3
AccessBank YAZIDI KUONGEZA IDADI YA MAWAKALA WAKE MTAANI Katika kuendelea kusogeza na kurahisisha matumizi ya huduma mbalimbali za kibenki kwa wateja wake na wananchi kwa ujumla, AccessBank imeongeza idadi ya mawakala wake nchini. Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo, Meneja Masoko wa benki hiyo ndugu. Muganyizi Jonas Bisheko, amesama kua ongezeko hili limelenga kuwawezesha wananchi kufikiwa nahuduma za kibenki kwa unafuu na urahisi Zaidi pasipo na ulazima wa kutembelea tawi la benki. Ameeleza kuwa kwa sasa Mawakala hao wanapatikana maeneo yafuatayo; S/ N JINA LA WAKALA MAHALI ALIPO 1 SKUVI MINI SUPERMARKET KIJITONYAMA SHULE 0784 800573 2 LACASUMBAI MAKUMBUSHO ( Nyuma ya Tawi la Kijitonyama na Ofisi za Tigo ) 0717 173084 3 JK INTERNET CAFÉ’ MWENGE MPAKANI 0713 477112 4 MK BUSINESS CENTER GETI LA MLIMANI CITY NJIA YA KWENDA CHUO 0715062334/0754062334 5

Accessbank Yazidi Kuongeza Idadi Ya Mawakala Wake Mtaani-jack

Embed Size (px)

Citation preview

AccessBank YAZIDI KUONGEZA IDADI YA MAWAKALA WAKE MTAANIKatika kuendelea kusogeza na kurahisisha matumizi ya huduma mbalimbali za kibenki kwa wateja wake na wananchi kwa ujumla, AccessBank imeongeza idadi ya mawakala wake nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari mapema hii leo, Meneja Masoko wa benki hiyo ndugu. Muganyizi Jonas Bisheko, amesama kua ongezeko hili limelenga kuwawezesha wananchi kufikiwa nahuduma za kibenki kwa unafuu na urahisi Zaidi pasipo na ulazima wa kutembelea tawi la benki.

Ameeleza kuwa kwa sasa Mawakala hao wanapatikana maeneo yafuatayo;

S/NJINA LA WAKALAMAHALI ALIPO

1SKUVI MINI SUPERMARKETKIJITONYAMA SHULE0784 800573

2LACASUMBAIMAKUMBUSHO( Nyuma ya Tawi la Kijitonyama na Ofisi za Tigo )0717 173084

3JK INTERNET CAFMWENGE MPAKANI0713 477112

4MK BUSINESS CENTER GETI LA MLIMANI CITY NJIA YA KWENDA CHUO0715062334/0754062334

5THERRY INVESTMENTTEGETA (AKIBA AU AAR HOSPITAL)0767500400

6COMRADE SERVICESBUNJU A0717026997 au 0655459342

7AICHI GENERAL SUPPLIES LTDNAMANGA0714581457

8KOLI FINANCE LTDHARBOUR VIEW 0713334030

9EVOLUTION INVESTMENT GENERAL SUPPLIES LTDTANDALE KWA MTOGOLE0715667733

10GERIRWA GENERAL SUPPLIES COMPANYKITUO CHA BASI MWANANYAMALA A 0713311616

11MALEKIA INVESTMENTSINZA MADUKANI 0713562667

12MDODWE SHOPSALASALA NJIA YA KWENDA KWA MBOMA0714846363

13 E.J SHOPMWENGE- ITV0716411567

Aidha bwana Bisheko, amewaasa wananchi kutembelea mawakala hawa na kufanya miamala balimbali ya kibenki kwa haraka na wepese Zaidi hata baada ya muda wa kazi wa matawi ya benki. Baadhi yahuduma zinazotelewa kupitia AccessBank WAKALA ni kama vile 1. Kuweka Fedha Bure, 2. Kutoa Fedha, na 3. Kukusanya nyaraka za kufungua Akaunti.

Hivi karibuni benki hiyo inatarajia kutangaza mwakala wengine wapya katika maeneo mbalimbali. AccessBank Tanzania ni Taasisi ya Kifedha inayolenga haswa kutoa huduma za kibenki kwa wajasiriamali wadogo na wa kati. kupitia wanahisa wake wa kimataifa amabao ni AccessHolding, International Finance Corporation (Word Bank), KfW, African Development Bank na MicroVest, maono ya benki ni kujidhatiti katika uanzishaji wa mifumo ya kifedha unayochochea maendeleo ya jamii kwa kutoa huduma zilizobora kwa watu wote.