13

Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia

  • Upload
    others

  • View
    5

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 2: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 3: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 4: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 5: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 6: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 7: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 8: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 9: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia
Page 10: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia

Jedwali 1. Muhtasari wa malengo na shabaha za MKUKUTA

KUNDI I: UKUAJI WA UCHUMI NA KUPUNGUA KWA UMASIKINI WA KIPATO Matokeo makuu tarajiwa • Ukuaji unaowanufaisha vvatu wote unapatikana na kuendelezwa Lengo 1: Kuhakikisha usimamizi wa uchumi imara 1.1 Kuendeleza uchumi imara, na kudhibiti kasi ya mfumuko wa bei kiwango cha juu kisizidi asilimia 4%, kuhakikisha

akiba ya fedha za kuwezesha kuaagiza bidhaa alau kwa miezi 6.kufanikisha ulipaji wa madeni (zuia madeni ya nje yasizidi 50% ya pato la taifa.)

1.2 Kupunguza kiwango cha kutokuwa na ajira kutoka 12.9%katika mwaka 2000/01 mpaka 6.9 ifikapo 2010 na kushughulikia matatizo ya ajira ya chini katika maeneo ya vijijini

Lengo 2:Kuimarisha uchumi endelevu ulio thabiti na unaokua 2.1 Kukuza kiwango cha pato la taifa kwa asilimia 6-8 kwa mwaka 2010 2.2 Kukuza uhusika wa sekta isiyo rasmi na SMEs (kuhusisha ushirika) 2.3 Kukuza ukubwa wa sekta ya viwanda kutoka 8.6% mpaka 15% ifikapo 2010 2.4 Kukuza ukubwa wa kilimo kutoka 5% katika mwaka 2002/03 mpaka 10% ifikapo 2010 2.5 Kukuza ukubwa wa sekta ndogo ya mifugo kutoka 2.7 % katika mwaka 2000/01 mpaka 9% ifikapo 2010 2.6 Kukuza uvumbuzi, usitawi na matumizi ya teknolojia 2.7 Kusimamia usawa wa maendeleo ki-mikoa na uwezo kimaendeleo na miundo mbinu ambayo inawezesha uwekezaji na

kutoa mbinu nyingi mbadala za maisha 2.8 Kufanya marekebisho ya kilometa 15000 za barabara za vijijini kwa mwaka ifikapo 2010 kutoka 4500 kilometer

ilipokuwa 2003 2.9 Kupunguza matokeo mabaya katika mazingira na maisha ya jamii 2.10 Kupunguza uharibiru wa ardhi na upoteaji wa chembe hai asilia 2.11 Kuongeza kiwango cha usafirishaji nje ya nchi wa madini yaliyoongezewa thamani kutoka kiwango cha 0.5% mpaka 3.0%

ifikapo 2010 Lengo 3:Kuboresha upatikanaji wa chakula katika maeneo ya mijini na vijijini 3.1 Kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula kutoka tani 9 millioni katika mwaka 2003/04 mpaka tani 12 millioni ifikapo

2010 3.2 Kuendeleza mikakati ya kuhifadhi nafaka na kukidhi mahitaji ya chakula kitaifa hadi kufikia miezi 4 Lengo 4: Kupunguza umaskini wa kipato kwa wanawake na wanaume katika maeneo ya vijijini 4.1 Kupunguza kiwango cha wakazi wa vijijini(wanawake kwa wanaume ) waishio chini ya kiwango cha mahitaji muhimu

kutoka 38.6% katika mwaka 2000/01 mpaka 24% ifikapo 2010 4.2 Kupunguza sehemu ya watanzania vijijini(wanaume kwa wanawake) wanaoishi na umaskini wa chakula kutoka 27%

katika mwaka 2000/01 mpaka 14% ifikapo 2010 4.3 Kukuza uzalishaji na faida katika kilimo na shughuli zilizo nje ya sekta ya kilimo. 4.4 Kukuza shughuli endelevu za kujiongezea kipato zilizo nje ya mashamba 4.5 Kuhakikisha na kusaidia upatikanaji wa masoko ya mazao ya kilimo 4.6 Kuongeza mchango wa maliasili, misitu na uvuvi kwa kuwaongezea kipato wananchi waishio maeneo ya vijijini. Lengo 5:kupunguza umaskini wa kipato kwa wanaume na wanawake waishio maeneo ya mijini 5.1 Kupunguza sehemu ya wakazi wa mijini (wanawake kwa wanaume) waishio chini ya kiwango cha mahitaji muhimu

