83
Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007 Unda wasilisho lako la kwanza

Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

  • Upload
    camden

  • View
    121

  • Download
    23

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007. Unda wasilisho lako la kwanza. Yaliyomo ya kozi. Muhtasari: Jipange na ya misingi Funzo la 1: Unda slaidi zako Funzo la 2: Chagua dhima, na ongeza yaliyomo Funzo la 3: Thibitisha, chapisha, na jiandae kwa onesho. - PowerPoint PPT Presentation

Citation preview

Page 1: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Mafunzo ya Microsoft® Office

PowerPoint® 2007Unda wasilisho lako la kwanza

Page 2: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Yaliyomo ya kozi• Muhtasari: Jipange na ya misingi

• Funzo la 1: Unda slaidi zako

• Funzo la 2: Chagua dhima, na ongeza yaliyomo

• Funzo la 3: Thibitisha, chapisha, na jiandae kwa onesho

Kila funzo linajumuisha orodha ya kazi zilizopendekezwa na jozi la maswali ya jaribio.

Page 3: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Muhtasari: Jipange na ya misingi

Umeulizwa kutengeneza wasilisho la PowerPoint, lakini huna uhakika jinsi ya kuanza?

Kozi hii itakufunza kila kitu unapaswa kujua ili kuunda na kuwasilisha wasilisho.

Jua jinsi ya kuunda slaidi, kuweka yaliyomo, na kuzifanya zionekane nzuri. Kisha utajifunza jinsi ya kuandaa vitini na taarifa na kuwa tayari kuwasilisha.

Page 4: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Malengo ya kozi• Unda slaidi na ongeza matini.

• Chopeka picha na ongeza yaliyomo.

• Tekeleza dhima kwa sura ya jumla ya wasilisho.

• Chapisha taarifa na vitini.

• Jiandae kupeana onesho.

Page 5: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Funzo la 1

Unda slaidi zako

Page 6: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Unda slaidi zakoHuu ni mtazamo wa dirisha la PowerPoint.

Funzo hili litakupa utangulizi wa dirisha na kukusaidia kuhisi sawa kufanya kazi hapa.

Utaona jinsi ya kuongeza slaidi mpya, kuchagua walio wa slaidi, na kuongeza matini vile vile kama slaidi za kutumia upya kutoka kwa wasilisho lingine.

Mwishowe, utapata jinsi ya kuandaa vitini unapounda onesho, kurejea kwa wakati utawasilisha.

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa ndogo

Bofya kuongeza vitini

Page 7: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Pata kujua nafasi kazi yakoHuu ni mwoneko wa kwanza ambao hufungua katika PowerPoint. Unaitwa mwoneko Kawaida.

Unafanya kazi hapa kuunda slaidi.

1

2

Kidirisha cha slaidi ndilo eneo kubwa katikati. Unafanya kazi moja kwa moja katika nafasi hii.

Kwenye slaidi, vikasha na ukingo ulio na madoadoa huitwa vishikanafasi. Hapa ndipo unacharaza matini yako, unachopeka sanaa, au unaongeza yaliyomo.

Kuna maeneo tatu kuu ya Mwoneko kawaida.

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa ndogo

Bofya kuongeza vitini

123

4

Page 8: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Pata kujua nafasi kazi yakoHuu ni mwoneko wa kwanza ambao hufungua katika PowerPoint. Unaitwa mwoneko Kawaida.

Unafanya kazi hapa kuunda slaidi.

Kwenye upende wa kushoto ni matoleo ndogo au ya kijipicha, ya slaidi katika wasilisho, na ile unayofanyia kazi imedhulishwa. Eneo hili ni kichupo cha Slaidi.

Kuna maeneo tatu kuu ya Mwoneko kawaida.

3

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa ndogo

Bofya kuongeza vitini

123

4

Page 9: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Pata kujua nafasi kazi yakoHuu ni mwoneko wa kwanza ambao hufungua katika PowerPoint. Unaitwa mwoneko Kawaida.

Unafanya kazi hapa kuunda slaidi.

Katika eneo la chini kuna kidirisha cha vitini, ambapo unacharaza vitini ambavyo utarejea wakati unawasilisha.

Kuna maeneo tatu kuu ya Mwoneko kawaida.

4

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa ndogo

Bofya kuongeza vitini

123

4

Page 10: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza slaidi mpyaWakati PowerPoint imefunguka, kuna slaidi moja tu wazi katika onesho.

Unaongeza slaidi zingine.

Njia inayojulikana zaidi ya kuongeza slaidi mpya ni kwa kubofya Slaidi Mpya kwenye kichupo Maskani, wakati picha inaonesha.

Maskani Maskani

Page 11: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza slaidi mpyaWakati PowerPoint imefunguka, kuna slaidi moja tu wazi katika onesho.

Unaongeza slaidi zingine.

Kuna njia mbili za kutumia kitufe cha Slaidi Mpya:

1 Ukibofya sehemu ya juu ya kitufe, ambapo ikoni ya slaidi ipo, slaidi mpya inaongezwa mara moja chini ya slaidi ambayo imeteuliwa kwenye kichupo cha Slaidi.

Maskani Maskani

Page 12: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza slaidi mpyaWakati PowerPoint imefunguka, kuna slaidi moja tu wazi katika onesho.

Unaongeza slaidi zingine.

Kuna njia mbili za kutumia kitufe cha Slaidi Mpya:

2 Ukibofya sehemu ya chini ya kitufe, utapata kichanja cha walio cha slaidi. Unachagua walio, na slaidi inachopekwa na walio hilo.

