Upload
darajatz
View
907
Download
0
Embed Size (px)
DESCRIPTION
A presentation on the state of rural water supply in Tanzania, and on the latest status of the Water Sector Development Programme - the Tanzanian government's main investment programme for water supply.
Citation preview
Hali Halisi ya Sekta ya Maji:
Hali ya upatikanaji wa maji vijijini pamoja na mipango ya serikali za
kuongeza huduma za maji
Yaliyomo
• Changamoto zilizopo katika sekta ya maji
• Mpango wa serikali na wafadhili kudhibiti changamoto hizi (WSDP)
• Uendeshaji wa WSDP hadi sasa
Hali ya Upatikanaji wa Maji Vijijini
• Upatikanaji wa maji vijijini hauongezeki, unashuka
Wananchi Hawajaridhika
• Wananchi vijijini hutaja maji kuwa shida kubwa katika maisha yao
Tatizo la Uendelevu
• 54% ya vituo vya maji vijijini vinafanya kazi
All Waterpoints (including non-functional points)Functional Waterpoints Only
Average coverage
Nzega District
• Sehemu nyingi vituo vya maji ni vingi, sehemu nyingine ni chache
• Na miradi mipya huenda kwa walio na vituo vingi
Less than half (40%) of new funding going to wards with below average coverage
Tatizo la Usawa
Tatizo la Uwajibikaji
• Development partners less hands-on• Weak demand-side accountability pressures• Result: an “accountability gap”• An underlying cause of equity and
sustainability challenges– Equity: Voices of under-served communities not
being heard– Sustainability: Local government not being held
accountable for keeping WPs functional
Government and Donor Response
• Water Sector Development Programme “Programu ya Maji”
Introduction to the WSDP
• One single sector-wide programme for investment
• US$ 951mn over 5 years• All major Development Funds for the Water
Sector (i.e. no funds for recurrent costs – salaries, office running, etc.)
• World Bank, African Development Bank, US Millennium Challenge Corporation (MCC), KfW (Germany), Netherlands
• Biggest donor is the Government of Tanzania – 30% of the total budget
Proposed Contributions (US$ Million)
$200
$80
$207
$70 $60$83
$251
$0
$50
$100
$150
$200
$250
$300
IDA
(W
orld
Ban
k) AfD
B
US
-M
illen
nium
Cha
lleng
eC
orpo
ratio
n
Ger
man
y(K
fW/G
TZ
)
The
Net
herla
nds
Gov
ernm
ent
Oth
ers
Gov
ernm
ent
of T
anza
nia
Source
Co
ntr
ibu
tio
n (
Mil
lio
n U
S$)
Where does the money come from?
30%
8%
.. and where is it going?
WSDP50%
11%
$951m$75m
$106m
$480m
$290m
Urban Water Supply and Sewerage
Mainly to UWASAs
Institutional Strengthening and Capacity Building
Mainly to MoW
Water Resource Management
Mainly to Basin Water Offices
Rural Water Supply and Sanitation
Mainly to LGAs
Status of WSDP – 2007-2010
• Launched in March 2007• Funds flowing since 2007• Two main activities in rural areas:
– “Quick win” projects– Design consultants – 10 villages per district
Mgogoro
• Ambassador Hertz:– "We do hope that this water sector review will
result in decisions which allow the DPs to release committed funds to the water basket. Further damage to the reputation of the WSDP and the water sector should be prevented.“
• Minister Mwandosya:– "I submit that, my dear development partners, the
glass is half full."
Ukosefu wa Fedha kwa Mradi ya Maji Vijijini
• Fedha zimetumika nyingi ku-design• Zimebaki chache kwa ajili ya ujenzi• Wafadhili hawapo tayari kuongeza fedha• Matokeo yake:
– Wananchi wa vijiji 1,300 (10 kwa kila wilaya) vimeahadiwa miradi mipywa ya maji, lakini hawatapata.
Madhara yake kwa wananchi
• Matamshi ya Mtumishi Mmoja wa Wizara:– “We are not scaling down. We have raised hopes in 1300
villages and we will follow through on this.” – “The so-called 10 villages per district will definitely have to
be reduced, to 4 or 6, since it seems the funding will not be available.”
• Ufafanuzi:– Takribani vijiji 800 vilivyoahadiwa maji havitapata– Takribani watu 2,000,000 waliahadiwa maji hawatapata
The future
• Miradi ya maji vijijini: – Fedha zitaongezwa?– Vijiji vitakavyotolewa kwenye WSDP ni vingapi?– Ni vijiji vipi? – Vitachaguliwaje?
• WSDP itaendelea baada ya 2012?
Haijulikani!
Asanteni