14
Kiswahili Maelezo wa kutumia: n Hii chombo imetengenezwa kutumika na wafanyi kazi wa kusaidia jamii na kuhakikisha jamii inaweza kuendelea na hali ya kuvunja ndoa ama mume na mke kuwachana. n Hii chombo ina saidia mwenya ujuzi wa hii kazi kuamua ni mahitaji gani intakikana wa kusaidia watu wazima na watoto kuendelea na hali ya kuvunja ndoa ama kuwachana ya wazazi na kuwapatia mawazo ya busara n Pamoja na hii chombo kuna mawazo sita za uzazi ambao ina weza kutumika na jamii; inatakikana wale wafanyi kazi ambao wana ujuzi wa angalie hizi mawazo kabla kutumia makaratasi za kuamua wale wataingia hii kitu. n Ina elezwa kwamba hii “uamuzi” wa wale wataingia kutumika na watu wazima na watoto wote tofauti, kwa sababu mawazo na kila mtu ni tofauti n Neno la uzazi imetumika kwenye hii uamuaji na maana yake ni: Wazazi ambao wame wachana ama wame vunja ndoa hawawezi kukaa pamoja na kwa hivyo wame uhusiano mpya kama wazazi na wanatakikana kuongea ili watoto wata endelea kutunzwa vizuri. n Hii chombo ina anza na kuongea jinsi watoto wata endelea na maisha na kosa kuleta tisho kwa watu wazima n Inatakikana kwamba hii “uamuzi ya watu ambao wanaingia hapa” itumike kama chombo wa kuamua na kutafuta mabadliko wa mteja na jamii n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria ya uhuru na kutunza maneno ya kibinafsi” (FOIP) “Uzazi Wema: Kuweka Watoto Kwanza – Mawaida Ya Uzazi” Uamuaji Wa Kutumia Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

  • Upload
    others

  • View
    14

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Maelezo wa kutumia:n Hii chombo imetengenezwa kutumika na wafanyi kazi wa kusaidia jamii na kuhakikisha

jamii inaweza kuendelea na hali ya kuvunja ndoa ama mume na mke kuwachana.

n Hii chombo ina saidia mwenya ujuzi wa hii kazi kuamua ni mahitaji gani intakikana wa kusaidia watu wazima na watoto kuendelea na hali ya kuvunja ndoa ama kuwachana ya wazazi na kuwapatia mawazo ya busara

n Pamoja na hii chombo kuna mawazo sita za uzazi ambao ina weza kutumika na jamii; inatakikana wale wafanyi kazi ambao wana ujuzi wa angalie hizi mawazo kabla kutumia makaratasi za kuamua wale wataingia hii kitu.

n Ina elezwa kwamba hii “uamuzi” wa wale wataingia kutumika na watu wazima na watoto wote tofauti, kwa sababu mawazo na kila mtu ni tofauti

n Neno la uzazi imetumika kwenye hii uamuaji na maana yake ni:

Wazazi ambao wame wachana ama wame vunja ndoa hawawezi kukaa pamoja na kwa hivyo wame uhusiano mpya kama wazazi na wanatakikana kuongea ili watoto wata endelea kutunzwa vizuri.

n Hii chombo ina anza na kuongea jinsi watoto wata endelea na maisha na kosa kuleta tisho kwa watu wazima

n Inatakikana kwamba hii “uamuzi ya watu ambao wanaingia hapa” itumike kama chombo wa kuamua na kutafuta mabadliko wa mteja na jamii

n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria ya uhuru na kutunza maneno ya kibinafsi” (FOIP)

“Uzazi Wema: Kuweka Watoto Kwanza – Mawaida Ya Uzazi”

Uamuaji Wa Kutumia

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link Centre, Calgary.

(Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 2: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

1. Mtoto wangu anajua hali ya wazazi kuwachana ama kuvunja ndoa:

Ana onyesha wazi mawazo yakeHa onyeshi mawazo yake na ana huzuniAna kaa kimya na ako na shidaAko kwa hali ya wasi wasi na hajui atafanya niniAna hasira na matendo vibayaAna fikiria hali ya mbeleniAna ogopa watu wapya na hali mpya

2. Matendo wa mtoto yangu aki angalia ugombaji ya wazazi ni”

Kukaa kimyaKutenda vibayaKukaa kama mwenye kutafuta suluhishoInafikiria suluhishoHajui kitu na hajui atafanya niniKulia na kukaa na huzuniAna fikiri ame shikwa katikati ya wazazi

3. Mimi nina ongea na mzazi mwenzangu kuhusu mahitaji ya watoto wangu ( mawazo, matibabu, kutunza watoto, shule, orodha ya kazi)

Kila sikuKila wikiMara nne kwa mwezi mojaMara mbili kwa mwezi mojaAta siyo mara moja

4. Jinsi nina ongea ya mzazi mwenzangu kuhusu mahitaji ya watoto yangu ni:

Kuongea uso kwa usoKwa simuNa e-mailKutumia mtu mwengineKutumia watoto

5. Wakati niki ongea na mzazi mwenzangu, nina:

Kaa vizuriNina ongea juu ya maneno kuhusu watoto wangu peke yakeNa weza ku eleza na kuleta suluhishoSi wezi ku suluhisha matatizoSi wezi ku kaa vizuri kuhusu watoto yanguNina kaa na hasira na chuki kwa mzazi mwenzangu

