12
Uwezo Tanzania Tathmini ya Taifa ya Matokeo ya Kujifunza 2015 Kwa ajili ya Kituo cha Data tu. Kimepokelewa tarehe: Kimehakikiwa? NDIO HAPANA Sahihi: Alama ya Kuhakiki: Tarehe ya kuingiza Data: Shule: Alama ya Mwingiza Data: Kij/Mt: Sahihi: Kaya: Tarehe ya kuhakiki: Shule: Alama ya Mwingiza Data Kij/Mt: Sahihi: Kaya: Yaliyomo: Uk. 1. Fomu ya Taarifa za Kijiji .................................................... uk. 1 2. Fomu ya Utafiti Shuleni ................................................... uk. 2 3. Fomu ya Taarifa za Kaya ................................................... uk. 4 4. Fomu ya Taarifa za Jumla EA .......................................... uk. 44 Imewasilishwa na (Jina Volunteer) ................................................ Sahihi ................................Tarehe .................................. Kimepokelewa na kukaguliwa na (Jina DC) .................................. Sahihi ................................Tarehe .................................. Kimehakikiwa na (Mkuu wa Shirika) Ndiyo Hapana Jina................................................ Sahihi ................................Tarehe .................................. Kimehakikiwa na (RC) Ndiyo Hapana Jina................................................ Sahihi ................................Tarehe .................................. Kijiji/Mtaa: Mkoa: Jina la EA: Halmashauri/Wilaya: Alama ya EA: Kata: Wahojaji: Jinsi Mawasiliano 1. 2. Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Dodoso la Kukusanyia Taarifa

Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

  • Upload
    others

  • View
    14

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

Uwezo Tanzania Tathmini ya Taifa ya Matokeo ya Kujifunza

2015

Kwa ajili ya Kituo cha Data tu.

Kimepokelewa tarehe:Kimehakikiwa? NDIO HAPANA Sahihi:

Alama ya Kuhakiki:Tarehe ya kuingiza Data: Shule:Alama ya Mwingiza Data: Kij/Mt:Sahihi: Kaya:Tarehe ya kuhakiki: Shule:Alama ya Mwingiza Data Kij/Mt:Sahihi: Kaya:

Yaliyomo: Uk.1. Fomu ya Taarifa za Kijiji .................................................... uk. 1

2. Fomu ya Utafi ti Shuleni ................................................... uk. 2

3. Fomu ya Taarifa za Kaya ................................................... uk. 4

4. Fomu ya Taarifa za Jumla EA .......................................... uk. 44

Imewasilishwa na (Jina Volunteer) ................................................ Sahihi ................................Tarehe ..................................

Kimepokelewa na kukaguliwa na (Jina DC) .................................. Sahihi ................................Tarehe ..................................

Kimehakikiwa na (Mkuu wa Shirika) Ndiyo Hapana

Jina................................................ Sahihi ................................Tarehe ..................................

Kimehakikiwa na (RC) Ndiyo Hapana

Jina................................................ Sahihi ................................Tarehe ..................................

Kijiji/Mtaa: Mkoa:

Jina la EA: Halmashauri/Wilaya:

Alama ya EA: Kata:

Wahojaji: Jinsi Mawasiliano

1.

2.

Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako!

Dodoso la Kukusanyia Taarifa

Page 2: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?
Page 3: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

Mu

da

wa

ku

wa

sili

FOM

U Y

A T

AA

RIFA

ZA

KIJ

IJI/

MTA

A/

ENEO

LA

KU

HES

ABI

A (

EA)

2015

Kus

any

a ta

arif

a z

ifua

tazo

toka

kw

a M

we

nye

kiti

wa

Kiji

ji/M

taa

.

