If you can't read please download the document
Upload
hoangnga
View
661
Download
92
Embed Size (px)
Citation preview
Kwa Maelezo Zaidi Wasiliana Nasi Kwa:
Mkuu wa Chuo
St. John College Of Health Science
Mtaa wa Hali ya Hewa
S.L.P 1526, Mbeya - Tanzania.
Simu: +255 754331443 / +255 754014410
Nukushi/Fax: +255 252503337
Barua pepe:
Tovuti :www.stjohncollegeofhealthscience.ac.tz
Fomu za maombi ya kujiunga na chuo zinapatika-na chuoni St.John College of Health Science Mkoa wa Mbeya.
USAJILI WA CHUO.
Chuo kimesajiliwa na NACTE kwa No. REG/HAS/126.
MAHALI CHUO KILIPO
Chuo kipo Mkoa wa Mbeya Airport ya zamani Mtaa wa Hali ya Hewa.
Mazingira ya chuo
MIHURA MIPYA YA MASOMO 2016/2017 ITAAZA
MACHI, SEPTEMBA NA NOVEMBA.
KARIBU ST. JOHN COLLEGE OF HEALTH SCIENCE MBEYA UJIPATIE UJUZI UTAKAO KUWEZESHA KUPATA AJIRA KATIKA SECTA YA AFYA.
WAHI NAFASI NI CHACHE
ST. JOHN COLLEGE OF
HEALTH SCIENCE - MBEYA
HEALTH FOR BETTER LIFE
SIFA ZA MWOMBAJI
MAZOEZI KWA VITENDO FANI YA UUGUZI
COMPUTER LAB
Chuo kinatoa mafunzo ya computer kwa kozi zote ili kuwawezesha wanafunzi kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia katika secta ya afya.
Mwombaji awe na cheti cha Mtihani wa Elimu ya Sec-
ondary (OLevel) kwa ufaulu wa Daraja D katika
masomo ya sayansi: Biology, Chemistry na Physics.
TUNATOA KOZI ZIFUATAZO:
KOZI ZA MWAKA MMOJA:
1. BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN
PHARMACEUTICAL SCIENCE.
2. BASIC CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH NURSING
KOZI ZA MIAKA MIWILI:
1. TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING.
2. TECHNICIAN CERTIFICATE IN PHARMACEUTICAL SCIENCE
Saint John College Of Health Science ni Taasisi Binafsi iliyosajiliwa
kwa Namba. REG/HAS/126 Kutoa MafunzoYa Elimu ya Afya katika
fani zifuatazo kwa ngazi ya Cheti; Nursing, Pharmaceutical Science na
Community Health.
HUDUMA YA HOSTELI.
Chuo kinatoa huduma ya Hosteli yenye mazingira safi na rafiki kwa
wanafunzi wote kwa Kipindi chote cha masomo yao.
UTANGULIZI
2. BASIC CERTIFICATE IN COMMUNITY
HEALTH (NTA LEVEL 4).
KOZI ZINAZOTOLEWA.
Saint John College Of Health Science ni chuo kinachotoa kozi 4 kwa
ngazi ya Cheti (Certificate). Mafunzo hutolewa na Wakufunzi Walio
bobea sana katika Afya (Doctors, Nurses, na Pharmasist ).
KOZI ZA BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE.
1. BASIC CERTIFICATE IN PHARMACEUTICAL
SCIENCE (NTA LEVEL 4)
Mwombaji katika fani hii anatakiwa awe na ufaulu wa Daraja D kati-
ka masomo manne yakiwemo Chemistry na Biology., pia anatakiwa
kufika chuoni ST. JOHN COLLEGE OF HEALTH SCIENCE
MBEYA ujipatie FORM YA MAOMBI.
Mwombaji katika fani hii anatakiwa awe na ufaulu wa
Daraja D katika masomo manne ikiwemo somo la Biology,
pia Mwombaji atatuma maombi kupitia NACTE au Fika
chuoni kwa Msaada zaidi kuhusu namna ya kuomba nafasi
kupitia NACTE.
MAZINGIRA YA HOSTELI ZETU
WANAFUNZI PHARMACEUTICAL SCIENCE
WANAFUNZI COMMUNITY HEALTH NURSING
KOZI ZA TECHNICIAN CERTIFICATE
1. TECHNICIAN CERTIFICATE IN NURSING
(NTA LEVEL 5)
Mwombaji katika fani hii anatakiwa awe na ufaulu wa Daraja D kati-
ka masomo manne yakiwemo Chemistry na Biology na Physics,
Kujiunga na fani hii Mwombaji atatuma maombi kupitia NACTE au
Fika chuoni kwa Msaada zaidi kuhusu namna ya kuomba nafasi
kupitia NACTE.
WANAFUNZI NURSING
CHUO KINA MAABARA ZA KISASA ZILIZO
SHEHENI VIFAA VYA KUJIFUNZIA.
USAFIRI KWA
WANAFUNZI
MA
ZIN
GIR
A Y
A C
HU
O
2. TECHNICIAN CERTIFICATE IN PHARMACEUTICAL
SCIENCE (NTA LEVEL 5)
Mwombaji katika fani hii anatakiwa awe na ufaulu wa Daraja D kati-
ka masomo manne yakiwemo Chemistry na Biology na Physics, pia
Mwombaji ataomba nafasi ya kujiunga na chuo kupitia NACTE au
Fika chuoni kwa Msaada zaidi kuhusu namna ya kuomba nafasi kupitia
NACTE.