Upload
jonas-msigala
View
1.033
Download
34
Embed Size (px)
Citation preview
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 1/25
Tafakari ya Maneno Saba ya Yesu
Msalabani
Mheshimiwa Padre Leonard Maliva kutoka Jimbo Katoliki la Iringa,
mwanafunzi mtaalamu wa Maandiko Matakatifu, Chuo Kikuu cha
Kipapa cha rbaniana, katika !iku hii Mama Kanisa anapotafakari
mateso na kifo cha Kristo Msalabani kwa a"ili #a ukombozi wa
mwanadamu, anatushirikisha tafakari #a kina kuhusu maneno
saba #a $esu akiwa "uu Msalabani% &uu ni uta"iri mkubwaunaotuon"esha huruma na upendo wa Kristo kwa a"ili #a
wadhambi%
YESU MSALABANI
'akati huo huo wan#ang(an#i wawili wakasulibiwa pamo"a na#e,
mmo"a mkono wake wa kuume, na mmo"a mkono wake wa
kushoto% )ao waliokuwa wakipita n"iani wakamtukana,
wakitikisatikisa vichwa v#ao, wakisema, *+we mwen#e kulivun"a
hekalu na kuli"enga kwa siku tatu, "iokoe nafsi #ako kiwa ndiwe
Mwana wa Mungu, shuka msalabani%- Kadhalika na wale wakuu
wa makuhani wakamdhihaki pamo"a na waandishi na wazee,
wakisema, *.liokoa wengine, hawezi ku"iokoa mwen#ewe%
$e#e ni mfalme wa Israeli, na ashuke sasa msalabani, nasi
tukamwamini% .memtegemea Mungu/ na amwokoe sasa, kama
anamtaka% Kwa maana alisema, 0Mimi ni Mwana wa Mungu%(- Pia
wale wan#ang(an#i waliosulibiwa pamo"a na#e walimshutumu
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 2/25
vilevile-% Mathayo 27:38-44
!ehemu hii #a In"ili #a Mata#o inatuthibitishia kuwa, $esu akiwa
msalabani, kuna watu ambao walimwambia maneno #a
kumdhihaki% !ambamba na In"ili #a Mata#o, pia In"ili za Marko,
Luka na $ohane zinathibitisha maneno #a dhihaka dhidi #a $esu
pale msalabani% Lakini pia walikuwepo watu wengine ambao
katika tukio hilo la kusulibiwa walimkubali $esu kuwa ni mkombozi
wao na ni mwana wa Mungu%
1ukio hilo la $esu kusulibiwa msalabani linaweza kuwa ni chachu
#a imani kwa wengi na pia linaweza kuwa ni kikwazo kwa
wengine% Kama inav#oonesha katika maneno #a watu mbalimbali
waliomwona $esu akisulibiwa% !isi hatukumuona $esu pale
msalabani/ lakini habari zake tunazo%
&abari hizo zimetugawa katika makundi mawili kama iliv#okuwa
siku ile pale msalabani2 tupo ambao tungependa kusikia kuwa
$esu alishuka msalabani na kwenda zake, pia tupo wale ambao
tungependa kusikia kuwa watesi wake wanatubu na kumtambua
$esu kuwa ni mwana wa Mungu na Mkombozi% !iku ile pale
msalabani wengi walimtaka $esu ashuke msalabani na aende
zake ili kuonesha nguvu na uweza wake% )i wachache tuwaliomtambua $esu kuwa ni mwana wa Mungu ana#ewakomboa
kwa n"ia hi#o ngumu #a mateso% 'ewe na mimi tupo upande upi3
Maneno ya Watu mbalimbali kwa Yesu Msalaban
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 3/25
Maneno #a 4hihaka Maneno #a Imani
+we mwen#e kulivun"a hekalu
na kuli"enga kwa siku tatu,
"iokoe nafsi #ako%
&akika mtu hu#u alikuwa
Mwana wa Mungu%
kiwa ndiwe mwana wa
Mungu, shuka msalabani%
+e $esu, nikumbuke
utakapoingia katika ufalme
wako%
.liokoa wengine, hawezi
ku"iokoa mwen#ewe%
$e#e ni mfalme wa Israeli, na
ashuke sasa msalabani, nasi
tumwamini%
.memtegemea Mungu, na
amwokoe sasa, kama
anamtaka, kwa maana alisema
mimi ni mwana wa Mungu%
1azama, anamwita +li#a%
.cheni/ na tuone kwamba
+li#a anaku"a kumtelemsha%
Kama wewe ndiwe mfalme wa
'a#ahudi, u"ikoe mwen#ewe%
Je, wewe si Kristo3 Jiokoe nafsi
#ako na sisi%
Mtume Paulo anatufundisha wewe na mimi tuwe upande wa wale
waliomkiri $esu kuwa na mwana wa Mungu na Mkombozi wao2
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali
kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu #a Mungu% Kwa kuwa
