1
Mamlaka ya Mapato Tanzania inapenda kuwatangazia waajiriwa wapya waliopangiwa kazi Mamlaka ya Mapato, kuwa wanatakiwa kuripoti Chuo Cha Kodi kilichopo Mikocheni “B” ‘Industrial Area’ siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2019, ambapo kutakuwa na mchakato wa ukamilishwaji wa taratibu za ajira kwa siku ya tarehe 31 Agosti na 1 Septemba, 2019 kuanzia saa 2.00 asubuhi na baadaye mafunzo kuanzia tarehe 2 – 11 Septemba, 2019 kuanzia saa 2.00 asubuhi. Ili kukamilisha mchakato wa ajira, kila mwajiriwa mpya anatakiwa afike na nyaraka zifuatazo:- 1. Barua ya kupangiwa kituo cha kazi kutoka Sekretariet ya Ajira 2. Nyaraka zote muhimu za taarifa binafsi ziwe na majina matatu, mfano cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma.Endapo jina mojawapo halipo katika vyeti basi utahitaji kuwa na kiapo kilichothibitishwa na msajili wa Hati (deed poll) kutoka Wizara ya Ardhi. 3. Endapo umebadilisha majina utatakiwa kuwasilisha kiapo kilichothibitishwa na Msajili wa Hati(Deed poll) kutoka Wizara ya Ardhi. 4. Vyeti vya Elimu na Taaluma:- i. Nakala halisi na ii. Nakala 4 ambazo zimethibitishwa na mwanasheria (certified copies). 5. Kwa waliosoma nje ya nchi kwa elimu ya sekondari na vyuo wawasilishe nakala za uthibitisho kutoka NECTA, NACTE naTCU. 6. Cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate) i. Mwajiriwa – (nakala 4 zilizothibitishwa na mwanasheria) ii. Wategemezi (watoto/mke)- nakala 4 zilizothibitishwa na mwanasheria 7. Cheti halisi cha ndoa na nakala 3 zilizothibitishwa na mwanasheria 8. Nakala 1 ya Kitambulisho cha taifa , iliyothibitishwa na mwanasheria 9. Picha (Passport size) i. Mwajiriwa nakala 8 ii. Wategemezi nakala 1 10. Wasifu binafsi (Curiculum Vitae) 11. Viambatisho kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya:- i. Kwa wale ambao wataweka wenzi au wazazi kama wanufaika wa huduma za Bima ya afya watapaswa kuambatisha kitambulisho kimojawapo kati ya Leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha uraia au hati ya kusafiria. Imetolewa na; Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala KNY: KAMISHNA MKUU 27 Agosti, 2019 TANGAZO KUHUSU WAAJIRIWA WAPYA KURIPOTI CHUO CHA KODI

TANGAZO KUHUSU WAAJIRIWA WAPYA KURIPOTI ...Vyeti vya Elimu na Taaluma:- i. Nakala halisi na ii. Nakala 4 ambazo zimethibitishwa na mwanasheria (certified copies). 5. Kwa waliosoma

  • Upload
    others

  • View
    2

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: TANGAZO KUHUSU WAAJIRIWA WAPYA KURIPOTI ...Vyeti vya Elimu na Taaluma:- i. Nakala halisi na ii. Nakala 4 ambazo zimethibitishwa na mwanasheria (certified copies). 5. Kwa waliosoma

Mamlaka ya Mapato Tanzania inapenda kuwatangazia waajiriwa wapya waliopangiwa kazi Mamlaka ya Mapato, kuwa wanatakiwa kuripoti Chuo Cha Kodi kilichopo Mikocheni “B” ‘Industrial Area’ siku ya Jumamosi tarehe 31 Agosti, 2019, ambapo kutakuwa na mchakato wa ukamilishwaji wa taratibu za ajira kwa siku ya tarehe 31 Agosti na 1 Septemba, 2019 kuanzia saa 2.00 asubuhi na baadaye mafunzo kuanzia tarehe 2 – 11 Septemba, 2019 kuanzia saa 2.00 asubuhi.

Ili kukamilisha mchakato wa ajira, kila mwajiriwa mpya anatakiwa afike na nyaraka zifuatazo:-1. Barua ya kupangiwa kituo cha kazi kutoka Sekretariet ya Ajira 2. Nyaraka zote muhimu za taarifa binafsi ziwe na majina matatu, mfano cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma.Endapo jina mojawapo halipo katika vyeti basi utahitaji kuwa na kiapo kilichothibitishwa na msajili wa Hati (deed poll) kutoka Wizara ya Ardhi. 3. Endapo umebadilisha majina utatakiwa kuwasilisha kiapo kilichothibitishwa na Msajili wa Hati(Deed poll) kutoka Wizara ya Ardhi. 4. Vyeti vya Elimu na Taaluma:- i. Nakala halisi na ii. Nakala 4 ambazo zimethibitishwa na mwanasheria (certified copies).5. Kwa waliosoma nje ya nchi kwa elimu ya sekondari na vyuo wawasilishe nakala za uthibitisho kutoka NECTA, NACTE naTCU. 6. Cheti cha kuzaliwa (Birth Certificate) i. Mwajiriwa – (nakala 4 zilizothibitishwa na mwanasheria) ii. Wategemezi (watoto/mke)- nakala 4 zilizothibitishwa na mwanasheria7. Cheti halisi cha ndoa na nakala 3 zilizothibitishwa na mwanasheria8. Nakala 1 ya Kitambulisho cha taifa , iliyothibitishwa na mwanasheria9. Picha (Passport size) i. Mwajiriwa nakala 8 ii. Wategemezi nakala 110. Wasifu binafsi (Curiculum Vitae)11. Viambatisho kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya:- i. Kwa wale ambao wataweka wenzi au wazazi kama wanufaika wa huduma za Bima ya afya watapaswa kuambatisha kitambulisho kimojawapo kati ya Leseni ya udereva, kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha uraia au hati ya kusafiria.

Imetolewa na;Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala

KNY: KAMISHNA MKUU27 Agosti, 2019

TANGAZO KUHUSU WAAJIRIWA WAPYA KURIPOTI CHUO CHA KODI