27
Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA SOMO LA 8: Asili ya Yesu / The Nature Of Jesus

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA SOMO LA 8: Asili ya Yesu / The Nature Of Jesus

  • Upload
    betty

  • View
    145

  • Download
    32

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Bible Basics / MISINGI YA BIBLIA SOMO LA 8: Asili ya Yesu / The Nature Of Jesus. www.biblebasicsonline.com www.carelinks.net Email: [email protected]. 8.1 Introduction / Dibaji. 1 Tim. 2:5: “There is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus”. - PowerPoint PPT Presentation

Citation preview

Page 1: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

 Bible Basics / MISINGI YA  BIBLIA

SOMO LA 8: Asili ya Yesu  / The Nature Of Jesus

Page 2: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: [email protected]

Page 3: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

8.1 Introduction / Dibaji1 Tim. 2:5: “There is one God, and one mediator between God and men, the man Christ Jesus”.

Mungu ni mmoja na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, mwanadamu, Kristo Yesu

Page 4: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba’(1Kor 8:6) ‘Mungu Baba’ kwa sabau hii ni Mungu pekee. Basi haiwezekani kwamba kunaweza kuwapo Mungu aliyejitenga aitwae ‘Mungu mwana’ kama mafundisho potufu ya utatu yasemavyo. Vivyo hivyo Agano la kale linatoa maelezo ya kumhusu YAHU, Mungu mmoja akiwa ni Baba (mfano Isaya 63:16; 63:8)

Page 5: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

8.2 Differences Between God And Jesus

Tofauti zilizopo kati ya Mungu na Yesu

Page 6: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Tofauti zilizopo kati ya Mungu na YesuMUNGU“Mungu hawezi

kujaribiwa (Yakobo 1:13)

Watu hawawezi kumwona Mungu 1 Tim 6:16 Kut. 33:23)

Mungu hawezi kufa - Hapatikani na mauti (Zab 90:2; 1 Tim 6:16)

YESUKristo"alijaribiwa

sawasawa na sisi kaika mambo yote (Ebr 4:15)

Watu walimwona Yesu na walimpapasa (1 Yohana 1:1 huu ni mkazo)

Kristo alikufa kwa siku tatu (Math 12:40; 16:21).

Page 7: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

8.3 The Nature Of Jesus

Asili Ya Yesu

Page 8: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Tempted Like Us / Kama vile sisi tujaribiwavyo “We have not an high priest which cannot be touched with the feeling of our infirmities; but was in all

points tempted like us” (Heb. 4:15).

Kwa kuwa hatuna Kuhani Mkuu anaweza kuchukuliana na sisi katika udhaifu wetu, kwani Yeye mwenyewe alijaribiwa kwa kila namna, kama vile sisi tujaribiwavyo, lakini Yeye hakutenda dhambi.

Page 9: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

The desires which are the basis of our temptations come from within us (Mk. 7:15-23), from within our human nature (James 1:13-15). It was necessary, therefore, that Christ should be of human nature so that he could experience and overcome these temptations

Mawazo mabaya ambayo ni msingi wa majaribio yetu yanakuja toka ndani ya mioyo yetu (Marko 7:15-23) toka ndani ya miili yetu wanadamu (Yakobo 1:13-15). Basi,ilikuwa ni lazima, kwamba Kristo awe na mwili wa binadanu ili kwamba aweze kuonja na kuyashinda haya majaribu.

Page 10: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Waebrania 2:14-18 yamewekwa yote haya kwa maneno mengi“Basi, kwa kuwa watoto (sisi) wameshiriki damu

na mwili (mwili wa kibinadamu) naye vivyo hivyo alishiriki yayo hayo (yaani hali ya tabia ile ile) ili kwa njia ya mauti amharibu….. ibilisi……. Maana ni hakika, hatwai asili ya Malaika bali anatwaa asili (hali ya tabia) ya mzao wa Ibrahimu. Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema,….ili afanye suluhu(upatanisho) kwa dhambi za watu wake. Na kwa kuwa mwenyewe aliteswa alipojaribiwa, aweza kuwasaidia wao wanaojaribiwa”.

Page 11: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“Why do you call me good? There is none good but one, that is, God”

Yesu alipokuwa anaondoka, mtu mmoja akamkimbilia, akapiga magoti mbele Yake, akamwuliza, “Mwalimu mwema, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?’’ Yesu akamwambia, “Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema isipokuwa Mungu peke Yake. (Marko 10:17,18).

Page 12: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Jesus “Knew all, and needed not that any should testify of man: for he knew what was in man” (Yohanna. 2:23-25)

23Ikawa Yesu alipokuwa Yerusalemu kwenye Sikukuu ya Pasaka, watu wengi waliona ishara na miujiza alizokuwa akifanya, wakamwamini. 24Lakini Yesu hakujiaminisha kwao kwa sababu aliwajua wanadamu wote. 25Hakuhitaji ushuhuda wa mtu ye yote kuhusu mtu kwa kuwa alijua yote yaliyokuwa moyoni mwa mtu.

Page 13: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

8.4 The Humanity Of Jesus / Ubinadamu Wa Yesu

Page 14: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Jesus was weary, and had to sit down to drink from a well (Jn 4:6) Habari imetolewa ya kwamba alichoka akaketi vivi hivyi kisimani (Yn 4:6).

“Jesus wept” at the death of Lazarus (Jn. 11:35) "Yesu alilia”, Lazaro alipokufa (Yn 11:35).

Page 15: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“My God, my God, why have you forsaken me?” (Mt. 27:46).

Yesu akapaza sauti akalia, “Eloi, Eloi lama sabakthani?’’ Maana yake, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?’’

Page 16: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

He “prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup (of suffering and death) pass from me; nevertheless not as I will, but as you will” (Mt. 26:39). This indicates that at times Christ’s

fleshly desires were different from those of God. “Aliomba akisema, Baba yangu

ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke (cha mateso na mauti); walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe"(Math 26:39). Mstari huu unaonyesha kwamba kwa namna nyingine nia ya Kristo, au matakwa, yalikuwa tofauti na nia ya Mungu.

Page 17: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“Jesus increased in wisdom and stature (i.e. spiritual maturity, cp. Eph. 4:13), and in favour with God and man” (Lk. 2:52). Tangu utoto,"Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo (yaani, kukua kiroho mfano Efe 4:13), alimpendeza Mungu na wanadamu (Lk 2:52).

“The child grew, and became strong in spirit” (Lk. 2:40). )."Yule mtoto, akakua akaongezeka nguvu (akakua) katika roho”(Luka 2:40).

Page 18: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“Though he were a Son, yet learned he obedience (i.e. obedience to God) by the things which he suffered; and being made perfect (i.e. spiritually mature), he became the author of eternal salvation” as a result of his completed and total spiritual growth (Heb. 5:8,9).

"Kwa matokeo yake kamili ya kukua kiroho” (Ebr 5:8,9)

Page 19: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Jesus “offered up prayers and supplications with strong crying and tears unto him (God) that was able to save him from death, and was heard for his piety” (Heb. 5:7). The fact that Christ had to plead with God to save him from death rules out any possibility of him being God in person.

7Katika siku za maisha ya Yesu hapa duniani, alimtolea maombi na dua pamoja na kulia sana na machozi, Yeye awezaye kumwokoa na mauti, naye Mungu akamsikia kwa sababu ya kutii Kwake kwa unyenyekevu.

Page 20: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“God...raised up Jesus...Him has God exalted with his right hand to be a Prince and a Saviour” (Acts / Matendo ya Mitume 5:30,31). Nyosha mkono Wako ili kuponya wagonjwa na kutenda ishara na miujiza kwa Jina la Mwanao Mtakatifu Yesu.’’ Walipokwisha kuomba, mahali pale walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, nao wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri.

“God...has glorified his Son Jesus...whom God has raised from the dead” (Acts / Matendo ya Mitume 3:13,15). Mungu wa baba zetu amemtukuza Mwanawe Yesu ambaye ninyi mlimtoa ahukumiwe …. Hivyo mkamwua aliye chanzo cha uzima, lakini Mungu akamfufua kutoka kwa wafu. Sisi tu mashahidi wa mambo haya.