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 4/25
imeandikwa2 )itaiharibu hekima #ao wen#e hekima, na akili zao
wen#e akili nitazikataa% $u wapi mwen#e hekima3 $u wapi
mwandishi3 $u wapi mleta ho"a wa zamani hizi3
Je, Mungu hakuifan#a hekima #a dunia kuwa upumbavu3 Kwa
maana katika hekima #a Mungu, dunia isipopata kum"ua Mungu
kwa hekima #ake, Mungu alipenda kuwaokoa waaminio kwa
upuuzi wa lile neno linalohubiriwa% Kwa sababu wa#ahudi
wanataka ishara, na wa#unani wanatafuta hekima, bali sisi
tunamhubiri Kristo ali#esulibiwa%
Kwa wa#ahudi ni kikwazo, na kwa wa#unani ni upuuzi, bali kwa
waitwao, wa#ahudi kwa wa#unani ni Kristo, nguvu #a Mungu na
hekima #a Mungu% Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima
zaidi #a wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi #a
wanadamu%
1 Wakorintho 1:18-25
Msalaba ni nguvu #a Mungu kwa kuwa $esu ameutumia kama
kiunganishi kati #a Mungu mwen#e huruma na mwanadamu
mwen#e dhambi% &uruma #a Mungu na dhambi #a mwanadamu
vinapokutana hutokea ukombozi 5&uruma 6 4hambi 7 ukombozi8%
Msalaba ni kama alama #a ku"umlisha/ miti miwili imekutana
ikatengeneza msalaba% Mti mmo"a ni huruma #a Mungu na mti
mwingine ni dhambi #a mwanadamu% 1ukumbuke kuwa dhambi ile
#a awali n#akati za .damu na +va, ilianzia kwen#e mti% )di#o
maana ili kuiondoa hi#o dhambi, $esu alichagua kutumia mti wa
msalaba%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 5/25
Palepale ilipoanzia dhambi ndipo hapohapo pia $esu
ameiangamiza% 4hambi #a awali au #a asili ilianza pale watu wa
kwanza walipodangan#wa na shetani ili kumkataa Mungu% !hetani
alitumia mti wa matunda kumwingiza mwanadamu kwen#e
dhambi2
9asi n#oka alikuwa mwerevu kuliko wan#ama wote wa mwitu
aliowafan#a 9wana Mungu% .kamwambia mwanamke, *.ti &ivi
ndiv#o aliv#osema Mungu, 0Msile matunda #a miti #ote #a
bustani(3- Mwanamke akamwambia n#oka, *Matunda #a miti #abustanini twaweza kula/ lakini matunda #a mti ulio katikati #a
bustani Mungu amesema, 0Msi#ale wala msi#aguse, msi"e mkafa%-
)#oka akamwambia mwanamke, *&akika hamtakufa, kwa maana
Mungu ana"ua #a kwamba siku mtaka#okula matunda #a mti huo,
mtafumbuliwa macho, nan#i mtakuwa kama Mungu, mki"ua
mema na maba#a%- Mwanamke alipoona #a kuwa ule mti wafaa
kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa
maarifa, basi alitwaa katika matunda #ake akala, akampa na
mumewe, na#e akala% 'akafumbuliwa macho wote wawili
waka"i"ua kuwa wa uchi, wakashona ma"ani #a mtini, waka"ifan#ia
nguo% Mwanzo 3:1-7 $esu na#e alitumia mti wa msalaba kumtoa
mwanadamu katika dhambi% Mti alioutumia shetani kumwingiza
mwanadamu kwen#e dhambi ulikuwa unavutia kwani ulikuwa na
matunda%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 6/25
Kumbe mti alioutumia $esu kumtoa mwanadamu kwen#e dhambi
unatisha kwani ni mzito na una mateso% $esu msulibiwa ndi#e
tunda la mti wa msalaba ambalo halivutii ila linatisha na
kukatisha tamaa%
$esu amedhihirisha umungu wake "uu #a msalaba/ ingawa
watu walidhihirisha ufalme wake "uu #a punda%$esu
amedhihirisha ukombozi wake "uu #a msalaba/ ingawa watu
walidhihirisha ukombozi wake katika miu"iza #ake%
Kwa hi#o, msalaba ni chombo ambacho Mungu amekitumia kamakielelezo cha umungu wa $esu na ukombozi wake% $esu, hata
kama asingefundisha kitu chochote au asingefan#a muu"iza
wowote, ingetosha tukio hilo la kusulibiwa msalabani
kumtambulisha kuwa #e#e ni mwana wa Mungu na Mkombozi%
)di#o maana Kanisa linatufundisha na kutusisitiza kusali )"ia #a
Msalaba2 ++ 9'.). $+! K:I!1; 1).K.94 ).
1).K!&K:/ K'. K'. M+IK;M9;. 4)I. $;1+ K'.
