4
Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage Udhibiti Dawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza kwenye vifaa vya kuhifadhia, lakini ni sumu, ghali na haipatikani kwa urahisi. Kwa wakulima wadogo, matumizi ya dawa za kuua wadudu hakupendekezwi kwa kuwa wakati mwingi maharagwe huhifadhiwa kwa muda mfupi na huwekwa kwa lengo la matumizi. Funza wa inzi wa maharage au inzi wa maharage Dalili muhimu za mashambulizi Mabuu madogo ya rangi ya cream huonekana kwenye shina la mmea. Angalia kama mimea inakuwa njano na kudumaa ikifika hatua ya majani 2-3 na miche iliyokufa. Mabuu wanaolisha ndani ya shina watasababisha kupanuka na kupasuka kunakoonekana kwenye upeo wa udongo. Wakati uharibifu unapoonekana angalia mara kwa mara kama utaona inzi wadogo weusi kwenye majani ya maharage kuanzia mmea unapoibuka mpaka unapofikia hatua ya majani 2. Tafuta tundu kwenye majani zilizosababishwa na inzi wa maharage wakati wa kutaga mayai. Ukipata inzi wa maharage 3-4 waliokomaa kwenye mimea katika mita moja mraba zingatia udhibiti wa moja kwa moja. Kinga Nunua mbegu zilizowekwa dawa ya kuua wadudu [Imidacloprid (kama vile Gaucho, na nyingine) au na Diazinon]. Panda wiki 1-2 mapema katika msimu wa mazao ili kuepuka mashambulizi makali ya inzi wa maharage. Ongeza nguvu mimea kuifanya udongo iliyo hali mbaya iweze kuvumilia zaidi inzi wa maharage. Weka mbolea hai na za kemikali (takriban kilo 30 diammoniumphosphate (P2O5 + kilogramu 30 N) + tani 5 samadi kwa hekta). Mwagilia maji mara kwa mara ili kupunguza uhaba wa maji na kuimarisha uwezo wa mmea wa kuvumilia kwa ubora inzi wa maharage. Upanzi wa mzunguko wa mazao unaweza kupunguza idadi ya inzi. Udhibiti Weka udongo kuzunguka shina la mmea ili ufunike sehemu iliyoharibiwa na uchochee ukuaji wa mizizi. Tumia bidhaa za Thiamethoxam (k.m. Actara na Sotiva). Kama mashambulizi ni makali, ondoa na kuharibu mabaki ya mimea baada ya mavuno ili uue mabuu na pupae wa inzi wanaobaki katika mashina ya maharage. Hii ina maana kwamba huwezi kulima ndani au kuhifadhi muda mrefu mabaki ya mimea kama lishe. Kufanya kazi kwa pamoja na wadau/wabia kutayarisha taarifa zinazohusu mbuni husishi za afya ya udongo

Udhibiti Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na Phosphine ......Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage Udhibiti Dawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza

  • Upload
    others

  • View
    10

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Udhibiti Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na Phosphine ......Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage Udhibiti Dawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza

Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage

UdhibitiDawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza kwenye vifaa vya kuhifadhia, lakini ni sumu, ghali na haipatikani kwa urahisi. Kwa wakulima wadogo, matumizi ya dawa za kuua wadudu hakupendekezwi kwa kuwa wakati mwingi maharagwe huhifadhiwa kwa muda mfupi na huwekwa kwa lengo la matumizi.

Funza wa inzi wa maharage au inzi wa maharageDalili muhimu za mashambulizi• Mabuu madogo ya rangi ya cream huonekana kwenye shina la mmea. • Angaliakamamimeainakuwanjanonakudumaaikifikahatuayamajani2-3namiche

iliyokufa. • Mabuu wanaolisha ndani ya shina watasababisha kupanuka na kupasuka

kunakoonekana kwenye upeo wa udongo. • Wakati uharibifu unapoonekana angalia mara kwa mara kama utaona inzi wadogo

weusikwenyemajaniyamaharagekuanziammeaunapoibukampakaunapofikiahatuayamajani2.

• Tafuta tundu kwenye majani zilizosababishwa na inzi wa maharage wakati wa kutaga mayai.Ukipatainziwamaharage3-4waliokomaakwenyemimeakatikamitamojamraba zingatia udhibiti wa moja kwa moja.

Kinga• Nunua mbegu zilizowekwa dawa ya kuua wadudu [Imidacloprid (kama vile Gaucho,

na nyingine) au na Diazinon]. • Pandawiki1-2mapemakatikamsimuwamazaoilikuepukamashambulizimakaliya

inzi wa maharage. • Ongeza nguvu mimea kuifanya udongo iliyo hali mbaya iweze kuvumilia zaidi inzi wa

maharage. • Wekamboleahainazakemikali(takribankilo30diammoniumphosphate(P2O5+

kilogramu30N)+tani5samadikwahekta).• Mwagilia maji mara kwa mara ili kupunguza uhaba wa maji na kuimarisha uwezo wa

mmea wa kuvumilia kwa ubora inzi wa maharage. • Upanzi wa mzunguko wa mazao unaweza kupunguza idadi ya inzi.

Udhibiti• Weka udongo kuzunguka shina la mmea ili ufunike sehemu iliyoharibiwa na

uchochee ukuaji wa mizizi. • Tumia bidhaa za Thiamethoxam (k.m. Actara na Sotiva). • Kama mashambulizi ni makali, ondoa na kuharibu mabaki ya mimea baada ya

mavuno ili uue mabuu na pupae wa inzi wanaobaki katika mashina ya maharage. Hii ina maana kwamba huwezi kulima ndani au kuhifadhi muda mrefu mabaki ya mimea kama lishe.

Kufanya kazi kwa pamoja na wadau/wabia kutayarisha taarifa zinazohusu mbuni husishi za afya ya udongo

Page 2: Udhibiti Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na Phosphine ......Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage Udhibiti Dawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza

Halo blight

Kinga • Pandambegusafiambazozinatokakwaainasugu.• Usitumie sprinkler kwa kuwa ugonjwa unachochewa zaidi sana chini ya sprinkler.

Tumia kilimo cha umwagiliaji maji kupitia mitaro. • Ondoa maharage yaliyomea kwa kujitolea na mabaki ya mimea ili kupunguza vyanzo

awali vya ugonjwa.

Kuzuia uenezi • Usiingie katika shamba wakati mimea ina unyevu ili usieneze ugonjwa. • Safishanauondoebakteriakwenyevifaaambavyovimetumikakatikashambalil-

iloambukizwa kabla kuenda kwenye mashamba ambayo hayana magonjwa. • Fanyamzungukowamazaonanafakakwamiaka3auzaidi.

Ufuatiliaji Wakatiwamazingiramazuri,(16-23°C)nahaliyahewayenyeunyevu,chunguzadalilihizi:

Majani: madoa madogo yaliyolowa maji (yanafanana na tundu za sindano) katika upande wa chini wa majani ambayo baadaye hugeuka rangi ya kahawia nyekundu na kukauka baada ya siku chache. Mara nyingi, tishu zinazozunguka ile sehemu ya doa iliyokauka baadaye huwa rangi ya kijani cha ndimu na kufanya halo.

Vitumba: madoa ya mafutamafuta yaliyolowa maji, ambayo hutofautiana kwa ukubwa na yanaweza kufanya kingo za kahawia jinsi yanavyoendelea kukomaa. Hakuna mzunguko wa rangi ya kijani cha ndimu kwenye vidonda vilivyo katika vitumba, lakini nta nyeupe ya bakteria huonekana katikati mwa madoa wakati wa unyevu.

Mashina: yanaweza kutoa madoa ya kawaida ya mafutamafuta.

Mbegu: zinaweza kuoza au kuonekana zilizosinyaa na kuharibika rangi. Ikiwa maambuki-zi yametokana na uchafuzi wa mbegu, mmea wote unaweza kuonyesha kwa ujumla rangi ya kijani cha ndimu; mara nyingi hudumaa au kuharibika umbo, na utakufa mapema.

