Upload
others
View
7
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
TAYARISHASTL
• Ambukizo ya juu sana
• Inaathiria KILA KIZAZI na JAMII
JINSI INAENEA ACHA KUENEZA
KUGUSA KUPIGA CHAFYA KUKOHOA
KUTUMIA VIYOMBO NA WENGINE
SEHEMU CHAFU NAWA MIKONO
KWA SEKUNDE 20
KAA NYUMBANI
EPUKA VIKUNDI VYA WATU
6'
WEKA FUTI 6 MBALI NA
WENGINE
PANGUZA SEHEMU ZOTE MARA NYINGI
CHA KUJUA• Kikohozi kavu • Homa ya 100.4° • Shida ya kupumua
DALILI
BADO UNAWEZA KUSAMBAZA COVID-19 HATA IKIWA HAUNA DALILI!
• Wazee• Wanawake wajawazito• Wale walio na hali sugu
!WALIO HATARINI ZAIDI
INAATHIRI KILA MTU
NAJISIKIA MGONJWA
• PIGIA daktari wako• FUATA amri za daktari kuhusu uchunguzi na kujiweka
kwa karantini mwenyewe• IKIWA HAUNA DAKTARI AU UNA SWALI
LA JUMLA, PIGACASA DE SALUD: 314-997-1250 Masaa: Jumatatu-Jumamosi 2:30asubuhi-10:30jioni and Jumapili 4-11jioniMISSOURI STATE SIMU YA DHARURA: 877-435-8411 (Bonyeza 1, uliza upewe Mkalimani) Masaa: 24 kwa siku, siku 7 za wiki
Hospitali zinahitajika kuhudumia WATU WAGONJWA ZAIDI wakati huu.
Kumbuka kuongea na daktari wako KABLA ya kwenda kwa ER!
VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)
Imedhaminiwa na Missouri Foundation for Health
ONDOA MENGI AKILINI MWAKO
PATA HEWA SAFI
MASAA 7
ZZZ
BILI YA MATUMIZI NA HUDUMA ZINGINE?
CHAKULA, MALEZI YA WATOTO,
PIGIA STL MUTUAL AID 314-380-7774 AU 844-785-7774 BILA MALIPO AU TEMBELEA IISTL.ORG KWA HABARI KATIKA LUGHA YAKO MAALUM.
• Ameren na Spire wameacha kukata na kulipisha ada ya kuchelewa kulipa
• Hakuna kufukuzwa au nyumba yako kuuzwa hadi taarifa zaidi itolewe
• Tarehe ya mwisho ya kutuma ushuru ya mapato imebadilishwa kuwa Julai 15
• Spectrum labda itatoa mtandao ya bure kwa wanafunzi
• Mkopo wa riba sufuri kwa biashara ndogondogo inapatikana
• Schnucks, Aldi, Walmart, Dierbergs na Amazon wanaajiri sasa!
UNAJUAKWAMBA
?KWA HABARI ZAIDI,TEMBELEA PREPARESTL.COM
MFADHAIKO NA KUKABILIANA
IKIWA HAUJISIKII KAMA KAWAIDA YAKO PIGIA STL MUTUAL AID (314)380-7774 / BILA MALIPO KUPITIA 844-785-7774
JINSI YA KUPATA USAIDIZI
PATA ANGALAU MASAA 7 YA
USINGIZI
UNGANA NA WENGINE
USO KWA USO KWA SIMU, WHAT’S APP, DUO
FANYA MAZOEZI
FANYA SHUGHULI UNAYOPENDA UKIWA
NYUMBANI
PUNGUZA VYOMBO VYA
HABARI/YA KIJAMII
WAZAZI:• Ongea na watoto wako kuhusu
kinachoendelea
• Tengeneza utaratibu wa kufuata kila siku
TAYARISHASTL
VIRUSI VYA CORONA (COVID-19)