M!.L.9. '.K; M1.K.1I<% Maneno ha#o #anadhihirisha kuwa
Kanisa linatambua kuwa, kazi #a $esu msalabani ilikuwa #a
ukombozi wetu% Maneno ali#o#asema $esu pale msalabani ni
&abari )"ema #a kombozi% )i maneno #ana#o"itosheleza kuwa ni
mafundisho kwa wafuasi wake kwa n#akati zote% Ingetosha tukuelewa vizuri maneno ha#o na ku#aishi bila hata kusoma
maneno mengine katika 9iblia%
Maneno Saba ya Yesu Msalabani
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 7/25
Maneno #a $esu In"ili
= 9aba uwasamehe, kwa kuwa hawa"ui
watendalo
Luka 23:34
> .min, nakuambia, leo hivi utakuwapamo"a nami mbinguni%
Luka 23:43
? Mama 1azama mwanao/ 1azama mama
#ako%
Yohane 19:26-27
@ +loi, +loi lama sabakthani3 Mungu
wangu, Mungu wangu, mbona
umeniacha3
Marko 19:34
A )aona kiu% Yohane 19:28B Imekwisha 5$ametimia8 Yohane 19:30
+e 9aba, mikononi mwako naiweka roho
#angu%
Luka 23:46
)amba saba, kama iliv#o namba arobaini katika desturi za
Ki#ahudi ina maana #a utimilifu au ukamilifu% )amba saba
inathibitisha kuwa kitu ni kamili au kina"itosheleza% 1utafakari kwa
pamo"a maneno saba #a $esu msalabani2
- (i) Baba uwasame!e" kwa kuwa !awa#ui waten$alo
)a walipoDka mahali paitwapo <uvu la Kichwa, ndipo
walipomsulibisha #e#e, na wale wahalifu, mmo"a upande wa
kuume, na mmo"a upande wa kushoto% $esu akasema, *9aba,uwasamehe, kwa hawa"ui watendalo%- 'akagawana mavazi #ake,
wakapiga kura% Luka 23:33-34
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 8/25
)eno la kwanza la $esu msalabani lahusu msamaha% Msamaha ni
tabia kuu #a Mungu% Mtakatifu .gustino anasema kuwa, kama
Mungu hangekuwa na huruma ingekuwa vigumu sana kwetu
kuamini kuwa #e#e ni Mungu% kuu wa Mungu haupo tu katika
kazi kubwa na a"abu #a uumba"i, bali pia ukuu wake upo katika
tabia #ake #a kusamehe%
)eno la kwanza la $esu msalabani ni habari n"ema #a wokovu%
Inatosha neno hilo mo"a la msamaha kumtambua $esu kuwa ni
mkombozi% )a kama $esu hangalisema neno hilo, labda sisi leotungetia shaka kuwa #e#e ni mwana wa Mungu mkombozi% Kazi
#ote #a kuhubiri na kufan#a miu"iza ilikuwa inahusu msamaha%
Msamaha ndi#o hasa u"umbe mkuu wa mafundisho #ote na
miu"iza #ote #a $esu%
Mafundisho #ote #a $esu #alimwelekeza Mungu kuwa ni 9aba
mwen#e huruma, mafundisho ha#o #alimwelekeza mwanadamu
atumie vizuri tabia hi#o kuu #a Mungu kwa kuomba msamaha%
Miu"iza #ote #a $esu ilihusu msamaha wa dhambi/ ndi#o maana
wengi ambao aliwafan#ia miu"iza aliwaambia, umesamehewa
dhambi zako%
)eno la kwanza la $esu msalabani linatufundisha kuwa "ambo la
kwanza kabisa kwetu sisi katika kuhusiana na Mungu ni kuomba
msamaha% ;mbi linaloweza kukubalika mbele #a Mungu ni
kuomba msamaha wa dhambi zetu% Mara n#ingi sisi mbele #a
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 9/25
Mungu tunaomba mambo mengine amba#o tunaamini kuwa na
mazuri na tunasahau kuomba "ambo kuu kuliko #ote mbele #a
Mungu%
Leo $esu anatufundisha "insi #a kuomba mbele #a Mungu%
$esu anatuonea huruma sisi wanadamu anav#otuona tunatenda
dhambi/ ndi#o maana anasema hatu"ui tutendalo% )i kweli kabisa
1unapotenda dhambi hatu"ui tundendalo kwani sisi asili #etu ni
Mungu/ tuliumbwa kwa sura na mfano wa Mungu% 1unapotenda
dhambi tunaifuta sura na mfano wa Mungu ili tufanane na ibilisi%Mtoto anapochezea kiwembe ha"ui alitendalo, kwani kiwembe
hakichezewi na mtoto/ kitamkata na ataumia%
Lakini, $esu anatufundisha pia kuwa nasi kati #etu #atupasa
kuombana msamaha% Katika mafundisho #ake anasema2 Iweni na
huruma kama 9aba #enu wa mbinguni aliv#o na huruma% &ata
tunaposali, $esu anatufundisha kuwa Mungu atatumia kipimo
kilekile tunachotumia sisi kusameheana kati #etu2 tusamahe
makosa #etu kama na sisi tunav#owasamehe wale waliotukosea%
$esu anatufundisha tusameheane siku zote, katika lolote na mara
zote2
Kisha Petro akamwendea akamwambia, *9wana, ndugu #angu
anikose mara ngapi nami nimsamehe3- &ata mara saba3 $esu
akamwambia, *!ikuambii hata mara saba, bali hata saba mara
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 10/25
sabini%-
Mathayo 18:21-22
.mri kuu #a Mungu ni upendo% Kielelezo kikuu cha upendo ni
msamaha% $esu ametufundisha kupendana, na #e#e mwen#ewe
