2
HIARI YAKO Unayo hiari ya kuajiriwa au hapana lakini ukiamua kuajiriwa huna hiari ya kutofanya kazi . Hivyo ni lazima kuwahi kazini ni lazima. Saa za kazi lazima uwe sehemu yako ya kazi. Ikibidi uondoke sehemu yako ya kazi ni lazima mkuu wako wa kazi afahamu. Ni lazima uifanye kazi yako kwa uadilifu, bidii, uangalifu, ufanisi na uaminifu. Kama si hivyo basi itabidi uangalie upya hiari yako ya kutaka kuajiriwa la sivyo mwajiri wako itabidi akusaidie kufanya hivyo.

HIARI YAKO

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: HIARI YAKO

HIARI YAKO

Unayo hiari ya kuajiriwa au hapana lakini ukiamua kuajiriwa huna hiari ya kutofanya kazi .

Hivyo ni lazima kuwahi kazini ni lazima. Saa za kazi lazima uwe sehemu yako ya kazi.

Ikibidi uondoke sehemu yako ya kazi ni lazima mkuu wako wa kazi afahamu. Ni lazima uifanye kazi yako kwa uadilifu, bidii, uangalifu, ufanisi na uaminifu.

Kama si hivyo basi itabidi uangalie upya hiari yako ya kutaka kuajiriwa la sivyo mwajiri wako itabidi akusaidie kufanya hivyo.

Je ndivyo unavyotaka?

TUMIA HIARI YAKO