10
1| Page UTANGULIZI Katika kipindi cha robo ya Kwanza (Julai hadi Septemba) ya mwaka wa fedha 2016/2017 utekelezaji wa shughuli zilizopangwa za mapambano ya kudhibiti UKIMWI kupitia mfuko wa NMSF zilitekelezwa kama zilivyopangwa. Taarifa hii ina sehemu A na B. Sehemu A inahusu shughuli zilizotekelezwa kupitia mfuko wa NMSF na miradi mingine ya mapambano dhidi ya UKIMWI kama vile Tanzania Health Promotion Support(THPS), Mradi wa Kupambana na UKIMWI wa ulioko chini ya BAKWATA(BAKAIDS) na Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Sehemu B inahusu shughuli zote ambazo zimetekelezwa na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya UKIMWI katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji. SEHEMU A: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI KATIKA KIPINDI CHA JULAI – SEPTEMBA MWAKA WA FEDHA 2016/17. NA MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA MAELEZO 1. Kuzijengea uwezo wa kiutendaji kamati za kudhibiti UKIMWI za kata 10 ifikapo Juni 2017. Kutoa mafunzo kwa wajumbe wa kamati mpya za Kudhibiti UKIMWI ili waweze kutekeleza afua za UKIMWI katika kata zao. Mafunzo ya kuzijengea Uwezo Kamati za Kudhibiti UKIMWI za kata 10 yaetolewa ambapo wajumbe 194 wamenufaika na mafunzo hayo. Kata zilizopata mafunzo ni Kibirizi, Gungu, Buhanda, Kigoma, Bangwe, Buzebazeba, Kipampa, Rusimbi, Rubuga na Kasimbu. 4,000,000 Kata 9 zilizobaki zitapewa mafunzo halmshauri itakapopata fedha. 2. Kufanya kampeni ya kukuza ufahamu na uelewa juu ya UKIMWI katika maeneo yaliyoko hatarini zaidi dhidi ya kuenea kwa VVU/UKIMWI ifikapo juni 2017. Kutoa elimu ya UKIMWI kwa njia ya sinema pamoja na upimaji wa hiari wa Virusi vya UKIMWI katika Kata ya Bangwe ( Katonga), Kibirizi na Kitongoni forodhani. Elimu ya UKIMWI kwa njia ya sinema pamoja na upimaji wa hiari wa Virusi vya UKIMWI katika Kata ya Bangwe ( Katonga), Kibirizi na Kitongoni forodhani imetolewa. Jumla wapatao 1300 walihuduria katika maonesho ya sinema. Watu 124 (Wanaume 58 na wanawake 66) walipima Virusi vya UKIMWI na wote hawakukutwa na maambukizi. 1,384,000 Shughuli hii ni endelevu 3. Kuwezesha Mratibu Kugharimia safari ya Kikao kimoja cha Mkoa kimefanyika Shughuli hii

UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

  • Upload
    others

  • View
    4

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

1 | P a g e

UTANGULIZI

Katika kipindi cha robo ya Kwanza (Julai hadi Septemba) ya mwaka wa fedha 2016/2017 utekelezaji wa shughuli

zilizopangwa za mapambano ya kudhibiti UKIMWI kupitia mfuko wa NMSF zilitekelezwa kama zilivyopangwa.

Taarifa hii ina sehemu A na B. Sehemu A inahusu shughuli zilizotekelezwa kupitia mfuko wa NMSF na miradi mingine ya

mapambano dhidi ya UKIMWI kama vile Tanzania Health Promotion Support(THPS), Mradi wa Kupambana na UKIMWI wa

ulioko chini ya BAKWATA(BAKAIDS) na Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Sehemu B inahusu shughuli zote ambazo

zimetekelezwa na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya UKIMWI katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji.

SEHEMU A: TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI KATIKA KIPINDI CHA JULAI – SEPTEMBA MWAKA WA FEDHA 2016/17.

NA MPANGO LENGO UTEKELEZAJI GHARAMA MAELEZO1. Kuzijengea uwezo wa

kiutendaji kamati za kudhibiti UKIMWI za kata 10 ifikapo Juni 2017.

Kutoa mafunzo kwa wajumbe wa kamati mpya za Kudhibiti UKIMWI ili waweze kutekeleza afua za UKIMWI katika kata zao.

Mafunzo ya kuzijengea Uwezo Kamati za Kudhibiti UKIMWI za kata 10 yaetolewa ambapo wajumbe 194 wamenufaika na mafunzo hayo. Kata zilizopata mafunzo ni Kibirizi, Gungu, Buhanda, Kigoma, Bangwe, Buzebazeba, Kipampa, Rusimbi, Rubuga na Kasimbu.

4,000,000 Kata 9 zilizobaki zitapewa mafunzo halmshauri itakapopata fedha.

2. Kufanya kampeni ya kukuza ufahamu na uelewa juu ya UKIMWI katika maeneo yaliyoko hatarini zaidi dhidi ya kuenea kwa VVU/UKIMWI ifikapo juni 2017.

Kutoa elimu ya UKIMWI kwa njia ya sinema pamoja na upimaji wa hiari wa Virusi vya UKIMWIkatika Kata ya Bangwe ( Katonga), Kibirizi na Kitongoni forodhani.

Elimu ya UKIMWI kwa njia ya sinema pamoja na upimaji wa hiari wa Virusi vya UKIMWI katika Kata ya Bangwe ( Katonga), Kibirizi na Kitongoni forodhani imetolewa. Jumla wapatao 1300 walihuduria katika maonesho ya sinema. Watu 124 (Wanaume 58 na wanawake 66) walipima Virusi vya UKIMWI na wote hawakukutwa na maambukizi.

1,384,000 Shughuli hii ni endelevu

3. Kuwezesha Mratibu Kugharimia safari ya Kikao kimoja cha Mkoa kimefanyika Shughuli hii

Page 2: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

2 | P a g e

wa Kudhibiti UKIMWI kuhudhuria mikutano ya waratibu wa UKIMWI ya Kikanda, Kimkoa na kiwilaya inayofanyika nchini ifikapo juni 2017.

Mratibu wa UKIMWI wa Halmashauri kushiriki Vikao vya waratibu wa UKIMWI vya Kimkoa na Kikanda.

Kibondo ambacho washiriki waliikuwa Waratibu wa UKIMWI na Wakuu wa Idara ya Maendeleo. Kikao cha Kanda Kimefanyika Mpwapwa Dodoma ambapo mratibu wa UKIMWI alihudhuria. Vikao vyote vililenga kujadili taarifa mbalimbali za mapambano dhidi ya UKIMWI na kubadilishana uzoefu baina ya Washiriki

1,932,000 hutegemea mwaliko wa vikao vya waratibu wa UKIMWI wa Wilaya

4. Kuwezesha shughuli za utawala, usimamizi na uendeshaji wa Ofisi ya Mratibu wa UKIMWI

Kununua vifaa vya ofisi, ukarabati wa vyombo vya usafiri, diesel, posho ya masaa ya ziada, chakula, viburudisho na posho ya kujikimu.

Manunuzi ya Wino wa Printa na Mafuta ya Diseli yamefanyika kwa ajili ya shughuli za UKIMWI katika Halmashauri.

730,000 Shughuli hii ni endelevu

5. Kuimarisha afya za wafanyakazi WAVIU ndani ya Manispaa kwa kuwawezesha chakula nalishe ifikapo Juni 2017

Kuwawezesha Wafanyakazi 15 wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU) kupata ruzuku ya chakula na lishe

Watumishi 16 wa Halmashauri wanaishi na Virusi vya UKIMWI (WAVIU) wamewezeshwa kupata ruzuku ya chakula na lishe.

1,600,000 Mtumishi mmoja ameongeza na kufanya idadi kuongeza kutoka 15 hadi 16

6 Kupunguza kasi ya maambukizi ya VVU kutoka asilimia 2.7% 2015 kwenda 2.5% ifikapo mwezi Desemba 2016

i. Kutoa ushauri nasaha na kupima VVU kwa hiari wateja -15,000 ifikapo mwezi Septemba 2016

Ushauri nasaha na upimaji wa hiari wa VVU ulifanyika kwa wateja 17,361 sawa na asilimia 116% ya lengo. - Watu wazima 11,136. - Watoto - 4824

- Watu 351 (Wateja 15 walikuwa wanajua hali zao)walikutwa na maambukizi ya VVU sawa na asilimia 2% ya wateja wote waliopima.- Watu wazima – 332

Hakuna gharama iliyotumika kwa kazi ya upimaji katika vituo vyetu nikazi za kila siku.