Maskani Maskani

Page 13: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza slaidi mpyaUkiongeza slaidi bila kuchagua walio, PowerPoint hutekeleza moja kioto.

Unaweza kuibadili ukitaka: Bofya kulia slaidi ambayo ina walio unaotaka kubadili, na kisha elekeza kwa Walio.

Maskani Maskani

Page 14: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chagua walio kwa slaidiWalio wa slaidi hupanga yaliyomo ya slaidi yako.

Kwa mfano, unaweza taka orodha na picha kwenye slaidi, au picha na maelezo mafupi.

Walio zina aina tofauti za mipangilio ya vishika nafasi na kishika nafasi kuauni yaliyomo yako yoyote.

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa

Bofya ili kuongeza kichwa kidogo

Bofya kuongeza matini

Page 15: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chagua walio kwa slaidiPicha huonesha walio ambazo PowerPoint huanzisha kioto.

1

2

Walio wa Slaidi ya kichwa iliyooneshwa hapa inavyonekana katika kichanja cha walio, hutekelezwa kwa slaidi ya kwanza katika onesho (ile ambayo tayari ipo wakati unapoanza).

Kwenye slaidi, walio wa Slaidi ya Kichwa una vishika nafasi kwa kichwa kichwa ndogo.

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa

Bofya ili kuongeza kichwa kidogo

Bofya kuongeza matini

Page 16: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chagua walio kwa slaidiPicha huonesha walio ambazo PowerPoint huanzisha kioto.

Walio ambayo utatumia labda sana kwa slaidi zingine inaitwa Kichwa na Yaliyomo, zilizooneshwa hapa na inafanana na kichanja cha walio.

3

4 Kwenye slaidi, walio hii ina kishika nafasi kwa kicwha cha slaidi, na kishika nafasi cha pili cha utumizi wote, ambao una matini na ikoni kadhaa vie vile.

Bofya kuongeza kichwa

Bofya kuongeza kichwa

Bofya ili kuongeza kichwa kidogo

Bofya kuongeza matini

Page 17: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Charaza matini yakoKatika kishika nafasi cha utumizi wote kilichooneshwa awali, unaweza ongeza elementi au matini.

Wacha tuongee kuhusu matini.

1

2

Unaweza tumia viwango tofauti za matini na orodha zenye viaridhishi kufanya vidokezo ndogo chini ya vidokeo kuu.

Kwenye Utepe, tumia amri katika kundi la Fonti kubadili uumbizaji wa kibambo, kama vile rangi na saizi ya fonti.

Uumbizaji kaida kwa matini ni orodha aridhishe.

Maskani

Lorem IpsumDolor sit amet

ConsectetueradipiscingelitDonec euismod Mattis augue

Class aptent Taciti sociosqu

Page 18: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Charaza matini yakoKatika kishika nafasi cha utumizi wote kilichooneshwa awali, unaweza ongeza elementi au matini.

Wacha tuongee kuhusu matini.

3 Tumia amri katika kundi la Aya kubadili uumbizaji wa aya, kama vile uumbizaji wa orodha, kugawa matini, na nafasi kati mstari.

Uumbizaji kaida kwa matini ni orodha aridhishe.

Maskani

Lorem IpsumDolor sit amet

ConsectetueradipiscingelitDonec euismod Mattis augue

Class aptent Taciti sociosqu

Page 19: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka slaidi kwa wasilisho lingineUnaweza hitaji kutumia slaidi kutoka kwa waslilisho lililoko katika onesho lako.

Hapa kuna jinsi ya kuifanya.

1

2

Kwenye kichupo cha Maskani bofya kishale karibu na Slaidi Mpya, ni kama ulikuwa unataka kuchopeka slaidi mpya na chagua walio wake kwanza.

Chini ya kichanja cha walio, bofya Tumia upya Slaidi.

Maskani

MpyaSlaidi

Salidi Rudufu zimeteuliwa

Slaidi kutoka Ufupisho

Tumia upya Slaidi

Tumia upya Slaidi

Ingiza slaidi kwanzia: C:\Wasilisho...

Sakura

Page 20: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka slaidi kwa wasilisho lingineUnaweza hitaji kutumia slaidi kutoka kwa waslilisho lililoko katika onesho lako.

Hivi ndivyo jinsi ya kuifanya.

3 Katika kidirisha cha Tumia upya Slaidi chini ya Chopeka slaidi kutoka kwa , bofyaSakura ili kupata wasilisho au maktaba ya slaidi ambayo ina slaidi unazotaka. Kisha bofya kishale kufungua slaidi katika kidirisha cha kazi.

Maskani

MpyaSlaidi

Salidi Rudufu zimeteuliwa

Slaidi kutoka Ufupisho

Tumia upya Slaidi

Tumia upya Slaidi

Ingiza slaidi kwanzia: C:\Wasilisho...

Sakura

Page 21: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka slaidi kwa wasilisho lingineUnaweza hitaji kutumia slaidi kutoka kwa waslilisho lililoko katika onesho lako.

Hivi ndivyo jinsi ya kuifanya.

Wakati unapata slaidi unayotaka, gundua kikasha hakikishi cha Weka uumbizaji chanzo katika sehemu ya chini kabisa ya kidirisha. Ikiwa unataka kubakisha sura ile ile ya slaidi unazochopeka, hakikisha kikasha hakikishi hiki kimeteuliwa kabla ya kuchopeka slaidi.

