8
1 Makanisa Ulimwenguni Kote Yerusalemu Mpya Jarida la Dunia TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI na Tony Alamo Toleo 17800 Mchungaji Tony Alamo Taifa la Kikristo la Alamo (Inaendelea ukurasa wa 2) Katika ulimwengu huu, kuna watu wengi wa kidini kuliko waliookoka, waliozaliwa mara ya pili katika ROHO. Biblia, kwa maneno mengi sana, hutu- eleza kwamba dini ni ya Ibilisi, lakini wokovu ni wa BWANA. 1 Tofauti kati ya kumwamini KRISTO na kuamini dini ni kwamba, kwa kum- wamini KRISTO, MUNGU ndiye hum- tafuta mwanadamu. Kwa maneno men- gine, ni MUNGU ambaye amemtafuta mwanadamu na bado amtafuta hadi sasa. Kwanza, MUNGU aliwasiliana kwanza na Adamu, Kaini, Sethi, Henoko, Nuhu, Ibrahimu, Isaka na Yakobo katika Agano la Kale. Katika Agano Jipya, kwanza ali- wasiliana na Mathayo, Yohana na Mtume Paulo. Katika mwaka wa 1964, ALI- WASILIANA nami, na kulikuwa na wen- gine wengi tangu nyakati za Biblia hadi sasa. Kwa maneno mengine, MUNGU amewatafuta kondoo wote wa kiume, vi- ongozi wa familia YAKE, akiwatuma ili waende kuwatafuta kondoo ambao katika siku zijazo watakuwa wa mwisho kuokole- wa, wale ambao wataishi milele katika Ufalme wa Mbinguni pamoja na MUNGU BABA, KRISTO, MWANAWE wa pekee na ROHO MTAKATIFU milele yote. KRISTO hutuagiza wafuasi WAKE, sisi sote, kuwatafu- ta wengine ili wawe wafuasi WAKE, ili nao wafanye vivyo hivyo. 2 Anafanya hivi katika Mathayo 28:18-20 kwa mane- no yafuatayo: “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi, en- endeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza [mki- wazamisha ndani ya maji mengi 3 ] kwa jina la BABA, na MWANA, na ROHO MTAKATIFU; na ku- wafundisha kuyashika yote nili- yowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. Amen.” Huyu ni KRISTO akimtafuta mwanadamu, lakini si mwanadamu akimtafuta MUNGU. Mwanadamu kumtafuta MUNGU ni “dini,” lakini wakati MUNGU amtafutapo mwanadamu, ni “wokovu.” Dini zote humtaka mwanadamu ambaye hajaokoka amtafute MUNGU, au mwingine yeyote ambaye wanam- dhania kuwa ndiye MUNGU. Dini ni nini? Dini ni imani ya mtu katika kile anachokidhania kuwa MUNGU na utii wake kwa kitu hicho. Katika kila ufa- hamu wa mwanadamu kuna mungu wa aina fulani, lakini hakuna wazo la MUNGU mmoja wa kweli. Hii ndio sababu YESU, katika Mathayo 28:19, aliwaambia wanafunzi WAKE wa wakati huo, wanafunzi wake wote hadi leo, “Basi, enendeni, MKAWAFANYE MATAIFA YOTE [nani aliye MUNGU wa kweli ambaye wanapaswa kum- wabudu, na ambaye wanapaswa kum- wabudu na kumtumikia YEYE pekee] kuwa wanafunzi, mkiwabatiza [mki- wazamisha ndani ya maji mengi] kwa jina la BABA, na MWANA, na ROHO MTAKATIFU.’’ Ili tuingie mbinguni, ni lazima tuwe wakamilifu. 4 Twaweza kuwa wakamili- fu kwa sababu MUNGU ametuamuru tuwe wakamilifu, na MUNGU kamwe hajatuamuru tuwe kitu ambacho hatu- wezi kuwa. 5 Katika Mathayo 5:48 YESU 1 Isa. 1:11-16, 29:13-14, Yer. 7:8-11, 23:33-40, Eze. 13:1-23, Mik. 3:11, Mat. 6:5, 7-8, 7:21-23, 15:7-9, 21:28-32, 23:1-37, Lk. 6:46, 18:10-14, Yoh. 5:40, 6:35-58, 10:1-15, 14:6, 15:2, 2 Tim. 3:1-7, Tit. 1:16, Yak. 2:19 2 Dan. 12:3, Mat. 10:7-8, 28:19-20, Lk. 24:46-48, Mdo. 1:8, 2:38-41, 10:39-43, Rum. 7:4, 10:13-15, 1 Kor. 1:17-18, 21, 9:16-17, Efe. 3:2-10, Kol. 1:25-29, 2 Tim. 4:2, 5 3 Mat. 28:19, Rum. 6:3-5, Kol. 2:10-12 4 Kumb. 18:13, 1 Fal. 8:61, Zab. 119:1-3, Mat. 5:48, 2 Kor. 13:11, Efe. 4:11-13, 5:25-27, Flp. 3:12-15, Kol. 1:21-22, 1 Tim. 6:14, 2 Tim. 3:16-17, Yak. 1:4, 1 Yoh. 3:6-10, Ufu. 21:7, 27 5 Mwa. 17:1, Law. 11:44-45, 19:2, 20:26, Kumb. 18:13, 1 Fal. 8:61, Zab. 15:1-5, 24:3-5, 119:1-3, Yoh. 17:17-23, Rum. 6:4-14, 8:1-14, 37, 2 Kor. 6:14-17, 13:11, Gal. 5:16, Efe. 4:11-13, 5:25-27, 6:10-18, Flp. 1:9-11, 2:12-15, 3:12-14, 4:13, Kol. 1:10-11, 21-22, 1 es. 4:6-7, 1 Tim. 6:11-14, 2 Tim. 3:16-17, Ebr. 2:18, 12:14, 13:20-21, Yak. 1:4, 27, 1 Pet. 1:15-16, 5:8-10, 1 Yoh. 2:14, 3:5-10, 4:4, Ufu. 3:1-5, 7:13-15 Tony na Susan Alamo, bendi, na kwaya kwenye kipindi chao cha luninga [televisheni] miaka ya 1970 na mwanzo mwa miaka ya 1980.

TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

  • Upload
    others

  • View
    110

  • Download
    4

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

1

Makanisa Ulimwenguni KoteYerusalemu Mpya

Jarida la DuniaJarida la Dunia

TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI

na Tony Alamo

Toleo 17800Mchungaji Tony Alamo Taifa la Kikristo la Alamo

(Inaendelea ukurasa wa 2)

Katika ulimwengu huu, kuna watu wengi wa kidini kuliko waliookoka, waliozaliwa mara ya pili katika ROHO. Biblia, kwa maneno mengi sana, hutu-eleza kwamba dini ni ya Ibilisi, lakini wokovu ni wa BWANA.1

Tofauti kati ya kumwamini KRISTO na kuamini dini ni kwamba, kwa kum-wamini KRISTO, MUNGU ndiye hum-tafuta mwanadamu. Kwa maneno men-gine, ni MUNGU ambaye amemtafuta mwanadamu na bado amtafuta hadi sasa. Kwanza, MUNGU aliwasiliana kwanza na Adamu, Kaini, Sethi, Henoko, Nuhu, Ibrahimu, Isaka na Yakobo katika Agano la Kale. Katika Agano Jipya, kwanza ali-wasiliana na Mathayo, Yohana na Mtume Paulo. Katika mwaka wa 1964, ALI-WASILIANA nami, na kulikuwa na wen-gine wengi tangu nyakati za Biblia hadi sasa. Kwa maneno mengine, MUNGU amewatafuta kondoo wote wa kiume, vi-ongozi wa familia YAKE, akiwatuma ili waende kuwatafuta kondoo ambao katika siku zijazo watakuwa wa mwisho kuokole-wa, wale ambao wataishi milele katika Ufalme wa Mbinguni pamoja na MUNGU BABA, KRISTO, MWANAWE wa pekee na ROHO MTAKATIFU milele yote.

