2
BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU KUSOGEZWA MBELE KWA TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezw m!e"e #$% &'e#e () Ju"%* +,)-. Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa !takumbukwa kuwa" awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe # Mei" $%&' na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe (% Juni" $%&' )upitia tangazo hili" waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo $%&'*$%&+ ambao hawajakamilisha maombi yao wanatakiwa kukamilisha na kuwasilisha maombi yao ya mikopo ndani ya muda ulioongezwa Bodi inapenda kusisitiza kuwa hakutakuwa na muda mwingine wa nyongeza baada ya tarehe (& Julai" $%&' !ME,-.EW/ 0/1 MKURUGENZI MTENDAJI BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

Taarifa - Kuongeza Muda Wa Kuomba Mikopo - Julai 15 2015 - Final

Embed Size (px)

DESCRIPTION

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

Citation preview

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

KUSOGEZWA MBELE KWA TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa kuwasilisha maombi ya mikopo umeongezwa mbele hadi tarehe 31 Julai, 2015.

Hatua hii imechukuliwa ili kuwapa fursa wale ambao kwa sababu mbalimbali hawakuweza kufanya maombi ya mikopo katika muda uliopangwa. Itakumbukwa kuwa, awali Bodi ilianza kupokea maombi kwa njia ya mtandao tarehe 4 Mei, 2015 na mwisho wa kuwasilisha maombi ulipangwa kuwa tarehe 30 Juni, 2015.

Kupitia tangazo hili, waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 ambao hawajakamilisha maombi yao wanatakiwa kukamilisha na kuwasilisha maombi yao ya mikopo ndani ya muda ulioongezwa. Bodi inapenda kusisitiza kuwa hakutakuwa na muda mwingine wa nyongeza baada ya tarehe 31 Julai, 2015.IMETOLEWA NA:MKURUGENZI MTENDAJI

BODI YA MIKOPO YA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU

PAGE

_1289030680.pdf