4

Maskani

MpyaSlaidi

Salidi Rudufu zimeteuliwa

Slaidi kutoka Ufupisho

Tumia upya Slaidi

Tumia upya Slaidi

Ingiza slaidi kwanzia: C:\Wasilisho...

Sakura

Page 22: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka slaidi kwa wasilisho lingineUnaweza hitaji kutumia slaidi kutoka kwa waslilisho lililoko katika onesho lako.

Hivi ndivyo jinsi ya kuifanya.

Bofya kila slaidi unayotaka kuchopeka. Kila moja imenakiliwa ndani kufungua wasilisho, chini ya slaidi iliyoteuliwa sasa au chini ya kielekezi, ikiwa umeweka chini ya kijipicha cha slaidi.

5

Maskani

MpyaSlaidi

Salidi Rudufu zimeteuliwa

Slaidi kutoka Ufupisho

Tumia upya Slaidi

Tumia upya Slaidi

Ingiza slaidi kwanzia: C:\Wasilisho...

Sakura

Page 23: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Unda vitini msemajiTumia vitini msemaji kufafanua juu ya vidokezo kwenye slaidi.

Vitini vizuri vitakusaidia kutumia hadhira yako na kuepuka kujaa kwa matini kwenye slaidi.

1

2

Unapokuza yaliyomo kwenye slaidi zako, charaza vitini katika kidirisha cha vitini, chini ya slaidi.

Unaweza peusha kidirisha cha vitini ili iwe rahisi kufanya kazi kwa kuburuta upau baidishi.

Lorem ipsum dolor sit ametFusce suscipit molestie miNam eleifend dignissim nisl

Page 24: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Unda vitini msemajiTumia vitini msemaji kufafanua juu ya vidokezo kwenye slaidi.

Vitini vizuri vitakusaidia kutumia hadhira yako na kuepuka kujaa kwa matini kwenye slaidi.

3 Vitini vyako vimeakibishwa katika ukurasa wa vitini, ambao una nakala ya slaidi na vitini. Huu ndio ukurasa unachapisha kurejea kwake unapopeana wasilisho.

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam eleifend dignissim nislFusce suscipit molestie mi

Page 25: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Maoni kwa mazoezi 1. Jizoeze na maeneo ya dirisha la PowerPoint.

2. Charaza matini.

3. Ongeza slaidi mpya.

4. Abiri na ongeza matini zaidi.

5. Tumia pengo za matini na uumbizaji.

6. Fanya kazi na kuweka matini kioto.

7. Charaza na ona matini.

Page 26: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 1, swali 1Katika dirisha la PowerPoint, ni nini eneo kuu kwa kuongeza yaliyomo ya slaidi? (Chagua jibu moja.)

1. Kichupo cha Slaidi ambapo vijipicha viko, kwenye dirisha la kushoto ka dirisha.

2. Kidirisha cha vitini.

3. Kidirisha cha slaidi, katikati mwa dirisha.

Page 27: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 1, swali 1: JibuKidirisha cha slaidi, katikati mwa dirisha.

Fanya kazi katika kidirisha cha slaidi na ongeza matini, picha, maumbo, majalada ya midia, au yaliyomo mengine kwa slaidi yako.

Page 28: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 1, swali 2Wakati unaongeza slaidi mpya, unachagua vipi walio wake wa kwanza? (Chagua jibu moja.)

1. Kwenye kichupo cha Maskani, bofya nusu juu ya kitufe cha Slaidi Mpya.

2. Kwenye kichupo cha Maskani bofya nusu chini ya kitufe cha Slaidi Mpya ambapo kishale kipo.

3. Bofya kiulia kijipicha cha slaidi kwenye kichupo cha Slaidi na bofya Slaidi Mpya.

Page 29: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 1, swali 2: JibuKwenye kichupo cha Maskani bofya nusu chini ya kitufe cha Slaidi Mpya ambapo kishale kipo.

Kubofya kishale huangazisha walio za slaidi. Unapoteua moja, slaidi huchopekwa na walio huo.

Page 30: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 1, swali 3Ni njia ipi ya haraka kubadili walio wa sasa wa slaidi na walio tofauti? (Chagua jibu moja.)

1. Bofya nusu chini ya kitufe cha Slaidi Mpya kwenye kichupo cha Maskani.

2. Bofya kulia slaidi ambayo ina walio unayotaka kubadili, na elekeza kwa Walio.

Page 31: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 1, swali 3: JibuBofya kulia slaidi ambayo ina walio unayotaka kubadili, na elekeza kwa Walio.

Hii hufungua kichanja cha walio. Unabofya moja kutekeleza kwa slaidi. Njia nyingine ni kuteua kijipicha cha slaidi na walio unaotaka kubadili, na bofya Walio kwenye kichupo cha Maskani. Hiyo huangazisha kichanja, ambapo unateua walio wa kutekeleza.

Page 32: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Funzo la 2

Chagua dhima, na ongeza yaliyomo

Page 33: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chagua dhima, na ongeza yaliyomoKama rangi kuu kwa wasilisho lako, msingi nyeusi utafanya kazi hiyo.

Lakini na wakati uko katika hisia ya rangi zaidi na muundo kali?

Nenda moja kwa moja kwa kichanja cha dhima za PowerPoint na jaribu kilicho hapo. Kuteua dhima sio ngumu kuliko kubadili swichi.

Unaweza pia weka emementi zingine kwenye slaidi zako, kama vile picha na maelezo mafupi, kisha usizipange ili kila kitu kiwe kwa mpangilio safi.

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing.

Maecenas

Page 34: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Uzuri wa dhimaKila wasilisho una dhima.

Zingine zinapendeza tu zaidi ya zingine.

Dhima huamua sura na rangi ya slaidi zako na huipa wasilisho lako sura isiyobadilika.

Hapa, unaona vichwa tatu vya slaidi ambavyo vina yaliyomo lakini vimetumia dhima tofauti.

Loremipsumdolorsitamet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit ametNam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus

sollicitudin adipiscing. Maecenas

Page 35: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Uzuri wa dhimaKila wasilisho una dhima.

Zingine zinapendeza tu zaidi ya zingine.

Dhima hujumuisha elementi tatu, zinazotolewa kama kifurushi:• Muundo wa Mandharinyuma• Mpangano rangi• Aina na saizi za fonti• Nafasi za vishika nafasi

Loremipsumdolorsitamet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit ametNam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus

sollicitudin adipiscing. Maecenas

Page 36: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Uzuri wa dhimaMpangano rangi huathiri rangi za mandharinyuma, rangi za fonti, rangi jazo kwa maumbo, rangi za ukingo, viunga wavuti, na elementi za slaidi na chati.

Na ikiwa una vishika nafasi, rangi za dhima huheshimu walio ulioteua; huwa unasogeza vitu kidogo tu.

Loremipsumdolorsitamet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit ametNam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus

sollicitudin adipiscing. Maecenas

Page 37: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chagua dhimaKila wasilisho mpya huanza na dhima kaida, inayoitwa Office Dhima.

Kupata na kutekeleza kila moja, anza kwa kubofya kichupo cha Muundo kwenye Utepe

1

2

Mifano ya dhima, kwa njia ya vijipicha ndogo unaona hapa, zinaonesha katika kundi la Dhima.

Kuona dhima zaidi, bofya kitufe cha Zaidi kwenye upande wa kulia wa kundi hilo.

Muundo

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Page 38: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Muundo

Chagua dhimaKila wasilisho mpya huanza na dhima kaida, inayoitwa Office Dhima.

Kupata na kutekeleza kila moja, anza kwa kubofya kichupo cha Muundo kwenye Utepe

3 Unapoelekeza kwa kijipkicha chochote cha dhima, mwoneko awali wake huoneshwa kwenye slaidi.

Bofya kijipicha kutekeleza dhima hiyo kwa slaidi zako zote. Unaweza pia tekeleza dhima pekee kwa slaidi ambazo umeteua.

Lorem ipsum dolor sit amet

Nam pellentesque turpis eu purus sollicitudin adipiscing. Maecenas

Page 39: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka picha na vitu,sehemu ya 1.Sasa utajifunza njia mbili za kuchopeka picha na vipengee vingine ambavyo haviko ndani ya sladi.

Njia ya kwanza ni kubofya ikoni katika kishika nafasi, ambayo ulipata matazamo katika funzo la kwanza.

ClipArt

Tafutiza kwa:

Tafutiza katika:

Matokea yanapaswa kuwa:

Nenda

Page 40: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka picha na vitu,sehemu ya 1.Sasa utajifunza njia mbili za kuchopeka picha na vipengee vingine ambavyo haviko ndani ya sladi.

1

2

Bofya ikoni ya Clip Art katika kishika nafasi

Kidirisha kazi cha Clip Art kinafunguka. Hapo, charaza neno kuu katika kikasha cha Tafutiza kwa ambacho kinapendekeza klipu unayotaka. Kisha bofya Nenda.

Picha inaonesha jinsi ya kuchopeka kipande cha clip art:

ClipArt

Tafutiza kwa:

Tafutiza katika:

Matokea yanapaswa kuwa:

Nenda

Page 41: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka picha na vitu,sehemu ya 1.Sasa utajifunza njia mbili za kuchopeka picha na vipengee vingine ambavyo haviko ndani ya sladi.

Klipu huonekana zimetoshea kwa neno kuu. Bofya moja yao kuchopeka ndani ya slaidi. Picha hupewa saizi kioto na kuwekwa ndani ya kishika nafasi.

Picha inaonesha jinsi ya kuchopeka kipande cha clip art:

3

ClipArt

Tafutiza kwa:

Tafutiza katika:

Matokea yanapaswa kuwa:

Nenda

Page 42: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka picha na vitu,sehemu ya 2.Njia nyingine ya kuchopeka vipengee vya slaidi ni kutumia kuchupo cha Chopeka kwenye Utepe.

Vitu vyote unavyoweza kuchopeka kutoka kwa kidirisha cha slaidi vinapatikana pia kwenye kichupo cha Chopeka na zaidi—pamoja na maumbo, viunga wavuti, vikasha matini, vijajuu na vijachini, na klipu za midia kama vile sauti.

Chopeka

MatiniKikasha

Matini

Page 43: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka picha na vitu,sehemu ya 2.Picha inaonesha baadhi ya vitu vinavyopatikana kwenye kichupo cha Chopeka.

1

2

Vikasha matini husaidia wakati unapotaka kuongeza matini mahali na unahitaji kishika nafasi, kama vile maelezo mafupi ya picha. Kwenye kichupo cha Chopeka, bofya Kikasha Matini.Chora kikasha kwenye slaidi na charaza ndani.

