4
Livestock Training Agency- Admission Office JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUM YA STASHAHADA YA TEKNOLOJIA YA MAZIWA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING AGENCY) KUANZIA MWEZI MACHI HADI AGOSTI 2015 1. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za mafunzo ya Kozi Maalum ya Stashahada ya Teknolojia ya Maziwa itakayotolewa kwenye Kampasi ya Tengeru, Arusha kuanzia mwezi Februari hadi Jula 2015. 2. Muda wa masomo Miezi sita (Miezi mitatu Chuoni na Miezi mitatu viwandani) 3. Idadi ya Nafasi Kuna jumla ya nafasi za mafunzo 50. 4. Sifa za mwombaji Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Stashahada katika fani zifuatazo: Uzalishaji wa Mifugo (DAP), Afya ya Mifugo (DAH) na Afya na Uzalishaji wa Mifugo (DAHP). Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Shahada ya ngazi yeyote katika fani zifuatazo: Sayansi ya Wanyama, Afya ya Mifugo, Teknolojia na Usindikaji wa vyakula 5. Masharti ya Uombaji Mwombaji awasilishe maombi kwa kujaza fomu akiambatanisha nakala (photocopies) za vyeti vyake vya elimu, pamoja na cheti cha kuzaliwa. Fomu inapatikana kwenye Tuvuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz Fomu iambatanishwe na Bank pay-in slip ya Tshs 20,000/=. LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142 6. Gharama za Mafunzo Gharama za mafunzo zimeonyeshwa kwenye fomu ya maombi ambayo inapatikana kwenye tovuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz 7. Mwisho wa kupokea maombi Mwisho wa kupokea fomu za maombi ya kujiunga na masomo ni tarehe 28.02.2015 na mafunzo yataanza tarehe 23/03/2015 For further information contact: Tel / +255 222 863 967 e-mail: [email protected] or [email protected] Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142 Veterinary Complex 131 Nelson Mandela Road S. L. P 9152, 15487 DAR ES SALAAM Telegram: “Mifugo” Simu: 255 22 2863 479 Fax: 255 22 2861 908 E-mail:[email protected] Tovuti:

Tangazo masomo LITA 2015 Diploma in Dairy Technology December 2014 2

Embed Size (px)

DESCRIPTION

pata mafunzo

Citation preview

Livestock Training Agency- Admission Office

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA

TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUM YA STASHAHADA YA TEKNOLOJIA YA MAZIWA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING AGENCY) KUANZIA MWEZI MACHI HADI AGOSTI 20151. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za mafunzo ya Kozi Maalum ya Stashahada ya Teknolojia ya Maziwa itakayotolewa kwenye Kampasi ya Tengeru, Arusha kuanzia mwezi Februari hadi Jula 2015.

2. Muda wa masomo

Miezi sita (Miezi mitatu Chuoni na Miezi mitatu viwandani)

3. Idadi ya NafasiKuna jumla ya nafasi za mafunzo 50.

4. Sifa za mwombaji

Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Stashahada katika fani zifuatazo: Uzalishaji wa Mifugo (DAP), Afya ya Mifugo (DAH) na Afya na Uzalishaji wa Mifugo (DAHP). Mwombaji awe amefaulu katika ngazi ya Shahada ya ngazi yeyote katika fani zifuatazo: Sayansi ya Wanyama, Afya ya Mifugo, Teknolojia na Usindikaji wa vyakula 5. Masharti ya Uombaji

Mwombaji awasilishe maombi kwa kujaza fomu akiambatanisha nakala (photocopies) za vyeti vyake vya elimu, pamoja na cheti cha kuzaliwa.

Fomu inapatikana kwenye Tuvuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz

Fomu iambatanishwe na Bank pay-in slip ya Tshs 20,000/=. LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 221100031426. Gharama za Mafunzo

Gharama za mafunzo zimeonyeshwa kwenye fomu ya maombi ambayo inapatikana kwenye tovuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz 7. Mwisho wa kupokea maombi

Mwisho wa kupokea fomu za maombi ya kujiunga na masomo ni tarehe 28.02.2015 na mafunzo yataanza tarehe 23/03/20158. Taarifa kwa watakaochaguliwa

Majina ya watakaochaguliwa yatatangazwa kwenye magazeti na tovuti ya Wizara: www.mifugouvuvi.go.tz LITA) KA9. Utaratibu wa kutuma fomu za maombi

