26
ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE KARIBU! Umemwandikisha mtoto wako katika moja ya masomo ya DSF-S. Kwa kuamua hivyo, umehakiki- shia mtoto wako maendeleo mema katika jamii ya wa Akadiani, nawazungumzaji wa lugha ya kifaransa ya Nouveau-Brunswick, na zaidi ya ufahamu wake wa lugha zote mbili rasmi nchini Kanada. Kwa kuhuzuria(kufwata) shule kwa lugha ya Kifaransa, mtoto wako upata elimu bora na utamaduni kwa kifaransa, ndani na inje ya masomo. Mwongozo huu ni kutoa taarifa kuhusu shule za lugha ya Kifaransa na kutoa mashauri mbalimbali ambayo, tunatumaini, itasaidia ushirikiano wako katika jamii yako mpya. Usomi njema. - Wafanya kazi wa District scolaire francophone Sud NENO LA MKURUGENZI MKUU WA DISTRICT SCOLAIRE FRANCOPHONE SUD Katika District scolaire francophone Sud, tunao furaha kuwapa na kuwa fundisha wanafunzi wetu mazingira yawazi yenye nia na heshima ya utafauti. Sisi tunaamini kwamba utapata nafasi yako katika shule ya DSF-S, na wewe utashiriki vema katika elimu ya mtoto wako. Ahadi yako ni muhimu kwa mafanikio yake. Sisi pia tunawakaribisha kushiriki katika maisha ya shule kwa kutoa muda wako; kwa kufanya hivyo, unaweza kuungana na familia nyingine na hivyo utazoea bora mazingira yako mapya. Nina uhakika, mutaona kwamba Akadiani ni wafurahivu sana na mutakuwa na hamu ya kushirikiyana nawo kwa mwenendo wao nzuri ya kukaribisha jamii. Karibu katika District scolaire francophone Sud ! Mkurugenzi Mkuu – Monique Boudreau NENO LA MKURUGENZI MKUU WA KITUO CHA MAPOKEZI NA KUSIN- DIKIZA WAHAMIAJI WAZUNGUMZA (AU WASEMA) KIFARANSA KUSINI MASHARIKI MWA NOUVEAU-BRUNSWICK. Hamujambo wazazi, Kituo cha mapokezi na KUSINDIKIZA wahamiaji wazungumza kifaransa kusini mashariki mwa Nouveau-Bruns- wick (CAFI) ina furahi kuwapa mfuko Karibuni shuleni ! Tunawakaribisha kwa kutumia mfuko huu ili kuwasaidia kuelewa zaidi mfumo wa shule ya Kanada ambayo mtoto wako anaingia ndani. Tunawasihi kusoma mfuko huu wote marakwamara ikiwezekanavyo. CAFI ni shirika isiyo na faida, ambao lengo ni kuhakikisha muungano kamili wa wahamiaji wasema Kifaransa katika kusini mashariki mwa Nouveau-Brunswick. Tupo tayari kuwasikia, kama muko na ma hulizo, na kuwasindikiza kwa makao yenu mapya ndani ya kusini mashariki mwa Nouveau-Brunswick. Usomi njema. - Wafanya kazi wa CAFI. Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

  • Upload
    others

  • View
    15

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE

KARIBU! Umemwandikisha mtoto wako katika moja ya masomo ya DSF-S. Kwa kuamua hivyo, umehakiki-shia mtoto wako maendeleo mema katika jamii ya wa Akadiani, nawazungumzaji wa lugha ya kifaransa ya Nouveau-Brunswick, na zaidi ya ufahamu wake wa lugha zote mbili rasmi nchini Kanada.

Kwa kuhuzuria(kufwata) shule kwa lugha ya Kifaransa, mtoto wako upata elimu bora na utamaduni kwa kifaransa, ndani na inje ya masomo.

Mwongozo huu ni kutoa taarifa kuhusu shule za lugha ya Kifaransa na kutoa mashauri mbalimbali ambayo, tunatumaini, itasaidia ushirikiano wako katika jamii yako mpya. Usomi njema.

- Wafanya kazi wa District scolaire francophone Sud

NENO LA MKURUGENZI MKUU WA DISTRICT SCOLAIRE FRANCOPHONE SUD Katika District scolaire francophone Sud, tunao furaha kuwapa na kuwa fundisha wanafunzi wetu mazingira yawazi yenye nia na heshima ya utafauti. Sisi tunaamini kwamba utapata nafasi yako katika shule ya DSF-S, na wewe utashiriki vema katika elimu ya mtoto wako. Ahadi yako ni muhimu kwa mafanikio yake. Sisi pia tunawakaribisha kushiriki katika maisha ya shule kwa kutoa muda wako; kwa kufanya hivyo, unaweza kuungana na familia nyingine na hivyo utazoea bora mazingira yako mapya. Nina uhakika, mutaona kwamba Akadiani ni wafurahivu sana na mutakuwa na hamu ya kushirikiyana nawo kwa mwenendo wao nzuri ya kukaribisha jamii.

Karibu katika District scolaire francophone Sud !

Mkurugenzi Mkuu – Monique Boudreau

NENO LA MKURUGENZI MKUU WA KITUO CHA MAPOKEZI NA KUSIN-DIKIZA WAHAMIAJI WAZUNGUMZA (AU WASEMA) KIFARANSA KUSINI MASHARIKI MWA NOUVEAU-BRUNSWICK. Hamujambo wazazi,

Kituo cha mapokezi na KUSINDIKIZA wahamiaji wazungumza kifaransa kusini mashariki mwa Nouveau-Bruns-wick (CAFI) ina furahi kuwapa mfuko Karibuni shuleni ! Tunawakaribisha kwa kutumia mfuko huu ili kuwasaidia kuelewa zaidi mfumo wa shule ya Kanada ambayo mtoto wako anaingia ndani. Tunawasihi kusoma mfuko huu wote marakwamara ikiwezekanavyo. CAFI ni shirika isiyo na faida, ambao lengo ni kuhakikisha muungano kamili wa wahamiaji wasema Kifaransa katika kusini mashariki mwa Nouveau-Brunswick. Tupo tayari kuwasikia, kama muko na ma hulizo, na kuwasindikiza kwa makao yenu mapya ndani ya kusini mashariki mwa Nouveau-Brunswick.

Usomi njema.

- Wafanya kazi wa CAFI.

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

1 - Swahili - L’education en français 8.5''x8'' 2018.indd 1 2/6/18 2:40 PM

Page 2: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

1 - Swahili - L’education en français 8.5''x8'' 2018.indd 2 2/6/18 2:40 PM

Page 3: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

JUKUMU LA DISTRICT SCOLAIRE FRANCOPHONE SUD Kila Wilaya ya shule ina Baraza ya Elimu la Wilaya (CED) inayo usika na:

• Kuweka mwelekeo na vipaumbele(priorités) vya wilaya ya shule.

• kuamua jinsi ya matumikizi ya utawala ya wilaya ya shule zinazo usika.

Baraza ya Elimu la Wilaya (CED) inajumuika na watu walio chaguliwa.

Shule inasaidiwa katika kazi zake na Baraza ya wazazi (CPAÉ). Kamati ya wazazi inaweza pia kufanyika kwa kusaidia mipango ya shule.

KALENDA YA SHULEWanafunzi wanasoma tangu mwezi wa tisa (Septemba) mpaka mwezi wa sita (Juni), na mwaka wa masomo ina siku 195. Kalenda ya mwakaujao wa shule utolewa kwa wazazi mwezi wa sita (juni) ya kila mwaka. Inaonyesha tarehe za mwanzo na mwisho wa masomo. Shule zina fungwa siku zifuatayo:

• Siku ya mapumuziko (konje)/ Mapumuziko ya Noheli/ Mapumuziko ya mwezi wa tatu;

• Siku ya mkutano ya wazazi na walimu na na mazoea ya walimu;

• Siku ya matayarisho/ ya mkutano/AEFNB (Chama cha walimu wasema kifaransa wa Nouveau-Brunswick).

ELIMU KATIKA NOUVEAU-BRUNSWICK

2 - Swahili - L'Éducation au Nouveau-Brunswick 8.5''x8.75'' 2018.indd 1 2/6/18 3:41 PM

Page 4: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

ELIMU KATIKA NOUVEAU-BRUNSWICK

Nchini Canada, elimu ni wajibu chini ya utawala wa jimbo. Katika jimbo la Nouveau-Brunswick, Wizara ya Elimu na Maendeleo ya utotoni (MÉDPE) ni jukumu lautoaji wa programu ya masomo. Kwa kuona kama jimbo hii ni ya pekee inchini Kanada, ambao utumia lugha mbili rasmi, Wizara imegawanywa katika sekta ya lugha mbili sambamba, lakini tofauti: sekta ya Kifaransa na sekta ya Kiingereza. Elimu ni lazima kwa vijana tangu umri wa miaka mitano (desemba 31) mpaka miaka 18 au mpaka kumaliza shule ya sekondari (mbele ya miaka 21).

Shule zimegawa katika ngazi mbili:

• Ya msingi: tangu shule ya awali (kipushi) mpaka darasa la 8

• Ya sekondari: tangu darasa la 9 mpaka darasa la 12.

DISTRICT SCOLAIRE FRANCOPHONE SUD District scolaire francophone Sud ni mojawapo ya wilaya tatu za shule katika mkoa huu.

Kama ilivyoonyeshwa katika ramani iliyo hapa chini, eneo la wilaya linajumuisha sehemu ya kusini mwa mkoa.

TASWIRA (RAMANI) YA WILAYA ZA KIFARANSA ZA N.-B.

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

DISTRICT SCOLAIRE FRANCOPHONE SUD

DISTRICT SCOLAIRE FRANCOPHONE NORD-EST

DISTRICTSCOLAIRE

FRANCOPHONEDU NORD-OUEST

District scolaire francophone Sud inajumuisha miji na vijiji 21.

2 - Swahili - L'Éducation au Nouveau-Brunswick 8.5''x8.75'' 2018.indd 2 2/6/18 3:41 PM

Page 5: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

KUJIANDIKISHA SHULENI (MASOMONI)

Mzazi au mlezi ndiye anaohusika na kuandikisha watoto shuleni. Kanda moja moja zina mashirika, kama CAIIMM, zinazoweza kukusaidia katika kazi hii 1. Kama unataka kuandikisha mtoto wako katika shule lingine, mbali na eneo lako, lazima kupata kibali ( au ruhusa ) kutoka kwa wilaya ya shule. Kama maombi yako inakubaliwa, utahusika mwenyewe kwa kusafirisha mtoto wako shuleni hii. Kwa kuandikisha mtoto wako shuleni, utaalikwa kukutana na mkuu wa shule2. Katika District scolaire francophone Sud, usajili wa shule wnaweza kufanywa mtandaoni kwenye francophonesud.nbed.nb.ca au kibinafsi katika shule ya mtaani mwako. Katika hali yoyote ile, ni sharti utembelee shule baada ya usajili kukamilika. Hakikisha una hati zifuatazo wakati wa ziara: • Ushahidi wa chanjo ya mtoto (kadi ya afya);

• Nakala (kopi au fotokopi) ya waraka rasmi inayoeleza stati ya mtoto na ikionyesha tarehe ya kuzaliwa kwake;

• Nakala (kopi au fotokopi) za hati yoyote ya muhimu kwa mwanafunzi (ripoti ya kadi au kartasi ya alama ya masomo, pasipoti, cheti cha kuzaliwa, nk).

MAELEZO ZAIDIUnaweza kutazama site internet ya District scolaire francophone Sud kutoa taarifa za mawasiliano kwa ajili ya shule. Anuani ni: francophonesud.nbed.nb.ca

KUTEMBELEA SHULEKwa Kuelewa hali halisi ya mtoto wako, shule uandaa ziara (kutembelea) ya siku chache kabla ya kuanza shule katika darasa. Ziara hii ya kuongozwa shuleni ina fanyika na wewe, mtoto wako, mkuu wa shule na familia zingine mpya ziliofika. Niwakati wenu wa kuuliza maswali mbalimbali na kujua wafanyakazi wa shule.

1 kwa kujua kituo au shirika ya mapokezi ya wahimiaji ya eneo lako, tazama oroda ya mashirika ku NYONGEZO « ANNEXE » ya muongozo huu.2 Inawezekana kama swali fulanifulani zinaweza pata jibu kwa Mkurugenzi Mkuu ya District scolaire francophone Sud.

3 - Swahili - L’inscription à l’école 8.5''x9 2018.indd 1 2/6/18 2:40 PM

Page 6: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

KUJIANDIKISHA SHULENI (MASOMONI)

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

MCHANGO WA SHULEKufidia gharama za shughuli mbalimbali za utamaduni na elimu kwa mwaka mzima, ada fulani inapaswa kulipwa mwanzoni mwa mwaka wa masomo. Ada hii inaweza kutofautiana kutoka $30.00 hadi $50.00 kwa kila mtoto kulingana na shughuli za shule. Ikiwa fedha hazipatikani, tafadhali wasiliana na uongozi wa shule yako.

UPANGAJI WA DARASA SHULENISiku chache kiisha kumwandikisha mtoto shuleni, mtoto huyu upimwa au uchunguzwa katika masomo moja moja. Mapimo haya yana lengo ya kuamua vema darasa (somo) gani mtoto wako anastahili kusoma ndani. Shule ufanya iwezekanavyo kwa kuweka mtoto wako kwa somo lake kamili; na kuongea na mzazi na mtoto, ili kuhakikisha ushirikiano bora kwa mwanafunzi. Ni muhimu, kwa kiasi iwezekanavyo, kuleta kartasi ya alama ya masomo yashule ya zamani ya mtoto wako, hili shule ipate kuelewa maendeleo ya kielimu ya mtoto wako.

3 - Swahili - L’inscription à l’école 8.5''x9 2018.indd 2 2/6/18 2:40 PM

Page 7: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

PROGRAMU YA SHULE

ELIMU YA MSINGIKatika ngazi ya msingi, shule ya msingi inajumuisha na masomo upashwa kutolewa kwa wanafunzi kwa kukutana na mahitaji ya Wizara ya Elimu na ya Maendeleo ya utotoni ya N.-B. Elimu hizi za masomo ni: kifaransa, sayansi ya kibinaadamu, elimu sanaa (ni pamoja na sanaa macho na muziki), elimu ya binafsi na ya kijamii na elimu ya kimwili, hesabu, sayansi na teknolojia, na ESL au lugha ya kingereza kama lugha ya pili. Kama una maswali (maulizo) kuhusu mitaala au programu ya masomo, tazama site Internet ya Wizara ya Elimu na Maendeleo ya awali utotoni katika: www.gnb.ca/0000 au wasiliana(ongea) na shule ya mtoto wako.

4 - Swahili - Fonctionnement scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 1 2/6/18 2:40 PM

Page 8: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

PROGRAMU YA SHULE

ELIMU YA SEKONDARI Shule ya sekondari ina jumla ya mikopo ya 30, tangu darasa la 10 mpaka darasa la 12, isipokuwa tu ni darasa la 9 lilipo mwaka wampito kati ya elimu ya msingi na sekondari. Kila somo ya masaa 93.5 mfululizo, tangu darasa la 10 mpaka darasa la 12, ni sawa kipindi cha mkopo moja ya kufundisha.

Mafunzo nyingi zinazotolewa kwa semestri moja ( masaa 93.5 = mkopo 1), zingine katika mwaka wa shule (masaa 187= mikopo 2).

Kupita bila shaka, mtoto wako lazima apate 55%.

Kwa kumaliza elimu ya sekondari ya jimbo, ni lazima kabisa mwanafunzi kupata mikopo isiyo chini ya 24, ikiwa ni pamoja na 17 kutoka Mafunzo zinazohitajika na serkali, na 7 kutoka Mafunzo mbalimbali ya mahitajizake pekee. Mafunzo zinazo hitajika na serkali ni:

KIFARANSA• Mikopo 5 zinazo hitajika na serkali • Kifaransa 10231 au 10232 (Somo la mwaka= mikopo 2) • Kifaransa 10331* au 10332 (Somo la mwaka=mikopo 2) • Kifaransa 10411 au 10412 (Somo la semestri 1= mkopo 1)

* Mwanafunzi ambaye atapata alama 85% au zaidi kwa mtihani wa jimbo ya kifaransa 10331 anaweza kubadirisha kifaransa 10411 na ingine somo la kifaransa ya mahitaji yake pekee.

LUGHA LA PILI NA LUGHA ZA KIGENI• Mikopo 2 zinazo hitajika na serkali • Kiingereza 21211* au 22211* (Somo la semestri 1= mkopo 1) • Kiingereza 21311 au 22311 (Somo la semestri 1= mkopo 1)

* Mwanafunzi ambaye amefikia ngazi ya juu wakati wa mahojiano (maongezi) ya lugha ya kiingereza 21211 na ya Kiingereza 22211, anaweza kubadirisha kiingereza 21311 au 22311 na Kiingereza au na lugha ya kigeni fulani ya maitaji yake peke.

4 - Swahili - Fonctionnement scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 2 2/6/18 2:40 PM

Page 9: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

Kuanzia mwezi wa Septemba 2012, muundo wa njia mpya wa somo la hisabati unatolewa kwa wanafunzi kuanzia Darasa la 10. Kila mojawapo ya njia zifuatazo zinahusisha maudhui maalum ya math ambayo inakidhi mahitaji na maslahi ya wanafunzi kulingana na malengo ya maisha yao.

NJIA YA A Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu wa jumla wa hisabati unahitajika au ambao wanataka kupata kazi moja kwa moja.

NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu wa kiufundi wa hisabati unahitajika. Njia hii inatoa mtazamo wa kitaratibu zaidi na hulenga kufanya hesabu.

NJIA YA C Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu wa kina wa nadharia za hisabati unahitajika. Wanafunzi watakuwa na fursa ya kukuza ujuzi unaohitajika kuunda dhana jumla na miundo ya hisabati. Njia hii inalenga ufanyaji hesabu, huku lengo maalum likiwa aljebra na jiometri.

10e année 11e année 12e année

Cours annuel(30231A) – 2 crédits

Cours semestriel1er semestre

(30311A)1 crédit

Courssemestriel1er semestre

(30311B)1 crédit

Cours semestriel2e semestre

(30321A)1 crédit

Courssemestriel2e semestre

(30321B)1 crédit

Cours annuel(30331C) – 2 crédits

Cours semestriel

(31411)1 crédit

Courssemestriel

(30411B)1 crédits

Courssemestriel

(31411)1 crédits

Cours semestriel1er semestre

(30411C)1 crédit

Cours semestriel2e semestre

(30421C)1 crédit

Cours semestriel

(31411)1 crédit

9e année

Mise à niveauCours annuel

(30131N)

Parcours A(Njia ya A)

Parcours B(Njia ya B)

Parcours C(Njia ya C)

8e année

Cours annuel(30131)

Cours annuel(30231BC) – 2 crédits

4 - Swahili - Fonctionnement scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 3 2/6/18 2:40 PM

Page 10: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

KULINGANISHA (AU ULINGANIFU WA) MIFUMO MBALIMBALI YA SHULEIli kuelewa zaidi mfumo wa shule ya Kanada, tazama kulinganisha na nchi mbalimbali.

1. Kwa N.-B., mtoto ukubaliwa kwanza masomo ya awali (kipushi) na miaka 5.2. ÉP - Shule baada ya sekondari (yunivasti, chuo kikuu au koleji, au taasisi au shule nyingine za baada ya sekondari).

NCHI

KANADA N.-B.1

(Wilaya ya shule)

MFUMO WA UFARANSA (Akademia)

UJERUMANI

UBELJIJI(Wilaya ya shule)

USWISI(Kanto)

UMRI WA CHINI

6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 ÉP2 ÉP

MSINGI SEKONDARI ÉP

CP CE1 CE2 CM1 CM2 6e 5e 4e 3e 2e 1ère T ÉP ÉP

MSINGI CHUO CHA SHULE LA SEKONDARI ÉP

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 ÉP2 ÉP

MSINGI ( Wakati mwingine SEKONDARI ÉP hadi darasa la 6) (Kuna njia nyingine)

1ère 2e 3e 4e 5e 6e 1ère 2e 3e 4e 5e 6e ÉP ÉP

MSINGI SEKONDARI ÉP

1ère 2e 3e 4e 5e 6e 1ère 2e 3e 1ère 2e 3e ÉP ÉP

MSINGI MPITO SHAHADA YA SHAHADA YA ÉP (AU KIANGO) (AU KIANGO) CHA PILI 1 CHA PILI 2

MTIHANI WA KIMATAIFA WA KUINGIA ELIMU YA JUU Mpango wa Mtihani wa Kimataifa wa Kuingia Elimu ya Juu (IB) ni mpango wa kina wa miaka miwili wa wanafunzi wenye umri wa miaka 16 hadi 19 ambao unatamatishwa kwa mitihani wa mwisho (mtihani wa ndani na wa nje). Mpango wa Mtihani wa Kimataifa wa Kuingia Elimu ya Juu unatoa uendelezaji wa elimu ya kimataifa. Ratiba zake zinahimiza mafanikio ya kitaaluma na ya kibinafsi, kuwachochea wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao na ustawi wao wa kibinafsi. Tofauti na ratiba za elimu ya taifa, mpango wa IB hutumia mbinu bora zilizotolewa kwenye aina mbalimbali ya mifumo na mitaala ya kielimu. Mipango ya IB huwakuza wanafunzi wenye ujuzi wa kimataifa ambao hujifunza kuwaza kupita mazingira yao karibu. Katika District scolaire francophone Sud, mpango wa IB unatolewa katika chuo cha École Mathieu-Martin kilicho Dieppe na chuo cha École Sainte-Anne kilicho Fredericton pekee, lakini wanafunzi kutoka shule nyingine za sekondari katika ya wilaya hii wanakaribishwa.

4 - Swahili - Fonctionnement scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 4 2/6/18 2:40 PM

Page 11: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

SHULENI AU MASOMONI

VIFAA VYA SHULEKila mwaka, katika shule ya msingi, mtapewa orodha ya vifaa vya shule vyenyi mtoto wako atahitaji. Kuhusu shule za sekondari, walimu wanaarifu wanafunzi kuhusu vifaa muhimu, siku ya kwanza ya darasa. Maduka nyingi kubwa zinauuza vifaa hivyo. Ni muhimu kutambua jina la mtoto wako ku vifaa yake ya shule, sababu kama vinapotea, lazima virudishwe kwepesi. Unaweza kutambua vifaa hivyo, ukiandika na kalamu ya wino usiyozimika. Mwanzo wa kila mwaka wa masomo, mtoto wako atapokea vitabu vya shule. Kwa kua vitabu ni mali ya shule, wanafunzi wana vikopesha tu kwa mda wa masomo. Vitabu vinapashwa kurudi mwisho wa mwaka ku shule ya msingi, na mwisho wa somo fulani ku sekondari, bila kuharibika.

KAZI YA WAKATI WA MCHANA SHULENI NA KAZI YA BAADA YA SHULE, NJE YA SHULE.Wafanyakazi wa shule wanapanga kazi mbalimbali (michezo, ukumbi wa michezo, improvisation, nk) ya wakati wa mchana shuleni na ya baada ya shule, nje. Kazi hizi zina saidia mtoto wako kujenga ujuzi wake kwa furaha na kupata rafiki zake na za jamaa. Mtoto wako analazimishwa kueshimu kawaida ya shule yake. Shule inaweza kuomba pesa fulani ya kusaidia ku kazi hizo. Kama uko na magumu ya pesa, ni vema kuongea na wakubwa wa shule ya mtoto wako.

Kwa shule ya msingi, watakuomba kuhakikisha na barua kama una kubali mtoto wako kushiriki ku kazi moja kati ya yote shule inapanga. Kazi hii ikawa wakati wa masomo, shule ita safirisha watoto wanao shiriki. Kama kazi hii ifanyika baada ya ma saa ya shule, wewe mwenyewe uta safirisha mtoto wako.

5 - Swahili - À l'ecole 8.5''x11'' 2018.indd 1 2/6/18 2:41 PM

Page 12: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

NGUO AU MAVAZI KANUNIMtoto wako anapashwa kufika shuleni akivaa nguo inayostahili, ya heshima, safi, kulingana na kanuni ya shule. Kuna wakati, watoto wa natoka nje ya darasa lao asubui, mchana kati na baada ya mchana kati. Kwa faida ya mtoto wako, ni vema avae mavazi inayostahili kwa wakati ule na sawa sawa na hali ya hewa.

• Mavazi ya majira ya baridi:Koti ya baridi, suruhali ya baridi, kofia ya baridi, «gants», kitambaa ya shingo, viatu ya baridi.

• Mavazi ya siku ya mvula:Koti ya kukinga mvua, mwavuli na viatu ya mvua.

• Mavazi ya siku ya jua kali:Nguo nyepesi ya kukinga mianga ya jua, kofia nyepesi na mafuta ya kujipakaa wakati wa jua. Kama mtoto wako hawezi kujipakaa mafuta mwenyewe, ni vema wazazi wam-pagae mbele ya kwenda shuleni.

• Mavazi ya siku ya elimu ya mwili:Mupira, kapitula, suruhali ya mchezo, viatu ya mchezo, na kwa vijana, kiondoa arufu.

Wanafunzi wote wanao nafasi ya kupanga mavazi yao. Wanafunzi wa shule la msingi, ni vema wawe na nguo ya ndani ya kubadirisha ya kuacha shuleni kila siku. Shule zimoja zina kabati ya wanafunzi kupanga nguo zao.

MAZINGIRA BILA ARUFU

Kuna watu hawataki arufu. Kanada haitaki arufu ya nama yote. Kwakufikia kwa lengo hiyo, ni vema kila mtoto awe msafi, hasitumie manukato, na atumikishe kiondoa arufu bila arufu kali.

MASHAURI Nivema kila mzazi kufuata hali ya hewa asubui kwenye redio ya mahali au kwenye tivi«Météomédia», kwa kumuvalisha mtoto wake vema.

Ukawa na Internet, tazama site www.meteomedia.com au www.ec.gc.ca kwa fujua hali ya hewa.

SHULENI AU MASOMONI

5 - Swahili - À l'ecole 8.5''x11'' 2018.indd 2 2/6/18 2:41 PM

Page 13: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

KAZI YA MASOMO NYUMBANI NA MAWASILIHANO KATI YA WAZAZI NASHULE

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

KAZI YA MASOMO NYUMBANIMtoto wako akitoka shuleni, inafaa ujiakikishe kama ameleta kazi ya masomo. Ni mapashwa yako mzazi au mlezi kujua kama mtoto anatimiza vema kazi ya masomo nyumbani.

MASHAURI KUHUSU KAZI YA MASOMO NYUMBANIIfwatayo ni mashauri kwa wakati ya kufanya kazi yamasomo nyumbani:

Matayarisho:Wakati wakufanya kazi ya masomo nyumbani, ni lazima mtoto wako kutia akili yake yote ku kazi hiyo. Inafaa akae kwenye chumba kimia na mwangaza. Kila siku, inafaa mtoto awe na zoezi ya kufanya kazi hiyo kwa wakati fulani. Vile vile, umupatiye vifaa vyote anayolazima (kalamu, kartasi, kamusi, nk).

MASHAURICAFI inapana vile vile servisi ya usaidizi kwa kazi ya masomo nyumbani. Mashirika ingine ya mapokezi ya wahamiaji inaweza kupana servisi kama hiyo. Uwasilihane na shirika ya mahali unaishi kwa mafasiriyo mengi.

6 - Swahili - Devoirs et communication parents-école 8.5''x8'' 2018.indd 1 2/6/18 2:41 PM

Page 14: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

Wakati ya kazi ya masomo nyumbaniWakati ya kufanya kazi ya masomo nyumbani, mtoto wako anaweza kuwa mwenyewe. Ni lazima kumfwata vizuri na kumusaidia kama anayo magumu.

Baada ya kazi ya masomo nyumbaniMtoto akiisha maliza kazi yake, mzazi au mlezi anamapashwa ya kuchungua kama yote imefanyika vema. Unaweza pia kumuuliza maswali fulani kwa kuhakikisha kama ameelewa somo lake. Hasipotimiza kazi yake, inafaa ujue sababu. Unaweza kuwasihiliana na mwalimu wake kutambua magumu ya mtoto.

CYUMBA YA KUSOMEA VITABU.Kila shule inayo cyumba ya kusomea vitabu. Mtoto anapashwa kuheshimu kanuni ya mahali hapo, sawa kimia na heshima kwa wengine. Anaweza vile vile kusoma vitabu vya lazima au kuazima vitabu kuhusu kazi ya masomo.

MAWASILIHANO KATIKA AJENDA YA MWANAFUNZIKila mwaka mtoto wako atapokea ajenda kwa kuandika matukio muhimu au kazi ya masomo. Ndani ya ajenda hii, kunapatikana vile vile mipango ya masaa yake ya siku na mashauri mengi kuhusu majifunzo yake.

MKUTANO YA MAFASIRIYOKila mwanzo ya mwaka ya masomo, shule zina alika wazazi kwa mkutano ya mafasiriyo. Niwakati kwa wazazi kukutana na walimu wote, kuelewa matumikio ya shule na programu ya elimu kwa mwaka.

INFORMATIONNi vema kufahamu kwamba kila siku ya tatu (jumatano), Masomo inamalizika, saa moja, mbele ya wakati nyumbani au mahali ya kuchunga watoto. Desturi hii inasaidia saana waongozi wa Wilaya ya shule pamoja na walimu na wakubwa ya masomo (watahalamu) kuweza kukutana na kupana mawazo au kuongozana, kwa matukio na mafanikio mema ya wanafunzi wote.

KAZI YA MASOMO NYUMBANI NA MAWASILIHANO KATI YA WAZAZI NASHULE

6 - Swahili - Devoirs et communication parents-école 8.5''x8'' 2018.indd 2 2/6/18 2:41 PM

Page 15: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

MIKUTANO KATI YA WAZAZI NA WALIMUMara mbili kwa mwaka, utahalikwa kwa mukutano ya walimu na wazazi (Tarehe ziko ndani ya kalenda ya shule) kwa kuzungumzia maendeleo ya mtoto wako. Unaweza pia kuomba kukutana na mwalimu wakati yoyote, ikiwezekana. Mikutano hii itakusaidia kuelewa maendeleo ya mtoto wako. Nifaida kwako kukutana mara kwa mara na walimu na wakubwa ya shule kuhusu majifunzo ya mtoto wako.

KAZI YA MASOMO NYUMBANI NA MAWASILIHANO KATI YA WAZAZI NASHULE

6 - Swahili - Devoirs et communication parents-école 8.5''x8'' 2018.indd 3 2/6/18 2:41 PM

Page 16: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

USHIRIKI WA WAZAZINchini Kanada, shule zina unga mkono wazazi kwa kushiriki saana kwa maisha ya masomo ya watoto wao. Kwa njia hiyo, utapata marafiki, utasikia vizuri maisha ya mtoto wako shuleni, na unaweza pana mawazo yako kwa maendeleo ya shule. Kuna namna nyingi ya kushiriki kwa maisha ya masomo ya mtoto wako:

Unaweza kuijitolea(kutumika bila malipo) ukisaidia kukazi ya chumba ya vitabu, kuchunga watoto wakati wa burudani au michezo ya mapumuziko kidogo, kuwafundisha kusoma, nk. Wakubwa wa shule au mwalimu wa darasa la mtoto wako wanaweza kukupa mafasiriyo mingi kuhusu namna ya kujitolea shuleni.

Shule nyingi zina programu fulani fulani nje ya shule. Wazazi au walezi wana weza pia leta msaada wao kwa zile programu wakisindikiza watoto na walimu nje ya shule. Ukishiriki kwa kazi zote za shule ya mtoto wako, utapata faida nyingi kwa kupata marafiki, na kusaidia kwa maisha ya shule.

Wakati mzazi au mlezi anaunga mtoto mkono katika maisha yake ya shule, inamsaidia kutumika kazi za masomo na bidii na kupata alama nzuri shuleni. Kwa hiyo, masikilizano na ushirikiano kati ya wazazi, walezi, watoto, walimu, wakubwa wa shule na jamii lote la shule, ni njia ya maendeleo mema.

MASHAURI Tangu utoto, mtoto anapashua fahamu kwamba:• Siyo vizuri kuongea na watu hasiye fahamu , bila mtu mzima wakuaminika kua karibu;

• Hasingiye ndani ya gari ya mtu asiye fahamu;

• Hasikule chakula ( mkate, kitumbula, pipi au «bonbon», biskuti, nk. ) au kupokea zawadi kutoka kwa mtu hasiye fahamu.

Zaidi, ni lazima:• Kutembea kwa kikundi, ikiwezekana;

• Kujua majina yake yote;

• Kujua namba ya simu yake;

• Kujua majina ya wazazi wake , baba na mama au ya walezi wake;

• Kufahamu nafasi ya kwenda wakati wa shida za araka;

• Kujua namba 911 wakati wa shida za araka.

6 - Swahili - Devoirs et communication parents-école 8.5''x8'' 2018.indd 4 2/6/18 2:41 PM

Page 17: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

MWENENDO WA MWANAFUNZI Kila mwaka, mwalimu na wanafunzi wake wanaunda kanuni za darasa lao. Kutoheshimu hiyo kanuni inaweza kuleta matokeo fulani fulani kwa mtoto. Nchini Kanada na shuleni, heshima na kusitisha vurugu (ghasia au unyanyasaji) ni ya muhimu. Walimu wanakataza shuleni vitisho, ubaguzi, ukatili au unyama au vurugu yote ya mwili au ya akili. Mtoto wako akipata tatizo kamahii, ni vema azungumze na mwalimu wake au na wakubwa wa shule. .

HEWA BORA YA MAJIFUNZO

Kila shule iko na kanuni zake kwa lengo la kutia mazingira ya usalama na ya kujifunza vizuri. Unaweza kupata kanuni hizi katika ajenda ya mtoto wako.

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

MASHAURIMbele ya masomo kuanza, unaweza ongea na mtoto wako kuhusu mwenendo ya shuleni ukimfasiria, tabia inayostahili na hisiyostahili. Kwa mfano, unaweza kumweleza kama inakatazwa kukimbia ndani ya koridoro, kuonyesha mkono kwa kuomba ruhusa ya kwenda chooni, kusema na sauti kubwa shuleni, kusukuma na vurugu watoto wengine shuleni, nk.

7 - Swahili - Climat propice à l’apprentissage 8.5''x8.75'' 2018.indd 1 2/6/18 2:41 PM

Page 18: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

VITU HARAMU, MARUFUKU AU INAKATAZWA SHULENISimu ya mkono au vifaa vya umeme au elektronik ( kama vile: MP3, michezo ya video, nk.) inakatazwa shuleni.

Inakatazwa wanafunzi kunywa pombe au madawa ya kulevya shuleni, yahani shule ni mahali ya mazingira bila moshi. Mtu asivute ndani au nje ya kiwanja ya masomo. Mtoto hasiye heshimu hii kanuni anaweza fukuzwa kwa mda shuleni.

MAHUZURIO AU JUHUDI YA KUFIKA SHULENIKwa lengo la majifunzo mema ya mtoto wako, ni vema ashiriki kila siku kumasomo na kazi zote za darasa lake na ya shule. Mtoto hasipoenda shuleni, tuma simu shuleni kuwakumbusha ukipitia sekretariati.

District scolaire francophone Sud inatia mkazo juu ya juhudi ya kufika shuleni, sababu ni moja kati ya njia bora ya maendeleo mema ya wanafunzi.

MTOTO WAKO AKIGONJWA SHULENIMtoto wako akigonjwa au akipata ajali au bahati mbaya shuleni, watakuita shuleni kwa namba yako ya simu yenyi kuwa nadani ya ajenda ya mtoto. Wewe au mtu anaeusika, muta ombwa kufika shuleni kuchukua mtoto wako. Ajali au hali ya mtoto ikawa mbaya saana, shule itapeleka araka mtoto hospitalini na gari ya wagonjwa, na mtuwakazi moja wa shule atakupasha habari. Pesa ya kulipa gari ya wagonjwa itatolewa na wazazi. Kwa hiyo, ukabadirisha namba ya simu au anuani yako, kumbusha sekretariati ya shule kwa araka.

HEWA BORA YA MAJIFUNZO

MASHAURIHii ni mfano ya ujumbe mfupi ya kutuma shuleni:

«Mimi (jina lako), mtoto wangu (jina la mtoto) ni mgonjwa na hakuna namna afike shuleni leo. Mwalimu wake (jina la mwalimu). Mumpashe habari hii. Asante.».

Shule moja moja inahitaji mtoto alete, siku yake ya kurudi shuleni, kartasi ya mafasiriyo kamili kuhusu kutofika kwake.

Kama mtoto atarudi nyumbani mbele ya masomo kumalizika, ni vema umupe kartasi kidogo ya mafasiryo kwa mwalimu wake. Kwa usalama ya wanafunzi wote, shule inapashwa kujua kama mtoto fulani hatafika shuleni siku fulani, sababu fulani. Kwa sababu hiyo, wanafunzi hawawezi kutoka shuleni bila ruhusa ya wazazi.

7 - Swahili - Climat propice à l’apprentissage 8.5''x8.75'' 2018.indd 2 2/6/18 2:41 PM

Page 19: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

CHAKULA

Mbele ya kwenda shuleni, ni lazima mtoto wako akule chakula kizuri cha asubui au kifungua kinywa, sawa mkate, sereali, matunda, maziwa au yuguru (Tazama maelezo ya ziada kuhusu Muongozo ya chakula ya Kanada). Unaweza pia kutia ndani ya sakoshi yake ya masomo chakula kidogo kidogo au «collation santé», ya kukula wakati ya mapumziko kidogo asubui ao nyuma ya saa sita.

CHAKULA YA SAA SITA AU YA MCHANA KATISaa sita, mtoto wako ataenda kwenyi Kafeteria ya shule kwa kukula. Kuna namna mbili ya kufanya:

• Anaweza kula chakula ya Kafeteria akilipa pesa kidogo kwani wana chakula mbalimabli;

• Anaweza pia kuleta chakula kilichotayarishwa nyumbani (Kibweta ya chakula).

KIBWETA YA CHAKULA YA MCHANA KATINi vizuri chakula ya mtoto wako iwekwe ndani ya kibweta ya chakula ya jyenyi kuwa safi, ya kufungwa vema na yenyi kusafishwa kila siku.

Kulingana na Muongozo ya chakula ya Kanada, ni lazima chakula ya mtoto wako iwe na aina inne ya chakula. Kwa mfano, sandwichi na matunda au «dessert» na kinywaji kama maziwa, maji ya matunda au maji. Unaweza tazama Muongozo ya chakula ya Kanada kwa lugha 12 ku site ya hafia ya Kanada www.hc-sc.gc.ca.

Shule zimoja ziko na jiko la mikrowave yenye itasaidia mtoto wako kuchamusha chakula yake. Wakubwa wa shule wanaweza kukueleza kama kunapo jiko hii.

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

8 - Swahili - Le Repas 8.5''x9 2018.indd 1 2/6/18 2:41 PM

Page 20: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

CHAKULA

KIBWETA YA CHAKULA YA SAA SITA, INAENDELEA Tazama mifano ya aina ya kibweta ya chakula ya saa sita:

Tazama mifano vile vile ya vyombo ya kubeba vizuri chakula:

MAPUMZIKO KIDOGO NA YA AFIAWanafunzi wapo uhuru wakati wa mapumziko kidogo na ya afia shuleni, kwa muda mufupi. Niwakati wake wa kuimarisha urafiki na kufurahi shuleni. Kila siku, wanachungwa wakati huu na mwalimu mmoja au mzazi wakujitolea bila malipo.

Baada ya wakati huu, kengele au filimbi ya sauti kubwa inapigwa, mtoto anapashwa kujielekeza ndani ya darasa lake. Mbele ya kuingia darasani, anapashwa kuvua viatu au mavazi yake ya inje.

MASHAURI Ifwatayo ni mashauri wakati wa kutayarisha chakula ya mtoto wako:

- Kwa kuweka hakiba, tengeneza orodha ya chakula ya kununua ukiangalia bei ya chini ku makatrasi unapokea kwa njia ya barua au posta toka wachuuzi;

- Usisahahu kutia vyombo ya kula (kanya, kijiko, kisu) ndani ya kibweta ya chakula ya mtoto wako;

- Pendelea zaidi matunda na mboga;

- Pendelea zaidi vilevile sereali: mkate ya ngano, mchele isiyo nyeupe, nk.

- Chakula cha kujenga (protéines) ni ya lazima kwa kukomaza watoto. Inapatikana mu nyama, na pia mbegu sawa maharagi;

- Usizoee chakula ya sukari nyingi sawa shokola, siyo nzuri kwa afia;

- Mtoto hasipelek kalanga (noix) na vyakula vya baharini (crustacés) shuleni, sababu watoto wamoja wako na «allergies». Kuna wakati inaweza waletea magumu saana. Shule ina orodha ya vifaa vya kuepuka.

8 - Swahili - Le Repas 8.5''x9 2018.indd 2 2/6/18 2:41 PM

Page 21: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

USAFIRI KWA SHULE

Sera ya usafiri ya District scolaire francophone Sud inalenga kudumisha usalama wa wanafunzi, kuboresha ufanisi wa mfumo wa usafiri na gharama za uendeshaji, na kuhakikisha kwamba wanafunzi watumia muda mfupi zaidi katika basi. Sera hii inafuata Sheria ya Elimu ya Nouveau-Brunswick.

VIGEZO VYA KUTUMIZA MASHARTIIli kutimiza masharti ya kutumia huduma za usafiri wa shule, wanafunzi lazima:

• wawe wanaishi katika eneo la shule na:

- Wawe wanaishi zaidi ya kilomita 1 kutoka shuleni mwao (kwa wanafunzi kutoka shule ya Chekechea hadi Darasa la 5);

- Wawe wanaishi zaidi ya kilomita 1.5 kutoka shuleni mwao (kwa wanafunzi wa Darasa la 6 hadi 12);

• wawe wanaishi katika eneo lililotambuliwa na wilaya ya shule kuwa hatari kutembea kwenda shuleni;

• wawe na mahitaji maalum ya kiafya (cheti cha matibabu kinaweza kuhitajika).

ILI MFUMO JUU UFANYE KAZI KWA USALAMA NA UFANISI, TAFADHALI KUMBUKA KUWA: • mabasi hayasimami katika makazi yote;

• kuna maeneo makuu ya vituo vya mabasi ambapo wanafunzi kadhaa huabiri au kushuka basi kwa wakati mmoja. Panapowezekana, vituo hivi kwa ujumla vinapatikana kwenye ardhi ya umma;

• vituo vya mabasi vimeundwa katika maeneo ambapo wanafunzi wengi hawahitaji kutembea zaidi ya mita 300 (wanafunzi wa Chekechea hadi wa darasa la 5) na mita 500 (wanafunzi wa darasa la 6 hadi la 12) kutoka kituoni hadi nyumbani (hadi mita 900 kwa wanafunzi wanaoishi karibu na njia au barabara);

• mabasi hayaingii mitaa au vivuko vya watu binafsi.

• madereva wa mabasi hawawasubiri wanafunzi waliochelewa;

• madereva wa mabasi hawaruhusiwi kuwashukisha wanafunzi katika kituo kisichopangiwa isipokuwa kama mkuu wa shule ametoa idhini kwa kuandika (maombi ya wazazi hayakubaliwi);

• District scolaire haitakubali maombi yoyote ya kubadilisha vituo vya mabasi ikiwa vituo vilivyopo vinalingana na vigezo vya sera za usafiri za shule kuhusu usalama na umbali wa kutembea.

9 - Swahili - Le transport scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 1 2/6/18 2:41 PM

Page 22: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

USAFIRI KWA SHULE

KUOMBA KUBADILISHWA KWA KITUO CHA BASI Maombi ya kubadilisha vituo vya mabasi yanapaswa kuwasilishwa kwa kutumia fomu iliyotolewa kwenye tovuti yetu. Wakati ombi linaendelea kukaguliwa, wanafunzi wanapaswa kuendelea kusimama katika kituo walichopewa hadi mabadiliko yathibitishwe.

District scolaire francophone Sud haizingatii maombi ya kubadilisha vituo vya basi ambayo yamewasil-ishwa kwa sababu zifuatazo:

• ukosefu wa njia ya wapitao kwa miguu:

• hali ya hewa au barabara;

• msongamano wa magari au kasi ya juu;

• magari yaliyoegeshwa kando ya barabara;

• lazima mtoto avuke barabara;

• mtoto yuko peke yake kituoni;

• mtoto ndiye atakayetumia kituo peke yake;

• idadi ya watoto wanaosimama kituoni;

• hamna mtu mzima anayeweza kumsindikiza mtoto hadi kituoni (ikijumuisha watoto wa shule ya malezi);

• basi hupita karibu na makazi;

• mzazi angependa basi limchukue au kumshukisha mtoto nje ya nyumba yao.

Vigezo viwili pekee vya masharti ya ombi linalokubaliwa ni:

• umbali wa kutembea hauendani na viwango vya wilaya ya shule;

• eneo la kituo haliendani na masharti ya usalama.

9 - Swahili - Le transport scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 2 2/6/18 2:41 PM

Page 23: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

WAJIBU WA MZAZI KUHUSU USAFIRI WA SHULEUsalama wa wanafunzi wanaosafiri ni jukumu la pamoja. Kila mtu, ikijumuisha wazazi, anapaswa kushirikiana kuhakikisha usalama wa hali ya juu zaidi wa usafiri wa shuleni. Miongoni mwa mambo mengine, wazazi wanapaswa:

• kuhakikisha mtoto wao yuko salama kila wakati – ikijumuisha kusafiri kwenda kituo cha basi, kusubiri kituoni na kurudi kutoka kituoni;

• kuhakikisha mtoto wao yupo kwenye kituo cha basi dakika zisizopungua tano kabla ya muda uliopangwa wa usafiri;

• kukagua sheria za usafiri wa shule kuhusu tabia na hatua za usalama pamoja na mtoto wao;

• kumjulisha mkuu wa shule haraka iwezekanavyo (angalau siku tano mapema) kuhusu mabadiliko yoyote ya makazi makuu au mbadala ya mwanafunzi ili kuepuka ucheleweshaji wa huduma ya usafiri.

Wanafunzi wa Chekechea hadi darasa la 2 watarudishwa shuleni ikiwa hawana ruhusa iliyoandikwa na wazazi wao inayowaruhusu kushukishwa kwenye kituo cha mabasi ambapo hamna mtu mzima wa kuwachukua. Baadaye, wazazi wanawajibikia kuwachukua watoto wao shuleni.

Ni muhimu kutambua kwamba jukumu la wilaya ya shule kuhusu usalama huanza wakati mwanafunzi anaabiri basi na kuisha wakati mwanafunzi ameshuka basi mwishoni mwa siku. Wazazi wanawajibikia kudumisha usalama wa mtoto wao kila wakati – ikijumuisha kusafiri kwa kwenda kituo cha basi kutoka nyumbani, na kurejea nyumbani kutoka kituoni.

Ikiwa mzazi ana wasiwasi kuhusu usalama wa mtoto wake anapotembea kwenda kituo cha basi au kurudi nyumbani, anawajibika kuhakikisha kwamba mtoto anaandamana na mtu mzima nyakati hizo.

9 - Swahili - Le transport scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 3 2/6/18 2:41 PM

Page 24: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

SERVISI YA HUDUMA AU YA KUCHUNGA MTOTOKufwatana na sheria ya Kanada, watoto wa umri ya myaka 12 na zaidi wanaweza kubaki peke yao nyumbani, kiisha masomo. Kuacha mtoto wa myaka 11 na chini peke yake nyumbani, inakatazwa kabisa. Kiisha masomo, nivema kumuacha mtoto wako wa myaka 11 ao chini, kuulinzi ya mtu mzima au kijana wa myaka 12 na zaidi.

Kuna servisi ya huduma, kiisha masomo, mahali mengi ndani ya jiji. Kwa kutia mtoto wako kwa servisi hii, watakuomba pesa. Servisi hii ni ya kipekee na haina uhusiano wote na Wilaya ya shule 01, lakini inaruhusiwa na serkali.

9 - Swahili - Le transport scolaire 8.5''x10.25'' 2018.indd 4 2/6/18 2:41 PM

Page 25: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

Centre d’accueil et d’accompagnement francophone des immigrants du Sud-Est du Nouveau-Brunswick

NYONGEZO

KAMUSI NDOGO YA KANADA

MANENO MAANA NCHINI KANADA

Kibweta ya chakula ya mchana Ni kibweta ya chakula. Ni chakula ya baridi, ina fungwa vizuri, inaweza chamushwa au hapana, ya mtu moja. Kama mtoto wako hawezi kununua chakula shuleni, ni vema mzazi au mlezi amutayarishiy chakula hiki nyumbani.

Vyatu ya majira ya baridi Ni vyatu ya mrefu inayo funga miguu vizuri wakati wa baridi. Ni ya lazima kama mtu yeyote anatoka nje ya nyumba wakati huo.

Chuma ya kukamatisha makartasi Ni «agrafeuse» au chuma ya kukamatisha makartasi pamoja, yakipangwa vizuri.

Kartasi ya alama ya masomo Ni kartasi ianyofasiria vizuri maendeleo ya mtoto wako shuleni.

(Covoiturage) Wazazi wamoja wanafanya «covoiturage», wakati wa kazi fulani fulani ndani au nje ya shule. Covoiturage ni wakati watu wengi wa naenda ndani ya gari moja pamoja kwa kwenda mahali moja. Kuna weza kuwa mzuguuko wa kwanza, wa pili, nk. Na vile vile, ma dereva wawili au zaidi.

Suruali Nchini Kanada, «Culotte» ni «Pantalon» au suruali.

Kifungua kinywa au Nchini Kanada, «Déjeuner» ni «Petit déjeuner» au chakula cha asubui. chakula cha asubui.

Chakula cha mchana kati. Nchini Kanada, «Diner» ni «Déjeuner» au chakula cha saa sita au mchana kati.

Chakula cha moto. Ni chakula mtoto wako anaweza kula ku kafeteriati ya shule kwa bei kidogo, saa sita, na inatayarishwa na watumishi wa shule.

Nguo au Mavazi ya «gym» Ni nguo mtoto wako atavaa wakati ya elimu ya mwili. Mavazi hii inapashwa kuwa nyepesi na hisiwe na kivukutu nyingi. (Mfano: T-shirt na kapitula, nk.).

au chakula cha saa sita. (Lunch) Kwa masemi ya kawaida, neno hii ya kiingereza ni chakula ya saa sita.

UJUMBE Ni ujumbe uliyo andikwa na mtuwakazi moja wa shule kwa kukupa habari fulani kuhusu mtoto au masomo. Na wewe pia unaweza kuandikia mwalimu wa mtoto wako ujumbe fulani wakati yeyote unapenda.

(Mitaines) Nchini Kanada, «Mitaines» ni «Gants» ya kufunika mikono wakati wa majira ya baridi.

Mkutano wazazi na walimu. Mkutano ya wazazi na walimu inafanyika mara mbili kwa mwaka. Ni wakati mzazi atafasiriwa vizuri maendeleo ya mtoto wake shuleni.

(Souper) Ni chakula ya «Diner». Ni chakula ya mangaribi sawa saa 12 ya mangaribi.

Kofia ndogo «Tuque» ni «Bonnet», ni kofia ndogo ya wakati wa majira ya baridi, ya pamba safi na yenyi kuwa na sanamu.

Eneo ya shule Ni eneo yenyi kupatikana shule fulani.

10 - Swahili - Annexe 8.5''x11'' 2018.indd 1 2/6/18 2:41 PM

Page 26: ELIMU KWA KIFARANSA : UCHAGUZI WA BAADAYE · NJIA YA B Njia hii ni ya wanafunzi ambao wanataka kujiunga na elimu ya baada ya sekondari (chuo cha elimu au chuo kikuu) ambapo ufahamu

10 - Swahili - Annexe 8.5''x11'' 2018.indd 2 2/6/18 2:41 PM