16
0

Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

  • Upload
    others

  • View
    7

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

0

Page 2: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

1

¡KARIBU… ... katika somo ambapo tunaangazia orodha ya mashujaa wa imani iliyo katika Waebrania 11 na kujifunza jinsi tunaweza

kuwa na maisha ya Imani, kwa sababu maisha yetu ya kiroho ni muhimu zaidi kuliko maisha yetu ya kimwili.

Tutaona wanaume na wanawake katika Agano la Kale ambao waliamini Mungu, walioongea na Mungu, na walioshi kwa ajili Yake. Wao ni mifano kwetu. Wakati mwingine tutajifunza matendo mema ambayo watu hufanya na wakati mwingine tutajifunza kutokana na makosa yao.

Na kwa sababu tunazungumzia kuhusu Imani katika Mungu, hebu tuanze kwa kutoa ufafanuzi. Je, Unajua Imani ni nini? Mstari mkuu ambao utafiti huu unaangazia ni Waebrania 11:1.

FUNGU LA KUMBUKUMBU "Basi, imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni uhakika wa mambo tusiyoyaona." Waebrania 11:1

Biblia ni kitabu cha muhimu sana kwa Wakristo wote, lakini ni kitabu kikubwa. Je! Ni wangapi wamesoma Biblia yote? Biblia ni kubwa sana na tunaweza kuchanganya ni lini mambo yalitendeka, bila kujua ni wapi na lini yalitendeka. Ili kuelewa hili, pia tutafanya ukaguzi wa Agano la Kale na kisha kutoka kwa hadithi za Waebrania 11. Tutatumia yote haya katika maisha yetu ya kiroho. Tutajifunza majina ya vitabu vya Agano la Kale na matukio mengine muhimu, yaliyowekwa katika utaratibu wa kihistoria ili tusichanganyikiwa ni lini na wapi matukio yalitendeka.Sababu nzuri ya kujifunza Agano la Kale ni kwamba tunapata hadithi na maelekezo mazuri ambayo tunaweza kuyatumia katika maisha yetu ya sasa.

Page 3: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

2

Ehudi: Waamuzi 3:12-30

FUNGU LA KUMBUKUMBU

“Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.” Wafilipi 4:6

KAZI ya nyumbani Kazi ya ziada wiki hii ni kuomba Mungu ndani ya darasa lako (shule) kuhusu wakati Fulani mgumu unaopitia, pamoja na mwanafunzi mwenzako au na mwalimu. Usifunge macho, ama kusema kwa sauti ya juu, kwa sababu Mungu anayaskia mawazo na roho yako. Omba kuhusu kitu mahususi na kinachowezekana na usubiri jibu la Mungu.

SANAMU YOSHUA ABUDU DHAMBI WAMOABU

NIDHAMU TII MATOKEO SHIDA OMBA

UAMINIFU EHUDI KUOKOLEWA SAIDIA MUNGU

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa. Kisha uipake

picha rangi.

Page 4: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

3

Debora: Waamuzi 4:1-24, 2:24-27

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.” Waebrania 11:6

KAZI ya nyumbani Kazi ya ziada wiki hii, ni kuchagua shughuli Fulani kama vile kuzungumzaa kumhusu Yesu Kristo, kumpa moyo mtu, ama kuwasaidia wazazi wako nyumbani, ambapo utachukua jukumu la kufanya hivyo kila siku. Inaweza kuwa nyumbani au shuleni. Isitoshe, unaweza kujitolea kuwa utakuwa unafanya Fulani kanisani. Iwapo unaogopa, tizama juu kwenye nyota ama mawingu, na uwaze kuhusu ukuu wa Mungu wetu aliyeziumba.

DEBORA HAKI UNYANYASAJI MASHIDA NABII BARAKA JIBU AMINI WOGA ZAWADI SISERA MWAMINIFU ISRAELI MUNGU SHUJAA

Tafuta vifaa sita

vilivyofichwa. Kisha uipake

picha rangi.

Page 5: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

4

Gideoni: Waamuzi 6:1-7:25

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio,

wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.” Isaya 40:31

KAZI ya nyumbani Kazi ya ziada wiki hii ni kutafuta kitu ambacho kinathibitisha uwepo wa Mungu, kitu kitakachotendeka au kitu utakachokiona maishani mwako au ya mtu mwingine. Andika kuhusu kitu hicho au uchore picha katika kitabu chako nyumbani, alafu umwambie mwalimu wako kanisani kuhusu kitu hicho.

