27
UPONYAJI. Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikua juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.(Isaya53:5,) Kuna mengi sana siku hizi. Watu kuteseka, wengine wana kanza,wengine magonjwa ya moyo,arthiritis, shongo na maumivu ya mgongo, kichwa na matatizo ya figo,pumu,mishipa, ugonjwa wa mifupa kuzidi kuendelea na kadhalika. Pia watu wanateseka kwa njia zenginezo kama uhaba wa pesa, chakula, baadhi yao kusumbuliwa na wengine kuwa chini ya kujitegemea. Kuna wale ambao hukataliwa katika maduara ya marafiki na wanauelewa utofauti wa imani yao kuliko wengine wa imani nyingine. Elimu ikionekana kuwa juu, matokeo ni, wanaweza kuwekwa chini ya kudhulumiwa na familia,marafiki na mamlaka au mahali pa kazi. Hawakubaliwi jinsi walivyo, wanatamani kuwa huru na kufurahia lakini mazingira hayawaruhusu. Wengine wamekua wezi au wasanii , dhamira mbaya na wanakubaliwa . Je! jamii inafanya nini kwa mateso haya. Waganga hutoa udanganyifu wenye dawa za sumu, dawa hizi huingiza maumivu, unyongonyevu na magonjwa mengi. Pia hupunguza masomo yao na vidonge vibaya sana vya kudhuru. Wengine wengi wemefungwa.Ikiwa watu hawawezi kujitegemea mahali pa ajira au mamlaka, labda basi kuonekana kama watu wasioweza na karibuni hivi wanajikuta

UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

  • Upload
    others

  • View
    153

  • Download
    3

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

UPONYAJI.Balialijeruhiwakwamakosayetu,Alichubuliwakwamaovuyetu;Adhabuyaamaniyetuilikuajuuyake,Nakwakupigwakwakesisitumepona.(Isaya53:5,)

Kunamengisanasikuhizi.Watukuteseka,wenginewanakanza,wenginemagonjwayamoyo,arthiritis,shongonamaumivuyamgongo,kichwanamatatizoyafigo,pumu,mishipa,ugonjwawamifupakuzidikuendeleanakadhalika.

Piawatuwanatesekakwanjiazenginezokamauhabawapesa,chakula,baadhiyaokusumbuliwanawenginekuwachiniyakujitegemea.Kunawaleambaohukataliwakatikamaduarayamarafikinawanauelewautofautiwaimaniyaokulikowenginewaimaninyingine.

Elimuikionekanakuwajuu,matokeoni,wanawezakuwekwachiniyakudhulumiwanafamilia,marafikinamamlakaaumahalipakazi.Hawakubaliwijinsiwalivyo,wanatamanikuwahurunakufurahialakinimazingirahayawaruhusu.Wenginewamekuaweziauwasanii,dhamirambayanawanakubaliwa.Je!jamiiinafanyaninikwamatesohaya.Wagangahutoaudanganyifuwenyedawazasumu,dawahizihuingizamaumivu,unyongonyevunamagonjwamengi.Piahupunguzamasomoyaonavidongevibayasanavyakudhuru.Wenginewengiwemefungwa.Ikiwawatuhawawezikujitegemeamahalipaajiraaumamlaka,labdabasikuonekanakamawatuwasiowezanakaribunihiviwanajikuta

Page 2: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

kwenyejangalamagonjwayaakiliaukwendakatikaulemavukablayawakati.

Mwizinamsaniiwanahukumiwakifungogerezani.Walakinidawa,sindano,ulemavuauhukumuzajelahuyatatuahizotatizo?Je!Watuhupatamazurikwatibayaainahii?

Tunaishikatikajamiibandianayenyemikazo,mavutano,usingizinawengiwanatambuakwambalazimatujitokelezekatikajamiihiibandianakwauasilia.Tunawezakurejeshaafyazetukulekwenyemsaadawatibarahisizaasilikama,HEWASAFI,JUA,KUWAnaKIASI,PUMZIKO,ZOEZI,CHAKULAchaAFYA,MAJInaKUMWANINMUNGU.Hizindizotibazakwelizauponyajiwauzima.

Hatahivyokunaugonjwammojaambaodawazaasilihaziwezikuponya,naonidhambi.MuumbaametuwekeasheriazakekumirahisiilisisikwakuzifuatatuwenauhusianomzurikwaMungunawenzetu.Tunafanyadhambikwakuzivunjaamrihizi.Bibiliainasemakuwa‘’dhambiniuasiwasheria”nakwamba‘’mshaharawadhambinimauti”(1Yohana3:4,Warumi6:23).Bibliainasema‘’kilaatendayedhambinimtumwawadhambi.”(Yohana8:34)

Sisitukochiniyalaanayasheriatunapoitendadhambi“kwasababuwotewamefanyadhambi,nakupungukiwanautukufuwaMungu.’’(Warumi3:23)

Yesualikujakutuokoakutokakwalaanayasheria.Alifanyakilakituilituwezekuwahurunawenyefuraha;ambayeyeyemwanzoalikuwayunanamnayaMungu;balialijifanyakuwa

Page 3: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

hanautukufu,akajinyenyekeshaakawaanamfanowawanadamunaakajakwaumbokamamwanadamuilikutuokoanalaanayadhambi.’’Basi,kwakuwawatotowameshirikidamunamwili,yeyenayevivyohivyoalishirikiyayohayo.’’(Waebrania2:14)

AnapaswakupataushindiambapoAdamunaHawawalianguka.Yesualifanyahivyobibiliainavyosema.Kwahivyo,kwakilakitualikuwaamefanywakufananananduguzakeiliawemkuuwahurumanamwaminifukatikamamboyanayohusuMungu,akafanyaupatanishokwaajiliyadhambizawatu.Kwakuwayeyemwenyeweamejaribiwa,anawezakuwasaidiawalewanaojaribiwa(Waebrania2:17,18)lakiniYesualikuwakatikavituvyotekamasisilakinibiladhambi(Waebrania4:15)

YesuniMwokoziwetukwasababualijaribiwakatikamamboyotekamasisilakinibiladhambinaakatoamaishayakekwaajiliyetu.Basihebutujekwaujasirikwenyekitichaenzichaneema,ilituwezekupatarehemananeemayakusaidiawakatiwamahitaji(Waebrania4:16)TayaritunaonakwambaYesundiyejibukwakupitiakwaketunawezakuponywakutokakatikadhambi.NabiiIsayaanaelezeauponyajihuukwanjiahii.