Udhibiti wa moja kwa moja• Ondoa na uilime kwa kina mimea yenye ugonjwa. • Lima mabaki ya mimea baada ya mavuno kwa kina, uyachanganye kwenye

mchanga na uyafunike vizuri ili yaoze kwa haraka. • Fanyamzungukowamazaowamiaka3bilakupandamikunde.

Bakteria blight

Kinga • Panda mbegu zilizothibitishwa za aina sugu dhidi ya ugonjwa huu. • Usitumie mbegu kutoka katika mashamba yaliyokuwa yameambukizwa.• Zuia mwendo kupitia shambani wakati mimea ina unyevu ili kuzuia blight kuenea. • Ondoa maharage yaliyomea yenyewe bila kupandwa baada ya mavuno kwa sababu

yanaweza kuwa vyanzo vya ugonjwa wa bakteria. • Zika mabaki ya mimea na kuyasaidia kuoza baada ya kuvuna (mara shamba

linapoambukizwa, ugonjwa pia huishi katika udongo). • Fanyamzungukowamazaonamimeaambayosimikundekwaangalaumiaka2-3ili

uvunje mzunguko wa ugonjwa huo.

Ufuatiliaji• Anza kuchunguza wiki mbili baada ya miche kuota na kila wiki mpaka viriba

vitakapotoka. • Chunguzadalilizamadoamadogoyaliyolowamajikatikaupandewachiniwamajani

na viriba muda mfupi baada ya miche kuibuka. • Chunguzakuonamiduaramyembambayarangiyanjano-limauinayozunguka

sehemu ndogo zilizokufa kwenye matawi na viriba. • Chukuahatuawakatizaidiyamiduara4katika5hadi10yamimea50imeonekana.

Udhibiti wa moja kwa moja • Nyunyiza kwa kutumia dawa za misombo ya msingi wa shaba kama vile copper

oxychloride(COPPEROXYCHLORIDEgramu850kwalita;CUPROZIN35WP;nanyingine).

• Kawaidahuwekwakwakiwangochamiligramu40-80kwabombalalita20(kilogramu2.4kwahektamoja),lakiniangaliakibandikochabidhaakwamakini

Picha: Selian Agricultural Research Institute

Page 3: Udhibiti Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na Phosphine ......Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage Udhibiti Dawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza

zaidi. Daima usinyunyize zaidi ya kilogramu 6 za shaba kwa hekta kwa mwaka.

Virusi vya batobato la maharage

Kinga• Panda mbegu ambazo hazina ugonjwa na uchague aina zinazohimili• Tumia mbolea kufanya mmea kuwa na nguvu zaidi na kuusaidia kuepuka/ kupona

kutokana na shambulio. • Kamaugonjwaumezuka,safishazanazashambanibaadayamatumizi.• Epukakutembeandaniyashamba/kugusamimeailiyoambukizwakishakwenda

kwenye mimea ambayo bado kuambukizwa. • Usitumie mbegu kutoka mashamba yaliyoambukizwa. • Dhibiti vidukari ndani ya shamba na mashamba mengine yanayozunguka hapo. (taza-

ma udhibiti wa moja kwa moja).

Ufuatiliaji• Fuatiliashambakuanziawiki2baadayakupandampakawakatiwakutoamaua.

Chunguzamajaniiliuone:batobato,necrosis(majanikufa),majanikujikunja.Fuatiliahasa wakati wa kutoa maua.

• Chukuahatuakamaupatammeammojaulioambukizwa.• Fuatilia ili ubaini uwepo wa vidukari kwenye miche, shina na majani. • Vidukarivisipitekiwangocha20katikacentimita2.5yamiche.

Udhibiti wa moja kwa moja • Ng’oa mimea iliyoambukizwa na uichome mara tu inapoonekana. • Dhibitividukarikwakutumiamajiyasabunijuuyamimeanachiniyamajani.Chang-

anyagramu8zasabuninalita10zamajinaunyunyizekwenyemimea.

VidukariUfuatiliaji• Maji ya mmea hupungua na tishu kuumizwa kwa ajili ya uharibifu wa kulisha moja

kwa moja.• Mimea hudumaa na inaweza kufa iwapo mashambulizi ni mazito.