Page 21: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

8.5 Uhusiano Wa Mungu Na Yesu / The Relationship Of God With Jesus

Page 22: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“The head of every man is Christ; and the head of the woman is the man; and the

head of Christ is God” (1 Cor. 11:3). "kichwa cha kila mwanaume ni Kristo;na kichwa cha mwanamke ni mwanamume; na kichwa cha Kristo ni Mungu"(1Kor 11:3).

Thus “Christ is God’s” (1 Cor. 3:23). Hivyo"Kristo ni wa Mungu"(1Kor 3:23), kama mke anavyomhusu mwanamume

 

Page 23: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“The God and Father of our Lord Jesus Christ” (1 Pet. 1:3; Eph. 1:17) even after Christ’s ascension to heaven. Uhakika wa kwamba Mungu amesemwa kuwa ni"Mungu ni Baba wa bwana wetu Yesu Kristo”(1Petro 1:3; Efe 1:17) hata baada ya Kristo kupaa kwenda mbinguni, kunaonyesha ya kuwa huu sasa ni uhusiano wao, kama ulivyokuwapo wakati wa maisha ya mwili hapa duniani.

Page 24: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

“The temple of my God...the name of my God...the city of my God” (Rev. 3:12). Analitaja"hekalu la Mungu wangu…. Jina la Mungu wangu…… mji wa Mungu wangu"(Uf 3:12). This proves that Jesus even now thinks of the Father as his God. He spoke of ascending “unto my Father, and your Father; and to my God, and your God” (Jn. 20:17). Alisema napaa kwenda kwa "Baba yangu na Baba yenu; na kwa Mungu wangu na Mungu wenu"(Yohana 20:17).

Page 25: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

www.biblebasicsonline.comwww.carelinks.netEmail: [email protected]

Page 26: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

Somo La 8  :  Maswali Je! Biblia inafundisha kwamba Mungu ni

utatu pamoja?   2. Orodhesha tofauti tatu kati ya Mungu

na Yesu.   3. Ni kwa njia zipi zifuatazo Yesu

alikuwa tofauti nasi? a)Kamwe hakutenda dhambi b)Alikuwa ni mwana pekee wa Mungu c)Hakuweza kamwe kutenda dhambi d)Alilazimishwa na Mungu kuwa mwenye

haki   4 Ni kwa nji zipi zifuatazo Yesu

alikuwa pamoja na Mungu a)Alikuwa na asili ya Mungu wakati wa

maisha yake duniani b)Alikuwa na tabia timilifu kama ya

Mungu c)Alijua sana kama Mungu d) Alikuwa moja kwa moja sawa na

Mungu

5. Ni kwa njia zipi zifuatazo Yesu alikuwa kama sisi?

a)Alikuwa na majaribu yetu yote na yapatikanayo na wanadamu

b)Alitenda dhambi wakati akiwa kijana c)Alihitaji wokovu. d)Alikuwa na asili ya mwanadamu.   6. Ni taarifa zipi zifuatazo ni za

kweli? a)Yesu alikuwa mwili mkamilifu na

tabia kamilifu b)Yesu alikuwa na mwili wa dhambi

lakini tabia kamilifu. c)Pande mbili Yesu alikuwa Mungu

kabisa na Mwanadamu kabisa d)Yesu alikuwa na asili ya Adamu

kabla ya kutenda dhambi   7. Je; Yesu alikuwa na uwezekano

wa kutenda dhambi?

Page 27: Bible Basics /  MISINGI YA  BIBLIA SOMO LA  8:  Asili ya Yesu   /  The  Nature Of Jesus

STUDY 8: Questions

1.  Does the Bible teach that God is a trinity?

  2.  List three differences between God

and Jesus.   3.  Jesus was different from us because: He never sinned He was God’s own begotten son He could never have sinned He was automatically made righteous by

God   4.  In which of the following ways was

Jesus similar to God? He had God’s nature in his life on earth He had a perfect character like God He knew as much as God He was directly equal to God

5.  In which of the following ways was Jesus like us?

He had all of our temptations and human experiences

He sinned while a young child He needed salvation He had human nature   6.  Which of the following statements

are true? Jesus was of a perfect nature and

perfect character Jesus was of sinful nature but perfect

character Jesus was both very God and very man Jesus had the nature of Adam before he

sinned   7.  Was it possible for Jesus to sin?