Upload
well-told-story
View
252
Download
4
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 22– Boyie: Utamchagua nani?
Citation preview
Tunafaa kusherehekea tukikumbuka mayatima kama hawa ambao hawana mtu wa kushere-
hekea nao…
Nimefurahi kuwa hapa na nyinyi, na nimeleta mazawadi kidogo tu ya hawa
watoto wetu.
Roho yangu inaniuma sana
nikikosa kuwa karibu na nyinyi watu wangu! Tujumuike tushere-hekee siku ya leo!
Utamchagua nani?
2
baadae...
Na hii ni yako…
Kades, hebu tuchape works
hapa watoi wacheki TV Chrissy!
Ala! Huyu mtu anajidai na hapendi watoi? Mbona
kila time ma-leader wanatudanganya?!
Eh, Kijana, mumefanya kazi
mzuri. Mlileta watu wengi kuskia speech
yangu…
3
Shika hii kidogo…nikianza campaign nitawachunga vizuri. Najua nilipotea nikiwa city
lakini nitawalipa mfanye kama last time…
Wazi Mzito! Wewe ndio
unajali vijana.
Huyu msee ametu-enjoy
vibaya! Anachezea mayuts hivi?
Kades! Nimecheki huyo mbunge akilipa Scarface, ati atamlipa akianza campaign?!
Kumbe ni wale wale!
Tutajuaje leader mpoa ni nani? Mtu anatuchekesha kumbe aanajaribu tu kukuingiza box?! Nani atatuongoza kweli?
Nimechoka na ma-leader kutumia mayut!
Tutapata wapi msee wakutuongoza
vipoa?
4
Bibi ya Chief?!
Unafanya nini huku?
Mbona mnashangaa? Nilianzisha hii centre
zamani.
Tulikosa CDF nikaamua tuchange na wamama
wenzangu tuanzishe hii centre. Sitaki kuona
watoto wetu wanazurura mtaani na tuna uwezo!
5
Manze, ume-do something ya
maana sana. Wewe ndio unafaa kua
leader wetu!
Kabisa!
Mimi? Hapaana.
Sijui mambo ya siasa!
Hapana…hata sina pesa!
Wacheni hiyo maneno.
Wasee kama wewe ndio wanajua nini
community ina-need. Wewe ndio uko huku kila siku. Na umetu-save na risto mob sana. Wewe ndio unafaa upewe kura!
6
Unamjua MP wako? MP wako alihonga wasee na dooh
kwa election iliyopita?
Dooh zenu za CDF zimetumika kwa
project za maana?
MP wenu anaishi kwa area yenu?
Huyo MP ameanzisha
projects za mayuts?
Huwa mna-meet mara kadhaa na MP
wenu ku-discuss shida za area yenu?
Huyo MP wenu, amewahi do
volunteer work kwa community yenu?
ZII
ZIINDIO NDIO
ZIINDIO ZIINDIO
NDIO
ZIINDIO
ZII[ wewe kwanza �kahapo down kwa D] NDIO ZII NDIO ZII
NDIO
ZII
Una ofisi ya MP yenye ina-function
mtaani?
LEADER MPOA NI YUPI?anzia hapa
Lini last ulichekiMP wako?
Inafaa mbongeshe huyu msee juu ya performance yake. Ana plan gani ya
ku-improve next time?
B
Kuchagua leader ni responsibility yako. Usipo-vote, usilalamike.
D
Uko poa! Una leader mnoma. Endelea
kum-support alete maendeleo zaidi mtaani.
C
Huyu msee achana nae,MSAHAU – na usim-vote-ie tena!
A
Support huyu msee hata kama hana dooh kwa sababu yeye ni a true leader na constitution inamkubalisha aendelee a-vie for
governor ama senator.
E
ZII
MP wako amewahi bonga akiwa
bunge?2007/8
Anakuanga around
sms3008leadership
TUMA
SM
S KWA 3008 NA VIEWS ZAKO UKIANZA NA NENO LEADERSH
IP
Kuna msee kwa area yenu mwenye anajali masilahi ya community mwenye ungependa asimamie
uongozi next time?
NDIO