Upload
others
View
2
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
UTHABITI WA AINA
BORA ZA KAHAWA
TANZANIA
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Jukumu La TaCRI
Kurudisha matumaini kwenye tasnia ya
kahawa kwa kutoa na kusambaza teknolojia za:
Kuongeza tija
Kuongeza ubora
Kupunguza gharama za uzalishaji
Kuboresha kipato na riziki
Kuongeza mchango wa kahawa kwenye pato la taifa
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
AINA BORA ZA KAHAWA
ZILIZOTOLEWA RASMI
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Aina 19 bora za Arabika chotara
zenye ukinzani kwa chulebuni
(CBD) na kutu ya majani (CLR)
Aina 4 bora za Robusta zenye
ukinzani kwa mnyauko fuzari (
CWD)
The improved varieties are
“amongst the best in the world” Dr.
Christophe Montagnon
Zinatajwa kama “MKOMBOZI” na
wakulima wa kahawa
Aina Bora za Kahawa Tanzania
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
UTHABITI (STABILITY)
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Aina yenye ukinzani kwa chulebuni (Kulia)
na aina inayoathiriwa (Kushoto)
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Aina zenye ukinzani na kutu (kushoto),
inayoathiriwa na kutu (kulia)
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Aina inayoathiriwa na mnyauko fuzari
(Kulia), aina kinzani (Kushoto)
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Uthabiti wa Aina Fupi Arabika Chotara
Mbinga Muleba
Moshi
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Visababishi vya kupoteza ukinzani

Chulebuni
Tafiti zimethibitisha
utofauti wa kushambulia
wa viini (strains) vinavyo
sababisha ugonjwa wa
chulebuni
Viini vinavyopatikana
nchini Cameroun vina
ukali wa pekee!
Vikiingia Tanzania,
tutapoteza zao la kahawa
aina Arabika!
Kutu ya majani
Duniani kuna viini
(races) za kutu
zijulikanazo 40
Tanzania zipo 23, kutoka
7 zilizokuwepo mwaka
1975!
Viini vipya tofauti na
vilivyopo vyaweza
kusababisha kupoteza
ukinzani
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
“Visababishi vya kupotea kwa ukinzani”
Mnyauko Fuzari
Kuna aina mbili za “strains”: ya Arabika na
Robusta
Katika kila aina ya “strain” kuna utofauti wa ukali
wa mashambulizi
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Changamoto za Utafiti! Zinatokeza Utafiti Endelevu!
Arabika - Utafiti kupata
aina kinzani
umekamilishwa kwa
awamu:
2005 Aina 10
2012 Aina 5
2013 Aina 4
Robusta – Utafiti kupata
aina kinzani pia kwa
awamu:
2011 Aina 4
2018/19 Matarajio Aina
5-6 Robusta chotara
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Matokeo Mazuri ya Utafiti
Kuendeleza Tasnia ya Kahawa
Tanzania
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Aina za Arabika zenye ukinzani na zinazozaa sana
Utiri Mbinga

Hai

Zinachangia ongezeko la uzalishaji nchini
Aina chotara za compact
zimechangia katika
uzalishaji wa kahawa AVIV
Aina fupi chotara “Compact”
0
100
200
300
400
500
600
700
800
Ta
ni
za k
ah
aw
a s
afi
Msimu 2014 hadi 2016 (2016 makisio)
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Tathmini ya aina za Arabika
zinazovumilia ukame
Katika kutekeleza Azimio namba 5 la
Mkutano Mkuu wa Wadau Mwaka 2011
Tunatathmini aina 10 katika Wilaya za Tarime,
Rombo, Mbozi na Kasulu
Aina 3 zinajitokeza kuwa bora zaidi maeneo yote
Matarajio: kupendekeza aina vumilivu 2017/18
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Tathmini ya aina chotara za Robusta
Faida za “hybrid vigour”: uzaaji mapema,
uimara, uzaaji mwingi, ubora
Aina 58 bora zaidi kati ya 323 zimechaguliwa kwa
mwendelezo, Maruku, Kagera
Majaribio mtawanyiko yataanza 2016/17,
mapendekezo 2019
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Tathmini ya aina chotara za Robusta: ukinzani
myauko fuzari, kutu ya majani na tija
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Matumizi ya Tekinolojia za Utafiti
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Mahitaji kwenye halmashauri ni makubwa
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Matumizi ya Tekinolojia:Tarime – SIRARI

Matumizi ya Tekinolojia: Tarime
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Mafanikio: Mbinga
Mama Anuthiata Komba (katikati) kutokana na mauzo ya
kahawa, anasomesha watoto wake wawili chuo kikuu,
anajenga nyumba ya kisasa
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Mafanikio - Mbozi
Mfano wa kuigwa: Shamba la Mh. Willman Kapenjama
Ndile, DC Kalambo, lililoko Ihanda, Mbozi
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Matumizi ya Tekinolojia: Kagera
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Mapinduzi ya kilimo cha kahawa
Tanzania yanawezekana!!
Mapinduzi
ya kijani ya
kahawa
R2: Aina mpya
chotara za
kahawa
R4: Scaling up
and out
(Ukarabati &
Upanuzi)
R3: Kanuni bora
za kilimo cha
kahawa
Vichocheo
vinahitajika
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
Vichocheo vinahitajika!
Uwezo wa TaCRI Kuzalisha
miche
Azimia kuzalisha miche
milioni 20 kila mwaka
kuanzia 2012!
0
1,000,000
2,000,000
3,000,000
4,000,000
5,000,000
6,000,000
2012/13 2013/14 2014/15Id
ad
i y
a M
ich
e k
wa
msi
mu
Msimu
“UTAFITI NDIO UHAI WA WAKULIMA WA KAHAWA”
Improving Income Security and Livelihoods
TUNAOMBA
KUWASILISHA