16
1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2017 ambapo kiwango cha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 7.22 ikilinganishwa na mwaka 2016. Akitangaza matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk Charles Msonde ameeleza kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu wakiwemo wanafunzi 136 waliofanya mtihani wa kujitegemea (Private Candidate) na 129 waliofanya mtihani wa shule (School Candidate). “Jumla ya Watahiniwa 287,713 ambao sawa na asilimia 77.09% kwa shule za kawaida na vituo vya kujitegemea wamefaulu ambao katika ya hao wasichana wapo 143,728 sawa na asilimia 75.21% wakati wavulana wapo 143,985 sawa na asilimia 79.06%. Mwaka jana wanafunzi waliofaulu mitihani ya kidato cha nne walikuwa 277,283 ambao ni asilimia 70.09% hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 7.22,” alisema Msonde. Akitangaza matokeo leo jijini Dar es Salaam, Katibu mkuu wa baraza la mitihani Dr Charles Msonde amesema, Katika mtihani huo kulikuwa na watahiniwa 385, 767; wasichana wakiwa ni 198,036 sawa na 51.34% huku wavulana ni 187,731 sawa na 48.66%. Katika mtihani huo watahiniwa wa shule walikuwa 323,332 na wa kujitegemea 62,435

Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

  • Upload
    others

  • View
    76

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

1

Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) uliofanyika mwishoni mwa mwaka 2017 ambapo kiwango cha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 7.22 ikilinganishwa na mwaka 2016.

Akitangaza matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Dk Charles Msonde ameeleza kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 7.22 huku watahiniwa 265 wakifutiwa matokeo kwa udanganyifu wakiwemo wanafunzi 136 waliofanya mtihani wa kujitegemea (Private Candidate) na 129 waliofanya mtihani wa shule (School Candidate).

“Jumla ya Watahiniwa 287,713 ambao sawa na asilimia 77.09% kwa shule za kawaida na vituo vya kujitegemea wamefaulu ambao katika ya hao wasichana wapo 143,728 sawa na asilimia 75.21% wakati wavulana wapo 143,985 sawa na asilimia 79.06%. Mwaka jana wanafunzi waliofaulu mitihani ya kidato cha nne walikuwa 277,283 ambao ni asilimia 70.09% hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 7.22,” alisema Msonde.

Akitangaza matokeo leo jijini Dar es Salaam, Katibu mkuu wa baraza la mitihani Dr Charles Msonde amesema,

Katika mtihani huo kulikuwa na watahiniwa 385, 767; wasichana wakiwa ni 198,036 sawa na 51.34% huku wavulana ni 187,731 sawa na 48.66%.

Katika mtihani huo watahiniwa wa shule walikuwa 323,332 na wa kujitegemea 62,435

Page 2: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

2

Watahiniwa wa shule 317,777 sawa na 98.28% ndiyo walifanikiwa kufanya hiyo mitahani.

Wahiniwa wa kujitegemea 57,173 sawa 91.57% ndio waliofanikiwa kufanya mitihani. Mtihani wa maarifa 13,775 sawa 84.62% ndio waliofanikiwa kufanya mitihani.

Dr Msnde ameongeza kuwa, watahiniwa 287,713 sawa na 77.09% wamefaulu mitihani yao ya kidato cha nne kwa mwaka 2017 huku wasichana wakiwa ni 143,728 sawa 75.21% na wavulana ni 143,975 sawa 79.06%.

Tathimini inaonyesha ufaulu wa watahiniwa wa shule mwaka 2017 umongezeka kwa 7.22% huku ufaulu wa watahiniwa wa kujitegemea mwaka 2017 ukiongezeka kwa 6.22% na ufaulu wa watahiniwa wa mtihani wa maarifa mwaka 2017 umongezeka kwa 9.63%

SHULE KUMI (10) BORA KITAIFA

NA NAMBA JINA LA SHULE IDADI YA WATAHINIWA

MKOA

1 S0239 ST.FRANCIS GIRLS’ 92 MBEYA 2 S0189 FEZA BOYS’ 68 DAR ES SALAAM 3 S5555 KEMEBOS 42 KAGERA 4 S0268 BETHEL SABS GIRLS’ 47 IRINGA 5 S0269 ANWARITE GIRLS’ 56 KILIMANJARO 6 S0248 MARIAN GIRLS’ 131 PWANI 7 S2325 CANOSSA 95 DAR ES SALAAM 8 S0298 FEZA GIRLS’ 46 DAR ES SALAAM 9 S4213 MARIAN BOYS’ 125 PWANI 10 S5130 SHAMSIYE BOYS’ 41 DAR ES SALAAM

