Upload
others
View
13
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
2
3
Matokeo yetu ya Leo
1) Jua madhumuni ya Kamati za Kuwashauri Wazazi (PACs) na Kamati za Ushauri za Wilaya Nzima (DACs) na jinsi unavyoweza kuhusika.
2) Elewa mahitaji ya Mpango wa ELA na jinsi Mpango wa ELA unavyomnufaisha mwanao.
3) Jifunze kuhusu Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) na jinsi mwanao anavyoweza kupata alama hii muhimu kwenye diploma yao.
6
Wajibu wa wilaya yetu kwa wanafunzi na wazazi wetu:
Kushirikiana ili kutimiza malengo yetu ya 2020
Kwa wanafunzi wetu…• Mipango na nafasi zinazohakikisha
mafanikio shuleni, kazini na maishani kwa kujumuisha na kukuza lugha asili na utamaduni
Kwa wazazi wetu…• Usaidizi mkubwa kwa uongozi katika
shule za DPS• Uwakilishi mkubwa na kusikizwa zaidi
7
Kusaidia Uongozi wa Wazazi wa ELA na PACs na DACs
Kamati za shule na wilaya za Wazazi wa ELA
Kamati ya Kuwashauri Wazazi (PAC):• Kamati ya shule ya familia zote za wanafunzi
wa Kiingereza—wasiliana na shule yako leo hii!
• Hupitia Mpango wa ELA wa shule na husikiza shaka za mzazi
Kamati ya Ushauri ya Wilaya nzima (DAC)• Kamati ya wilaya ya familia zote za wanafunzi
wa Kiingereza• Hupitia mpango wa ELA wa wilaya na husikiza
shaka za wazazi• Wawakilishi wa Bodi ya DAC hufanya
maamuzi ya kiuongozi
8
Kuna njia nyingi za kuhusika katika kiwango cha wilaya katika DPS!
Nafasi za wilaya kwa Wazazi wa ELA
Baraza la Wazazi la ELA DAC
/Mkurugenzi
FAMILY LEADERSHIP INSTITUTES (TAASISI ZA
UONGOZI) ZA ELA DAC/FAMILIA
BODI YA ELA DAC
BODI YA ELIMU YA DPS
Ripoti ya Kila Mwaka
• TAREHE ZA MWISHO
• TAREHE ZA MWISHO
9
Bodi ya ELA DAC: Shirika la Uongozi la DAC
Nafasi za uongozi kwa Wazazi wa ELA
Jukumu na madhumuni:• Bodi ya uongozi iliyochaguliwa na familia za wanafunzi wa Kiingereza ili
kutayarisha ajenda za DAC, kuongoza mikutano, na kusaidia familia zingine.
• Kuhudhuria mikutano minne ya Bodi kila mwaka.
Mchakato wa mapendekezo:• Jipendekeze au kiongozi mwingine wa wazazi kwa kutumia fomu iliyoko
bahashani• Rejesha fomu za mapendekezo kwetu leo hii au kwa ofisi ya shule yako• Mapendekezo yanafaa kufanywa kabla ya SPF ya 27 Septemba • Mkutano wa kwanza wa Bodi utatangulia SPF ya Novemba
10
Shule za Umma za Denver ziko chini ya Consent Decree (Agizo la Ridhaa) la mipango yetu ya wanafunzi wa Kiingereza.
Tulifikaje hapa?
11
Consent Decree (Agizo la Ridhaa) la DPS lipo katika historia yetu na upiganiaji wa haki za kiraia.
Tulifikaje hapa?
12
Consent Decree (Agizo hili la Ridhaa) huamua baadhi ya ajenda zetu za DAC – mchango wa wazazi huamua nyingine.
ELA DAC: Kutenda kupita ufuataji
14
Mipango yetu ya ELA husaidia wanafunzi wa Kiingereza katika uendelezaji wa lugha ya Kiingereza na lugha asili.
Kila Mwanafunzi wa Kiingereza hufanikiwa!
Mafunzo ya Lugha Asili ya Kimpito (TNLI)
Kiingereza kama Lugha ya Pili (ESL)/ELA-E Mafunzo kwa Lugha Mbili
ELD Iliyotengwa kwa Kusudi Maalum
ELD Jumuishi
Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili)
15
Je, mwanao ameandikishwa kuwa katika mpango gani wa ELA? Je, mpango huu unamsaidiaje mwanao?
Kila Mwanafunzi wa Kiingereza hufanikiwa!
16
Tunataka kuhakikisha kwamba kila mwanafunzi mwerevu wa Kiingereza ametambuliwa.
Kusaidia mahitaji ya kila mwanafunzi wa Kiingereza
Tarehe muhimu:• Kuanzia tarehe 1 Septemba,
wanafunzi wote wa darasa la K, 2, na 6 watatathminiwa kwa ajili ya mpango wa wanafunzi werevu.• Tutaanza na darasa la 6 na
tutathmini madarasa kila baada ya wiki mbili.
• Maombi ya kutathmini wanafunzi wengine yanapaswa kupokelewa ifikapo tarehe 6 Oktoba – ongea na Robin Greene kutoka Gifted and Talented (Werevu) ili ujifunze mengi!
17
Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) ni nafasi kubwa kwa wanafunzi wetu wanaozungumza lugha mbili!
Kuzungumza lugha mbili ni sifa yenye thamani!
Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) huwa kwenye nakala na diploma ya mwanafunzi na huwajuza waajiri na vyuo kwamba mwanafunzi huyo ana stadi mahiri katika lugha kadhaa.
18
Tuzo za Pathways hutambua wanafunzi wadogo wanaohusisha lugha mbili masomoni.
Kuzungumza lugha mbili ni sifa yenye thamani!
Wanafunzi walioko katika darasa la 3, 5, na 8 wanaweza kupata Tuzo za Pathways kutokana na kuhusisha lugha mbili masomoni na kujitayarisha kupata Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili).
19
Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) ni ya wanafunzi wote wanaoonyesha kujua kusoma na kuandika kwa lugha mbili.
Kuzungumza lugha mbili ni sifa yenye thamani!
20
Wanafunzi wanapaswa kutamani Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) kwa sababu huwa inavuta nafasi nyingi!
Kuzungumza lugha mbili ni sifa yenye thamani!
• Kazi 86,000 za lugha mbili zilizopo kote nchini• Alama bora zaidi za kuhitimu na za mtihani• Pata mishahara mikubwa (10-25% zaidi)• Hali bora kuliko wengine wakati wa kuingizwa chuoni na kupata
udhamini• Hutukuza na kutunza lugha asili na tamaduni• Kiungo cha video: https://vimeo.com/167491326
21
Wanafunzi wa shule ya upili wanaoutaka wanapaswa kuomba Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) ifikapo 31 Oktoba.
Kuzungumza lugha mbili ni sifa yenye thamani!
• Wanafunzi hujaza ombi• Hukutana na washauri-nasaha wa shule
kwa taarifa zaidi• Tembelea jedwali la Seal of Biliteracy
(Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili) ikiwa una maswali ya ziada
22
Kupitia Matokeo Yetu
Madhumuni ya PACs na DACs na unavyoweza kuhusika
Elewa mahitaji ya Mpango wa ELA na jinsi Mpango wa ELA unavyomnufaisha mwanao
Jifunze kuhusu Seal of Biliteracy (Mhuri wa Kujua Kusoma na Kuandika kwa Lugha Mbili)
na jinsi mwanao anavyoweza kupata alama hii muhimu
23
Maswali?
Tungependa kusikia maswali yako!