2
DEPARTMENT OF HEALTH SERVICES Homa ya mifupa (selimundu) ni nini? Homa ya Mifupa ni hali inayoathiri damu na wazazi wote wawilli huchangia. Inamaanisha watu huzaliwa na homa hii, kama vile wanavyori- thi wazazi Dalili zake ni zipi? Jinsi damu inavyo tembea katika viungo vya mwili, chembe chembe za damu ya aina ya selimundu inaweza kukwama mahali popote katika mwili, hapo ndipo dalili zitajitokeza. Dalili sana sana huanza kuonekana miezi minne hadi sita baada ya kuzaliwa, kwa mfano kufura miguu na mikono kwa ghafla. Maumivu ya mifupa huwa mara kwa mara, katika sehemu yoyote ya mwili kama vile kwa mikono, mi- guu, kifua,kiuno na hata kichwa na tumbo. Maumivu haya huitwa pain crises”. Watoto wengine huisi vibaya na wanaweza kujulisha mlezi wao. Homa hii inajitokeza kwa kwa jinsi tofauti tofauti. Watoto wengi mara nyingine wanasikia vyema na wakati wengine wanjisikia vibaya. Wengine huwa na dalili chache maishani mwao. Wengine hupata maumivu makali. Ni ngumu madaktari kujuwa ni nani ataumwa sana. Watoto wenye chembe chembe za selimundu huwa na upungufu wa damu mwilini, na ni kwa sababu chembechembe zao hizi huwa na Maisha mafupi baada ya kutengezwa, na husafishwa mara kwa mara mwilini. Mtoto huyu huwa na macho meupe kuashiria upun- gufu wa damu, na pia kuwa na manjano kwa macho yellowmara kwa mara. Rangi ya manjano au jaundicepekee sio shida. Huwa shida tu ikiwa kuna dalili zingine ama manjano kuzidi kawaida yake. Jinsi ya kudhibithi selimundu Hakikisha mtoto amemaliza chanjo za klinik zote za watoto. Ni vizuri pia wapewe yakuzuia homa ya mapafu pneumoniawanapo kuwa wakubwa kwa umri Wathiriwa pia wanafaa kupewa vita- min A mara kwa mara Hakikisha mtoto wako amelala ndani ya neti iliyotibiwa Hakikisha mtoto anatumia dawa zote anazopewa na daktari. Hakikisha wanahudhuri kliniki zao za homa ya mifupa au selimundu Watoto hawa pia wanapewa dawa za kuzuia homa ya mapafu kwa watoto walio chini ya miaka mitano. Pia watapewa dawa za kuzuia malaria Wao pia hupewa dawa ya kuongeza damu (Folic Acid). Hakikisha mtoto anapata lishe bora. Matunda na mboga kama vile Sukuma wiki na mchicha huwa na vitamin and folic acid ya kutosha. Folic Acid inasaidia kujenga damu mwilini na mtoto wa homa ya mifupa anahitaji kujenga damu mpya mwilini. Tafuta tiba mapema unapopatwa na shida inayo husiana na athari za homa ya mifupa Usalama wa dawa ya Hydroxyurea kama tiba ya homa ya selimundu Afrika inaendelea kufanyiwa utafiti kwa nchi nyingi vilivile huku Kenya. Tiba ya pekee ya homa ya selimundu ni ubadilishaji wa uboho au muretso’, ambayo ni hatari na gali mno kwa wagonjwa wengi Hata kwa kufuata matibabu ya kawaida, watu wanaweza kuishi na homa hii hata kwa miaka themanini (80 years) Unaweza kuzuia homa ya hii tu ikiwa tu wanaotaka kuoana kwa kupewa ushauri na kupimwa ikiwa wako na hizi chembe chemebe. Sickle cell disease (Seli Mundu) Sickle: Kifaa cha kukatia mimea Wasiliana: Klinik ya homa ya mifupa -The Sickle Cell Clinic Kilifi County Hospital +245 0721570192 au Meneja wa Uhusiano Mwema na Jamii, - 0723342780 KEMRI/Wellcome Trust Research Programme, S.L.P. 230, Kilifi. Nambari: 0723342780/0738472 281 au 041 7522063

Sickle cell disease (Seli Mundu) - KEMRI - Wellcome Trustkemri-wellcome.org/wp-content/uploads/2017/06/Sickle...Watoto hawa pia wanapewa dawa za kuzuia homa ya mapafu kwa watoto walio

  • Upload
    others

  • View
    6

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Sickle cell disease (Seli Mundu) - KEMRI - Wellcome Trustkemri-wellcome.org/wp-content/uploads/2017/06/Sickle...Watoto hawa pia wanapewa dawa za kuzuia homa ya mapafu kwa watoto walio

DEPARTMENT OF HEALTH SERVICES

Homa ya mifupa (selimundu) ni nini?

Homa ya Mifupa ni hali inayoathiri damu na

wazazi wote wawilli huchangia. Inamaanisha

watu huzaliwa na homa hii, kama vile wanavyori-

thi wazazi

Dalili zake ni zipi ?

Jinsi damu inavyo tembea katika viungo vya mwili,

chembe chembe za damu ya aina ya selimundu

inaweza kukwama mahali popote katika mwili, hapo

ndipo dalili zitajitokeza. Dalili sana sana huanza

kuonekana miezi minne hadi sita baada ya kuzaliwa,

kwa mfano kufura miguu na mikono kwa ghafla.

Maumivu ya mifupa huwa mara kwa mara, katika

sehemu yoyote ya mwili kama vile kwa mikono, mi-

guu, kifua,kiuno na hata kichwa na tumbo. Maumivu

haya huitwa “pain crises”.

Watoto wengine huisi vibaya na wanaweza kujulisha

mlezi wao.

Homa hii inajitokeza kwa kwa jinsi tofauti tofauti.

Watoto wengi mara nyingine wanasikia vyema na

wakati wengine wanjisikia vibaya. Wengine huwa na

dalili chache maishani mwao. Wengine hupata

maumivu makali. Ni ngumu madaktari kujuwa ni

nani ataumwa sana.

Watoto wenye chembe chembe za selimundu huwa

na upungufu wa damu mwilini, na ni kwa sababu

chembechembe zao hizi huwa na Maisha mafupi

baada ya kutengezwa, na husafishwa mara kwa

mara mwilini.

Mtoto huyu huwa na macho meupe kuashiria upun-

gufu wa damu, na pia kuwa na manjano kwa macho

“yellow” mara kwa mara. Rangi ya manjano au

“jaundice” pekee sio shida. Huwa shida tu ikiwa kuna

dalili zingine ama manjano kuzidi kawaida yake.

Jinsi ya kudhibithi selimundu Hakikisha mtoto amemaliza chanjo za klinik

zote za watoto. Ni vizuri pia wapewe yakuzuia homa ya mapafu “pneumonia” wanapo kuwa wakubwa kwa umri Wathiriwa pia wanafaa kupewa vita-min A mara kwa mara

Hakikisha mtoto wako amelala ndani ya neti iliyotibiwa

Hakikisha mtoto anatumia dawa zote anazopewa na daktari.

Hakikisha wanahudhuri kliniki zao za homa ya mifupa au selimundu

Watoto hawa pia wanapewa dawa za kuzuia homa ya mapafu kwa watoto walio chini ya miaka mitano.

Pia watapewa dawa za kuzuia malaria

Wao pia hupewa dawa ya kuongeza damu (Folic Acid).

Hakikisha mtoto anapata lishe bora. Matunda na mboga kama vile Sukuma wiki na mchicha huwa na vitamin and folic acid ya kutosha. Folic Acid inasaidia kujenga damu mwilini na mtoto wa homa ya mifupa anahitaji kujenga damu mpya mwilini.

Tafuta tiba mapema unapopatwa na shida inayo husiana na athari za homa ya mifupa

Usalama wa dawa ya Hydroxyurea kama tiba ya homa ya selimundu Afrika inaendelea kufanyiwa utafiti kwa nchi nyingi vilivile huku Kenya.

Tiba ya pekee ya homa ya selimundu ni ubadilishaji wa uboho au ‘muretso’, ambayo ni hatari na gali mno kwa wagonjwa wengi

Hata kwa kufuata matibabu ya kawaida, watu wanaweza kuishi na homa hii hata kwa miaka themanini (80 years)

Unaweza kuzuia homa ya hii tu ikiwa tu wanaotaka kuoana kwa kupewa ushauri na kupimwa ikiwa wako na hizi chembe chemebe.

Sickle cell disease

(Seli Mundu)

Sickle: Kifaa cha kukatia mimea

Wasiliana: Klinik ya homa ya mifupa -The Sickle Cell Clinic Kilifi County Hospital +245 0721570192 au Meneja wa Uhusiano Mwema na Jamii, - 0723342780 KEMRI/Wellcome Trust Research Programme, S.L.P. 230, Kilifi. Nambari: 0723342780/0738472 281 au 041 7522063

Page 2: Sickle cell disease (Seli Mundu) - KEMRI - Wellcome Trustkemri-wellcome.org/wp-content/uploads/2017/06/Sickle...Watoto hawa pia wanapewa dawa za kuzuia homa ya mapafu kwa watoto walio

Njia ya kujua hali yako (Diagnosis)

Njia bora ya kutambua homa hii ni kupimwa kipi-

mo kiitwajo“HB – Eletrophoresis” ambayo inawe-

za kufanywa kwa umri wowote, hata siku ile ya

kwanza ya kuzaliwa.