6. Kufanya kazi pamoja na mzazi mwenzangu na sikia:

Niko sawa na mzazi mwenzanguNa wezana na hali yoyoteSi wezi na hali zoteSi wezi na hali nyingiSi wezi kabisa na nataka usaidizi

7. Niko na mpango tayari ya uzazi? Na makubaliano ya kuwachana/kuvunja ndoa?

Ndio La/hapana

8. Pamoja na hii karatasi kunaOrodha na mpango ya uzaziMpango kuhusu fedha ya kusaidia mtotoMpango kuhusu fedha ya kusaidia bibi au bwanaUkubaliano wa nyumba ya kibinafsiUjuzi kuhusu sheria inayo tumika kwenye hii ukubaliano

9. Ku weza na hali ya kuwachana/kuvunja ndoa, na hitaji usaidizi ya:

Maelezo ya kusaidianaUjuzi kuhusu uzaziUjuzi kuhusu mzazi mwenzangu na jinsi ya kuongeaMaelezo ya ki sheriaChakulaNyumbaFedhaKazi

* Wale wanafanya kazi na familia lazima washughulikie hili jambo mara moja

Upimaji Ya Mwanzo Upimaji Ya Baadaye

Page 3: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Kuwachana ama kuvunja ndoa inaleta shida na inataka mabadiliko ya wazazi, watoto na familia. Un-aweza kuwa na madiliko ambayo inaweza kuleta uofu, huzuni na matatizo. Kila mtu na familia wana utafauti wa kila hali na kila familia nataka kutumia maarifa kuwezana na hio hali. Wazazi wako na um-uhimu kupatia usadizi kwa watoto wao kuwezana na hali ya matatizo.

KAZI BORA:

n Wazazi na watoto wako na mawaida tofauti kuhusu kuwachana ama kuvunja ndoa; watoto hawaoni kama inaleta maarifa kwa maisha yao. Wazazi wanaweza kusaidia watoto kuongea vile wanafikiria na kusaidia hao wakati wanasikia huzuni ama wasiwasi.

n Watoto wanataka wazazi wote wawili kwa maisha yao; inaleta watoto kupendana na wazazi wote wawili na familia na inaleta maendeleo ya watoto na hawatakikani kuchagua mzazi yoyote.

n Watoto wanatakikana kupatiwa hakikisho kwamba wazazi kuwachana ama kuvunja ndoa sio makosa yao; ni muhimu kwa wazazi kuambia watoto wa kila umri kwamba wazazi yote wanapenda hao ata kama wamewachana

n Jinsi vile wazazi wanaweza kufanya ama kuvunja ndoa, ni muhimu vile watoto watawezana na hiyo hali; wazazi wanatakikana kukinga watoto na kugombana na kuacha hao kwenye uamuzi ya wazazi na kusaidia watoto kuendelea na maisha.

• Familianawazazikugombanainaletamatatizokwawatotonainatakikanaiishe;hasiranakugombanainaleta shida kwa watoto kuwa makorofi na kupata shida kwenya masomo.

• Kusaidiawatotokuwezananakuwachanayawazazilazimaitumikejinsiyauhusianompyaambaoinafikiria kusaidia watoto na wazazi pamoja na kila familia.

• Kuimarishamahitajiyawatotoinasaidiawakatiyakuwachananauhusianompyanainasaidiawatotokuwa wema.

• Wazaziwanawezakusaidiawatotonakujuanakufahamuvilekuwachanakamamaarifamaalumnakikosi ya wenyewe na kusoma hizi ncha.

“Watoto wanataka nini kama wazazi wamewachana/kuvunja ndoa”

Shiti Ya Kwanza #1

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link

Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary

Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi

kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 4: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

HUSUSI YA KAWAIDA;

4 Kuwachana/ kuvunja ndoa inahusu familia karibu asilimia arobaini (40) kwenya kabila zote;wazazi na watoto wengi wako na hiyo hali wanapata shida kawaida na hao sio wenyewe kuwezana na hiyo hali

4 Kuna mambo nyingi ambayo itafanya watoto vile watawezana na hiyo hali. Zingine ni umri, ubinafsi, na nguvu ya wazazi na familia

4 Kuwezana na hali ya kuwachana , watoto wanataka usaidizi na wazazi; juu kuna shida na mashughuliko inafanya wazazi wakose nafasi kusaidia watoto na ni hali mbaya kwa watoto.

4 Kuwa na moyo ya hasara, uchungu ni kawaida kwa watoto na wazazi ikiwa wazazi wameachana; Na kuna hasara mingi ya hii hali na inaonyesha wazi.

4 Watoto wakona uchungu kwenya hali ya wazazi kuachana na inaonyesha kwa tabia kama wasiwasi, ukorofi, hofu na ina onyesha wakati watoto wanapata ugonjwa ama wanafanya vibaya kwenye shule.

4 Kuwachana ya wazazi sio safari mmoja bali ni hali ya muda; inaanza na kuwachana na inaendelea na kuwachana ya kisheria.