KRISTO hutuagiza wafuasi WAKE, sisi sote, kuwatafu-ta wengine ili wawe wafuasi WAKE, ili nao wafanye vivyo hivyo.2 Anafanya hivi katika Mathayo 28:18-20 kwa mane-no yafuatayo: “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani. Basi, en-endeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza [mki-wazamisha ndani ya maji mengi3] kwa jina la BABA, na MWANA, na ROHO MTAKATIFU; na ku-wafundisha kuyashika yote nili-yowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari. Amen.” Huyu ni KRISTO akimtafuta mwanadamu, lakini si mwanadamu akimtafuta MUNGU. Mwanadamu kumtafuta MUNGU ni “dini,” lakini wakati MUNGU amtafutapo mwanadamu, ni “wokovu.”

Dini zote humtaka mwanadamu ambaye hajaokoka amtafute MUNGU, au mwingine yeyote ambaye wanam-dhania kuwa ndiye MUNGU. Dini ni nini? Dini ni imani ya mtu katika kile anachokidhania kuwa MUNGU na utii

wake kwa kitu hicho. Katika kila ufa-hamu wa mwanadamu kuna mungu wa aina fulani, lakini hakuna wazo la MUNGU mmoja wa kweli. Hii ndio sababu YESU, katika Mathayo 28:19, aliwaambia wanafunzi WAKE wa wakati huo, wanafunzi wake wote hadi leo, “Basi, enendeni, MKAWAFANYE MATAIFA YOTE [nani aliye MUNGU wa kweli ambaye wanapaswa kum-wabudu, na ambaye wanapaswa kum-wabudu na kumtumikia YEYE pekee] kuwa wanafunzi, mkiwabatiza [mki-wazamisha ndani ya maji mengi] kwa jina la BABA, na MWANA, na ROHO MTAKATIFU.’’

Ili tuingie mbinguni, ni lazima tuwe wakamilifu.4 Twaweza kuwa wakamili-fu kwa sababu MUNGU ametuamuru tuwe wakamilifu, na MUNGU kamwe hajatuamuru tuwe kitu ambacho hatu-wezi kuwa.5 Katika Mathayo 5:48 YESU

1 Isa. 1:11-16, 29:13-14, Yer. 7:8-11, 23:33-40, Eze. 13:1-23, Mik. 3:11, Mat. 6:5, 7-8, 7:21-23, 15:7-9, 21:28-32, 23:1-37, Lk. 6:46, 18:10-14, Yoh. 5:40, 6:35-58, 10:1-15, 14:6, 15:2, 2 Tim. 3:1-7, Tit. 1:16, Yak. 2:19 2 Dan. 12:3, Mat. 10:7-8, 28:19-20, Lk. 24:46-48, Mdo. 1:8, 2:38-41, 10:39-43, Rum. 7:4, 10:13-15, 1 Kor. 1:17-18, 21, 9:16-17, Efe. 3:2-10, Kol. 1:25-29, 2 Tim. 4:2, 5 3 Mat. 28:19, Rum. 6:3-5, Kol. 2:10-12 4 Kumb. 18:13, 1 Fal. 8:61, Zab. 119:1-3, Mat. 5:48, 2 Kor. 13:11, Efe. 4:11-13, 5:25-27, Flp. 3:12-15, Kol. 1:21-22, 1 Tim. 6:14, 2 Tim. 3:16-17, Yak. 1:4, 1 Yoh. 3:6-10, Ufu. 21:7, 27 5 Mwa. 17:1, Law. 11:44-45, 19:2, 20:26, Kumb. 18:13, 1 Fal. 8:61, Zab. 15:1-5, 24:3-5, 119:1-3, Yoh. 17:17-23, Rum. 6:4-14, 8:1-14, 37, 2 Kor. 6:14-17, 13:11, Gal. 5:16, Efe. 4:11-13, 5:25-27, 6:10-18, Flp. 1:9-11, 2:12-15, 3:12-14, 4:13, Kol. 1:10-11, 21-22, 1 Thes. 4:6-7, 1 Tim. 6:11-14, 2 Tim. 3:16-17, Ebr. 2:18, 12:14, 13:20-21, Yak. 1:4, 27, 1 Pet. 1:15-16, 5:8-10, 1 Yoh. 2:14, 3:5-10, 4:4, Ufu. 3:1-5, 7:13-15

Tony na Susan Alamo, bendi, na kwaya kwenye kipindi chao cha luninga [televisheni] miaka ya 1970 na mwanzo mwa miaka ya 1980.

Page 2: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

2

(Inaendelea kutoka ukurasa wa 1)asema, “Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama BABA yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.” Kama tunatembea katika ROHO MTAKATIFU, tu wakamilifu. Warumi 8:1-2 yasema, “Sasa, basi, haku-na hukumu [hakuna Jehanamu, hakuna Ziwa la Moto] ya adhabu juu yao walio katika KRISTO YESU, wasio tembea kati-ka mwili, bali katika ROHO. Kwa sababu sheria ya ROHO wa uzima ule ulio katika KRISTO YESU imeniacha huru, mbali na sheria ya dhambi na mauti.”(Imenakiliwa kutoka kwa KJV). Tambua kwamba an-diko hili halisemi tunaweza kuwa huru mbali na sheria ya ki-maadili. Tunaweza tu kuwa huru mbali na sheria ya dham-bi na mauti. Sheria ya dhambi na mauti husema kwamba ikiwa tutavunja sheria ya ki-maadili baada ya kuzaliwa mara ya pili na ROHO, hakuna dhabihu (msa-maha) nyingine zaidi kwa ajili ya dhambi. Waebrania 10:26-31 husema hili kwa namna hii, “Maana, kama tukifanya dhambi kusudi baada ya kuupokea ujuzi wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi; bali kuna kuitaza-mia hukumu yenye kutisha, na ukali wa moto ulio tayari kuwala wao wap-ingao [maadui wa MUNGU]. Mtu ali-yeidharau sheria ya Musa hufa pasipo huruma, kwa neno la mashahidi wawili au watatu. Mwaonaje? Haikumpasa ad-habu iliyo kubwa zaidi mtu yule aliy-emkanyaga MWANA wa MUNGU, na kuihesabu damu ya agano aliyotakaswa kwayo kuwa ni kitu ovyo, na kum-fanyia jeuri ROHO wa neema? Maana twamjua YEYE aliyesema, Kupatiliza kisasi ni juu YANGU, MIMI nitalipa. Na tena, BWANA atawahukumu watu WAKE. Ni jambo la kutisha kuanguka katika mikono ya MUNGU aliye hai.” Hii ndiyo sababu kumcha BWANA ndio mwanzo wa hekima.6 Tunapaswa kufanya yale ASEMAYO, yaani ku-kaa mbali na dini, na kuzaliwa mara ya pili na ROHO. Huu ndio ufahamu ANAOUTAKA kutoka kwetu, na

kumcha BWANA ni ufahamu. Katika Yohana 3:5, YESU alimwam-

bia Nikodemo ni LAZIMA azaliwe kwa ROHO. Kamwe YESU hakusema ni lazima ujiunge na dini fulani. Kum-wamini KRISTO kamwe sio sawa na aina yoyote ya dini. Tena, kumwamini KRISTO ni MUNGU anakuja kumta-futa mwanadamu, akitamani mwan-adamu amtumikie YEYE.

