Transcript

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: [email protected]!e : """. ikulu.go.!# $a%: 255-22-211&425'(E)*+E,T-) .$$*/E,)T0TE 1.2)E, 1 30(0/4 .3050(.0+, 11466 +0( E) )07005.Tan#ania.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUTEUZI NA UHAMISHO WA MABALOZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya MrishoKikwete amemteua Ndugu Joseph B. Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu waShirika la Viwango Tanzania (TBS). Kabla ya uteuzi huo Ndugu Masikitikoalikuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo (TBS).Aidha, Rais Kikwete amefanya uteuzi wa Balozi mmoja na kuwabadilishiavituo vya kazi Mabalozi wawili kama ifuatavyo:(i)Lt. Gen. Charles L. Makakala, ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzanianchini Zimbabwe. Kabla ya uteuzi huo Lt. Gen. Makakala alikuwa Mkuuwa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (National Defence College).(ii)Balozi Wilson Masilingi aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uholanziamehamishwa kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani kujazanafasi iliyoachwa wazi na Balozi Liberata Mulamula aliyeteuliwa hivikaribuni kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi naUshirikiano wa Kimataifa. Atakuwa pia anaiwakilisha Tanzania nchiniMexico(iii)Balozi Irene Kasyanju aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Sheria,Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ameteuliwa kuwaBalozi wa Tanzania nchini Uholanzi kushika nafasi inayoachwa wazi naBalozi Wilson Masilingi.Taarifa iliyotolewa leo, Jumanne, Agosti 11, 2015 na Katibu MkuuKiongozi, Balozi Ombeni Sefue mjini Dar es Salaam inasema kuwa Uteuzi nauhamisho huu unaanzia tarehe 07 Agosti, 2015.Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu,DAR ES SALAAM.11 Agosti, 2015