Upload
others
View
31
Download
1
Embed Size (px)
Citation preview
UTANGULIZI:Wapendwa, nawasalimu katika Jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Kutokana na
taarifa ya kazi ya Januari hadi Septemba 2017 tumeona jinsi tulivyoweza kutekeleza
mipango tuliyopanga kwa mwaka huu. Aidha tumeona kazi mbalimbali ambazo hazikuweza
kutekelezwa kutokana na changamoto ambazo zimeelezwa. Kwa kuzingatia mpango
mkakati wa Dayosisi wa miaka mitano 2014-2018, Menejimenti inaleta kwenu mpango kazi
wa mwaka 2018.
Mpango kazi huu umeainisha kazi mbalimbali zitakazofanyika kwa mwaka 2018 ikiwemo
kazi ya kutathmini mpango mkakati wetu wa miaka mitano; ili kuona ni kwa kiasi gani
tunautekeleza na kupata nafasi ya kuufanyia marekebisho ikiwa ni lazima, pia kuandaa
mpango mkakati wa miaka mitano (2019 – 2023). Kazi hii ya tathmini ya mpango mkakati
ilipangwa kufanyika mwaka 2017 lakini haikuwezekana kufanyika.
Ni vizuri tukakumbuka kwamba Dayosisi yetu bado iko katika dharura kubwa ya hatari ya
kupoteza shamba la Malya lenye ekari 1,000 na pia mwaka 2018 tutakuwa na Mkutano
Mkuu; kwa hiyo itatubidi kuongeza jitihada zaidi katika mwaka 2018 ili tufanikishe mambo
hayo ambayo yote ni muhimu.
Mpango kazi wa mwaka 2018 umegawanywa katika Idara na vitengo vya Dayosisi kama
ifuatavyo:
• Idara ya Uinjilisti, Misioni na Uwakili
• Misioni
• ETE
• Sinema Leo
• Elimu ya Kikristo
• Maandiko
• Ofisi ya Katibu Mkuu
• Utawala
• Utumishi
• Katiba na Sheria
• Habari, Mawasiliano na Ukaribishaji
• Idara ya Fedha
• Fedha
• Manunuzi na ugavi
• Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
1
• Idara ya Jinsia na Maendeleo
• Wanawake
• Watoto
• Vijana
• Utetezi
• Idara ya Huduma za Jamii
• Afya
• Elimu
• Udiakonia
• Ushauri
• Idara ya Mipango na Uwekezaji
• Mipango na programu
• Miradi
• Ardhi
• Vituo
• Chuo cha Biashara na Biblia Mwanza
• Kituo cha Afya Nyakato
Tunategemea kwamba wote tutasoma kwa makini mpango kazi huu ili tuwe na mipango
thabiti na inayotekelezeka na kufikia malengo ya mpango mkakati wetu. Tunategemea
kwamba Wenyeviti wa Halmashauri na kamati watakuwa tayari kuwasilisha, kujibu na kutoa
maelezo wakishirikiana na watendaji husika wa Idara kuhusu kazi tulizopanga kwa mwaka
2018.
Nawatakia Baraka za Bwana katika wajibu wenu wa kumtumikia Mungu kupitia vipawa
vyenu mbalimbali.
†
Askofu – KKKT Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria
OFISI YA KATIBU MKUU
KITENGO CHA UTAWALA
NA Mkakati/Lengo Shughuli 2017 Bajeti Chanzo cha
Mapato
2
1 Kuwa na
watumishi wa
kutosha na
wenye ari ya
kazi
• Kuongeza mishahara kwa asilimia
20%
Mfuko wa utumishi
2. Kuwa na
watumishi
wenye ujuzi
unaohitajika
katika kila idara.
-Kozi ndefu kwa watumishi
-Mch. Peweni Kikoti shahada ya
Maendeleleo ya Jamii – Iringa University
Grace Alfred – Diploma in Clinicalmedicine
-Rev, Mimi Mziray – Masters in Missiology
-Wilson Ekwabi, Emmanuel Sitta, Domician
Alloys, Lucas Shija, Amin Malisa, Godfrey
Francis – Bachelor of Divity.
-Rogath Mollel – MBA (Cooperate Mgt.)
Mzumbe.
-Kozi fupi kwa watumishi
- Semina kwa watumishi, semina kwa
watunza hazina wa sharika, majimbo na
sharika.
2,000,000.00
25,000,000.00
10,000,000.00
ELCA, LCMS,LMC
DANMISSION,
Majimbo, Sharika
DANMISSION,
Majimbo,
Sharika
3 Kuwezesha
vyombo vya
maamuzi na vya
kiutekelezaji
kutimiza wajibu
wake
• Kufanya vikao vya Halmashauri kuu,
Menejimenti, Halmashauri/kamati
• Kuhudhuria Vikao vya nje
(Halmashauri kuu KKKT, CCT ,LMC
11,000,000.00 ADMIN
4 Kuwa na Sera
stahili kwa kila
idara
Kutunga sera mpya kutokana na mahitaji
• Sera ya elimu, Udiakonia, ardhi,
habari, utetezi, afya. Kupitia,
kujadili, kurekebisha, kuboresha
sera mbalimbali
• Sera ya magari, mfumo wa utumishi,
mawasiliano.n.k
2,000,000,00 ADMIN
3
5 Kukuza mtandao
na ufanisi wa
ziara za viongozi
• Ziara za Askofu
• Kuweka mawe ya msingi,
kuweka wakfu majengo ya
Kanisa, kutambulisha wakuu wa
majimbo na kuingiza kazini
wakuu wa vituo
• Kutembelea vituo – kazi za
maendeleo
• Kutembelea miradi ya Dayosisi
km. ETE, Diakonia, Oasis, Pamoja
tuwalee etc.
• Ziara za Msaidizi wa Askofu
• Katibu Mkuu
• Kutunza Safari za nje ya nchi kwa
viongozi
4,000,000.00
3,000,000.00
1,000,000.00
720,000.00
ADMIN
KITENGO CHA UTUMISHI LENGO KUU: KUONGEZA NA KUENDELEZA UTENDAJI KAZI WA WATUMISHI
4
KULINGANA NA WAJIBU WAO KATIKA DAYOSISI, NA KUWA NA MFUMO HAI NA
ENDELEVU WA HABARI, MAWASILIANO VIELELEZO & UKARIBISHAJI
NA Mkakati/Lengo Shughuli 2018 Bajeti Chanzo cha
Mapato
1 Kuwa na
watumishi wa
kutosha na
wenye ari ya
kazi
• Likizo kwa watumishi
• Mishahara kwa wakati
• Tathmini ya utendajikazi kwa
watumishi
351,217,576.00
2,000,000.00
Mfuko wa
Utumishi
Mfuko wa
Utumishi
Mfuko wa
Utumishi
2 Kuwa na
watumishi
wenye ujuzi
unaohitajika
katika kila idara
• Kuratibisha shughuli zote za
mafunzo kwa watumishi kwa kozi
ndefu na fupi
• Kufuatilia maendeleo na maslahi
kwa wanafunzi pamoja na
watumishi walioko vyuoni
• Semina kwa watumishi.
25,000,000.00
10,000,000.00
ELCA, LCMS, LMC
ZMO
DANMISSION,
Majimbo, Sharika.
DANMISSION,
Majimbo, Sharika
5
3 Kuwa na taratibu
na sera stahili
katika kitengo
rasilimali watu
Kutunga sera mpya kutokana na uhitaji.
• Sera ya utumishi, usalama mahali
pa kazi, utendaji kazi (employment
practices) , habari, sera ya maadili
kwa watumishi (employees
conduct), mafao ya watumishi (
empolyees benefits program and
policies)
Kupitia,kujadili , kurekebisha, kuboresha
sera mbalimbali
• mfumo wa utumishi, mawsiliano,
n.k
• Kupitia na kufanya marekebisho
mfumo wa utumishi na kuandaa
mpango mkakati wa miaka mitano
2,000,000.00 JSI/PACT ADMIN
4 Kuwa na mfumo
hai na endelevu
wa habari,
mawasiliano na
vielelezo
• Kuendelea kutunza na kuboresha
vyanzo vyote vya habari na
mawasiliano vilivyopo katika
Dayosisi (Email, website na jarida
la Dayosisi)
• Kuanzisha njia mpya za kupeana
habari na mawasiliano katika
Dayosisi.
• Kuwa na simu za mezani ofisi za
dayosisi na ofisi ya usharika kanisa
kuu
1,500,000.00
2,000,000.00
2,500,000.00
ADMIN
6
5 Kuwa na
mazingira bora
ya utendaji kazi.
JUMLA
• Kuimarisha mahusiano mazuri nay
a kirafiki kwa watumishi na
menejimenti kwa ujumla
• AC ofisi ya Msaidizi wa Askofu.
• Kununua printer ofisi ya Askofu
• Kununua Computer ofisi ya Katibu
Muhtasi wa Katibu Mkuu
• Kabati la mafail ofisi ya Askofu
• Kununua Kabati dogo la mafail
ofisi ya Katibu Mkuu
• Wageni ofisi ya Askofu (ukarimu)
• Komputa ofisi ya Afisa utumishi
• Kabati la mafaili pamoja na kiti
ofisi ya Afisa utumishi
• Usafi mavazi ya Uaskofu
1,500,000.00
1,500,000.00
650,000.00
500,000.00
1000,000.00
1,000,000.00
1,000,000.00
1,700,000.00
500,000.00
404,467, 576.00
ADMIN
IDARA YA UINJILISTI, MISSION NA UWAKILI
LENGO KUU: KUWA NA WAKRISTO WALIO IMARIKA KIIMANI
KITENGO CHA UINJILISTI, MISIONI NA UWAKILI
No. LENGO SHUGHULI BAJETI CHANZO
CHA
MAPATO
1. KUIMARISHA OFISI
ZA MAJIMBO.
KUANZISHA SHARIKA
4, MITAA 3 NA
KUJENGA MAKANISA
3.
• Timu ya Askofu na wahubiri kufanya
Uinjilisti katika mtaa wa Hungumalwa
na kujenga Kanisa.
10,000,000.00 Toleo la
fellowship,
sharika, na
toleo la
ufunuo
7
• Kutoa mafunzo kwa watendaji wa
Sinema leo.
• Kuonyesha sinema katika misioni ya
Ukerewe, Hungumalwa na mitaa ya
misioni.
28,000,000.00 FELM
• Kusaidia kuezeka makanisa 3 katika
maeneo ya misioni.
• Kuwa na viwanja vya jimbo la
Ukerewe. Kusini magharibi, Mwanza
Kusini na Kaskazini.
10,000,000.00 LMC, Toleo la
Uinjilisti
jimbo
• Kuanzisha Sharika za Nyakagwe,
Usagara na Nyahingi.
1,000,000.00 Toleo la
Uinjilisti
• Kununua boti kwa ajili ya uinjilisti
maeneo ya visiwani
45,000,000.00 FELM
• Kununua pikipiki tatu kwa ajili ya
watumishi
7,500,000.00 Mfuko wa
pikpiki &
toleo la
Pentekoste
2. KUWAJENGEA
UWEZO VIONGOZI
WA SHARIKA NA
MITAA.
• Kusomesha mkristo mmoja katika
shahada ya Theologia
4,500,000.00 LMC
2.
UWEZO VIONGOZI
WA SHARIKA NA
MITAA.
• Kuendeleza Mchungaji mmoja katika
shahada ya Theologia.
9,000,000.00 DAYOSISI
• Kuwaelimisha watheologia 9 katika
ngazi ya cheti na 3 katika Stashahada.
60,000,000.00 DANMISION.
DAYOSISI
8
• Kuwasomesha Wainjilisti na Wasaidizi
wa Sharika 40 katika Chuo cha Biblia
Nyakato.
48,000,000.00
DANMISION.
FELM,
DAYOSISI
• Kuendeleza Mchungaji mmoja katika
kozi ya CPE-KCMC.
3,500,000.00 LWF,
DAYOSISI
• Kuendesha semina ya wainjilisti katika
kila Jimbo
6,000,000.00 Jimbo,
sharika
3. KUWA NA TIMU YA
KUFUNDISHA
UWAKILI WAKRISTO
• Kuwafundisha wakristo utoaji wa
mavuno na kutoa mavuno
Jimbo,
sharika
UWAKILI WAKRISTO• Kuwa na timu ya Jimbo ya
kuhamasisha toleo la kutunza
watumishi
9,000,000.00 Toleo la
kutunza
watumishi
• Kuwafundisha wakristo juu ya Sadaka Sharika
4. KUIMARISHA
WAKRISTO KATIKA
MAFUNDISHO YA
NENO LA MUNGU
KWA MSINGI YA
KILUTHERI
• Kuwa na semina 2 za Neno la Mungu
na moja ya ndoa.
sharika
MAFUNDISHO YA
NENO LA MUNGU
KWA MSINGI YA
KILUTHERI
• Kuendeleza na kuimarisha jumuiya
kwa kila usharika.
sharika
9
• Kuwa na Semina na kuimarisha
wakristo wachanga katika mitaa ya
Kharumwa, Mabuki, Malya, Misasi,
Nyamagana, Nyakaenze,
Nyampalahala, Hung’umalwa,
Sumve na Buhumbi.
15,000,000.00 DANMISSIO
N
5. VITUO VYA ETE
KUENDELEZA CHUO
CHA NYAKATO NA
VITUO 5 VYA ETE.
Kugawa vitabu kwa wanafunzi vituoni. 3,570,000.00 SEM
CHA NYAKATO NA
VITUO 5 VYA ETE.
• Kutembelea vituo vya Kiloleli, Magu,
Nyegezi, Misungwi, Sengerema,
Iyogela, Sima, Geita, Nyarugusu na
Masumbwe
3,000,000.00 SEM
• Semina ya pamoja kwa wanafunzi,
wachungaji na wawezeshaji
9,500,000.00 SEM
• Kuendeleza lengo la kituo Misungwi
• Kutambua maeneo yenye uhitaji
(Maeneo ya Kome n a Nyehunge kuwa
na kipaumbele) na kuhamasisha
wanafunzi wapya
• Kukutana na viongozi wa sharika
zenye vituo
Kutoa posho kwa mratibu 1,800,000.00 SEM
Kuiwezesha ofisi ya mratibu 760,000.00 SEM
6. KUWEZESHA
GHARAMA ZA
UENDESHAJI WA
OFISI
• Kuwezesha mawasiliano ya simu ya
Internet.
1,000,000.00 Toleo la
uinjilisti
10
• Ununuzi wa Stationary.
• Kuwezesha vikao vya Kamati 1,300,000.00 Toleo la
Uinjilisti
• Uhamisho wa watumishi 10,000,000.00 Dayosisi
7. KITENGO CHA
ELIMU YA
KIKRISTO
KUBORESHA UTOAJI
WA ELIMU YA
KIKRISTO SHULE ZA
MSINGI SEKONDARI
NA VYUO.
• Kuhakiki uwepo wa kamati za Elimu
ya Kikristo ngazi ya Sharika na Jimbo
100,000.00 Toleo la
Elimu ya
kikristoKIKRISTO
KUBORESHA UTOAJI
WA ELIMU YA
KIKRISTO SHULE ZA
MSINGI SEKONDARI
NA VYUO.
• Kutambua shule na vyuo
vitakavyohusika
100,000.00 Toleo la
Elimu ya
kikristo
• Kutoa mafunzo kwa wawezeshaji wa
Elimu ya Kikristo, kozi 2 katika Chuo
cha Biblia Nyakato.
1,000,000.00 LMC
• Kuandaa na kusambaza vitendea kazi
mfano vitabu na mihtasari
100,000.00 Toleo la
Elimu ya
kikristo
• Kufuatilia ufundishaji wa Elimu ya
Kikristo mashuleni na vyuo (katika
majimbo manne: Mwanza Kati,
Mwanza Kusini, Mwanza Mashariki
na Magharibi)
100,000.00 Toleo la
Elimu ya
kikristo
8. KUBORESHA
HUDUMA ZA SHULE
YA JUMAPILI.
• Kutoa mafunzo kwa Waalimu wa
Shule za Jumapili.
• Kutoa nakala na kusambaza
“tufundishe watoto” (2018)
1,000,000.00 LMC
9. KUBORESHA UTOAJI
WA ELIMU YA
KIPAIMARA.
• Kuwa na kikao cha kuandaa mtihani
• Kufuatilia uendeshaji wa madarasa ya
kipaimara katika majimbo ya Mwanza
Mash, Mwanza Kus, na Magharibi
150,000.00 LMC
11
• Kusambaza mtihani na kusimamia
mtihani wa kipaimara majimboni
50,000.00 jimbo
• - sharika
• Kununua vitabu vya nyumba kwa
nyumba na kuviuza majimboni.
shrika
• Kununua picha za kufundishia watoto. sharika
10. UTOAJI WA VIFAA
VYA UFUNDISHAJI
KWA WAALIMU NA
WASHARIKA.
• Kufanya manunuzi ya vifaa
vinavyohitajika
Sharika,
jimbo
KWA WAALIMU NA
WASHARIKA. • Kuandaa na kusambaza vitendea kazi Sharika,
jimbo
11. KUTENGENEZA SERA
YA ELIMU YA
KIKRISTO
• Kuwezesha na kukaa vikao vya
halmashauri ya Elimu ya Kikristo na
wataalamu
100,000.00 Toleo la
Elimu ya
Kikristo
12 KUBORESHA
UTENDAJI WA KAZI
OFISINI
• Ununuzi wa vifaa vya ofisi na
makabrasha
200,000.00 Toleo la
Elimu ya
Kikristo
13 DAWATI LA
MUZIKI
KUIMARISHA
UIMBAJI WA NYIMBO
ZA VITABUNI KWAYA
NA LITURJIA
• Kusimamia uimbaji kupitia kamati
za muziki katika majimbo yote
• Kutembelea sharika kuone jinsi
uimbaji wa kwaya, Nyimbo za
vitabuni na Liturjia unavyoendelea
• Kuwa na vikao vitatu vya dawati la
muziki
450,000.00
240,000.00
250,000.00
Toleo la
uinjilisti na
jimbo
14 KUAMSHA NA
KUCHOCHEA
KARAMA
• Kuandaa wimbo wa kongamano na
tamasha kitaalamu kila mara
• Kuhakikisha mashindano
yamefanyika ngazi ya sharika ,
jimbo na dayosisi
200,000.00
100,000.00
Kurugenzi na
jimbo
Kurugenzi na
jimbo
12
15
DAWATI LA MUZIKI
KUBORESHA
DAWATI LA MUZIKI
• Kununua vifaa vya dawati la
muziki (Santuri (CD) ya sauti za
Liturjia na redio[ CD) player])
• Kununua kitabu cha nyimbo na
sauti zake
120,000.00
20,000.00
Toleo la
uinjilisti
Toleo la
uinjilisti
JUMLA 298,210,000/=
Vyanzo vya Mapato:-
1.0 Local collection - 115,530,000.00
• SEM - 18,630,000.00
• FELM - 79,000,000.00
• DANMISSION - 53,400,000.00
5.0 LMC - 29,000,000.00
6.0 LWF - 2,500,000.00
IDARA YA FEDHA
KITENGO CHA FEDHA Na.