Jin

a la

Mh

ojiw

aC

he

oN

am

ba

ya

Sim

uU

na

ruh

usu

tuitu

mie

?N

diyo

Ha

pa

na

Wila

yaZi

nga

tia: K

wa

sw

ali

lolo

te li

na

lou

lizia

“jin

si/jin

sia”

an

dik

a ji

bu

ka

ma

ifu

ata

vyo

: we

ka a

lam

a y

a √

pa

le p

an

ap

oh

usik

a

Kata

ME

KE

Jin

a la

Kiji

ji/M

taa

Jin

a la

Mh

oja

ji 1

Jin

a la

EA

Jin

a la

Mh

oja

ji 2

Tare

he

Ma

jibu

kuto

ka k

wa

Mw

eny

eki

ti w

a K

ijiji/

Mta

a

V100. Umeme

Tafa

dh

ali

we

ka a

lam

a y

a v

em

a(√

)kw

en

ye ji

bu

sa

hih

iN

diy

oH

ap

an

a

V10

1. J

e, K

ijiji/

Mta

a w

ako

un

a u

me

me

?

V10

2. K

un

a n

yaya

na

ng

uzo

za

um

em

e?(

ch

un

gu

za)

Je, k

un

a v

ifua

tavy

o h

ap

a K

ijijin

i....

V200.Je kuna vitu vifuatavyo hapa kijijini/mtaani?

Nd

iyo

Ha

pa

na

V20

1. O

fi si y

a M

we

nye

kiti

wa

Kiji

ji?

V20

2. S

oko

/ma

du

ka y

a b

idh

aa

?

V20

3. K

ituo

ch

a P

olis

i?

V20

4. B

ara

ba

ra in

ayo

piti

ka m

ajir

a y

ote

?

V20

5. B

ara

ba

ra y

a la

mi?

V300. Shughuli za Kiuchumi

V30

1. N

i Sh

ug

hu

li g

an

i ku

u (

an

ga

lau

75%

) ya

kiu

ch

um

i ha

pa

kiji

jini/

mta

an

i?

(Ch

ag

ua

mo

ja)

Kilim

oBi

ash

ara

Uvu

viU

fug

aji

Kuc

him

ba

M

ad

ini

Ajir

a y

a

ofi s

ini

Vib

aru

a

Wa

na

wa

ke

Wa

na

um

e

V400.Hali ya Elimu

An

dik

a id

ad

i ha

lisi y

a h

ud

um

a z

ilizo

po

kiji

jini.

Ida

di

V40

1. Id

ad

i ya

sh

ule

za

msin

gi z

a s

erik

ali

V40

2. Id

ad

i ya

sh

ule

za

msin

gi z

a b

ina

fsi

V40

3. Id

ad

i ya

vitu

o v

ya e

limu

ya

aw

ali

V40

4. Id

ad

i ya

sh

ule

za

se

kon

da

ri

V40

5. Id

ad

i ya

sh

ule

za

ufu

nd

i

V40

6. K

un

a k

am

ati

ya e

limu

na

hu

du

ma

za

jam

ii za

m

taa

/kiji

ji?N

diy

oHa

pana

V500. Hali ya huduma za afya na maji

V50

1. Id

ad

i ya

vitu

o v

ya ti

ba

vin

avy

oe

nde

shw

a n

a:

Serik

ali

Taa

sisi z

a D

ini

Ma

shiri

ka b

ina

fsi

V50

2. J

e k

un

a m

fan

yaka

zi y

eyo

te w

a a

fya

a

liye

tem

be

lea

kiji

ji/m

taa

nd

an

i ya

mie

zi

mita

tu il

iyo

pita

?

Nd

iyo

Ha

pa

na

V50

3. J

e k

un

a m

rad

i wa

ma

ji w

a u

mm

a h

ap

a

kijij

ini/

mta

an

i? (

Kam

a h

aku

na

ruka

ha

di

V60

1)

Nd

iyo

Ha

pa

na

V50

4. K

am

a n

dio

, ni n

an

i mm

iliki

wa

ch

an

zo h

ich

o

ch

a M

aji?

Mtu

Bi

na

fsi

Taa

sisi

zisiz

o z

a

sere

kali

Wa

na

kijij

iSe

rika

li

V 600Mikutano yakijiji/mtaa

V60

1. J

e k

un

a m

kuta

no

wa

kiji

ji u

liofa

nyi

ka

nd

an

i ya

mie

zi m

itatu

iliy

op

ita?