anakuwa mfano mzuri kwa kutangaza msamaha pale msalabani%
Mkristo asi#e"ua kusamehe, hu#u bado ha"awa mkristo% $esu
anasema/ mkipendana kati #enu, wote wata"ua kuwa nin#i ni
wafuasi wangu% Kwa hi#o, kitambulisho cha ukristo ni upendo/
kitambulisho cha upendo ni msamaha%
1ena, $esu katika mafundisho #ake, anasisitiza tuwapenda hata
maadui zetu na tuwaombee ili tuweze kuwa kweli wana wa
Mungu%
*Mmesikia kwamba imenenwa2 mpende "irani #ako, na,
mchukie adui #ako/ lakini mimi nawaambia2 'apendeni adui
zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa 9aba
#enu ali#e mbinguni/ maana #e#e huwaangazia "ua lake waovu na
wema, huwan#eshea mvua wen#e haki na wasio haki%
Maana mkiwapenda wanaowapenda nin#i mwapata thawabu
gani3 &ata watoza ushuru, "e, nao hawafan#i #a#o ha#o3 1ena
mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada3 &ata
watu wa mataifa, "e, nao hawafan#i kama ha#o3 9asi nin#i
mtakauwa wakamilifu, kama 9aba #enu wa mbinguni aliv#o
mkamilifu%-Mathayo 5:43-48
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 11/25
$esu ni mfano mzuri kwetu kwani pale msalabani anawasamehe
adui zake wanaomsulibisha na anawaombea msamaha kwa
Mungu% &akika $esu ni mwalimu halisi kwani kile alichofundisha
kwa maneno, #e#e mwen#ewe ametekeleza kwa
matendo%Msamaha una pande mbili2 kuomba msamaha na kutoa
msamaha% Kati #a ha#a mawili ni lipi gumu zaidi3
Jiulize/ wewe waweza kumsamehe mtu kwa lolote alilokufan#ia3
Kumbuka2 kutenda dhambi ni ubinadamu/ kusamehe ni umungu%
(ii) Amin" nakuambia" leo !i%i utakuwa &amo#a nami
mbin'uni
)a mmo"a wa wale wahalifu waliotungikwa alimtukana, akisema,
*Je, wewe si Kristo3 Jiokoe nafsi #ako na sisi%- Lakini #ule wa pili
akam"ibu, akamkemea, akisema, *'ewe humwogopi hata Mungu,
nawe u katika hukumu i#o hi#o3 )a#o ni haki kwetu sisi, kwa
kuwa tunapokea malipo tuli#ostahili kwa matendo #etu/ bali hu#u
hakutenda lolote lisilofaa%- Kisha akasema, *+e$esu, nikumbuke
utakapoingia katika ufalme wako%- $esu akamwambia, *.min,
nakuambia, leo hivi utakuwa pamo"a nami mbinguni%- Luka 23:39-
43
)eno la pili la $esu msalabani lathibitisha kuwa msamaha una
nguvu kuliko dhambi% $esu amefundisha "uu #a msamaha kwa
kuwaombea msamaha watesi wake% $esu ameonesha kuwa #e#e
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 12/25
ni Mungu kwa kutumia tabia kuu #a Mungu #a kusamehe% $ule
mhalifu ametambua kosa lake na amemtambua $esu kuwa ni
Mungu na akaomba msamaha/ $esu mara mo"a akamsamehe kwa
kumpa nafasi mbinguni%
Leo hii utakuwa pamo"a nami mbinguni2 )eno hili ni habari n"ema
amba#o kila mmo"a wetu angefurahi kuambiwa na $esu% &apa
$esu anatufundisha kuwa, Mungu humpa msamaha papo kwa
papo mtu #e#ote ana#eomba msamaha bila ku"ali amekosa nini%
)i dhambi kubwa kuishi na dhambi bila kuomba msamaha%Kutoomba msamaha kwa Mungu ni dharau kubwa% $ule mhalifu
mwingine alimdharau Mungu na kumtaka amshushe msalabani/
kumbe hu#u mwingine alimwogopa Mungu na kuomba msamaha%
Katika neno la kwanza $esu alifundisha kuwa "ambo la kwanza
mbele #a Mungu ni kuomba msamaha% Mhalifu wa kwanza
hakuelewa mafundisho ha#o, ndi#o maana badala #a kuomba
msamaha akaomba muu"iza wa kushushwa msalabani%
Muu"iza huo hakuupata kamwe% Kumbe #ule mhalifu wa pili
alielewa vema mafundisho #a $esu/ akaomba msamaha% &u#u
alipata alichokiomba palepale bila kupewa ahadi/ Leo hii utakuwa
pamo"a nami mbinguni%
kombozi ni msamaha wa dhambi zetu na kuingizwa mbinguni%
kombozi ni tendo au "ambo la leo na sio kesho% kombozi
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 13/25
hautafutwi kesho na wala hauombwi kesho% kombozi daima ni
leo/ ndi#o maana $esu anasema2 Leo utakuwa pamo"a nami
mbinguni% $esu hakusema, )go"a kwanza nifufuke siku #a tatu
nitakukaribisha mbinguni%
)eno L+; katika In"ili #a Luka lina maana #a kufuta #ali#opita na
kumwingiza mtu katika maisha map#a%
$esu alipozaliwa malaika waliwaambia wachunga"i2 L+;
katika m"i wa 4audi, kwa a"ili #enu amezaliwa mwokozi ndi#e
Kristo 9wana% $esu alipoanza kuhubiri n#umbani kwao )azareth
aliwaambia2 L+; Maandiko ha#a #ametimia masikioni
mwenu%