LENGO
KAZI.
KISIO LA
GHARAMA
CHANZO CHA
MAPATO
MUDA WA
UTEKELEZAJI
1.
Kuongeza kipato cha
dayosisi
-Kutafuta maafisa
masoko/Sales
representatives kwa ajili
ya kuuza bidhaa za bima
zitolewazo na maendeleo
bank. Watalipwa 10% ya
faida ya dayosisi
kulingana na idadi ya
wateja watakao waleta
-Kuendelea kuitangaza
huduma ya bima
-Kuweka fedha kwenye
FDR kwa riba ya 10%
- Kuendelea kutoa mikopo
kwa watumishi
2,000,000/=
60,000,000/=
Mapato
yatokanayo na
Bima ya
Maendeleo Bank.
Mfuko wa
wastaafu
Toleo la wastaafu
JAN-JUNE,2018
JAN-DEC,2018
JAN-DEC,2018
13
2 Kufanya kazi kwa kufuata
standards za kihasibu.
-Kuanza kuambatanisha
fomu ya makisio kwa kila
maommbi ya fedha
yatakayowasilishwa ofisi
ya hazina
- - JAN-DEC,2018
3 Kuwa na taarifa ya fedha
ya pamoja kwa dayosisi
nzima
-Kutengeneza mfumo wa
taarifa unaofanana katika
sharika na majimbo yote
-Kuannza mchakato wa
kuunganisha taarifa za
fedha kuanzia ngazi ya
mtaa, Sharika na Majimbo,
vituo hadi ofisi kuu.
1,000,000/= Mapato ya
utawala
JAN-DES, 2018
4. Kuwa na mfumo wa
kiutendaji unaofanana
katika ofisi zote za fedha
za Dayosisi
-Kutengeneza mwongozo
wa fedha wa kihasibu
(financial regulation and
accounting manual)
- Kuendelea kusisitiza
matumiza ya sera ya fedha
ya dayosisi
1,000,000/= Mapato ya
utawala
JAN-DES,2018
5.
Kuwa na taarifa ya
viwanja inayoendana na
wakati
Kulipia kodi ya viwanja
kwa wakati
-Kupunguza madeni ya
nyuma
-Kuendelea kukumbusha
sharika kulipia kodi ya
viwanja
20,000,000/= Toleo la mavuno JAN-DEC,2018
6.
Kuendelea kukaguliwa na
wakaguzi wa nje
Kuandaa taarifa kwa
wakati na kufuata sharia
na taratibu zote za
kihasibu.
Kuendelea kutoa mafunzo
kwa wahasibu ili kuweza
kurahisisha utendaji kazi.
5,000,000/= -Toleo la
kuendesha ofisi
JAN-JUNE, 2018
14
7 Kuongeza ufanisi katika
idara ya fedha kwa ngazi
zote
• Kufanya vikao vya
idara
• Kufanya vikao vya
halmashauri ya
fedha
• Kutembelea ofisi
za fedha za
sharika,
majimboni na
bvituo
• Kupunguza siku
za malipo na
kuwa mara 2 kwa
mwezi
2,000,000/= Toleo la utawala JAN- DEC,2018
JUMLA 191,000,000/=
KITENGO CHA
MANUNUZI NA UGAVINa.
LENGO
KAZI.
KISIO LA
GHARAMA
CHANZO CHA
MAPATO
MUDA WA
UTEKELEZAJI
1.
Kukusanya takwimu za
kusaidia kutayarisha
makisio ya vifaa
vinavyohitajika kwa kazi
mbalimbali za Dayosisi
-Kuandaa mpango wa ununuzi wa
mwaka mzima ( Annual Procurement
plan)
- -
JAN 2018
2 Kupata thamani halisi ya
malighafi
-Kukagua na kuhesabu vifaa ghalani
na kutoa taarifa ya thamani ya vifaa
vilivyomo ghalani.
500,000/= Mapato ya
Utawala
JAN
15
3 Kuhakikisha sheria za
manunuzi zinafuatwa kwa
kwa Dayosisi nzima yaani
vituo, majimbo, sharika na
mitaa
-Kutembelea vituo, majimbo 3, na
sharika zake kueleza taratibu na
sheria za manunuzi kama sera ya
manunuzi zinavyoelekeza
-Kufundisha taratibu za manunuzi
kwa wachungaji kwenye kikao chao
kitakachofadhiliwa na DANMISSION
- Kushauri, kusimamia, manunuzi bora
ya vifaa vya kazi.
2,000,000/= Mapato ya
utawala
JAN
JUMLA 2,500,000/=
IDARA YA HUDUMA ZA
JAMII
KITENGO CHA ELIMU
No LENGO KAZI MUDA MAKISIO
1. Kuwa na sera ya Elimu Dayosisi
-Kukusanya maoni toka kwa wataalamu wa elimu tukishirikiana na CSSC juu ya uundwaji wa Sera ya Elimu.
-Kitengo kuandaa andiko la sera ya Elimu na kuiwasilisha kwa wajumbe wa Halmashauri ya Huduma za jamii kwa ajili ya kuisoma na kutoa maoni kwa ajili ya marekebisho.
-Kukamilisha sera ya Elimu na kuiwasilisha kwenye vikao vya menejimenti
January
March
June
700,000/=
550,000
16
2 Kukamilisha usajili na taratibu za kuanzisha Shule 2 za secondary Mabatini na Malya ili kutoa huduma ya Elimu katika jamii.
Kazi zitakazofanyika katika Shule ya Sekondari Mwanza Lutheran Mabatini na Malya ni kama zifuatazo:-
• Kuteua wajumbe wa Bodi ya Shule na kuisajili, na majina ya wajumbe na rasimu/mwongozo kupelekwa wizarani.
ii. Kukaa vikao 2 na Bodi ya Shule kuchagua sare ya Shule, kuandaa Nembo, Wimbo, Motto na Kanuni ndogondogo za wanafunzi.
iii. Kuajiri wafanyakazi watakaohudumu katika Shule ya Mabatini kama ifuatavyo:- Mkuu wa Shule 1, Waalimu 8, Wahudumu 2, Mlinzi 1, na Mtunza Maktaba 1.
iv. Kuandaa makisio ya kuendesha shule, ili kuwa na bajeti itakayowezesha shule kuanza.
v. Kufanya matangazo mapema ya Shule yetu, 8 kwenye radio, 1 gazetini, vipeperushi na 2 Televisheni ili kupata wanafunzi watakaoanza Shule Octoba 2017, Matarajio ni wanafunzi 100.
vi. Kuandaa na kusimamia mitihani ya kuingia Sekondari Mwanza Lutheran na Malya.
vii. Kununua vitabu vya kiada na ziada, Compyuta 2 na vifaa vya Maabara kadiri ya mahitaji.
viii. Wajumbe wa Bodi za Shule (Mabatini na Malya) kutembelea Shule zao mara 2 na kufanya vikao 2 katika maeneo hayo kwa maandalizi ya Shule kuanza.
ix. Kuanzisha darasa la Pre form one watakaoingia kidato cha kwanza Januari 2019, Kuwa na Ibada ya ufunguzi wa Shule na kuendesha Harambee.
April
May na July
September
Agosti
Agosti na Septemba
Novemba
Agosti na Septemba
July na Septemba
Octoba
300,000/=
400,000/=
350,000/=
450,000/=
1,270,000/=
500,000/=
40,000,000/=
600,000/=
5,000,000/=
17
3 Kuhamasisha Sharika na Majimbo kumiliki shule.
-Kutembelea Majimbo la Mwanza Kati –Ebeneza, Cathedral -Imani na Jimbo la Magharibi -Geita kuhamasisha kumiliki shule za Chekechea na Msingi.
-Kutembelea Sharika 3, ambazo ni Imani, Geita na Magu yenye shule na kuwashauri kuzisajili katika Wizara ya Elimu ili zitambulike rasmi.
-Kutembelea Shule za chekechea 3, kuzikagua na kutoa ushauri pale panapo bidi.
Februari
Machi, July na Septemba.