4 “Wazazi kutuonekana” ndio inafanya watoto wasipende mzazi huyu na inaleta ukorofi kwa mzazi mwengine an inaleta matatizo ya kibinafsi ikiwa mzazi haonekani kwa muda mrefu

VIDATO YA WAZAZI:

n Weka mtoto yako kwanza; kuwa na hali ya kikawaida nyumbani yako

n Fanya mabadiliko chache kwenye maisha ya mtoto yako

n Tafuta jinsi mtoto yako anaweza kuonyesha mawazo yake

n Saidia mtoto yako asisikie kama yeye ndio mwenye makosa

n Patia mtoto yako mawazo ya ukweli

n Saidia watoto wako waendelee na maisha ya kawaida

n Usipatie mtoto yako jukumu ya watu wazima

n Kumbusha watoto yako kwamba wanapendwa na wazazi wote

n Patia mtoto yako awe na uhusiano na mzazi mwenzako

n Usiweke mtoto yako kwenye hali ya kuchagua mzazi

n Fanya kazi na mzazi mwenzako kupunguza kugombana

n Weka hasira yako na mzazi mwenzako mbali na watoto

n Ongea wema juu ya mzazi mwenzako na uweke mashida yako kando

n Tafuta jinsi ya uangalizi yako na mtoto wako.

Page 5: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Watoto wanaonyesha vile wanasikia hali ya kuwachana ya wazazi yao kwa maneno na tabia. Tabia nyingi inaweza kuonekana na kila mtoto anatabia tofauti. Wazazi wanaweza kusikia watoto yao na kuangalia tabia yao na kujua na kuelewa shida yao. Kusaidia watoto kuonyesha hali yao na wapatia uhakikisho kwa tabia mbali mbali.

Tabia ya kawaida ya watoto

n Ata kama mtoto haongei, sio lazima hana shida ama haonyeshi hali yake

n Mafikirio yao sio sawa kila wakati na hawana ujuzi; wengine wako na hofu kwamba mahitaji yao haitapatikana

n Watoto wengi wanaona kwamba hawajaambiwa, hawaja sikiliza na hawana habari yoyote ya iliyotokea; wengi wana hofu kwamba mahitaji yao haitahudhuria

n Watoto wengi wana hofu kwamba watawachwa na wanafikiri nani ataangalia hao; wanafikiria kama mzazi mmoja akiwacha, mwengine pia atamwacha

n Ata kama mzazi anahakikisha, watoto wengi bado watafikiria hao wako na makosa ya wazazi kuwachana

n Ni kawaida kwa watoto kufikiria wazazi wataungana na kukaa maisha bora; itachukua muda mrefu watoto kujua hiyo haitawezekana

n Watoto wako na shida wakati mzazi ana hasira. Wanastarehe na hawatasikia wazazi yao wakiwa wanatakikana kuchagua mzazi mmoja.

n Kuwa na nyumba mbili inaleta mawazo mingi kwa watoto; wanaweza kuwa na shida kuenda na kurudi kutoka nyumba mmoja hadi nyingine.

n Kusaidia hali ya kuwachana watoto wanachukua cheo kama mtoto wema

n Mtoto ambaye anatoka nyumba ya akuwachana ako na hali ya wasiwasi wakati akiwa mbele ya watoto wengine

“Hali ya watoto na ujuzi kuwachana/kuvunja ndoa”

Shiti Ya Tatu #2

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link

Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary

Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi

kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 6: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Muhimu: Tabia na mmenyuko haya ni vifano ili watoto wanaonyesha. Sio watoto wote anaonyesha hiyo tabia ya kuwachana ama kuvunja ndoa na ni kipekee kwa kila mtoto na

familia.

Muhimu: Wazazi wanatakikana Kuchukuwa usaidizi ya watu wenye ujuzi ndio wanaweza kusaidia kuwezana na tabia ya watoto yao

Miaka0-2

Miaka3-5

Miaka6-8

Miaka9-12

Miaka12-18

Miaka18+

Uwezekano ishara ya huzuni:Hali ya wasiwasi kulia sana, hofu ya kuwachana, ubadiliko ya kukula, kulala, kuenda choo, ndio tabia ya kawaida

Uwezekano ishara ya huzuni:Hali ya wasiwasi kulia sana, hofu ya kuwachana, ubadiliko ya kukula, kulala, kuenda choo, ndio tabia ya kawaida kuchanganya

Uwezekano ishara ya huzuni:Kufikiria na hofu, hasira, ugonjwa ya kiurongo na ukweli, kuwa na mafikirio ya wazazi ku kuwa pamoja, kuja katikati ya wazazi, mfadhaiko/atachukuliwa

Uwezekano ishara ya huzuni:Kuwachana na marafiki zao, shughli zao, mfadhaiko, ukorofu, kutuongea, na kuona haya ya wazazi kuwachana,kukataa na hakikisho ya kuvunja ndoa/kuwachana

Uwezekano ishara ya huzuni:Hasira zaidi, uhalifu, ugumu shuleni na/ama uhusiano, skitiko, uchungu, hawezi kuangalia hali yake mwenyewe, anaona kama ameshikana katikati ya wazazi, ana tabia juu ya umri wake, kuchukia na marafiki na mchezo, kuhatarisha na pombe, bangi na ugoni

Uwezekano ishara ya huzuni:Ata kama mtoto mzima ametolewa kwa familia, wanaweza kusikia huzuni kwa jili ya kuwachana/kuvunja ndoa. Maishani, moyo inaweza kusikia huzuni ama teso.Watoto wazima watakuwa uangalifu kwa uhusiano yao. Bado wataona mfarakano ya wazazi na watashindana na uaminifu ya familia. Wataambua ama watakuwa na jukumu mingi.