Mara nyingi watu huuliza, “Kuna tofauti gani kati ya Ukristo na dini?” Wanaweza kuuliza, “Je, Ukristo ni dini?” Ili kujibu swali hili kwa uami-nifu, mimi ningesema Ukristo sio dini. Ukristo wa kweli ni wokovu. Ingawa Ukristo huchukuliwa na watu ambao hawajaangaziwa kiroho kuwa mojawa-po ya dini kuu tano duniani, ukweli ni kwamba kumwamini KRISTO sio kuamini dini. Tunaweza pia kuelezea jambo hili kwa kusema kwamba, wale wanaomwamini KRISTO kwelikweli, ni Wakristo, na wala sio wafuasi wa kile kinachodhaniwa kuwa dini ya Kikristo. Hadi leo, dini zina historia ya ukatili dhidi ya Ukristo.

Kanisa la Kirumi la Katoliki liliwaua mamilioni ya watu katika nyakati tatu tofauti za mahakama za kanisa za kuzi-ma uzushi. Na wamefanya mauaji men-gine mengi katika kipindi cha miaka elfu mbili iliyopita, kama vile mauaji ya Waco, ambapo watoto wengi, pamoja na wazazi wao waliuawa. Vitendo vya aina hii vya Kanisa Katoliki la Kirumi

vinaendelea hadi wa leo.Tunaweza kuangalia nyuma ka-

tika mahakama za kanisa za kuzima uzushi kule Uhispania, vilevile na vi-tendo vingine vya kinyama vilivyo-fanywa na Vatican. Hii hujumuisha Wayahudi milioni sita waliouawa kule Auschwitz na katika kambi nyingine za mateso za wanazi. Vita vya sasa dhidi ya Ukristo vinakuja kutokea Vatican.7 Mamia ya mamilioni ya dola ya mali zetu kutoka kwa wengi wetu yalichu-kuliwa. Wamelazimika kuacha mali yao na wengi wetu ambao ni Wakristo wa kweli waliozaliwa mara ya pili tu-natumikia vifungo vya maisha gerezani kwa mashtaka ya uongo kwa sababu ya dini ya Kikatoliki. Sizungumzii kuhusu wale wakongwe wa kike na kiume wa Kikatoliki ambao hushiriki shughuli za kishetani za kidini za Kanisa Kato-liki la Kirumi. Hawa, hawana ufahamu wa mambo haya kama ilivyo kwa seh-emu kubwa ya watu wanaosalia ka-tika ulimwengu huu. Hata hivyo, haya ninayoyasema ni ukweli mtupu.

Wakati kengele za makanisa ya Kato-liki na Kilutheri zilipokuwa zikilia huko Poland, mamilioni ya watu wasio na hatia waliuawa huko Ujerumani kwe-nye vyumba na majengo ya majiko ya gesi, kisha kuburutwa kwa buldoza na kumwagwa kwenye mashimo makubwa (makaburi ya watu wengi). Nimesimu-liwa kwamba baadhi yao walikuwa wangali hai. Watazamaji waliyaona haya

6 Ayu. 28:28, Zab. 111:10, Mith. 1:7, 9:10, 15:33

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI

7 Dan. 7:7, 19-27, Ufu. 13:1-7, 17:1-18 8 Yer. 4:16, Danieli sura ya 4, Mat. 13:24-30, 36-43, 47-50, 24:29-31, Lk. 15:4-10, 1 Kor. 11:10, 1 Tim. 5:21, Ufu. 14:13-20 9 Kumb. 31:21, 2 Fal. 19:27, 1 Nya. 28:9, Ayu. 31:4, 34:21-22, 25, Zab. 44:21, 139:1-6, 12-16, Mith. 15:3, 11, Isa. 29:15-16, Lk. 16:15, Ebr. 4:13, 1 Yoh. 3:20 10 Mhu. 12:13-14, Dan. 7:9-10, Mat. 3:12, 24:3-15, 29-44, Mk. 4:22, Rum. 2:5-13, 16, 14:10-12, 2 Kor. 5:10-11, 2 Thes. 1:7-10, 2 Tim. 4:1, 8, Ebr. 10:30-31, Yud. 14-15, Ufu.1:7, 11:18, 20:11-15

Tunahesabika kuwa waliokubaliwa na huduma yako!Ujasiri ni kuwa na msimamo. Katika andiko hili inabaini kuwa u

mpambanaji [askari] wa Kristo kwa namna unavyoiwasilisha serikali hii ya kipolisi ya mpinga Kristo. Jambo hili linathibitisha kwamba wewe ni shujaa. Nikutie moyo kidogo tu; wewe ni mshindi, na unafahamu hili.

Tunakaribisha msaada wa kutupatia maandiko.Twawatakieni Pasaka njema Wakristo wote wa huduma ya Alamo. Zigashane Maroyi IsraelJimbo la Sud-Kivu, Jamhuri ya Kedemokrasia ya Kongo

(Imetafsiriwa kutoka kwenye Kifaransa)

Page 3: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

3 www.alamoministries.comHUDUMA YA MTANDAO YA ALAMO

yote na kuyasikia yote.8 MUNGU aliya-ona yote, na MUNGU aliyasikia yote.9 Mshukuru MUNGU kwa ajili ya Siku ya Hukumu, ambayo iko karibu kuja.10

Luka sura ya 12, mstari wa 1-5 huse-ma, “Wakati huo, makutano walipoku-tanika elfu elfu, hata wakakanyagana, [YESU] ALIANZA kuwaambia wana-funzi WAKE kwanza, Jilindeni na cha-chu ya Mafarisayo [Wayahudi wenye ku-shika dini], ambayo ni unafiki [dhambi]. Lakini hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana. Basi, yoyote mliyosema gizani yatasikiwa mwangani [na walinzi na MUNGU]; na mliyonena sikioni mwa mtu katika vyumba vya ndani, ya-tahubiriwa juu ya dari. Nami nawaambia ninyi rafiki ZANGU, msiwaogope hao wauuao mwili, kisha baada ya hayo ha-wana wawezalo kutenda zaidi. Lakini ni-tawaonya mtakayemwogopa; mwogope-ni YULE ambaye AKIISHA KUMWUA

mtu ana uweza wa kumtupa katika Je-hanum; naam, nawaambia, Mwogopeni HUYO [MUNGU MWENYE UWEZO WOTE].”

MUNGU alimjia Adamu, ambaye hakujua lipi la kufanya. MUNGU alim-wambia ale matunda ya mti wa UZIMA ili aweze kuishi milele, lakini badala yake alikula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya ambao MUNGU alimkataza asile.11 Kwa mara nyingine, MUNGU alimjia Adamu na maarifa ya wokovu, lakini Adamu alichagua dini ya Shetani (ujuzi). Pia MUNGU huujia ulimwenguni wote na maarifa ya wo-kovu, ukiwamo na wewe, lakini kama kupe ambao hung’ang’ania kwenye ngozi ya wanyama na binadamu, kuna uweze-kano mkubwa wewe pia kung’ang’ania kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo?

MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-

GU akamjia Enoko ambaye alitembea na MUNGU, na MUNGU akamchu-kua mbinguni kuwa pamoja NAYE.12 Kisha tena MUNGU akamjia Nuhu.13 Nuhu hakumjia MUNGU wala hata mmoja wa hao wengine. MUNGU aliwajia. Ibrahamu alikuwa mwabudu sanamu; mwanachama wa dini [fu-lani], lakini MUNGU alimjia. Ibra-hamu hakumjia MUNGU.14 Musa ha-kumjia MUNGU; MUNGU alimtokea, na akamjia Musa.15 MUNGU aliwajia watu mamia wengine kama vile wana-funzi wa YESU. Alimjia Mtume Paulo, mtu wa dini, na kumfanya aokoke.16

Paulo akafanyika kuwa mwenye manu-faa kwa MUNGU katika wokovu wake, akapigana vita vyema dhidi ya nguvu za giza ambavyo pia vilihusisha maan-diko yake yenye wastani wa theluthi mbili ya Agano Jipya lote. Haya yoye yalihusishwa katika wokovu wa kweli.