May na Julai
450,000/=
150,000/=
5. JUMLA 50,120,000/=
KITENGO CHA UDIAKONIA
LENGO KUU: KUWA NA WAKRISTO WALIO NA UTOSHELEVU WA
HUDUMA ZA KIROHO, KIMWILI NA KIAKILI DMZV.
NO MKAKATI/LENGO SHUGHULI/KAZI MAKISIO CHANZO CHA MAPATO
MUDA
18
1. Kuwezesha Huduma ya udiakonia katika Sharika
-Kutembelea wadiakonia, kamati za udiakonia na viongozi wa sharika
-Kufanya vikao na kutoa elimu ju ya huduma ya udiakonia DMZV
3,980,000/= SEM JAN DEC
2. Kuwasaidia watoto walemavu na wenye mahitaji mbalimbali wanaoishi Mazingira magumu
-Kutoa misaada
- Kuwaelimisha na ushauri kwa familia zenye watoto walemavu (OASIS).
3,000,000/= SEM JAN-DEC
3 Kuhudumia wahitaji wanaofika ofisini wakiwa na shida mbalimbali
• Kutoa huduma kulingana na shida zao.
2,000,000/= Mapato ya ndani
Jan -
4 Kuwa na ofisi inayotosheleza kutoa huduma za udiakonia
• Kununua mafaili, na
• Karatasi pamoja na kalamu.
• Kupata vifaa vingine muhimu kwa ofisi.
600,000/= Mapato ya ndani
Jan -
5. Kufanya tathmini ya kazi ya udiakonia na kuhudhuria vikao vya nje ya Dayosisi ya DMZV
• Kupokea taarifa toka majimbo kila baada ya miezi mitatu
• Kutembelea Dayosisi zingine na kujifunza juu ya udiakonia
1,500,000 LMC -SEM Feb –
JUMLA 11,100,000/=
19
KITENGO CHA USHAURI
LENGO KUU: KUTOA USHAURI KWA WATU WENYE MATATIZO YA
KISAIKOLOJIA NA KIJAMII NDANI NA NJE YA KANISA
S/N LENGO KAZI/SHUGHULI BAJETI VYANZO VYA
MAPATO
01 Have place for
people to come
and receive
counsel.
Establish kituo cha ushauri.
Tafuta kiwanja
Build office
Buy furniture
102,000,000
Tshs.
Still unknown
ZMO, ELVD
And other donors
02 To have colleges
for psychological
counseling
To search for another counselor and start to
work together
03 Help people with
psychological dis
orders, especially
those traumatized
with violence
Offer counseling/ psychotherapy Nill Not applicable
20
04 Build up networks
to improve quality
of counseling and
reach people in
need of counseling
Regular visits to relevant institution and
organization
Start intervision group of counsellors
Build networks with parishes to identify and
refer patients
60,000 Tsh
Nill
1,000,000
Idara ya afya
Not applicable
Idara ya afya
05 Improve
counselling skills
and psychological
knowledge of
evangelists and
pastors
Teach at Nyakato Bible college nill Not applicable
06 Advance
counseling skills
amongst pastors
of the diocese, for
their work and
possibly as
multipliers
3 advance level seminars for pastors /
evangelists who have skills in counselling.
E.g have attended the course in pastoral
counselling at KCMC
2,700,000 Idara ya afya
07 Reduce the
number of
possible
perpetrators of
violence
Help work of institutions like FKT, Cheka
sana
Offer marriage counseling
Offer parents counseling
Nill
Nill
Nill
Not applicable
Npot applicable
Not applicable
08 Office material 100,000 Ya ndani
KITENGO CHA AFYA
LENGO KUU: KUWA NA JAMII YA KIKRISTO YENYE AFYA BORA NA UELEWA WA
KUTUNZA AFYA ZA JAMII WANAPOISHI
LENGO KAZI KISIO LA
GHARAMA
CHANZO CHA
MAPATO
21
1.0. Jumuiya ya
sharika za DMZV
inapata masomo ya
elimu ya Afya
mfululizo
1.1.1. kuandaa dodoso la kutambua hazina
ya wataalamu wa afya ktk dayosisi
150,000 Sharika zote
1.1.2. Kulithibitisha dodoso na kilisambaza
sharika zote.
Ofisi ya katibu mkuu
1.1. 3. Kuhifadhi muhtasari/ kumbukumbu ya
wataaluma wa afya ktk Dayosisi
1.2.1. Kuanadaa kikao cha wataalam wa afya
ktk Dayosisi
350,000 Ofisi ya katibu mkuu
1.2.1.1 Kutuma mwaliko wa kikao
1.2.1.2.Kuaandaa Agenda za kikao
1.2.1. 3 Kuendesha kikao cha wataalam wa
afya Dayosisi
1.2.1.4 Kuanisha masomo yatakayofundishwa
na walimu wake
1.2.1.5 Kuandika muhtasari na kushirikisha
wadau wote kwa utekelezaji
1.2.1.6 Ufuatiliaji wa utekelezaji wa
mafundisho
2.0. Kubuni na
kuandaa angalau
andiko la mradi
mmoja wa upanuzi wa
kituo cha Nyakato
(name the project)
2.1. Kufanya kikao na memejimenti ya kituo
cha afya nyakato ili kuibua mradi na
wadau/wafadhili mbalimbali
300,000 Kituo cha Afya
Nyakato
2.2.Kuandaa andiko na kulisambaza kwa
wadau mbalimbali
3.0. Kuimarisha utoaji
wa huduma katika
kituo cha Afya
Nyakato
3.1. Kufanya mikutano ya ushauri na
mwenyekiti pamoja na Menejimenti kila
mwezi juu ya uhakiki wa utendaji na uongozi
wa kituo na
22
3.2. Kujadili na kushauri juu ya utatuaji wa
changamoto mbalimbali za kituo kwa
kushirikiana ha menejimenti ya kituo
3.3. Kufwatilia juu ya ubora wa huduma
zinzotolewa ili ziwe za viwango
vinavyokubalika kitaifa
Tume ya Kikristo
huduma za jamii
(CSSC)/
Halimashauri ya Jiji.
4.0. Kuandaa mradi
mmoja wa kijamii na
kuomba ufadhili (aina
ya mradi itajwe)
4.1. Kukaa pamoja na idara ya miradi ili
kuibua mradi mmoja wa kijamii na kutambua
mdau/ wadau
100,000 Ofisi ya k/mkuu
4.2. Kusanifu andiko na kulituma/ kusambaza
kwa wadau mbalimbali
4.3. Ufwatiliaji wa matokeo
IDARA YA JINSIA NA
MAENDELEO
KITENGO CHA WANAWAKE
LENGO KUU LA KITENGO: KUWALETA WANAWAKE PAMOJA KATIKA
KUUJENGA MWILI WA KRISTO NDANI NA NJE YA KANISA
S/N LENGO KAZI/SHUGHULI BAJETI VYANZO VYA
MAPATO
23
01 Kuimarisha umoja
na mshikamano
wa wanawake
katika Dayosisi
yetu.
• Kuwa na ibada za pamoja
zitakazoimarisha umoja na
mshikamano.
• Majimbo 8 yatafanya maandalizi na
maadhimisho ya ibada ya
maombi ya Dunia.
ii. Kila jimbo litatunza watoto waishio
mazingira magumu, albino na yatima
wasiopungua 10.
B) i. Dayosisi itaandaa maadhimisho ya
Ibada ya Wanawake mwezi Agosti na
majimbo yote 8 yatashiriki. Sharika 50
zitahitimisha katika hatua za mwisho.
ii. Ibada hiyo itatunza wazee 20 kwa
kuwapatia sabuni, chakula na mafuta.
• Sharika nazo zitatunza wazee
wasiopungua 5 kwa kuwapatia
mahitaji muhimu.
2,000,000/=
3,000,000/=
Mapato ya ndani
-Sadaka za ibada
ya machi na
Agosti.
-Michango ya
Wanawake
02 Kuwa na kitengo
imara kinacho
waunganisha
wanawake wote
wa kanisa.
• i. Kufanya vikao viwili vya kikatiba
vya halmashauri kuu ya Wanawake,
• Kufanya mkutano mkuu mmoja (1)
wa wanawake Dayosisi .
• Kuandaa Mpango mkakati wa
Kitengo cha Wanawake wa miaka
5 kuanzia 2019-2023
• Wanawake kushiriki shughuli za
kanisa ndani na nje ya Dayosisi.
• Kuanzisha vipindi vya malezi kwenye
sharika ambazo hazija anzisha na
kuendeleza maeneo
walikoanzisha.
• Wajumbe 5 kuhudhuria mkutano
mkuu wa wanawawake KKKT
huko shinyanga,
3,000,000/=
2,000,000/=
2,000,000/=
Mapato ya ndani
-Michango na
sadaka za Machi
na Agosti
24
03 Kuwawezesha
Wanawake kukua
kiroho na kiimani
ndani ya Yesu.
-Kuandaa semina mbili (2) ya wanawake
katika majimbo 2, Mashariki na Kati ili
kutambua wajibu wao ndani ya Kanisa.
-Kuandaa semina moja (1) kwa wenzi wa
wainjilisti kutambua nafasi na wajibu
walionao ndani na nje ya kanisa.