Page 3: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

3

SHULE KUMI (10) ZA MWISHO KITAIFA

NA NAMBA JINA LA SHULE IDADI YA WATAHINIWA MKOA 1 S4250 KUSINI 55 KUSINI UNGUJA 2 S2408 PWANI MCHANGANI 56 KASKAZINI UNGUJA 3 S3210 MWENGE S.M.Z 83 MJINI MAGHARIBI 4 S2403 LANGONI 65 MJINI MAGHARIBI 5 S2763 FURAHA 63 DAR ES SALAAM 6 S1001 MBESA 67 RUVUMA 7 S2709 KABUGARO 74 KAGERA 8 S4256 CHOKOCHO 42 KUSINI PEMBA 9 S2764 NYEBURU 193 DAR ES SALAAM 10 S1299 MTULE 48 KUSINI UNGUJA

WATAHINIWA WALIOFANYA VIZURI ZAIDI

Watahiniwa Kumi(10) Bora Kitaifa

NA. JINA JINSI SHULE MKOA 1 FELISONI J MDE M MARIAN BOYS’ PWANI 2 ELIZABETH MANGU F MARIAN GIRLS’ PWANI 3 ANNA BENJAMIN MSHANA F MARIAN GIRLS’ PWANI 4 EMMANUEL LAMECK MAKOYE M ILBORU ARUSHA 5 LUKELO THADEI LUOGA M ILBORU ARUSHA 6 FUAD T THABIT M FEZA BOYS’ DAR ES SALAAM 7 GODFREY S MWAKATAGE M UWATA MBEYA 8 BARAKA S MUHAMMED M EAGLES PWANI 9 LILIAN MOSES KATABARO F MARIAN GIRLS’ PWANI 10 EVELINE EDWARD MLOWE F ST FRANCIS GIRLS’ MBEYA

Page 4: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

4

Wasichana Kumi (10) Bora Kitaifa

NA. JINA JINSI SHULE MKOA 1 ELIZABETH MANGU F MARIAN GIRLS’ PWANI 2 ANNA BENJAMIN MSHANA F MARIAN GIRLS’ PWANI 3 LILIAN MOSES KATABARO F MARIAN GIRLS’ PWANI 4 EVELINE EDWARD MLOWE F ST FRANCIS GIRLS’ MBEYA 5 ROSEMARY GODFREY RITTE F ST FRANCIS GIRLS’ MBEYA 6 PRISCILLA HERMENEGILD KIYAGI F ST FRANCIS GIRLS’ MBEYA 7 COMFORT ALOYCE MKANGAA F ST FRANCIS GIRLS’ MBEYA 8 REGINELY GAUDENCE MOSHI F KIFUNGILO GIRLS TANGA 9 MARIA HEWA GAMBALOYA F MARIAN GIRLS’ PWANI 10 DORICE HUMPHREY SHADRACK F ST FRANCIS GIRLS’ MBEYA

Wavulana Kumi(10) Bora Kitaifa

NA. JINA JINSI SHULE MKOA 1 FELISONI J MDE M MARIAN BOYS’ PWANI 2 EMMANUEL LAMECK MAKOYE M ILBORU ARUSHA 3 LUKELO THADEI LUOGA M ILBORU ARUSHA 4 FUAD T THABIT M FEZA BOYS’ DAR ES SALAAM 5 GODFREY S MWAKATAGE M UWATA MBEYA 6 BARAKA S MUHAMMED M EAGLES PWANI 7 NOEL P SHIMBA M MARIAN BOYS’ PWANI 8 PATRICK ROBERT MAMSERY M MZUMBE MOROGORO 9 ROBINSON JACKSON ELIONA M ILBORU ARUSHA 10 HARRISON SIMON SIMKOKO M MZUMBE MOROGORO

Page 5: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

5

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

MPANGILIO WA HALMASHAURI / MANISPAA KWA

UBORA WA UFAULU KATIKA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2017

Page 6: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

6

Mpangilio wa Halmashauri/Manispaa kwa ubora wa ufaulu.

