DAR ES SALAAM.11 Agosti, 2015