$esu alipokutana na mtu mwen#e dhambi aitwa#e Eaka#o
alimwambia2 Eaka#o shuka upesi, kwa kuwa L+; imenipasa
kushinda n#umbani mwako% )a alipoenda n#umbani kwa
Eaka#o alimwambia2 L+; wokovu umeDka n#umbani humu,
kwa sababu hu#u na#e ni mwana wa Ibrahimu% )a mwisho
$esu alimwambia #ule mhalifu ali#eomba msamaha2 L+; hii
utakuwa pamo"a nami mbinguni%
Kwa hi#o, neno L+; lina maana #a kufuta historia #a zamani #a
dhambi na kumwingiza mtu katika historia mp#a #a neema, #aani
uwepo wa Mungu rohoni mwetu% $esu anatualika mimi na wewe
tuingie leo hii katika historia mp#a% Katika ukombozi hakuna neno
kesho/ ukombozi ni leo%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 14/25
.nza leo hii kuomba msamaha kwa Mungu% .nza leo kuomba
msamaha kwa wote uliowakosea% .nza leo kuwasamehe wote
waliokukusea% Leo hii, utakuwa mwana wa Mungu na mbinguni
ndiko kutakuwa n#umbani kwakomilele%
(iii) Mama taama mwanao* Taama mama yako
)a pen#e msalaba wake $esu walikuwa wamesimama mama#e,
na umbu la mama#e, Mariamu wa Klopa, na Mariamu Magdalene%
9asi $esu alipomwona mama #ake, na #ule mwanafunzi
ali#empenda amesimama karibu, alimwambia mama #ake,*Mama tazama mwanao%-
Kisha akamwambia #ule mwanafunzi, *1azama, mama #ako%- )a
tangu saa ile mwanafunzi #ule akamchukua n#umbani kwake%
Yohane 19:25-27
)eno la tatu la $esu msalabani linahusu watu wawili/ Maria, mama
#ake na $ohane, mwanafunzi na mtume wake% $esu ana uhusiano
mkubwa sana na mama #ake kuliko mtu mwingine #e#ote%
)i kawaida #a mila na desturi za watu mahali popote duniani
kuwa mtu kuwa na uhusiano wa "irani sana na wazazi wake%
'azazi ndi#o waliomleta mtoto duniani, wanaomlea na
kumfundisha katika hatua zake za kwanza za maisha% Mungu
mwen#ewe ametufundisha kuwa mzazi anachukua nafasi #a pili/
nafasi #a kwanza ni Mungu%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 15/25
Katika amri =F za Mungu/ amri ? za kwanza zahusu uhusiano
wetu na Mungu, amri zilizobaki zahusu uhusiano wetu% Katika
hizo amri zinazohusu uhusiano uhusiano wetu sisi wanadamu,
amri #a kwanza 5#aani #a nne8 inahusu wazazi wetu2 'aheshimu
9aba na Mama upate miaka mingi na heri duniani%$esu akiwa
msalabani anatukumbusha siri #a kuishi miaka mingi na kupata
mafanikio duniani/ siri hi#o ipo katika amri #a nne #a Mungu%
'azazi ndi#o miungu wetu hapa duniani/ watu wote waliotuzidi
umri ni wazazi wetu%
$esu alimheshimu na kumpenda sana mama #ake na hata hapo
msalabani anamkabidhi kwa mtume ki"ana zaidi #a mitume
wengine%
$esu alimfahamu vema mama #ake kuwa ni mcha Mungu% )i wazi
kuwa $esu ali"ifunza mambo mengi #a Mungu toka kwa mama
#ake%
Kumlea mtoto ni mo"a kati #a kazi za mzazi/ hiv#o basi Maria na
$osefu ndi#o waliomfundisha $esu habari za kwanza za Mungu%
$esu ni mwalimu na hapo chini #a msalaba anamkabidhi
mwanafunzi wake $ohane mikononi mwa 9ikira Maria% $esu
anataka kumwambia $ohane kuwa sasa 9ikira Maria ndi#e
mwalimu wako%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 16/25
!isi sote ni wanafunzi wa $esu/ $esu ametukabidhi kwa mama
Maria aendelee kuwa ni mwalimu wetu% 1una"ifunza toka kwa
9ikira Maria mambo mengi na hasa un#en#ekevu%
9ikira Maria ni mama #etu ana#etufundisha kulisoma )eno la
Mungu na kulitafakari mo#oni% .natufundisha kumfuata $esu
tangu kuzaliwa hadi kufa% 9ikira Maria alimfuata $esu katika
mafundisho #ake hadi hapo chini #a msalaba% Maria
anatufundisha kumuomba $esu katika mahita"i #etu 5&arusi
#a Kana8% 9ikira Maria alisali daima na mitume wa $esu hata
siku #a Pentekoste alikuwepo pale kwen#e chumba cha "uucha Karamu #a Mwisho%
Mtume $ohane analiwakirisha Kanisa pale chini #a msalaba% $esu
aliliasisi Kanisa baada #a kuiona imani #a mitume wake%
.kalianzisha Kanisa na kulipa uweza wa kimungu wa kutangaza
msamaha wa dhambi na kuiondoa dhambi2 *'ewe ndiwe Petro,
na "uu #a mwamba huu nitali"enga Kanisa langu, wala milango #a
kuzimu haitalishinda%
)ami nitakupa wewe funguo za falme wa Mbinguni/ na lolote
utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni, na lolote
utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni-
$esu anapomkabidha mama #ake kwa $ohane na $ohane kwa