kutoka 25.8% katika mwaka 2000/01 mpaka 12.9% ifikapo 2010 __________________________________ 5.2 Kupunguza sehemu ya wakazi wa mijini (wanaume kwa wanawake) waishio katika umaskini wa chakula kutoka 13.2%

katika mwaka 2000/01 mpaka 6.6% ifikapo 2010 Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). 6.1 Weka katika soko huria sekta ndogo ya nishati ifikapo 2010 6.2 Jadili alau mikataba mitatu ya kusaidiana uzalishaji na kusainiwa ifikapo juni 2010

Page 11: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia

KUNDI II: KUBORESHA KIWANGO CHA MAISHA NA USTAWIWA JAMII Matokeo makuu tarajiwa

• Ubora wa maisha na ustawi wa Jamil unaimarishwa na msisitizo unawekwa zaidi kwa watu maskini zaidi na makundi ya wanyonge

• Kupunguza tofauti katika matokeo ya kupunguza Umaskini (km elimu, uhai, afya) kati ya maeneo ya kijiografia, vipato, umri, jinsia na makundi mbali mhali.

Lengo l: Kuhakikisha usawa katika upatikanaji wa elimu ya msingi na sekondari kwa wavulana na wasichana, kuhakikisha wanawake na wanaume wanajua kusoma na kuandika, kuipanua elimu ya juu, ufundi na elimu ya mafunzo

1.1 Kuongeza namba ya watoto walioko tayari kujiunga na shule z a elimu ya msingi na elimu ya maisha. 1.2 Kuongeza idadi ya uandikishaji ya watoto mashuleni wavulana na wasichana, kushirikisha watoto wenyeulemavu katika

shule za msingi kutoka 90.5% katika mwaka 2004 mpaka 99% ifikapo 2010 1.3 Kuongeza uwiano wa mayatima na watoto wengine walio katika kundi liiilo katika hatari zaidi ya kuathirika,

kuandikishwa, kushiriki na kumaliza elimu ya shule ya msingi kutoka 2% katika mwaka 2000 mpaka 30% ifikapo 2010 1.4 Kuongeza asilimia ya wasichana na wavulana wasio na uwezo na waishio katika mazingira magumu ambao wamefaulu

kujiunga na elimu ya sekondari kuandikishwa na kumaliza elimu ya sekondari ifikapo 2010 1.5 Walau asilimia 50 ya wavulana na wasichana walio na umri kati ya 14-17 wanajiunga na elimu ya sekondari ifikapo

2010 1.6 Walau asilimia 60 ya wavulana na wasichana wanafaulu mtihani wa taifa wa darasa la saba ifikapo 2010 1.7 Walau asilimia 25 ya wavulana na wasichana wanajiunga na elimu ya sekondari ya kidato cha tano ifikapo 2010 1.8 Kufanikisha mahudhurio ya kila siku ya wanafunzi katika shule za msingi kufikia asilimia 85% 1.9 Walau 95% ya watoto walianza darasa la kwanza wanamaliza darasa la nne. 1.10 Walau 90% ya watoto walioanza darasa la kwanza wanamaliza darasa la saba 1.11 Walau 70% ya wasichana na wavulana wanafaulu kwa kiwango cha daraja la kwanza hadi la tatu katika mitihani ya

darasa la kumi na mbili. 1.3 Kuboresha mazingira ya kusomea kwa watoto katika shule zote, pamoja na ulinzi kwa taasisi za elimu, kutokuwa navurugu,

kuandaa hali inayovutia watoto na inayojali jinsia. 1.4 Elimu bora kwa shule za serikali na zisizo za serikali inapatikana na ni bora. 1.5 Asilimia 90% ya shule za msingi na sekondari zina walimu wakutosheleza, wenye ujuzi na uwezo ifikapo 2010 1.6 Elimu ya msingi na sekondari ni ya kiwango bora na kinachochea upatikanaji wa ufahamu wa kipeo, ujuzi wa kweli na wa

kimaendeleo. 1.7 Kuongeza uandikishaji katika elimu ya juu na vyuo vikuu na katika vyuo vya ufundi kufikia 30,000 kwa wanafunzi wa muda wote