(Ka

ma

h

aku

na

ruka

V60

2 n

a V

603)

Nd

iyo

Ha

pa

na

V60

2. K

un

a s

ua

la lo

lote

lilil

oh

usu

elim

u y

a m

sing

i lili

loja

dili

wa

kw

en

ye m

kuta

no

hu

o?

Nd

iyoH

ap

an

a

V60

3. J

e, k

ulik

uw

a n

a u

tara

tibu

/uta

tuzi

wa

ku

bo

resh

a u

jifu

nza

ji w

a w

ato

to u

lioto

kan

a n

a m

kuta

no

hu

o w

a k

ijiji?

Ndi

yoH

ap

an

a

Ala

ma

ya

EA

:

Mud

a w

a k

uond

oka

Page 4: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?
Page 5: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

FOMU YA UTAFITI SHULENI NAMBA 1

Wilaya

Tarafa

Kata

Jina la Kijiji/EA

S600. Ushiriki wa wazazi shuleni kwa maendeleo ya mtoto (Weka idadi)S601. Ni wazazi wangapi walikuja kuzungumza na wewe kuhusu maendeleo ya

taaluma ya watoto wao mwezi uliopita?

S400. Walimu wa shule za msingi

Idadi ya walimu, mahudhurio na sifa za kitaaluma

jumla Me Ke

S401. Jumla ya walimu wote

S402. Jumla ya walimu waliokuwepo siku ya utafi ti.

S403. Idadi ya walimu walio kwenye orodha ya walipwaji

S404. Idadi ya walimu wasio kwenye orodha ya walipwaji

S405. Walimu walioajiriwa na wazazi. Wafadhili, wahisani

S406. Idadi ya walimu wanaojitolea

S407. Idadi ya walimu wenye mafunzo maalum ya kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum

S408. Idadi ya walimu wasio na mafunzo ya Ualimu

S409. Idadi ya walimu walioko Masomoni

S410. Idadi ya wafanyakazi wasio walimu

S411. Shule inapaswa kuwa na walimu wangapi kukidhi mahitaji?

S412. Kuna walimu wangapi waliofuzu ualimu katika viwango hivi?

Shahada Stashahada Daraja IIIA Daraja B/C Nyingine, Taja

MAELEKEZO:� FOMU HII INA KURASA MBILI, ZIJAZWE ZOTE

� Tembelea shule moja ya umma yenye darasa la 1-7.

� Kama haipo kwenye eneo hili chagua shule wanakosoma watoto wengi kutoka eneo hili.

� Muone Mwalimu mkuu, kama hayupo muone mwalimu mkuu msaidizi/kaimu, mweleze malengo ya ziara yako na muombe nyaraka zinazohitajika na kufanya naye mahojiano.

� Kama katika sehemu yoyote ile kwenye fomu hii kuna swali linahitaji jibu la idadi au namba na jibu hilo hakuna usiache wazi andika “0”.

Cheo cha mtu anayejibu maswali

Muda wa kuwasili

ZINGATIA:

Uliza maswali

kwa Mwalimu Mkuu, M/ Mkuu msaidizi au

Mwalimu anayekaimu.

2015

S100 Taarifa za shule S200. Uandikishaji wa Watoto 2015 (Andika Idadi)

S101. Aina ya shule (weka alama √ panapohusika)

Kutwa mcha

Kutwa Was

Kutwa Wav

Wasichana kulala

Wavulana kulala

Kulala mchanganyiko Kulala Elimu maalum

S102. Idadi ya mikondo

awali

msingi

1

2

3

4

5

6

7

Darasa Mkondo Awali Drs.1 Drs.2 Drs.3 Drs.4 Drs.5 Drs.6 Drs.7

S201. Uandikishaji wa watoto (chukua kwenye daftari la mahudhurio)

AWavWas

BWavWas

CWavWas

DWavWas

EWavWas

FWavWas

S300. Watoto wenye ulemavuDarasa Awali 1 2 3 4 5 6 7

i. WasioonaWavWas

ii. ViziwiWavWas

iii. ViungoWavWas

iv. AlbinismWavWas

v. Ulemavu wa akili

WavWas

vi. BubuWavWas

vi. Ulemavu zaidi ya mmoja

WavWas

NENDA KWENYE OFISI YA Mwl. MKUUHatua 1

Jina la shule Namba ya usajili

S.L.P

Na. Simu ya Shule:

Jina la Mkuu wa shule

Weka alama ya √ panapohusika

Jinsi

Me Ke

Na. Simu ya anayejibu:

Unaruhusu kutumia namba yako?