mama #ake/ maana #ake, anamkabidhi mama #ake kwa kanisa,
pia analikabidhi Kanisa kwa mama #ake% $esu anataka Kanisa
lisitengane kamwe na mama #ake% 'akristo ambao hawampi
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 17/25
Mama Maria heshimu ali#opewa na $esu pale msalabani, hao sio
wafuasi wa $esu%
Kanisa linampa Mama Maria nafasi #a kwanza kabisa kati #a
watakatifu kwani $esu mwen#ewe mwasisi wa Kanisa ndiv#o
aliv#ofan#a%
1endo la $esu kumkabidhi mama #ake kwa mtume $ohane pia
linathibitisha kuwa Mama Maria hakuwa na watoto wengine zaidi
#a $esu% $esu alizaliwa peke #ake kwa mama #ake/ #aani, 9ikira
Maria hakuwa na watoto wengine zaidi #a $esu% 1ukio la $esu
kusulibiwa msalabani ni tukio kubwa sana kwa $esu na kwa ndugu
zake% Kama $esu angekuwa na wadogo zake wa tumbo mo"a,
lazima siku ile, pale chini #a msalaba wangekuwepo% Kama
angekuwa na wadogo zake asingemkabidhi mama #ake kwa
$ohane amba#e wala si ndugu #ake/ angelimkabidhi kwa wadogo
zake wamtunze mama #ao% $esu alipokufa msalabani, ni $osefu
wa .rimate#o ndi#e alienda kwa Pilato akaomba amzike $esu%
Kuzika mtu ilikuwa ni wa"ibu wa baba mzazi au ndugu wa tumbo
mo"a/ lakini $esu alizikwa na $osefu wa .rimate#o kwa kuwa baba
#ake mlishi $osefu alishakufa zamani% &ii ina maana kuwa $esu
hakuwa na wadogo zake ambao ndi#o wangechukua nafasi #a
baba mzazi ali#ekufa%
$esu alimkabidhi $ohane kwa mama #ake ili mama hu#o awe
mwombezi wa kwanza wa Kanisa% Mama Maria ndi#e mwombezi
wetu kwani #e#e ni mama#etu%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 18/25
(i%) Mun'u wan'u" Mun'u wan'u" mbona umenia+!a,
)a ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza "uu #a nchi #ote, hata saa
tisa% )a saa tisa $esu akapaza sauti #ake kwa nguvu, *+loi, +loi,
lama sabakthani3- maana #ake, *Mungu wangu, Mungu wangu,
mbona umeniacha3- )a baadhi #ao waliosimama pale, walisema,
*1azama, anamwita +li#a-%
Marko15:33-35
)eno la nne la $esu msalabani lahusi kilio chake kwa 9aba #ake%
Kilio hicho kina ladha #a kukata tamaa% Je, ni kweli kuwa $esu
aliachwa na 9aba #ake3 Je, ni kweli kuwa $esu alikata tamaa3
Kilio cha $esu msalabani hakikuwa ni kilio cha kuachwa na 9aba
#ake/ wala hakikuwa ni kilio cha kukata tamaa% $esu pale
msalabani alikuwa anasali Eaburi #a >>% Eaburi hii ilitungwa na
mfalme 4audi na akaiita ni zaburi #a mateso na matumaini #a
mwadilifu% Katika zaburi hii ukisoma utaona kuwa mtu hu#o
anaanza kumuuliza Mungu kwa nini amemwacha, kisha anaanza
kuelezea sifa za Mungu%
&alafu ndi#o anaanza kumweleza Mungu wake mateso #ake,
lakini katika ha#o mateso anamwambia Mungu kuwa #e#e ni
tegemeo na tumaini lake% )a mwisho anamhakikishia Mungu
kuwa hata katika mateso #ake ataendelea kumsifu na kumtukuza
Mungu mbele za watu wote%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 19/25
1ukumbuke kuwa, wa#ahudi walizi"ua zaburi zote kwa kichwa/
hawakuwa na vitabu v#a kutosha% Ku"ifunza kwa kichwa ilikuwa
ndi#o namna #a kawaida kuweza kueleaw vitu% &awa wa#ahudi
walikuwa wanasali daima, na zaburi ndizo zilikuwa sala zao%
Kila mwaka wakati wa Pasaka wa#ahudi waliokuwa mbali na
$erusalemu walikuwa wanakwenda huko kuhi"i% )#akati hizo
hakukuwa na magari/ hiv#o basi walitembea kwa miguu au
kupanda punda, na safari ilikuwa #a siku kadhaa% 'akiwa n"iani
walisali zaburi wanapotembea% )a kwa kuwa walikuwa wanazi"ua
zaburi zote =AF kwa kichwa/ ilitosha ukita"a maneno #a kwanza #a
zaburi kuwa umesali zaburi #ote% )div#o $esu aliv#ofan#a pale
msalabani/ alisema tu maneno #a kwanza #a zaburi #a >> Mungu
wangu, Mungu wangu mbona umeniacha3 &ii ilikuwa ni sala #a
$esu pale msalabani% 9aadae ukaisome zaburi #a >> utaelewa
kuwa si zaburi #a mtu ali#ekata tamaa bali ni sala nzuri #en#e
matumaini makubwa katika mateso%
$esu hapo anatufundisha kuwa katika mateso tusikate tamaa bali
tumkimbilie Mungu% !isi kwa kawaida kwen#e matatizo twaenda
kwa waganga wa kien#e"i na wachawi kwani tunadhani Mungu
ametuacha na kutusahau% Kumbe, wakati wa matatizo ndi#o hasa
wakati muafaka wa kusali zaidi na kumkimbilia Mungu%
(%) Naona kiu
9aada #a ha#o $esu, hali aki"ua #a kuwa #ote #amekwisha