MANISPAA/ HALMASHAURI

IDADI

YA SHULE

MADARAJA YA UFAULU

GPA

NAFASI

I

II

III

IV

I-IV O

NA. % 2017 2016

BAGAMOYO (PWANI) 18 309 309 224 408 1,250 81.12 291 3.2922 1 17

KAHAMA (M) (SHINYANGA) 27 139 485 489 898 2,011 85.94 329 3.5765 2 4

GEITA (M) (GEITA) 16 77 340 338 721 1,476 89.02 182 3.5984 3 54

MKURANGA (PWANI) 33 111 403 481 806 1,801 84.63 327 3.6360 4 8

BUKOBA (M) (KAGERA) 31 196 378 421 834 1,829 80.32 448 3.6414 5 1

MERU (ARUSHA) 53 240 609 731 1,608 3,188 85.65 534 3.6519 6 19

TABORA (M) (TABORA) 30 135 319 391 861 1,706 84.33 317 3.6665 7 39

KIBONDO (KIGOMA) 23 50 319 336 694 1,399 87.88 193 3.6738 8 24

KIBAHA (M) (PWANI) 34 159 285 416 810 1,670 81.30 384 3.6838 9 10

IGUNGA (TABORA) 32 32 234 371 675 1,312 88.23 175 3.7108 10 9

MBEYA (V) (MBEYA) 43 138 470 607 1,111 2,326 81.02 545 3.7217 11 28

NZEGA (M) (TABORA) 11 19 100 93 259 471 85.64 79 3.7240 12

ULANGA (MOROGORO) 21 14 153 230 445 842 88.17 113 3.7306 13 72

MOSHI (V) (KILIMANJARO) 91 357 1,030 1,351 2,706 5,444 81.62 1,226 3.7335 14 13

BIHARAMULO (KAGERA) 20 42 151 246 567 1,006 88.01 137 3.7412 15 11

SIHA (KILIMANJARO) 17 70 191 171 465 897 79.95 225 3.7453 16 40

MWANZA JIJI (MWANZA) 57 368 1,005 1,258 2,682 5,313 79.17 1,398 3.7522 17 12

MWANGA (KILIMANJARO) 44 102 484 566 1,160 2,312 81.75 516 3.7542 18 33

ILEMELA (MWANZA) 43 201 750 1,025 2,227 4,203 82.92 866 3.7597 19 6

BUHIGWE (KIGOMA) 20 27 202 263 508 1,000 84.60 182 3.7597 20 22

SAME (KILIMANJARO) 49 204 572 565 1,309 2,650 75.74 849 3.7732 21 68

BARIADI (M) (SIMIYU) 15 19 123 225 448 815 85.61 137 3.7946 22 44

MTWARA (M) (MTWARA) 21 42 199 326 702 1,269 85.98 207 3.7951 23 60

BABATI (M) (MANYARA) 16 13 174 335 708 1,230 89.32 147 3.7999 24 29

Page 7: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

7

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

NJOMBE (M) (NJOMBE) 27 53 240 422 916 1,631 84.51 299 3.8029 25 2

MOROGORO (M) (MOROGORO) 48 201 720 739 1,862 3,522 77.59 1,017 3.8031 26 30

MOSHI (M) (KILIMANJARO) 23 171 458 589 1,390 2,608 79.37 678 3.8031 27 20

KAKONKO (KIGOMA) 14 14 95 206 380 695 87.09 103 3.8093 28 3

MBEYA (M) (MBEYA) 53 250 743 1,239 2,945 5,177 82.99 1,061 3.8180 29 51

ITILIMA (SIMIYU) 30 13 139 230 517 899 87.20 132 3.8199 30 49

ARUSHA (DC) (ARUSHA) 48 133 446 742 1,921 3,242 84.21 608 3.8262 31 79

BUKOMBE (GEITA) 16 28 131 276 670 1,105 86.53 172 3.8329 32 65

SUMBAWANGA (M) (RUKWA) 27 43 277 541 1,199 2,060 85.65 345 3.8343 33 27

NGORONGORO (ARUSHA) 11 7 89 201 474 771 90.07 85 3.8508 34 43

MBULU (M) (MANYARA) 15 26 152 241 510 929 83.02 190 3.8524 35

HAI (KILIMANJARO) 41 43 299 543 1,158 2,043 82.21 442 3.8585 36 38