Katika kitabu cha Danieli, vijana watatu wa Kiebrania (Shadraka, Me-shaki na Abednego) wote walitupwa katika tanuru ya moto kwa sababu hawakuabudu sanamu ya dhahabu ya mfalme – kwa sababu walikataa kuwa sehemu ya dini ya mfalme.17 “Ule moto ulikuwa hauna nguvu [juu ya miili yao], wala nywele za vichwa vyao hazikuteketea, wala suruali zao hazikubadilika, wala harufu ya moto haikuwapata hata kidogo. Nebukadre-za akanena, akasema, na ahimidiwe MUNGU wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika WAKE, akawaokoa watumishi WAKE waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasim-tumikie mungu mwingine [dini yoy-ote], wala kumwabudu, ila MUNGU wao wenyewe” (Danieli 3:27-28). Ka-tika Agano Jipya, Mtume Yohana alipi-tia uzoefu uleule. Alichemshwa katika

(Inaendelea ukurasa wa 4)

11 Mwa. 2:16-17, 3:1-6 12 Mwa. 5:22-24, Ebr. 11:5 13 Mwa. 6:11-18, 22, Ebr. 11:7

14 Mwa. 12:1-8, 17:1-9, Mdo. 7:2-3, Ebr. 11:8 15 Kut. sura ya 3, Mdo. 7:29-34 16 Mdo. 9:1-22, Gal. 1:13-19 17 Dan. sura ya 3

MalawiKwa huduma ya Tony Alamo,

Kwanza kabisa, pokea salamu katika jina la Bwana Yesu Kristo. Natumaini na kuamini kuwa unaendela vema. Sisi huku, hatuna neno. Bwana anatuon-goza mchana na usiku.

Tunaposambaza na kushuhudia kuhusu maandiko ya Tony Alamo, daima huwa tunaguswa na Roho Mtakatifu kama ilivyotendeka katika kitabu cha Matendo ya Mitume 1:8 na Marko 16:15-16, kwa sababu Mchungaji Tony alipewa kikamilifu nguvu na Mungu Mwenye uweza wote kuufikia ulimwen-gu wote kwa kupitia mahubiri kwa njia ya maandiko, yaani Biblia na vitabu. Hivyo tunapoeneza nguvu hizi kwenye mitaani, kwa hakika watu wengi wa-namgeukia Mungu, kama vile Waislamu, Wahindu, Mashahidi wa Yehova, n.k., mijini, maeneo ya vijijni na pia katika magereza.

Hapa Malawi, tunamwombea mchungaji Alamo kila siku, ingawaje yumo kizuizini, siku moja ijayo, ataachiliwa katika jina la Bwana.Wanasheria wa-nabadilisha siku za kusikilizwa kwa kesi yake kila uchao, amepoteza uwezo wake wa kuona, lakini hapaswi kuogopa juu ya haya yote kwa sababu Mungu anaweza, na siku moja ataachana na nyakati hizi zote za mateso. Ayubu na Yusufu walipita katika baadhi ya nyakati za mateso. Yusufu aliuzwa na ndugu zake, lakini Mungu alimwinua. Kwa hiyo, kama serikali ya Marekani inampi-tisha Alamo katika nyakati za mateso, bado Mungu ndiye mwenye utawala. Siku moja, kila kitu kitakuwa shwari katika jina la Bwana.

Tunakuombea usiku na mchana pamoja na tunafunga mpaka Tony aachiliwe kutoka kizuizini.Wenu katika Bwana,Mchungaji Danileck Harry MitepaHuduma ya Tony Alamo, Jiji la Blantyre, Malawi, Afrika

Page 4: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

4

mafuta wala hakuungua. Wala hakufa kutokana na tukio hilo.

Ni ajabu kwamba katika Biblia yote, wakati wowote mwanadamu awapo na mawasiliano na MUNGU, ni kwa saba-bu daima MUNGU ndiye amewasiliana naye kwanza. Pia MUNGU alimtafuta Ayubu kwanza, na kisha Ayubu akamtu-mikia. Hakuna habari yoyote katika Bib-lia ambapo mwanadamu alimtumikia MUNGU kwa sababu kwanza alikuwa na mawazo ya kumtumikia MUNGU. Biblia nzima huzungumzia MUNGU ajaye kumtafuta mwanadamu. Siku moja, Isaya aliona maono na kusikia sauti ya BWANA ikisema, “…Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili YETU? Ndipo niliposema, mimi hapa, nitume mimi” (Isaya 6:8). Baada ya kuona maono, Yeremia alisimama kuwatabiria wana wa Israeli maneno ambayo YEHOVA alimwamuru kun-ena (Yeremia 1:4-9). Pia Danieli aliona maono kabla ya hajaamua kuomba na kufunga, akimsihi YEHOVA kuureje-sha Yerusalemu (Danieli sura 7-9). Bib-lia nzima huonesha kwamba MUNGU humjia kwanza mwanadamu kabla mwanadamu hajamtumikia MUNGU.

MUNGU anawasiliana nawe ku-pitia kwangu na wachungaji wengine ambao wameokoka na wainjilisti, na kwa hivyo hauna udhuru. ROHO wa MUNGU, ambaye anaishi na kuten-da kazi ndani yetu na kupitia kwetu sisi ambao tumeokoka, anakutafuta, awasiliane nawe, sio kwa ajili ya dini, bali kwa ajili ya wokovu wako na wok-ovu wa wengine.

Warumi 10:12-15 husema waziwazi kwamba wahubiri watumwao na MUN-GU lazima wapelekwe duniani kote ili watu wauamini wokovu kwa kutumia maneno haya: “Kwa maana hakuna to-fauti ya Myahudi na Myunani [mtu wa mataifa]; maana YEYE yule ni BWA-NA wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao; kwa kuwa, Kila atakayeliitia Jina la BWANA ataokoka. Basi wamwi-

teje YEYE wasiyemwamini? Tena wam-waminije YEYE wasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri? Tena wa-hubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyo-andikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!”

Kwa mara nyingine, YESU ametu-tuma kwako. MUNGU anakutafuta; sio wewe unayemtafuta MUNGU. Ukweli huu umeelezwa kwako katika Luka 10:1-12 ambayo husema, “Basi, baada ya hayo BWANA aliweka na wengine, sabini [wanafunzi], akawatuma wawili wawili WAMTANGULIE kwenda kila mji na kila mahali alipokusudia kwenda MWE-NYEWE. AKAWAAMBIA, mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache; basi mwombeni BWANA wa mavuno APELEKE watenda kazi katika mavuno YAKE. Enendeni, angalieni, NAWATU-MA kama wana kondoo kati ya mbwa-mwitu. Msichukue mfuko, wala mkoba, wala viatu; wala msimwamkie mtu njiani. Na nyumba yoyote mtakayoingia, semeni kwanza, Amani iwemo nyumbani humu;

na akiwamo MWANA wa amani, am-ani yenu itamkalia; la, hayumo, amani yenu itarudi kwenu. Basi, kaeni katika nyumba iyo hiyo, mkila na kunywa vya kwao; maana, mtenda kazi amestahili ku-pewa ujira wake. Msihame-hame kutoka nyumba hii kwenda nyumba hii. Na mji wowote mtakaouingia, wakiwakaribisha, vileni vyakula viwekwavyo mbele yenu; waponyeni wagonjwa waliomo, waambi-eni, Ufalme wa MUNGU umewakaribia. Na mji wowote mtakaouingia, nao haw-awakaribishi, tokeni humo, nanyi mkipi-ta katika njia zake semeni, Hata mavumbi ya mji wenu yaliyogandamana na miguu yetu tunayakung’uta juu yenu. Lakini jueni hili, ya kuwa Ufalme wa MUNGU umekaribia. Nawaambia ya kwamba siku ile itakuwa rahisi zaidi Sodoma kuistahi-mili adhabu yake kuliko mji huo.”