Ndiyo Hapana

Majina ya wahojaji 1. 2.

Tarehe:

S700. Kamati ya Shule na Ukaguzi

S701 Kamati ya shule imefanya mikutano mingapi mwaka 2015?

S702 Je wajumbe wa kamati wamewahi kuhudhuria mafunzo ya kujengewa Uwezo?

Ndiyo Hapana

S703 Je, kwa mwaka huu shule yako imefanyiwa ukaguzi na wakaguzi wa Elimu?

Ndiyo Hapana

S500. Afya, maji na huduma nyingine ( Weka alama ya (√) jibu sahihi)

S501 Kuna kadi za afya za wanafunzi? (Kama hakuna ruka hadi S503) Ndiyo HapanaS502 Huwa zina jazwa? Ndiyo HapanaS503 Kuna maji safi na salama ya kunywa? Ndiyo HapanaS504 Nini chanzo cha maji hapa shuleni? Kisima Mvua Maji ya Bomba Mto/ Ziwa Chemchem

S505 Je kuna chombo maalum kwa ajili ya kunawia mikono kwa sabuni? Ndiyo Hapana

S506 Inachukua muda gani kutembea mpaka kwenye chanzo cha maji? Saa Dakika

S507 Je wanafunzi wote wanapatiwa chakula cha mchana shuleni? Ndiyo Hapana

S508 Kuna chumba maalumu cha kujihifadhia kwa wasichana wakihitaji kujisitiri kwa siri wakati wa siku zao?

Ndiyo Hapana

S509 Hapa shuleni kuna waraka Na. 11 wa mwaka 2012 unaohusu kuanzisha huduma za Malezi na Ushauri nasaha kwa wanafunzi shuleni? (Kama hakuna ruka hadi S601)

Ndiyo Hapana

S510 Kama ndio, je Kuna walimu wanaotoa huduma ya ushauri na unasihi? Ndiyo Hapana

S511 Kama wapo, je wa kike ni wangapi na wakiume ni wangapi? KE ME

Alama ya EA:

Page 6: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

S1301 mahudhurio ya watoto.

(Kama mikondo imechanganyika kwenye chumba kimoja, wahesabu watoto wote kwa ujumla ila kama madarasa tofauti yamechanganywa, hesabu kila darasa tofauti).

Mkondo Jinsi Awali DRS.1 DRS.2 DRS.3 DRS.4 DRS.5 DRS.6 DRS.7

A Wav

Was

B Wav

Was

C Wav

Was

D Wav

Was

E Wav

Was

Watoto wenye ulemavu

Wav

Was

S1302

Mwalimu alikuwepo darasani? (weka alama ya Vema)

A

B

C

D

E

S1300. CHUNGUZA WALIMU WALIOPO NA WAHESABU WATOTO WALIOPO DARASANI DAKIKA 15 BAADA YA KIPINDI KUANZA

S1400. CHUNGUZA ENEO/MAZINGIRA YA SHULE

Hatua 3

Hatua 4

� Chunguza Mwenyewe na rekodi majibu sehemu S1000.

Sehemu 1100 na 1200 aulizwe mwalimu anayefundisha darasa la pili siku zote. Kama hayupo ruka sehemu 1200 na endelea sehemu 1300

INGIA MKONDO MMOJA WA DARASA LA PILIHatua 2

FOMU YA UTAFITI SHULENI NAMBA 2 2015

Muda wa kuondoka

S1100. Vifaa vya Kujifunzia na Kufundishia.