3,000,000/=
1,000,000/=
Michango ya wan
awake toka
sharika zao na
-LMC
04 Kuendelea
kuwatambua na
kuwasaidia
wahanga wa
mauaji ya
vikongwe wenye
macho mekundu
na watu wenye
ulemavu wa ngozi
(Albino).
-Kuendelea kuwatambua wahanga wa
mauaji ya vikongwe wenye macho mekundu
katika maeneo ya Magu, Kwimba, Geita
vijijini na Ushirombo (Bukombe).
-Kuandaa na kutoa semina 3 za Afya, haki za
binadamu na huduma ya neno la Mungu
kwa kila kijiji kilichoathirika na janga hilo.
- Kuwapatia tiba ya kisaikolojia kwa kuwapa
ushauri nasaha.
12,000,000/
=
ELCA Donation
05 Kuongeza ufanisi
wa kitengo cha
wanawake ili
kuongeza tija na
ubora.
• Mratibu wa idara kwenda masomo ya
muda mfupi KORATI Afrika kuongeza
ufanisi katika utendaji
• Mhudumu wa kitengo cha mikate
kupata mafunzo ya mwezi mmoja ya
ushonaji ili kufufua mradi
• Kuwa na vitendea kazi vya kutosha
katika kitengo kama vile wino, kiti, note
books, kalamu, ream za karatasi na vifaa
vingine vya kazi.
4,000,000/=
2,000,000/=
1,000,000/=
-Mapato ya ndani.
Eg. Michango na
sadaka za ibada.
25
06 Kubuni na
kuboresha miradi
ya kitengo cha
wanawake ili
kutunisha mfuko.
-Kujitangaza zaidi kwa wateja wetu wa
mikate wa zamani na wapya kuongeza
mapato.
-Kununua kiwanja kwa ajili ya uwekezaji
-Kuendesha harambee kubwa mwezi wa
Agosti katika ibada ya wanawake.
-400,000/=
-5,000,000/
=
Wanawake
-Sadaka za Ibada
Machi na Agosti.
Mapato ya ndani tarajiwa ni tsh.
27,400,000/=
Mapato ya nje eg. ELCA na LMC +
13,000,000/=
Jumla ya mapato tarajiwa kwa bajeti ya mwaka 2018 ni tsh.
40,000,000/=
KITENGO CHA WATOTO
LENGO KUU: KUWA NA WATOTO WENYE UJASIRI, WALIOLELEWA KWENYE
MISINGI YA KRISTO YESU
S/N LENGO KAZI/SHUGHULI BAJETI VYANZO
VYA
MAPATO
01 Kuwa na watoto wa
kikristo wenye
malezi bora katika
jamii wanayoishi
-Kufuatilia kwa karibu vipindi vya
watoto vinavyotolewa mashuleni.
Wanawake wahusike katika kujitolea
kufundisha
-Kuleta watoto kwenye mafundisho ya
kikristo ili wamjue Kristo.
500,000/=
Mapato ya
ndani
Eg. Mapato
ya Ibada
Machi na
Agosti
26
02 Kuendelea kutambua
na kuwasaidia
watoto yatima, na
wanaoishi katika
mazingira magumu
na hatarishi.
-Kila Usharika kusomesha watoto
wasiopungua 2 yatima na walioko
katika mazingira magumu na hatarishi.
-Kuwapatia misaada mbalimbali kama
vile nguo, madaftari na vifaa vingine
vya shule kama sare za shule, nk.
- Wanawake
katika
sharika
03 Kuwa na jamii
inayokataa vitendo
vya ukatili.
-Kupambana na kuzuia ukatili wa aina
zote kwa watoto kwa:-
i. Kufanya semina 3 Ukerewe, Igombe
na Kazilamuyaye kukomesha vitendo
vya ukatili kwa watoto.
ii. Kuandaa Sera na mkakati wa dayosisi
dhidi ya vitendo vya kikatili kwa
watoto.
-Kwa kushirikiana na idara ya ustawi
wa jamii kuwatambua watoto na
kuwapa msaada wa kisheria dhidi ya
vitendo vya udhalilishaji.
-Kutoa elimu ya malezi ya watoto kwa
jamii katika maeneo ya Igombe,
Ukerewe na Geita vijijini mara 2.
3,000,000/=
-2,000,000/
=
Kitengo cha
watoto
kitashirikian
a na Kitengo
cha Utetezi
-
04 Kuwa na ibada za
watoto na wazazi.
-Kufanikisha sikukuu ya Mikaeli na
watoto katika sharika zetu zote.
-Kuandaa sikukuu moja ya watoto na
wazazi mara moja kwa mwaka na
watoto watapata fursa ya kuonyesha
vipaji vyao.
3,000,000/= Mapato ya
ndani
-Michango ya
Sharika zetu
Jumla ya mapato tarajiwa kwa bajeti ya mwaka 2018 ni Tsh
8,500,000/=
KITENGO CHA
VIJANA
27
LENGO KUU: KUWA NA VIJANA WENYE UJASIRI,
WALIOLELEWA KWENYE MISINGI YA KRISTO YESU
: LENGO SHUGHULI KISIO CHANZO CHA
MAPATO
KIPINDI CHA
UTEKELEZAJI
1 Kuimarisha
vijana baada ya
kipaimara hadi
miaka 35 ili
kukua katika
ufuasi wa Yesu
Kristo
• Kufuatilia kazi za sharika
za mifano. Usharika
mmoja kutoka kila jimbo.
• Semina mbili kwenye kila
usharika wa mfano kwa
vijana
• Kuwa na kambi ya vijana
KKKT litafanyika Mwanza
• Kongamano la Askofu na
Vijana, DMZV.
• SikuKuu yaVijana,
D.M.Z.V.
26,850,000/=
FELM
-Michango ya
sharika
KKKT
-JAN -DES
-Machi-
-FEB-DES
-JUN/JUL
-JUN
2 Kuwawezesha
youth workers
na viongozi wa
idara ya vijana
majimboni na
sharikani
• Kutoa semina mara mbili
kuhusu mada muhimu
kwa ajili ya malezi ya
vijana (youth workers)
• Kuendeleza vitendea kazi
na vifaa vya kufundishia
na kuvinunua
8,200,000/= -FELM
-Michango ya
sharika
-FEB & AUG
-JAN-MEI
3 Kuimarisha
mawasiliano na
umoja wa vijana
baina ya sharika,
jimbo na
dayosisi
• Kununua vifaa vya
mawasiliano sharika za
mfano
• Kuzitembelea sharika za
mfano mara tatu
1,850,000/=
(Gharama
nyingine za
ziara
zinakwenda
pamoja na
semina na
kambi)
-FELM -FEB
-JAN-DES
28
4 Kuwaelimisha
viongozi wa
kanisa pamoja
na wazazi juu ya
umuhimu wa
malezi ya vijana
katika kanisa
• Kuwa na semina hasa
kwenye sharika za mfano
na kuwaeleza wazazi
maana ya malezi ya vijana
kanisani
Gharama
zinakwenda
pamoja na
semina za
vijana katika
sharika za
mfano
-FELM
-Michango ya
Sharika
-JAN-DES
5 Kuimarisha
miradi ya
kitengo cha
vijana na kubuni
mingine
• Kuendeleza shamba la
miti Kahunda
• Kuwa na bidhaa za kuuza
• Kuanzisha miradi pamoja
na vijana kutoka sharika
za mfano kulingana na
eneo husika
3,400,000/=
-Michango ya
sharika
-Mapato ya
miradi
-JAN-DES
-JAN
-JAN-DES
6 Kuimarisha ofisi
ya idara ya
vijana sharika,
jimbo na
dayosisi
• Kutunza ofisi
• Vikao vya menejimenti
(4)
• Vikao viwili vya
halmashauri ya vijana
• Kuelimisha viongozi wa
idara kwa kozi
mbalimbali6,819,000/=
-FELM
-Michango ya
Sharika
-Shirika lisilo la
kiserekali
-JAN-MAC
-FEB, JUN, AUG
-JAN & AUG
- JAN
- JAN-DES
JUMLA 55,237,000/=
Mch. Jonah E.Mkumbwa,
Mch. Hanna Oja – Nisula
Mratibu wa Idara ya vijana
Msaidizi wa Mratibu wa Idara ya Vijana
29
KITENGO CHA UTETEZI
LENGO KUU: KUWA NA JAMII INAYOISHI KWA FURAHA NA AMANI
IKISHIRIKI SHUGHULI ZA MAENDELEO
LENGO SHUGHULI KISIO CHANZO CHA
MAPATO
MUDA WA
UTEKELEZAJI
1 Kuendelea kutoa
Elimu ya Utetezi
na Kufungua
madawati katika
maeneo ya DMZV
-Kutambua kamati 3 za utetezi
zilizokuwepo na kuwapatia
semina moja kwa kila dawati.
-Kufungua madawati mapya 3
ya utetezi katika Wilaya za
Magu, Geita vijijini na Kwimba.
7,220,000/= DMZV na
DANIDA
Machi
2 Kutimiza malengo
ya Andiko la
utetezi 2014 –
2017
-Kusimamia madawati ya
utetezi ukerewe, Igombe, na
Ushirombo.
-Kusimamia vikundi vya
kuweka na kukopa vilivyopo
Igombe, ushirombo na
Ukerewe.