GIDEONI WAMIDIANI NJAA MALAIKA YENYE NGUVU DHAIFU UTHIBITISHO TII

Tafuta vifaa sita

vilivyofichwa. Kisha

uipake picha rangi.

AMANI MADHEHEBU ABUDU SUFU LOWA KAVU TARUMBETA MATAA

Page 6: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

5

Yeftha: Waamuzi 10:6-11:13, 11:29-40

FUNGU LA KUMBUKUMBU

“Tazama, Mungu ni hodari, wala hamdharau mtu ye yote; Ana uweza katika nguvu za fahamu.” Kazi 36:5

KAZI ya nyumbani Kazi ya ziada wiki hii ni kujitathmini: Unajiona aje? Kuwa mwangalifu usije ukajilinganisha na wengine. Ukijihisi mwenye dhamani ya chini, kumbuka kwamba Mungu alikuumba jinsi ulivyo na anakudhamini na anakupenda. Kama unahisi mwenye dhamani, kumbuka kwamba uaminifu wako upo katika Yesu Kristo, na sio kwako mwenyewe. Kila siku wiki hii sema kwa sauti ya juu,” Mimi ni wa Yesu, na ananidhamini na ananipenda.”

DHIHAKI USHINDI SAIDIA BIBLIA MUNGU UPENDO MWAMUZI

Onyesha dhamana ya watu wafuatao

kutumia mizani ya 1 hadi 10, kwa kujaza kila

mstatiri.

Sasa, jichore:

Mungu anakudhamini

YEFTHA SHUJAA MAADILI MIONEKANO WAFILISTI WAAMONI SANAMU HALI

Page 7: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

6

Samsoni: Waamuzi 13:1-25, 14:5-6, 15:9-20, 16:2-31

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.” Waebrania 4:16

Ukweli ama Uongo Chora alama ya mduara kwenye umbo

iwapo jibu ni sahihi na umbo iwapo jibu sio sahihi.

1. Nguvu ya Samsoni ilitoka kwenye moyo wake.

2. Delilah alimsaliti Samsoni na kumtoa kwa Wafilisti. 3. Wafilisti wengi walifariki wakati Hekalu lilibomoka naye Samsoni alibaki hai. 4. Samsoni alikuwa na nguvu hata bila nywele. 5. Samsoni aliua maelefu ya watu akitumia mfupa wa punda.

KAZI ya nyumbani Kazi yako ya ziada wiki hii itakuwa ni kuchunguza mambo kuhusu maisha. Je, unatii wazazi wako? Je, una uhusiano mwema na watu? Je, umesamehe kila mtu? Je, kuna kitu unachoficha walio juu yako ( wazazi, mwalimu, mhubiri, nk)? Chagua kielezo unachokosa, omba Mungu akusamehe na akusaidie, mweleze aliye juu yakona kisha ulitubu. Makinika katika kufanya kinachofaa kwa kutumia kielelezo hiki katika siku zinafouta wiki nzima.

SAMSONI MALAIKA AHADI MTOTO MNADHIRI

NYWELE NGUVU SIMBA WAFILISTI KAMBA

MFUPA MILANGO MAMLAKA DELILA UDANGANYIFU

Page 8: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

7

Ruthu: Ruthu 1:1-3:3, 3:16-4:22

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA, Ambaye BWANA ni tumaini lake.” Maana atakuwa kama mti

uliopandwa kando ya maji, Uenezao mizizi yake karibu na mto; Hautaona hofu wakati wa hari ujapo, Bali jani

lake litakuwa bichi; Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua, Wala hautaacha kuzaa matunda.

Yeremia 17:7-8

KAZI ya nyumbani Kazi yako ya ziada wiki hii ni kuwaza kuhusu kitu unachokimiliki na unakipenda, Kwa mfano, familia yako, rafiki, nyumba au kitanda chako, kipenzi, somo unalopenda shuleni, nk. Shukuru Mungu kwa kitu hiki kila siku ya wiki hii.

RUTHU MOABU NJAA ORPA CHUNGU

UAMINIFU BOAZI SHAYIRI ZAIDI SHAMBA

VYAKULA NDOA UKARIMU MZURI BARAKA

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa. Kisha uipake

picha rangi.

Page 9: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

8

Samweli: 1 Samweli 1:1-28, 3:1-21

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni.” Yohana 15:16

KAZI ya nyumbani Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa duka, kumsaidia mwanafunzi mwingine na kazi yake ya ziada shuleni, etc.Wakati wa darasa lingine, Mwambie mwalimu wako kuhusu vitendo hivi.

SAMWELI MWAMUZI ISRAELI ELI SKIA

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa.

Kisha uipake picha rangi.

SAUTI USIKU LALA WITO MUNGU

SKIZA TII UJUMBE AMINIFU NABII

Page 10: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

9

Sanduku la Agano: 1 Samweli 4:1-11, 5:1-6:21

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Kwa maana BWANA, Mungu wenu, yeye ndiye Mungu wa miungu, na Bwana wa mabwana, Mungu mkuu,

mwenye kuogofya, asiyependelea nyuso za watu, wala hakubali rushwa.” Kumbukumbu la Torati 10:17

KAZI ya nyumbani Kazi yako ya zaida wiki hii ni kutafuta kiberiti kitupu au chombo kingine kidogo. Unaweza kukipamba. Andika fungu za Biblia kwenye vipande vya karatasi, weka vipande hivi ndani ya chombo hiki na ukitie mfukoni. Kila wakati unapata shida, unarejelea vile vifungu. Halafu neno la Mungu litakufariji maishani mwako. Beba chombo hiki wakati wa somo lingine na ukionyeshe kwa mwalimu.

MWENYE NGUVU ZOTE SANDUKU LA AGANO SANDUKU FIMBO MANA AMRI WAFILISTI

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa.

Kisha uipake picha rangi. WASIWASI VIMBE NG’OMBE MKOKOTENI KUTOTII MUNGU ROHO

Page 11: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

10

Mfalme Sauli: 1 Samweli 8:4-21, 9:15-10:1, 10:20-25, 13:5-14, 15:1-31

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Unifundishe kuyatenda mapenzi yako, Kwa maana ndiwe Mungu wangu; Roho yako mwema aniongoze

kwenye nchi sawa.” Zaburi 143:10

KAZI ya nyumbani Kazi yako ya ziada wiki hii, kila wakati unapohisi kujaribiwa, omba Mungu akusaidie kufanya jambo linalofaa. Unapotenda dhambi, omba Mungu akusamehe na utubu. Pia, mwombe Mungu akusaidie kufanya vitu vizuri wiki hii, na kila wakati unapowaza kutenda jambo nzuri, kwa mfano kusaidia au kumpa mtu moyo, lifanye.

YESU MSALABA KUOKOLEWA TUBU DHAMBI UTIIFU BIBLIA

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa.

Kisha uipake picha rangi.

MFALME SAULI KUTOTII SAMWELI KULINGANISHA DHABIHU NGOJA KONDOO

Page 12: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

11

Mfalme Daudi: 1 Samweli 16:1-13, 2 Samweli 5:1-5, 11:1-15, 12:1-23

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Tazama, yu heri mtu yule Mungu amwadhibuye; Kwa hiyo usidharau kurudiwa na huyo Mwenyezi.” Ayubu 5:17

KAZI ya nyumbani Kariri kifungu hiki,”Mungu huniadhibu kwa sababu ananipenda.” Wakati mzazi au mwalimu wako anakuadhibu kwa kosa ulilofanya, kumbuka kifungu hiki: “Mungu huniadhibu kwa sababu ananipenda.” Lakini ukijipata unawaza,”Lakini siwezi kufanya kosa! Sikulifanya kimakusudi!” Chunguza ulichokifanya tena, na uzingatie matendo yako halisi, lakini sio kusudi. Kubali matokeo bila kujitetea.

DAUDI BETHLEHEMU PAKA MAFUTA CHAGUA MFALME

MWONEKANO ROHO UTIIFU BATHSHEBA DHAMBI

NATHANI KIRI TUBU NEEMA MTOTO

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa.

Kisha uipake picha rangi.

