11
Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019

Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

  • Upload
    others

  • View
    24

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019

Page 2: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Baada ya kusomwa kwa Neno, wana wa Israeli waliamua kufanya agano na Mungu. Waliahidikwamba watakuwa waaminifu Kwake.

Agano hilo na watu waliolitia saini vimeandikwa katikaNehemia 10.

Agano hili limejumuishwa kwenye agano la milelealilolifanya Mungu na jamii ya wanadamu.

Agano la milele:

kwanini agano?

agano au maagano?

muundo wa maagano

Agano la Israeli (Nehemia 10):

Kudhamiria kutii

kudhamiria kuabudu

Page 3: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

“Na watu waliosalia […] wakaambatana na ndugu zao, wakuu wao, nao wakaingia katika laana nakiapo, ya kuwa wataiendea torati ya Mungu, iliyotolewa kwa mkono wa Musa, mtumishi wa Mungu, na kuziangalia na kuzitenda, amri zote za BWANA, Bwana wetu, na hukumu zake na sheria zake.” (Nehemia 10:28-29)

Watu waliahidi kutimiza agano ambalo Mungualilifanya na Israeli katika Mlima Sinai (angalia Kutoka 19:8; 24:3).

Wakati wanadamu walipotendadhambi kwa mara ya kwanza, Mungualifanya agano nao (Mwanzo3:15).

Dhambi ilivunja uhusiano wa Mungu na viumbe vyake. Mungualidhamiria kuurejesha uhusiano huo.

Kila mtu lazima aamue katiya kujiunga na agano nakurejesha uhusiano wao naMungu, na kukataa.

Page 4: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Jamii ya wanadamuiliyogawanyika

Kaini

Alichaguauovu

Lameki

(kizazi za 7)

Alianzishandoa zamitala

Waliharibiwa

Sethi

AlimpokeaMungu

Henoko

(kizazi cha 7)

Alitembea naMungu

Nuhu alipata neemamachoni pa Bwana

Mbali ya kuwa na maovu yetu, Mungu kamwe hajatukatia tamaakatika kurejesha mahusiano yakenasi. Mara nyingi sana amekuwaakirejesha upya agano Lake la milele.

Page 5: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Baada ya Gharika, Mungu alifanya agano na Abramu naakalithibitisha kwa Isaka na Yakobo (Mwanzo 17:1-8, 19; 1 Nyakati 16:16-17; Wagalatia 3:17).

1. Utakaso (Yeremia 31:33)2. Upatanisho (Yeremia 31:33)3. Utume (Yeremia 31:34)4. Kuhesabiwa haki (Yeremia 31:34)

Katika Mlima Sinai, Mungu alifanya agano na wana wa Israeli (Kutoka 19-24). Hili ni “agano la kale" (2 Wakorintho 3:14) ambalo liliendelea hadi kuitaja nyumba ya Daudi (Isaya 55:3).

Hatimaye, Mungu aliahidi kufanya“agano jipya" (Yeremia 31:33-34). Hata hivyo, haya magano yote yanaawamu tofauti zenye agano sawa la milele. Agano la milele linahusisha:

Page 6: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Maagano katika wakati uleyalikuwa yanagawanyiakatika sehemu mbalimbali. Kitabu cha Kumbukumbu la Torati (kitabu cha agano) naagano la Yoshua na watu nimifano mizuri.

Kanuni maalumuKumb. 31:9-13 Yosh. 24:25-26

MashahidiKumb. 30:19 Yosh. 24:22, 27

Mibaraka na laanaKumb. 27-30 Yosh. 24:19-20

Kanuni au sheriaKum. 4:44–26:19 Yos. 24:14-15,23

Utangulizi wa KihistoriaKum. 1:6-4–4:43 Yosh. 24:2-13

DibajiKumb. 1:1-5 Yosh. 24:2

Page 7: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

“Japo agano hili lilifanywa kwa Adam na

kufanywa upya kwa Abramu, lisingepata

kukubalika hadi kifo cha Kristo. Lilidumu

kwa ahadi ya Mungu tangu dokezo la

kwanza la ukombozi ulipokuwa

umetolewa; ilipokelewa kwa imani; bado

hadi lithibitishwe na Kristo, linaitwa

agano jipya. Sheria ya Mungu ilikuwa

ndiyo, ambao ulikuwa kama mpangalio wa

kuwaleta tena wanadamu katika furaha

na mapenzi ya Mungu, kuwaweka mahali

ambapo wangeitii sheria ya Mungu.”

E.G.W. (Wazee na Manabii, sura. 32, p. 370)

Page 8: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Saini 84 ziliwakilisha watu wa Israeli. Liwali alisainikwanza, akifuatiwa na Kuhani Mkuu, makuhani, walawi na viongozi wa watu.

Kila mmoja alidhamiria kutii sheria ya Mungu(aya. 29). Walisisitizia hatua zifuatazo:

Kutoolewa na wasiyoWaisraeli (aya. 30)

Kuitunza Sabato (aya. 31)

Kuwajali maskini kwakuiangalia Sabato ya mwaka nakufuta madeni (aya. 31)

Kusaidia katika huduma zaHekalu (aya. 32-39)

Wangeweza kukua katika utakatifu kwa kufuata hatua na kuzitekeleza tabianjema.

Page 9: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Mchango wa kila mwaka wauchumi kwa ajili ya mikate ya

wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine

ya Hekalu.

Kuhusisha wajibuau kuteketeza

kuni juu yamadhabahu

Kutoa malimbuko yakwanza, na wazaliwa

wa kwanza wawanyama wao

Kutoa zaka kwawalawi ambaonao wangetoafungu la 10 la

zaka

Leo hakuna Hekalu tenaYerusalemu. Pale Yesualiposaini agano jipyakwa damu yake, ahadizote hizi za muda zikawahalisi.

Hata hivyo, Hekalu la Mbinguni linaendeleakuwa mahali pa agano la milele, mpango wawokovu(Waebrania 8:1-7).

Ni dhamira gani ambazo walizifanya kuhusiana na Hekalu?

Page 10: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

“Mungu ametupatia nguvu ya kuchagua; ni

ya kwetu kuifanyia mazoezi. Hatuwezi

kubadili mioyo yetu, hatuwezi kutawala

mawazo yetu, fikra zetu, mitazamo yetu.

Hatuwezi kujifanya safi wenyewe, kufaa kwa

huduma ya Mungu. Lakini tunaweza

kuchagua kumtumikia Mungu, tunaweza

kumpatia dhamira zetu; naye atafanya kazi

ndani yetu ili tudhamirie na kufanya

kulingana na mapenzi yake. Hivyo asili yetu

yote italetwa chini ya utawala wa Kristo.”

E.G.W. (The Ministry of Healing, cp. 11, p. 176)

Page 11: Somo la 8 kwa ajili ya Novemba 23, 2019uchumi kwa ajili ya mikate ya wonyesho, dhabihu ya kila siku, sikukuu na matumizi mengine ya Hekalu. Kuhusisha wajibu au kuteketeza kuni juu

Zaburi 50:5