Upload
tex
View
120
Download
15
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Neno la Uzima. Mwezi Aprile 2012. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. (Yo 15, 3). Nadhani kuwa moyo wa mitume, waliposikia neno hilo la kutia moyo wa Yesu, uliruka kwa furaha. Jinsi ingekuwa heri, ikiwa Yesu anaweza kutwambia na sisi pia. - PowerPoint PPT Presentation
Citation preview
Neno la UzimaNeno la Uzima
Mwezi Aprile 2012
Mwezi Aprile 2012
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
(Yo 15, 3)
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
(Yo 15, 3)
Nadhani kuwa moyo wa mitume, waliposikia neno hilo la kutia moyo wa Yesu, uliruka kwa furaha.
Jinsi ingekuwa heri, ikiwa Yesu anaweza kutwambia na sisi pia.
Ili tuweze kustahili kidogo, tujaribu kulielewa.
Yesu alikwisha kutumia mfano wa mzabibu na matawi. Yeye ni mzabibu wa kweli, Baba ni mkulima,
anayeondoa kila matawi lisilozaa, na kusafisha kila tawi lizaalo, ili lizidi kuzaa.
Kisha kusema hayo, anaongeza:
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa
sababu ya lile neno nililowaambia.
“Ninyi mmekwisha kuwa safi...”. Anaongelea usafi gani?
Ni hali ile ya roho inayotakiwa ili
kuweza kusimama mbele ya Mungu,
isiyo na vizuio (kama kwa mfano
dhambi) vinavyozuilia
kukaribia matakatifu, kukutana na
Mungu.
Ili tupate usafi huo, tunahitaji msaada kutoka juu.
Hata katika Agano la Kale, mtu alitambua kwamba hawezi kumkaribia Mungu kwa nguvu zake tu.
Alihitaji kuwa Mungu autakase moyo wake; kumpa moyo mpya.
Zaburi nzuri sana husema: “...Ee Mungu, uniumbie moyo safi”.
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa
sababu ya lile neno nililowaambia.
Kwake Yesu kuna njia ya kuwa safi, nayo ni Neno lake.Neno lile ambalo wanafunzi walilosikia,
na kulikubali, limewatakasa.
Naam, Neno la Yesu si kama maneno ya watu.Ndani yake yumo Kristo, jinsi, kwa namna nyingine,
yumo katika Ekaristi. Kwa njia yake Kristo anaingia ndani yetu sisi.
Tukilikubali na kutekeleza, linafanya kuwa Yesu azaliwe na kukua katika moyo wetu.
Baba Mtakatifu Paulo wa VI alikuwa
akisema: “Anawezaje Yesu kuwemo katika roho za watu? Kwa
njia ya kutushirikisha Neno, mawazo ya
Mungu hupita, hupita Neno, Mwana wa
Mungu aliyejifanya mtu.
Tungeweza kusema kuwa Bwana
anachukua mwili ndani yetu
tunapokubali kwamba Neno lije
kuishi ndani yetu”.
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa
sababu ya lile neno nililowaambia.
Neno la Yesu linafananishwa pia na mbegu iliyotupwa ndani ya mwumini.
Lilipopokelewa, huingia ndani ya mtu na, kama mbegu, huchipuka na kukua, na kuzaa matunda,
linatufanya “kuwa Kristo”, kwa kutufanya tufanane na Kristo.
Neno, likiingizwa na Roho Mtakatifu, lina kweli uwezo na nguvu ya kumshika Mkristo mbali na
maovu: hadi anakubali kuacha Neno litende ndani yake, atakuwa huru na dhambi, basi atakuwa safi.
Atatenda dhambi ikiwa anaacha kutii ukweli.
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia. Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa
sababu ya lile neno nililowaambia.
Basi, tutaishije ili kustahili nasi
sifa ya Yesu?Kwa kutekeleza
kila Neno la Mungu,
tukilishwa nalo saa hadi saa, kwa kufanya maisha yetu kuwa kazi ya
uinjilishaji daima.
Hilo tupate kufika kuwa mawazo na hisia ya Yesu, kuishi yeye katika dunia, kumwonyesha katika jamii,
ambayo mara nyingi imevurugwa na mabaya na dhambi, kuonyesha usafi wa kimungu, na mwangaza
inaotupa Injili.
Halafu, katika mwezi huu, ikiwezekana (yaani ikiwa wengine wanashiriki nia zetu), tujitahidi kutekeleza kwa namna ya pekee lile neno linalodhihirisha amri
ya mapendano
Mwinjili Yohane, anayeandika Neno
la Yesu tulilotafakari leo, anaona ulingano kati ya Neno la Kristo na amri
mpya.Kwake yeye, ni
katika mapendano kwamba tunaishi Neno pamoja na matokeo yake ya usafi, utakatifu,
tusitende dhambi, kuzaa matunda, kuwa karibu na
Mungu.
Mtu katika upweke hawezi kudumu kushinda misukumo ya ulimwengu,
mbali katika mapendano hupatikana nafasi ya kufaa
ya kulinda maisha ya Kikristo halisi.
““Parola di Vita”,Parola di Vita”, pubblicazione mensile del Movimento dei Focolari.
Testo di: Chiara Lubich, scritta nel 1982
Grafica Anna Lollo in collaborazione con don Placido D’Omina (Sicilia, Italia)
Questo commento alla Parola di Vita è tradotto in 96 lingue e idiomi,
e raggiunge vari milioni di persone in tutto il mondo
tramite stampa, radio, TV e via internet.
Per informazioni www.focolare.org
Questo PPS, in diverse lingue, è pubblicato su www.santuariosancalogero.org
(da dove si può scaricare)
““Parola di Vita”,Parola di Vita”, pubblicazione mensile del Movimento dei Focolari.
Testo di: Chiara Lubich, scritta nel 1982
Grafica Anna Lollo in collaborazione con don Placido D’Omina (Sicilia, Italia)
Questo commento alla Parola di Vita è tradotto in 96 lingue e idiomi,
e raggiunge vari milioni di persone in tutto il mondo
tramite stampa, radio, TV e via internet.
Per informazioni www.focolare.org
Questo PPS, in diverse lingue, è pubblicato su www.santuariosancalogero.org
(da dove si può scaricare)
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililowaambia.
(Yo 15, 3)