Mafanikio ya upimaji kufikia lengo yamechangiwa na ushiriki wa Wadau (Shirika la TIPS kupitia BAKWATA)

Page 3: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

3 | P a g e

- Watoto - 19

ii.Kutambua na Kutibu magonjwa ya ngono.

Wagonjwa 261 walipimwa na kupatiwa matibabu ya magonjwa ya ngono.

- Wanaume 34.- Wanawake 227.

Hakuna gharama iliyotumima kwa sababu ni kazi za kila siku

Wagonjwa wengi hawawaleti wenza wao katika vituo vya tiba hivyo kuongeza uwezekano wa mtu anaetibiwa kuambukizwa tena kupitia kwa mwenza wake

iii.Kusambaza kondom katika vituo vya kutolea huduma, vituo vya Mtunzo na matibabu na katika ngazi ya jamii kupitia vituo vya vijana na nyumba za kulala wageni

Jumla ya Kondomu 2768 ziligawiwa kwa wateja.-Kondom za kiume 1519 -Kondomu za kike 120.

Hakuna gharama iliyotumika.

Watu wengi wamekuwa na mtazamo hasi kwa Kondomu zinatolewa bure .

Page 4: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

4 | P a g e

Kuongeza idadi ya WAVIU wanaopata huduma za matunzo na matibabu kutoka asilimia 65% hadi 85% ifikapo Desemba 2016

i. Kuhakikisha watu wote wanaugundulika kuwa na maambukizi ya VVU wanasajiliwa katika vituo vinavyo toa matunzo na matibabu na wateja wote wenye sifa ya kuanza dawa kufubaza makali ya VVU wanaanza kutumia dawa.

Jumla ya watu 245 waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU wamesajiliwa katika vituo vya matunzo na matibabu sawa na asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao- Watu wazima walikuwa 229 na-Watoto chini ya miaka 15 walikuwa 16.-Jumla ya wateja 230 wenye sifa ya kuanzishiwa Dawa za kufubaza makali ya VVU ( ARV) walianzishiwa. -Watuwazima - 135 -Watoto – 19 (watoto 3 waligundulika kipindi cha Aprili –Juni 2016).

Gharama za dawa za ARVzinalipwa na Serikali kuu kupitia Bohari ya dawa (MSD).

(i).Kumekuwepo na changamoto za watu wanaogundulika kuwa na maambukizi ya VVU kushindwa kwenda katika vituo vyetu vya matunzo na matibabu.(ii)Upungufu wa dawa za ARV aina TLE kulingana na mahitaji katika Hospitali ya Maweni.

ii Kuhakikisha Watoto wote wanaozaliwa na akina mama wenye maambukizi ya VVU wanapima kipimo cha PCR

Sampuli za damu za watoto 60 zilitumwa Maabara ya Bugando kwa ajili ya kipimo cha PCR, na majibu ya sampuli za damu za watoto 14 yalipokelewa.- Mtoto 1 aligundulika kuwa na maambukizi ya VVU.

Hakuna tataizo la usafirishaji wa Sampuli za damu kupelekwa Maabara ya Bugando .

Majibu ya vipimo PCR yanapatikana ndani ya mwezi 1 sasa.

Page 5: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

5 | P a g e

7 Kuzuia maambukizi ya VVU toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto

i.Kutoa ushauri nasaha na kupima VVU kwa hiari kwa akinamama wajawazito na wenza wao wanaofika katika klinik ya baba, mama na mtoto.

- Wajawazito – 1777 walipima kipimo cha kwanza na wajawazito 89 walipima kipimo cha pili cha VVU na

- Wajawazito - 26 waliokutwa na maambukizi ya VVU(sawa na 1.4 ya wajawazito walipima VVU)- Wenza 1387 walipata ushauri nasaha na kupima VVU,kati yao watu 20 waligundulika kuwa na maambukizi ya VVU ( sawa na1.4%ya wenza waliopima).

Hakuna gharama.

Wanaume wengi bado hawajitokezi kupima VVU na wenza wao)

8 Kuboresha utunzaji wa taarifa za matunzo na matibabu ya WAVIU

Kulipa mshahara na michango ya NSSF ya watunza TAKWIMU 4

Watumishi 4 wa mkataba (watunza takwimu) walilipwa mishahara yao ya miezi 3 (Julai Agosti na Septemba 2016)

5,016,000 Hakuna.

