5
MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA INARUDISHA ARDHI ILIYOHARIBIKA KATIKA HALI YAKE YA AWALI, KUTUNZA NA KULINDA MAZINGIRA Mianzi ni moja ya mazao duniani ambayo yanaota na kukua haraka, huzalisha matawi mengi juu na kutengeneza kenopi na mfumo wa mizizi ambayo inashikamanisha udongo wa juu vizuri. Pia inazalisha na kuangusha matawi ardhini kwa mwaka mzima, hivyo kutengenza udongo wenye rutuba na kuirudishia ardhi iliyoharibika rutuba na asili yake ya mwanzo. MIANZI HUTUNZA NA KULINDA VYANZO VYA MAJI Mianzi inatumika kutunza na kulinda vyanzo vya maji kwa kuzuia mmomonyoko wa udongo katika miinuko na pembezoni mwa mito na kuwezesha kutunza chemichemi za maji. Pia mianzi ni zao la biashara, linalovunwa kila mwaka, hivyo kutosheleza mahitaji (ujenzi wa nyumba, chakula na malisho ya mifugo) kiuchumi na kuongeza kipato kwa jamii. AWAMU YA PILI YA UFADHILI WA MRADI KUTOKA JUMUIA YA ULAYA (EU) NA IFAD: UZALISHAJI NA UPANDAJI MKUBWA WA MIMEA YA MIANZI Kuanzisha bustani ya mianzi kwa ajili ya uzalishaji mkubwa wa miche na kupanda na kuwajengea uwezo wa wadau (Serikali, Miradi ya maendeleo na jamii) kuwa na ujuzi wa uzalishaji wa miche bustanini. KUONGEZA ULINZI WA MAZINGIRA - Kuanzisha shamba kubwa la mfano katika ardhi iliyoharibika na isiyotumika ili kuonyesha umuhimu wa mianzi katika utunzaji wa mazingira. - Kufanya tafiti zitakazotoa takwimu zinazoonyesha kiwango ambacho mmea wa mianzi umeweza kulinda mazingira. INBAR No. 8, Fu Tong Dong Da Jie, Wang Jing Area, Chaoyang District, Beijing 100102, P.R. China PO Box 100102-86, Beijing 100102, P.R. China +86-10-6470 6161, +86-10-8471 3337, +86-10-6471 7108 | +86-10-6470 2166 | [email protected] | www.inbar.int Tanzania Contact: DONALD DICKSON KIBHUTI, Project Coordinator [email protected] / [email protected] INTERNATIONAL BAMBOO AND RATTAN ORGANISATION

MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA · kutunza mazingira Afri ka. Utunzaji wa mazingira Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa,

  • Upload
    others

  • View
    11

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA · kutunza mazingira Afri ka. Utunzaji wa mazingira Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa,

MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA

INARUDISHA ARDHI ILIYOHARIBIKA KATIKA HALI YAKE YA AWALI, KUTUNZA NA KULINDA MAZINGIRA Mianzi ni moja ya mazao duniani ambayo yanaota na kukua haraka, huzalisha matawi mengi juu na kutengeneza kenopi na mfumo wa mizizi ambayo inashikamanisha udongo wa juu vizuri. Pia inazalisha na kuangusha matawi ardhini kwa mwaka mzima, hivyo kutengenza udongo wenye rutuba na kuirudishia ardhi iliyoharibika rutuba na asili yake ya mwanzo.

MIANZI HUTUNZA NA KULINDA VYANZO VYA MAJIMianzi inatumika kutunza na kulinda vyanzo vya maji kwa kuzuia mmomonyoko wa udongo katika miinuko na pembezoni mwa mito na kuwezesha kutunza chemichemi za maji. Pia mianzi ni zao la biashara, linalovunwa kila mwaka, hivyo kutosheleza mahitaji (ujenzi wa nyumba, chakula na malisho ya mifugo) kiuchumi na kuongeza kipato kwa jamii.

