Upload
others
View
3
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
Kuzungumza kuhusu tohara ya kimatibabu kwa wanaume isiyo yalazima: Kifaa cha mazungumzo kati ya muhudumu na mteja.
1
Picha hizi zimetengenezwa kuwasaidia wahudumu wa afya na washauri kupasha habari kwa njia inayofaa mno kuhusu tohara ya kimatibabu kwa wanaume isiyo ya lazima. Upande mmoja wa ukurasa unafaa kutazamwa na mteja na upande mwingine ulio na alama ya sayari ya manjano unafaa kutazamwa na mshauri.
Tohara ya kimatibabu kwa wanaume isiyo ya lazima inasaidia kukingafamilia yako kutokana na virusi vya UKIMWI.
2
Kupimwa virusi vya UKIMWI na muda wa kuambukizwahadi wakati virusi vinapogunduliwa kwenye damu.
Hakuna Virusi vyaUKIMWI/Mwenye afya
Virusi vya UKIMWIvinaingia mwilini
Virusi vya UKIMWIvinaongezeka kwa wingi,
uwezekano wa kuambukizawengine ni wa hali ya juu,
ukipimwa Virusi vya UKIMWI,matokeo huenda yakaonyesha
hamna.
Kinga ya mwili wako inaanza kukabiliana
na Virusi vya UKIMWI, uwezekano wa
kuambukiza wengineunapungua
Virusi vya UKIMWIvinabadilika kuwa
ugonjwa wa UKIMWI.Kinga ya mwili
inadhoho�ka. Uwezakanowako kuambukiza
watu unakuwa mwingi.Kinga ya mwili
Virusi vya UKIMWI
3Kupimwa virusi vya UKIMWI na muda wa kuambukizwa
hadi wakati virusi vinapogunduliwa kwenye damu.
Virusi vya UKIMWIvinaongezeka kwa wingi,
uwezekano wa kuambukizawengine ni wa hali ya juu,
ukipimwa virusi vya UKIMWI,matokeo huenda yakaonyesha
hamna.Kinga ya mwili
Virusi vya UKIMWI
Hakuna virusi vyaUKIMWI/Mwenye afya
Virusi vya UKIMWIvinaingia mwilini
Kinga ya mwili wako inaanza kukabiliana
na virusi vya UKIMWI, uwezekano wa
kuambukiza wengineunapungua
Virusi vya UKIMWIvinabadilika kuwa
ugonjwa wa UKIMWI.Kinga ya mwili
inadhoho�ka. Uwezakanowako kuambukiza
watu unakuwa mwingi.
Kupimwa virusi vya UKIMWI na muda wa kuambukizwa hadi wakati virusi vinapogunduliwa kwenye damu
1. Ni muhimu kujua hali yako ya virusi vya UKIMWI kabla ya kupata tohara ya kimatibabu isiyo ya lazima upate faida ya juu inayotokana na tohara ya kimatibabu isiyo ya lazima. Tohara ya kimatibabu kwa wa naume isiyo ya lazima haipendekezwi kwa wanaume walioambukizwa virusi vya UKIMWI. Wateja ambao wata kataa kupimwa virusi vya UKIMWI na bado wanataka watahiriwe wataheshimiwa kwa uamuzi wao.2. Upimaji wa virusi vya UKIMWI unagundua kingamwili (Wanajeshi) wanaokabiliana na virusi vya UKIMWI, si virusi vyenyewe.3. Ingawaje upimaji huu unauwezo wa juu wa kuonyesha mabadiliko hata madogo, huwa kuna muda ambao baada ya kuambukizwa, virusi vinagunduliwa kwenye damu. Huu ndiyo wakati ambapo mtu aliye ambukizwa virusi vya UKIMWI hana kingamwili ya kutosha kugunduliwa kupitia upimaji tunayoitu mia4. Katika juma la kwanza kati ya majuma 6 hadi 8 baada ya kuambukizwa, virusi vinaongezeka haraka. Wakati kama huu, mtu anaweza kueneza virusi vya UKIMWI kwa wengine.
Jinsi tohara inavyokukinga dhidi ya virusi vya UKIMWI
Ngozi inatolewa wakatiwa kutahiriwa
Shina ya uume
Shina ya uumeNgozi ya uumeimetolewa
Uume ambao haujatahiriwa Uume uliotahiriwa
Circumcised Erect
4
Ngozi inatolewa wakatiwa kutahiriwa
Shina ya uume
Shina ya uumeNgozi ya uumeimetolewa
Uume ambao haujatahiriwa Uume uliotahiriwa
1. Sehemu ya ndani ya ngozi ya uume ni nyororo na yenye unyevu nyevu na kwa hivyo kuwa na uwezekano wa kuraruka kidogo au kuwa na kidonda ambayo inaruhusu virusi vya UKIMWI kuingia mwilini kwa urahisi.2. Ngozi ya uume yenyewe ina chembe chembe zinazolengwa na virusi vya UKIMWI zinazowezesha virusi vya UKIMWI kuingia mwilini kwa urahisi. 3. Baada ya tohara, ngozi kwenye sehemu ya kichwa cha uume inakuwa ngumu na haiwezi kuraruka kwa urahisi. Mwanaume aliyetahiriwa ana kinga 60% kuambukizwa virusi vya UKIMWI kuliko mwanaume hajayetahiriwa.