Wale wanaoiamini dini huchukua jukumu la kutumikia kile wanachokid-hania kuwa ni mungu, wakati wale wa-naomwamini KRISTO humtumikia MUNGU baada ya kushawishiwa na

(Inaendelea kutoka ukurasa wa 3)

Haiti

TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI

Mpendwa Mchungaji Tony Alamo, mtumishi wa Mungu, Bwana Yesu akusaidie zaidi katika kila nyanja ya huduma yako, hususan

katika uinjilisti ili uweze kuzileta nafsi kwa Yesu kutoka pande zote ulimwen-guni. Tunashukuru sana kwa kifurushi cha maandiko, (yaani vitabu vya Masihi na Biblia) ambavyo ulitutumia, ili kutusaidia kueneza Injili ya Yesu Kristo na kuifanya inawiri. Asante. Mbingu haiko tupu na Mungu amezingatia jambo hili. Mapema tu, kikundi cha Groupe Fiancée De Christ kitakutumia jambo la kukushangaza kwa njia ya barua ili kukutia moyo katika kazi ya Bwana Yesu. Tafadhali tujulishe punde tu utakapopata ujumbe huo wa kukushangaza.

Tunataka kusambaza maandiko katika mtindo wa kufanya uinjilisti katika tarehe zifuatazo: 1, 2, 7, 8, na 10 za mwezi Aprili 2013, ambazo tumeziita: Kampeni Kubwa ya Uinjilisti katika mji wa Pont-Rouge. Kutakuwa na siku mbili za mikutano ya hadhara itakayohusisha vyombo vya kupaza sauti, na siku tatu za kueneza injili ya Kristo. Tafadhali tukumbuke kwenye maombi, kwani Shetani anapambana nasi, lakini ushindi ni wetu.Tutakapomaliza maandiko haya tutakujulisha ili ututumie tena.

Tunaendelea kukuombea, na usihofu, kwani umefichwa ndani ya Kristo. Ushindi ni wako na kwa familia yako.

Wakati wote dumu katika utakaso, katika maombi, katika kufunga, na ka-tika upendo wa ndugu. Jiokoe kutoka katika kizazi hiki cha upotevu.Cesar Francis JuniorMratibu Mkuu (Groupe Fiancée De Christ)Pont-Rouge, Haiti

(Imetafsiriwa kutoka kwenye Kifaransa)

Page 5: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

5

kuguswa na MUNGU. Kwa sababu hii, ninasema kwamba mtu yeyote hapaswi kuwa na haraka ya kumtumikia mungu ambaye ni kitu cha kubuni tu, yaani ku-tumikia dini tu. Twamtumikia MUNGU tu wakati YEYE, kwa ROHO WAKE, yu ndani yetu.18 Ikiwa tutamtumikia MUN-GU bila YEYE kwanza kuishi ndani yetu, tuko ndani ya dini na wala sio ndani ya wokovu. Tukiongea kwa mafumbo, watu wengi leo wanabandika bango la “Mkris-to” kwa nje, lakini kwa ndani wanahusika na biashara za kidini. Wao ni Wakristo katika akili zao wenyewe, lakini katika uhalisia wao ni wanadini tu.

Kuwa Mkristo ni nini? Mkristo ni mtu ambaye KRISTO anaishi na kuten-da kazi ndani yake kwa njia ya ROHO

(Inaendelea ukurasa wa 8)

MTAKATIFU, naye huendeshwa na ROHO MTAKATIFU ili kumtumikia MUNGU.19 Kwa upande mwingine, mtu wa kidini ni yule anayeamini ya kwamba anamtumikia mungu na kutamani ku-tenda yale ambayo anadhani huyo mun-gu angemtaka ayafanye. Hii ndio hali ya watu wengi wanaokiri kuwa Wakristo leo. Wanaukiri Ukristo, lakini hawajaza-liwa mara ya pili. Hawajaokolewa, kwa hiyo hawamjui KRISTO, na hawana ufahamu wa jinsi ya KUMTUMIKIA. Hawawezi kumfuata KRISTO kwa sa-babu hawawezi KUMSIKIA.20 Kwa hiyo, wanatenda mambo kwa mapenzi yao, na MUNGU wa kweli hawezi kuwatu-mia. Hawafai. Walakini, kwa uzoefu wa wale walio Wakristo wa kweli, BWANA

NDIYE awaongozaye katika mambo yote. Kwa urahisi wao husema, “Ndio. Amina.” BWANA ndiye kiongozi wao na MUNGU wao. Hii ni tofauti kabisa na njia ya watu wa kidini.

Baada ya Mtume Paulo kukutana na BWANA kwenye barabara ya kwenda Dameski, maneno ya kwanza aliyoya-zungumza yalikuwa, “U nani WEWE, BWANA?” (Paulo alifahamu kuwa ali-kuwa ni BWANA, kama sivyo asingeu-liza, “U nani WEWE, BWANA?”) Kisha BWANA akamwambia, “MIMI ndimi YESU unayeniudhi wewe [Pindi mtu yeyote amtesapo mshiriki wa kanisa la KRISTO, anamtesa KRISTO. Hii ni kwa sababu sisi ni mwili WAKE, heka-lu LAKE, yaani Mwili wa KRISTO].” 1 Wakorintho 3:16-17 hutuambia hivi, “Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hek-alu la MUNGU, na ya kuwa ROHO wa MUNGU anakaa ndani yenu? Kama mtu akiliharibu hekalu la MUNGU [Mwili wa BWANA, ambao ndio sisi], MUNGU atamharibu mtu huyo. Kwa maana heka-lu la MUNGU ni Takatifu, ambalo ndilo ninyi.” Ni Takatifu kwa sababu hamfuati dini mfu, ambayo kwayo KRISTO na BABA, kwa njia ya ROHO haishi ndani yake, lakini wewe ni Mkristo uliyeza-liwa mara ya pili. KRISTO kwa njia ya BABA na kwa njia ya ROHO, huishi ndani yako, kama umeokolewa, u hekalu la MUNGU. Hii ndio sababu MWILI ambao MUNGU anaishi ndani yake ni Mtakatifu, na mwili ambao MUNGU haishi ndani yake sio Mtakatifu ila ni na-jisi. Kwa hakika utataka kuwa Mtakatifu zaidi kila kitu wakati utakaposimama kwenye Kiti cha Hukumu cha MUNGU.

Dunia imejaa vikwazo na vizuizi. Hivi ni vikwazo vya Shetani vinavyo-fanya akili yako kukosa mwelekeo kwe-nye jambo lililo muhimu kabisa katika ulimwengu huu, ambalo ni kuidumisha roho yako katika kumtumikia MUNGU na kumdumisha KRISTO na BABA YAKE kuishi ndani yako. “Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake i kati-ka mianzi ya pua yake; kwa maana hud-haniwaje kuwa ni kitu?” (Isaya 2:22).