9. Kuratibu na kusimamia upimaji wa VVU katika ngazi ya jami, Vituo vya vijana na watoto waishio katika mazingira magumu.

Kuwa na jamii inayotambua hali ya Maambukizi ya VVU

Upimaji wa Virusi vya UKIMWI umefanyika katika kata 6 za Kasingirima, Kasimbu, Kagera, Rubuga, Majengo na Machinjioni. Pia upimaji umefanika siku ya Mwenge na Katika eneo la starehe la Safari Baa. Jumla ya watu 6773(ME 3553, KE 3220) walipima na kati ya hao watu 43 (ME 20 na KE 23) walikutwa na maambukizi.

Shughuli hii imegharimiwa na BAKAIDS.

10 Upatikanaji wa haki kwa familia

Utoaji wa huduma ya haki na ustawi wa familia ambapo jumla ya mashauri 75 yalipaswa kusikilizwa.

Mashauri 77 yalipokelewa ambapo mashauri 58 yalisikilizwa,yalipatiwa ufumbuzi, Mashauri 10 yanaendelea kusikilizwa,mashauri 9 yamepatiwa rufaa kwenda mahakamani na mashauri.

HAKUNA Kazi hii ni endelvu.

11 Upatikanaji wa haki kwa familia

Utoaji wa huduma kwa watu wanaonyanyaswa kingono, kihisia,

Pia Mashauri 59 ya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto yamepokelewa ambapo mashauri 12 unyanyasaji na ukatili

HAKUNA Kazi hii ni endelevu inayohitaji elimu zaidi kutolewa

Page 6: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

6 | P a g e

kimwili na kutelekezwa wa kimwili na kihisia, mashauri 47 unyanyasaji na ukatili kihisia.

katika jamii ili Kuzuia vitendo hivyo.

12 Upatikanaji wa hakiya matunzo kwa familia zenye migogoro

Ukusanyaji wa fedha kiasi cha Tsh 6,000,000/= kwa ajili ya matunzo ya watoto waliozaliwa nje ya ndoa na walio katika ndoa zenye migogoro

Jumla ya Tshs. 2,977,000/=zimekusanywa kwa ajili ya matunzo ya watoto walio katika ndoa zenye migogoro na waliozaliwa nje ya ndoa 32 kwa kipindi cha Julai hadiSeptemba 2016.

HAKUNA Kazi hii ni endelevu.Wazazi wa kiume wanatakiwa kutambua wajibu wao katika kuwatunza nakuwalinda watoto wao.

13Kuratibu asasi zisizo za kiserikali na wadau wenginewanaotoa huduma kwa mtoto

Kusimamia huduma za Ustawi wa Jamii zinazotolewa na Taasisi za Serikali dini na mashirika yasiyo ya kiserikali

Kufanya ziara ya ukaguzi katika kituo cha Kulelea watoto wadogo mchana kinachoitwa Malaika kwa lengo kukikagua ili kiweze kupatiwa usajili,hivyo taratibu za kuwaombea leseni ya kuendesha kituo hicho zinaendelea.

HAKUNA Kazi hii ni endelevu na taratibu za kusajiri vituo hivi zinaendelea

14 Kuratibu shughuli za mradi wa WEKEZA.

Kufanya vikao vya kamati za Mitaa za kutokomeza ajira kwa mtoto katika Mitaa 9 yenye Mradi wa WEKEZA.

Kimefanyika kikao cha kamati ya Kuzuia utumikishwaji wa mtoto katika Manispaa kwa lengo la Kuandaa ujumbe wa utokomezaji ajira kwa Mtoto utakaowekwa kwenye mabango na kuwekwa katika Manispa ya Ujiji.

Kazi hii imegharimiwa shirika la KIWOHEDE chini ya Mradi WEKEZA.

15 Kuratibu na kusimamia shughuli za Mfuko wa Afya ya Jamii(TIKA)

Kufanya mikutano ya kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (TIKA).

Uhamasishaji umefanyika katika kata 10 ambazo ni Kipampa, Rusimbi, Majengo, Kagera, Kasingirima, Kitongoni, Rubuga, Machinjioni, Buhanda na Kasimbu. Taarifa ya makusanyo ya TIKA imeambatanishwa (Kiambatanisho Na 1)

2,250,000 Uhamasishaji ni ajenda ya halmashauri.changamoto ni katika mfumo wa upatikaji wa kadi za wateja kwa muda mwafaka.

