Upload
denniseudes
View
1.877
Download
0
Embed Size (px)
DESCRIPTION
FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA
Citation preview
FOMU YA MAOMBI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KATIKA VYUO VINAVYOMILIKIWA NA VETA
A. MAELEZO YA MWOMBAJI
1. Jina la mwombaji.Jinsia Me/ Ke
(Majina matatu anza na jina lako la kwanza)
2. Tarehe ya kuzaliwaMweziMwaka
3. ElimuMwaka uliohitimuJina la Shule/Chuo
4. Anuani ya mwombaji: S.L.P..namba ya simu
Barua pepe
Mahali unapoishi: Kijiji/Kata.WilayaMkoa
5. Jina la Mzazi/Mlezi/MfadhiliUhusiano
6. Anuani ya Mzazi /Mlezi/MfadhiliNamba ya simu
7. Chagua fani tatu ambazo ungependa kujifunza na uandike kufuatana na kipaumbele chako (angalia nyuma ya karatasi hii,
kumeambatanishwa orodha ya fani mbalimbali)
i. ii. iii.
8. Ukichaguliwa ungependa kukaa
(Weka alama katika kisanduku husika)
Bweni kutwa
Gharama ya kukaa bweni ni TShs ....na gharama ya kutwa ni TShs..
9. Andika jina la chuo unachopenda ..
(Angalia nyuma ya karatasi hii, kumeambatanishwa orodha ya vyuo vyote vinavyomilikiwa na VETA nchini na fani zinazofundishwa)
B. MUHIMU Mtihani wa kujiunga na chuo utafanyika tarehe saa mbili (2:00) asubuhi. Unapaswa kuripoti nusu saa kabla. Fika na
vyeti vya kuhitimu shule/chuo (nakala halisi) kalamu ya wino, penseli, picha moja (stamp size) na fomu hii pamoja na risiti uliyopewa
wakati unalipia fomu hii. Hakikisha unakuja na vifaa/vitu vyote kama vilivyoorodheshwa hapo juu.
Matokeo ya Mtihani yatatolewa tarehe.na yatabandikwa katika mbao za matangazo zilizopo chuoni, pia
yatawekwa kwenye tovuti ya VETA (www.veta.go.tz)
Gharama ya fomu hii ni Tshs(kwa tarakimu)(kwa maneno)
Weka alama ya vema (v) kwenye aina yeyote ya ulemavu unaohitaji mbinu maalum ya kufundishia na kujifunza:
Uziwi Kutokuona Albino Ulemavu wa viungo Taja ulemavu mwingine kama hauja orodheshwa
C. UTHIBITISHO Nathibitisha kuwa nimesoma na kuelewa yote yaliyo katika fomu hii, na maelezo niliyoyatoa ni sahihi.
Saini ya mwombajiTarehe
Saini ya Mzazi/Mlezi/MfadhiliTarehe
MAMLAKA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI
FOMU NAMBA: VETA/AF/LC/.. /../.. Bandika
picha yako
hapa
Muhimu: Toa kopi fomu hii baada ya kuijaza kikamilifu, na kopi hiyo iwasilishe chuoni.
Nakala halisi utakuja nayo siku ya mtihani wa kujiunga.