Chagua jambo moja: je, unataka kuwa MWILI Mtakatifu wa MUNGU, au un-

18 Eze. 36:27, Yoh. 14:15-20, 23, 26, 15:1-11, 26, 16:7-14, Rum. 8:1, 10-11, 26-28, 1 Kor. 3:9, 16-17, 6:19-20, 2 Kor. 6:16-18, Efe. 2:18-22, Flp. 2:12-13, Kol. 1:27-29, 2 Tim. 1:14, 1 Yoh. 4:4, 5:12 19 Isa. 30:21, Yoh. 15:1-5, 17:21-23, 26, 1 Kor. 15:10, 2 Kor. 5:17-21, Gal. 2:20, Efe. 3:16-21, 1 Yoh. 2:20, 27 20 Yoh. 8:42-43, 10:27

Mchungaji Tony, Vera ambaye ni meneja wa hoteli kutoka kule New Orleans, alinipigia simu siku

chache zilizopita. Huyu ndiye aliyewasaidia ndugu wa kike na wa kiume kila wakati ilipohitajika, kwa mfano, wakati ule walipohitaji kufanyiwa upasuaji na walipok-wenda hospitalini huko New Orleans.

Vera hajawahi kusahau ushauri uliompa wakati alipokuwa na shida nyingi na wafanyikazi wake wa hoteli. Ulimwambia, “Kwa nini usiwaajiri Wakristo ambao wanahitaji kazi nzuri kisha ninyi nyote mnaweza kutamtafuta Bwana kwa pamo-ja? Naamini biashara yako itanawiri.” Bila kusubiri, Vera aliutilia maanani ushauri wako, na mara akawa na wafanyakazi Wakristo wanaoiamini Biblia, ambao huku-tana pamoja kila siku hotelini kabla ya kuanza kazi, wakisoma Biblia na kuomba pamoja.

Muujiza ulitendeka – kila mmoja alifanya kazi kwa bidii, wakisafisha na kuweka vitu vema kwa furaha, na biashara ya hoteli ile ikaanza kustawi mpaka wakapewa tuzo kutoka ofisi ya Mkuu wa eneo hilo.

Bwana alimwamsha Vera mnamo majira ya saa saba usiku, usiku ambao Kimbun-ga cha Katrina kiliukumba mji wa New Orleans. Bwana alimwambia achukue nguo na matumizi kidogo aweke kwenye gari kisha yeye na mume wake wakimbilie kwa Jackson, huko Mississippi, “SASA HIVI, HARAKA!!!!” Yeye na mume wake, usiku ule walikuwa kwenye hoteli kwa sababu nyumba yao kule Gulfport ilikuwa imeuzwa.

Si tu kwamba Mungu aliyaokoa maisha yake wakati huo, lakini pia mama huyu ni manusura wa saratani ya matiti. Kama ulivyosema Mchungaji Tony, alipanda mbegu ya huruma kwa kuwashughulikia ndugu wa kike na wa kiume ambao walikuwa na mahitaji kwa miaka mingi, naye Mungu akamhurumia.

Huwa anasikiliza jumbe ambazo Mungu amekupa kwenye CD na alitaka kwa hakika ujue kwamba anakupenda katika Bwana, na anakuombea, na anaamini Mungu atatenda tendo kuu kwa ajili yako kwa sababu wewe ni wa Bwana, na ume-panda rehema nyingi sana.Bwana asifiwe.Merry Anne Texarkana, Arkansas

Arkansas

Page 6: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

6

India Ufilipino

Kalifornia

Ndugu Wapendwa katika Kristo,Nawajulisheni kwamba, kwa utukufu wa Mungu,

mikutano yetu ilimalizika kwa miujiza ya ajabu. Zaidi ya washiriki elfu moja walihudhuria. Wakati wa miku-tano hii, niligawa maandiko yako kwenye kusanyiko hili kubwa, na washiriki wengi walimpokea Bwana.

Utukufu ni kwa Bwana. Kila mmoja aliiombea kesi ya Mchungaji wetu. Tuombeeni pia.Ndugu yenu mpendwa, Solman Raju Kola Andhra Pradesh, India

Darakonda Vidya Sagar akigawa maandiko ya kuwaleta watu kwa Yesu ya Mchungaji Alamo, yaliyotafsiriwa kwa lugha ya Telugu, vijijini na mijini kuzunguka mji wa Visakhapatnam, Andhra Pradesh, India.

Kwa Ndugu zangu katika Kristo,Natumaini nyote mu wazima katika

Kristo. Daima huwa ninabarikiwa sana kupata habari kutoka kwenye timu inayo-husika na barua–pepe. Ahsante kwa kue-ndelea kuniombea. Hakuna siku ambayo hupita bila kuwataja kwenye maombi yangu, hususan Mchungaji Tony. Leo ni-meipokea boksi la maandiko mbalimbali na nikajawa na furaha wakati nilipoona aina tofauti nyingi za maandiko ambayo sikuwa nayo hapo awali. Kwa kweli ili-kuwa kama kupokea zawadi ya Krismasi. Niliweza kumhisi Mungu kwenye maan-diko haya. Nilichukua kwa haraka makala iitwayo, “Mungu hana Mama” na kisha nikaanza kusoma kwa sauti kubwa ili kila mwenye sikio,asikie. Utukufu kwa Mungu.

Si zaidi ya wiki moja iliyopita nilikuwa nikimwambia mke wangu kuhusu ghara-ma ya mafuta ya gari kwa sasa kwenda kanisani huko Los Angeles. Kupata mwa-liko wako, ni jambo jema, nitaufanyia kazi. Hapo awali safari moja ya kwenda na ku-rudi iligharimu dola za Marekani 100, laki-

ni sasa imepanda hadi dola 200 kwa safari moja ya kwenda na kurudi; lakini najua kwamba Mungu wa miungu na Bwana wa mabwana wote atafungua mlango kwa namna yoyote akipenda. Asante kwa mwaliko huo. Sauti ya Mungu iliponiam-bia nifungashe mabegi yangu kwa muda wa wiki tatu na kwenda kanisani nilitii, nilibarikiwa kuwa Mkristo ninayetembe-lea watu hapo nyuma, na ilikuwa, na bado ni uzoefu bora kabisa wa kiroho niliopata kukutana nao. Nyimbo zenyewe zilikuwa nzuri sana, na nilimhisi Mungu akitembea kwenye kila ibada. Niliweza kumhisi Mun-gu wakati nikiendesha gari langu nikipita kwenye bonde lililo karibu na kanisa, na ningetamani kweli kuwa na uzoefu kama huo tena. Bila kusahau, chakula kilikuwa kitamu sana, kusikia shuhuda zote, kufan-ya kazi pamoja na ndugu kwenye mitaa na kuona jinsi mambo yanavyofanywa. Jinsi walivyojibu kila swali wakitumia neno la Mungu, hapo ndipo nilipojua kuwa ninataka kile walichonacho. Sasa,

baada ya miaka kadhaa, na baada ya ku-soma kwingi, niko karibu kuwafikia.

Basi, jambo la kwanza ambalo papa wao mpya maarufu alisema kwa umati wa watu ni kwamba anakwenda kuom-ba kwa Bikira Mariamu. Ongea kuhusu kipofu kumwongoza kipofu kuingia kwenye shimo! Aisee! Kwa namna ile ile ni zaidi sana. Hii ndiyo sababu nilifikiri ingekuwa sahihi kusoma “Mungu hana Mama.” Mchungaji wakati wote huwa hakosei kuhusu fedha katika maisha yangu. Nina shuhuda ambao ninge-penda kuwashirikisha ninyi nyote kuhu-su UFO, na Mchungaji na Suzie na jinsi hayo yote yalivyofanyika bayana katika maisha, nitafanya hivyo kwenye barua yangu ijayo. Namwomba Bwana aw-abariki nyote na kila siku awalete kon-doo wengi zaidi zizini kwa namna mfan-yavyo kwa jinsi ya kushangaza sana. Utukufu kwa Bwana.Usiku Mwema.Ndugu Tom C. Kalifornia

Asante sana Mchungaji Tony, kwa makala hii ya ajabu, “Kusaga na Kukereza Meno.” Utukufu ni kwa Mungu! Naipenda sana kwani inajumuisha nidhamu.