KINONDONI (DAR ES SALAAM) 67 329 728 922 3,001 4,980 78.64 1,353 3.8628 37 63

MASWA (SIMIYU) 39 36 185 315 742 1,278 82.77 266 3.8637 38 53

RUNGWE (MBEYA) 34 27 349 616 1,433 2,425 84.03 461 3.8687 39 56

MONDULI (ARUSHA) 19 24 179 310 922 1,435 87.82 199 3.8741 40 37

SHINYANGA (V) (SHINYANGA) 27 21 153 267 619 1,060 82.75 221 3.8744 41 48

IRINGA (M) (IRINGA) 27 56 358 545 1,239 2,198 80.28 540 3.8756 42 7

MAFINGA (M) (IRINGA) 16 94 132 195 574 995 73.98 350 3.8770 43

MPANDA (V) (KATAVI) 8 4 45 82 185 316 82.08 69 3.8810 44 98

BARIADI (V) (SIMIYU) 23 7 95 195 356 653 81.32 150 3.8811 45 93

NGARA (KAGERA) 28 40 174 297 688 1,199 79.35 312 3.8818 46 26

MANYONI (SINGIDA) 19 22 108 112 278 520 74.18 181 3.8889 47 89

RORYA (MARA) 31 42 228 261 680 1,211 76.12 380 3.8897 48 46

KASULU (M) (KIGOMA) 23 34 220 398 796 1,448 80.13 359 3.8912 49

Page 8: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

8

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

SENGEREMA (MWANZA) 36 42 253 507 1,200 2,002 81.75 447 3.9047 50 73

WANGING'OMBE (NJOMBE) 19 35 199 263 895 1,392 83.55 274 3.9057 51 5

SHINYANGA (M) (SHINYANGA) 23 41 198 314 759 1,312 78.42 361 3.9074 52 66

SONGEA (V) (RUVUMA) 19 24 101 135 381 641 78.84 172 3.9081 53 14

HANANG (MANYARA) 32 11 143 234 591 979 84.11 185 3.9099 54 77

KISHAPU (SHINYANGA) 28 25 131 268 615 1,039 82.26 224 3.9103 55 82

KALIUA (TABORA) 14 6 93 181 464 744 86.11 120 3.9103 56 67

MAGU (MWANZA) 25 33 232 372 972 1,609 79.57 413 3.9132 57 81

MISUNGWI (MWANZA) 27 23 162 326 773 1,284 82.95 264 3.9183 58 47

MBOGWE (GEITA) 12 7 67 115 355 544 84.47 100 3.9253 59 52

SONGEA (M) (RUVUMA) 38 15 246 519 1,460 2,240 85.43 382 3.9308 60 25

KONGWA (DODOMA) 28 27 166 246 607 1,046 76.74 317 3.9379 61 90

KWIMBA (MWANZA) 33 35 175 359 1,000 1,569 82.97 322 3.9379 62 75

LONGIDO (ARUSHA) 8 8 91 177 539 815 84.46 150 3.9384 63 55

ROMBO (KILIMANJARO) 49 42 418 675 1,927 3,062 81.85 679 3.9411 64 69

LUSHOTO (TANGA) 60 152 165 324 1,092 1,733 75.48 563 3.9428 65 92

UBUNGO (DAR ES SALAAM) 62 240 762 976 2,916 4,894 73.75 1,742 3.9488 66

BUKOBA (V) (KAGERA) 36 70 282 396 998 1,746 73.24 638 3.9490 67 42

SINGIDA (M) (SINGIDA) 21 36 128 229 618 1,011 78.37 279 3.9495 68 95

BUNDA (M) (MARA) 15 14 91 189 413 707 77.02 211 3.9495 69

MISSENYI (KAGERA) 27 29 188 241 759 1,217 77.91 345 3.9534 70 18

DODOMA (M) (DODOMA) 49 151 494 620 1,862 3,127 74.05 1,096 3.9576 71 86

KILOMBERO (MOROGORO) 34 20 143 361 1,043 1,567 82.95 322 3.9582 72 132

KIGOMA (M) (KIGOMA) 27 55 229 428 1,071 1,783 76.75 540 3.9613 73 31

KOROGWE (M) (TANGA) 12 18 91 160 407 676 76.99 202 3.9625 74 116

Page 9: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

9

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