(full time), wanafunzi 10,000 wa muda maalum (part time) na wanafunzi kwa njia ya mbali (distance learning) 15,000 ifikapo 2008 1.8 Kuongeza uelewa katika ujuzi wa kujiajiri katika vijana 1.9 Elimu bora ya UKIMWI na programu za ujuzi katika maisha zinatolewa katika shule za msingi, sekondari na vyuo vya walimu 1.10 Walau 80% ya watu wazima, na hasa wanawake vijijini wanajua kusoma na kuandika 1.11 Kupunguza idadi ya wasiojua kusoma na kuandika kutoka 3.8 million katika mwaka 2004/5 mpaka kufikia 1.5 million (2007/08) 1.12 Kupunguza idadi ya vijana wanaosoma kwa kupitia mpango wa elimu kwa waliokosa (COBET) kutoka 234,000 katika mwaka

2004/5 mpaka 70,566 ifikapo 2007/08 1.13 Kukuza na kuboresha ushiriki wa jamii katika shughuli za kitamaduni 1.14 Kuongeza idadi ya wanafunzi/vijana ambao wana ari ya kutoa huduma Lengo 2: Kuongeza umri wa kuishi, kuboresha afya ya watoto na akin a mama na hasa kundi liiilo katika hatari kubwa ya kuathirika. 2.1 Kupunguza vifo vya watoto wachanga kutoka 95 katika mwaka 2002 mpaka 50 ifikapo 2010 kwa kila watoto 1000 hai

watakaozaliwa 2.2 Kupunguza vifo vya watoto (chini ya miaka 5) kutoka 154 mpaka 79 ifikapo 2010 kwa kila watoto 1000 hai

watakaozaliwa 2.3 Kupunguza idadi ya vifo vinavyo sababishwa na malaria hospitalini kwa watoto walio chini ya miaka 5 kutoka 12%

katika mwaka 2002 mpaka 8% ifikapo 2010 2.4 Kupunguza kudumaa kwa watoto walio chini ya miaka 5 kutoka 43.8% mp aka 20% ifikapo 2010 2.5 Kupunguza idadi ya wa watoto wenye afya mbaya (wasting) walio na umri wa chini ya miaka 5 kutoka 5.4% mpaka 2%

ifikapo 2010 2.6 Kupunguza vifo vya akina mama wajawazito kutoka 529 mpaka 265 ifikapo 2010 kwa kila 100,000 2.7 Kuongeza idadi ya watoto waliozalishwa na wauguzi waliopewa mafunzo kutoka 50% mpaka 80% ifikapo 2010 2.8 Kupunguza kuenea kwa HIV kati ya akina mama wajawazito walio na umri kati ya miaka 15-24 kutoka 11% katika

mwaka 5% ifikapo 2010 2.9 Kupunguza kuenea kwa HIV kati ya vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 24 kutoka 11% katika mwaka 2004 mpaka

10% ifikapo 2010 2.10 Kupunguza kuenea kwa HIV kati ya wanaume na wanawake wasiojiweza wenye umri kati ya miaka 15 na35 2.11 Kuongezeka kuenea kwa uelewa wa watu kuhusu njia za kuambukizwa UKIMWI 2.10 Kupunguza unyanyapaa kwa watu wenye UKIMWI 2.12 Bodi za afya na kamati za vifaa kufanya kazi na kuwa kataika sehemu husika katika wilaya zote 2.13 Mikataba ya utoaji wa huduma inayokubalika, inayofanya kazi kwa ufanisi 2.14 Timu za uongozi mikoani zinazo simamia afya z inafanya kazi 2.15 Kukuza uelewa wa utoaji huduma kwa wafanyakazi wa afya kwa ajili ya kuwahudumia watu mbalimbali wakiwemo

wasiojiweza na wazee

Page 12: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia

Lengo 3: Kuongeza njia za upatikanaji maji sail na salama zenye gharama nafuu, udhibiti wa maji taka, makazi bora, mazingira safi na endelevu na hivyo kupunguza uwezekano wa kuathirika unao sababishwa na mazingira. 3.1 Kuongeza kiwango cha wakazi wa vijijini wanaopata maji safi na salama na katika muda usiozidi dakika 30 kutoka 53%

katika mwaka 2003 mpaka 65% ifikapo 2009/10 3.2 Kuongeza kiwango cha wakazi wa mijini wanaopata maji safi na salama kutoka 73% katika mwaka 2003 mpaka 90%

ifikapo 2009/10 3.3 Kuongeza upatikanaji wa mifereji ya maji machafu ilioboreshwa kutoka 17% kati ya mwaka 2003 mpaka 30% ifikapo

2010 katika maeneo ya mijini 3.4 Kupunguza idadi ya watu waishio katika maeneo yasio rasmi na yasio na huduma muhimu 3.5 Asilimia 100% ya shule kuwa na huduma zinazo tosheleza za afya ifikapo 2010 3.6 Asilimia 95% ya watu kuwa na uwezo wa kufikia huduma muhimu za afya ifikapo 2010. 3.7 Milipuko ya kipindupindu kupungua kwa zaidi ya nusu ifikapo 2010. 3.8 Kupungua kwa kiwango cha uharibifu wa mazingira unao sababishwa na uchafuzi wa maji kutoka 20% kati ya mwaka 2003 hadi

10% ifikapo 2010 3.9 Kupungua kwa uharibifu usababishwao na maji kutoka viwandani na kwenye shughuli za kilimo 3.10 Kupanga na kuhudumia makazi ya mijini na kwa kuhakikisha mipango miji na taratibu zake zinazingatiwa 3.11 Kuongeza idadi ya watu wenye kumiliki ardhi na mali zinazoweza kuwekwa rehani, wanawake na wanaume wawe na haki sawa

katika njia za kupata, kumiliki na kurithi ardhi/nyumba. 3.12 Kupunguza uwezekano wa kuathirika na maafa yatokanayo na mazingira 3.10 Kuwa na ardhi, misitu na mahusiano na viumbe wa majini na mazingira ambayo watu wanaitegemea kwa uzalishaji na

kuhakikisha uzalishaji wake unalindwa 3.13 Kupungua kwa uharibifu wa ardhi na kupotea kwa mimea ya asili. Lengo 4: Kulinda haki ya jamii na haki ya makundi yenye nafasi kubwa ya kuathirika na yenye mahitaji maalum ya mahitaji ya msingi 4.1 Kuongoza idadi ya yatima na watoto waishio walio na nafasi kubwa ya kuathirika kuweza kufikiwa kwa ufanisi kwa

huduma za kijamii ifikapo 2010 4.2 20% ya watoto na watu wazima walio na ulemavu kuweza kufikiwa na huduma za kijamiii kwa ufanisi ifikapo 2010 4.3 40% ya wazee kufikiwa na huduma za kijamii ifikapo 2010 4.4 Kupunguza uonevu kwa wanawake 4.5 Kuongeza misaada kwa kaya maskini na jamii ili kutoa huduma kwa makundi yalio na nafasi kubwa ya kuathirika kama

vile wazee, yatima, na watoto wengine walio na nafasi kubwa ya kuathirika pamoja na watu waishio na virusi vy a UKIMWI 4.6 Kupunguza ajira kwa watoto kutoka 25% hadi kufikia 10% na kuwawezesha kupata njia mbadala za maisha ikiwemo

kuandikishwa katika shule za msingi kwa mpango wa waliokosa (COBET), na kupatiwa mafunzo ya kuongeza ujuzi wao katika vyuo vya mafunzo stadi.

4.7 Kuwepo na kuboresha mpangilio wa kitaasisi katika maendeleo ya nishati vijijini. 4.8 Kuongeza mchango wa nishati itokanayo na nguvu asili za jua, upepo na taka za mifugo pamoja na makaa ya mawe kwa

ajili ya uzalishaji wa umeme kutoka asilimia 0.5 ya sasa kati ya mwaka 2003 hadi 3% ifikapo 2010. 4.9 Walau 10% ya watu wanatumia njia mbadala zaidi ya kuni kwa ajili ya kupikia ifikapo 2010 Lengo 5: Njia sahihi za mfumo wa kuwezesha watu wote wawe na uwezo wa kupata na kumudu huduma bora za jamii 5.1 Kuboresha barabara za vijijni ili ziweze pitika kutoka 50% kati ya mwaka 2003 hadi 75% ifikapo 2010 5.2 90% ya shule na 80% ya huduma za afya katika maeneo ya mijini na vijijini kuwa na mchanganyiko wa wafanyakazi wenye ujuzi

na motisha katika sehemu husika 5.3 Wafanyakazi wenye ujuzi katikasekta ya miundo mbinu na sekta ya huduma za jamii wanatekeleza kikamilifu kazi na majukumu

yao 5.4 Kuongeza upatikanaji wa huduma za afya kwa kuhudumia eneo kubwa. Kaya zipatazo huduma ziwe ndani ya kilomita tano kutoka

vituo vya afya. 5.5 100% ya wazee wanaostahili kupatiwa huduma bure za afya waweze kuhudumiwa na wafanyakazi wa afya waliobobea kufikia

2010 5.6 Kuwa na ushiriki mzuri na unaoridhisha na asasi za kiraia na sekta binafsi katika kukuza na kutoa huduma bora kijamii 5.7 Mfumo wa upangaji na uchambuzi wa habari wenye ulio makini na wenye manufaa

Page 13: Tanzania Online Gateway - a gateway to information on ... · Lengo 6: Utoaji nishati ya kuaminika kwa wanunuzi yenye kuaminika na wanayoweza kuimudu (bei nafuu). ... Kuongeza njia

KUNDI III: UTAWALA NA UWAJIBIKAJI – MALENGO NA WAHUSIKA

Matokeo makuu tarajiwa • Amani, utulivu wa kisiasa, umoja wa kitaifa na mshikamano • Demokrasia na uvumilivu wa kisiasa na kijamii • Utawala bora na utawala wa kisheria • Uwajibikaji wa viongozi na watumishi wa umma

Lengo 1: Mfumo na mpangilio wa uongozi na utawala wa sheria ulio wa kidemokrasia,ulio wa ushiriki,wenye uwakilishi na wenye kujumuisha 1.1 Kuhakikisha uwakilishi,ujumuishaji wa (watu maskini na makundi yalio katika hatari ya kuathirika) na uwajibikaji wa taasisi zinazofanya kazi katika ngazi zote Lengo 2 Usawa katika ugawaji wa rasilimaii za urn ma na kusisitizwa kwa upigaji vita rushwa 2.1 Utopangaji rasilimaii za umma, upatikanaji na matumizi yenye kuzingatia usawa, uwajibikaji na wa uwazi 2.2 Weka kanuni na mfumo katika kushughulikia rushwa ndogo na kubwa Lengo 3:Weka mfumo wa huduma za kijamii wenye ufanisi utoe msingi bora wa utoaji huduma zilizo boreshwa na kupunguza umaskini 3.1 Mfumo wa uongozi katika taasisi za kijamii unasimamiwa kiuwazi na kwa manufaa ya watu wote wanaohudumiwa Lengo 4: Haki za maskini na kundi lenye nafasi kubwa la kuathirika zinalindwa na kudumishwa katika mfumo wa haki na sheria 4.1 Kuhakikisha haki kwa wote inapatikana na kwa muda muafaka hasa kwa maskini na kundi lenye nafasi kubwa la kuathirika Lengo 5: Kupunguza kutoshirikishwa na kutengwa kisiasa na kijamii na uvumilivu 5.1 Kujenga mifumo ya siasa na kijamii na taasisi ambazo zitaruhusu ushiriki kamilifu wa wananchi wote wakiwemo maskini na kundi lenye nafasi kubwa la kuathirika Lengo 6: Kuboresha ulinzi wa watu na mali, kupunguza uhalifu,kuondoa unyanyasaji wa kijinsia, na uonevu majumbani 6.1 Kuhakikisha taasisi na wawakilishi wa serikali kama polisi,mahakama na magereza wanazingatia haki za kibinadamu na kuhakikisha sheria, haki na ulinzi kwa wananchi wote Lengo 7: Utamaduni wa kitaifa kiutamaduni unakuzwa na kuboreshwa 7.1 Sera,mikakati na mfumo wa sheria katika lugha ya taifa, utamaduni na uadilifu unashika nafasi yake na kufanya kazi __________________________________________________________________________________________ __________________________________________________________________________________________ __________________________________________________________________________________________ __________________________________________________________________________________________ __________________________________________________________________________________________ __________________________________________________________________________________________ __________________________________________________________________________________________ ______________ _______________________________________________________________________________________' __________________________________________________________________________________________