Mahitaji:Kazi ya kawaida kupatia uangalizi sawa, nyeti na kuangalia mzazi mwenzako

Mahitaji:Kazi ya kawaida kuonyesha mawazo wema kupatia mapenzi na kutuonyesha kugombana ya wazazi

Mahitaji:Kuwa na wakati mingi na wazazi wote, maelezo wema, na upendo ya wazazi na kusaidia kendelea na mahitaji yao.

Mahitaji:Kuongea na wazazi kupatia fursa ya watoto kuongea vile wanataka. Kupatia maelezo wema na kupatia mapenzi na kutuonyesha kugombana ya wazazi.

Mahitaji:Maelezo na matakikano ya kawaida; Ongea na watoto kiwaziwazi na usaidizi ya wazazi; Kuweza watoto uamuzi ya wazazi; wawe na wakati na wazazi na marafiki; Wakae mbali na kugombana ya wazazi; wawe uhuru na mbali na wazazi; waonyeshe tabia wema kwa watoto wenzao

Mahitaji:Watoto wafikirie juu ya lengo yao ya maisha; wakae wenye mraba ya mahusiano ya wazazi

Page 7: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Ubadiliko mengi,mitima na urekebisho inahitaji wakati ya kuwachana/kuvunja ndoa athari watu wa-zima, watoto na familia. Kwa watu wazima, kutawala shauri kuhusu kuwachana/kuvunja ndoa na moyo yao wenyewe sana sana inashughulika saa ya shughuli mingi na wakati ya shida mingi. Haya madai in-aweza kupunguza uwezo ya mzazi (“Uzazi kupunguzwa”)kukuwa nyeti na kupatikana kusaidia watoto yao. Matokeo, watoto watarekebisha kuhusu kuwachana/kuvunja ndoa inaweza kuwa mgumu zaidi.

VIFANO YA UZAZI KUPUNGUZWA:

n Mzazi anaweza kuwa na nafasi kidogo kuhisia ama kucheza na mtoto yake Uzazi Ncha: Watoto wanataka fursa kucheza, kuongea na kulingana na wazazi wote wawili.

n Kawaida wazazi wanashughulika na hisia yao wakati ya ugawanyo/kuachana Uzazi Ncha: Wazazi wanakumbushwa kwamba watoto wanataka usaidizi yao na uongozi

kutawala moyo.

n Wazazi wanataka watoto kusaidia nyumbani na hisia wakati ya kuwachana/kuvunja ndoa Uzazi Ncha: Mtu mzima na mtoto wanatakikana kuwa na jukumu iwe wazi na watoto

wanatakikana kuaguzi hali ya umri

n Masisitiza na madai kwa watu wazima kuhusu kuwachana/kuvunja ndoa, nidhamu ya nyumbani inafanya kuwa kubwa ama kidogo kama kawaida.

Uzazi Ncha: Wazazi wanatakikana kutawala na bashiri na ujulikano na uwezekano

n Watu wazima kawaida wanususi wakati ya kuwachana/kuvunja ndoa na inaweza kuchanganya na kuogopesha watoto

Uzazi Ncha: Ni bora wazazi wadhibiti hisia yao na waombe imara mzuri ya watoto nyumbani

n Mtoto anaweza kukumbusha mzazi kuhusu mzazi amewachwa na mzazi mwengine kuhusu shauri ya kuwachana/kuvunja ndoa; hii inaweza mzazi kuwacha mtoto

Uzazi Ncha: Wazazi wanatakikana kujua haya maneno yatatokea na apende na aungane na mtoto yake

n Hali ya oroda ambayo siyo sawa kwenye nyumba kuhusu kuwachana/kuvunja ndoa inaweza watoto wasikie wasiwasi na bila salama

Uzazi Ncha: Watoto wanarekebisha vizuri na pepe ya kila siku, utaratibu na utenzi

n Juu ya mifarakano kuhusu wazazi na nyumbani, inaisha mzazi kuhudhuria mahitaji ya mtoto yake Uzazi Ncha: watoto hawatakikani kufunua kuhusu mifarakano ya familia

n Mradi ya mzazi kuumba “maisha mpya” wenyewe inaweza kuwa aula zaidi kupita mahitaji na haja ya watoto yao

Uzazi Ncha: uangalifu ziada kati ya mtu mzima/mtoto madai ni muhimu

“Matokeo Ya Utafutaji Iliyepambana Na Uzazi”

Shiti Ya Tatu #3

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link

Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary

Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi

kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 8: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

ATHARI YA HASARA/SIKITIKO:

Katika hali mengi ya kuwachana/kuvunja ndoa, watu wazima na watoto wanapambana na moyo ya hasara na sikitiko inashirika na mabadiliko na marekebisho. Ingawa hii ni kawaida, jinsi ujuzi inawezwa na vile imegawa ni kipekee kwa kila familia.

