5
BAJETI YA OPARESHENI NDOGO YA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU KATIKA KIJIJI CHA NYABURUNDU KATA YA KETARE WILAYANI BUNDA; Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Bunda inatarajia kufanya oparesheni ndogo ya kuwaondosha wahamiaji haramu ambao waliingia nchini isivyo halali na kisha kushindwa kufuata utaratibu wa kuishi kihalali kama walivyopaswa. A: OPARESHENI ITAKUWA YA SIKU SABA (7) NA ITAHUSISHA WAFUATAO; Mkuu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na kamati yake ambayo itakuwa na watu saba (7) Maofisa saba (7) wa Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Bunda Askari Polisi sita (6) Askari Mgambo sita (6) Afisa Tarafa mmoja (1) wa Tarafa ya Chamriho ambayo ndio Kijiji cha Nyaburundu kipo Afisa mtendaji wa Kata ya Katare ambayo ndio kata husika Afisa mtendaji wa Kijiji cha Nyaburundu ambacho ndio Kijiji husika Wenyeviti saba (7) wa vitongoji katika kila kitongoji. B: WAHUSIKA PAMOJA NA POSHO ZAO ITAKUA KAMA IFUATAVYO; Mkuu wa wilaya @70,000/= kwa siku *siku 7 = 490,000/= KUU watu 6 @ 50,000/= kwa siku * siku 7 = 2,100,000/= Wajumbe wa KUU ni Mkuu wa Wilaya Afisa Usalama Mkuu wa Polisi Wilaya Mshauri wa Mgambo wa Wilaya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya

Bajeti Ya Oparesheni Ndogo Ya Kuwaondoa Wahamiaji Haramu Katika Kijiji Cha Nyaburundu Kata Ya Salama Wilayani Bunda

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Bajeti Ya Oparesheni Ndogo Ya Kuwaondoa Wahamiaji Haramu Katika Kijiji Cha Nyaburundu Kata Ya Salama Wilayani Bunda

BAJETI YA OPARESHENI NDOGO YA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU KATIKA KIJIJI CHA NYABURUNDU KATA YA KETARE WILAYANI BUNDA;

Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Bunda inatarajia kufanya oparesheni ndogo ya kuwaondosha wahamiaji haramu ambao waliingia nchini isivyo halali na kisha kushindwa kufuata utaratibu wa kuishi kihalali kama walivyopaswa.

A: OPARESHENI ITAKUWA YA SIKU SABA (7) NA ITAHUSISHA WAFUATAO;

Mkuu wa wilaya ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na kamati yake ambayo itakuwa na watu saba (7)

Maofisa saba (7) wa Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Bunda Askari Polisi sita (6) Askari Mgambo sita (6) Afisa Tarafa mmoja (1) wa Tarafa ya Chamriho ambayo ndio Kijiji cha Nyaburundu kipo Afisa mtendaji wa Kata ya Katare ambayo ndio kata husika Afisa mtendaji wa Kijiji cha Nyaburundu ambacho ndio Kijiji husika Wenyeviti saba (7) wa vitongoji katika kila kitongoji.

B: WAHUSIKA PAMOJA NA POSHO ZAO ITAKUA KAMA IFUATAVYO;

Mkuu wa wilaya @70,000/= kwa siku *siku 7 = 490,000/= KUU watu 6 @ 50,000/= kwa siku * siku 7 = 2,100,000/=

Wajumbe wa KUU ni Mkuu wa Wilaya Afisa Usalama Mkuu wa Polisi Wilaya Mshauri wa Mgambo wa Wilaya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Mkuu wa Gereza

Maofisa Uhamiaji 7 @ 50,000/= kwa siku *siku 7 = 2,450,000/= Polisi 6 @ 30,000/= kwa siku * siku 7 = 1,260,000/= Mgambo 6 @ 20,000/= kwa siku* siku 7 = 840,000/= Afisa Tarafa @ 30,000/= kwa siku * siku 1 = 30,000/= Afisa mtendaji kata @ 30,000/= kwa siku* siku 1 = 30,000/= Afisa mtendaji kijiji @ 30,000/= kwa siku * siku 1 = 30,000/=

Page 2: Bajeti Ya Oparesheni Ndogo Ya Kuwaondoa Wahamiaji Haramu Katika Kijiji Cha Nyaburundu Kata Ya Salama Wilayani Bunda

Wenyeviti wa vitongoji saba (7) @ 10,000/= * 7 * siku 1 = 70,000/=

C: MAWASILIANO

Mawasiliano itakua ni SH. 100,000/= (LAKI MOJA TU)

D: MCHANGANUO WA MAFUTA KATIKA OPARESHENI HIYO

Siku ya kwanza – Bunda kwenda Nyaburundu @ lita 25 *3 = 75 pamoja na mizunguko ya siku hiyo.

Nyaburundu kurudi Nyamuswa @ lita 10 *3 = 30 kwa ajili ya malazi

Siku ya pili – Nyamuswa kwenda Nyaburundu na kurudi Nyamuswa @ lita 20 * 3 = 60 kwa malazi

Siku ya tatu – Nyamuswa kwenda Nyaburundu na kurudi Nyamuswa @ lita 20 * 3 = 60 kwa malazi

Siku ya nne - Nyamuswa kwenda Nyaburundu na kurudi Nyamuswa @ lita 20 * 3 = 60 kwa malazi

Siku ya tano - Nyamuswa kwenda Nyaburundu na kurudi Nyamuswa @ lita 20 * 3 = 60 kwa malazi

Siku ya sita - Nyamuswa kwenda Nyaburundu na kurudi Nyamuswa @ lita 20 * 3 = 60 kwa malazi

Siku ya saba – Nyamuswa kwenda Nyaburundu na kurudi Bunda @ lita 25 * 3 = 75 siku ya mwisho

JUMLA NI LITA 480

Gharama ya kuwabeba watuhumiwa ni lita 220 kwa ajili kuwapeleka mpakani.

JUMLA YA MAFUTA ITAKUA LITA 480 + 220 = 700

Page 3: Bajeti Ya Oparesheni Ndogo Ya Kuwaondoa Wahamiaji Haramu Katika Kijiji Cha Nyaburundu Kata Ya Salama Wilayani Bunda

Bei ya lita moja ni 2330, Hivyo 2330 * 700 = 1,631,000.

NB:

Gharama ya mafuta inategemeana na kubadilika kwa bei iliyopo sokoni. Lita 20 kwa siku ni pamoja na mizunguko ndani kijiji endapo tutulazimika kutumia usafiri

E: PESA YA DHARURA

Pesa ya dharura ni sh. 300,000 (LAKI TATU)

MCHANGANUO WA PESA

POSHO = 7,300,000/=

MAWASILIANO = 100,000/=

MAFUTA = 1,631,100/=

CHAKULA (WATUHUMIWA) 400,000/=

DHARURA = 300,000/=

JUMLA = 9,731,000/= ,

( MILIONI TISA LAKI SABA THELATHINI NA MOJA ELFU TU.)

NAOMBA KUWASILISHA

…………………………………………

DCIS Mushongi ERL,

Afisa Uhamiaji (W)

Page 4: Bajeti Ya Oparesheni Ndogo Ya Kuwaondoa Wahamiaji Haramu Katika Kijiji Cha Nyaburundu Kata Ya Salama Wilayani Bunda

BUNDA