16 Kusimamia upatikanaji wa haki za msingi kwa Makundi maalumu ya

Kusimamia upatikanaji wa misamaha ya

Jumla wa watu 10,613 wa makundi maalumu ya kijamii ambayo ni wazee

HAKUNA Kazi hii ya kuhudumia

Page 7: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

7 | P a g e

kijamii. matibabu kwa makundi maalumu ya kijamii katika vituo vya kulea huduma za afya.

wasiojiweza, watoto chini ya miaka 5, wanawake wajawazito, watu wasojiweza kiuchumi, watoto wanaoishi mazingira hatarishi (WWKMH) na watu wenye magonjwa sugu wamepatiwa huduma za matibabu bure kutoka zahanati ya Msufini,Businde,Kigoma na Hospitali ya Baptisti. Idadi ya watu waliopata misamaha imeambatanishwa. Kiambatanisho Na.2.

makundi maalumu ya kijamii ni endelevu.

SEHEMU B: TAARIFA ZA UTEKELEZAJI KAZI ZA WADAU MBALIMBALI WA UKIMWI MANISPAA

1. MAKAO YA WATOTO MWOCACHI17. Kuboresha kitengo

cha ElimuKununua vifaa vya darasani kwa watoto wa shule za msingi na sekndaari

Manunuzi ya vifaa vya shule yamefanyik kama ilivyopangwa

1,483,000 Fedha zimetolewa na Brothers of charity.

Ukarabati wa vitanda vya watoto mabwenini, malipo ya garui pamoja na matengenezo ya vifaa vya michezo

Ukarabati wa vitanda vya watoto mabwenini umefanyika pamoja na kulipia gharama za gari.

1,313,000 Fedha hizo zimetolewa na wakina mama wazilishi na wasamalia wema

Kununua nguo za kushindia watoto na za watoa huduma

Manunuzi ya nguo za kushindia watoto na za watoa huduma

6,135,200 Fedha hizo zimetolewa na wakina mama wazilishi na wasamalia wema

18. Kuboresha makao ya watoto na kilimo kwa uzalishaji wa chakula

Kulipa mishahara ya watumishi wanaosaidia watoto na huduma zao.

Mishahara ya watumishi wanaosaidia watoto imelipwa

2,700,000 Mishahara imelipwa kwa wakati

19 Kuboresha makao ya Kuwapatia watoto Watoto 72 wamepatiwa chakula katika 14,689,500 Fedha hizo

Page 8: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

8 | P a g e

watoto na kilimo kwa uzalishaji wa chakula

huduma ya chakula Makao ya MWOCACHI zimetolewa na wakina mama wazilishi na wasamalia wema

20 Kuboresha makao ya watoto na kilimo kwa uzalishaji wa chakula

Kulipia gharama za usafiri na mawasiliano.

Gharama za mawasiliano na usafiri zimelipwa kwa wakati

1,378,000 Gharama zausafiri na internet zimelipiwa

21 Kuboresha makao ya watoto na kilimo kwa uzalishaji wa chakula

Kuboresha mradi wa kilmo cha mboga za majani

Uboreshaji wa kilimo cha mbogamboga umefanyika na watoto wanaendelea kunufaika na chakula hicho

357,000 Uboreshaji wa kilimo unaendelea

22 Kuboresha makao ya watoto na kilimo kwa uzalishaji wa chakula

Kuboresha mradi wa kilmo cha ndizi

Uboreshaji wa kilimo cha ndizi umefanyika na watoto wanaendelea kunufaika na chakula hicho

4,389,000 Ubshaji wa bustani unaeendela vizuri

23 Kuboresha makao ya watoto na kilimo kwa uzalishaji wa chakula

Kugarimia usafiri na usafirishaji

Huduma ya watoto wagojwa walioko majumbani wanaoishi na Virusi vya UKIMWI.

1,835,000 Ufuatiliaji watoto (WAVIU) unaendelea

24 Kuboresha miradi ya ufugaji na ujasiriamali

Kuboresha mradi wa ufugaji (Ng’ombe wa maziwa, mbuzi)

Mradi wa ufugaji umeboreshwa ikiwa ni pamoja na miradi ingine ya sabuni, dagaa na samaki.