-Ufuatiliaji wa kesi na
kusindikiza wanaohitaji
msaada wa kisheria.
5,800,000/=
DMZV NA
DANIDA
-APRIL
-JAN, FEB, JUNE,
AUGOST
JAN-DEC
30
3
Kuwa na kitengo
imara na bora cha
utetezi na
Kushiriki vikao
mbalimbali vya
Utetezi
vinavyoandaliwa
na
KKKT/wafadhili
-Kuudhuria vikao
vyakuwajengea uwezo
viongozi wetu vilivyoandaliwa
na DANIDA
-Kufanya semina moja kwa kila
dawati. Kuwapa semina za
kuwawezesha kufanya kazi za
utetezi.
-4,500,000/- DANIDA JAN- DEC
4 Jukwaa la Mkoa
wa Mwanza
kuendeleza kazi
za Uwajibikaji wa
Umma (Social
Accountability)
-Kamati ya Mkoa wa Mwanza
kuandaa vikao 3 na wadau
toka Serikalini, viongozi wa
siasa, dini, makundi maalum
na jamii ili kukumbushana
wajibu walionao.
-Kuelimisha Jamii kutambua
mahitaji yao na kuyasimamia.
-Kuendeleza semina kwa jamii
kuwaongezea uwezo waweze
kutambua wajibu walio nao
katika jamii wanayoishi na
kutatua matatizo yaliyopo
katika hali ya Amani.
Jumla ya bajeti 2018 ni Tshs.
6,375,000/-
23,895,000/-
DANIDA
Jan – Dec
IDARA YA MIPANGO NA UWEKEZAJI
31
LENGO KUU: KUWA NA MIPANGO YA MIRADI, ARDHI, UWEKEZAJI NA HUDUMA NA KUFUATILIA UTEKELEZAJI WAKE.
KITENGO CHA MIPANGO, PROGRAMU NA MIRADI
LENGO KAZI KISIO GHARAMA
(TSHS)
• Kuwa na uwekezaji wa
elimu katika shamba la
Malya
• 1 Kukamilisha kuunga
umeme nyumba 31
za Malya
1,500,000
• Ujenzi wa shule ya
Kilutheri-Malya ,
Maabara 3, Bwalo
1Mabweni na 2, ,
200,000,000
3.0 Kuwa na shamba la
Malya linalozalisha na
kuongeza thamani ya
mazao
• Mradi wa kilimo
katika shamba la
Malya
a. Kilimo cha Msimu ekari
70 (mahindi, 50 alizeti
30, mpunga 20 ),
kupaliliwa na kuvunwa
12,000,000
32
b. Kupanda na kukuza miti
6200 ya mbao, matunda
na kuzuia upepo
(mipakani).
2,900,000
4.0 Kuongeza ufahamu wa
wakuu wa idara katika
kuandaa maandiko ya
miradi
Kuandaa semina kwa
watumishi wa idara
kuhusu kuandaa
maandiko ya miradi ya
sehemu zao na
kuitathmini.
3,000,000
5.0 Kuwa na maandiko
yenye manufaa kwa kanisa
na jamii; yahusuyo elimu,
ufazili watoto, uinjilisti
,malaria, kupunguza
umasikini n.k.
Maandiko kuandaliwa
katika idara husika kama
uinjilisti na misioni,
huduma za jamii, Jinsia na
maendeleo, mipango na
uwekezaji na fedha
Kama;- DMZV- FELM,
DANMISSION, LMSA na
LMC, na Miradi mingine
itakayoibuliwa
1,000,000
33
6.0 Kuwa na Dayosisi
(DMZV) yenye uwezo wa
kiuchumi na huduma na
kuongezeka kwa maeneo ya
uwekezaji.
i. Kuendeleza ujenzi wa
Shule ya sekondari ya
Kilutheri Mwanza -
Mabatini.
ii. Kupata eneo mbadala
na kuweka mipaka baada
ya kukabidhi kituo cha
polisi Igombe
40,000,000
2,000,000
iii. Kuendeleza miradi ya
ngo’mbe ya DMZV ya
sengerema na wachungaji
2,000,000
iv. Mradi wa kufuga nyuki
Malya kuongeza mizinga
10 na uzalishaji
700,000
v. Kuandaa sera za
uwekezaji DMZV,
tahadhari (Risk),
uzalishaji mali, kujenga
majengo ya DMZV.
3,000,000
7.0 Kuwa na Mpango
Mkakati wa Dayosisi 2014
– 2018 na uliotathminiwa
na mpango mkakati mpya
2019- 2023
• Kuangalia
utekelezaji wa
vipaumbele katika
Mpango Mkakati
• Kutathmini Mkakati
• Kutengeneza
mpango mkakati
2019- 2023
10,000,000
34
8.0 Kuwa na Idara yenye
uzoefu na ushirikishaji kwa
sharika
a. Kutembelea na kutoa
mafunzo sharikani -
b. Kufuatilia matokeo
baada ya semina ya
waalimu wa shule za
jumapili na wainjilisti
Nyakato.
2,000,000
9.0 Kuwa na watumishi
wa idara wenye ufahamu
wa ardhi, majengo na
rasilimali zingine.
1.0 Kupata ushauri wa
afisa wa usanifu majengo
na rasilimali zingine
(estate officer)
2.0 Kumalizia (finishing)
servant quarter kwa
Askofu DMZV
3. Uboreshaji wa fence
kwa Askofu DMZV
4. Ukarabati mdogo wa
nyumba ya Askofu DMZV
1,000,000
5,000,000
5,000,000
5,000,000
10.0 Kuongeza ushiriki na
ufanisi katika usafiri wa
watumishi wa idara
1. Gharama za usafiri
katika ujenzi wa
Sekondari Malya na
kwingineko
4.500,000
11.0 Kuwa na waendeshaji
wa miradi wenye ari na
mahusiano mazuri.
1.Kununua vifaa, vivywaji
na vyakula, na
kukodisha kumbi wakati
wa vikao vya robo mwaka
2. kutayarisha minuti na
machapisho mengine k.m
miradi
1,000,000
35
JUMLA 301,900,000
MIRADI
LENGO KUU: KUKUZA MIRADI ILIYOPO NA KUIBUA MIRADI MIPYA KATIKA DAYOSISI
• UTALII HAI
a.Kuboresha
muundo wa
utendaji kazi na
kutekeleza
shughuli za
Charming Safaris
b.Kupanua soko na
mtaji wa Charming
Safaris
2.0 Kuwa na
Hostel bora katika
huduma za
wageni, Charming
Bangalaw.
Kuongeza mafunzo kwa watumishi wa charming
Safaris ili waweze;
i.Kukusanya malipo toka wateja
ii. Kuwasiliana na wateja kuhusu mahali pa kutalii,
usafiri, malazi n.k
iii. Kupima gharama za safari
i. Kutengeneza mabango, webpages, katika
mtandao na kuwasiliana na mashirika mbalimbali
kuelezea umuhimu wa utalii hai.
ii. Kuandikisha Charming Safaris Kisheria
iii. Kufanya safari ya mfano ya watumishi na
kuitangaza.
i.Kuongeza vyumba viwili Charming Bangalaw
ii. Kuboresha miundombinu ya Charming Banglaw
3,000,000
8,000,000
10,000,000
Charming A/C
Charming A/C na
wadau wake
Mapato ya
UTAWALA (Kodi
za nyumba na
mapato ya
Charming
Bangalaw )
36
3.MRADI WA KILIMO
HAI
Kuendeleza
shamba la
permaculture na
kueneza elimu ya
kilimo endelevu
(hai)
i)Kuendelea kufundisha watumishi kilimo hai
ii)Kuweka shamba la mfano liendane na mahitaji
ya sekondari yetu Malya
iii.Kutayarisha shamba la mfano ekari 5 za mtama,
mahindi, kunde na maboga mboga
iv. Kuendeleza kilimo cha kubadilisha mazao,
mimea rafiki, miti na kuondoa wadudu
v. Kutafuta mfadhili na kuendesha semina ya watu
300 wa Malya ihusuyo kilimo hai. Kupima
matokeo yake
16,000,000
50,000,000
ZMO KED
Bread for the
world4.UPATIKANAJI WA
MAJI YA KUDUMU
MALYA
Kuwa na maji
yanayokidhi mhitaji ya
makazi, shule na
shamba la Malya
i.Kuweka nishati ya nguvu ya upepo katika kisima
shambani
- Kusambaza maji katika mifereji ya maji hadi
shambani na shuleni.
-Kuunganisha mifereji ya matone shambani.
-Kulima ekari 20 mazao ya mpunga, maboga na
mboga mboga
100,000,000 Mfuko wa ZMO,
marafiki, shule ya
Malya.
5.MAJI KWIMBA 3
Kuwezesha jamii
ya DMZV iishiyo
katika uhaba
mkubwa wa maji,
kupata maji.
Kutafuta wafadhili na kuwezesha kuchimba visima
vitatu vya maji katika maeneo ya DMZV
LCMS
6. MRADI WA MIFUGO
MALYA.
Kuongeza kipato
kwa kutumia
rasilimali ya
majani na mabaki
ya mazao katika
shamba la Malya.
