8
Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama

Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

  • Upload
    others

  • View
    10

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

1

Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama

Page 2: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

2

Maeneo ya ufugaji duniani

Manufaa ya ufugaji wa kuhamahama

H ifadhi ya c hakulaK upunguza hatari ya majangaK uhifadhi uoto was asiliK uondoa gesi ya kaboni kwenye hewa na kuzuiamabadiliko tabianc hiK ukabiliana na mabadiliko ya tabia nc hiK uendeleza uc humi na kupunguza umaskiniK udumisha uwepo wa maji na kulinda c hanzo c ha maji

K upunguza athari za ukame

Ufugaji wa kudumu

Kulinda umiliki na kuimarisha uongozi ni mambo yenye umuhimu mkuu katika kuhakikisha hali ya kudumu na pia huwapa wafugaji faida halisi, huku ikiwezesha utawala wa rasilmali unaofaa.

Page 3: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

3

Mwongozo wa HiariKuunga mkono utekelezaji wa kitaifa

Mp ango wa V G G T

U c hina

U anzilishi wa b inaf si

( T CP F )

U anzilishi wa b inaf si

K ukuza uwe zo wa utawala wa umiliki

K uunga mkono wate nd aj i wasio wa se r ikali

U moj a wa nc hi za U laya kukimu mataif a

V G G T katika nc hi za S O L A

- U c hina

- A frika Kusini

- U filipino

- -U pakistani

T aifa la A frika ya Kati

- A frika Kusini

S udan Kusini

TCPF- Usaidizi wa Dharura wa Kiufundi unaotelwa na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa(FAO)SOLA- Suluhu za Usimamiza wa Ardhi kwa Uwazi

Jinsi na mtazamo wa Mwongozo wa Hiari wa

Usimamiziwa Umiliki wa Ardhi. (VGGT)

U mihimuwa haki halali za umiliki wa ardhi ili kudumisha riziki.K uhimiza serikali kutambua, kuheshimu na kulinda haki za wamiliki wote, pamoja na wale wamiliki wa kiasili na kimila. K uwa na mtazamo unaozingatia haki za kibinadamu.K uzingatia uhusiano kati ya haki za umiliki tofauti, rasilimali mbalimbali na pia ku-jumlisha maeneo mbalimbali. M wongozo wa H iari wa U tawala unaowa-jibika wa U miliki wa A rdhi na U fugaji. ( V G G T )- A ya ya 1 .2 .4 V G G T S huazimia “ K utia ngu-v u uwezo ulioko na utendakazi,” pamoja na ule wa wafugaji nawadauwengine wan-aohusika na umiliki wa ardhi, ili kubore-sha ushirikiano. - A ya ya 4 .8 kuhusu “ # H aki na wajibu un-aohusiana na umiliki,” husisitiza ya kwam

ba ni lazima serikali ziheshimu na kulin-dahaki za kiraia na za kisiasa za watetezi wa haki za kibinadamu, wakiwepo wafu

gaji. P ia, serikali zinafaa kuzingatia wajibu wao kuhusiana na haki za kibinadamu,ha-ki za kiuc humi, haki za kijamii na haki za kitamaduni wanaposhughulikia watu binafsi na pia mashirika yanayotetea haki za mashamba, uv uv i na misitu.- A ya 2 2 .2 kuhusu “ M aswalaya mipaka ya kimataifa” huomba washiriki na serikali kuc hangia katika kueleweka kwa mas-walayanayohusiana na umiliki wa ardhi kwenye mipaka. K wa mfano, maeneo ya kuc hungia na njia za misimuzinazotumi-wa na wafugaji kuhama, zilizopo kwenye mipaka ya kimataifa.

Page 4: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

4

Mwongozo wa Hiari wa Usi-mamizi wa Umiliki wa Ardhi unaowajibika

- Sheria pendekezi za kwanza za ulimwengu.

- M wongozo uliojadiliwa na serikali; ushiriki wa jamii na watu binafsi.

- M arejeleo ya kuboresha utawala wa ardhi, uv uv i na misitu.

Mwongozo wa VGGT unahusu nini?

Mwongozo Bora: Kuboresha utawala wa ardhi ya ufugajiKatika mazingira ya…….

Mwongozoboraunalenga nani?Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika ya kijamii, na taasisi za kutetea haki za kibinadamu W afugaji: kukabiliana na c hangamoto

Mwongozo wa Hiari wa Usimamizi

wa Umiliki wa Ardhiunaowajibika

Usimamizi wa

Umiliki wa Ardhi unaowajibika; wa aina zote za haki halali za kumilik ardhi

Changamoto za utawala hafifu

Haki za umiliki hazitambuliwi

Ubaguzi

Upatikanaji sawa

Kufukuzwa/uhamisho

Ufisadi

Utaratibu ghali na mgumuUwezo mpungufu

Kutowajibika na kukosa uwazi

Sheria na sera zinazokinzana

Page 5: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

5

Kuheshimu idhini huru, inayotokana na kujuzwa kwa awali

W atu hakiP lanetU limwenguU stawi heshima

M waka wa 2 0 1 5 : W akati wa v itendo kwa ajili ya wanadamu na ulimwengu mzima.

Changamoto zenye kipaumbele katika umiliki wa ardhi

Mwongozo wa Hiari wa Usimamiziunaowajibika wa Umiliki wa Ardhi, uvuvi na Ufugaji, katika muktadha wa usalama wa chakula wa kitaifa (VGGT).

K ufahamisha… … … … … … … … … … … … … ..K ukuza U wezo

K uunga mataifa mkono … … … … … … … U fugaji

Changamoto za kimsingi Matatizo ya utawala/uongozi

1 - Kupatanisha serikali na jamii za wafugaji.

2 - Kutatua migogoro inayotokana na mapendeleo na madai juu ya ardhi na rasilimali zingine.

3 - kuboresha mashauriano na njia za kuwezesha wafugaji kushiriki huku wakitambulika kama raia wenye haki halali.

4 - M ahitaji mahususi ya kisheria kwa wafugaji ( yakiwemo usafiri, maeneo yao na mipaka ya kimataifa) .

5 - Kuendeleza mipango ya matumizi ya ardhi kwa pamoja kulingana na v ipimo v inav yofaa.

U halalai hafifu wa maamuzi.

M aamuzi yanayodhoofisha riziki, haki na ustawi.

U patanishaji na maafikiano hafifu na kutoweza kuleta ubadilishanaji halali.

U shiriki usiotosha na uwakilishaji hafifu.

W afugaji kutoweza kuc hangia katika maamuzi.

Kutojali na kutoelewa mifumo ya utawala ya ufugaji pamoja na kukosa ujuzi.

Page 6: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

6

Sera na maendeleo ya kisheriaSera za ardhi ya ufugaji Sheria za kitaifa zinazohusiana na ufugaji

Kuendeleza uamuzi unaowajibika na uwakilishaji unaofaa kuhakikisha ushiriki sawa na wenye uwazi Kutambua ujuzi wa kimila na kitamaduni ili kuhakikisha uwepo wa utofauti wa kitamaduni na mahusiano ya kimazingira Kutambua mifumo ya kitamaduni na kustawisha uiano na sheria

zilizoko Kuimarisha uwezo wa mashirika ya kienyeji na nafasi yao ya

utendakazi Kuzuia na kutatua migogoro Kuendeleza ushirikiano katika kuelimika.

Kuboresha usimamizi wa ardhi ya ufugaji

Ushiriki wenye maana unaofaaUshiriki wenye maana unaofaa

Mfumo wa kisheria wa ufugaji

Furahia, tumia na utunze: kuza hatua za kudhibiti na kutunza vipengele vyote vya matumizi ya ardhi ya ufugaji pamo-ja na maadili ya kitamaduni ya umili-ki.... Ukadiriaji wa sheria za kitaifa kwa kuzingatia mwongozo wa VGGT

-ofaa.

za umiliki wa ardhi; kutambulika kama zenye dhamana kama sheria zingine halali hata kama hazijasajiliwa.

-fa-kanuni za sheria za kimataifa, wajibu wa kujulisha serikali husika.

pamoja

Page 7: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

7

Utekelezaji

Kuwezeshautekelezaji

Kubuni/

kusahihisha sera na sheria

Kukadiriamifumoyakisheria/ kisera

/kitaasisi

Kukadiria uhalisiuliopo

Usimamizi

bora Kuwezeshaupa kanaji

wahakiKuhifadhina Kulindadhidi ya ma shio

Kuzuia migogoro, ubishi na

u sadi

Kutambuana

kuheshimu haki za

umiliki

Kutoanafasiyakushirikika kamajadiliano

–za –

–-

Utekelezaji

wa VGGT

serikali

taasisi

serikali

mashirikayak

ijamii

sektabinafsi

wanataalum

a

Matokeo ya jumla: Maendeleo ya sehemu za mashambani

Rizikiyajamii Kujitawala

Ustawiwamazingira Uchumajirizikiunaoendelea

Je, mwongozo wa VGGT unaweza kutumikaje?

Page 8: Kustawisha Utawala wa Ardhi za Ufugaji wa kuhamahama · 2019. 5. 15. · Serikali, J amii za wafugaji, biashara na wawekezaji, mahakama na maajenti, W amiliki wa asili, W asomi, mashirika

8

Ujumbe Mkuu

-ingi wa ufugaji unaoendelea, wenye faida za kijamii, kiuc humi na kimazingira

-fu inayoweza kubadilika kulingana na mahitaji ya ufugaji inahitajika.

-gu mzima kuhusu usimamiziwa ardhi ya ufugaji

-dau wote ili kuelewa mifumo mbalimbali ya ujuzi na utendakazi

-dhi ya ufugaji, naya kuepuka hatari zina-zoambatana na hatua hii.

Kutetea ufugaji dhabiti na uendelevu

Some rights reserved. This work is available under a CC BY-NC-SA 3.0 IGO licence ©

FAO

, 201

8 C

A22

37S

W/1

/11.

18

Some rights reserved. This work is available under a CC BY-NC-SA 3.0 IGO licence ©

FAO

, 201

8 C

A22

37S

W/1

/11.

18