Page 13: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

12

Mfalme Solomoni: 1 Kitabu cha Wafalme 2:1-4, 3:4-15, 4:29-34, 6:1, 6:37-38, 8:1-8:30

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?” 1 Wakorintho 3:16

KAZI ya nyumbani Kazi yako ya ziada ni kumpa moyo mtu Fulani kila siku katika wiki hii, hasa mtu anayeenda kanisa tofauti na unaloenda. Ukiona mtu akitenda wema, mpe pongezi. Ukiona motto mwingine anayemwamini Yesu akitenda lisilofaa, mkumbushe kwa njia ifaayo afanye linalofaa: Usimwambie “Wewe ni mbaya” ila mwambie” unapotenda hilo humridhishi Mungu. Labda unaweza kufanya hili badala yake.” Na utoe mfano wa jambo nzuri analoweza kufanya. Ziada: Soma ujumbe katika mlima katika kitabu cha Mathayo 5-7.

Tia alama kwenye picha ambapo mtu anasaidia kujenga hekalu ya Mungu. Tia rangi kwenye picha hizi.

SOLOMONI DAUDI MFALME HEKALU JENGA OMBA HEKIMA UTAJIRI DHAHABU UTAJIRI DHABIHU AHADI MKIRISTO OMBI ROHO

Page 14: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

13

Eliya: 1 Wafalme 17:1-24

FUNGU LA KUMBUKUMBU “ Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.” Matayo 6:33

KAZI ya nyumbani

Andika kifungu hiki, “Habari ya asubuhi, Mungu Mkuu” katika kipande cha karatasi na ukiweke karibu na mahali utakiona kila unapoamka asubuhi. Hili litakukumbusha kwamba Mungu anakuona wakati wote. Kama utakosa chochote wiki hii, omba Mungu akupe. Tizama jinsi Mungu anavyopeana na umwambie mwalimu wako kuhusu hili wakati ufuatao.

ELIYA KUNGURU VYAKULA KIJITO MAHITAJI

HUPEANA BILA KUJULIKANA MJANE MKATE TOSHA

UNGA MAFUTA MTOTO KIFO FUFULIWA

Tafuta vifaa sita vilivyofichwa. Kisha

uipake picha rangi.

Page 15: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

14

Eliya na Manabii: 1 Wafalme 18:16-46

FUNGU LA KUMBUKUMBU “Ee BWANA, wewe u Mungu wangu; Nitakutukuza na kulihimidi jina lako; Kwa kuwa umetenda mambo ya ajabu,

Mashauri ya kale, kwa uaminifu na kweli.” Isaya 25:1

KAZI ya nyumbani Waza kuhusu kitu unachokipenda sana, kama vile kipenzi, nguo, mfuko, pesa, na kadhalika. Waza kuhusu jinsi unaweza ukamtumkia Mungu au kumfaidi mtu mwingine na kitu hiki. Kama ni kipenzi, unaweza kumpa mtu mwingine na kumruhusu kucheza nacho. Kama ni mavazi na una dada au kaka mdogo anayeweza kuyavaa, mpe avae. Kama ni pesa zitoe kwa kanisa au kwa mtu anayezihitaji. Kama sio kitu kinchoweza kuguswa, kwa mfano talanta ama mpango wa kudurusu, omba Mungu na umwambie, “Mungu, hii talanta, masomo, ujuzi, ndoto, na kadhalika ni yangu. Tafadhali nisaidie kujua ni jinsi ninavyoweza kuitumia ili kukutumikia au kuwafaidi wengine. Ziada: kama unaishi katika hali ambayo famlia au jamii yako inaabudu mungu tofauti, jaribu usijihusishe. Kama unalazimishwa kushiriki, muombe Mungu na umpe roho yako yote na umwombe akulinde na akusaidie katika hali hii. Mungu, ambaye ni mkubwa na mwenye nguvu kuliko chochote au mtu yeyote, anaiona roho yako.

ELIYA MANABII ABUDU MLIMA KARMELI BAALI MADHABAHU MOTO MAJI MTARO DHABIHU MUNGU MWENYE NGUVU TUMIKIA AMINI UPENDO

Chora mstari unaounganisha kila shujaa wa imani na picha yao.

Débora Gedeón Sansón Samuel Rut David Elías Salomón Arca del Pacto

Page 16: Medium Heroes 2 Swahili · Kazi ya ziada wiki hii ni kufanya kitu chenye huruma kila siku, kwa mfano kumsaidia mtu mzee kuvuka barabara, kumsaidia mtu mzima vitu vyake kutoka kwa

15