Uzazi inaweza kuhusiana na moyo ya hasara na sikitiko. Watu wazima wale wamechafuliwa roho na wana shughulika na hali yao, hawatakuwa na nyeti kusaidia watoto wawezane hali ya kuwachana/kuvunja ndoa.

Kuna bashiri majukwaa kuhusu wote wawili watu wazima na watoto kuhasara na masikitiko. Kuwezana nao ni orodha, kuangaliwa na mringo, badala ya hatua ya mstari. Majukwaa inawezwa kurudishwa mara mingi kuhusu shida itokeze.

Watu wazima na watoto wote wanaujuzi na wanaendelea kusikia hasara na sikitiko wanatakikana kupata usaidizi mbali mbali ya wataalamu. Hii inasaidia kuwezana na moyo yao na wanaanza kutatua masuala ya kuwachana/kuvunja ndoa

n Haya majukwaa ya hisia kutokea na hasara/sikitiko inaweza kushuhudia:

1. Mshtuko: Kushangaa, kutojua, kutokubali, kupungua nguvu na kujibu na utaratibu, kukataa, kupungua ama kukataa hiyo hali

2. Uchungu: Kusikia vibaya na usikitiko, hasira, hatia, hofu, uchungu,kutoweza kutenda ama asiweze na shughuli ya maisha

3. Kuwachana: Kusikia bila matumaini, tupu, kutojali, uchungu, kutokua na maslahi ya maisha na kutoshikana na shughuli ya kawaida.

4. Mujibu Tena: Kufurahi na kuwa na nguvu nyingi, endelea na maslahi ya maisha yake na dunia, kuchukua hatua kuhusu maneno ya kuwachana/kuvunja ndoa; kukubali hali yake.

Hasara/Huzuni Mizunguko

Shtuko

Shughulika

Sehemu

Utungu

Kuhusu Mwili

Hisia

Adapted by Sandy Shuler and Elaine Bucknum, source unknown.

Page 9: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Vile familia wanaanza kuagana na maneno wanaonana kuhusu kuwachana/kuvunja ndoa, uzazi wema kawaida itakuwa muhimu. Kujifundisha mbinu mapya itakuwa muhimu kusaidia mahitaji ya watoto na juu ya mawasiliano kati ya wazazi. Watu wazima watahaja kuzamu uhusiano kama “usingizia” kushiriki-ana kuwa uhusiano mapya ya “biashara” ushirikiano kuwamba kugawa ujumbe ya kulea watoto nawiri.

UTARATIBU BORA KUONGEA NA WATOTOn Majengo nduguye na familia ili itiye moyo watoto kugawanya hisia yao yote na wazo ni muhimu

kuhusu mageuzi ya mtoto; wazazi wanatakikana kuweka mfano ya mawasiliano nyenyekea.

n Jinsi kugawa habari ni muhimu kulea watoto; kutafuta ziada ya uzazi mitindo kati ya “Mwonyeshaji” na “uelewaji” mzazi ni bora

n Kuona tabia ya mtoto na kusikia vile anaonyesha hisia ni muhimu katika kuelewa vile wanasikia kuhusu kuwachana/kuvunja ndoa

n Watoto wanahitaji kuweka moyo yao ikubaliwe na imefahamishwa; kusaidia hao kutaja vile wanasikia inatia moyo kusikia na hisani

n Mtoto sio lazima atakuwa tayari kuongea; kusaidiwa, kuonya na kutoa uzuiyo na wazazi, itasaidia mawasiliano nao

n Athari utaratibu kuboresha mawasiliano ziko: kuonana macho kwa macho, kutumia sauti ya upole, inama hadi sawa na urefu ya watoto na kutoa uangalifi sawasawa bila ugawanyiko

n Watoto wanataka kupatiwa ujumbe wazi kuhusu swali imeulizwa na ile inatarajia yao; kuweka hukumu na mradi kati ya umri na uzima yao ni muhimu

n Wakati ya haja, tumia “halisi” muhula badala ya kutumia “la/hapana”; uwape ujumbe na kutumia “mimi” taarifa – “Mimi nataka/nahitaji wewe kusaidia kuchukua takataka nje”

n Sanasana kwa watoto wachanga, kutumia ujumbe mmoja/funzo wakati moja ni bora; kuuliza watoto kurudia ujumbe inasaidia kuhakikisha kwamba wame elewa.

n Wakati ya haja, tumia “acha” na “anza” miwelekeo; rudia kama inahitaji na kati ya umri muafaka matokeo kama hakufuata; “acha kupiga mayoya tafadhali – tumia sauti ya ndani – rudia tena – ukiendelea kunyenda, hutaona televisheni usiku”

n Mtoto sanasana atajibu bora wakati ujumbe imepelekwa na hisani/adabu, himiza na sifa; ni muhimu kuarifu nguvu vyao na vile wamefanya sawa

Sanifu Mawasiliano Sanifu Kutumia Saa Ya Kuwachana/Kuvunja Ndoa”

Shiti Ya Nne #4

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link

Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary

Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi

kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 10: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