S1101 Una vitabu vya kiada vingapi vya masomo yafuatayo? (Andika Idadi)

Vitabu vya Kiswahili

Vitabu vya Kiingereza

Vitabu vya Hisabati

S1102 Kuna vifaa vya kufundishia wanafunzi wasioona? (Braille)

Ndio Hapana Hakuna wanafunzi wasioona

S1000. Uchunguzi darasani (darasa la pili) Weka alama ya “P” penye jibu muafaka

S1001 Mkondo (Weka “P”) A B C D E F Jinsi ya mwalimu wa darasa la Pili Me Ke

S1002 Idadi ya walimu Wanaume Wanawake

S1003 Idadi ya wanafunzi darasani Wakiume Wakike

Ndiyo Hapana

S1004 Kuna wanafunzi wanaokaa sakafuni?S1005 Kuna ubao wa kuandikia unaotumika?

S1006 Ratiba ya vipindi darasani imewekwa ukutani ndani ya darasa? (Kama Hapana ruka hadi S1008)

S1007 Je, ratiba hiyo inafuatwa na somo hili linaloendelea?

S1008 Kuna chati au vifaa vya ziada vya kujifunzia vilivyowekwa wazi darasani?

S1200 Sehemu hii muulize Mwalimu wa darasa la pili (kama hayupo acha)

S1201 Ni wazazi wangapi walikuja kuzungumza nawe kuhusu maendeleo ya watoto wao kitaaluma katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita? (Kama hakuna andika “0”)

Idadi

S1202

(Muoneshe mwalimu majaribio ya Uwezo ya Kiswahili kisha muulize)Ni asilimia ngapi ya wanafunzi wa darasa la pili wanaweza kusoma kwa ufasaha hadith ya Uwezo ya Kiswahili ya darasa la pili?

Asilimia

Miundombinu

Weka alama ya “P” kwenye jibu lako Ndiyo Hapana

S1401 Shule ina umeme?

S1402 Kuna jengo/eneo la utawala?

S1403 Kuna viwanja vya michezo kwa watoto shuleni?

S1404 Eneo la shule lina uzio?

S1405 Shule ina chumba maalum cha unasihi? (chunguza)

Taja idadi Wav Was Hakuna

S1406 Idadi ya Matundu ya vyoo vinavyotumika shuleni

S1407 Idadi ya vyoo vinavyotumika kwa ajili ya walimu ME KE WOTE

S1408 Idadi ya vyoo maalumu kwa ajili ya walemavu ME KE WOTE

S1409 Idadi ya vyumba vya madarasa yanayotumika

Page 7: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

Mtu anayejibu maswali Baba Mama Mlezi Jina:Mwaka wa kuzaliwa Namba ya simu:Ruhusa kutumia namba hii Ndiyo HapanaKama hana simu, ni namba ipi inaweza kutumika?

Wilaya

Kata

Kijiji/Mtaa

Jina la EA

Jina la Mkuu wa Kaya (lililopo kwenye orodha)

Jinsi Mwanaume Mwanamke

Mwaka wa kuzaliwa

Kiwango cha elimu Chuo kikuu Stashahada Ufundi Sek. Msingi Hakusoma

Namba ya simu: Hana simu

Wahojaji 1. 2.

Jina la shule uliyotafi ti

Na. ya usajili. (Nakili kutoka fomu ya shule)

Na.kaya

Hakikisha una orodha ya kaya (HH) inayoonesha kaya 20 zilizochaguliwa� Fomu hii ina kurasa 2. Hakikisha unazijaza zote.� Wapime watoto wote wenye miaka 7 hadi 16 kusoma Kiingereza,

Kiswahili, HIsabati na wape Swali la ziada la kubaini picha.� Wapime MUAC watoto wote wa miezi sita hadi miaka 14.� Pima madini joto katika chumvi kwenye kila kaya� Tafadhali uliza taarifa za mama moja kwa moja kwa wazazi. Kama

hawapo, uliza mtu mzima aliyepo.� Andika taarifa zote katika Fomu hii ya Kaya. � Angalia mwongozo wa wahojaji kwa maelezo ya kina.

FOMU YA TAARIFA YA KAYA NAMBA 1

Muda wa kuwasili

Tarehe ya kuwasili

H100. Idadi ya wana kaya wanaokula chungu kimoja siku zote?