MASASI (V) (MTWARA) 26 66 73 118 454 711 71.96 277 3.9633 75

ILALA (DAR ES SALAAM) 91 266 1,330 1,628 4,662 7,886 73.06 2,908 3.9638 76 84

IFAKARA (MOROGORO) 13 18 114 187 520 839 76.55 257 3.9673 77 119

MBULU (MANYARA) 18 8 99 190 469 766 82.37 164 3.9704 78

KIGOMA (V) (KIGOMA) 21 38 105 161 474 778 75.39 254 3.9706 79 57

MPIMBWE (KATAVI) 4 3 18 44 86 151 73.30 55 3.9707 80

TUNDUMA (SONGWE) 6 4 58 96 310 468 80.27 115 3.9733 81 129

TANGA (M) (TANGA) 41 124 386 594 1,686 2,790 74.70 945 3.9833 82 112

BUCHOSA (MWANZA) 20 13 110 266 688 1,077 80.25 265 3.9839 83

CHATO (GEITA) 23 25 146 293 907 1,371 80.69 328 3.9937 84 108

MBOZI (SONGWE) 57 34 329 741 1,784 2,888 78.29 801 3.9948 85 87

SERENGETI (MARA) 25 21 137 283 602 1,043 74.87 350 3.9950 86 97

UYUI (TABORA) 18 0 59 129 389 577 83.14 117 3.9977 87 127

NAMTUMBO (RUVUMA) 28 15 91 189 614 909 80.16 225 3.9986 88 45

MULEBA (KAGERA) 45 51 286 607 1,628 2,572 77.17 761 4.0016 89 34

MASASI (M) (MTWARA) 10 5 34 83 262 384 81.53 87 4.0042 90

URAMBO (TABORA) 16 4 64 161 433 662 79.86 167 4.0063 91 99

NYANG'HWALE (GEITA) 10 6 54 132 344 536 80.72 128 4.0073 92 64

IRAMBA (SINGIDA) 23 11 83 168 493 755 77.52 219 4.0079 93 121

MBARALI (MBEYA) 23 23 150 291 880 1,344 79.72 342 4.0094 94 107

ARUSHA (M) (ARUSHA) 41 50 506 955 2,409 3,920 75.17 1,295 4.0114 95 91

BUNDA (MARA) 19 11 100 206 490 807 74.72 273 4.0128 96

IKUNGI (SINGIDA) 35 22 154 196 673 1,045 77.01 312 4.0148 97 88

BABATI (V) (MANYARA) 33 17 183 353 935 1,488 77.91 422 4.0172 98 96

GEITA (V) (GEITA) 30 19 177 354 964 1,514 76.85 456 4.0228 99 138

Page 10: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

1

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

KYERWA (KAGERA) 26 16 105 243 766 1,130 78.75 305 4.0244 100 50

KARAGWE (KAGERA) 25 12 141 368 1,167 1,688 81.04 395 4.0253 101 58

SIMANJIRO (MANYARA) 15 5 48 118 353 524 78.33 145 4.0265 102 102

NJOMBE (V) (NJOMBE) 12 10 76 106 445 637 78.93 170 4.0291 103 16

KONDOA (M) (DODOMA) 11 4 43 132 341 520 80.37 127 4.0311 104 85

MSALALA (SHINYANGA) 14 10 71 190 506 777 77.31 228 4.0317 105 128

SUMBAWANGA (V) (RUKWA) 21 2 57 129 357 545 78.87 146 4.0332 106 101

MPANDA (M) (KATAVI) 13 4 75 145 480 704 78.92 188 4.0334 107 105

NZEGA (V) (TABORA) 28 4 41 104 369 518 82.62 109 4.0371 108

BUMBULI (TANGA) 28 9 99 170 581 859 78.09 241 4.0374 109 136

KITETO (MANYARA) 17 5 31 83 295 414 82.63 87 4.0387 110 131

KIBITI (PWANI) 11 8 59 84 292 443 76.91 133 4.0388 111

CHAMWINO (DODOMA) 28 10 85 185 631 911 79.63 233 4.0398 112 123

USHETU (SHINYANGA) 15 4 47 128 374 553 80.97 130 4.0407 113 113

MAKAMBAKO (M) (NJOMBE) 16 9 88 239 656 992 77.50 288 4.0437 114 35