“SHUGHULI” YA UZAZI

4 Katika amri ya uzazi kheri na kuweka haja ya watoto kwanza, namna mpya ya uhusiano kati ya watu wazima ni lazima. Ikiwa wazazi “hawakai pamoja”, wazazi wanaanza “shughuli” mpya na kitu muhimu ni kulea watoto yao. Uhusiano yao inataka imaarike kuwezekana kuongea, kutatua shida na kuhifadhi mahitaji ya watoto. “Shughuli” hayo ni ambayo inaweza kusaidia hiyo lengo

VIDATO NA MAARIFA:

n Kitovu kuhusu mahitaji ya watoto; punguza binafsi, tumia uhakika sio mioyo na ongea maneno kuhusu kulea watoto peke yake

n Kumbuka kwamba watoto wanasikia, wanaona na wanajifunza kutoka watu wazima kuhusu kunyenyekea mawasiliano; kuwa na heshimu

n Tumia hisani kama ratiba ya wakati ya simu/mkutano, sauti ya utaratibu, weka uzazi asiria kwa ratiba na uteuzi ya watoto

n Endelea mikakati kuzuia mazoezi ya mbeleni; chukua wakati ya kupoa, zima “skio” na baki nnje ya mgogoro, andika chini na fanya vile unataka kusema

n Tumia “ kusikia na makini” na kubali ujumbe imepelekwa kwa maana ya kueleza; kusikia ujumbe haimaanishi kwamba umekubali

n Weka mzazi mwenzako ajue habari ya mahitaji ya watoto vile inazuka kwa kuendelea njia ya kugawa hizo ( mifano; kalendari, vitabu ya mzazi, barua pepe)

n Kama ni shida kuongea na mwenyewe, tumia jinsi zingine kama barua pepe, fax, mabarua/ama kutumia huduma ya watalamu

n Ujue kwamba shida itatokea kati ya wazazi mwenzako, na ujue kwamba sio hali yote itatatizwa, fanya bidi kuelewana, tatua mashaka na tumia usiadizi na mitaji ya wengine kusaidiwa

n Kumbuka kwamba haiwezekani kuhukumu mzazi mwenzako; fikiria juu ya nyumba yako na bashiri kwa watoto huko

n Saidia watoto kuwa na uhusiano na mzazi mwenzako; kama watoto wanagawa shida, kusikia moyo yao ni sawa, lakini wanatakikana kuhimiza kutatua shida yao na mzazi mwenzako

n Ni bora kwa uzazi wema kwamba wazazi wote wasitoe kasoro yao mbele ya watoto

Page 11: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Mioyo ya hasira na mfarakano ni kawaida kwa familia mengi na sana sana kuhudhuria wakati ya kuwachana/kuvunja ndoa. Uchunguzi inadokeza kwamba vile hasira inamudu na vile mfarakano inaendeleza kuathari watoto.Watoto wanasikia kupatikana na: matoleo uaminifu, “uzazi kuwachana” na mapigano ya nani ataweka watoto ni kawaida kuleta huzuni na urekebisho matatanisho.Wazazi wanatakikana kudhibiti watoto yaokatika mambo ya watu wazima kuhusu hasira na mfarakano.

SHIRIKA HAKIKA KUHUSU HASIRA INAYOENDLEA:n Watu wazima wanaweza kutawilisha hasira kwa sababu nyingi: kuonyesha hasira kawaida inaahirisha

kusikia sikitiko/hasara kati ya kuwachana/kuvunja ndoa; mfarakano inaweza njia ya kuendelea uhusiano kati ya wazazi; historia ya uhusiano haya; mshtuko kati ya kuwachana.

n Watoto wako na jukumu ya kawaida vile wanakuwa; mgogoro inayoendela ni mbaya kwa maslahi ya watoto

n Watoto wanaweza kushuhudia huzuni inashirikisho, mambo ya kimwili/kiroho, matengemano, kwa watoto wachanga – masikitiko, kosa ya makini, kuchukia, kufanya vibaya shuleni na utendaji, msingi jaribio na matukano, kasoro

n Uadui kati ya wazazi mapatano nduguye ya mtoto na wazazi wote wawili kwa sababu hawako uhuru kuonyesha upenzi yao na kuambatisha

n Watoto wanajisikia hoi na udhaifu kutawala hasira kati ya mapigano ya wazazi; kawaida wanawaza kwamba ni kwa sababu ya hao umewachana/ndoa imevunja na mfarakano na kuhusu hiyo wanaweza kusikia hatia, sikitiko, atachukia, hasira ama kukasirika

n Watoto wanaweza kusikia hofu na wanaweza kuuliza maswali kuhusu dhima ya wazazi yao kama mkubwa ya familia; wanaweza kuwa na mashaka kuhusu nani ataangalia hao wakati wanawasili wazazi wanapigana na hawawezi kitovu kutawala masuala ya familia

KUMBUKA:4 Sio mashida yote kati ya kuwachana/kuvunja ndoa inaweza kutatizwa; kwa faida ya watoto, wazazi

wanaweza kujifundisha jinsi ya kupunguza hali ya hasira na mfarakano

4 Kuelewa na kujua vile hasira inacheza kwa hali yako itasaidia kuhakikisha kuwezana naye bora na kukubali kuwachana/kuvunja ndoa

