View
247
Download
1
Category
Preview:
DESCRIPTION
Chapta 16- Charlie Pele: Majuju za sangoma tena(New variety sweet potato)
Citation preview
...halafu na-get
ball mpya...
...plus njumu poa za ball...
...jersey ndio hiyo!
...pia na-buy
tractor!
...hata naeza buy
ndege!
aki siwezi ngoja!
na hii dooh yote... utapata
wapi?
sweet potato zimeiva! twende
tuzicheki!
Majuju Za Sangoma Tena?!
25
sasa taabu...
watasikizana aje? wataishi
aje?
hm...
labda niende
kwa wale jirani...
tukizingumza, labda tutapata suluhisho...
njia ya kusaidia watoto wetu...
mtego! bila shaka, maadui wangu
wanadhani wamenipata! lakini WAPi!
hahaha!
lakini... hii ni mtego ya aina
gani wameniachia?...
sio shimo la nyoka...
...na sio cage kama ya ndege...
labda ni...
anataka kuoa msichana wa
kabila ingine...
haiya!
sangoma saidiaaaa...
oho! charlie
amefurahi kweli kweli!
tazama sasa baba charlie, ambaye
wakati uo huo,
anaelekea nyumbani...
26
...nikaona hii shimo njiani kama trap
inaningojea...
...nilikuwa natembea
hivi...
nakuuliza, sangoma, hii ni uchawi
gani hii?!?!?!
kweli...
...ni karne mingi tangu nione uchawi
ya hii kiwango...
...naombea nguvu za kuikinga
inavyostahili...
27
muda si muda, charlie na rosie wanafika shambani!
...labda hata tunaweza kuonja
sweet potato moja saa hii...
aaaaaah! sweet potato
zote zimeharibika!!!
usijali, charlie--
uncle atakusaidia...
ndoto zangu...!
28
ulikuwa umeziacha shambani sana...
niliziacha hapa kwa sababu niliambiwa ukizitoa
mchangani ndio zinaoza
haraka...
hiyo ndio sababu sasa zimeoza...
naweza kukuonyesha
method yenye mimi natumia ku-store sweet potatoes ili zisioze shambani...
method yangu
inazikawisha...
kuja nikuonyeshe...
29
mnafanya nini?!?!?!?!
kanyanga yote,
sangoma!!!
hizo ni sweet
potatoes zangu!!!
...sema nini?
lipeni!
kujeni hapa
mnilipe!
Mnakumbuka vile tulipanda new variety
sweet potatoes? Cheki Chapta 5
www.shujaaz.fm
2. Weka nyasi imekauka ndani ya hiyo shimo. Hii nyasi itakuwa kama cushion ya sweet potatoes, na pia inanyonya moisture kwa shimo ndio sweet potatoes zisi-spoil.
1. chimba shimo kwa mchanga, penye maji haiwezi fikia.
3. Sasa panga sweet potatoes zako zote hapo ndani. Then, zifunike na nyasi imekauka.
4. Jazilia hii shimo na mchanga.
5. Mwishowe, jenga roof thatched [ile ya nyasi] ili pawe cool, pasipigwe na jua. Hiyo space imebaki katikati ya roof na mchanga ni ventilation.
TRy Hii idEa na u-SHoW dJb KWa
3008!
Usiache sweet potatoes kwa shamba
kama zimeshakuwa, zitao-za, zitakulwa na wadudu,
na utapata hasara. Jenga store kama yangu
na uta-make dooh juu utauzia wasee
during low season!
30
Recommended