• Majani huonekana kama yamenyauka. • Vidukari wanaweza kuongezeka kwa haraka katika muda wa wiki moja tu kama

hawadhibitiwi. • Vidukarihuishihasachiniyamajani,katikamakundiyawachachehadikufikiamamia

kadhaa. Mazao hupunguzwa na uharibifu hutokea kupitia usambazaji wa virusi. Idadi ya vidukari inaweza kurejea haraka baada ya hatua za kudhibiti kuchukuliwa.

Usimamiaji• Angaliamimea20hadi30chiniyamajanikatikamaeneombalimbaliyashamba.

Kama miwili au mitatu ya mimea hiyo ina angalau makundi mawili ya vidukari basi lazima uchukue hatua.

• Ukiona mabaki mengi ya mili ya vidukari, huna haja ya kunyunyiza dawa kwa sababu mdudurafikiyukokazini.

• Kunyunyiza na sabuni ni udhibiti wenye ufanisi kwa sababu hutoa lile koti la juu linalolinda ngozi ya vidukari. Jaza maji ndoo moja na uyeyushe ndani yake sabuni yakipandeyaurefuwanusukidole(takribaninchimoja,auvijikovyachai10-15vyasabuni ya maji). Koroga vizuri mpaka sabuni ya kipande iishe. Weka maji ya sabuni kwenye bomba na unyunyize dawa pande zote mbili za majani, hasa upande wa chini, na unyunyizie mimea yote shambani.

• Dawa lazima igusane na vidukari ili kuweza kuwaua. • Nyunyiza mapema asubuhi au jioni ili dawa isikauke haraka. Kunyunyiza wakati wa

baridi pia huzuia jua kuchoma majani. • Kagua shamba lako angalau mara moja kwa wiki na uweke dawa wakati

inapohitajika. Wacha kunyunyiza wiki mbili kabla ya mavuno ili utoe nafasi kwa sa-buni kutoweka.

• Kama sabuni haidhibiti vidukari vya kutosha, tafuta ushauri zaidi.

Inzi weupe

Dalili muhimuChunguzakamautaonamayaiyarangiyakahawianyeupena/aunziweupewal-iokomaa wakiwa upande wa chini wa majani machanga. Tafuta wingu la wadudu weupe zaidiya3-5ambaohutuatenamaratubaadayammeakutikiswa.Angaliarangiyaman-jano kwenye majani ya mmea yaliyo chini. Anza hatua za kudhibiti mara tu wadudu wanapoonekana kwenye mazao.

Picha: Selian Agricultural Research Institute

Page 4: Udhibiti Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na Phosphine ......Mbinu endelevu za kuthibiti magonjwa na wadudu wa maharage Udhibiti Dawa ya Phosphine ni dawa madhubuti yakufukiza

Kinga• Panda wakati wa mvua au muda mfupi baada ya mvua. • Wekashambasafibilayakwekwekwakuwazinawezakuwamakazimbadalayainzi

weupe. • Panda mimea inayofukuza wadudu kama giligilani na marigold kuzunguka shamba. • Hifadhi maadui wa asili, kwa mfano, nyigu vimelea kwa kuepuka kunyunyiza dawa

wakati wa maua.

Udhibiti• Weka mitego ya njano yenye gundi ili unase inzi weupe waliokomaa. • Mitego4kwamita300mrabaiwekwesentimita50juuyaardhi.• Ikiwa utahitaji kunyunyiza, nyunyiza wakati wa asubuhi, ukilenga upande wa chini wa

majani wakati dalili zikionekana.