Kitu halisi ni kuchopeka katika kikasha matini, ilivyooneshwa.

Chopeka

MatiniKikasha

Matini

Page 44: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chopeka picha na vitu,sehemu ya 2Ni njia gani bora?

Kwa kuwa una chaguzi mbili za jinsi ya kuchopeka baadhi ya vitu, ni ipi inapendekezwa?

Inakuja kwa ile unayoona kuwa rahisi. Jambo moja la kuzingatia ni jinsi unavyotaka vipengee vilivyochopekwa kuwa kwenye slaidi.

Chopeka

MatiniKikasha

Matini

Page 45: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Hariri elementi za slaidiBaada ya kuchopeka picha, unaweza taka kufanya marekebisho kama vile, kuweka saizi upya, au kubadili ung'avu.

Tumia Zana za Picha kwa hii.

1

2

Kwa hivyo, teua picha.

Zana za Picha huoekana juu ya Utepe. Tumia chaguo kwenye kichupo cha Umbiza kufanya kazi na picha

Zana za Picha zinapatikana wakati picha imteuliwa.

Zana za Picha

Umbiza

Umbola Picha

Ukingowa Picha

Athariza Picha

Leta Mbele

Rudisha Nyuma

Tuea Kidirisha

Pangilia

Kundisha

ZungushaPuna

Page 46: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Hariri elementi za slaidiKuna zana kwa masafa ya vitu unavyoweza kuchopeka, kutoka kwa majedwali, na picha za SmartArt™

kwa vikasha matini na maumbo, sauti na video.

Teua tu kipengee kilichochopekwa kuona kichupo kinachofaa kwenye Utepe.

Zana za Picha

Umbiza

Umbola Picha

Ukingowa Picha

Athariza Picha

Leta Mbele

Rudisha Nyuma

Tuea Kidirisha

Pangilia

Kundisha

ZungushaPuna

Page 47: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Panga elementi za slaidiUnakishaweka kila kitu ambacho unataka kwenye slaidi, unahitaji kuvipangilia ili vionekane sawa.

Kwa mfano, katika picha hii, kikasha matini na maelezo mafupi kitaonekana vyema kikipangiliwa na picha—aitha mweko kushoto, au imewekwa katikati.

Zana za Picha

Umbiza

Pangilia Kushoto

Pangilia Kati

Pangilia Kulia

Pangilia Juu

Pangilia Katikati

Pangilia Chini

Page 48: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Panga elementi za slaidiUnatumia amri za Panga kulinganisha elementi za slaidi.

1

2

3

Kupangilia maelezo mafupi ili mweko wake uko kushoto na picha, kwanza teua vishika nafasi vyote viwili.

Katika Zana za Picha, tafuta kundi la Panga kwenye kichupo cha Umbizo.

Bofya kitufe cha Linganisha na kisha bofya Linganisha kushoto.

Zana za Picha

Umbiza

Pangilia Kushoto

Pangilia Kati

Pangilia Kulia

Pangilia Juu

Pangilia Katikati

Pangilia Chini

Page 49: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Maoni kwa mazoezi1. Chagua dhima mpya.

2. Chopeka picha.

3. Weka picha saizi upya.

4. Ongeza maelezo mafupi.

5. Pangilia picha na maelezo mafupi.

6. Bonasi: Ongeza madoido ya uhuisho.

Page 50: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 2, swali 1Wakati unapotekeleza dhima, hathiri kila slaidi katika wasilisho kila wakati. (Chagua jibu moja.)

1. Kweli.

2. Uwongo.

Page 51: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 2, swali 1: JibuUwongo.

IIkiwa unataka dhima kutekelezwa tu kwa slaidi moja au slaidi chache, teua slaidi. Kisha bofya kichanja cha dhima, bofya kulia dhima unayotaka, na bofya Tekeleza kwa Slaidi Zilizoteuliwa.

Page 52: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 2, swali 2Unaweza chopela kikasha matini kutoka kwa ikoni katika walio fulani za slaidi. (Chagua jibu moja.)

1. Kweli.

2. Uwongo.

Page 53: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 2, swali 2: JibuUwongo.

Unaweza chopeka picha, chati, picha za SmartArt, majedwali, na majalada ya midia kwa kutumia walio ndani ya yaliyomo. Kuchopeka kikasha matini, walakini, nenda kwa kichupo cha Chopeka. Hapo, bofya Kikasha Matini, na kisha chora kikasha kwenye slaidi.

Page 54: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 2, swali 3Unataka kupangilia maelezo mafupi na picha kwenye slaidi yako, ili maelezo mafupi yawe katikati moja kwa moja chini ya picha. Pcha na maelezo mafupi yakiwa yameteuliwa, unabofya kichupo cha Umbiza, chini ya Zana za Picha kwenye Utepe. Sasa, unapata wapi amri ambayo itafanya marekebisho unayotaka? (Chagua jibu moja.)

1. Kundi la Rekebisha, kitufe cha Badili Picha.

2. Kundi la Panga, kitufe cha Pangilia.

3. Kundi la Panga, kitufe cha Zungusha.

Page 55: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 2, swali 3: JibuKundi la Panga, kitufe cha Pangilia.

Kitufe hiki hufungua menyu ambayoina amri kadhaa za kupangilia. Amri ya Kituo cha Pangilia ndicho unatafuta.