H101. Nyumba yako ina kuta za aina gani? H102. Aina ya nishati ya Mwanga unaotumia siku zote hapa nyumbani (Weka √ panapohusika)

H103. Je, nyumba ina choo?

H104. Kwa wastani ni milo mingapi familia inapata kwa siku (Weka “P” panapohusika)

H105. Je, unakula vifuatavyo pamoja na chakula cha mchana au cha jioni mara kwa mara?

H106. Je huwa mnakula kwenye chombo kimoja (Sahani/bakuli) na watoto wadogo?

Wanaume Wanawake Jumla 1.Tope/miti 2.Nailoni/Turubai

3.Mabati 4.Mbao 5.Mawe/tofali saruji 1.Umeme 2.Sola 3.Gesi 4.Mafuta ya taa

5.

Nyingine

1.Ndiyo 2.Hapana 1 2 3 au zaidi 1.Matunda 2.Mboga mboga

3.Maziwa/nyama

4.Mikunde 1.Ndio 2.Hapana

H107. Ni vingapi kati ya vitu hivi unamiliki katika kaya? (Kama hakuna usiache wazi andika “0”) H108. Je unapendelea kupata habari kwenye vyombo gani vya habari? (Weka “P” panapohusika)

H109. Chanzo cha mapato ya mkuu wa kaya ni nini?

1.TV 2.Radio 3.Simu ya mkononi

4.Kompyuta 5.Gari 6.Baiskeli 7.Pikipiki 8.Mkokoteni 9.Ng’ombe 10.Mbuzi/kondoo

11.Punda 12.Ngamia 1.Magazeti 2.Radio 3.TV 4.Mitandao ya kijamii

1.Mshahara(ofi sini)

2.Natumiwa pesa na watu wengine

3.Biashara/ Ujasiriamali

4.Kilimo/

ufugaji

5.Ujira (kazi za vibarua)

6.Kazi za nyumbani

7.Malipo ya Pensheni

8.Sina

H110 Nini Chanzo cha maji mnayotumia?

1.Maji ya mvua 2.Mto / Ziwa 3.Kisima 4.Bomba 5.Chemchemi

H111 Nini kinafanyika ili kusafi sha maji yawe salama?

1.Kuweka dawa 2.Kuchuja 3.Kuchemsha 4.Hakuna H112. Ipi ni Lugha Kuu inayoongelewa hapo nyumbani?

1.Kiswahili 2.Kiingereza 3.Lugha ya asili

H200. Jukumu la Mzazi: Sehemu hii ahojiwe Mzazi/Mlezi (Weka alama ya “P” panapohusika)

H201 Je ulisoma na mwanao kitabu chochote wiki iliyopita? (Ikiwa hana mtoto mwenye umri wa kuweza kusoma, endelea swali Na. 206) Ndio Hapana Hana mtoto

H 202 Je, umewahi kujadili na mwalimu maendeleo ya mtoto wako muhula uliopita? Ndio Hapana Hana mtoto

H 203 Je, unakagua daftari za mwanao angalau mara moja kwa wiki? Ndio Hapana Hana mtoto

H204 Je, umewahi kualikwa kuhudhuria mkutano wa wazazi shuleni mwaka huu? (Kama Hapana ruka hadi H206) Ndio Hapana

H205 Kama ndiyo, Je ulihudhuria? Ndio Hapana

H206 Kuacha mkutano wa wazazi shuleni, Je uliwahi kuhudhuria mkutano mwingine wowote mwaka huu kujadili masuala ya Elimu? Kama ni Hapana -->H208 Ndio Hapana

H207 Katika mkutano huo mlijadili mambo gani? (chagua jibu na weka alama ya “P” panapofaa)

A: Ujifunzaji wa watoto/tuisheni

B: Ujenzi majengo ya shule

C: Nidhamu D: Masuala ya afya kwa watoto

E: Sijui Yote A - D

H208 Unafikiri mbunge katika jimbo lako ana jukumu la kuchangia katika kuboresha matokeo ya elimu katika eneo lako?

Ndiyo Hapana Sijui

2015Alama ya EA:

H300 Kupima chumvi

H301 Chumvi imebadilika rangi na kuwa ya zambarau au bluu? Ndiyo Hapana

Page 8: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

FOMU YA TAARIFA YA KAYA NAMBA 2 2015

Muda wa kuondoka

H1900. Mrejesho wa papo kwa papo (Mpe mzazi mrejesho kuhusu uwezo wa mwanawe) katika kusoma na kufanya hisabati

H1901. Mrejesho wa matokeo ya kusoma na kufanya hisabati ulitolewa?

Ndiyo Hapana H1902 Mrejesho kuhusu matokeo ya MUAC na madini chumvi ulitolewa?

Ndio Hapana

H1903. Umempatia Mzazi/Mlezi Machapisho ya UWEZO na kumuelezea matumizi yake? (kalenda, kijitabu cha hadithi n.k.? Ndio Hapana

H500. Wasifu wa mtoto

Orodhesha watoto wote wa miezi 6 - miaka 16 wanaoishi kaya hii.

1. Pima MUAC watoto wa miezi 6- miaka 14.2. Pima watoto wa miaka 7- 16 katika kusoma

na kufanya hisabati. M

uuliz

e M

zazi

/mle

zi s

ehe

mu

hii.

H60

0. T

aa

rifa

za

ma

ma

(Ja

za k

wa

kila

m

toto

NB:

ka

ma

am

efa

riki w

eka

D n

a

end

ele

a

H70

0. E

limu

ya a

wa

li H800. Elimu ya Msingi na Sekondari: Kama yuko Msingi: Onesha Darasa kwa kutumia: D1, D2, D3, D4, D5, D6, na D7, Kama Sekondari: (Kidato): Andika: K1, K2, K3, K4Shule ya Serikali au Binafsi

H90

0. W

ato

to

am

ba

o h

aw

aso

mi

(ha

wa

jaa

nd

ikish

wa

)

H1000. Viwango vya ujuzi wa kujifunza Wapime watoto wote wenye miaka 7 - 16 tu

H18

00. K

upim

a M

UA

C w

ato

to w

a m

iezi

6 h

ad

i mia

ka 1

4 J

e, m

toto

ana

mzi

ngo

wa

MU

AC

wa

se

ntim

eta

ng

ap

i? ?

An

aso

ma

elim

u y

a a

wa

li h

ivi s

asa

?

Ha

jaw

ah

i ku

som

a e

limu

ya

aw

ali?

Alis

om

a c

he

kec

he

a/a

wa

li a

wa

li ka

bla

ya

ku

an

za d

ara

sa

la k

wa

nza

?

H80

1. D

ara

sa la

ng

ap

i?

H80

2. A

ina

ya

sh

ule

H80

3. A

lima

liza

elim

u y

a m

sing

i H80

4. J

e, m

toto

h

uh

ud

hu

ria m

aso

mo

b

ina

fsi y

a k

ulip

ia/t

wish

en

i

H80

5. J

e, m

toto

a

na

som

a s

hu

le

iliyo

tem

be

lew

a

Ha

kuw

ah

i ku

an

dik

ishw

a

Alia

ch

a s

hu

le d

ara

sa la

n

ga

pi?

Seti

ya ja

ribio

iliy

otu

mik

a k

um

pim

a m

toto

1,2

,3,4

)

H11

00 K

uso

ma

K

isw

ahi

li(w

eka

ala

ma

ya

Ve

ma

ng

azi

a

liyo

fi kia

H12

00

Ufa

ha

mu

, kw

a w

ale

w

an

ao

som

a

ha

dith

i

H13

00 K

uso

ma

K

iing

ere

za(w

eka

ala

ma

ya

Ve

ma

ng

azi

a

liyo

fi kia

H14

00

Ufa

ha

mu

, kw

a w

ale

w

an

ao

som

a

ha

dith

i

H15

00 H

isa

ba

ti(w

eka

ala

ma

ya

V

em

a n

ga

zi y

a

juu

aliy

ofi k

ia)

H16

00

He

sab

u

katik

a

ma

isha

H17

00 S

wa

li la

zia

da

Je

, Mto

to

am

ew

eza

ku

tam

bu

a

kazi

sa

hih

i ku

ling

an

a n

a

pic

ha

?

H60

1. U

mri

wa

ma

ma

H60

2.

Kiw

an

go

c

ha

elim

u

ya m

am

a S1 S2 S1 S2 H1 H2 P1 P2 P3

Ha

we

zi k

ab

isa

He

rufi

Ma

ne

no

Aya

Ha

dith

i

An

aw

eza

Ha

we

zi

An

aw

eza

Ha

we

zi

Ha

we

zi k

ab

isa

He

rufi /

sila

bi

Ma

ne

no

Aya

Ha

dith

i

An

aw

eza

Ha

we

zi

An

aw

eza

Ha

we

zi

Ha

we

zi k

ab

isa

Kuh

esa

bu

ida

di

Kuta

mb

ua

na

10 -

99

Na

mb

a ip

i ku

bw

a

Kuju

mlis

ha

bila

ku

ch

uku

a

Kuju

mlis

ha

kw

a k

uc

hu

kua

Kuto

a b

ila k

uc

hu

kua

Kuto

a k

wa

ku

ch

uku

a

Kuzi

dish

a

An

aw

eza

Ha

we

zi

An

aw

eza

Ha

we

zi

An

aw

eza

Ha

we

zi

An

aw

eza

Ha

we

zi

An

aw

eza

Ha

we

zi

Shu

le y

a S

erik

ali

Shu

le y

a b

ina

fsi

Ha

jaso

ma

Msin

gi

Seko

nd

ari

Ch

eti

Ch

uo

Kik

uu

Alia

ch

a s

hu

le

Da

rasa

Nd

iyo

Ha

pa

na

Nd

iyo

Ha

pa

na

S/N

Jina la mtoto(watoto wa miezi 6 - miaka 16 wanaoishi kaya hii. Umri wa

miezi 6 -11 andika chini ya 12 yani 6/12, 7/12, 8/12 nk; umri wa miaka andika

1,2,3 nk)

H50

1. U

mri

wa

mto

to

H50

2. J

insia

ya

mto

to

Sen

time

ta

1.

2.

3.

4.

5.6.7.

8.9.

10.

11.

12.

13.

14.15.

JUMLA

Page 9: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

Jina la shule iliyotembelewa

FOMU YA TAARIFA YA JUMLA YA EA 2015

Jina la mkuu wa kaya na Nth namba ya kaya yake kutoka orodha kuu ya kaya zote za kijiji/EAData muhimu za kukagua kwa kila kaya

Jina la mkuu wa kaya Nth namba ya kaya Kagua kama Umri wa Mzazi umejazwa kwa usahihi na uweke “P”Baada ya kukamilisha Ukaguzi. Kama kuna makosa muulize Volunteer aeleze

Andika kundi la Umri wa Watoto waliotathminiwa kusoma na kufanya hisabati kwa kila kaya Miaka 7-16 ( mf. 7-12) (Kama umri umezidi miaka 16 ni makosa)

Weka (P) kaya zisizo na watoto

1.

2.

3.

4.

5.

6.

7.

8.

9.

10.

11.

12.

13.

14.

15.

16.

17.

18.

19.

20.

Jumla

Jina la mhojaji Jinsi1.

2.

Tarehe

Ijazwe na Mratibu na Mkusanya Data wa Kujitolea wakati wa kukabidhi dodoso

MkoaWilayaKataKijiji/Mtaa/EAAlama ya EA

Page 10: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?
Page 11: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?
Page 12: Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako! Uwezo ... · Idadi ya shule za sekondari V405. Idadi ya shule za ufundi V406. Kuna kamati ya elimu na huduma za jamii za mtaa/kijiji?

Uwezo Tanzania127 Mafi nga Road |off Kinondoni Road | P.O. Box 38342 | Dar es Salaam | Tanzania

T: +255 712 333332 | +255 22 266 4301/2/3 | E: [email protected] | Web: www.twaweza.org

Elimu Bora Tanzania inawezekana, Timiza wajibu wako!