Upload
rajabmumbee
View
34
Download
5
Embed Size (px)
DESCRIPTION
KWETU
Citation preview
ORODHA YA MAJINA YA KATA NA VIJIJI VILIVYOPO KATIKA TARAFA YA MGORI
KATA VIJIJIMGORI 1. Mgori
2. Munkhola3. Sughana
MUGHUNGA 1. Mughunga2. Unyampanda3. Nduamughanga4. Mkulu*5. Kazamoyo*
NGIMU 1. Ngimu2. Pohama3. Mwighanji4. Lamba
ITAJA 1. Itaja2. Sagara3. Kinyamwenda4. Gairu
*Inawakilisha kijiji kivuli.
TAARIFA YA ZIARA YA TAREHE 12/08/2015 KATIKA KATA ZA TARAFA YA MGORI
Mnamo tarehe 12/08/2015 mimi Rajab A. Mumbee nikiwa kama mratibu wa tarafa ya Mgori upande wa ‘Team Wirwana’/ Wirwana yetu nilitembelea kata za tarafa ya mgori kwa ajili ya kujionea maendeleo na kujua mahitaji mbalimbali ya vikundi vya uoteshaji miti katika tarafa ya Mgori pamoja na kuhakiki majina ya washiriki wa semina ya miti na nyuki itakayofanyika tarehe 19 hadi 21 Agosti 2015.
Mda wa tarehe tajwa vikundi vyote vilikuwa katika hatua ya kuandaa viriba vya kuotesha miti pamoja na kusafisha maeneo ya kuoteshea miti.
Kuna jumla ya vikundi vitatu vya uoteshaji miti vinavyotambulika ambavyo vimeainishwa katika jedwali hapo chini ikiwa pamoja na majina ya viongozi(M/kiti na makatibu).
ORODHA YA VIKUNDI VYA UOTESHAJI MITI TARAFA YA MGORI
JINA LA KIKUNDI
KATA KILIPO KIKUNDI
KIJIJI KILIPO KIKUNDI
MAJINA YA VIONGOZI (M/KITI-KATIBU)
MAWASILIANO
NYOTA NJEMA
NGIMU POHAMA 1. ZAKAYO MBURO(M/KITI)2. PHILIMON BUKO(KATIBU)
0785876960 (M/KITI)0684400249 (KATIBU)
MAZINGIRA MGORI SUGHANA 1. BENJAMIN ZAKAYO(M/KITI)2. IDD MRISHO(KATIBU)
0758268174(M/KITI)0753868060(KATIBU)
JUMA MTINDA
NGIMU NGIMU JUMA MTINDA(M/KITI)
0786034709
Pia katika kuhakikisha kuwa makundi ya kuotesha miti yanafikia malengo yao kwa ufanisi, makundi hayo yamebainisha mahitaji ya vifaa vinavyohitajika katika uwezeshwaji kama ifuatavyo katika jedwali.
MAHITAJI YA VIFAA YA VIKUNDI VYA KUOTESHA MITI TARAFA YA MGORI
JINA LA KIKUNDI VIFAA/MAHITAJINYOTA NJEMA 1. Reki
2. Mbegu3. Water can4. Sepetu/mbeleshi5. kayamba la kuchekechea mchanga6. mita YA MAJI7. Mabomba ya kumwagilia
8. mabomba ya kuunganisha maji9. Viriba vya kuotehea miche10. Toroli
MAZINGIRA 1. Mbegu2. viriba viongezwe3. Toroli4. sepetu/mbeleshi5. pump ya maji6. tanki la maji7. mipira ya kumwagilia8. viriba viongezwe
JUMA MTINDA 1. Mbegu2. Toroli3. water can4. pump ya maji5. tanki la kuhifadhia maji kwa mda .6. viriba
Imeandaliwa na:
RAJAB A. MUMBEE
Mratibu Wirwana yetu-Tarafa ya Mgori.