Fomu za maombi zitumwe kwa:KAIMU MTENDAJI MKUU,

Veterinary Complex

131 Nelson Mandela Road

S. L. P 9152,

15487 DAR ES SALAAM

APPLICATION FORM FOR ADMISSION FOR PROFESSIONAL DEVELOPMENT DIPLOMA COURSE IN DAIRY TECHNOLOGY FEBRUARY 2015

1. PROGRAMME OFFERED: Professional Development Diploma in Dairy Technology (PDDT)2. QUALIFICATION A candidate must have passed Diploma in the following fields: Animal Health (DAH), Animal Production (DAP) and Animal Health and Production (DAHP). A candidate must have passed Science degree in the following fields: Animal Production, Veterinary Science, Human Nutrition or Food Technology and Processing

NB. Selected candidates shall be informed through Newspapers and Website: www,mifugouvuvi.go.tz 3. FEE STRUCTURE Tuition fee and boarding payable direct to the Agency - Tshs. 1,090,600 Direct Costs payable to a student - Tshs. 1,470,0004. FEE STRUCTURE

ActivityCosts

Direct Agency Costs

Accommodation 270,000

Tuition320,600

Institutional overhead costs250,000

Field Practical Supervision250,000

Subtotal1,090,600

Direct Student Costs

Traveling expenses to the Campus60,000

In campus training Food expenses for 90 days450,000

Student Travel to field practical stations60,000

Field Practical Student Food and Accommodation for 90 days900,000

Subtotal1,470,000

Grand total2,560,600

5. OTHER INFORMATIONIndicate who pays your tuition (Please check one or more sources, if necessary):

Private/ own/Family/NGO

Name and address of Sponsor........................

..........................................................................................

DECLARATION OF SPONSOR:

I ........................................hereby declare that I will sponsor the student and I agree to abide by the rules and regulations of Livestock Training Agency and program in which student shall be registered, and any changes which may be made during the course.

Signature; ........................................................... Date: ................................................

6. PERSONAL INFORMATION

NAME (First)

SecondLast

PRESENT ADDRESSPOSTAL BOXCity/Town TELEPHONE

DATE OF BIRTH

Date Month Year SEXMale FemaleMARITAL STATUS

Single Married Other

NEXT OF KIN (NAME)RELATIONSHIPTELEPHONE

Citizenship Tanzanian * Others

*Specify..

Do you have any kind of disability? Yes: No: If yes, specify: .................................(Note: This Information is required for the Campus to arrange appropriate means of assisting you once admitted. It will in no way affect the decision to admit you) 7. DEAD LINE FOR APPLICATION: 28TH FEBRUARY 2015 AND COURSE WORK WILL START ON 23/03/20158. DECLARATIONi. I hereby declare that I have completed this form accurately to the best of my knowledge.

ii. I agree to abide to the rules and regulations of Livestock Training Agency and program in which I shall be registered, and any changes which may be made while I am attending the course ......................... ....................... Signature of Applicant Date

FOR OFFICIAL USE ONLY Receiving officer: . Signature and date: ...

Decision by committee: .................Veterinary Complex

131 Nelson Mandela Road

S. L. P 9152,

15487 DAR ES SALAAM

.

Telegram: Mifugo

Simu: 255 22 2863 479

Fax: 255 22 2861 908

E-mail:[email protected]

Tovuti: HYPERLINK "http://www.mifugo.go.tz/" http://www.mifugouvuvi.go.tz

In reply please quart:

Print clearly using capital letters

All applications must be completed in full, signed, and include a copy of certificate or certified transcript of any course(s) completed.

Applicants must meet all entrance requirements of the programme otherwise, applications will not be processed.

4. Application form can be downloaded from

Website: HYPERLINK "http://www.mifugo.go.tz" www.mifugouvuvi.go.tz

5. Application must be accompanied with a copy of Bank pay-in slip non-refundable Tshs. 20,000/= and submitted to:

Acting Chief Executive Officer:

Livestock Training Agency Campus

Veterinary Complex

131 Nelson Mandela Road

P. Box 9152,

15487 DAR ES SALAAM

For further information contact:

Tel / +255 222 863 967 e-mail: [email protected] or [email protected]

Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142