Jinsi tohara ya kimatibabu kwa wanaume isiyo ya lazima inakukingadhidi ya virusi vya UKIMWI:
Jinsi tohara inavyokukinga dhidi ya virusi vya UKIMWI
Mpangilio wa kupasha tohara yakimatibabu kwa wanaume isiyo yalazima: Kufanya uamuzi
Hatuaya 1
Hatuaya 2
Hatuaya 3
5
Jadili kuhusu tohara ya kimatibabu kwawanaume isiyo ya lazima na mshauri.
Jaza fomu ya ombi la kupashwa tohara yakimatibabu kwa wanaumeisiyo ya lazima.
Hatua
ya 1
Hatua
ya 2
Hatua
ya 3
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabukwa wanaume isiyo ya lazima: Kufanya uamuzi
Fika ili utahiriwe. Wewe pamoja na mshirika wakomnafaa kuelewa utaratibu, kwa hivyo ni vyemakwako na mshirika wako kumtembelea mshauri au muhudumu wa afya pamoja.
Mpangilio wa kupasha tohara yakimatibabu kwa wanaume isiyoya lazima: Matayarisho
Hatuaya 5
Hatuaya 6
Hatuaya 4
6
Pimwa virusi vya UKIMWI
Ukaguliwe kama una magonjwa yoyotekwenye viungo vya uzazi.
Upewe sindano ya kutia ganzi sehemuya chini ya uume wako kuifanya ife ganzi.
Hatuaya 4
Hatuaya 5
Hatuaya 6
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabukwa wanaume isiyo ya lazima: Matayarisho
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabukwa wanaume isiyo ya lazima: Kutoa ngoziya uume
Hatuaya 7
Hatuaya 8
Hatuaya 9
7
Ngozi ya uume inatolewa
Pumzika kwa dakika 30.
Hatuaya 7
Hatuaya 8
Hatuaya 9
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabu kwawanaume isiyo ya lazima: Kutoa ngozi ya uume
Upokee ushauri kuhusu unayopaswakufanya ili upone vizuri.
Hatuaya 12
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabukwa wanaume isiyo ya lazima: Baada ya kutahiriwa
Hatuaya 10
Hatuaya 11
X
8
Nenda nyumbani. Usiendeshe baiskeli ukienda nyumbani,hata hivyo, kwa sababu inaweza kurarua kidonda na kuzuiakupona vizuri.
Oga kwa uangalifu bila kuloweshabandeji.
Toa bandeji baada ya siku 3 au tembelea kituocha afya kilichoko karibu nawe kwa usaidizikama huwezi kutoa bandeji mwenyewe
Hatuaya 10
Hatuaya 11
Hatuaya 12
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabukwa wanaume isiyo ya lazima: Baada ya kutahiriwa
Mpangilio wa kupasha tohara yakimatibabu kwa wanaume isiyoya lazima: Kupona kamili
Hatuaya 13
Hatuaya 14
Hatuaya 15
9
Usijichoshe na kazi au kuogelea kwa juma moja.
Hatua
ya 13
Hatua
ya 14
Hatua
ya 15
Mpangilio wa kupasha tohara ya kimatibabukwa wanaume isiyo ya lazima: Kupona kamili
Rudi katika kliniki siku ya 7 baada ya kutahiriwa ili ukaguliwe.
Jiepushe na ngono au kupiga punyatokwa majuma sita ili upone vizuri
Endelea kujikinga kutokana navirusi vya UKIMWI
10
Endelea kujikinga kutokana na virusi vya UKIMWI.
• Kuwa mwaminifu kwa mshirika wako mmoja ambaye hali yake ya virusi vya UKIMWI unajua.• Kila wakati tumia kondomu kila mara unapo fanya ngono.
Jadili tohara ya kimatibabu kwawanaume isiyo ya lazima na mshirikawako.
11
1. Ni vizuri kuzungumza na mshirika wako kabla hujatahiriwa.2. Mueleze faida za kiafya kwenu nyote.3. Kukuunga kwake mkono itafanya mpangilio uwe raisi kwako.4. Tembeleeni kituo cha afya mkiwa pamoja ili mjadili kuhusu tohara ya kimatibabu kwa wanaume isiyo ya lazima na mshauri.5. Nyote yafaa mpimwe virusi vya UKIMWI kabla hujatahiriwa.
Kujadili tohara ya kimatibabu kwa wanaume isiyo yalazima na mshirika wako: