Upload
others
View
6
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
TAARIFA YA WARSHA NA WASIMAMIZI WA SHERIA ZA MISITU KUTOKA MIKOA YA PWANI NA KUSINI MWA TANZANIA KUHUSU USIMAMIZI ENDELEVU WA MISITU NA UTEKELEZAJI WA MWONGOZO WA USIMAMIZI SHIRIKISHI WA MISITU KWA PAMOJA, ILIYOFANYIKA TAREHE 27.04.2016, KATIKA UKUMBI WA DOUBLE M LINDI MJINI
WASHIRIKI WA WARSHA:
· Waheshimiwa Wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya za Kisarawe, Kibaha, Mkuranga, Rufiji, Kilwa, Liwale, Nachingwea, Ruangwa, Masasi, Nanyumbu na Tunduru (11)
· Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Misitu kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii (1)
· Mameneja wa Wakala wa Huduma za Misitu, Kanda ya Mashariki na Kusini (2)
· Maafisa Misitu kutoka Halmashauri za Wilaya 11
· Taasisi za Kiraia na Miradi (Jumuiko la Maliasili Tanzania, Kampeni ya Mama Misitu, Shirika la Kuhifadhi Mpingo na Maendeleo, Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania, TFCG, LIMAS, WWF)
· Jumla ya washiriki 71 warihudhuria (Wanawake 9: Wanaume 62)
MALENGO NA MADHUMUNI
· Kujadili changamoto kuhusu utekelezaji wa usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja (muongozo umetolewa tangu 2013 lakini kwa nini hautekelezwi)
· Kupitia muongozo huo na kuweka maazimio ya utekelezaji
MATARAJIO YA WASHIRIKI
· Kutatua changamoto ambazo zinakabili sekta ya misitu katika kufanikisha utekelezaji wa usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja
· Kuweka maazimio ya mwisho ili kupata suluhu ya matatizo yaliyoibuliwa
· Kupata uelewa kuhusu usimamizi shirikishi wa Misitu,haki na wajibu wa jamii katika utekelezaji
· Kufahamu majukumu ya DFO na DFM katika usimamizi wa sheria za Misitu
· Kuona jinsi wanavijiji wanavyonufaika na Misitu ya matajiwazi
MBINU ZILIZOTUMIKA
Mchanganyiko wa mbinu mbalimbali ulitumika ili kuongeza ushiriki na uchangiaji wa mada. Mbinu hizo ni pamoja na maswali, kupitia vitabu vya sheria ya misitu na miongozo mbalimbali ya usimamizi shirikishi wa Misitu (USM), kazi za vikundi na uwasilishaji katika mjadala mkubwa.
KUPITIA KIPENGELE VYA SHERIA Na. 14 YA MISITU NA MIONGOZO YA USM
Mwezeshaji aliwapitisha washiriki kufahamu vipengere muhimu vya Sheria ya Misitu Na. 14 ya Mwaka 2002 ili kujiridhisha na mamlaka yaliyoelekezwa kwa vyombo mbalimbali vya serikali ikiwemo TFS, Idara ya Misitu, Halmashauri za wilaya na vijiji.
Wataalamu wa misitu kutokuwa na ufahamu kuhusu mchakato wa utengenezaji wa mpango wa usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja. Hii imesababishwa kuchelewa katika utiaji wa sahihi wa mikataba ya usimamizi wa misitu kwa pamoja baina ya serikali na vijiji vinavyozunguka Misitu hiyo. Subira Juma – Mjumbe wa Bodi ya MJUMITA
Aidha, muongozo wa usimamizi shirikishi wa Misitu kwa pamoja (JFM) ulipitiwa ili kufahamu majukumu ya wadau mbalimbali katika usimamizi wa Misitu ya aina hiyo. Kipengele kinachohusu mgawanyo wa mapato kilizingatiwa kwa umakini ili kuwajengea uwezo wa ufahamu washiriki katika utekelezaji.
Kumekuwa na uelewa mdogo juu ya usimamizi shirikishi wa misitu kwa pamoja miongoni mwa jamii zinazozunguka misitu ya hifadhi na viongozi wa kisiasa wakiwemo waheshimiwa wabunge na madiwani. Hivyo elimu na taarifa sahihi zinatakiwa ili kuongeza uelewa wao katika kutekeleza na kusimamia utekelezaji wa mipango ya usimamizi wa Misitu katika maeneo yao. Juma Mkundi, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji.
Hoja mbalimbali ziliibuka ikiwemo utekelezaji hafifu wa JFM, kukosekana kwa ruzuku za utekelezaji kutoka serikali kuu na TFS, kuongezeka kwa vitendo vya uvunaji na uhalalishaji wa mbao/mkaa uliovunwa bila kuzingatia taratibu.
Mgawanyo ma mamlaka baina ya DFM ana DFO katika shughuli za usimamizi wa misitu katika wilaya hauko wazi. Ikitokea mgogoro baina yao nani atamuwajibisha mwenzake? Bwana Mfangavo, Afisa Misitu Kilwa
KAZI ZA VIKUNDI NA MAWASILISHO
Washiriki waligawanyika katika makundi matatu kujadili fursa na changamoto za utekelezaji wa JFM. Makundi hayo yalihusisha wawakilishi wa jamii kutoka vijijini, maafisa wa Wakala wa huduma za Misitu, maafisa Misitu wilaya na waheshimiwa madiwani.
Mawasilisho kutoka katika kazi za vikundi yalifanywa na mjadala wa wazi kuwezeshwa na hivyo kutengeneza maazimio kwa ajili ya utekelezaji.
CHANGAMOTO NA MAPENDEKEZO
FURSA/CHANGAMOTO
MAPENDEKEZO
· Mkanganyiko wa kisheria baina ya Sheria ya Ardhi ya Kijiji Na. 5 ya mwaka 1999 na Sheria ya Misiti Na. 14 ya Mwaka 2002
· Kutosainiwa kwa mikataba ya usimamizi shirikishi wa Misitu kwa pamoja kutokana na kuchelewa kwa miongozo ikiwemo uwekezaji mdogo unaofanywa na Wakala wa huduma za Misitu
· Usimamizi hafifu wa Misitu ya hifadhi ya serikali kuu, Halmashauri za wilaya na ile ya wazi (matajiwazi) hivyo kukithiri vitendo vya uvunaji haramu
· Wakala wa Huduma za Misitu kutoshirikisha wadau katika usimamizi wa Misitu kikamilifu
· Uelewa mdogo kwa wanajamii, wataalamu, wasimamizi wa sheria na viongozi wa kisisasa (wabunge/madiwani) kuhusu sera, sheria, kanuni na miongozo inayosimamia sekta ya misitu
· TFS kuogopa kupoteza mapato hivyo kuzorotesha utekelezaji wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu (USM) na kuwa sio kipaumbele cha TFS)
· Upungufu rasilimali fedha kwa halmashauri za wilaya hivyo kuathiri utekelezaji wa miradi ya usimamizi shirikishi wa Misitu
· Mahusiano hafifu kati ya Afisa Misitu wa wilaya na Meneja wa Misitu wilaya (DFO vs DFM). Inapotokea mgogoro katika utekelezaji chombo gani kitahusika kuutatua.
· Vijiji viandae mipango ya matumizi bora ya ardhi na kutenga maeneo ya Misitu yanayojulikana kama matajiwazi
· Elimu kuhusu sera, sheria na miongozo mbalimbali kuhusu michakato ya USM itolewe kwa wadau wote (wanasiasa, wataalamu, wananchi, wafanyabiashara wa mazao ya Misitu) ili kujenga mustakabali wa pamoja
· Kufanya uchechemuzi ili kuondoa migongano ya kisheria kati ya sheria ya ardhi na ya misitu
· Halmshauri za wilaya ziwekeze fedha zao za ndani ili kutekeleza mipango ya usimamizi shirikishi wa Misitu
· TFS ishirikishe jamii na wadau wengine katika kutengeneza mipango ya usimamizi wa hifadhi za Misitu zilizo chini ya mamlaka zao kikamilifu
· TFS watoe mafunzo kwa wadau ikiwemo Baraza la Madiwani kuhusu haki na wajibu wao katika utunzaji wa rasilimali misitu
· Jamii zielimishwe umuhimu wa kuwekeza katika sekta ya Misitu ili waweze kujiongezea fursa za ajira na maendeleo ya jamii. Misitu ya Matajiwazi inaweza kuwa fursa nzuri za uwekezaji katika Misitu
· Serikali ianishe majukumu ya DFO na DFM ili kuondoa migogoro katika utekelezaji wa majukumu yao
MAAZIMO YA WARSHA
1. Wakala wa huduma za Misitu (TFS) washirikishe jamii zinazozunguka hifadhi za Misitu katika utengenezaji wa mipango ya usimamizi na uvunaji wa rasilimali Misitu kikamilifu
2. Mikataba ya usimamizi shirikishi wa Misitu kwa pamoja isainiwe kwa wakati ili jamii zinufaike na shughuli za uhifadhi
3. Elimu itolewe kwa wadau wote wakiwemo viongozi wa kisiasa, wataalamu, jamii na wafanyabiashara wa mazao ya Misitu ili kufahamu haki na wajibu wao katika usimamizi wa Misitu
4. Miongozo mbalimbali ya Usimamizi Shirikishi wa Misitu isambazwe katika wilaya zote za mikoa ya kusini na Pwani na elimu itolewe juu ya kuitumia miongozo hiyo
5. Kuwepo kwa uwazi katika uendeshaji wa minada ya rasilimali za Misitu zilizotaifishwa na/au kukamatwa na Wakala wa huduma za Misitu katika ardhi ya vijiji. Hii itasaidia jamii kupata mgao wao kulingana na miongozo kwa wakati
6. Halmashauri za wilaya na vijiji zitenge fedha zao za ndani ili kutekeleza mipango ya usimamizi shirikishi wa Misitu. Hii itaondoa utegemezi kutoka serikali kuu
7. Wakala wa huduma za Misitu (TFS) itenge fedha zaidi kwa ajili ya utekelezaji wa mipango ya uzimamizi shirikishi ikiwemo JFM.
8. Serikali ianishe majukumu ya DFO na DFM ili kuondoa migogoro katika utekelezaji wa majukumu yao. Mgawanyo wa majukumu yao uoneshe pia iwapo kutatokea migogoro kati yau ni nani atahusika kuutatua na kwa namna gani
9. Mashirika ya kiraia yasaidie katika kufanya uchechemuzi ili kuondoa mkanganyiko wa kisheria iliopo kati ya Sheria ya Ardhi ya Kijiji Na. 5 ya Mwaka 1999 na Sheria ya Misitu Na. 14 ya Mwaka 2002.
Idadi ya Washiriki
Na
Name
Sex
Designation
Contacts
1
Juma A. Abeid
Female
District chairperson
0784216621
2
Benadetha G Kadala
Female
DFO
0782515188
3
Neeta F Urio
Female
DFO
0752304021
4
Swalehe H Mshana
Male
DFO
0756692708
5
Issaya M Ndwene
Male
District chairperson
0716866144
6
Ramadhani Mndewa
Male
DFM
0765114419
7
Richard Selioza
Male
DFO
0787668766
8
Kelvin Mudeme
Male
DFO
0784494551
9
Mfaume W. Halifa
Male
District chairperson
078750864
10
M.C.Mbago
Male
DFM-LIWALE
0752721812
11
Mfangano Mustafa
Male
DFO
0784652905
12
Tairo,Pasiani Peter
Male
Rep, DFO
0683651821
13
Robin P.Ullaya
Male
Agr.DFO
0685636365
14
Mohamedi Mtesa
Male
District chairperson
0719637641
15
James Kabutta
Male
DFO
0786146011
16
Richard Katondo
Male
P.E
0785086866
17
Rehema f.Milanzi
Female
Board member
0712989320
18
Paul Onesmo
Male
DFO
0752942693
19
Kelvin A.Lilai
Male
DFM
0783739006
20
Rashidi o. Sembe
Male
ZM
0783650458
21
Gabriel K. Joshua
Male
DFO
0784499409
22
Faustine J Msokwa
Male
DFO
0787786482
23
Shabani Kambona
Male
District chairperson
0784289842
24
Solomoni Massagya
Male
DFO
0713017208
25
Nalimu Madatta
Male
PE
0782345371
26
Gwamaka Mwakyanjale
Male
MCC Manager
0767260010
27
Mansoori A. Kisebengo
Male
District chairperson
0784990628
28
Subira Juma
Male
Board Manager
0682897645
29
Dastau W.Kinyenyo
Male
DFO
0766928075
30
Satmah J.Mohamed
Male
District chairperson
0786878600
31
Fokas E. Mlelwa
Male
DFO
0784488675
32
Benadeta R Mwashiuya
Female
DFM
0762553139
33
Yahaya Mtonda
Male
PO
0716675034
34
Mchopa Ahmadi Baissi
Male
M/H
0782230066
35
Samwel Tamika
Male
ADFM
0654313732
36
Emmanuel Msoffe
Male
SFOPL
0767427690
37
Hamisi A. Abdarrah
Male
District chairperson
0784338257
38
Reginald Lymo
Male
DFO
0759874150
39
Hadija Mongomongo
Female
DFM
0768140180
40
Kassim A Namwete
Male
District chairperson
0715 930532
41
Benjamin Mwayabala
Male
A/Engineer
0714 05563
43
Stanford Mahimbo
Male
DFO
0717604226
44
Charles Mwaipopo
Male
DNRO
0713309624
45
Khamis Chaurembo
Male
District chairperson
0784361471
46
Jonas R. Nambwa
Male
DFO
0786135001
47
Abuu M. Mjata
Male
District chairperson
0784820865
48
Hamza Nkumukwa
Male
FUB-LIMAS
0682919296
49
Msalika Pastory
Male
Manager
0782244703
50
Glory Massao
Female
FSC Manager
0713660435
51
Cassian Sianga
Male
Facilitator
0756960496
52
Aklei Albert
Male
ZE
0788434578
53
Azaria Kilimba
Male
0756035538
54
Peter Ezekiel
Male
Intern
0652188258
55
Shafii Msuya
Male
CIO.MMC
0787489817
10 Village Leaders 9Male: 1Female
56
Kasimu A Simaya
Male
Village Chairperson
0788166395
57
Athumani Mtimbwa
Male
Village Chairperson
0784506469
58
Benitho Amandus
Male
Village Chairperson
0628260380
59
Saidi Husen
Male
Village Chairperson
0686079144
60
Tabia Hemedi
Female
Village Chairperson
61
Said A.Kombo
Male
Village Chairperson
0787239353
62
Saidi Abdi Manjia
Male
Village Chairperson
0628704917
63
Juma R.Mkundi
Male
Village Chairperson
0659391300
64
Ismaili S. Mmambe
Male
Village Chairperson
0753524508
65
Shabani M.Ndendeme
Male
Village Chairperson
0719131326
6 JOURNALIST 5Male: 1Female
66
Kennedy Kisuka
Male
Journalist
0653182347
67
Christopher Likai
Male
Journalist
0713580276
68
Ahmad Mmow
Male
Journalist
0757115973
69
Abdulaziz Ahmed
Male
Journalist
J716483532
70
Hysinta Hokororo
Female
Journalist
0656427239
71
Vedasto Msungu
Male
Journalist
0784640700
15 DRIVERS: All male
72
Mohamed Abdallah
Male
Driver
0714082899
73
Hamza Msembe
Male
Driver
0715538463
74
Ismail H. Malibiche
Male
Driver
0754675715
75
Frank Chakalu
Male
Driver
0716804125
76
Ngoyeji Dotto
Male
Driver
0754 967540
77
Swalihina Kikaya
Male
Driver
0784761519
78
Hamisi S. Maleweka
Male
Driver
0787 370364
79
Omari Nyeneka
Male
Driver
0717032032
80
Said Said
Male
Driver
0788581530
81
Mtila Mchopa
Male
Driver
0715480559
82
Sultan Minsimba
Male
Driver
0713306038
83
Aidano Korobe
Male
Driver
0788362611
84
Omary M Mwariko
Male
Driver
0783 230859
85
Paul Kwiranga
Male
Driver
0718161290
86
Emanuel Mlay
Male
Driver
0763307908