Chaguolakemikalizakunyunyizanipamojana:• Bidhaa za Beauveria bassiana Strain GHA; (kwa mfano, Biobassiana) • Bidhaa za Bacillus thuringiensis; (kwamfano,BN3WPandAscopelWP)• Azadirachtin0.03%(mililita50kwalita20zamaji)• BidhaazamsingiwaImidacloprid;kwamfano,Confidor200SL,Imax200SL,naTata

Mida200SLkwakiwangochamililita10kwalita20zamaji• Neonicotinoid,IRAC4A.• Dawa za kuua wadudu zinazopitia kwenye mfumo wa chakula na maji wa mmea

na ambazo pia zinaweza kuingia kwenye tishu za mmea na pia kuua mdudu kupitia hatua za kugusa au ndani ya tumbo

• BidhaazamsingiwaLambda-cyhalothrin;kwamfano,Karate2.5WGkwakiwangochagramu20kwalita20zamajinaDuduthrin1.7ECkwakiwangochamililita60mlkwalita20zamaji

• DawazamsingiwaAlpha-cypermethrin;kwamfano,Bastox100ECkwakiwangochamililita6mlkwalita20zamajinaTataAlpha10ECkwakiwangochamililita6kwalita20zamaji

Dawa ya pilipili:Changanyapilipili30zilizokatwakatwakwenyelita1yamajimoto.Zilowekekwasiku1kishauzipunguzeukalikwakuongezalita10zamaji.Nyunyizakwenyemimeaukilengaupande wa chini wa majani.

KemikaliambazozimesajiliwanaTropicalPesticidesResearchInstitute(TPRI)pekeendizo zipendekezwe. Hii itakuwa imeandikwa wazi juu ya bidhaa.

Fukusi wa maharage

Dalili muhimuFukusi hufahamika kimsingi kama mdudu wa kusababisha uharibifu zaidi wa maharage yaliyohifadhiwa, lakini huanza kushambulia vitumba wakati mmea bado uko shambani. • Ndani ya harage kumeliwa, matundu kwenye maharage na wadudu waliokomaa

kwenye mazao yaliyohifadhiwa. • Mabuu ni meupe na huonekana ndani ya mahandaki ndani ya maharage. • Fukusi waliokomaa wana rangi ya kijivu na kahawia nyekundu. • Wadudu waliokomaa hutaga mayai nje ya vitumba vinavyokaribia kukomaa, na

mabuu hutoboa na kuingia ndani ya mbegu ambako wanalisha. • Mabuuhukatatundulakutokeakablayakufikahaliyapupalakiniwanabakindani

ya maharage. Wakikomaa hupenyeza na kutoka nje ya mbegu huku wakiacha tundu laupanawakamamilimita2.

• Wakitishwa, fukusi hujifanya kama wamekufa na kudondoka chini.Kinga• Tumiambegusafizilizothibitishwa.• Fikiria kupanda mseto mahindi na maharage ili kupunguza wingi wa wadudu.• Vuna maharage mara tu yanapokomaa ili kupunguza hatari ya maambukizi makali.

Ondoa na uharibu mabaki yote ya mimea iliyoathirika mara tu baada ya kuvuna. Kaushamaharagweunyevuwaasilimia12auchinizaidikablayakuhifadhi.

• Safishaghalakablayakuhifadhi.• Tumia dawa ya kuzuia mashambulizi ikiwa ni lazima. • Usihifadhi maharage yaliyovunwa zamani pamoja na mapya. • Hifadhi maharage kwenye chombo kisichoingiza hewa, kama vile mifuko ya plastiki

inayozibika,mapipa,aunyunguzaudongo.PICS(PurdueImprovedKundeUhifa-dhi) mifuko mitatu huhifadhi nafaka bila kuingiza hewa na kuweka wadudu mbali na nafaka. Nafaka inawekwa kwenye mfuko ambao haupitishi hewa. Mchakato huu unarudiwa mpaka nafaka izungukwe na mifuko mitatu. Mifuko yote mitatu ikifung-wa, wadudu ambao wako kwenye nafaka hufa kwa kukosa hewa. Si lazima kutibu mbeguiwapounatumiamifukoyaPICS.

• Changanyamaharagenamafutayamboga,ungawamwarobaini,jivuauBeauveria bassiana (kuvu). Ongeza gramu moja ya Beauveria bassiana au jivu kwa kila kilo moja ya maharage yaliyohifadhiwa.

Picha: Clemson University – USDA Cooperative Extension Slide Series, CC BY 3.0 US, www.bugwood.org