Page 56: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Funzo la 3

Thibitisha, chapisha, na jiandae kwa onesho

Page 57: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Thibitisha, chapisha, na jiandae kwa oneshoUmejifunza mambo mumihu ya kuunda onesho la slaidi.

Sasa tafakari kwamba wasilisho lako liko tayari,na unataka kujianda kuiwasilisha wewe mwenyewe.

Utahitaji kuiona, kupata mchango kutoka kwa wengine, na kukagua taarifa na vitini kabla ya kuzichapisha.

Basi unaweza tumia nduni ya kufungasha ya PowerPoint kuweka wasilisho lako kwenye CD au kwenye ngamizi utakayotumia kuiwasilisha.

Page 58: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ona mwoneko awali kwenye ngamizi yakoUnapounda onesho, unaweza ona mwoneko awali wakati wowote katika mwoneko wa Onesho la Slaidi.

Mwoneko huu hukupa wazo jinsi slaidi zitafanya kazi na kuwa wakati zimeangazishwa.

1

2

Kufungua Onesho la Slaidi, bofya kichupo cha Onesho la Slaidi na bofya amri katika kundi la Anzisha Onesho la Slaidi — kuanzisha slaidi ya kwanza au slaidi ya sasa.

Mwoneko wa Onesho la Slaidi hujaza kiwamba chako cha ngamizi.

Onesho la Slaidi

Epuca

Kutoka kwa Mwanzo

Kutoka kwaSlaidiyaSasa

Tanafsi Onesho la Slaidi

Page 59: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ona mwoneko awali kwenye ngamizi yako

3 Njia moja ya kuabiri kutoka kwa slaidi kwenda kwa nyimgine ni kutumia upauzana wa Onesho la Slaidi upande wa chini kuhsoto mwa kiwamba.

Kutoka kwa Onesho la Slaidi wakati wowote, bonyeza EPUCA. Hii hukurudisha kwa mwoneko uliowacha, ambao ni mwoneko Kawaida

4

Unapounda onesho, unaweza ona mwoneko awali wakati wowote katika mwoneko wa Onesho la Slaidi.

Mwoneko huu hukupa wazo jinsi slaidi zitafanya kazi na kuwa wakati zimeangazishwa.

Onesho la Slaidi

Kutoka kwa Mwanzo

Kutoka kwaSlaidiyaSasa

Tanafsi Onesho la Slaidi

Epuca

Page 60: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

• Bonyeza T5. kuanza kwenye slaidi ya kwanza.

• Bonyeza TEUA JUU+T5 kuanza kwenye slaidi ya kwanza.

Ona mwoneko awali kwenye ngamizi yako Hapa kuna njia zingine za kufungua mwoneko wa Onesho la Slaidi:

Unapofanya hivi, onesho huanza kwenye slaidi ambayo imeteuliwa sasa kwenye kichupo cha Slaidi.

• Bofya kitufe cha Onesho la Slaidi katika sehemu ya chini-kulia kwa dirisha la PowerPoint, karibu na Fifiza slaida.

• Bofya kitufe cha Onesho la Slaidi kwenye kichupo cha Mwoneko. Kipindi huanza kwenye slaidi ya kwanza haijalishi ni slaidi gani imeteuliwa sasa.

Page 61: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chapisha taarifaAina inayojulikana zaidi ya chapa kwa hadhira ya PowerPoint inaitwa taarifa.

Taarifa zinaweza kuwa na slaidi anuwai kwa kila ukurasa, hadi tisa.

Zoezi nzuri ni kutumia Mwoneko awali Chapa kuteua aina ya taarifa unayotaka, kama ilivyooneshwa hapa. Hivyo unaweza ona jinsi taarufa itaonekana kabla uchapishe.

Mwoneko awali Chapa

Chapisha Nini:

Taarifa...

Slaidi...Taarifa (Slaidi 1 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 2 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 3 kwa Ukurasa)Taarifa (Slaidi 4 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 6 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 9 kwa Ukurasa)

Kurasa VitiniMwoneko wa Maelezo mafupi

Page 62: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chapisha taarifaKuchapisha taarifa, anza kwa kubofya Mwoneko awali Chapa kwneye menyu inayofungua wakati unapobofya Kitufe cha Microsoft Office .

1

2

Katika Mwoneko awali Chapa, bofya kishale katika kikasha cha Chapisha nini kuangazisha orodha ya aina za taarifa. Chagua aina ya taarifa unayotaka.

Kisha fuata hatua hizi kuonesha katika picha.

Mwoneko awali Chapa

Chapisha Nini:

Slaidi...Taarifa (Slaidi 1 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 2 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 4 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 6 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 9 kwa Ukurasa)

Kurasa VitiniMwoneko wa Maelezo mafupi

Taarifa (Slaidi 3 kwa Ukurasa)

Page 63: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chapisha taarifa

Unapobofya aina ya taarifa, unaoneshwa mwoneko awali wa jinsi slaidi zako zitaonekana katika umbizo huo. Unaweza abiri kurasa zote za taarifa. Aina ya taarifa na chaguo la slaidi 3 kwa kila ukurasa pia hujumuisha mstari kwa vitini vya hadhira.

3

Ukiwa tayari kuchapisha, bofya Chapisha.

Kuchapisha taarifa, anza kwa kubofya Mwoneko awali Chapa kwneye menyu inayofungua wakati unapobofya Kitufe cha Microsoft Office .

Kisha fuata hatua hizi kuonesha katika picha.