Hakikayeyeamebebamajerahayetu,akachukuahuzunizetu,hatahivyotunamuonayeyealipigwa,piaalijeruhiwakwamakosayetu,alisulubiwakwamakosayetu,adhabuyaAmaniyetuilikuajuuyake,naKwakupigwakwaketunapona.

Sasaswalini!Tunakubaliuponyajihuu?Nizawadiyabure,Je,tukotayarikuikubalihiizawadi?Uhusisheuponyaji

Page 4: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

waMungunanguvuzawokovu.TukiimarishwananukuuzifuatazokutokakwanenolaMungu;kwahiimaana‘’Mungualiupendaulimwengu,hataakamutoamwanawewapekee,ilikilaamwaminiyeasipotee,baliawenauzimawamilele.”(Yohana3:16)

Hilindilopendo,sikwambasisitulimpendaMungu,balikwambayeyealitupendasisi,akamtumaMwanawekuwakipatanishokwadhambizetu.’(1Yohana4:10)Yesuakainukajuuasimwonemtu,ilayulemwanamke,akamwambia,Mama,wakowapiwashitakiwako?’Je!Hakunaaliyekuhukumu,kuwanahatia?Akasema,Hakuna,Bwana.Yesuakamwambia,Walamimisikuhukumu.Enendazako;walausitendedhambitena.’

(Yohana8:10,11).‘’YeyealiyenayeMwanaanaohuouzima;asiyenayeMwanawamunguhanahuouzima.”(1Yohana5:12).PetronaYohanawakamwambia‘’BasinyumbayoteyaIsiraelinawajueyakiniyakwambaMunguamemfanyaYesuhuyomliyemsulubishakuwaBwananaKristo.Walipoyasikiahayawakachomwamioyoyao,wakamwambiaPetronamitumewengine,‘Tutendeje,nduguzetu?’Petroakamwambia,‘TubunimkabatizwekilammojakwajinalakeYesuKristo,mpateondoleoladhambizenunanyimtapokeakipawachaRohoMtakatifu.’’(Matendo2:36-38)

‘’Tubunibasi,mrejee,ilidhambizenuzifutwe,zipatekujanyakatizakuburudishwakwakuwakokwakeBwana.’’(Matendo3:19)‘’Ikiwawatuwangu,walioitwakwajinalangu,watajinyenyekesha,kuomba,nakunitafutausowangu,nakuziachanjiazaombaya,basi,nitasikiatokambinguni,na

Page 5: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

kuwasamehedhambiyao,nakuponyanchiyao.’’(2MamboyaNyakati7:14).‘’Eenafsiyangu,umhimidiBwana.Naam,vyotevilivyondaniyanguvilihimidijinalaketakatifu.Eenafsiyangu,umhimidiBwana,Akusamehemaovuyakoyote,Akuponyamagonjwayakoyote.’’(Zaburi103:1-3)

HuundioushinditoshanawakwelikwambatunapokeauponyajitukimwendeaYesunamizigoyetuyoteyadhambi.Inatupasakujinyenyekeza,kukiridhambizetunakutubu,nayeatatusamehemaovuyetunakututakasakutokakwaudhalimuwote.BasisisiniwenyehakikatikayeyenaneemakwaImani.

UponyajiNakukubalikaNaMungu

KutokananamaelezorahisiyaBibilia,jinsiYesualivyowaponyawagonjwa,tunawezakujifunzajambofulanijuuyakumwaminiyeyenakupokeamsamahawadhambi.HebutuigeukiehadithiyamtummojaaliyepoozahukoBethsaida.Maskinimtuhuyuhakuwanamsaada;hakuwanawakumtwaamiguuyakekwamiakathelathininaminane.Lakini,Yesuakamwambia,‘Simama,jitwikegodorolako,uendezako.’

Huendamgonjwahuyuangelisema,‘Bwanaikiwaumenifanyanipateuponyaji,nitalitiinenolako,baliyeyealiliamininenolaKristo.Aliaminikwambaalikuaamefungwanaakafanyajuhudimaramoja.Alipendaatembeenayeakatembea.

AlifanyahivyokwanenolaKristonaMunguakalitianguvuneonhilo.Inawezekanamwenyedhambikwahalihii.

Page 6: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Wawezakuzikiridhambizakozazamani,nakubadilimoyowakonakujitakasamwenyewe.MunguanaahidikufanyahayoyotekwaajiliyakokupitiaKristo.

Aminiahadihii.Utakubalidhambizako,nakujitoakwaMungunakumtumikia?Ikiwautafanyahivi;Munguatatimizanenolakekwako.Kamaumeaminiahadihii--aminikwambaumesamehewanakutakaswa.Je?Umefungwa?JinsiKristoalivyompayulemtualiyepoozauwezowakutembeapundetu,aliaminikwambaameponywa.Ukiaminini,hilinihakika.Usingojempakaujihisiumekamilika,lakinisema,”Ninaaminihivyo,siokwasababunirahisitu,lakinikwasababuMunguameahidi.

Yesuanasema,‘‘Yoyotemyaombayomkisali,amininiyakwambamtayapokea,nayoyatakuwayenu.”(Mariko11:24)Kunanjiayaahadihii-kwamba,tuombekulingananamapenziyaMungu.KwahivyonimapenziyaMungukututakasakutokakwadhambi,kutufanyawatotowakenakutuwezeshakuishimaishamatakatifu.Basitunawezakuombabarakahizi,nakuaminiyakwambatunazipokea,nakumshukuruMunguyakuwatumezipokea.NiwajibuwetukumwendeaYesunakutakaswa,nakusimamambeleyasheriabilaaibuaumajuto.”Basi,hakunahukumuyaadhabujuuyaowaliokatikaKristoYesu,ambaohawaenendikwakuufuatamwili,...balimamboyaroho.”(Warumi8:1,4)Kwahio.”Nanyimfahamukwambamlikombolewasikwavituviharibikavyo,kamavilefedhaaudhahabu,balikwadamuyathamani,kamayamwana-kondooasiyenahila,asiyenawaa,yaani,yaKristo.”(1Petero1:18,19.)Kupitiatendohili

Page 7: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

rahisilakumuaminiMungu,RohoMtakatifuamezaliwamaishamapyamoyonimwako.WewenikamamtotoaliyezaliwakatikafamiliayaMungu,nayeanakupendakamaampendavyoMwanawe.

KwakuwasasaumejitoakwaYesu,usirudiukatangambalinaye,ilasikubaadayasikuusemehivi,”MiminiwaKristonanimejitoakwake.”naumuombeakujalierohowakenakukuhifadhikwaneemayake.KamanikwakujitoakwakokwaMungu,nakumuaminiuwemtotowake,basiyakupasakuishindaniyake.MtumePauloanasema“BasikamamlivyompokeaKristoYesu,Bwana,enendenivivyohivyokatikayeye.”Wakolosai2:6.WenginehuonekanakuhisikuwawanapaswakuthibitishiaBwanakuwawaohurekebikahatakablayakudaiMibarakayake.Kamahuwezikupingamaovu,RohowaKristohusaidiaudhahifuwawatu.Yesuanatupenda,njookwakekamasisiwenyedhambiwasionamsaadawakutegemea.

Tunawezakujanaudhaifuwetuwote,upumbavuwetunadhambizetukwakuangukamiguunipakekatikauongofu.Nikwautukufuwakeanatuzungukakatikasilahayaupendowakenakutufungamajerahayetu,kututakasakutokananauchafuwote.Hapandipomaelifuhushindwa,hawaaminikwambaYesuhusamehenafsi,mmojammoja.HawatumikiiMungukatikanenolake.

Nifursayawotekuzingatiamashartiyakujuawenyewekwambamsamahahupatikanakwakuwahurunakiladhambi.PiakuondoatuhumakwambaahadizaMungusiozamaanakwako.Hayanikwawahalifuwotewanaotubu.Nguvu

Page 8: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

naneemazimetolewakwanjiayaKristokutuleteamalaikawahudumukwakilanafsiyakuamini.Hatahivyonikwaajiliyadhambihawawezikupatanguvu,usafinauadhilifukatikaYesuambayealikufakwaajiliyao.Anasubirikuwavuanguozaozilizowasababishakuchafuliwanadhambi,nakuvikwamavazimeupeyahakiawaagizayoiliwaishi.

Munguhatutendeisisikamaalivyowatendeawanaumewalewamwisho.Mawazoyakenimawazoyahurumanaupendo.Kwahurumanyingianasema,”Mtumbayanaaiachenjiayake,namtuasiyehakiaachemawazoyake,NaamrudieBwana,nayeatamrehemu;naarejeekwaMunguwetu,nayeatamsamehekabisa.’‘Nimeyafutamakosayakokamawinguzito,nadhambizakokamawingu”(Isaya55:7,44:22)”Maanamimisifurahiikufakwakeyeyeafaye,asemaBwanaMUNGU;basighairini,mkaishi,”(Ezekiel18:32)ShetaniyutayarikuibaahadizaMunguzenyeheri.Anatakakuchukuakilamwangawatumaininakilamwangawamiangakutokamoyoni,lakinisilazimatumruhusuafanyehivyo.Usisikilizemnenaji,lakinianasema,”Yesuamekufailinipatekuishi.Ananipenda,walahakutakanipotee…NinaBabawambingunimwenyehuruma,naingawabarakaalizonipazimeharibiwa,nitaondokanitakwendekwababayangunakumwambia,Baba,nimekosajuuyambingunambeleyako;sistahilikuitwamwanawako.Nifanyekamammojawawatumishiwako.’Nakwambia!jinsiMwanampotevualivyopokelewa,“Alipokuwaangalimbali,babayakealimwona,akamwoneahurumaakaendambioakamwangukiashingoniakambususana.’’(Luka15:18-20)

Page 9: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Lichayamfanohuu,haujafikiriahurumanamgusokamahuuulivyo;hurumaisiyokuwanamwishoyaBabawaMbinguni.Babaasemahivikupitianabiiwake,”Naamnimekupendakwaupendowamilele,ndiyomaananimekuvutakwafadhilizangu.”(Yeremia31:3)WakatimwanampotevualitangambalinanyumbaniyaBabayake,akaharibumaliyakekatikanchiyambali,moyowababaungalinaupendo;nakilatamaaikaamukanafsinimwakeiliamrudieMungu,aliomba,RohomtakatifuakimsihiamchocheerohowaupendowaBaba.MbeleyakokukiwanaahadinyingizaBibilia,unawezakutoanafsiyenyeshaka?Je!unawezakuaminikwamba,mwenyedhambiapendapokurejea,nakutamanikuondokakwenyedhambizake;Bwanahumzuiakabisakurudimiguunipakekwatoba.Lahasha!

Ondoawazokamahilikabisa.HakunajambokamahililinalowezakuizuiarohoyakomwenyewedhidiyamamboyakuvutiakamahayoyaBabayetuwaMbinguni.

Yeyeanachukiadhambilakiniwenyedhambianawapenda.Kristoalijitoamwenyewekamamtuwawoteambaowangewezakuokolewawawekielelezochaufalmewautukufu.NilughaganizaidiauBarakakatikazaburiingewezakutumiwakulikoaliyoichaguakuonyeshaupendowakekwetu?Asema”Jemwanamkeawezakumsahaumtotowakeanyonyaye,hataasimuhurumiemwanawatumbolake?Naamwanawezakusahau,lakinimimisitakusahauwewe”(Isaya49:15)

AngalianinyimlionamashakanakutetemekakwamaanaYesuanaishikutuombea.AsanteMungukwaajiliyazawadi

Page 10: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

yamwanaompendwa.Rohoanakualikahivileo“njookwakeYesukwamoyowakowote’’naunawezakudaiBarakazake.Unaposomaahadihiikumbukanimfanowaupendousionashakanawahuruma.Moyomzuriwaupendousionamwishounavutiwakwamwenyedhambinahurumaisiyonamipaka.“Katikayeyehuyo,kwadamuyake,tunaoukomboziwetu,msamahawadhambi.’’(Waefeso1:7)HilindilotumainikwambaMungundiyemsaidiziwako.Anatakakurejeshamabadilikoyaumbolakekwamwanadamu.Ukimkaribishakwakuungamanakutubuatakukaribiakwarehemanamsamaha.“Watotowanguwadogo,ninawaandikiahayailikwambamsitendedhambi.MtuakitendadhambitunayeMwombezikwaBaba,YesuKristomwenyehaki.Nayekipatanishokwadhambizetu;walasikwazetutu,balinakwadhambizaulimwenguwote.Nakatikahilitwajuayakuwatumemjuayeye,ikiwatunashikaamrizake.Yeyeasemaye,Nimemjua,walahazishikiamrizake,nimwongo,walakwelihaimondaniyake.Lakiniyeyealishikayenenolake,katikahuyoupendowaMunguumekamilikakwelikweli.Katikahilitwajuayakuwatumondaniyake.Yeyeasemayeyakuwaanakaandaniyake,imempasakuenendamwenyewevilevilekamayeyealivyoenenda.’’(1yohana2:1-6).

HatuwezikuzitunzasheriazaMungukwanguvuzetuwenyewe.TunapomkubaliYesunakumpokea,Rohomtakatifukatikamaishayetu,basitunaouwezowakusimamadhidiyamajaribuyapepowachafu.

Haleluyah!Bwanaahimidiwe!Jaribuhalikuwapataninyi,isipokuwalililokawaidayawanadamu;ilaMunguni

Page 11: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

mwaminifu;ambayehatawaachamjaribiwekupitamwezavyo;lakinipamojanalilejaribuatafanyanamlangowakutokea,ilimwezekustahimili.’’(1Wakoritho10:13)Nasasawatotowadogo,kaenindaniyake,ilikusudi,atakapofunuliwa,mwenaujasiri,walamsiaibikembelezakekatikakujakwake.Kamamkijuayakuwayeyenimwenyehaki,jueniyakuwakilaatendayehakiamezaliwanayeye.’’(1Yohana2:28-29)Watotowadogo,mtunaasiwadanganye;atendayehakiyunahaki,kamayeyealivyonahaki.’’(1Yohana3:7).

“KilamtualiyezaliwanaMunguhatendidhambi,kwasababuuzaowakewakaandaniyake;walahawezikutendadhambi.KwasababuamezaliwakutokananaMungu.’’(1yohana3:9).

TunapatanguvuyakufanyahakiwakatiRohomtakatifuanakujakatikamaishayetu.Piakwamanenomengine,kwanza“kupokeahakiyake’’,pili“kukubaliwananeemakupitiaImani,nabaadayahaponguvuzakufanyahaki,Kwanjiahiitunawezakuwamashahidiwakewakuzaamatundayarohokatikamaishayetu.Hatahivyokulingananaahadiyake,tunatazamianambingumpyaambayohakiyakeinakaahumo.Kwahiyowapenziwangu,kwasababumnatazamiamambohayo,jitienimkapatikanekwaAmanikamilifu(2petro3:13-14)

KanunizaBibiliazaUponyajiKwawaleambaowanaorejeshaaukuifadhiafyazao,kunafundishokatikanenotakatifu,‘’Tenamsilewekwamvinyo,ambamomnauzinifu;balimjazweroho.”Waefeso

Page 12: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

5:18.Siokwamsisimkoauusahaulifuuletwaonaupotovuauvichokoovisivyonaafya;siokwakufurahishauchuuliopunguaautamaandipoupatikaneuponyajiwakweliauburudikokwamwiliaunafsi.MiongonimwawagonjwakunawengiambaohawanaMungunahawanatumaini.Wanatesekakutokananahamuzisizoridhisha,tamaachafunakuhukumikadhamirizaowenyewe.Wanapotezamsimamowaokatikamaishahayanakutokuwanatumainilamaishayajayo.Hebuwanaowashugulikiawagonjwahawawasitumainiewala,wauminiwasiwenamatumainiyawangonjwakuwafaidiwagonjwahawakwakuwaruhusukwarahazamisisimko.Hizindiozimekuwalaanayamaishayao.Nafsiilionanjaa,nakiu,itaendeleakuwananjaanakiumradituipatekuridhishwa.WaleambaowanakunywakatikaChemichemiyayaanasazaubinafsiwanajidanganya.Hukoseakwakudhaniauchangamfuhuondionguvu,nawakatimsisimkounaisha,usukumiziwaounakoma,nakuachwabilakuridhikakudalilishwa.

Amaniyakudumu,pumzikolakwelilaroho,hasaunachanzokimoja.HiindioKristoalinenaaliposema,“Njoonikwanguninyinyotemsumbukaonawenyekulemewanamizigo,naminitawapumzisha.’’Mathayo11:28.“Amaninawaachieni;amaniyangunawapeni;niwapavyomimisivyokamaulimwenguutoavyo.’’Yohana14:27.AmanihiisiokituambachoYeyehutoapasipokuwanayeyemwenyewe.NikatikaKristotu,tunawezakuipatakwakumpokeaYeye.Kristondiyechemichemiyauzima.Kileambachowengiwanahitajinikuwanaelimusafikumhusu;wanahitajikuwawavumilivunawapole,tenawabidii,kufundishwajinsi

Page 13: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

kiumbekizimakinawezakuwekwawazikwamawakalawauponyajiwambinguni.WakatimwangawajualaupendowaMunguunaangaza,vyumbavilivyotiwagizavyanafsi,uchovuusionapumziko,nakutotosheka,kutaishanashangwezakuridhishakutiajuhudinguvunaafyananguvukwamwili.

SisitukokatikaulimwenguwamatesoMagumu,majaribu,nahuzuni,hivivyotevyatungojeasisinjianikotekuingiamakaoyambinguni.Lakinikunaowengiambaohufanyamizigoyamaishakuwamizitomaradufukwakutazamiashidawakatiwote.Ikiwawatapatwanamasaibunayakwambamatatizoyaondiomagumukulikoyote,kwahivyowanauhakikayawaowanahitaji.Hivyowaohujileteaumaskiniwenyewenakuelekezalawamazotekwawotewanaowazunguka.Maishayaoyenyeweinakuwanimzigokwao.Nahaistahilikuwahivyo.Itagarimujuhudinyingisanakubadilimawazoyaoyasasa.Hatahivyomabadilikoyanawezakufanyika.Furahayao,yotekwamaishahayanamaishayajayo,inategemeawaokukazamawazoyaokwavituvyakufurahisha.Hebuwasiitazamepichayagiza,ambayonidhania,kwafaidaambazoMunguameziangazakatikamapitoyao,nazaidiyahayayote,yaleyasioonekananayamilele.

Kwakilajaribu,Munguametoamsaada.WakatiWaisraelkulejangwaniwalifikiamajimachunguyaMara,MusaalimliliaBwana.NayeBwanahakutoadawampya;Yeyealiitishakilichokuwamkononi.MumeaambaoYeyealiyouumbaulitupwakwenyechemichemikuyafanya

Page 14: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

majiyawemasafinamatamu.Hilililipotimilika,watuwalikunywamajihayawakafarijika.Katikakilajaribu,ikiwatutamtafutaYeye,Kristoatatupamsaada.Machoyetuyatafunguliwailikupambanuaahadizauponyajizilizoandikwakatikanenolake.RohoMtakatifuatatufundishajinsiyakujitwaliakilabarakaambazozitakuwadawakwamasikitikoyetu.Kwakilanenouchunguambalolimewekwakwenyemidomoyetu,tutapatatawilauponyaji.

Haitupasikuruhusunataabuzawakatiujaonataabuzakenamatarajioyakeyasioridhibisha,kufanyamioyoyetuizimie.Magotiyetuhutetemeka,mikonoyetuhuninginiachini.“AuazishikenguvuZangu,’’asema“Naam,afanyeAmaninami;naatafanyaAmaninami.”Isaya27:5.WaleambaowanaosalimishamaishayaokwauongoziWakenakwaibadayakehawatawekwakatikanafsiambayohawajaandaliwa.Hatahaliyetuiweje,ikiwasisiniwatendajiwanenoLake,tunayemwelekeziwakutuongozanjiazetu;hatamatatizoyetuyaweje,tunayemshauriwahakika,hatahuzuni,msiba,auupweke,tunayerafikiatuhurumiaye.

Ikiwakwaujingawetutunakoseakatikamienendoyetu,Mwokozihatatuacha.Hatutahitajikujihisikuwatupekeyetu.Malaikanimarafikizetu.WafarijiambaoKristoaliahidikuwatumakwajinaLakeiliwakaepamojanasi.KwanjiainayoelekeaMjiwaMunguhakunamatatizoambayohawatayashindawalewanaomwaminiYeye.Hakunahatariambazohawawezikuziepuka.Hakunahuzuni,machungu,uchafuwakibinadamu,ambaohaujaandaliwadawa.

Page 15: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Hakunawenyehajayakujizuiawaowenyewekwamashakanakukatatamaa.Shetanianawezakukukujiawewenamashaurimabaya,“Haliyakohainamatumaini.Hauwezikukombolewa.“BalikunatumainikwakokatikaYesu.Munguhawezikutuambiatuyashindekwanguvuzetuwenyewe.AnatusihitukaribiesanaupandeWake.Hatayawematatizokazini,ambayoyanafinyiliachininafsinamwili,Yeyehutungojeatukutuwekahuru.

YeyealiyechukuaubinadamujuuyakeMwenyewe,anajuajinsiyakuhurumiamatesoyabinadamu.NiKristotuanayejuakilanafsi,namahitajiyapekeenamajaribuyanafsihiyo,piaanajuahalizoteambazohuchukizanakutiarohomashaka.Mkonowakeumenyoshwakatikawepesiwamasikitikokwakilamtotoanayeteseka.WalewanaoumiasanandiowalionahurumazamasikitikoYake.Yeyehuguzwana`hisiazamaovuyetu,naangependesisikuyawekeleamashakanashidazetumiguuniPakenakuziachapale.

Siojambolabusarakujijaliawenyewenakuchukuahisiazetu.Ikiwatutafanyahivyo,Yuleaduiatatuleteamatatizonamajaribuambayoyatalegezaimaniyetunakuangamizaujasiriwetu.Kuziruhusuhisiazetundiokukaribishamashakanakijiingizakwenyematatizosisiwenyewe.InatupasakuachakujiangaliawenyewekwakumtazamaYesu.Wakatimajaribuyanatuzidi,ampapomasumbufu,mashakanagizavinaonekanakuzungukanafsiyako,angaliamahalipamwishokuionanuru.TuliakatikaupendowaYesunakuwa

Page 16: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

chiniyauangalifuwaulinziWake.Wakatidhambiinang’ang’anakukutawalamoyo,hatakuilemeanafsinakuwamzigokwadhamiri,akilikutandwanawingulakutoamini,kumbukayakwambaneemayaYesuyatoshakushindadhambinakuliondoagiza.TuingiapoushirikanamwokozihuwatunaliingiaeneolaAmani.

AhadizaUponyaji

“BWANAhuzikomboanafsizawatumishiwake,NahakunammojawaoamwaminiyeYeyeatahukumiwa,”Zaburi34:22.“KwakumchaBWANAniujasiriimara,’NawatotoWakewatakuwanamahalipakimbilio.’’Mithali14:26.“Sayunialisema,YEHOVAameniachana,BWANAamenisahau,Je!mwanamkeawezakumsahaumtotowakeanyonyaye,Hataasimuhurumiemwanawewatumbolake?Naam,hawawawezakusahau,lakiniMimisitawasahau.Tazama,MiminimewachorakatikaviganjavyamikonoYangu.’’Isaya49:14-16ARV

“Usiogope,kwamaanamiminipamojanawe;usifadhaike,kwamaanamiminiMunguwako;nitakutianguvu;nitakutianguvu;nitakusaidia;Naam,nitakushikakwamkonowakuumewahakiYangu.’’Isaya41:10“EnyimliozaliwaNamitanguutotoni;MliochukuliwamimbaNamitangutumboni;HatauzeewenuMimindiyeYule;

Hatawakatiwamviwenunitawachukueni;Nitachukuwa,nanitawaokoeni.”Isaiya46:3-4

Page 17: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Hakuna la ziaida l iwezalo kuchangia utunzaj wa afya ya mwil i na nafsi kul iko ifanyavyo roho ya shukrani na masif io. Ni wajibu wa hakika kujizuia na huzuni, mawazo na hisia zisizoridhisha- wajibu sawa na huo wa kuomba. Ikiwa tunasafir i mbinguni,tutaendaje kama kundi la waombolezaji ,vi l io vya machungu na manunguniko nj ia kote hadi nyumbani mwa Baba? Wale wanaodai ni wakristo ambao daima ni kunungunika, na kuonekana kuwazia kuwa uchangamfu na unyemi ni dhambi, hawana dini ya kweli .Wale wanaochukulia anasa ya majonzi kwa yote yal io ya kusikit isha katika ul imwengu wa asi l i , wanaochagua kuyatazama majani yal iokauka kuliko kuyakusanya maua mazuri yal io hai,hawaoni uzuri katika vi lele vya mil ima ya fahari na kwenye mabonde i l iyovalishwa ki jani kibichi, wakifungia hisia zao sauti ya shangwe ambayo inazungumza nao kwa asi l i ,tamu na yenye mlio mzuri kwa sikio l is ikialo—hawa hawamo ndani ya Kristo. Wenyewe wanajikusanyia huzuni na giza,wakati wanastahil i wapate wangavu, hata jua la haki l ikizuka mioyoni mwao na uponyaji katika miale Yake. Maranyingiakiliyakoinawezamavundekwasababuyamaumivu.Basiusijaribukutafakari.UnajuakwambaYesuanakupenda.Anaelewaudhaifuwako.UnawezatukufanyamapenziYakekwakupumzikamikononimwake.

Nisheriayaasilikuwamawazonahisiazetuhutiwamoyonakupatanguvutunapozipeausemi.Wakatimaneno

Page 18: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

yanaelezamawazo,nikwelivivyondivyomawazohufuatamaneno.IkiwatungalitoauonyeshozaidikwaImaniyetu,tungalishangiliazaidikwaBarakatulizonazohivisasa,-rehemanaupendoMkuuwaMungu,-inafaatuwenaImanizaidinafurahakuu.Hakunalughainayowezakuelezea,hakunawazolamwisholinalowezakufahamu,barakaambazomatokeoyakeyatokananakukubaliulewemanaupendowaMungu.Piahapadunianitunawezakuwanafurahakamamto,usioishamajiyake,kwasababuunazidishwanavijitovibubujikavyokutokakwaenziyaMungu.

BasiachenituelimishemioyonamidomoyetukunenasifazaMungukwamaanaupendoWakenimwingi.HebutuelimishenafsizetukutumainiakukaandaniyamwangaungaaotokamsalabawaKalwari.KamwetusisahaukwambasisiniwatotowaMfalmewambinguni,WananaBintiwaBwanawamajeshi.NifursayetukudumishautulivustarehekatikaMungu.

“AcheniamaniyaKristoitawalemioyonimwenu;….tenaiweninashukrani.”Wakolosai3:15.Kwakusahaumatatizonashidazetuwenyewe,hebutumsifuMungukwanafasiyakuishikwaajiliyautukufuwajinalake.AchabarakampyazakilasikumpyazichocheesifandaniyamioyoyetukamaamanayauangalifuwaupendoWake.Unapofunguamachoyakoasubuhi,mshukuruMungukwakukulindausikuwote.Mshukurukwaamaniyakemoyoni

Page 19: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

mwako.Asubuhi,mchananausiku,basishukranikamamanukatoyakupendezaipandejuumbinguni.

Mtuatakapokuulizajinsiunavyojihisi,usijaribukuwaziajambolakusikitishakwausemiiliupatekuhurumiwa.Usizungumzieukosefuwakowaimani,nahuzuninamatesoyako.YuleMjaribuhufurahiasanakusikiamanenokamahayo.Unapoongeleahofuzamajonzi,huwaunamtukuzayeye.HatustahilikuishikwanguvukuuzaShetanikwakutushindasisi.Maranyinyihuwatunajitiawenyewemikononimwakekwakuzungumziajuuyanguvuzake.HebubadalayaketuzungumzienguvukuuzaMunguhatakushikanishamapenziyetuyotepamojanaYake.ElezeanguvuzaKristozisizonakifani,nakuzungumziautukufuWake.Mbinguyoteinapendezwanawokovuwetu.MalaikawaMungu,maelfunamaelfu,nakumielfumarakumielf,wamekabidhiwakuhudumiawaleambaowatakuwawaridhiwawokovu.Wanatulindadhidiyamaovunakuzisukumilianyumanguvuzagizaambazozinatafutakutuharibu.Je!hatunasababuyakushukurukilawakati,shukranihatawakatikunashidazilizowazikatikanjiazetu?

ImbeniZaburi

Hebusifanashukranizinenwekatikawimbo.Tunapojaribiwa,badalayakunongoneahisiazetu,hebukwaImanitumwinulieMunguwimbowashukrani.

TunakusifuWewe,EeMungu,kwaMwanawaupendowako,-KwaYesualiekufanasasaamepaajuu.

Page 20: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

TunakusifuWewe,EeMungu,kwaRohoWakowanuru,NaniametuonyeshaMwokoziwetu,nakutawanyausikuwetu.UtukufuwotenasifakwaMwanakondooaliyeuwawa,Aliyezichukuadhambizetuzote,naamesafishakilauchafu.UtukufunasifazotekwaMunguwaneemayote,

Ambayeametununua,nakututafutanakutuongozanjiazetu.Tuhuishetena;jazakilamoyokwaupendoWako;Herikilanafsiiwashwetenakwamotoutokaojuu.Itikio:

Halleluyah!Utukufuwako,Halleluyah!Amen;

Halleluyah!Utukufuwako,Tuishetena.Wimbonisilahaambayotunawezakutumiakilawakatidhidiyakukatatamaa.TunapofunguamoyokwamwangawajualauwepowaMwokozi,tutakuwanaafyanabarakaZake.“MshukuruBWANA,kwakuwanimwema,

Kwamaanafadhilizakenizamilele.NawasemehiviwaliokombolewanaBWANA,walealiowakomboanamkonowamtesi.

Mwambieni,mwimbienikwazaburi,Zitafakariniajabuzakezote.Jisifunikwajinalaketakatifu,NaufurahimoyowaowamtafutaoBwana,

“Maanahushibishanafsiyenyeshauku,Nanafsiyenyenjaahuijazamema.Waliokaakatikagizanauvuliwamauti,Wamefungwakatikataabunachuma;....WakamliliaBWANAkatikadhikizao,Akawaponyanashidazao.Aliwatoa

Page 21: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

katikagizanauvuliwamauti,Akayavunjamafungoyao.NawamshukuruBWANAkwafadhilizake,Namaajabuyakekwawanadamu!”Nafsiyangu,kwaninikuinama,Nakufadhaikandaniyangu?UmtumainiMungu;Kwamaananitakujakumsifu,Aliyeafyayausowangu,NaMunguwangu.”Zaburi107:1,2,3,107:9-15;42:11,“Shukurunikwakilajambo;maanahayonimapenziyaMungukwenukatikaKristoYesu.”1Wathesalonike5:18

Amrihiinihakikishokwambapiamamboyanaonekanayokuwadhidiyetuyatatumikakwamanufaayetu.Munguhatuagizisisikushukurukwayaleyatakayotuadhiri.

“Bwananinuruyangunawokovuwangu,Nimwogopenani?BWANAningomeyauzimawangu,Nimhofunani?’’Katikasikuyataabuatanistirishabandanimwake;Atanistirikatikasitarayahemayake;…….

Naminitatoadhabihuzashangwehemanimwake;Nitaimbanaam,nitaziimbasifakwaBWANA.’’

NilimngojaBWANAkwasubira,Akaniinamiaakasikiakiliochangu.

Akanipandishatokashimolauharibifu.Ametiawimbompyakinywanimwangu,NdiosifazakeMunguwetu.Wengiwataonanakuogopa,NaowatamtumainiBWANA.

BWANAninguvuzangunangaoyangu;

Moyowanguumemtumaini,Naminimesaidiwa;Basi,moyowanguunashangilia,Nakwawimbowangunitamshukuru.’’Zaburi27:1,27:5,6RV,40:1-3,28:7

Page 22: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Mojawapoyavizuizivilivyohakikakwakuponakwawagonjwanikuelekezamawazoyaoyotekwaowenyewe.Wagonjwawengihujihisikuwakilamtuanapasakuwaoneahurumanakumsaidia,ilahaliyenyewanahitajinikutokujielekezeamawazoyaoyote,piawafikirienakuwajaliwengine.

Maranyingimaombihuwafarajakwawaathiriwa,waliojihurumia,waliovunjwamoyo;nahivyonisawa.

YatupasakuombayakwambaMunguamwagenurukatikamawazoyaliotiwagizanatuwezekuifarijimioyoiliosononeka.LakiniMunguhujibumaombiyawalewanaojitiakwenyenjiayamibarakaYake.Hukututoamaombikwahawawaliosononeka,tunapasakuwahimizawajaribukuwasaidiawalewalionauhitajizaidikuwalikowao.Nahapogizalitaondolewatokamioyonimwaowanapojaribukuwasaidianawengine.Tutafutapokufarijiwenginekwafarajatunafarijiwanayo,nasipiahufarijika,namibarakahiyohuturudiasisiwenyewe.

SurahioyahamsininananeyaIsayanidawakwaugonjwawamwilinanafsi.Ikiwatunatakaafyaboranafurahayakweliyamaishanishartikuzizoeasheriazilizopeanwakatikamaandikohaya.IbadainayokubaliwaNayekilawakati,namibarakayake,BWANAasema:

‘’Je!siyokuwagawiawenyenjaachakulachako,Nakuwaletamaskiniwaliotupwanjenyumbanikwako?

Umwonapomtualiyeuchi,umvikenguo;walausijifichenamtumwenyedamumojanawe?Ndiponuru

Page 23: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

yakoitakapopambazukakamaasubuhi,naafyayakoitatokeamara;nahakiyakoitakutangulia;utukufuwaBWANAutakufuatanyumaakulinde.Ndipoutaita,naBWANAataitika;utalia,nayeatasema,Mimihapa.Kamaukiondoanira;isiwepokatiyako,walakunenamaovu;nakamaukimkunjuliamtumwenyenjaanafsiyako,nakuishibishanafsiiliyoteswa;ndiponuruyakoitakapopambazukagizani;nakiwichakokitakuwakamaadhuhuri.NayeBWANAatakuongozadaima,ataishibishanafsiyakomahalipasipokuwanamaji,nakuitianguvumifupayako;naweutakuwakamabustaniiliotiwamaji,nakamachemichemiambayomajiyakehayapungui.’’Isaya58:7-11Matendomemanimibarakamarambili,mtafaidikawotemtoajinampokeajiwotesawa.Ufahamuwakutendahakinimojawapoyadawaborakwamiilinaakili.Wakatiakiliikohurunakufurahikutokananahisiayajukumulililofanywavizurinaridhikokwakutoausemikwawengine,mvutouinuayofurahayamoyohuletamaishamapyakwamwilimzima.

