22
UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA UTANGULIZI: Teknolojia ya malisho ni Teknolojia inayokua kwa kasi kufuatia Wafugaji wengi kuhamasika juu ya uwekezaji katika eneo la Malisho, pamoja na ongezeko kubwa la watu nchini na shughuli nyingi za kibinadamu.

UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

  • Upload
    others

  • View
    1

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA

UTANGULIZI:

Teknolojia ya malisho ni Teknolojia inayokua kwa kasi kufuatia Wafugaji wengi kuhamasika juu ya uwekezaji katika eneo la Malisho, pamoja na ongezeko kubwa la

watu nchini na shughuli nyingi za kibinadamu.

Page 2: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

……UtanguliziKituo cha Utafiti wa Mifugo (TALIRI) -Uyole kimeibua, kutafiti na kusambaza teknolojia mbalimbali za ufugaji bora ikiwemo tekinolojia ya uzalishaji wa malisho bora.

Page 3: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

……utangulizi

• Wafugaji hawana budi kujua malisho bora ni nini, Aina mbalimbali za malisho pamoja na kujua njia mbalimbali za upandaji, Utunzaji,Uvunaji, Ulishaji na Hifadhi ya malisho.

Page 4: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

MALISHO BORA NI YAPI

❖ yaliyoboreshwa,

❖ kuhakikiwa na kuainishwa juu ya uborawake kisayansi na kujulikana kuwa na viwango vyajuu vya viini lishe vya protini, Nishati, madini,vitamini nyuzinyuzi na uwezo wa juu wa uzalishaji

Page 5: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

AINA ZA MALISHO

Zipo aina kuu tatu za malisho;

❖Malisho ya asili

❖Malisho ya kupandwa

❖Masalia/mabaki ya mazao ya mashambani

Page 6: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

SIFA ZA MALISHO YA ASILI:

❖Upatikanaji wake ni mdogo/haba

❖Hayatoi chakula cha kutosha (low biomass yield)

❖Yana ubora hafifu/duni ( low nutritive value 4-5.5% CP)

❖Hukomaa mapema hivyo kupoteza ubora wake

Page 7: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

SIFA ZA MALISHO YA KUPANDWA

❖Upatikanaji wa uhakika

❖Yameboreshwa

❖Hukuwa kwa haraka

❖Hayakomai mapema

❖Hutoa chakula kingi ( High biomass yield)

Page 8: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

MGAWANYIKO WA MALISHO YA KUPANDWA

Malisho ya kupandwa yamegawanyika katika makundi makuu matatu,

❖Jamii ya nyasi,

❖Mikunde na

❖Miti malisho

Page 9: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

USAMBAZAJI WA MALISHO

❖ Rhodes Boma,

❖Mabingobingo (Nappier grass),

❖ Congo Signal (Brachiaria decumbens )

❖ Desmodium intortum (Green leaf desmodium)

❖ Desmodium ancenatum (Silver leaf desmodium)

❖Miti malisho aina ya Leucaena diversifolia (Lukina), Calliandra calothysus (Kalliandra) Leucaena Pallida

Page 10: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

1(i).NYASI JAMII YA RHODES:

❖Hutoa kiwango kikubwa cha protini -9.2 %

❖Hujieneza kwa haraka baada ya kupandwa

❖Hukua kwa haraka na kufikia urefu wa mita moja hadi moja na nusu

Page 11: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

Upandaji kwa kutumia mbegu

• Mbegu husambazwa kiholela (Broadcasting) au kwenye mistari kwa kufungua mifereji.

• Ikiwezekana zifukiwe kwa haro, miiba au reki

Page 12: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

Shamba la Rhodes

Page 13: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na
Page 14: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

UVUNAJI WA MBEGU❖Mbegu za Rhodes hukomaa katika umri wa miezi 6-

7

❖Ni vyema masuke ya mbegu yakavunwa mapema mara yanapo komaa na kabla mbegu haija pukutika

❖Anika mbegu kivulini na pasipo na unyevunyevu

❖Pukuta mbegu

❖Safisha mbegu

Page 15: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

Uandaaji wa mbegu ya Rhodes

Page 16: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

1.(ii)NYASI AINA YA MABINGOBINGO

SIFA:

❖Huchipua haraka baada ya kukatwa, na kutoa malisho mengi

❖Hubaki kijani kibichi wakati wa kiangazi,

❖Huzuia mmomonyoko wa udongo .

Page 17: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

UPANDAJI WA MABINGOBINGO

❖Tumia pingili zilizokomaa vizuri zenye vifundo vitatu,

❖ fukia vifundo viwili chini ya udongo au tumia vikonyo vilivyogawanywa

❖Tumia vipimo vya sentimita 50 kati ya mmea na sentimita 100 kati ya mistari

Page 18: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

2) -MALISHO JAMII YA MIKUNDE: (Herbaceous legumes)

AINA; • DESMODIUM Desmodium intortum/Desmodium

uncenatum

SIFA:❖Ina kiwango kingi cha protini (19.0 % CP)

❖Husambaa haraka kwa vikonyo

❖Huvumilia kukatwa na kuchungiwa

Page 19: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

UPANDAJI

❖Panda kwa kutawanya mbegu kwa mkono

❖Hupandwa pekee tu ikiwa lengo ni kuzalisha mbegu

Page 20: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

3) -MITI MALISHO .(MULTIPURPOSES TREES

• Leucaena diversifolia

• Calliandra calothyrsus

• Leucaena pallida

• Acacia angustissima

Page 21: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

SIFA❖Ina viwango vikubwa vya protini –(20 – 29 % CP)

❖Hudumu miaka mingi

❖Hubakia kijani kibichi hata wakati wa kiangazi

Page 22: UZALISHAJI, MATUMIZI NA HIFADHI YA MALISHO BORA · 2018. 7. 10. · MALISHO BORA NI YAPI yaliyoboreshwa, kuhakikiwa na kuainishwa juu ya ubora wake kisayansi na kujulikana kuwa na

UHIFADHI WA MALISHO YA MIFUGO

1-Kuhifadhi kama hei

2- Kuhifadhi kwa njia ya kutengeneza saileji: