Upload
injili-leo
View
993
Download
10
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Ni maandiko yenye uvuvio wa Roho mtakatifu, fatilia nami upate kujua zaidi maana na mafumbo juu ya unabii wa vitabu vya Daniel na ufunuo.
Citation preview
SOMO:- HATIMAYE NYUMBANI
Fungu kuu: Amosi 3:7
“Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote,
bila kuwafunulia watumishi wake
manabii siri yake”.
Ufunuo 1:3 imeandikwa “Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati u karibu”. Kwa hiyo ni wajibu wa kila mmoja wetu kusoma na kufahamu unabii huu. Hebu tuangalie mafungu kadhaa katika biblia takaifu juu ya swala hili muhimu sana katika wokovu wetu.
Naomba kila mtu ashike Biblia yake
MAMBO YA MSINGI KUJUA
Dan. 7:1717 Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani.
Mnyama = UfalmeWanyama Wanne = Wafalme Wanne Watakotokea Duniani
Ufunuo 17:1515 Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.Bahari (maji) = jamaa na makutano na mataifa na lugha.
SIFA ZA MNYAMA WA
KWANZAAna mfano wa simbaAna mabawa ya taiBaadaye mabawa yake yakatowekaAliinuwa katika nchiAlipewa moyo wa kibinadamu
SIFA ZA MNYAMA WA
PILINi mfano wa dubuUpande mmoja uliinuliwa juuAlikuwa ana mbavu tatu kinywani mwakeAliamuliwa kunyanyuka na kula nyama tele
NINI MAANA YA MBAVU TATU
Mbavu tatu zinawakilisha mataifa matatu yaliyopigwa na Waamedi na Waajemi yaani:- Babeli,Lydia na Misri .
SIFA ZA MNYAMA WA
TATUAna mfano wa chuiAlikuwa na mabawa manneAlikuwa na vichwa vinneAkapewa mamlakaAlexander alifariki June 13, 323 B.C, ufalme wake uligawanyika katika sehemu nne (Falme za Diadoki) zinazowakilishwa na vichwa vinne.
MAANA YA VICHWA VINNE Kusini (Ptolemy)- ulitawala (Misri, Palestina na Shamu ya kusini)Kaskazin (Lysimichas) –ulitawala (Thrakia na sehemu ya Asia ndogo)Magharibi (Cassander)- ulitawala (Makedonia na U giriki)Mashariki (Seleucus)-ulitawala (Asia, Ashuru, Shamu hata India)
MNYAMA WA NNE
Ni myama wa kutisha sanaAna meno ya chumaMakucha ya shabaAlivunja vunja kila kituAlikuwa na pembe kumiBaadaye ilitokea pembe ndogoPembe ndogo iling’oa pembe tatu kati ya zile kumi
MATAIFA KUMIUINGEREZAUFARANSAUJERUMANITALIANOOSTROGOTHSHERULIUSWISIUHISPANIAURENOVANDALS
PEMBE ZILIZONG’OLEWA
HERULI 493VANDALIS 534OSTROGOTH 538
ZILIZOBAKIUFARANSAUINGEREZAUJERUMANIURENOUSWISIHISPANIAITALIANO
Kwa amri ya Justinian (Codex Justinianus), mfalme wa Rumi ya mashariki, katika mwaka wa 533 K.K, Askofu wa Roma alifanywa kuwa kiongozi wa makanisa yote
ya ukristo na Ostrogoths ni taifa lililokuwa wapinzani wa mwisho kung’olewa kabisa mwaka wa 538 na kufukuzwa kutoka Rumi na Jemerali Balisarius. Mwaka huo ndipo Rumi ya upapa ilithibitishwa kuwa serikali kwa wakati uliotabiriwa.
ALAMA TOFAUTI ZA KUITAMBUA PEMBE HII NDOGO:
Ilizuka kati ya zile pembe (falme) kumi, Pembe tatu zilingolewa (Heruli, Vandals na Ostrogoths).Itawadhoofisha watakatifu wake Aliye juu”, Itaazimu kubadili majira na sharia
Itanena maneno makuu ya makufuru. Itawala miaka 1260
Baadaye jeraha la mauti litaponaAna jina lina hesabu ya 666, Ufunuo 13:18 “Vicarius Filii Dei”.
UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA
DANIEL 7:99 Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Daniel 7:1414 Naye akapewa mamlaka, na utukufu na ufalme, ili watu wa kabila zote, na taifa zote, lugha zote, wamtumikie; mamlaka yake ni mamlaka ya milele, ambayo hayatapita kamwe, na ufalme wake ni ufalme usioweza kuangamizwa
Wafilipi 2:9-109 Kwa hiyo, Mungu alimtukuza sana na kumpa Jina lililo kuu kuliko kila jina, 10ili kwa Jina la Yesu, kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, vya duniani na vya chini ya nchi 11 na kila ulimi ukiri ya kwamba YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
TUNAITWA KUMWABUDU MUNGU MAANA SAA IMEKWISHA
Ufunuo 22:11
11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.
KABLA HAJATOKA
Yoeli 2:3232 Kila mmoja atakayeliitia jina la BWANA ataokolewa. Kwa maana juu ya Mlima Sayuni na katika Yerusalemu kutakuwako wokovu, kama BWANA alivyosema, miongoni mwa walionusurika ambao BWANA awaita.