kumalizika ili andiko litimizwe, akasema, *)aona kiu%- Kulikuwa
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 20/25
huko chombo kime"aa siki/ basi wakatia sifongo ili#o"aa siki "uu #a
uDto wa hisopo, wakampelekea kin#wani% Yohane 19:28-29
)eno la tano la $esu msalabani lahusu hita"i la msingi la uhai wa
watu/ ma"i% &apa kiu #a ma"i inawakilisha n"aa% Kati #a ma"anga
makubwa kwa wanadamu ni n"aa, kukiwa n"aa basi kifo
kimeshaDka, tena ni kifo cha taratibu kwa mateso makubwa% $esu
ametumia neno kiu na sio n"aa kwa kuwa kiu huuma zaidi kuliko
n"aa% )i kweli kuwa n"aa #a chakula na kiu #a ma"i huenda
pamo"a, lakini kiu #a ma"i inatesa zaidi kuliko n"aa #a chakula%
Mwanadamu bila chakula na kin#wa"i hakika hawezi kuishi bali
atakufa% Chakula na kin#wa"i ni hita"i la lazima katika maisha%
Kiu ali#ona#o $esu pale msalabani haikuwa #a kin#wa"i/ ilikuwa ni
kiu #a kuona kuwa kazi ali#oianzisha inaendelezwa% $esu aliku"a
duniani kutangaza msamaha wa dhambi/ hiv#o basi ni kiu #ake
kubwa kuona kwa watu wanamuelewa na wanaomba msamaha
wa dhambi zao kwa Mungu% Mafundisho #ote #a $esu na miu"iza
#ake #ote ina"ikita kwen#e msamaha wa dhambi% Kanisa lake
alilianzisha ili lifan#e kazi hi#o #a kusamehe na kuondoa dhambi2
*Pokeeni :oho Mtakatifu% 'owote mtakaowaondolea dhambi,
wameondolewa/ na wowote mtakaowafungia dhambi,
wamefungiwa-% )i kiu #a $esu kuona kuwa, mimi na wewetunaungama na tunatubu dhambi zetu% Kuungama dhambi zetu ni
kielelezo cha kuthamini kazi #a $esu msalabani% Kuungama
dhambi zetu ni kumpa $esu ma"i ili akate kiu #ake pale msalabani%
Kuishi na dhambi bila kuungama ni sawa na kumpa $esu siki
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 21/25
badala #a ma"i pale msalabani katika kiu #ake2 wakanipa uchungu
kuwa chakula changu, nami nilipokuwa na kiu wakanin#wesha
siki% !iki ni divai ili#opoteza radhi #ake na hiv#o huongeza
maumivu kwa mtu mwen#e kiu #a ma"i%
(%i) Imekwis!a- Yametimia
9asi $esu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, *Imekwisha-%
.kainama kichwa, akaisalimu roho #ake% Yohane19:30
)eno la sita la $esu msalabani lina uhusiano mkubwa na neno la
sita/ au ni mwendelezo wake% )i neno linalohusu kiu% ."abu ni
kwamba $esu alipopewa ile siki ili ain#we, hakuin#wa bali
akasema kuwa kiu #ake imekwisha% &apa ndipo twatambua kuwa
$esu hakuwa na kiu #a ma"i kama kin#wa"i, bali alikuwa na kiu #a
kuona wanafunzi wake au wafuasi wake wanabadilika% Mabadiliko
ana#o#aleta $esu ni toba% 1oba ni tendo la mtu kutafuta rehema
au huruma #a Mungu%
Katika .gano la Kale watu walipotaka kumpendeza Mungu
walimtolea sadaka% Kumbe katika .gano Jip#a $esu anatuambia
kuwa Mungu hataki tena sadaka bali anataka rehema% :ehema ni
tendo len#e pande mbili/ upande mmo"a ni mtu kutambua dhambi
zake na kuziungama, upande mwingine ni Mungu kumsamehe
mkosefu ali#ezitambua na kuzi"uta dhambi zake%
$esu anaposema kuwa kiu #ake imekwisha anataka kuonesha
kuwa kiu #ake haitulizwi kwa siki% !iki ni divai ili#oisha nguvu
amba#o hutumika kuua wadudu na pia hutumika kuwatesea
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 22/25
wahalifu ili kuwaongezea maumivu kwen#e makovu #ao% 'ale
watesi wa $esu walimpa siki sio kwa lengo la kutuliza kiu bali kwa
lengo la kumtesa zaidi% !iki hata siku mo"a haitulizi kiu #a mtu
wala kiu #a mn#ama%
$esu daima anaona kiu, na anatuambia wewe na mimi kuwa
anaona kiu% Je, tumpe siki au ma"i% Kila tunapozitambua dhambi
zetu na kuomba msamaha kwa Mungu na kwa wale tuliowakosea
tunakuwa tunampa $esu ma"i ili kiu #ake iishe% Lakini tunapoishi
na dhambi zetu bila kuungama na kuomba msamaha, basi sisi
tunampa $esu siki ili aendelee kuteseka zaidi% $esu anatara"ia
kuwa tutampa ma"i na sio siki% !isi wafuasi wake #atupasa kumpa
$esu ma"i ili asione kiu tena%
Kubadilisha maisha #etu ni zawadi kubwa sana tuna#oweza
kumpa $esu katika mateso #ake% Je, wewe bado unampa $esu siki3
Kiu #a $esu ni kutubadilisha% Kumbuka alipomwambia #ulemwanamke msamaria pale kisimani2 )ipe ma"i nin#we% $esu
alikuwa na n"aa na kiu akawatuma wanafunzi wake waende m"ini
kutafuta chakula, lakini walipomletea chakula aliwaambia2