4 Kwa familia ile ina mapambano mingi na magombano, watoto wako na tashwishi na wako kwa hali ya hatari; wazazi wanatakikana kupata usaidizi ya wataalamu kusaidiwa kwa hali hiyo

“Kutawala Hasira na Mfarakano Kati Ya Kuwachana/ Kuvunja Ndoa”

Shiti Ya Tano #5

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link

Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary

Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi

kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 12: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

MADOKEZO KUMUDU HASIRA/MAPAMBANO:

n Hadhari kupokea hisia, matusi ama mapigano; toa mwenyewe kwa hali hiyo, chukua muda kupumzika, kawisha maneno, shirikisha watu wengine, chelewesha kufanya uamuzi

n Lenga kukaa kutunga, bila hisia na kuweza kuelewa na hakika; kubali kwa maongozi, weka ajenda tayari, weka rekodi kuhusu maneno wimetenda na tulia na vitendo

n Tumia uongozi imara amali mawasiliano maarifa: angalia macho kwa macho,punguza sauti, epesi usikilizo, uliza maswali ya wazi, tumia hisia na masikilizano

n Wacha “kushtaki, kuhukumu, tisho”; weka mfano yako mwenyewe unatumaini kwa kuongea kwako sio kwa mwengine, na uongoza ushirikisho suluhisha na shauriana

n Jua mawazo yako, maoni na lengo; zoea kutenda na makini na tambulisha ncha unapendelea

n Tumia usaidizi ya wataalamu kusaidiwa na kutawala mfarakano na kunuia

POINTI TANO YA VITENDO MPANGO MAARIFA1. Kutumia “Chati Ya Kizibo Kiwasiwasi” chini, ingiza maeneo ya hasira/ sisitiza kwa maisha yako:

Mzazi mwenzako, watoto, familia, marafiki, kazi, burudani, afya, uchumi na mengine

2. Juhulisha pahali ni muhimu, na hakikisha pahali una athari/ulinzi

3. Andika mbinu za uongozi kumudu hali, bainisha mbili kujaribu

4. Andika mbinu za uongozi kumudu mzazi mwenzako; bainisha mbili kujaribu

5. Rudia ile umejaribu imefanikiwa na jaribu maarifa zingine

CHATI YA KIZIBO KIWASIWASI IMEINGIZWA KWA TOLEO NDOGO HAPA

Masuala Mgogoro Na/Ama Sisitiza Kwa Maisha Yako:

1. Uzazi

2. Watoto

3. Familia

4. Marafiki

5. Kazi/Shule/Maslahi

6. Nafasi Ya Kupumzika

7. Afia

8. Fadhili

9. Mengine ___________________________

Chati Ya Kizibo KiwasiwasiMuhimu/ Uwezo Ulinzi Muhimu/ Hawezi Ulinzi

Uwezo Ulinzi/Si Muhimu Si/Hawezi Ulinzi/Si Muhimu

Adapted by Sandy Shuler and Elaine Bucknum, source unknown.

Page 13: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

Kiswahili

Kwa njia ya harakati ya kuwachana/kuvunja ndoa, familia wataagana na maneno ya kawaida ya nyum-ba mbili. Kuwa na habari na maarifa kuhotuba hali hayo itasaidia kwa kurekebisha hali ya watoto. Mashaka maalum inatakikana kuhotuba kushirikisha: Tengeneza wakati ya ukiuaji kati ya nyumba mbili; tawala sherehe ya familia na endekeza kwa mabadiliko ya pevu ukoo mpya na familia kambo.

VIDATO KUEPESI WAKATI YA UBADILIKO:n Wazazi wanatakikana kuonyesha halisi kikao kwenye kuenda nyuma na mbele kati ya nyumba mbili;

hii inasaidia watoto kusikia salama na wana ruhusa kuimarisha uhusiano na wazazi wote wawili/familia ndofu

n Kuhama kati ya nyumba mbili, mabadiliko kwa utaratibu na mazingira na “ kusema kwaheri” inaweza kuleta moyo inasikitika na hasara kwa watoto wengine; watoto wanaweza kusuluhia na mabadiliko kuonyesha teso na sisitizo; wazazi wanatakikana kuona watoto yao na makini na kutafuta njia kusaidia na mioyo yao

n “Wakati ya kuhamisha” inaweza kuwa na sisitizo kwa wazazi/watoto isipokuwa wamemudu na hisani na uangalizi; Hii siyo wakati wa kushughulika na matoleo ya uzazi ama kunia mgogoro

n Watoto wanafanya bora wakati wana habari na ukumbusho kuhusu ratiba na wakati ya uhamishi na pahali kuchukuliwa/kuwachwa; hali ya mapambano mingi, pahali uadilifu kuhamisha na kundi uadilifu (nyanya na babu, shule ya watoto wachanga,shule) labda itahitaji kuratibu

n Wazazi wanatakikana kusaidia watoto saa ya ukiuaji kwa majadiliano na ukubaliana mbeleni kuhusu mpango, vifaa kuhusu mipango, Ratibisho na haja ya watoto