Mwoneko awali Chapa

Chapisha Nini:

Slaidi...Taarifa (Slaidi 1 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 2 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 4 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 6 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 9 kwa Ukurasa)

Kurasa VitiniMwoneko wa Maelezo mafupi

Taarifa (Slaidi 3 kwa Ukurasa)

Page 64: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chapisha vitini msemajiUmechapisha taarifa kupea hadhira yako.

Sasa chapisha vitini msemaji, ambazo unaweza rejea unapowasilisha.

Ni zoezi nzur kuangalia vitini msemaji vyako kabla ya kivichapisha, kuona ikiwa zinaonekana unavyoterajia.

Chapisha Nini:

Taarifa...

Slaidi...Taarifa (Slaidi 1 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 2 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 3 kwa Ukurasa)Taarifa (Slaidi 4 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 6 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 9 kwa Ukurasa)

Kurasa VitiniMwoneko wa Maelezo mafupi

Mwoneko awali Chapa

Page 65: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chapisha vitini msemajiKuchapisha vitini, bofya Kitufe cha Microsoft Office, elekeza kwa Chapisha, na kisha bofya Mwoneo awali wa Chapisha.

1

2

Teua Kurasa Vitini katika orodha ya Chapisha Nini.Kurasa vitini zako zimeoneshwa katika dirisha kwa mwoneko awali, kuanza na slaidi ya kwanza (isipokuwa umebaini vingine).

Kisha fuata hatua hizi kuonesha katika picha.

Mwoneko awali Chapa

Chapisha Nini:

Taarifa...

Slaidi...Taarifa (Slaidi 1 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 2 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 3 kwa Ukurasa)Taarifa (Slaidi 4 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 6 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 9 kwa Ukurasa)

Kurasa VitiniMwoneko wa Maelezo mafupi

Page 66: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chapisha vitini msemaji

Ikiwa kitu hakijaumbizwa kama ulivyokusuida, au ikiwa matini imekatwa, fanya marekebisho yanayofaa aitha katika mwoneko wa Ukurasa wa Vitini au Mwoneko Kawaida.

Baada ya kukagua vitini na uko tayari kuchapisha, bofya Chapisha.

Chapisha Nini:

Taarifa...

Slaidi...Taarifa (Slaidi 1 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 2 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 3 kwa Ukurasa)Taarifa (Slaidi 4 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 6 kwa Ukurasa)

Taarifa (Slaidi 9 kwa Ukurasa)

Kurasa VitiniMwoneko wa Maelezo mafupi

Kuchapisha vitini, bofya Kitufe cha Microsoft Office, elekeza kwa Chapisha, na kisha bofya Mwoneo awali wa Chapisha.

Kisha fuata hatua hizi kuonesha katika picha.

Mwoneko awali Chapa

Page 67: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza matini kwa kijachini kwa taarifa na vitiniMwoneko awali Chapa pia hukupa nafasi ya kuongeza au kurekebisha vijachini katika taarifa na vitni vyako.

Kwa kaida, taarifa zilizochapishwa na vitini vina nambari za ukurasa.

Lakini zinaweza kuonesha vitu vingine, kama vile matini ya kijachini.

Mwoneko awali Chapa

Chaguo

Kijajuu na KijachiniVitini na Taarifa

Kijajuu

Nambari ya Ukurasa

Kijachini

Kijajuu na Kijachini...

Page 68: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza matini kwa kijachini kwa taarifa na vitiniFuata hatua hizi ikiwa unataka chapa kuonesha yaliyomo mengine.

1

2

Bofya Chaguo, na kisha bofya Kijajuu na Kijachini. Kuonesha matini ya kijachini, kama vile "Rasimu" au "Usiri", teua chaguo la Kijachini, na kisha charaza matini unayotaka katika kikasha.

Mwoneko awali Chapa

Chaguo

Vitini na Taarifa

Kijajuu

Nambari ya Ukurasa

Kijachini

Kijajuu na Kijachini...

Kijajuu na Kijachini

Page 69: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Ongeza matini kwa kijachini kwa taarifa na vitiniFuata hatua hizi ikiwa unataka chapa kuonesha yaliyomo mengine.

Teuzi unazofanya kwenye kichupo cha Vitini na Taarifakatika kiksha ongezi cha Kijajuu na Kijachini hutekelezwa kwa kurasa zako za taarifa na vitini.

Mwoneko awali Chapa

Chaguo

Vitini na Taarifa

Kijajuu

Nambari ya Ukurasa

Kijachini

Kijajuu na Kijachini...

Kijajuu na Kijachini

Page 70: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chaguo za rangi kwa kuchapishaKulingana na aina ya kichapishi unachotumia, unaweza chapisha wasilisho lako kwa Rangi, Rekebu-kijivu, au Nyeusi na Nyeupe halisi.

Hapa kuna jinsi ya kuteua chaguo kwa kuchapisha:

1 Chini ya Chaguo za Mwoneko awali wa Chapisha, bofya Chaguo, na elekeza kwa Rangi/skelikijivu. Kisha teua kutoka kwa menyu. Slaidi zako zitaonwa mwoneko awali na kuchapishwa na chaguo liliotekelezwa.

Mwoneko awali Chapa

Rangi/skelikijivu

Chaguo

Rangi

Rekebu-kijivu

Nyeusi na Nyeupe halisi

Page 71: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chaguo za rangi kwa kuchapishaKulingana na aina ya kichapishi unachotumia, unaweza chapisha wasilisho lako kwa Rangi, Rekebu-kijivu, au Nyeusi na Nyeupe halisi.