MUFINDI (IRINGA) 42 33 198 412 1,310 1,953 77.16 578 4.0444 115 15

MTWARA (V) (MTWARA) 12 2 35 91 298 426 81.92 94 4.0463 116 146

BUSOKELO (MBEYA) 17 2 38 180 547 767 83.92 147 4.0491 117 145

MKALAMA (SINGIDA) 19 5 41 112 320 478 77.35 140 4.0499 118 149

MEATU (SIMIYU) 22 2 65 130 360 557 78.12 156 4.0564 119 103

KIBAHA (V) (PWANI) 12 46 69 108 324 547 63.46 315 4.0571 120 71

BUTIAMA (MARA) 23 12 76 207 620 915 76.76 277 4.0590 121 104

KILINDI (TANGA) 20 1 38 158 542 739 85.24 128 4.0605 122 70

Page 11: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

1

IRINGA (V) (IRINGA) 33 71 279 394 1,473 2,217 72.55 839 4.0620 123 23

SIKONGE (TABORA) 19 2 32 86 199 319 74.19 111 4.0624 124 114

Page 12: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

1

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

MBINGA (M) (RUVUMA) 16 6 63 167 413 649 74.00 228 4.0657 125

CHUNYA (MBEYA) 12 2 27 75 283 387 81.13 90 4.0665 126 143

UKEREWE (MWANZA) 24 17 186 332 929 1,464 71.17 593 4.0681 127 126

SINGIDA (V) (SINGIDA) 28 9 109 205 689 1,012 78.09 284 4.0757 128 130

LIWALE (LINDI) 17 2 37 81 248 368 76.51 113 4.0766 129 175

MAFIA (PWANI) 6 0 18 38 145 201 83.40 40 4.0775 130 170

KALAMBO (RUKWA) 19 2 27 96 294 419 79.51 108 4.0817 131 124

MAGHARIBI B (MJINI MAGHARIBI) 38 56 251 475 1,561 2,343 76.32 727 4.0827 132 62

MUSOMA (M) (MARA) 25 42 173 288 901 1,404 68.96 632 4.0834 133 76

KYELA (MBEYA) 27 15 138 316 1,031 1,500 75.80 479 4.0862 134 151

MBINGA(V) (RUVUMA) 38 27 127 226 892 1,272 75.18 420 4.0882 135

KONDOA (V) (DODOMA) 23 6 31 76 254 367 76.78 111 4.0915 136 157

MLELE (KATAVI) 3 1 5 18 57 81 73.64 29 4.0928 137 94

MVOMERO (MOROGORO) 24 71 89 194 630 984 64.69 537 4.0939 138 133

MKINGA (TANGA) 15 2 28 84 381 495 83.19 100 4.0957 139 148

MUSOMA (V) (MARA) 19 4 75 169 424 672 70.66 279 4.0961 140 174

TEMEKE (DAR ES SALAAM) 60 132 716 1,382 4,563 6,793 71.70 2,681 4.0997 141 137

BUSEGA (SIMIYU) 21 15 151 259 685 1,110 68.94 500 4.1008 142 120

LINDI (V) (LINDI) 27 8 62 119 388 577 71.86 226 4.1016 143 135

MALINYI (MOROGORO) 14 5 42 109 373 529 77.34 155 4.1019 144 159

KILOLO (IRINGA) 40 9 150 414 1,262 1,835 75.36 600 4.1085 145 36

KILOSA (MOROGORO) 40 96 224 231 926 1,477 62.37 891 4.1098 146 141

NEWALA (V) (MTWARA) 16 2 19 50 238 309 81.32 71 4.1144 147

MJINI (MJINI MAGHARIBI) 28 47 323 623 2,125 3,118 75.51 1,011 4.1169 148 61

ILEJE (SONGWE) 22 8 61 138 386 593 70.18 252 4.1176 149 150

Page 13: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

1

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

LUDEWA (NJOMBE) 23 3 80 135 554 772 74.95 258 4.1182 150 32

MUHEZA (TANGA) 30 30 120 261 675 1,086 66.87 538 4.1192 151 117