AWAMU YA PILI YA UFADHILI WA MRADI KUTOKA JUMUIA YA ULAYA (EU) NA IFAD:

UZALISHAJI NA UPANDAJI MKUBWA WA MIMEA YA MIANZIKuanzisha bustani ya mianzi kwa ajili ya uzalishaji mkubwa wa miche na kupanda na kuwajengea uwezo wa wadau (Serikali, Miradi ya maendeleo na jamii) kuwa na ujuzi wa uzalishaji wa miche bustanini.

KUONGEZA ULINZI WA MAZINGIRA

- Kuanzisha shamba kubwa la mfano katika ardhi iliyoharibika na isiyotumika ili kuonyesha umuhimu wa mianzi katika utunzaji wa mazingira.

- Kufanya tafiti zitakazotoa takwimu zinazoonyesha kiwango ambacho mmea wa mianzi umeweza kulinda mazingira.

INBAR

No. 8, Fu Tong Dong Da Jie, Wang Jing Area, Chaoyang District, Beijing 100102, P.R. China

PO Box 100102-86, Beijing 100102, P.R. China

+86-10-6470 6161, +86-10-8471 3337, +86-10-6471 7108 | +86-10-6470 2166 | [email protected] | www.inbar.int

Tanzania Contact: DONALD DICKSON KIBHUTI, Project Coordinator [email protected] / [email protected]

INTERNATIONAL BAMBOO AND RATTAN ORGANISATION

Page 2: MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA · kutunza mazingira Afri ka. Utunzaji wa mazingira Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa,

UKUZAJI NA UENDELEZAJI WA KILIMO CHA MIANZI

Uzalishaji wa miche ya mianzi katika kaya

kuhamasisha uanzishaji wa bustani za mianzi katika

kaya, uzalishaji wa mimea ya mianzi kwa njia ya tishu

katika maabala ili kuwa na upatikanaji endelevu wa

miche kwa matumizi binafsi katika kaya na kuuza

kama biashara.

Kuhamasisha upandaji wa mimea ya mianzi katika kaya na katika mipaka ya mashamba

Kuwezesha jamii kupanda mianzi katika kaya zao

na katika mipaka ya mashamba yao kwa matumizi

ya wigo, kuzuia upepo na kusaidia upatikanaji wa

mahitaji katika kaya (ujenzi, nishati, chakula cha

binadamu, mifugo na wanyama na mahitaji mengine

ya kilimo) na kuongeza chanzo cha kipato.

Mianzi kama chakula na malisho

Kuhamasisha matumizi ya mianzi kama chanzo

endelevu cha nishati, chakula cha binadamu,

mifugo na wanyama ili kuwa na uhakika wa chakula,

malisho na nishati.

INBAR

No. 8, Fu Tong Dong Da Jie, Wang Jing Area, Chaoyang District, Beijing 100102, P.R. China

PO Box 100102-86, Beijing 100102, P.R. China

+86-10-6470 6161, +86-10-8471 3337, +86-10-6471 7108 | +86-10-6470 2166 | [email protected] | www.inbar.int

Tanzania Contact: DONALD DICKSON KIBHUTI, Project Coordinator [email protected] / [email protected]

INTERNATIONAL BAMBOO AND RATTAN ORGANISATION

Page 3: MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA · kutunza mazingira Afri ka. Utunzaji wa mazingira Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa,

Uzalishaji WaNishati

Katika KayaKIWANDA MFANO KWA AJILI YA KUZALISHA MKAAKuanzisha kampuni ya mfano ya kijamii yenye muundo uliotengenezwa na shirika lisilo la kiserikali (NGO), jamii yenyewe (Community), wataalamu (professionals) na wawekezaji wengine (partnership)- ambayo ni mkusanyiko wa kaya zinazozalisha mkaa katika vikundi na baadae kupelekwa kiwandani kwa ajili ya kutengeneza mkaa wa brikuiti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na biashara ili

kutengeneza kipato.