n Watoto wanataka usaidizi wakati ya kuhama nyumba ingine; Ni wajibu ya watu wazima kusaidia na upango, kufunga virago na kuweka kila kitu vizuri; vile watoto watakuwa na utaratibu, na wako kubwa kidogo, wanaweza kugawia hiyo jukumu

n Watoto wengine wanataka kuweka kukaa kimya kabla ya kuwacha nyumba mmoja ili aweze kusema kwaheri na kutayarisha kuchukuliwa; watoto wanaweza pata faida kuchukua “vitu ya starehe” (michezo, mapicha, mablanketi na mengine) kuchukua nao kwa nyumba ingine

n “Kuingia-tena” ndani ya nyumba ingine baada ya kukaa kwa nyumba mbeleni inaweza kutilia mkazo kwa watoto; wanahitaji kupatiwa saa zaidi na liwaza kuzoea na mazingira, kuomeka na kutuliza na kupumzika

n Ubadili kati ya vyumba inaweza kutawala na imarisha na mazoezi ya kawaida; watoto watasikia salama zaidi uaguzi desturi za kawaida

“Mkabala Matoleo ya Kuwachana/ Kuvunja Ndoa Wakati Mbeleni”

Shiti Ya Sita #6

Hii mpango imetegemezwa na: Calgary Catholic Immigration Society na The New Family Place Parent Link

Centre, Calgary. (Imelinganishwa na: Tatjana Milojevic, Family Support Programs Coordinator, Calgary

Catholic Immigration Society and Sandy Shuler, B.S.W; R.S.W. C.C.F.E; www.familylifeworks.ca. 2009; Uzalishi

kwa ruhusa. Idha ya weka watoto kwanza, Elaine Bucknum; Sandy Shuler)

Page 14: Uamuaji Wa Kutumia - ccisab.ca · n Maneno yoyote imepatikana inataka itumike kama maneno ya kibinafsi ina elezwa na “sheria ya kutunza maneno ya kibinafsi”(PIPA) na “sheria

USTAHIVU ZINGINE MUHIMU:n Sikukuu, kienyeji na wakati ya sherehe ni maalum tukio kwa familia

na watoto; watoto wanastahili kupata uhusiano na wazazi wote wawili/jamii wa familia wakati hiyo ili kufikiria mahitaji ya watoto kama aula ni muhimu

n Kupanga, ratiba na kuongea habari ya hizi tukio mbeleni na wazazi inasaidia kuwepesi sisitizo na hamu ambayo inaweza kuzuka wakati ya sisitiza

n Kuzuia mfarakano, imekubaliwa kuwa na sherehe zaidi ya mmoja ; kila nyumba wanaweza kutafuta wakati ya sherehe kama (siku ya uzalishi, Krismasi, Mwaka Mpya)

n Ni muafaka kuuliza watoto mapendekezo yao, lakini wazazi wana uamuzi ya mwisho kuhusu masherehe, ili watoto wasi sikie hawako uaminifu kwa wazazi yao

n Shere ya dini, desturi na mazoezi kwa maisha ya mtoto inasaidia kuweka tayari uthabiti na mapendeleo; inapendeleza kwa familia kustawisha tahiri mpya na watoto wao zile ziko kipekee na spesheli kwa nyumba yao na hali mpya

n Kufuatia kuwachana/kuvunja ndoa ni wamba kwa wazazi ujamii na shikamana na ukoo mpya; hii inaweza kuteleza kwa watoto hao bado wanarekebisha, hiyo inatakikana kumudu na hadhari na nyeti kwa maslahi ya watoto.

n Kuowa tena na kuungana tena na watoto inaweza kuleta masuala ngumu na haina kiwango refu ya dawama ya bahati; kwa maslahi ya watoto, ina rekebishwa kwamba wazazi waendelee polepole kuhusu hiyo na ashauri na wataalamu kuhusu habari na usaidizi

n “Mpango ya Uzazi” ni katiba muhimu inayo onyesha muhtasari kwa kila familia kuhotuba maslahi ya watoto; ni kipekee kwa kila familia, andikwa na kila kinangano, na inatakikana kujadili na kuhakikisha na wataalamu kuongeza kwa maktaba ya kuwachana/kuvunja ndoa

n Njia kumudu wakati mbeleni mgogoro na juu ya kupitia wendo wa mpango ya uzazi inatakikana kuwa pande yake; vile watoto wanakuwa na badiliko, inatakikana kuruhusu marekebisho

n Mwendo ya kuwachana/kuvunja ndoa na uzazi wema kati ya mabadiliko na urekebisho inaweza kuwa na haja zaidi na sisitizo kwa watu wazima; ni muhimu kuuliza usaidizi na kuendelea na mifumo ili kuweka mwenyewe vizuri na kusaidia watoto yao

KIDOKEZO:Ni muhimu kukumbuka:

4 Kuuliza usaidizi ya wataalamu kama shaka ikitokea kuhusu tabia ya watoto/matendo ujuzi ya kuwachana/kuvunja ndoa

4 Mfarakano ya familia iko hususi na inaendeleza kwa dhalimu ya familia; hii inaweka wazazi na watoto kwa hatari; usaidizi ya wataalamu pamoja na ushauri ya kisheria itahitaji

4 Kuna mitaji mengi kwa jamii kusaidia familia kuhusu shauri ya kuwachana/kuvunja ndoa