TARIME (M) (MARA) 10 6 93 157 428 684 67.19 334 4.1214 152

LINDI (M) (LINDI) 8 1 33 72 314 420 78.50 115 4.1272 153 147

SONGWE (SONGWE) 10 0 14 40 200 254 80.13 63 4.1327 154 134

MPWAPWA (DODOMA) 26 26 75 148 637 886 71.28 357 4.1336 155 142

HANDENI (TANGA) 21 6 48 148 513 715 73.86 253 4.1408 156

KARATU (ARUSHA) 30 16 110 227 733 1,086 71.73 428 4.1421 157 122

CHALINZE (PWANI) 19 10 108 244 781 1,143 70.64 475 4.1461 158

CHEMBA (DODOMA) 23 1 29 81 323 434 76.68 132 4.1572 159 166

TANDAHIMBA (V) (MTWARA) 25 2 34 113 359 508 73.41 184 4.1587 160 163

MAKETE (NJOMBE) 19 1 48 152 537 738 74.77 249 4.1632 161 59

KISARAWE (PWANI) 19 8 49 107 453 617 70.43 259 4.1682 162 154

NKASI (RUKWA) 23 0 36 98 458 592 74.00 208 4.1738 163 144

PANGANI (TANGA) 9 5 20 52 178 255 68.55 117 4.1746 164 168

CHAKECHAKE (KUSINI PEMBA) 20 18 81 184 571 854 70.00 366 4.1755 165 80

KIGAMBONI (DAR ES SALAAM) 19 9 155 241 850 1,255 65.78 653 4.1765 166

NSIMBO (KATAVI) 8 2 33 68 271 374 69.78 162 4.1782 167 111

BAHI (DODOMA) 20 3 25 59 229 316 69.91 136 4.1785 168 171

TARIME (MARA) 27 4 66 235 726 1,031 70.52 431 4.1786 169

KILWA (LINDI) 27 4 31 128 452 615 71.59 244 4.1850 170 158

ITIGI (SINGIDA) 10 2 26 56 233 317 70.29 134 4.1970 171 125

KASULU (KIGOMA) 17 3 58 145 425 631 67.85 299 4.1975 172

NANYUMBU (MTWARA) 12 1 7 39 172 219 76.57 67 4.2060 173 176

MOROGORO (V) (MOROGORO) 29 3 42 177 588 810 66.94 400 4.2412 174 165

Page 14: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

IDADI MADA RAJA Y A UFAU LU

NAF ASI

MANISPAA/ HALMASHAURI YA I-IV GPA SHULE I II III IV NA. % O 2017 2016

NEWALA (M) (MTWARA) 11 0 15 51 280 346 72.84 129 4.2431 175

HANDENI (M) (TANGA) 10 3 28 73 363 467 68.48 215 4.2432 176

UVINZA (KIGOMA) 19 2 47 104 457 610 67.33 296 4.2515 177 83

TUNDURU (RUVUMA) 23 5 38 141 564 748 69.52 328 4.2551 178 109

NACHINGWEA (LINDI) 26 3 30 94 389 516 67.01 254 4.2564 179 178

MADABA (RUVUMA) 9 1 9 58 258 326 72.93 121 4.2693 180 106

KOROGWE (V) (TANGA) 27 1 43 168 618 830 65.30 441 4.2750 181 172

MOMBA (SONGWE) 9 1 13 32 139 185 64.24 103 4.2777 182 152

GAIRO (MOROGORO) 9 3 14 68 224 309 62.55 185 4.2805 183 161

KATI (KUSINI UNGUJA) 19 10 36 84 668 798 73.62 286 4.2970 184 140

RUANGWA (LINDI) 15 4 11 58 228 301 62.32 182 4.3119 185 173

RUFIJI (PWANI) 9 1 18 59 294 372 65.15 199 4.3189 186 169

NANYAMBA (M) (MTWARA) 10 1 11 39 248 299 66.89 148 4.3252 187

WETE (KASKAZINI PEMBA) 23 1 48 135 758 942 68.81 427 4.3281 188 110

NYASA (RUVUMA) 15 1 14 66 341 422 63.46 243 4.3511 189 115

MAGHARIBI A (MJINI MAGHARIBI) 12 3 29 110 785 927 65.61 486 4.3908 190 156

MICHEWENI (KASKAZINI PEMBA) 11 0 13 55 382 450 66.08 231 4.4084 191 162

MKOANI (KUSINI PEMBA) 19 1 20 67 543 631 64.32 350 4.4208 192 167

KASKAZINI A (KASKAZINI UNGUJA) 18 0 13 72 633 718 61.00 459 4.4646 193 155

KASKAZINI B (KASKAZINI UNGUJA) 7 0 3 22 226 251 55.29 203 4.5314 194 164

KUSINI (KUSINI UNGUJA) 11 0 9 18 255 282 53.61 244 4.5348 195 177

Page 15: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

MPANGILIO WA MIKOA KWA UBORA WA UFAULU KATIKA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2017

Mpangilio wa Mikoa kwa ubora wa ufaulu.

MKOA

IDADI YA

SHULE

MADARAJA YA UFAULU GPA NAFASI

I II III IV I-V O NA. % 2017 2016 KILIMANJARO 314 989 3,452 4,460 10,115 19,016 80.47 4,615 3.7980 1 5

PWANI 161 652 1,318 1,761 4,313 8,044 76.85 2,423 3.8189 2 7

TABORA 168 202 942 1,516 3,649 6,309 84.08 1,195 3.8290 3 10

Page 16: Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) …...1 Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) Januari 30, 2018, lilitangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa

SHINYANGA 134 240 1,085 1,656 3,771 6,752 81.89 1,493 3.8349 4 9

MWANZA 265 732 2,873 4,445 10,471 18,521 80.22 4,568 3.8518 5 6

MBEYA 209 457 1,915 3,324 8,230 13,926 81.67 3,125 3.8792 6 13

ARUSHA 210 478 2,030 3,343 8,606 14,457 81.42 3,299 3.8830 7 11

GEITA 107 162 915 1,508 3,961 6,546 82.74 1,366 3.8882 8 17

KAGERA 238 456 1,705 2,819 7,407 12,387 78.76 3,341 3.9111 9 3

KIGOMA 164 223 1,275 2,041 4,805 8,344 78.94 2,226 3.9178 10 4

SIMIYU 150 92 758 1,354 3,108 5,312 79.84 1,341 3.9275 11 14

MANYARA 146 85 830 1,554 3,861 6,330 82.53 1,340 3.9347 12 16

RUKWA 90 47 397 864 2,308 3,616 81.75 807 3.9545 13 12

MOROGORO 232 431 1,541 2,296 6,611 10,879 73.73 3,877 3.9747 14 21

NJOMBE 116 111 731 1,317 4,003 6,162 80.03 1,538 3.9769 15 1

DAR ES SALAAM 299 976 3,691 5,149 15,992 25,808 73.43 9,337 3.9910 16 18

IRINGA 158 263 1,117 1,960 5,858 9,198 75.99 2,907 4.0049 17 2

SINGIDA 155 107 649 1,078 3,304 5,138 76.84 1,549 4.0157 18 23

DODOMA 208 228 948 1,547 4,884 7,607 75.20 2,509 4.0176 19 24

MTWARA 143 121 427 910 3,013 4,471 77.96 1,264 4.0258 20 25

SONGWE 104 47 475 1,047 2,819 4,388 76.69 1,334 4.0324 21 20

KATAVI 36 14 176 357 1,079 1,626 76.37 503 4.0388 22 19

MARA 194 156 1,039 1,995 5,284 8,474 72.79 3,167 4.0429 23 22

TANGA 273 351 1,066 2,192 7,036 10,645 73.99 3,743 4.0567 24 27

RUVUMA 186 94 689 1,501 4,923 7,207 77.28 2,119 4.0622 25 8 MJINI MAGHARIBI 78 106 603 1,208 4,471 6,388 74.18 2,224 4.1495 26 15

LINDI 120 22 204 552 2,019 2,797 71.15 1,134 4.1757 27 31

KUSINI PEMBA 39 19 101 251 1,114 1,485 67.47 716 4.2852 28 26 KASKAZINI PEMBA 34 1 61 190 1,140 1,392 67.90 658 4.3550 29 28

KUSINI UNGUJA 30 10 45 102 923 1,080 67.08 530 4.3749 30 30 KASKAZINI UNGUJA 25 0 16 94 859 969 59.41 662 4.4831 31 29