KAMPUNI MFANO YA UZALISHAJI WA NISHATI TOKANA NA MASALIA YA MIANZIUzalishaji wa nishati ya umeme inayotokana na masalia ya mianzi na kilimo ili kutengeneza fursa mpya za kipato kwa kaya

maskini ziishizo vijijini.

INBAR

No. 8, Fu Tong Dong Da Jie, Wang Jing Area, Chaoyang District, Beijing 100102, P.R. China

PO Box 100102-86, Beijing 100102, P.R. China

+86-10-6470 6161, +86-10-8471 3337, +86-10-6471 7108 | +86-10-6470 2166 | [email protected] | www.inbar.int

Tanzania Contact: DONALD DICKSON KIBHUTI, Project Coordinator [email protected] / [email protected]

INTERNATIONAL BAMBOO AND RATTAN ORGANISATION

Page 4: MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA · kutunza mazingira Afri ka. Utunzaji wa mazingira Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa,

SHUGHULI MBALIMBALI ZA KUINGIZA KIPATO

MASHINE YA KUTIBU MIANZI

Uwepo wa taasisi ya mafunzo na kiwanda kwa ajili kusaidia

kufundisha ubunifu wa bidhaa mpya, na utoaji wa huduma

na ukuzaji wa biashara na utafutaji wa masoko ya

bidhaa zinazotengenezwa na kuwakutanisha mafundi toka viwanda mbalimbali ili

kubadilishana uzoefu na ujuzi.

KUKUZA SEKTA YA MFANO INAYOJISHUGHULISHA NA MATUMIZI YA MIANZIKuzalisha bidhaa bora za mianzi ili kukidhi masoko mbalimbali kama uvuvi, nyuki, vifungashio, samani na ujenzi ili kutengeneza fursa za kipato hasa kwa vijana.

INTERNATIONAL BAMBOO AND RATTAN ORGANISATION

INBAR

No. 8, Fu Tong Dong Da Jie, Wang Jing Area, Chaoyang District, Beijing 100102, P.R. China

PO Box 100102-86, Beijing 100102, P.R. China

+86-10-6470 6161, +86-10-8471 3337, +86-10-6471 7108 | +86-10-6470 2166 | [email protected] | www.inbar.int

Tanzania Contact: DONALD DICKSON KIBHUTI, Project Coordinator [email protected] / [email protected]

Page 5: MIANZI KWA AJILI YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA · kutunza mazingira Afri ka. Utunzaji wa mazingira Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa,

UBADILISHANAJI WA ELIMU NA UJUZI kwa ajili ya kuongeza kipato, kutengeneza ajira kwa kaya maskini zinazoishi vijijini na kutunza mazingira Afrika.

Utunzaji wa mazingira

Kuhamasisha kupanda na kutunza zao la mianzi ili kurudisha misitu iliyokatwa, kupunguza mmomonyoko wa udongo, kulinda vyanzo vya maji na kingo za mito kwa kuzalisha mimea mingi na kuipanda.

Ukuzaji na uendelezaji cha Kilimo cha Mianzi Kuongeza mianzi kama zao la kilimo ili kukuza kipato, kutoa chakula na malisho kwa ajili kuongeza kipato kwa kaya maskini zinazoishi kijijini.

Uzalishaji wa nishati katika kaya

Kuanzisha kampuni ya mfano ya kijamii yenye muundo uliotengenezwa na shirika lisilo la kiserikali (NGO), jamii yenyewe (Community), wataalamu (professional) na wawekezaji wengine (partnership)- ambayo ni mkusanyiko wa kaya zinazozalisha mkaa katika vikundi na baadae kupelekwa kiwandani kwa

ajili kutengeneza mkaa wa brikuiti kwa matumizi ya nyumbani na biashara ili kutengeneza kipato.

Shughuli mbalimbali za kuingiza kipato kwa kaya

Uanzishwaji wa viwanda vidogo vidogo kwa ajili uzalishaji wa bidhaa bora za mianzi ili kukidhi mahitaji ya masoko mbalimbali.