Hebuwagonjwa,watafutekutoahurumakwawenginebadalayawaokuendeleakutakawahurumiwe.HebuupeanemizigoyaudhaifuwakonahuzuninamaumivukwaMwokozimwenyemwingiwahuruma.FunguamoyowakokwaupendoWake,nauwacheububujikekwawengine.Kumbukakuwawakowengiwenyemajaribuambayonimagumukuyabeba,majaribumagumukuyapinga,naunawezakufanyajambo,ilimizigoyaoiwe

Page 24: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

miepesi.Toashukranikwamibarakaulionayo;onyeshauthamaniwamapokeounayoyepewanawengine.

FanyamoyowakoujaekwawingiwaahadizathamanizaMungu,iliutoekwenyehazinahii,manenoyatakayokuwafarajananguvukwawengine.Hayayatakuzingiranakuwanamazingiraambayoyatakuwamsaada,kwawotenahatawatuwajamiiyakonawengine.

Ikiwawalewanaotesekakutokananaafyambayawangesahauubinafsikwamasilahiyawengine;kamawangelitimizaagizolaBwanalakuwahudumiawalionauhitajizaidikulikowao,wangelitambuaukweliwaahadiyaunabii.‘'Ndiponuruyakoitakapopambazukakamaasubuhi,naafyayakoitatokeamara.’’

BarakazaHakika

Barakazahakika;Yesuniwangu!

Ee,maonjihayautukufuwakiungu’

Mridhiwawokovu,ununuziwaMungu,

UliozaliwanaRohoWake,kuoshwakwadamuYake.

Chorus

Hiinihadithiyangu,huundiyowimbowangu,

Namsifumwokoziwangusikunzima

Hiinihadithiyangu,huundiowimbowangu,

Nijitoaponihakika,furahanikamilifu,

Page 25: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Njozizaunyakuzikufunuliwambeleyangu.

Malaikawanashukakutokajuu

Miangwiyarehema,yanongonaupendo.

Nijitoaponihakika,yoteyametulia,

Katikamwokoziwangu,ninafurahanabarikiwa,

Kukeshanakungoja,natazamajuu,alijazwanawema

Najazwanawemawake,nimezakatikaupendowake.

Fanny.jCrosby.Yametokakwakitabu‘’HudumayaUponyaji’’naElenGWhitepg247-258

SisisotetunahitajiuponyajikutokakwaBwana!

NiYesupekeeanawezakutupahurumanauponyajihuuwakweli.Ilikuwakaziyakekutuokoanakilakitukinachoua.Anasema;RohowaBwanayujuuyangu,kwamaanaamenitiamafutakuwahubirimaskinihabarinjema.Amenitumakuwatangaziawafungwakufunguliwakwao,Navipofukupatakuonatena.Luka4:18

KunawatotowengiwaMunguambaoleohiiwanashambuliwanaShetani.Mashambuliziyakenimagumunamakali.MashambulizihayayanawezakujamojakwamojakutokakwaShetani,lakinipiakutokakwafamilia,marafiki,mamlakayaleonadini.

Inawezakuwalughambaya,kimwiliaukisaikolojia,nguvuyapombe,madawayakulevyapiayanaweza

Page 26: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

kutumiwa,iliakiliyakawaidaiharibiwenainawezakuharibiwa.

KuvunjwamoyonagizavinawezakujajuuyetunakamawatotowotewaMunguwanashidwa,basiitakuwagiza.LakiniBwanahataruhusutuwenamajaribumakubwazaidikulikoyaletunayowezakuyashugulikia.TukimwitiaBwanaatatujibunakutuokoa.Ikiwatukokatikagizakubwanahatuwezikuonanjiayoyote,yeyeatatupamionziyamwangananguvutunayohitajiilikututetea.

Anavikosivyamalaikaambaowanawezakujakutusaidia.Yesuanatamanikutuwekahurunaudhalimuwadhambi,usisahaukwambamalaikaninguvuzaYesunanikubwakulikonguvuzapepo.

UsisahaukwambamalaikawaMunguniwenyenguvukulikomalaikawapepo.Yesuanasema,‘’Nimepewamamlakayotembinguninaduniani.’’Mathayo28:18.YeyehuwananguvukidogolakinihananguvuzotekamaMungumwenyenguvu,kamamuumbanaaliyeumbwatena.

TukiwakwaBwanakamamuumbanaaliyeumbatena,TukiwakwaBwanatunanguvunatunapogeuzamguukwamsalabaingawa,tukokatikagiza,atatupaAmanikamiliyaakili,ushindikamilinauhuru.

InatupasakufahamuhiliilituwenaImaninakishaatatupaAmani,nakupumzikandaniyake!Watotowanuruhuletanurugizanilakinihawatabakigizani.

Page 27: UPONYAJI. - endtime.net filewa Mungu na nguvu za wokovu. Tukiimarishwa na nukuu zifuatazo kutoka kwa neno la Mungu; kwa hii maana ‘’Mungu aliupenda ulimwengu,hata akamutoa mwanawe

Lazimaturuhusumwangakuangazagizani,KwafurahanakwaujasirikuwapawenginenurutuliopokeakutokakwaBwana.

WakatihuohuotunapaswakuonyeshahurumaNaKwawenginelazimatufanyekaziKwaupendousionaubinafsi.Kwawenginenitiba,hutoauponyaji.Je!WewenamimitupatekipimokikubwacharohowaMungunanguvukatikamaishayetu,ilituwewatumishiwawatumishiwenzetu.

Kwawalewaliokaribunasisituonyeshewema,hurumanaupendokwawote,awerafikiauadui.

Je!upendowaYesuutujazewoteilituwezekuifunuatabiayakekatikamaishayetunahivyokuwamashahidiwauzimakwaajiliyake!

Kwasalamuzakirafiki

AbelnaBentestruksnes.