chakula changu ndicho hiki2 ni#afan#e mapenzi #a 9aba
ali#enipeleka, nikaimalize kazi #ake% $esu alipomfundisha #ule
mwanamke na kumfan#a atubu dhambi zake, $esu hakuona n"aa
tena/ maana n"aa #ake ilikuwa ni kumuokoa #ule mwanamke%
Kumbe kiu na n"aa #a $esu ni kufan#a mapenzi #a Mungu% )eno
mapenzi #a Mungu lina maana #a kile anachokitaka Mungu%
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 23/25
.nachokitaka Mungu ni kumuona mwanadamu anau"ua ukweli,
anatubu dhambi zake na kuingia mbinguni%
(%ii) Ee Baba mikononi mwako naiweka ro!o yan'u
&apo ilikuwa #apata saa sita, kukawa giza "uu #a nchi #ote hata
saa kenda, "ua limepungua nuru #ake/ pazia la hekalu likapasuka
katikati% $esu akalia kwa sauti kuu, akasema, *+e 9aba, mikononi
mwako naiweka roho #angu%-.lipokwisha kusema ha#o alikata
roho% Luka 23:44-47
)eno la saba na la mwisho la $esu msalabani lahusu kifo% Kifo ni
tukio la mwisho kwa mtu #e#ote na ni tukio lisilokwepeka% Kila
mtu ni lazima akutane na kifo/ apende asipende, a"ue asi"ue, kifo
kipo na kinatungo"ea% 'akati ule adhabu #a msalaba ilikuwa na
lengo la kumuua mtu/ ilikuwa ni hukumu #a kifo% &ii ilikuwa ni
adhabu #a 'arumi% Kumbe kwa 'a#ahudi kutundikwa msalabani
ilikuwa ni "ambo pa#a zaidi #a kifo/ ilikuwa ni kifo cha laana2 kwaniali#etundikwa "uu #a mti amelaaniwa na Mungu%
Kifo cha $esu pale msalabani kilihesabika kuwa ni laani kadiri #a
imani #a 'a#ahudi% Lakini kumbe $esu kwa kufa msalabani
aliigeuza hi#o imani #ao #a kale na kuwaingiza katika imani mp#a2
Kristo alitukomboa katika laana #a torati, kwa kuwa alifan#wa
laana kwa a"ili #etu/ maana imeandikwa2 .melaaniwa kila mtu
aangikwa#e "uu #a mti/ ili kwamba baraka #a Ibrahimu iwaDkilie
mataifa katika $esu Kristo, tupate kupokea ahadi #a :oho kwa n"ia
#a imani% Wagaatia 3:13-14
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 24/25
Kumbe $esu amekufa kwa a"ili #a watu wa mataifa #ote ili
mapenzi #a Mungu #a kuwaalika watu wote mbinguni #atimie%
$esu anapokufa msalabani kwa mateso makubwa anatukumbusha
kuwa mwisho wa mateso #etu upo katika kifo chema% Kufa kwake
msalabani kwa mateso lakini kwa kutamka maneno mazuri #a
kuisalimisha roho #ake kwa Mungu ni "ambo kubwa kwetu
ku"ifunza% )i kweli kuwa siku mo"a lazima kila mmo"a wetu
atakufa/ tuna uhakika wa kifo chetu kwa asilimia mia mo"a% Lakini,
tutakufa vipi3 Gizuri au viba#a3
Kufa viba#a ni kufa katika hali #a dhambi% ana#ekufa na dhambi
anakuwa ameisalimisha roho #ake mikononi mwa ibilisi% Kufa
vizuri ni kufa katika hali #a neema, #aani kuisalimisha roho #ako
mikononi mwa Mungu% 1ukumbuke kuwa $esu alikufa msalabani ili
kuushinda utawala wa ibilisi ulioleta dhambi na kifo% Kila
tunapotenda dhambi tunakuwa tumekufa na ku"iweka mikononi
mwa ibilisi% Lakini, kila tunapoungama dhambi zetu tunakuwa
tumefufuka pamo"a na $esu na kumshinda ibilisi% Kuungama
dhambi zetu katika sakramenti #a kitubio ni mata#arisho #a kifo
chema%
$esu kabla #a kufa alikumbuka kusali na kuiweka roho #ake
mikononi mwa Mungu%
$esu alisali zaburi #a mfalme 4audi amba#o ni sala #a kusali
wakati wa ma"aribu2 *Mikononi mwako naiweka roho #angu/
umenikomboa, +e 9wana, Mungu wa kweli% Mimi na wewe, "e,
tutakumbuka kusali saa #a kufa kwetu na ku"iweka mikononi mwa
Mungu% .u kabla #a kufa tutaanza kukumbuka mambo #etu #a
8/16/2019 Tafakari Ya Maneno Saba Ya Yesu Msalabani
http://slidepdf.com/reader/full/tafakari-ya-maneno-saba-ya-yesu-msalabani 25/25
duniani na kusahau kuwa tupo mlangoni mwa mbinguni au
motoni% kiwa na dhambi unapokaribia kufa unakuwa upo
mlangoni mwa motoni/ #akupasa usali na kuomba kitubio% kiwa
na neema unapokaribia kufa upo mlangoni mwa mbinguni/
#akupasa usali na kumshukuru Mungu%
.itimis!o
Maneno #a $esu msalabani #anatosha kabisa kutufan#a sisi leo hii
tumkiri #e#e kuwa ni mwana wa Mungu na mkombozi wetu% $esu
anamwalika kila mmo"a wetu auchukue msalaba wake na kisha
amfuate katika mafundisho #ake2 *Mtu #e#ote asi#echukua
msalaba wake na ku"a n#uma #angu, hawezi kuwa mwanafunzi
wangu%-
Ee, Bwana Yesu Kristo tunakuabudu na tunakushukuru:
Kwa kuwa, umeikomboa dunia yote kwa msalaba wako
mtakatifu.