Kuweka Mbuzi wa kisasa 20 na kuku 1000 Mfuko wa kanisa
rafiki la ujerumani
na mfuko wa
shamba Malya
37
7.TAFSIRI YA
KIKEREWE
Kuwezesha visiwa
vya Ukererewe
kupata neno la
Mungu katika
lugha ya Kikerewe.
i.Kuongeza ufahamu wa waendeshaji wa mradi
katika mipango na kutoa taarifa
ii. Kukarabati nyumba ya ofisi na ya mratibu na
kuweka thamani
iii. Kutafsi biblia ya Kiswahili kuwa Kikerewe
Mfuko wa mradi
wa tafsri Ukerewe
8.ADVOCACY &
INTERFAITH-
(SHAUKU)
Kuwa na jamii
inayothamini na
kulinda makundi
ya walemavu na
wanawake.
Kuelimisha jamii kwa kuanza kuwahamasisha juu
ya umuhimu wa haki za binadamu hasa kwa
walemavu wa ngozi na migogoro ya kidini
70,000,000 DANIDA
9.LVRA
Kuwa na jamii ya
kanda ya ziwa
iliyo huru
kutokana na
magonjwa na
ukandamizwaji wa
aina mbalimbali.
Kuendeleza juhudi za kukomboa wahanga wa
mazingira ya ziwa kama wagonjwa wa Ukimwi na
wajane
Mfuko wa LVRA
10. MACHO
MEKUNDU
Kukuzaji ufahamu
kupunguza ukatili
kwa wanawake
vikongwe
i. Kuendelea na shughuli za kupunguza imani
potofu juu ya akina mama wazee wenye macho
mekundu kuwa ni wachawi
Wafadhili wa
Amerika
11. USHAURI WA
KISAIKOLOGIA NA
KIROHO
Kuanzisha kituo
cha ushauri
nasaha DMZV
i.Kuandaa andiko la mradi wa ushauri nasaha
ii. Kuendeleza shughuli za ushauri katika eneo
kubwa zaidi (vyumba vitatu)
iii. Kupata eneo la ujenzi wa kituo
IV. Kujenga nyumba ya ushauri nasaha
50,000,000 mfuko wa ZMO,
DMZV na wadau
wa changamoto
za kisaikolojia na
ulemavu
12. SOCIAL
ACCOUNTABILITYJamii kupata huduma ya utetezi na kupunguza
migogoro
DMCDD/OAIC
13. KIZAZI KIPYA kufikia jamii ya wilaya ya kwimba, Buchosa na
Sengerema kwa
- Kutambua mahitaji ya watoto waishio katika
mazingira magumu zaidi --Kutoa elimu
USAID/ PACT
UFADHILI WA WATOTO.
LENGO KUU/MKAKATI KAZI/SHUGHLI ZILIZO
FANYIKA
KISIO/ GHARAMA CHANZO CHA
MAPATO
38
1.0 Kusaidia watoto
waishio katika
mazingira magumu
zaidi, kupata maisha
bora na fursa ya elimu;
ili kuboresha maisha
yao sasa na baadae.
Kuwapatia chakula watoto
40.
Kuwapatia watoto 11 ada
ya shule
Kuwapatia watoto 45 sare
na vifaa vidogovidogo vya
shule
Kuwapatia watoto 8 nauli
ya kwenda shule
Kuangalia afya ya watoto
45 na kuwapatia matibabu
3,360,000
7,820,000
1,350,00
2,500,000
2,250,000
FELM
FELM
FELM
FELM
FELM
2.0 Kusaidia familia
zenye watoto
wenye matatizo
kuelewa matatizo
ya watoto wao.
Kuwapa elimu wazazi 100
na waalimu 80
4,045,000 FELM
3. Kusaidia jamii
kuangalia watoto waishio
mazingira magumu
kuwa na vikao 04 vya kamati,
kata na majumbani
Watumishi 20 wa kujitolea
toka jamii na kanisa
2,500,000
1,320,000
FELM
FELM
Kufwatilia na kupima
matokeo ya mradi kwa
kipindi cha mwaka 2017
Watu 32 kuhusika Tathmini
ya siku mbili
2,000,000 FELM
Kuwezesha ofisi kutoa
huduma bora kwa
wadau
Vifaa vya ofisi kunuliwa kama
stationeries n.k
600,000 FELM
4.0 Kuongeza uelewa wa
washarika kuhusu
watoto waishio katika
mazingira magumu
- Kutembelea sharika 8
kueleza kuhusu watoto
waishio mazingira magumu
107,000 FELM
39
5.0 Kuwapa fursa watu
binafsi, familia, vikundi
na jamii kwa ujumla
kiuchumi na huduma ya
ofisi.
Kuwafundisha walengwa
ujasiriamali
wazazi na walezi 70
kutembelea ofisi yetu, ili
kupata ushauri wa kibiashara
JUMLA 27, 745,000
FELM
KITENGO CHA ARDHI
LENGO KUU SHUGHULI GHARAMA
(TSHS)
VYANZO VYA
MAPATO
MUDA
1.0 Kuongeza
upatikanaji wa
taarifa sahihi za
viwanja DMZV
Kufuatilia taarifa za
viwanja toka sharikani
kwa kushirikiana na
majimbo.
-Kuwekwa kumbukumbu
katika database
2,000,000 Mfuko wa
utawala na miradi
(M &E)
Jan. – Julai
2018
2.0 Kuongeza
utambulisho na
uzalishaji wa ardhi
ya DMZV
Kuweka alama za
utambulisho kama bikoni
na miti katika maeneo ya
sharika na ofisi kuu.
2,000,000 Mfuko wa
utawala na
marafiki wadau
wa mazingira
bora, na sharika
Jan – Des
2018
3.0 Kuwezesha
usajili wa ardhi
kuwa endelevu
1. Kuaininisha viwanja
vyenye sifa ya Kupelekwa
RITA
2. Kutambua Viwanja
vinavyohitaji usajili
3.Usajili wa ardhi ya ofisi
kuu na sharika RITA
4. Kufuatilia viwanja
sharikani
3,800,000/= Mfuko wa
utawala na
sharika
Machi – Des
2018
40
4.0 Kuwezesha
umiliki wa ardhi
kuwa endelevu
Kulipia kodi ya Ardhi ya
DMZV na sharika
Viwanja 11 vya ofisi kuu
na 20 vya sharika vyenye
usajili kulipiwa kodi ya
ardhi hadi mwaka
2017/2018
Ofisi kuu
Plot no 13 Block EE , Plot
no 292, Block F, Plot no
349 Block BB, Plot no
245 Block EE, Plot no
1112 Block HH, Plot no
10 Block BB, plot no 248
EE Plot no 58 & 60 Block
M , Plot 112 Block Malya
na Plot no 77 Block KK.
Idara itaendelea
kushirikiana na sharika
katika kutambuliwa
madeni yao ya kodi ya
ardhi
23,000,000/= Mfuko wa
utawala, Shamba
la Malya na
sharika
Jan - Des.
2018
5.0 Kuzuia upotevu
wa umiliki wa ardhi
DMZV
1.0 Ufuatiliaji wa
migogoro ya viwanja vya
Dayosisi
i. Viwanja viwili vya
Lumala 58 & 60 Block M
Lumala.
ii. Nyakato industrial.
Plot no Na Plot no 77
Block KK l.
• Plot. 82 block W
Kapripoint
5,000,000 Mfuko wa
utawala na
sharika
Mei - Des
2018
41
6.0 Kuongeza
ukubwa wa ardhi ya
DMZV
Kununua maeneo ya
ardhi ndani ya dayosisi
hususani ya uwekezaji
hasa wa hostel
25,000,000 Mfuko wa
utawala
Jan – Des
2018
JUMLA 60,800,000
KITENGO CHA UKAGUZI
1.LENGO SHUGHULI KISIO
GHARAMA
CHANZO
CHA
MAPATO
MUDA WA
UTEKELEZAJI
Kufanya ukaguzi wa
ndani Dayosisi
pamoja na vituo
vyake kwa hesabu za
mwaka unaoishia
31/12/2017
• Kukusanya taarifa za fedha
kutoka sharika, majimbo na
vituo vya dayosisi kwa ajili ya
kupanga (planning) ukaguzi
ii) Kufanya ukaguzi wa hesabu za
vituo hivyo ili kuona kuwa.
-Taratibu zote za kanisa na za nchi
zimefuatwa (compliance)
-Ripoti za miradi ya kanisa
zimeandaliwa na kuwasilishwa
kwa wafadhili kwa wakati
-Kumbukumbu za sharika na vituo
zinatunzwa sawasawa
-Kufuatilia utekelezaji wa hoja za
ukaguzi uliopita
3,314,000
Admin Jan - Oct
42
• Kuwezesha
ufanyikaji wa
ukaguzi
i.Kushirikiana na wakaguzi wan je
katika kuona madhaifu mbalimbali
katika mfumo mzima wa Dayosisi
ii. Kupata maoni ya wakaguzi wan je
kuhusiana na masuala mbalimbali
katika mfumo mzima wa dayosisi.
ii. Kupata maoni ya wakaguzi wa nje
kuhusiana na masuala mbalimbali ya
Dayosisi
150,000 Admin April
3. Kuwawezesha
watunza hazina wa
majimbo ili wawe na
uwezo mzuri wa
kutekeleza
majukumu yao.
Ukizingatia kuwa
wao ndio
wasimamizi wa
sharika kwa niaba ya
mtunza haina wa
Dayosisi
Kuwa na semina ya watunza hazina
wa majimbo ili kuwajengea uwezo
katika kutekeleza majukumu yao ya
kila siku
1,000,000 Admin Nov - Dec
JUMLA 4,464,000
VITUO
CHUO CHA BIASHARA NA BIBLIA MWANZA
LENGO KUU SHUGHULI KISIO
GHARAMA
VYANZO VYA
MAPATO
1.0 Kudahili wanafunzi
mwaka mpya wa
masomo
• Kudahili wanafunzi 70 chuo
cha Biblia
• Kudahili wanafunzi 50 chuo
cha Biashara
3,000,000/- Mapato ya ndani
2.0 Kuongeza madarasa
na samani• Kumaliza ujenzi wa
madarasa mawili
• Kununua madawati na viti 5027,000,000/-
Mapato ya ndani
na ufadhili wa
nje
43
3.0 Kukarabati majengo
ya chuo• Mabweni ya zamani
• Jiko la wanafunzi
• Jengo la utawala
• Vibanda vya kusomea
• Ofisi ya hazina
8,000,000/- Mapato ya ndani
4. Kuboresha mazingira
ya chuo• Kufufua bustani na kupanda
miti
• Kukarabati majengo na
kununua samani za chuo
1,000,000/-
8,000,000/- Mapato ya ndani
5. Ajira mpya • Kuajiri kataibu mhitasi
• Waalimu wapya wa Biashara
• Waalimu wapya wa QT na
Reseaters
3000,000/-
14,500,000/-
13,000,000/-
Mapato ya ndani
6. Program mpya • Kuanza mchakato wa
Accreditation ya chuo
• QT na Reseaters
• NACTE kuongeza usajili wa
Programmes (Bila Hesabu);
-Community Development
-Human resources Mgt
-Procurement & Logistic
Supplies mgt
1,000,000/-
545,000/-
3,000,00/-
Mapato ya ndani
7. Kuwa na watumishi
wenye ari ya kufanya
kazi
• Kulipa mishahara na posho
kwa wakati
• Likizo za watumishi kwa
wakati
• Kuongeza mishahara na posho
kwa watumishi
78,000,000/-
6,000,000/-
12,000,000/-
Mapato ya ndani
44
8. Kuwa na watumishi
wenye ujuzi• Kusoma kozi fupi
-Petro Magesa kusoma kozi
fupi ya upishi muda wa jioni
500,000/- Mapato ya ndani
9. Utawala bora
• Chuo kuendeshwa kulingana
na maazimio ya vikao
-Vikao vya bodi
-Vikao vya menejimenti
- Vikao vya taaluma
-Vikao vya wafanyakazi wote
-College Baraza
1,000,000/- Mapato ya ndani
10.Kuboresha maktaba • Kuchonga shelfu, meza, na viti
• Kununua feni
• Wi – Fi internet access point
5,100,000/-
450,000/-
1,500,000/- Mapato ya ndani
11.Mahusiano mazuri ya
chuo na taasisi zingine• Ziara ya Askofu na wahubiri
• Kuhudhuria makongamano,
semina, vikao.nk
• Ziara ya waalimu na
wanachuo
150,000/-
4,000,000/-
1,000,000/- Mapato ya ndani
12.Gharama za
uendeshaji wa chuo• Chakula cha wanafunzi
• Kuni
• Umeme
• Maji
• Shajara
• Printer ya kuprint vyeti
(NACTE)
• Bima ya Afya
• Gari
34,000,000/-
5,000,000/-
3,000,000/-
4,800,000/-
3,000,000/-
1,000,000/-
5,000,000/-
3,500,000/-
Mapato ya ndani
45
13. Kuongeza mapato ya
ziada chuoni
Kuratibu shughuli zenye
kuongeza kipato cha chuo hasa
kipindi cha likizo ndefu
• Semina
• Kozi fupi
6,000,000/-
3,500,000/-
Mapato ya ndani
JUMLA 252,045,000/-
NB:
Mapato ya Ndani = Sehemu ya mapato ya ndani tunapata ruzuku kutoka kwa wahisani
wetu wa maendeleo (FELM) kwa ajili ya Uendeshaji wa chuo kwa kiwango cha takribani
30,000,000/-
Edward Range
Stephano J. Ling’hwa
Mkuu Chuo cha Biashara na Biblia
Mkurugenzi Chuo cha Biashara na Biblia
KKKT-DMZV
KKKT-DMZV
KITUO CHA AFYA NYAKATO
LENGO KUU: KUTOA HUDUMA BORA ZA AFYA KWA WAGONJWA NA
WATEJA WA KITUO KWA KIWANGO KILICHOWEKWA NA WIZARA YA
AFYA.
LENGO MAHUSUSI KAZI KISIO/GHARA
MA
CHANZO CHA
MAPATO
1.Kuhakikisha huduma bora ya
maslahi kwa watumishi
inatolewa.
• Kulipa mishahara ya
watumishi 39 na posho
mbalimbali.
238,340,800/ Makusanyo ya
kituoni.
46
Kuajiri watumishi wawili
• Mtaalamu wa macho
• Lab. Technogist
9,600,000/ Makusanyo ya
kituo
• Kulipa nauli watumishi
ili kwenda sehemu
mbalimbali kupata
huduma kwa ajli ya
kituo km Bima ya afya,
Buzuruga H/C,Wilayani
nk.
240,000/ Mapato ya
kituo
• Kuwakarimu wageni
watakaofika kituoni
kikazi
150,000/ Mapato ya
kituo
* • Kununua kifurushi cha
mtandao cha kituo na
utumaji wa barua
mbalimbali.
420,000/ Mapato ya
Kituo
47
• Kufanya malipo kwa
wataalamu
tunaowaazima kutoka
sehemu mbalimbali
kama vile mtaalamu
wa ultrasound, meno,
daktari bingwa, wuguzi
na waganga.
2,420,000/ Mapato ya
kituo
• Kufanya mikutano ya
uongozi na ya
wafanyakazi kila
mwezi kwa viongozi na
mara nne kwa
wafanyakazi kwa lengo
la kutatua matatizo na
kuboresha huduma.
780,000/ Mapato ya
kituo
• Kuwatembelea
wagonjwa waliopo
majumbani wasioweza
kuja hospitali.( Bed
ridden patients)
Mapato ya
kituo
48
2.Kutoa huduma bora katika
Kituo kwa kuhakikisha manunuzi
ya bidhaa mbalimbali, malipo ya
Ankara, malipo ya kisheria,
matengenezo ya gari na jenereta
yamefanyika.
• Ununuzi wa dawa,
vitendanishi , vifaa tiba
vya hospitali na vifaa
vya macho
62,600,000/ Makusanyo ya
Kituo
49
• Kununua rim za
karatasi na vifaa
vingine vya ofisi,
mafaili ya wagonjwa,
kulipia Ankara za maji
na umeme,unyonyaji
wa maji machafu,
kufanya matengenezo
ya gari la wagonjwa na
jenereta, kulipia bima
ya gari. Kununua vifaa
vya usafi vya kituo.
Ununuzi wa mafuta na
matengenezo ya
generator.
11,574,000/ Makusanyo ya
kituo
• Ununuzi wa vifaa vya
hospital , magodoro 5,
mashuka 100, fosepsi
aina mbalimbali 50 na
mikasi 5 ya kufanyia
upasuaji.
2,800,000/ Mapato ya
kituo
50
• Ukaguzi wa mapato na
matumizi ya kituo kwa
mwaka 2017
2,480,000/ Mapato
Ya kituo
• Lipia huduma ya zima
moto, Afyapro, chai ya
watumishi, maafa na
zawadi, malipo
mengine ya kisheria
yanayohusu kituo na
dharura.
( LAPF,NSSF,PPF PAYEE NK)
4,570,000/ Mapato ya
kituo
• Malipo yatafanyika
kwa ajili ya huduma
tunazopata za kibenki
3,000,000/ Mapato ya
kituo
51
3.Kuboresha eneo la kutolea
huduma kwa kufanya ukarabati
na malipo mbalimbali.
• Kupaka rangi jengo
linalotumika kama
wodi ya akina mama
na watoto, kuweka
vitasa vipya vya
milango na kuondoa
vibovu,kuondoa fremu
za milango na silingi
bodi zilizoharibika na
kuweka zilizo mpya
kwenye wodi zote.
1,500,000/ Mapato ya
kituo
• Fanya ukarabati wa
meza za maabara kwa
kuweka formaica,
ukarabati wa samani za
kituo, computer na
printer.
1,350,000/ Mapato ya
kituo
4.Kuendeleza umiliki wa kituo. • Kulipia ardhi ya eneo
• Usajili wa kituo.
2,150,000/
100,000/
• Kufuatilia madeni
tunayodai sehemu
mbalimbali ili kukipa
nguvu kituo ya kuweza
kutoa huduma bora.
_
52
JUMLA KUU 344,074,800/
53