viewkutowa habari binafsi kama akaunti ya benki, idadi ya usalama wa jamii, nywila za computer kwa simu. KATA simu ya mutu yeyote anayekuwomba kwenda kwenye duka ya moneygram ili upate fedha awo aina nyingine ya

  • View
    224

  • Download
    5

Embed Size (px)

Transcript

Kashfa niwakatu watu wanajaribu kukudanaganya njia ya pesa yako kwa kusema uwongo kuhusu wao ni nani na jinsi wanavyokujuwa

Kashfa iko kinyume na sharia.

kashfa za kawaida:

Mupiga simu akisema ako pamoja na IRS (kodi za serikali)

Mupiga simu akisema ako pamoja na Immigration

. Mashirika ya serikali hawaiti kwa simu.

. Wanakutumiya baruwa pepe ikiwa kuna tatizo

Mupiga simu akisena una tatizo la kompyuta

Mupiga simu akisema mtu unaejuwa iko jela awo amekamatwa

Mupiga simu akisema umeshinda mashindano, elimu, awo pesa nyingine unasubiri kudai

. Ikiwa ni sauti nzurisana kuwa kweli, si kweli!

KAMWE kutowa habari binafsi kama akaunti ya benki, idadi ya usalama wa jamii, nywila za computer kwa simu.

KATA simu ya mutu yeyote anayekuwomba kwenda kwenye duka ya moneygram ili upate fedha awo aina nyingine ya uhamisho wa fedha.

Hutegemeya mtu yeyote akijaribu kuwuza programu au bidhaa ambazo haukuomba mweneyewe.

Recommended

View more >