Hapa kuna jinsi ya kuteua chaguo kwa kuchapisha:

Mfano wa kwanza wa mwoneko awali huonesha slaidi ambayo itachapishwa kwa rangi.

2

3 Mfano wa pili wa mwoneko awali huonesha slaidi ambayo itachapishwa kwa Rekebu-kijivu.

Mwoneko awali Chapa

Rangi/Rekebu-kijivu Rangi

Rekebu-kijivu

Nyeusi na Nyeupe halisi

Chaguo

Page 72: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Chaguo za rangi kwa kuchapishaKulingana na aina ya kichapishi unachotumia, unaweza chapisha wasilisho lako kwa Rangi, Rekebu-kijivu, au Nyeusi na Nyeupe halisi.

Hapa kuna jinsi ya kuteua chaguo kwa kuchapisha:

Mfano wa mwisho wa mwoneko awali huonesha slaidi ambayo itachapishwa kwa rangi nyeusi na nyeupe.

4

Mwoneko awali Chapa

Rangi/Rekebu-kijivu Rangi

Rekebu-kijivu

Nyeusi na Nyeupe halisi

Chaguo

Page 73: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Fungasha wasilishoNduni ya Kabrasha la CD la PowerPoint hukusanya jalada lako la wasilisho na majalada mengine yoyote unayohitaji na nakala zao kwa folda moja au moja kwa moja kwa CD.

Ukinakili majalada yako kwa folda, unaweza dusa folda kwa CD baadaye.

Unaweza pia nakili majalada kwa seva ya mtandao ambao una ufikio kutoka kwa ngamizi yako ya kuwasilisha.

Chapisha Kabrasha la CD

Kabrasha la CD

Ita jina CD:

Majalada ya kunakiliwa:

Nakili kwenye Folda Nakili kwa CD

Ongeza Majalada

Chaguo...

Funga

Page 74: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Fungasha wasilishoPicha inaonesha jinsi ya kufungasha wasilisho lako na majalada huskia.

1 Bofya Kitufe cha Microsoft Office.

Elekeza kwa Chapisha, na bofya Kabrasha la CD. Katika kikasha ongezi kinachofungua, fanya uchaguzi wa kile inachotaka kujumuishwa katika fungasha, m anakili jalada lako kwa aitha folda au CD.

2

3

Chapisha Kabrasha la CD

Kabrasha la CD

Ita jina CD:

Majalada ya kunakiliwa:

Nakili kwenye Folda Nakili kwa CD

Ongeza Majalada

Chaguo...

Funga

Page 75: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Fungasha wasilishoPicha inaonesha jinsi ya kufungasha wasilisho lako na majalada huskia.

Muhimu: Akibisha wasilisho lako kila mara kabla ya kufungsha kwa folda au CD.

Chapisha Kabrasha la CD

Kabrasha la CD

Ita jina CD:

Majalada ya kunakiliwa:

Nakili kwenye Folda Nakili kwa CD

Ongeza Majalada

Chaguo...

Funga

Page 76: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

• Kufungasha kwa CD kutoka PowerPoint, lazima uwe unaendesha Microsoft Windows® XP au baadaye kwa ngamizi yako, lazima uwe na kidusa CD.

• Ikiwa unaendesha Microsoft Windows 2000, unaweza bado tumia nduni hii kufungasha majalada ya uwasilishaji, lakini lazima basi utumie programu husika kudusa folda kwa CD.

Fungasha wasilisho Mahitaji kwa kufungasha kwa CD

Page 77: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Maoni kwa mazoezi1. Mwoneko awali onesho kwenye ngamizi yako.

2. Tuma wasilisho kwa maoni.

3. Jiandae kuchapisha taarifa.

4. Chaguaaa mpangilio wa rangi na chapisha taarifa.

5. Kagua vitini vyako katika mwoneko wa Ukurasa wa Vitini.

6. Fungasha wasilisho.

Page 78: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 3, swali 1Ni kitufe kipi inabonyeza kwenda kwa Onesho la Slaidi na kuanza kwenye slaidi ya kwanza? (Chagua jibu moja.)

1. EPUCA.

2. T5.

3. T7.

Page 79: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 3, swali 1: JibuT5.

Na anza kwenye slaidi iliyoteuliwa, ungebonyeza TEUA JUU+T5.

Page 80: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 3, swali 2Ni chaguo lipi la taarifa ungependa kuchagua ikiwa ungetaka taarifa kujumuisha mistari kwa vitini vya hadhira? (Chagua jibu moja.)

1. Chaguo la slaidi 3 kwa ukurasa.

2. Chaguo la slaidi 1 kwa ukurasa.

3. Chaguo la Kurasa Vitini.

Page 81: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 3, swali 2: JibuChaguo la slaidi 3 kwa ukurasa.

Page 82: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 3, swali 3Uko katika Mwoneko awali wa Chapisha ukitazama kurasa vitini zako, na unapata kuwa baadhi ya uumbizaji wa matini sio kile ulitaka. Unaweza endelea na kurakebisha hii katika Mwoneko awali wa Chapisha. (Chagua jibu moja.)

1. Kweli.

2. Uwongo.

Page 83: Mafunzo ya Microsoft ® Office PowerPoint ® 2007

Jaribio 3, swali 3: JibuUwongo.

Unahitaji kufunga Mwoneko awali Chapisha na kufungua Ukurasa wa Matimi kurekebisha uumbizaji.