Upload
khalfan-said
View
151
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
7/17/2019 Maamuzi Ya Tume Ya Kisera Kuhusiana Na Upigaji Kura
http://slidepdf.com/reader/full/maamuzi-ya-tume-ya-kisera-kuhusiana-na-upigaji-kura 1/2
MAAMUZI YA TUME YA KISERA KUHUSIANA NA UPIGAJI KURA
NA
.
CHANGAMOTO ATHARI MAAMUZI
1. Kutofautiana kwa namba ya kadi ya Mpiga
Kura ile iliyopo kwenye Daftari la Kituowakati taarifa nyingine zote zimo kwenye
Daftari.
Wapiga Kura wenye sifa za
kupiga kura kukosa haki yakupiga kura.
Kwa Mpiga Kura ambaye atakuwa na kadi
ya Mpiga Kura ila namba ya kadiikatofautiana na namba iliyo kwenye
Daftari la Kituo: Aruhusiwe kupiga kura.
2. Kutoonekana vizuri au kutoonekana kabisa
kwa piha ya Mpiga Kura aliye!iandikisha
katika kadi ya Mpiga Kura ili hali taarifa zake
nyingine ziko kwenye Daftari la kituo sawa
na zile zilizoko.
Wapiga kura wenye sifa za
kupiga kura kukosa haki ya
kupiga kura kwa piha zao
kutoonekana kwenye Daftari la
kituo.
Kwa Wapiga Kura ambao piha zao
hazikuonekana vizuri au kutoonekana
kabisa kwenye kadi ya Mpiga Kura:
aruhusiwe kupiga kura ha!a pa"e
a#$ap% pi&ha 'a% ha'i!%!%kea
kwe()e *a+!ari.
". Mabadiliko ya mipaka ya kiutawala
yaliyofanyika wakati au baada ya zoezi la
uandikisha!i kukamilika.
Ma!ina ya maeneo mapya ya
kiutawala kutofautiana na
ma!ina yaliyopo kwenye kadi za
Wapiga Kura.
Kwa Wapiga Kura walioandikishwa na
#ume waliopo kwenye maeneo mapya
kiutawala na ma!ina ya maeneo hayo
yanatofautiana na ma!ina yaliyopo kwenye
kadi zao: aruhusiwe Kupiga Kura.
$. Wapiga Kura wasioonekana kwenye Mfumo
wa Daftari lakini wana vitambulisho
vilivyotolewa na #ume na fomu zao za
kuandikishwa ku%kishwa #ume.
Wapiga Kura hao kukosa haki
ya kupiga kura kwa kuwa
ma!ina na piha zao
hazionekani katika mfumo wa
Daftari.
Ma!ina ya Wapiga Kura hao kuandaliwa
katika mfumo wa orodha bila kuwa na
piha na kupelekwa katika vituo
walivyo!iandikisha: aruhusiwe kupiga
kura.
&. Wasio na kadi za kupiga kura lakini ma!ina
yao yapo kwenye Daftari.
'awataweza kupiga kura kwa
kuwa hawana kadi.
Wapiga kura ambao ma!ina yao yamo
kwenye Daftari la Kituo lakini hawana kadi
ya kupigia kura:asiruhusiwe kupiga
kura.
7/17/2019 Maamuzi Ya Tume Ya Kisera Kuhusiana Na Upigaji Kura
http://slidepdf.com/reader/full/maamuzi-ya-tume-ya-kisera-kuhusiana-na-upigaji-kura 2/2
(. Wapiga Kura wenye kadi za kupigia kura
lakini taarifa zao hazipo katika Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura.
'awataweza kupiga kura kwa
kuwa hawapo kwenye Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura.
Kwa Wapiga Kura ambao wana kadi ya
kupigia kura lakini hawapo katika Daftari)
wasiruhusiwe kupiga kura.