Nidhamu inahitajika sana leo kwa Wakristo duniani kote.Mchungaji Cecilio H. Asis, Jr. Albay, Ufilipino

Page 7: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

7

Zambia

Uingereza

Australia

New Mexico

New York

Mpendwa Mchungaji,Acha nianze barua hii kwa kuitambua kazi ambayo Bwana Yesu Kristo

amekuitia. Mara ya kwanza kupokea maandiko ya Biblia kutoka katika kanisa lako ilikuwa mwezi Juni 2012. Kwa jumla nilipokea majarida 382 pamoja na maandiko mengine, vitabu sita vya Masihi na Biblia moja ya to-leo la King James. Kazi nzuri iliyoje! Hili lilikuwa jambo la kufurahisha ku-pita kikomo na la ajabu! Sina maneno ya kutosha kuelezea shukrani zangu, lakini Mungu ajuaye yote ni shahidi wangu ni kwa kiasi gani maandiko yako yenye uvuvio yalichokifanya maishani mwangu na katika maisha ya wale waliogawiwa.

Wakati wowote Bwana aliponipa nafasi na muda, maandiko yaliwe-za kugawiwa kwenye mabweni ya wanafunzi, ndani ya mabasi, wakati mwingine nilipokuwa katika safari zangu mitaani, mabarabara, sokoni, n.k. Hili pia liliwezekana wakati wa kufanya uinjilisti au wakati wangu bi-nafsi wa kuwatembelea watu.

Baadhi ya marafiki zangu (ndugu katika Bwana) walipata vitabu vya Masihi na maandiko mengine ya kutumia kwenye kazi ya uinjilisti mahali popote ambapo Mungu angewatuma kwa wakati huo au mwingine. Kwa urahisi, hili humaanisha kwamba, kwa jinsi maandishi yako yaliyovuviwa yalivyoweza kufikia sehemu mbalimbali za dunia, Ewe mtumishi wa Mun-gu, vivyo hivyo nasi twaomba na kuamini kwamba maandiko haya hayana budi kusambazwa kikamilifu ndani na nje ya nchi yetu (Zambia). Ndio! Wale wanaosoma na kuamini vazi la neema lililoelezwa bayana kwenye maandiko yako kumhusu Yesu Kristo, kwa hakika wataokoka!

Mtumishi wa Mungu, ninaweza kushuhudia kwamba siri za upendo wa Mungu ambazo zimeelezwa kinagaubaga katika maandiko yako, zinad-hiirisha wazi kwamba wewe sio tu mchungaji na mwinjilisti anayewaka moto wa Roho Mtakatifu ili kumfanya Mungu agawe uhai wake kwa wen-gine. Wengi waliosoma maandiko yako wamerudi wakishuhudia nguvu zilizo katika maandiko ya Mchungaji Alamo. Wanafunguliwa macho na kutolewa ujinga na kisha kujazwa hekima ili watilie mkazo mambo ya kwenda mbinguni.

Mungu mkuu aliyekuita kutenda kazi hii njema na anayeyashikilia maisha na mienendo yetu katika mkono wake wa uweza (Danieli 5:23), akutie nguvu na bila mawaa hadi siku ya kufunuliwa kwake Mungu wetu mkuu na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Amina (Yuda 24-25, Tito 2:11-15, 1 Wakorintho 1:7-9).

Kwa hivyo, sasa natuma maombi mapya ya kutumiwa maandiko yako yenye upako kwa miaka ijayo ikiwa kanisa lako lina uwezo wa kutuma kulingana na idadi iliyoonyeshwa. (Orodha ya maandiko imeondolewa)

Jitihada na utayari wenu wa hali ya juu utaheshimika sana.Wenu katika mwito mkuu wa Yesu Kristo,Zimba Moses Lusaka, Zambia

Wakati ndugu Tony anapoongea, Vati-can huanza kutetemeka mpaka kwenye viatu vyao. Ndugu Tony, umemfanya Shetani ku-kimbia katika jina la Yesu, Amina.Jonathan Bailey Newcastle, Uingereza

Tony ni mtu mwema wa Mungu. Nimemfahamu kwa miaka 43. Mungu ambariki. Nilimjua Tony Alamo kibinafsi. Tony yuko sawa kuhusu Kanisa Katoliki na amepitia mateso mengi mno kwa sababu ya kuongea kuhusu kanisa hilo, na pia kwa kuwa yeye ni Myahudi wa Kimasihi kwa ajili ya Kristo. Tony ni mtu mwema wa Kristo na amekuwa akigandamizwa sana na nguvu za kishetani kwa sababu ya imani yake kwa Kristo. Sote hatuna budi kumuombea. Mungu akubariki, Tony, kwa msimamo wako kwa Yesu na kwa msimamo wako kinyume cha uovu wa shetani.Ted Whitus NY, NY

Kwa ndugu Tony Alamo,Ndugu mpendwa katika Kristo, kwa kweli

niliipenda sana tovuti yenu na ninakubaliana kabisa na matamko yako. Naamini huu ni wakati wa kuyachimba zaidi maandiko.

Tafadhali nakuomba unitumie kitabu cha Masihi, ambacho kinajumuisha nabii 333. Pia, ikiwa una aina nyingine yoyote ya video au kitabu kuhusu mada hizi ambazo ni muhimu sana, tafadhali watumie waumini.

Asante sana, nitaiombea huduma yako ka-tika kutangaza kweli hizi.Baraka katika Kristo,Beatriz MartinezFerntree Gully, Victoria, Australia

(Imetafsiriwa kutoka kwenye Kihispania)

Miaka kadhaa iliyopita, Peter Hernandez alikuwa gerezani, akiwa mgonjwa sana mwenye uvimbe kwe-nye ubongo. Madaktari walimwambia ya kwamba alikuwa na siku tisini za kuishi. Alimwandikia ba-rua Mchungaji Alamo ambaye aliwasiliana naye, akaiimarisha imani yake, na kumtia moyo Peter ai-nue imani yake na kudai uponyaji wake. Kanisa lote lilimwombea. Baadaye Peter aliandika barua ya ma-jibu yenye shukrani kwa sababu alisema Bwana alim-tumia Mchungaji Alamo kwa namna yenye uwezo na akaponywa. Peter anaendelea kutembea kwa ushindi bila athari yoyote ya uvimbe kwenye ubongo am-bao ulikuwa na ukubwa wa mpira wa gofu. Bwana alimponya kwa asilimia mia moja, na muda mfupi baadaye, alipewa ruhusa na kutoka hospitalini na ku-jiunga na mke na mtoto wake wa kike.

Wakati alipokuwa akigawa maandiko ya injili huko Las Cruces, New Mexico, hivi majuzi, wanandoa kutoka kanisani walikutana naye bila kutarajia. Ali-waambia jinsi Mchungaji Alamo daima alivyowasaid-ia watu waliokuwa na shida, alivyosaidia familia yake (Peter), akituma nguo na kuipa familia yake mahali pa kuishi kanisani wakati yeye Peter alipokuwa ger-ezani. Peter alisema kwamba Tony alimsaidia wakati wa uhitaji wake. Peter alisema alitaka kuwa sehemu ya huduma ya Tony na kanisa kwa kumpa ushauri na huduma za kisheria kwa shughuli zake, na anataka kugawa maandiko ya injili katika eneo lake.

Page 8: TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI. volume 17800 · kwenye dini fulani ya Kishetani, sivyo? MUNGU alimjia Sethi na maarifa ya wokovu, na kisha Sethi akaanza kumwabudu MUNGU. Kisha MUN-GU

8

21 Zab. 51:5, Rum. 3:10-12, 23 22 Mat. 26:63-64, 27:54, Lk. 1:30-33, Yoh. 9:35-37, Rum. 1:3-4 23 Mdo. 4:12, 20:28, Rum. 3:25, 1 Yoh. 1:7, Ufu. 5:9 24 Zab. 16:9-10, Mat. 28:5-7, Mk. 16:9, 12, 14, Yoh. 2:19, 21, 10:17-18, 11:25, Mdo. 2:24, 3:15, Rum. 8:11, 1 Kor. 15:3-7 25 Lk. 22:69, Mdo. 2:25-36, Ebr. 10:12-13 26 1 Kor. 3:16, Ufu. 3:20 27 Efe. 2:13-22, Ebr. 9:22, 13:12, 20-21, 1 Yoh. 1:7, Ufu. 1:5, 7:14 28 Mat. 26:28, Mdo. 2:21, 4:12, Efe. 1:7, Kol. 1:14 29 Mat. 21:22, Yoh. 6:35, 37-40, Rum. 10:13 30 Ebr. 11:6 31 Yoh. 5:14, 8:11, Rum. 6:4, 1 Kor. 15:10, Ufu. 7:14, 22:14 32 Mat. 28:18-20, Yoh. 3:5, Mdo. 2:38, 19:3-5 33 Kumb. 4:29, 13:4, 26:16, Yos. 1:8, 22:5, 2 Tim. 2:15, 3:14-17, Yak. 1:22-25, Ufu. 3:18

ataka kuwa mwili mwingine tu wowote ulio najisi ambao ndani yake Shetani hu-kaa? Ikiwa chaguo lako ni kuwa MWILI wa KRISTO, omba sala hii:

BWANA wangu na MUNGU wan-gu, ihurumie roho yangu, mimi mwe-nye dhambi21 ninaamini kwamba YESU KRISTO ni mwana wa MUNGU aliye hai.22 Ninaamini kwamba aliku-fa msalabani na kumwaga damu yake ya thamani ili nisamehewe dhambi zangu zote nilizozifanya hapo awali.23 Ninaamini kwamba Mungu alimfu-fua YESU kutoka kwa wafu kupitia nguvu za ROHO MTAKATIFU24 na ya kuwa ameketi upande wa kuume wa MUNGU kwa wakati huu akisikili-za maungamo ya dhambi zangu na maombi yangu haya.25 Ninafungua mlango wa moyo wangu na kuku-karibisha moyoni mwangu, BWANA YESU.26 Nioshe dhambi zangu kwa damu uliyoimwaga kwa ajili ya nafsi yangu pale msalabani Kalivari,27 huta-

nikataa, BWANA YESU, utanisamehe dhambi zangu na kuiokoa roho yan-gu. Ninalijua hili kwa sababu NENO LAKO, yaani Biblia linasema hivyo.28 NENO LAKO linasema hutamkataa yeyote na mimi nikiwemo.29 Hivyo ninajua kwamba umenisikia, na ya kuwa umenijibu; na ninafahamu kwamba nimeokoka.30 Ninakushuk-uru BWANA YESU kwa kuokoa roho yangu na nitaonyesha shukrani zangu kwa kufanya yale unayoniamuru na kwa kutotenda dhambi tena.31

Sasa kwa kuwa umeokoka, mtumikie MUNGU kwa moyo wako wote, roho yako yote, akili zako zote na kwa nguvu zako zote (Marko 12:30).32 Ubatizwe kwa kuza-mishwa kwenye maji, kwa jina la BABA, la MWANA, na la ROHO MTAKATIFU.33 Kwa bidii soma Biblia Takatifu (toleo la The Bible League – Waenezaji wa Neno la MuNGU TANGU 1938) na ufanye kile is-emacho mpaka siku utakayokufa.34

Basi, kama YESU alivyoamuru, um-shindie roho. Unaweza kufanya hivyo kwa kuwa msambazaji wa Maandiko ya Mchungaji Alamo. Tunachapa maan-diko ya Mchungaji Alamo katika lugha nyingi, na tunayapeleka ulimwenguni

kote. Tunatumia mamilioni ya dola ku-nunua karatasi na usafirishaji, hivyo tunahitaji maombi yenu na msaada wa kifedha.

Iwapo unataka dunia yote iokolewa, kama YESU anavyoamuru, basi usimwibie MUNGU zaka na sadaka zake. MUNGU alisema, “Je! Mwanadamu atamwibia Mun-gu? Lakini ninyi mnaniibia mimi. Lakini ninyi mwasema, Tumekuibia kwa namna gani? Mmeniibia zaka na dhabihu. Ninyi mmelaaniwa kwa laana; maana mnani-ibia mimi, naam, taifa hili lote [na dunia hii yote]. Leteni zaka [zaka ni asilimia 10 ya mapato yako yote] kamili ghalani, ili kiwemo chakula [chakula cha kiroho] ka-tika nyumba yangu [roho zilizookolewa], mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake kati-ka mashamba, asema Bwana wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi” (Malaki 3:8-12).

(Inaendelea kutoka ukurasa wa 5)

TOFAUTI KATI YA WOKOVU NA DINI

Tafadhali wasiliana nasi kwa habari zaidi au kwa vitabu vyetu vyenye mada nyingine ambazo unaweza kuvutiwa nazo:Tony Alamo, World Pastor, Tony Alamo Christian Ministries Worldwide • P.O. Box 2948, Hollywood, CA 90078

Namba yetu ya simu kwa ajili ya maombi na habari iliyo wazi kwa saa ishirini na nne ni: (661) 252-5686 • Faksi: (661) 252-4362www.alamoministries.com • [email protected]

Huduma ya Tony Alamo Christian Ministries Worldwide hutoa mahali pa kuishi pamoja na vitu vyote muhimu kwa maisha kwa wale walio Marekani ambao wanataka kumtumikia BWANA kwa mioyo yao yote, roho zao zote na nguvu zao zote.

Huduma yetu hufanyika jijini New York kila Jumanne, saa mbili usiku na mahali pengine kila usiku.Tafadhali wasiliana nasi kupitia simu namba (908) 937-5723 kwa habari zaidi. CHAKULA HUTOLEWA BAADA YA KILA IBADA.

Tuma maombi ujipatie kitabu cha Mchungaji Alamo kiitwacho, The Messiah, kinachomwonesha KRISTO alivyo katika Agano la Kale kwa jumbe za unabii zipatazo 333.

Kuwa mmoja wa watumishi katika kuvuna roho za watu kwa kuwa msambazaji wa makala na vitabu vya Mchungaji Alamo Machapisho yetu na jumbe kwenye tepu za sauti hayalipishwi kitu ikiwemo gharama ya kusafirisha kupitia meli.

Iwapo kuna mtu atajaribu kukulipisha, tafadhali tupigie simu kwa namba: (661) 252-5686.MAKALA HIZI ZIMEBEBA MPANGO WA KWELI WA UKOMBOZI (Matendo ya Mitume 4:12)

USIZITUPE: ZIFIKISHE KWA MTU MWINGINE.Kwa wale ambao mko kwenye nchi nyingine, tunawashauri kutafsiri makala hizi kwa lugha zenu. Iwapo

mtachapisha tena, tafadhali jumuisha haki hii na usajili:© Hatimiliki Aprili 2013, 2015 Haki zote zimehifadhiwa Mchungaji wa Ulimwengu Tony Alamo ® Imesajiliwa Aprili 2013, 2015

SWAHILI—VOLUME 17800—THE DIFFERENCE BETWEEN SALVATION AND RELIGION