114,978 Mradi unaendelea vizuri

JUMLA KUU 34,394,678

2. BARAZA LA USHAURI LA WAZEE MANISPAA KIGOMA/UJIJI

25 Kufuatilia afua za kudhibiti UKIMWI

Kukutana na viongozi wa Mitaa kwa lengo la kuwahamasisha ili waweze kuwashawishi wananchi kujitokeza kupima afya zao

Katika upimaji wa VVU uliofanyika kata ya Rusimbi na Majengo wananchi walijitokeza kwa wingi na walipata fursa ya kupima afya zao

HAKUNA Shughuli hii ilichukua siku tatu

26 Kufuatilia afua za kudhibiti UKIMWI

Kushiriki mikutano ya wazi kufikisha ujumbe kwa wakazi wa kata ya

Wajumbe walipata fursa ya kutoa maelekezo yenye makanyo vikaoni Mitaa ya Bogogwa, Katonyanga na Rusimbi kata ya

HAKUNA Hamasa zaidi inahitajika kutolewa

Page 9: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

9 | P a g e

Majendo. Majengo27 Kufuatilia afua za

kudhibiti UKIMWIKuvipatia nasaha vikundi vya sanaa ya maigiizo na wacheza mpira katika kata ya Majengo na Rusimbi

Waigizaji walipewa nasaha na kushauriwa wabuni maigizo yenye makalipio ya ngono zembe. Timu ya mpira wa miguu ilipata ushauri nasaha ya kujiepusha na maambukizi ya UKIMWI

HAKUNA Msisitizo zaidi unapaswa kutolewa

KIAMBANISHO NA 1: MAPATO YA FEDHA KUTOKANA NA TIBA KWA KADI (TIKA).

NA KITUO KAYA ZILIZOJIUNGA MAKUSANYO JUMALAJULAI AUGOST SEPTEMBA JULAI AUGOST SEPTEMBA

1 BANGWE 0 5 34 0 50,000 340,000 390,0002 BUHANDA 1 3 0 10,000 30,000 0 40,0003 BUSINDE 0 0 0 0 0 0 04 GUNGU 1 0 1 10,000 0 10,000 20,0005 KIGOMA 5 49 6 50,000 490,000 60,000 600,0006 MSUFINI 0 10 10 0 100,000 100,000 200,0007 RUSIMBI 7 4 22 70,000 40,000 220,000 330,0008 UJIJI 1 13 31 10,000 130,000 310,000 450,000

JUMLA 15 84 104 150,000 840,000 1040,000 2,030,000

KIAMBATANISHO NA 2: WALIOPATA MISAMAHA YA MATIBABU

WAHUSIKA ME KE JUMLA

1 Wazee Wasiojiweza Kiuchumi837 760 1597

2 Watoto Chini ya Miaka Mitano3662 2265 5927

3 Wanawake Wajawazito0 2048 2048

4 Watu Wasiojiweza Kiuchumi27 34 61

5 Watoto Wanaoishi Katika Mazingira Hatarishi(WWKMH).0 0 0

Page 10: UTANGULIZIkigomaujijimc.go.tz/storage/app/media/uploaded-files/... · 2017-07-30 · asilimia 73% ya watu 336 (wapya) waliogundulika kuwa na maambukizi ya VVU,kati ya hao - Watu wazima

10 | P a g e

1. PAPO KWA PAPO

NA KITUO JULAI AUGOST SEPTEMBA JUMLA1 BAPTIST 2,002,000 1,830,000 2,460,000 6,292,0002 BANGWE 66,000 114,000 113,000 293,0003 BUHANDA 208,000 120,000 205,000 533,0004 BUSINDE 75,000 144,000 62,000 281,0005 GUNGU 270,000 330,000 320,000 920,0006 KIGOMA 30,000 27,000 47,000 104,0007 MSUFINI 50,000 79,000 50,000 179,0008 RUSIMBI9 UJIJI 110,000 330,000 278,000 718,000

JUMLA 2,811,000 2,974,000 3,535,000 9,320,000

6 Watu Wenye Magonjwa Sugu kama vile: Saratani,Kisukari,Pumu,Ukoma, Sickle Cell,Kifua Kikuu,Ukimwi,Magonjwa ya Moyo na Magonjwa ya akili

257 723 980JUMLA KUU

4,783 5,830 10,613